ANGALIA-VIDEO-MHENGA
By, Melkisedeck Shine.
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Kama hujui kupigana usipigane, angalia kilichompata huyu, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Mchawi akisafiri kwa ungo, ni shida ka ndege vile, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ maajabu mapishi. Category ๐videos,: maajabu mapishi, Mapishi ya nyama ya chap chap, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Angalia huyu mwalimu kilichompata akiwa darasani, aibu kweli kweli, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ changamoto maajabu wanawake. Category ๐videos,: changamoto maajabu wanawake, Matukio ma 5 ya kusisimua na kushangaza ya wamama wakiwaokoa watoto wao, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ mbwa vichekesho. Category ๐videos,: mbwa vichekesho, Eti siku yako ya kwanza kupelekwa kwenda shule ndiyo ulikua hivi?, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Angalia kilichompata huyu mtoto aliyeachwa uchi, Haya ndiyo Madhara ya kuwaacha watoto bila nguo, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ maajabu vichekesho. Category ๐videos,: maajabu vichekesho, Hii ndiyo kwa nini usiwaachie watoto wadogo mtoto, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ ajali gari. Category ๐videos,: ajali gari, Huyu mtu kagongwa kiajabu, Hizi nuksi nyingine hizi, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ paka vichekesho. Category ๐videos,: paka vichekesho, Angalia hawa watakachokipata hapa baada ya kufungua kwa makini, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Wanawake jamani, shida kweli kweli, hapa alijua jamaa ndio kashapropose, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Huyu mwanamama ni hatari, cheki anachofanya hapa sasa, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ changamoto vichekesho. Category ๐videos,: changamoto vichekesho, Huyu jamaa atajielezeaje ili wamuelewe? Kwa jinsi hii waliyomkuta, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ maajabu nyoka wanyama. Category ๐videos,: maajabu nyoka wanyama, Hili joka kweli kiboko, cheki lilivyoweka mtego na huyu jamaa ndo kaliwa, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Kati ya hawa wanafunzi wewe ulikua yupi enzi zako ukiwa shuleni?, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Angalia huyu ng'ombe alichowafanyia hawa watoto waliotaka kumgeuza punda, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Kumuomba mwanamke umuoe sio lazima umvike Pete tuu hata alichofanya huyu mwanamme, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ ajali gari. Category ๐videos,: ajali gari, Mafuriko mabaya usiombee, angalia huyu anavyozama na gari lake, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ utani vichekesho wanafunzi. Category ๐videos,: utani vichekesho wanafunzi, Dawa ya Wanafunzi wanaosinzia na kulala darasani, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Huu ushamba mwingine bwana, ๐Angalia video hapa
.
.
Endelea kuperuzi;-๐
๐ฌ ANGALIA-MHENGA-VIDEOSโ
๐ฌ ANGALIA-WAHENGA-VIDEOโ
๐ฌ ANGALIA-WAHENGA-VIDEOSโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEO-WAHENGAโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEOS-WAHENGAโ
๐ฌ VIDEOS-NA-MHENGAโ
๐ฌ VIDEO-NA-MHENGAโ
๐ฌ MHENGA-NA-VIDEOSโ
๐ฌ WAHENGA-NA-VIDEOSโ
๐ฌ VIDEO-NA-WAHENGAโ
๐ฌ VIDEOS-NA-WAHENGAโ
๐ฌ VIDEOS-KWA-MHENGAโ
๐ฌ VIDEO-KWA-MHENGAโ
๐ฌ MHENGA-KWA-VIDEOSโ
๐ฌ WAHENGA-KWA-VIDEOโ
๐ฌ WAHENGA-KWA-VIDEOSโ
๐ฌ VIDEO-KWA-WAHENGAโ
๐ฌ VIDEOS-KWA-WAHENGAโ
