VITUKO-VYA-JUMAPILI

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Hyuyu daktari ni noma, cheki anachokisema

Kuna Daktari wa Moyo alifariki wakamchongeaa jeneza lenye umbo la Moyo. Ghafla Daktari mwingine akaanza kucheka, watu wakamuuliza "kwanini unacheka unafurahia mwenzako kufariki?" Daktari yule akajibu "hapana mimi ni Daktari wa kutahiri nafikilia nikifa mtanichongea jeneza lenye umbo la mb…."

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Mcheki Chizi na daktari

Tafakari na ujumbe huuuu!!!… *Mirembe Mental Hospital.* DAKTARI :- Unajisikiaje? CHIZI:-Kila siku naota nyani wanacheza mpira wa miguu. DAKTARI :- Nitakupa dawa leo hautaota tena. CHIZI:-hiyo dawa nipe kesho sababu leo wanacheza fainali. na nilibet πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Huyu mlinzi bwana

High school Flashback!!
.
Watchman : Amkeni muende morning preps.
Allan : Mimi ni mgonjwa.
Watchman : Unaumwa na nini hiyo?
Allan : Bionomial Nomenclature.
Watchman : Eeh, lala tu kijana. Hiyo kitu ni
mbaya. Imeuwa watu South Africa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

#_Sipendagii ujinga kabisaa mimi

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


Angalia huyu jamaa anaenjoy tuu. Nishida!

IMG-20160506-WA0003.jpg

Angalia anachokifanya huyu bibi harusi, Arusi za uswazi

529670_165387706942083_1322050720_n.jpg

Cheki huyu mwanafunzi anachojibu, ungekua wewe ni mwalimu wake ungemfanyaje?

aina-za-misimu.jpg

Angalia huyu mzee anachokifanya baada ya kupewa mic

mzee-microfoni.jpg

Angalia huyu jamaa alivyo na mdomo mkubwa, Anaweza kumeza mtu

domo.jpg

Hili ni la kweli kuhusu ndoa ya adamu na eva? wewe unasemaje?

IMG-20160419-WA0020.jpg

.

page 1 of 38495123...3849438495next »

πŸ˜‚ NIMEIPENDA HIIπŸ‘‰ Misemo ya kina dadaV.gif
familia-mapenzi-na-mahusiano.png

.

picha-kali.png
kj.gif
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Tafuta ndugu zako msiojuana hapa

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.