Twende tusonge mbele
Nalikuita, Ukaja.
Kwa nini unasita sasa?
Songa mbele…
Mimi ni Mungu wako Nikuongozaye
Twende tusonge mbele Read More »
Nalikuita, Ukaja.
Kwa nini unasita sasa?
Songa mbele…
Mimi ni Mungu wako Nikuongozaye
Twende tusonge mbele Read More »
Mwanagu, Sikiliza sauti yangu nawe utanufaika…
Tazama nimepnga mambo mengi mema kwako
Naam… Yatakupata mema
Mimi Mungu nimesema
Mwanagu, Sikiliza sauti yangu nawe utanufaika Read More »
Kwa nini unanionea haya?
Kwa nini unaona ugumu kunitaja?
Je, mimi si ndiye niliyefanya haya yote?
Kwa nini unaona haya juu yangu? Read More »
Kwa sababu hiyo, Sitanyamaza kamwe
Mpaka haki ipatikane
Haki yako ipo
Ninayaona yote
Samehe nawe utasamehewa.
Fadhili nawe utafadhiliwa.
Hifadhi nawe utahifadhiwa.
Wawezaje kujua thamani ya Huruma na Upendo wangu usipowatendea wengine kwa Huruma na Upendo?
Naam, mimi ni Mungu nikupendaye na Kukuhurumia.
Njoo Ujifunze Huruma na Upendo Wangu Read More »
Nilikupenda na nitazidi kukupenda
Kwa maana mimi ni Mungu wako
Nikupendaye
Mimi ni Mungu nikupendaye Read More »
Furahia shangilia wewe uliye wangu
Starehe na utilize Moyo wako
Uambie Moyo wako upo salama kwa Mungu wako
Kwa maana, Mungu wako ni Mkuu kati ya hao wote
Usitishwe na chochote, Mimi nipo Read More »