๐ฌ VIDEOS-MHENGAโ
๐ฌ VIDEO-MHENGAโ
Tags๐ mapishinalishe
Mchele wa basmati - 4 cups.. soma zaidi
Tags๐ mahusiano
Ambacho mabinti wanatakiwa kustuka , ni kwamba wengi wataolewa na bodaboda, wafanya biashara, ukibahatika mwanasiasa, kwa sababu wasomi hawana ajira, hivyo atakwambia nisubiri nipate kazi , utazeeka unamsubiri.. soma zaidi
Tags๐ afya mapishinalishe
Kitaalamu chakula unachokula leo ndio kinaamua hali ya afya yako kwa siku za usoni. Na ni muhimu sana kuzingatia ulaji bora wa chakula na si kula ilimradi umekula. Wataalamu wa lishe wanatuambia kuwa ulaji unaofaa hutokana na kula chakula mchanganyiko kulingana na wakati… soma zaidi
Tags๐ afya mapishinalishe
Wakati wa ujauzito ni kipindi cha kubadili mambo mengi katika mfumo wa maisha wa mjamzito. Mjamzito anapaswa kubadili mambo mbalimbali ili kuhakikisha anakua na afya nzuri katika kipindi chote cha ujauzito na ili kuhakikisha kwamba atajifungua mtoto mwenye afya nzuri. Moja ya mambo makubwa ni pamoja na tabia ya kuvaa viatu vyenye visigino virefu. Mjamzito hashauriwi kuvaa viatu vyenye visigino virefu kutokana na athari zinazoweza kutokana na aina hizi za viatu… soma zaidi
Tags๐ habari
Watu sita wamepoteza maisha baada ya gari waliyokuwa wanasafiria kugongana uso kwa uso na basi linalomilikiwa na kampuni ya Prince Muro… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Mchele wa Par boiled au basmati - 5 vikombe.. soma zaidi
Tags๐ wiki
Wakati wa kujifungua, uke wa mwanamke mzima hupanuka kuanzia kipenyo cha sentimeta kumi mpaka kumi na mbili i i ili kuruhusu kichwa cha mtoto kupita. Kwa kawaida, mwanamke anayejifungua, uke na mlango wa mfuko wa uzazi hupanuka vya kutosha… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Unga wa mchele (rice flour 2 vikombe vya chai)
Sukari (sugar 3/4 ya kikombe cha chai)
Hamira (dried yeast 3/4 kijiko cha chakula)
Hiliki (cardamon powder 1/2 kijiko cha chai)
Ute wa yai 1(egg white)
Tui la nazi (coconut milk kikombe 1 na 1/2 cha chai)
Mafuta (vegetable oil).. soma zaidi
Tags๐ (september) 000 28 100 bure cha chanjo dar duniani es hapa hii ilivyoanza imetoa kampeni katika kiasi kichaa kila kwa lindi maalum mafugaji mbwa mbwajinsi mikoa mtwara mwaka mwezi na nchini ni pemba salaam serekali siku ta tagi: tarehe tisa wa ya wiki
SIKU YA KICHAA CHA MBWA DUNIANI.. soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Leo wapendwa nitaenda kuzungumzia mapishi ya mchuzi wa kuku (chicken curry)… soma zaidi
Tags๐ mahusiano
1. Ametulia si macho juu juu kama nzi kila akionacho hata kichafu chaliwa.
2. Anajiheshimu, anamuheshimu mkewe, ndugu wa pande zote, watu wengine pamoja na majirani pia.
3. Mwenye huruma na mapenzi ya kweli kwa mke na familia kwa ujumla.
4. Mtunzaji wa familia na si bahili au mfujaji wa mali.
5. Mcha mungu, au mwenye utu… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Unga - 4 Vikombe vya chai
Sukari ya laini (icing sugar) - 1 Kikombe cha chai
Baking powder - 2 Vijiko vya chai
Mayai - 2
Siagi au margarine - 1 Kikombe cha chai
Vanilla -1 Kijiko cha chai
Maziwa ya kuchanganyia - kiasi
Tende iliyotolewa koko - 1 Kikombe
ufuta (sasame) kiasi 1/4 kikombe.. soma zaidi
Tags๐ wiki
Endapo rafiki au jamaa anaomba msaada wa kuacha kutumia dawa za kulevya unaweza kumsaidia kwa kumpatia nasaha. Jitahidi kumpatia taarifa zote muhimu kuhusu dawa za kulevya. Muhimu zaidi mweleze athari za matumizi ya dawa hizo. Hata wazazi unaweza kuwapatia ushauri endapo watatambua umuhimu wako wa kujali.
