PERUZI-WAHENGA-NA-VITUKO

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Hii ndiyo sababu ya kumfanya huyu jamaa kujiita fala

MZEE:"sasa huyu mgeni sijui alale wap?"
MKE:"saa hizi ni usiku akalale na Bebi."
jamaa akaona huyo Bebi pengne mtoto anakojoa kitandani au akalia asije msumbua usiku

JAMAA:"msipate tabu mi ntalala hapa kwenye kochi" akalala
asubh wanakunywa chai akaibuka mrembo,jamaa akapigwa bumbuwazi almanusra ajimwagie chai.
BINTI:"Naitwa BEBI,we unaitwa nani?"
Jamaa akasema mimi naitwa Fara…..!

😂😂 😂 😂😂


V.gif Angalia huyu mwalimu alichomfamya huyu mwanafunzi

*Hadith ya Shemdoe na Mwalimu wa English:*

*Teacher:* `Who is a pharmacist?`

*Shemdoe:* 👆🏿 _(raised up his hand.)_

*Teacher:* `So it’s only Shemdoe that can tell who a pharmacist is in this class? Thus, no body else to answer the question except Shemdoe?`

_(There was no reply from the students)_

*Teacher:* `Ok. now Shemdoe, chukua hii fimbo, charaza vilaza hawa wote kila mmoja viboko 3.`

*Shemdoe* _(akiwa amevimba kichwa, akawatwanga viboko vitatu vitatu vya kushiba darasa nzima)_

*Teacher:* `Now, my dear Shemdoe tell this dumb students, who a pharmacist is…?`

*Shemdoe:* `Yes, sir. a Pharmacist is a farmer who assists people.`

_*Shemdoe sasa hivi amelazwa MOI kwa wataalam wa mifupa*_😀😀😀

😂😂 😂 😂😂


V.gif Dogo alivyomchomea dada wa kazi kwa mama yake kuhusu baba

Dogo: mama hivi malaika si wanapaa?

Mama: ndiyo wanapaa, kwanini umeniuliza hivyo?

Dogo: nimesikia baba jana anamuita dada (housegir) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa?

Mama: ndiyo atapaa kuelekea kijijini kwao kesho, pumbavu zake.

😂😂 😂 😂😂


Huu wivu wa huyu baba umezidi sasa, angalia anachokifanya sasa

baba-noma.jpg

Kila siku katika mapenzi unalia?

IMG-20160418-WA0015.jpg

Huu mtihani ni balaa

IMG-20160227-WA0036.jpg

Angalia anachokifanya huyu bibi harusi, Arusi za uswazi

529670_165387706942083_1322050720_n.jpg

Kilichompata mshikaji wangu baada ya kuchora tatoo ya mpenzi wake

tatoo-ya-mwanamke.jpg

Unakumbuka enzi hizi za utoto?

IMG-20160416-WA0010.jpg

.

page 1 of 30964123...3096330964next »

FURSA.PNG

Fursa Ya Kazi Na Ajira Yenye Malipo Mazuri

Au soma zaidi hapa

.

uliyesoma.gif
UJUMBE-WA-ASUBUHI-KWA-NDUGU.JPG

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.