VICHEKESHO-VIZURI

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Je hili ni kweli kuhusu mpenzi maskini na Tajiri?

Siku hizi kudekezwa na kupetiwa petiwa tunawaachia matajiri

Hakuna mwanamke yupo tayar kulalia kifua cha maskini ambacho moyo unadunda
Deni,, Deni,Deni, Deni .
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸšΆπŸ½β€β™‚

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Cheki kilichotokea stesheni ya treni, mambo mengine ukipaniki inakula kwako kama huyu jamaa

jamaa Wawili Walifika Stesheni, wakakuta Treni ndo kwanza inaondoka. Wakaanza Kuikimbiza. Mmoja akafanikiwa kupanda akaondoka…

Yule aliyebaki akaanza kucheka sanaa mpaka machozi yakamtoka. Watu wakamuullza, unacheka nini sasa wakati umeachwa? Akawajibu: "kinachonichekesha, yule aliyepanda alikuwa ananisindikiza.

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Wasichana wa leo

#WASICHANA_WA_LEO:

Jamaa yupo ndani ya Range rover yake mpya na msichana ambaye ni mpenzi wake.

#Jamaa: kuna siri flani nimeitunza moyoni mwangu kwa muda mrefu na nikaona kama nitakuambia lazima utaniacha.

#Msichana: siri gani hiyo mpenzi wangu?

#Jamaaa: nimeoa.
#Msichanaa: HΙ›Ι›Ι›Ι›Ι›Ι›Ι›Ι›! We umenishtua sana,mm nilifikiri hili gari sio lako!
πŸ™†πŸ™†πŸ€—πŸ€—

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


Angalia huyu mwanaume anachokisema sasa

IMG-20160318-WA0014.jpg

Baada ya kulala peke yangu mda mrefu cheki niliyelala naye jana

IMG-20170111-WA0005.jpg

Kama upo kwenye mahusiano na mtoto wa mtu kwa muda mrefu sasa na hamjaoana soma hili linakuhusu

IMG-20160313-WA0002.jpg

Ipi ilikua simu yako ya kwanza hapa?

IMG-20160321-WA0046.jpg

Muangalie anachokisema huyu mwanamke, Hii ni kweli?

IMG-20160422-WA0010.jpg

Angalia huyu mzee anachokifanya baada ya kupewa mic

mzee-microfoni.jpg

.

page 1 of 36067123...3606636067next »

vichekesho-bomba-vya-siku.png

.

elimu-sayansi-na-tekinolojia.png
KADI-PONGEZI-MZAZI.JPG
picha-kali.png

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Picha Kali Za Kuchekesha

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.