Wakati mwingine waathirika wa dawa za kulevya hawako tayari kusikiliza ushauri na msaada wako. Inaweza kutokea muathirika akawa na hasira na hata kuvunja urafiki wenu na hata kufa. Usijilaumu!!! Kwa sababu ulijitahidi kumsaidia kadri ya uwezo wako. Wakati mwingine ni vyema kuvunja urafiki kwa usalama wako na kwa faida ya rafiki yako. Rafiki huyo anaweza kugundua kuwa utumiaji wa dawa za kulevya unamletea mwisho mbaya na hatimaye kuchukua uamuzi wa kueleza matatizo yake.
Kama itatokea rafiki au ndugu yako ambaye ni teja ameathirika sana kiafya usijaribu kumsaidia peke yako. Inaweza kuwa muhimu kumtafutia msaada wa kitaalamu kutoka kwa mtaalamu… soma zaidi
Tags๐ ambayo dalili kankroidi kaswende kisonono klamdia kuna lakini magonjwa mengi mweupe na ni sana tofauti ukimwi ukimwi. utando virusi vya ya yale yameenea zake zinaa wiki
Kuna magonjwa mengi tofauti ya zinaa, lakini yale ambayo yameenea sana ni kisonono, kaswende, klamdia, kankroidi, utando mweupe , Virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Shida kubwa ya magonjwa mengi ya zinaa ni kwamba dalili zake hazionekani kwa urahisi na kama yasipotibiwa kikamilifu yanaweza kuleta madhara makubwa. Maelezo kuhusu magonjwa ya zinaa yaliyoenea sana ni kama yafuatayo:.. soma zaidi
Tags๐ mahusiano
By Malisa GJ,
Alikuwepo mama mmoja aliyekuwa chongo na mwanae alimchukia kwa sababu ya kuwa chongo. Mwanae alijisikia aibu kutembea na mama yake mwenye jicho moja na hakupenda watu wajue kuwa yule ni mama yake… soma zaidi
Tags๐ afya mapishinalishe
Utakubaliana na mimi kwamba, kitendo cha mtu kubanwa na haja ndogo siyo kitu cha hiyari kwamba sasa mtu anaamua ngoja nibanwe na mkojo, hili ni jambo la asili na ni matokeo ya vyakula, matunda au vinywaji tunavyotumia. Kwa lugha nyingine tumekuwa tukiita kuwa ni wito wa asili au natureโs call… soma zaidi
Tags๐ wiki
Ndiyo, watashtakiwa! Wakati mwingine wazazi huwatuma
watoto wao kuchukua au kununua pombe au sigara na
hata dawa za kulevya. Utumiaji na usambazaji wa dawa za kulevya ni kinyume cha sheria nchini Tanzania na sio uamuzi binafsi wa kifamilia… soma zaidi
Tags๐ (hizi (kondomu huzuia kabla katika kike kike) kiume kiume) kugawanywa kuingia kujamiiana. kulifikia kuna kuzuia kwenye makundi mbegu mengi: mfuko mimba moja. mpango mpira na njia pia sana ukeni ukeni. uliosimama uliozibwa unaoingizwa unavishwa upande uume uzazi vizuizi wa ya yaani yai): za zinatofautiana zinaweza wiki
Njia za uzazi wa mpango zinatofautiana sana na zinaweza kugawanywa katika makundi mengi:.. soma zaidi
Tags๐ aina ajili barabara hatari hatarishi hiyo. ilivyo inakabiliwa jinsi kama kondoo kuchanganya kutosha kuwa kwa lakini licha maeneo malisho mbalimbali mbuzi mifugo miongoni mkubwa mwa na nchi ngโombe ni sambamba tagi: tanzania ufugaji upungufu vile wa wingi ya zinazozalisha wiki
Licha ya kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazozalisha mifugo ya aina mbalimbali na kwa wingi kama vile ngโombe, mbuzi, kondoo lakini inakabiliwa na upungufu mkubwa wa maeneo ya ufugaji sambamba na malisho ya kutosha kwa ajili ya mifugo hiyo… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
1.Usichelewe kwenda HAJA. Kutunza mkojo kweye kibofu chako kwa muda mrefu ni wazo baya. Kibofu kikijaa kinaweza kusababisha uharibifu. Mkojo ambao unakaa kwenye kibofu huzidisha bakteria haraka.
