TIZAMA

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Januari kweli ngumu, soma hii

Januari kweli kiboko

Hii january sabuni za kuogea ni zile za kuoshea vyombo, yani unakutana mjini na mtu ana mchicha shingoni…😂

😂😂 😂 😂😂


V.gif Kilichompata sista duu bishoo wakati akijidai kununua pete

Mwanamke mmoja aliingia duka la vito vya thamani, akaona pete moja ya dhahabu nzuri sana amabayo ilikuwa kwenye shelf ya chini, wakati anainama apate kuitazama vizuri kwa bahati mbaya (au nzuri!), shuzi likamtoka- druuuuuu, soni ikamuingia huku akigeuka haraka kuangalia kama kuna yeyote dukani pale ameliskia shuzi lake, macho yakagongana na mwenye duka ambaye alikuwa karibu huku uso ukiwa umejaa tabasamu zito, mwana mama hakuwa na uhakika kama amesikika au hakusikika, akaona atumie nafasi ile kuyeyusha…Akauliza "Hii pete bei gani?" . Jamaa mwenye duka, huku akiangua kicheko, akajibu "Umeiona tu umejamba, je nikikuambia bei yake si utakunya kabisa?"

😂😂 😂 😂😂


V.gif Ukimuona mbwa kwenye harusi hii ndiyo maana yake

Hili nalo neneo.

ukimuona mbwa🐶 harusini usimpige mawe wala kumfukuza inawezekana kilichomleta pale ndicho kilichokupeleka na wewe hapo

😂😂 😂 😂😂


Lilishawahi kukukuta hili na wewe? Kumbe vilaza tupo wengi

IMG-20160505-WA0013.jpg

Jambo la muhimu kufanya mwaname anapokwambia anakupenda

cha-kuuliza-unapoambiwa-unapendwa.jpg

Huyu kazidi! Cheki huu mgongo sasa

1620885_468318843294729_832708695_n.jpg

Ulishawahi kuona kompyuta ya kienyeji? hii hapa sasa

IMG-20160321-WA0049.jpg

Angalia anachokifanya huyu nyani baada ya kupewa bunduki

IMG-20160420-WA0000.jpg

Lilishawahi kukukuta hili na wewe? Kumbe vilaza tupo wengi

IMG-20160505-WA0013.jpg

😂 NIMEIPENDA HII👉 Ndege ya TanzaniaV.gif
afya-mapishi-na-lishe.png

.

UJUMBE-WA-POLE-MPENZI-7798766.JPG
KADI-TUKUTANE-MZAZI.JPG

Hii ni moja ya Tovuti inayojitegemea ndani ya Website kubwa ya AckySHINE.com | Tembelea website nyingine kama hii Hapa>>. Mf. AgroVet & Burudani