Meseji ya kumtumia dia wako kumuonyesha jinsi unavyompenda

By, M.L. Shine.

👇SMS/ Ujumbe/ Meseji👇

ningependa nikuambie neno ambalo halina gharama na
liku2miwa vbaya halna maana wala thaman. neno hlo
haliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki ila 2
Linatokea Bila Kujua Na Halina 7bb.neno Hlo Mi Mwenyewe
Silijui Ila Ndo Lina2fanya 2we Pamoja Japo 2po Kas Na Kus.
Nakupenda Xana Dia

👉ackyshine.com/sms


[USIKOSE HII] Dawa maalumu ya kuandaa shamba lako msimu huu

.

Meseji zaidi zinapatikana AckySHINE Burudani