Mara mkojo unaporudi nyuma ya njia na Figo, sumu dutu husababisha maambukizi ya figo, pia njia ya mkojo na "nephritis", pamoja na "uremia". Wakati wito asili (unahisi mkojo) fanya hivyo haraka iwezekanavyo… soma zaidi
Tags๐ afya ambapo balehe gani habari haki hasa hisia hisia. jinsi juu katika kimwili kisaikolojia kuelezwa kupata kuwapa mabadiliko maisha mambo mpango? na ni njia ukuaji umri uzazi vijana wa wale wana wanaowasimamia wanapaswa wanapitia wanavyokuwa wanayoyapenda. watoto watu wazima wote ya yanavyoshawishi yao. yote za wiki
Vijana balehe wote wana haki ya kupata habari juu ya mambo yote
wanayoyapenda. Watoto wanavyokuwa, wanapitia mabadiliko ya
kimwili, hisia na ya kisaikolojia katika maisha yao. Watu wazima,
hasa wale wanaowasimamia watoto wanapaswa kuwapa habari
juu ya mabadiliko na jinsi yanavyoshawishi ukuaji wa kimwili na
hisia. Hii ni muhimu ifanyike muda wote na katika kila rika.
Vijana wana mahitaji mbalimbali kutegemea umri wao, katika
hatua ya ukuaji na mazingira, mvulana wa umri wa miaka 11 au
kijana wa miaka 18 watakuwa na shauku tofauti. Pi wavulana au
wasichana wana haja tofauti na hata vijana wawili wenye umri
na jinsia moja wanaweza kukua kwa kasi na njia tofauti.
Tofauti hizi zinahitaji
kutambuliwa na kushughulikiwa.
Ni muhimu
pia kutambua
kwamba mahitaji
haya yatabadilika
kadiri ya muda unavyoenda
na pia kuweza
kubadilika kwa
haraka sana. Kwa
mfano mtu anapokuwa
na mhemuko wa
kujisikia kujamiiana.
Kwa njia yoyote, watoto
wana haja ya
kupata habari juu ya
uzazi kabla au mara
tu wapaoingia katika
ujana. Pia mada juu ya wajibu wa wavulana na wasichana katika
jamii, uhusiano na marafiki, na wazazi, uhusiano wa kijinsia na
matatizo yanayotokana na unyanyasaji wa kijinsia / ujinsia ni
muhimu yajadiliwe.
Iwapo vijana hawapati habari za kutosha juu ya mabadiliko ya
miili yao wanaweza kuingizwa katika matatizo ya kimaisha, ya
kijinsia na mimba yasiyotarajiwa au magonjwa yatokanayo na
kujamiiana pamoja na Virusi vya UKIMWI. Kwa hiyo wasichana
na wavulana wanahitaji kupata elimu ya ujinsia wanapokuwa vijana
wadogo. Hii ni pamoja na habari ya jinsi ya kujilinda wenyewe.
Siyo kweli kwamba elimu ya ujinsia inahimiza vijana wajamiiane.
Kinyume chake, wale vijana waliopata habari sahihi wanakuwa
na mwelekeo mzuri na wana uwezo wa kufanya maamuzi sahihi
. kama vile kuamua kuahirisha kujamiiana mpaka baadaye na
pia wanajilinda mara wanapoanza kujamiiana. Elimu ya Afya ya
Uzazi na Ujinsia ina habari juu ya uzuiaji wa mimba na kondomu.
