Madhara ya kwenda baa na mke ndo kama haya
Jamaa alienda Bar na mke wake wa ndoa wakakaa kwenye viti, wakati wanasubiri vinywaji akapita binti mmoja anayejiuza akamsogelea yule mke wa jamaa
Β
Read More Β»Jamaa alienda Bar na mke wake wa ndoa wakakaa kwenye viti, wakati wanasubiri vinywaji akapita binti mmoja anayejiuza akamsogelea yule mke wa jamaa
Β
Read More Β»Huwa naenjoy sana kusoma yaliyoandikwa nyuma ya daladala hasa ninapokuwa kwenye foleni. Misemo maarufuya kwenye …
Vituko vinavyoandikwa kwenye daladala Read More »
Read More Β»Eti kuna mkaka alitembelewa na mama yake mzazi. Wakiwa sebuleni yeye, mama na mke wake, …
Huyu mama mkwe kazidi sasa Read More »
Read More Β»Mtoto: Mama, hivi kabla hujanizaa uliniona!?
Mama: Hapana mwanangu sijakuona.
Baada ya kupanda daladala aina ya DSM kutoka Mbagala chalambe mpaka Mwenge na kulipa sh 500.Masai akachukua tax wakati wa kurudi.walipofika sasa shughuli ilikuwa hivi.
Masai: we dureva? Naulisa Ng’ombe na mbusi ipi ngali?
Dereva: Ni ng’ombe ghali Masai.
Kuna Daktari wa Moyo alifariki wakamchongeaa jeneza lenye umbo la Moyo. Ghafla Daktari mwingine akaanza …
Hyuyu daktari ni noma, cheki anachokisema Read More »
Read More Β»*TEACHER*: _nielezee biashara ambayo imefeli kutokana na uzembe*STUDENT*: Changudoa akipata mimbaβ¦*TEACHER*: _get Out!!!!!!!!!!!!!!_ππ Read and …
Biashara ambayo imefeli Read More »
Read More Β»Jana usiku kuna Jirani yangu..kanitumia text “mambo vipi?”β¦halafu tunakaa nae mtaa mmoja nikaona nikimjibu ni …
Baada ya kunitumia SMS usiku ikawa hiviβ¦. Read More »
Read More Β»Bwana mmoja wakati anakata roho alimwambia mkewe hivi:
MUME – mke wangu natubu mbele yako kwamba nimezini na mama yako, dada yako, shangazi yako, mama yako mdogo na mtoto wa shangazi yako.
Β
Read More Β»Nimetoka kufanya interview wakaniuliza status yangu nikaawabia status yangu ni Hey there! Iam using watsApp, …
Nilichojibu kwenye interview walipoulizia status Read More »
Read More Β»