Mapishi ya Tende Ya Kusonga Ya Lozi Na Cornflakes

Updated at 07 Jul 2017 17:18

Edited By, Melkisedeck Shine, at 2017.



Mapishi ya Tende Ya Kusonga Ya Lozi Na Cornflakes

VIAMBAUPISHI

Tende zilizotolewa kokwa - 1 Kilo

Cornflakes - 1 ½ kikombe

Lozi Zilokatwa katwa - 1 kikombe

Siagi - ¼ kilo

MANDALIZI

Mimina tende na siagi kwenye sufuria bandika motoni moto mdogo mdogo mpaka zilainike. Kwa muda wa dakika 10.
Isonge kidogo kwa mwiko au kuikoroga ichanganyike vizuri.
Changanya Cornflakes na lozi kwenye tende mpaka zichanganyika vizuri.
Pakaza treya au sinia mafuta au siagi kidogo.
Mimina mchanganyiko wa tende, zitandaze vizuri na ukate vipande saizi unayopenda. Zikiwa tayari kuliwa kwa kahawa.

[MUHIMU HII] Msimu huu usipitwe na dawa hii muhimu ya kuandalia shamba

Soma na kutoa Maoni kuhusu Mapishi ya Tende Ya Kusonga Ya Lozi Na Cornflakes
Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

Endelea kusoma makala hizi zinazofanana na hii ya, Mapishi ya Tende Ya Kusonga Ya Lozi Na Cornflakes;

.