Maswali na Majibu kuhusu dhamira
Dhamiri adilifu ni nini? Dhamiri adilifu, iliyo ndani kabisa mwa mtu, ni uamuzi wa akili …
Maswali na Majibu kuhusu dhamira Read More »
Read More Β»Dhamiri adilifu ni nini? Dhamiri adilifu, iliyo ndani kabisa mwa mtu, ni uamuzi wa akili …
Maswali na Majibu kuhusu dhamira Read More »
Read More Β»Ishara ndogo ya Msalaba juu ya panda la uso, mdomo, na kifua kabla ya Injili ina maana gani?
Maana yake ni kama Ahadi kuwa, Niko tayari kulifahamu Neno la Mungu kwa akili yangu, Nitalitangaza kishujaa kwa Midomo yangu, Nitalipenda na kulishika kwa Moyo wangu wote.
Ni ipi sala bora kwa Bikira Maria? Kwa nini Tunasali kwa Bikira Maria? Sala bora …
Maswali yanayoulizwa sana Kumhusu Bikira Maria Read More »
Read More Β»Yesu aliweka Kitubio na Mpako wa Wagonjwa kwa sababu gani? Yesu aliweka Kitubio na Mpako …
Mambo ya Msingi kujua kuhusu Sakramenti ya Kitubio Read More »
Read More Β»Maisha ya Sala ni muhimu sana katika imani ya Kanisa Katoliki! Tunakaribishwa kuomba kwa moyo wote ili kupata amani na baraka zinazotokana na muungano wetu na Mungu. Sala ni nguvu yetu inayotusaidia kushinda majaribu ya maisha na kufikia maisha ya kudumu pamoja na Bwana wetu. Jifunze zaidi kuhusu imani hii yenye nguvu ya Kanisa Katoliki na maisha ya sala.
Read More Β»Je, Amri ya Saba ya Mungu inafundisha nini?
Amri ya saba ya Mungu inafundisha kuitambua mali ya mtu na kuiheshimu.
Mali ya mtu ni ipi?
Mali ya mtu ni ile aliyoipata kwa njia halali yaani kwa haki.
Misa Takatifu ina sehemu kuu ngapi? Misa Takatifu ina sehemu kuu mbili 1. Litrujia ya …
Maswali na Majibu kuhusu Liturujia Read More »
Read More Β»Katika Amri ya Sita na Tisa Mungu ametuamuru nini?
Mungu ametuamuru kutunza usafi wa moyo na kuwa waaminifu katika ndoa.
Usafi wa Moyo ndio nini?
Usafi wa Moyo ni fadhila ya kiutu, zawadi ya Mungu, neema na tunda la Roho Mtakatifu.
Ufufuko wa wafu maana yake nini? Ufufuko wa wafu maana yake mwisho wa dunia watu …
Maswali na Majibu kuhusu Hukumu ya Mwisho Read More »
Read More Β»Tunatambua Maandiko Matakatifu kati ya maandishi yote ya binadamu kwa njia ya Mapokeo, yaani kwa sababu yametumiwa na Kanisa tangu mwanzo kwa kulisha kwa hakika imani yake.
Read More Β»