Kwa nini unaona haya juu yangu?
Kwa nini unanionea haya?
Kwa nini unaona ugumu kunitaja?
Je, mimi si ndiye niliyefanya haya yote?
Kwa nini unaona haya juu yangu? Read More »
Kwa nini unanionea haya?
Kwa nini unaona ugumu kunitaja?
Je, mimi si ndiye niliyefanya haya yote?
Kwa nini unaona haya juu yangu? Read More »
Mwanagu, acha dhambi zako na unirudie mimi.
Ninayafahamu mapungufu yako na madhaifu yako
Ninaweza kufanya njia ya kuja kwangu kupitia hayo
Naam, Tubu kwa moyo wako wote nami nitafanya njia
Mwaliko wa Toba ya Baraka Read More »
Kwa sababu hiyo, Sitanyamaza kamwe
Mpaka haki ipatikane
Haki yako ipo
Ninayaona yote
Nalikuita, Ukaja.
Kwa nini unasita sasa?
Songa mbele…
Mimi ni Mungu wako Nikuongozaye
Twende tusonge mbele Read More »
Waambie watu wangu wajipe moyo
Waambie wasihofu wala kufadhaika
Kwa maana Mimi Naja kuwaokoa
Sitawaacha, Kwa kuwa Mimi ni Mungu wao
Watie moyo walio wangu Read More »
Furahia shangilia wewe uliye wangu
Starehe na utilize Moyo wako
Uambie Moyo wako upo salama kwa Mungu wako
Kwa maana, Mungu wako ni Mkuu kati ya hao wote
Usitishwe na chochote, Mimi nipo Read More »
Mimi ndiye Mungu wako
Mimi ni wa Mwanzo na Mwisho
Mimi ndiye wako sahihi wa kufuata
Nifuate unijue mimi
Mimi ndiye Mungu wako Read More »