Kabla ya kuanza kujamiiana inatakiwa vijana waelezwe kuhusu
njia za uzazi wa mpango na hasa jinsi ya kutumia kondomu kwa
sababu kondomu huzuia maambukizo ya Virusi vya UKIMWI
na magonjwa yatokanayo na kujamiiana. Jambo la busara ni
kwenda kliniki kwa ushauri katika suala zima la njia za uzazi wa
mpango mara tu ukiamua kuanza kujamiiana… soma zaidi
Tags๐ mahusiano
NI VEMA UKAYAJUA HAYA KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA:.. soma zaidi
Tags๐ wiki
.. soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Unga wa ngano (plain flour) 1/4
Kitunguu kikubwa (chopped/slice onion) 1
Yai (egg) 1
Chumvi (salt)
Mafuta (cooking oil).. soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Tende zilizotolewa kokwa - 1 Kilo.. soma zaidi
Tags๐ mahusiano
kwanza kabisa nikupongeze kwa hatua uliyofikia, najua umekumbana na vikwazo vingi lakini haukukata tamaa ndio maana umefikia hatua hiyo.
Mnamo mwaka 1975,Hayati Mwalimu J.K Nyerere wakati anakifungua rasmi chuo kikuu cha Dar es salaam alisema Maneno yafuatayo,.. soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Mrowanishe kuku na viungo hivi kwa muda mdogo tu.. soma zaidi
Tags๐ kilimonaufugaji
Maharagwe yanapandwa kwenye kabichi yanafanya kazi zifuatazo;.. soma zaidi
Tags๐ anaweza awe endapo fosiforasi gharama haijawa haipati hali haraka hilo ina inahitaji inaweza ishara jambo kabla kawaida kipato kubadili kugundua kukuonyesha kuongeza kupunguza kutatua kutenganeza kutengeneza kutosha. kuwa kwa kwenye la lazima madini majani maji mavuno mbaya. mbolea mboleajinsi mimea mimea. mkulima mwenyewe. na ni nini. nitrojen pamoja rahisi rangi rutuba sana tagi: tatizo tayari tosha udongo upungufu virutubisho virutubisho. vya wa ya wiki
Mkulima anaweza kupunguza gharama, kuongeza rutuba kwenye udongo, mavuno pamoja na kipato kwa kutengeneza mbolea mwenyewe… soma zaidi
Tags๐ punyeto wiki
Hili ni tatizo linalowakabili watu wengi sana na hili pia hutokana na watu hao kuwa na mchezo wa kupiga punyeto hapo awali au hata muda huu. Na hivyo hukosa nguvu za kiume na kuwafanya wakose heshima ndani ya ndoa… soma zaidi
Tags๐ kutibu-chunusi-kiasili mapishinalishe
Tango ni tunda na ni mboga pia na ni chanzo kizuri cha potasiamu na vitamini nyingi ambazo zina kazi mhimu katika ngozi yako na huifanya ngozi ngozi ionekane laini na yenye kupendeza… soma zaidi
Tags๐ wiki
Mara nyingi utunguaji mimba nje ya mfuko wa uzazi hutokea kwa sababu ya maradhi kwenye via vya uzazi. Maradhi hayo huharibu mirija ya kupitisha mayai. Uharibifu huo hufanya yai lisiweze kufika kwenye mfuko wa mimba na mara nyingi unasababishwa na magonjwa ya zinaa. Kama mwanamke alikuwa na magonjwa ya zinaa uwezekano wa kutunga mimba kwenye mrija wa kupitia mayai unaongezeka.
Ikiwa unafikiri una mimba au iwapo una maumivu chini ya tumbo, unashauriwa uende kliniki kwa ajili ya uchunguzi.
