Kwa nini unaona haya juu yangu?
Kwa nini unanionea haya?
Kwa nini unaona ugumu kunitaja?
Je, mimi si ndiye niliyefanya haya yote?
Kwa nini unaona haya juu yangu? Read More »
Kwa nini unanionea haya?
Kwa nini unaona ugumu kunitaja?
Je, mimi si ndiye niliyefanya haya yote?
Kwa nini unaona haya juu yangu? Read More »
Sikia MWanangu sikia…
Kama vile baba mwema Ampendavyo mwanaye
Ndivyo nami nakujali wewe
Ninakupenda upeo
Sikia Mwanangu Sikiliza Read More »
Wakati ukiwa mdogo nalikujua,
Wakati ungali kijana nalikutambua,
Maisha yako yapo mikononi mwangu
Ninazihesabu hatua zako zote
Nimepanga kukupa wokovu
Kwa maana mimi ndiye Mungu Niokoaye
Kwa sababu hiyo, Sitanyamaza kamwe
Mpaka haki ipatikane
Haki yako ipo
Ninayaona yote
Mwanagu, Sikiliza sauti yangu nawe utanufaika…
Tazama nimepnga mambo mengi mema kwako
Naam… Yatakupata mema
Mimi Mungu nimesema
Mwanagu, Sikiliza sauti yangu nawe utanufaika Read More »
Jipe moyo mwanagu kwa kuwa mimi ni Mungu wako
Hayo yote yatapita, Kama usiku uutanguliavyo mchana
Pambazuko laja na Baraka zako
Naam, Mimi ni Mungu wako
Jipe moyo, Mimi ni Mungu wako Read More »
Rafiki…
Sikia sauti yangu na kupokea fundisho langu
Kwa maana huo ndio mwelekeo sahihi
Mwanagu Nisikilize Read More »