VITUKO-VYA-DISEMBA

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Cheki hawa wachungaji

*CHEKA KIDOGO Wachungaji watatu walikutana kwa siri na kuelezana matatizo yao ili waweze kuombeana. MCHUNGAJI WA KWANZA: mimi tatizo langu ni wizi, kila nikimaliza ibada lazima niibe pesa za sadaka. WA PILI: Mimi tatizo langu ni wanawake yani nimeshalala na wana kwaya wote pamoja na mke wa ASKOF. WA TATU akaanza kulia badala ya kuongea.WENZAKE: We vp unatatizo gani mbona unalia??? AKAJIBU: jamani mimi tatizo langu ni "umbea" haya yote tuliyoongea lazima nikaseme!* πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†πŸ»πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Cheki jamaa alivyoumbuka baada ya kuhudhuria semina isiyomuhusu

Jamaa kavamia semina ya wasomi iliyokua inafanyika maeneo ya ubungo plaza bas wakaanza kujitambulisha
1. Naitwa Anna niko SUA mwaka3 nasoma agriculture
2. Naitwa Stella niko UDSM mwaka2 nasoma public relation

3. Naitwa Emmanuel niko UDOM mwaka3 nasoma computer science
bas jamaa nae akainuka kwa kusuasua huku akijishtukia akasema"Naitwa Elisha niko Tanesco mwaka wa 7 nasoma mita"

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Ukata wa January

UKATA WA JANUARY
Boss;- kwa nini umechelewa kazini
Juma;- kuna mtu njiani alidondosha elfu1
Boss;- ohhoh kwa hiyo ulikuwaunamsaidia kuitafuta
Juma;- hapana nilikuwa nimeikanyaga

πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


Angalia make-up zinavyoweza zikaleta utata

matatizo-ya-make-up.jpg

Angalia sababu ya dogo kumuandika mwalimu mpiga kelele darasani

kitito.jpg

MAAJABU: Jogoo mwenye sura ya mbwa

1606872_1385792035041219_1821223820863020508_a.jpg

Angalia anachokifanya huyu nyani baada ya kupewa bunduki

IMG-20160420-WA0000.jpg

Omba lisikukute hiki kwenye daladala

wizi-wa-daladala.jpg

Hii ndio hatari ya kuwa na msichana aliyeacha shule

aliyeacha-shula.jpg

.

page 1 of 36067123...3606636067next »

vichekesho-bomba-vya-siku.png

.

elimu-sayansi-na-tekinolojia.png
KADI-PONGEZI-MZAZI.JPG
afya-mapishi-na-lishe.png

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Picha Kali Za Kuchekesha

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.