Yai lililorutubishwa linapokaa kwenye mrija wa kupitisha mayai tunasema mimba i imetungwa nje ya mji wa mimbaโectopic pregnancyโ. Kwa maana hiyo basi,, ukuta mwembamba wa mrija utashindwa kutanuka kikamilifu i ili kubeba mimba i inayokua. Mrija hupasuka na damu kutoka. Ikitokea hali hii , lazima mwanamke aende hospitali kwa ajili ya kupasuliwa na pengine kuongezwa damu… soma zaidi
Tags๐ 's 13 \ akamwaga ambao asili barabara bila hapo haya ili inaweza juu katika kila kubatizwa kufanikisha kufanya kunena kuwa. kwa lakini lugha. madhumuni maisha malengo mambo matendo mengi. mtakatifu muumini na ni roho roho. shaka si ubatizo unataka urahisi wale wamekuwa wote ya yake yeye zaidi zilizotajwa wiki
Madhumuni ya Ubatizo katika Roho.. soma zaidi
Tags๐ mahusiano
Zifuatazo ni njia za kuamsha hamu ya kufanya mpenzi ya mwanamke. Njia hizi zimegawanyika katika hatua mbili kuu, kwanza ni kumfanya akukubali na kisha kuamsha hisia zake… soma zaidi
Tags๐ habari
WAJUE WACHAGGA NA MAMBOYAO: Wachagga
Wachagga ni kabila la watu wenye asili ya Kibantu lakini pia mchanganyiko wa damu, hasa ya Kikushi wanaoishi kaskazini mwa Tanzania chini ya mlima Kilimanjaro, mkoani Kilimanjaro… soma zaidi
Tags๐ kutibu-chunusi-kiasili mapishinalishe
Tango ni tunda na ni mboga pia na ni chanzo kizuri cha potasiamu na vitamini nyingi ambazo zina kazi mhimu katika ngozi yako na huifanya ngozi ngozi ionekane laini na yenye kupendeza… soma zaidi
Tags๐ ajali ambavyo athari barabarani basi hasira hatia hivyo huathiri hupoteza hupunguza hutokea huwadhuru huweza isitoshe iwapo jamii jamii. katika kazini kiakili kiasi kimwili. kuchangia kuenea kupita kupitia kutokana kuwa kwa kwenye madhara maisha mara mbalimbali. mengine na njia nyingi pombe tagi: uangalifu ulevi ulevi. vilema vitu vvu wagomvi wakilewa wakiwa wamelewa. wanafanya wanaokunywa wanokunywa wasingekuwa wasingevifanya wasiokuwa watu wengi yao za zinazohusiana wiki
Watu wanokunywa kupitia kiasi huathiri jamii kwa njia
mbalimbali. Madhara mengine hutokea kwa kuwa wanafanya
vitu ambavyo wasingevifanya iwapo wasingekuwa wamelewa… soma zaidi
Tags๐ kilimonaufugaji
Hii ni aina ya mizinga inayotumika sana na wengi. Gharama yake ni ndogo kiasi kulinganisha na mingine. Ni aina nzuri sana kwa mtu anaeanza ufugaji wa nyuki kwa kuwa ni wa gharama nafuu. Mfugaji wa nyuki anaweza kutengeneza mzinga Yya aina hii mwenyewe kama ana utaalamu wa useremala… soma zaidi
Tags๐ (is) 48 50 au fan grimsgaard-ofstad halikutoa hao. hayo hilo huru is islamic jinghui johan kuhusu kundi kutoka kuwaachilia kwa la lini maelezo mataifa mateka na ni norway ole raia state tagi: uchina vikombozi wa walikuwa waliuawa. wamesema wamewaua wapi wapiganaji wawili zaidi habari
Kundi hilo la IS halikutoa maelezo zaidi kuhusu ni wapi au lini Ole Johan Grimsgaard-Ofstad, 48, kutoka Norway na Fan Jinghui, 50, kutoka Uchina waliuawa. IS walikuwa vikombozi kutoka kwa mataifa hayo kuwaachilia huru mateka hao.
Waziri mkuu wa Norway Erna Solberg amesema hakuna sababu zozote za kutilia shaka tangazo la wapiganaji hao, na kutaja kitendo chao kuwa โunyamaโ.
