KITUKO-WAHENGA

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Mkalimani alivyoharibu ibada ya leo

Leo nikaamua niingie misa ya asubuhi kwenye kanisa moja la kilokole kulikua na ugeni wa mchungaji kutoka Bulgaria, Mahubiri yameanza saa 1 asubuhi hali ikawa kama hivi:

MCHUNGAJI: My name is Pastor Livingstone
MKALIMANi: Kwa jina naitwa mchungaji Jiwe linaloishi
MCHUNGAJI: We thank God for All goals we set by our hands
MKALIMANI: Tunamshukuru Mungu kwa Magoli yote tuliyoweka kwa Mkono

Hivi navyoongea kanisa halina viti waumini wote tumekimbia nje naona Mkalimani amebaki na kiatu cha kushoto tu.
Sunday joke

😂😂 😂 😂😂


V.gif Tenda Wema Uende Zako

Nimekuta panya ana struggle kuingia chini ya mlango wa jirani yangu… Nikagonga mlango Jirani kafungua panya akapenya mi nkaenda zangu….. Tenda Wema Uende Zako!!! Sipendi Ujinga mimi kwanini panya wa watu apate shida

😂😂 😂 😂😂


V.gif Cheki huyu jamaa anachomfanyia huyu mrembo kanisani

Jamaa kaenda kanisani akakaa karibu na mrembo.
Wakati mahubiri yakiendlea jamaa akaanza kuingiza vocal:
Jamaa: dada mi nakupenda saana
Dem: Kaka naomba umsikilize mchungaji
Jamaa: nipe nafasi uwe msimamizi wa serikali ya moyo wangu…
Dem: niache…
Jamaa: kweli nakupenda mpnz
Dem: (kwa sauti kubwa) nmesema NIACHEEEE!!
Watu wote kanisani wakageuka… Jamaa kaona noma na ili atulize msala
Jamaa: sikuachi hadi ukiri YESU kuwa Bwana na mwokozi wa Maisha yako.

😂😂 😂 😂😂


Hii ndio maana ya kunenepa wakati unadaiwa

ukinenepa-ni-dharau.jpg

Ni shida!

IMG-20160302-WA0005.jpg

Kilichompata jamaa baada ya kujiunga group la WhatsApp

magroup-ya-whatsapp.jpg

Cheki sababu ya huyu jamaa kutokupenda mchezo wa mieleka

IMG-20160507-WA0001.jpg

Ujumbe kwa wakina dada

IMG-20160323-WA0010.jpg

Huyu mtoto akiwa mkubwa atakuaje? kama sasa anawaza bunduki

IMG-20160411-WA0011.jpg

.

page 1 of 30958123...3095730958next »

😂 NIMEIPENDA HII👉 Raha ya kuoa kijijiniV.gif

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

UJUMBE-POLE-NDUGU.JPG
KADI-SHUKRANI-MZAZI.JPG

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.