PAKUA

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Pale umapofanya interview huku ukijua hutapata kaz

Pale unaitwa kufanya interview na unajua tuu hutapata kazi tuu…..
Interviewer: where were u born?
Guy: Tanzania Interviewer: okay which part?
Guy: what do u mean which part, the whole body was born in Tanzania..
😂😂😂 Cpendagi ujinga mim

😂😂 😂 😂😂


V.gif Wasichana wafupi wanafurahisha

Wasichana wafupi wananifurahisha sana…. Yaan siku ya Valentine, wakivaa magauni mekundu huwa wanakuwa kama Fire extinguishers au mitungi ya Oryx 😁😁😁😁😀

😂😂 😂 😂😂


V.gif Angalia huyu mwalimu alichokifanya

Mwalimu aliingia darasani akiwa amechoka kinoma
akawambia wanafunzi.

'leo tutajifunza kipindi cha
dini " wanafunzi wakiwa wanajiandaa ili kuendelea
na kipindi mwalimu akajiegesha kwenye kiti klichokua
karibuu yake baada ya dakika kadhaa mwalimu alipitiwa
na usingizi, ghafla alingia mkurugenzi na
kusimama pembeni mwa kile kiti alichokalia mwalimu
ghafla kmya kikatawala darasani kiasi cha kunfanya
mwalimu ashtuke usingizini aliamka huku akipiga
miayo alpotupa jicho pembeni alimuona mkurugenzi
kasimama pemben! akiwa anababaika alifungua
kinywa na kusema ' Hivi ndivyo walivyolala wanafunzi
wa YESU walipokua wakimsubli kule mlimani, je
kuna mwenye swal? mkurugeni pale alipokua
akapiga makofi na kumsifia mwalimu kwa kufundisha
kwa vitendo.

Je % Ngapi unampa mwalimu kwa
kusolve kibarua chake.????

😂😂 😂 😂😂


Mara paaa! simba huyo, Ungekua wewe ndio huyu jamaa hapa ungefanyaje?

bahati-maya-mwituni-simba.jpg

Jamani kwani kupiga mswaki ni lazima? Cheki kilichompata huyu dogo baada ya kugoma kuswaki

IMG-20151116-WA0027.jpg

Anachokisema mzee baada ya mtoto kumshitakia mama na anko

huyu-mzee-mtoto.jpg

Hii ndio maana ya kunenepa wakati unadaiwa

ukinenepa-ni-dharau.jpg

Je hii ni kweli katika mapenzi?

IMG-20160321-WA0048.jpg

Lilishawahi kukukuta hili na wewe? Kumbe vilaza tupo wengi

IMG-20160505-WA0013.jpg

.

page 1 of 33187123...3318633187next »

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

ml.gif
PONGEZI-MPENZI-24498UA8.JPG

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.