Wizara ya mashauri ya kigeni ya Uchina imesema imeshtushwa sana na mauaji hayo… soma zaidi
Tags๐ mahusiano
Maisha ya ndoa yanahitaji maandalizi mazuri, kama waswahili wasemavyo nyote njema huonekana asubuhi, asubuhi ya maisha ya ndoa ni kipindi cha uchumba. Ndugu zangu, kipindi cha uchumba ni lazima tukitumie vizuri na kwa makini na kila jambo, ukitambua hakuna jambo dogo wa kubwa, kila jambo uliangalie katika mapana yake na katika uzito wake… soma zaidi
Tags๐ (kuoa/kuolewa) ambaye amelazimishwa hali hampendi hatua heshima hili hiyo hiyo. hukubaliani iwapo jadiliana katika kufunga kuingia kukataa kuonyesha kwa kwanza msichana/ mtu mvulana na ndoa ni nini suala waeleze wafanye wako. wamelazimishwa wasiyemtaka? watu wazazi wazi wazi. ya wiki
Iwapo mtu amelazimishwa
kuingia katika hali ya ndoa
(kuoa/kuolewa) na msichana/
mvulana ambaye hampendi,
hatua ya kwanza ni kukataa
ndoa hiyo na kuonyesha wazi
wazi. Jadiliana suala hili na
wazazi wako. Waeleze kwa
heshima kwa nini hukubaliani
na ndoa hiyo… soma zaidi
Tags๐ afya mapishinalishe
UNYWAJI wa maji baridi, hasa katika joto kali kama la Dar es Salaam, ni kiburudisho kikubwa cha koo na huleta faraja kubwa mwilini. Ni jambo la kawaida pia kwa mtu kuhitaji kunywa maji hayo mara baada ya kula mlo, iwe mchana au usiku… soma zaidi
Tags๐ ambao au bustani chui hali hapana. hujulikana inayoweza india je katika kundi kutokea kwa kwenye la mahakama mamalia. mbuga mfalme na ndiyo ni pori. sana sasa simba tembo tu twiga ualbino ualbino? wa walithaminiwa wameathirika wanadamu wanafurahiwa wanyama weupe ya za wiki
Hapana. Ualbino ni hali
inayoweza kutokea kwa
wanadamu na wanyama wa
kundi la mamalia. Tembo
weupe wa India hujulikana
sana na walithaminiwa
sana katika mahakama ya
Mfalme au chui, twiga na
simba weupe ambao sasa
wanafurahiwa sana kwenye
bustani za wanyama na
mbuga za wanyama pori… soma zaidi
Tags๐ afya mapishinalishe
Kuacha Matumizi ya pombe wakati wa ujauzito ni moja ya njia ya kuzuia kupata matatizo ya kuzaliwa nayo na udhaifu kwa mtoto. Pia kuna matatizo kadhaa yanaweza kutokea kwa kichaga kutokana na matumizi ya pombe wakati wa ujauzito… soma zaidi
Tags๐ wiki
Hapa Tanzania matumizi, umilikaji, usafirishaji na kuhusika katika dawa za kulevya kama vile bangi, hiroini, kokaini na mirungi yamepigwa marufuku. Hii ni pamoja na dawa ambazo zimethibitishwa na daktari kuwa zisitumike kwa matibabu. Kwa Tanzania โgongoโpia ni haramu.
Polisi akimkamata mtu anayekwenda kinyume na sheria, humpeleka mtu huyo mbele ya vyombo vya sheria na atahukumiwa ikithibitika kuwa ana hatia. Sheria i inatoa adhabu kali kwa makosa yanayohusiana na dawa za kulevya. Faini ya shilingi milioni 10 za Kitanzania au kifungo cha maisha au vyote kwa pamoja… soma zaidi
Tags๐ afya mapishinalishe
Kwa ajili afya ya mama na mtoto ni muhimu sana, mwanamke anatakiwa apate chakula bora kilicho na madini yote kama vitamini na protini. Mama mjamzito anatakiwa apate gramu 100 za protini kila siku. Ifuatayo ni mlo kamili anaotakiwa apate mama mjamzito kila siku ya ujauzito wake kwa afya bora… soma zaidi
Tags๐ wiki
Kutumia dawa za kulevya kwa kiasi kidogo kunaweza kusilete madhara i ila mpaka tu pale utakapoyazoea. Mara nyingi watu huanza kuhitaji dawa zaidi pale wanapozizoea na kupata madhara. Hii i ii inaweza kusababishia mtu kutawaliwa na dawa za kulevya. Mtumiaji wa dawa za kulevya anaweza kuwa mtegemezi wa dawa hizo bila ya kujijua. Kujaribu dawa za kulevya kunaweza kukawa na madhara kama โutaishia pabayaโ. โKuishia pabayaโ ni jambo la kutisha na si la kufurahisha hata kidogo! Hali hiyo inaweza kutokea mara ya kwanza unapoanza kutumia bangi… soma zaidi
Tags๐ afya mapishinalishe
Mara nyingi watu wanaugua maradhi mbalimbali, lakini wengi wao hawapendi kwenda hospitali kufanya vipimo au kupata ushauri wa kitaalamu kutoka kwa daktari. Kutokana na uwepo wa maduka ya dawa baridi, watu wengi wanapojisikia kuwa wagonjwa, hununua dawa kwenye maduka hayo na kuanza kuzitumia… soma zaidi
Tags๐ wiki
Wataalamu wanashauri kwamba msichana anastahili kuanza kubeba mimba kuanzia umri wa miaka 18 hadi 20. Kabla ya umri huu, mwili wa msichana bado haujakomaa vizuri. Viungo vya uzazi bado ni vidogo na ngozi ni laini. Vilevile mfupa wa nyonga bado mwembamba kiasi cha kumwezesha mtoto kupitia wakati wa kuzaliwa.
Wasichana chini ya miaka 18 wana uwezekano mkubwa zaidi wa kupata matatizo, hasa wakati wa kujifungua. Matatizo hayo ni pamoja na mapigo ya moyo kuwa juu, kuumwa uchungu kwa muda mrefu, kukwama kwa mtoto, kujifungua kwa njia ya operesheni, kujifungua kabla ya wakati na watoto kuzaliwa na uzito mdogo. Mwili huwa na mahitaji makubwa wakati wa ujauzito na kujifungua na mwili wa wasichana wenye umri chini ya miaka 18 huwa haujakomaa vya kutosha kwa kazi ya kubeba mimba.
Mbali ya shida za kiafya, kuna matatizo mengine yatokanayo na kupata mimba mapema. Mara nyingi msichana na mwenzie wanakuwa bado wanasoma shule, msichana hufukuzwa shule na hata hutengwa katika jamii . Vijana mara nyingi hawana mapato ya kumlea na kumtunza mtoto, na mahali pa kuishi huwa hawana. Vilevile mvulana mara nyingi hayuko tayari kuchukua jukumu la kuwa baba. Kwa sababu hizi zote, ni vizuri zaidi mimba zitungwe baada ya msichana kufikia umri wa miaka 18… soma zaidi
Tags๐ aina baada haya huishia huo husababisha iliyomo kaboni katika kiungo kuathirika kuna kupumua kusabisha kutokana kuvuta kuyapata kwenye magonjwa malimbikizo mapafu. matatizo mbalimbali mengi moshi na ni rahisi sigara sigara. tagi: tindikali tumbaku ugumu unayoweza usaha utuvaji wa ya yatokanayo wiki
Kuna matatizo na magonjwa mengi na ya aina mbalimbali
unayoweza kuyapata kutokana na utuvaji wa sigara. Kiungo
rahisi kuathirika ni mapafu. Baada ya kuvuta huo moshi, kaboni
na tindikali iliyomo kwenye tumbaku huishia kwenye mapafu.
Malimbikizo haya ya kaboni na tindikali husababisha ugumu
katika kupumua na kusabisha usaha kwenye mapafu. Matatizo
haya ya mapafu humfanya mvutaji awe mwepesi kupata
maambukizo mengine.
Hii inaweza ikawa kikohozi sugu na pia inaweza kusababisha
nimonia (kichomi) pamoja na kifua kikuu na sarakani. Nikotini
vilevile ni mbaya kwa tumbo. Husababisha kupoteza hamu ya
kula na maumivu katika sehemu za chini ya tumbo… soma zaidi
Tags๐ wiki
Uwezekano wa kuambukizwa virusi vya UKIMWI kwa kunyonyana ndimi ni mdogo sana. Kwa kubadilishana mate wakati wa kubusiana tu, haiwezekani maambukizi ya virusi vya UKIMWI kutokea. Lakini kama mmoja kati ya wapenzi ana vidonda / michubuko mdomoni, uwezekano wa kuambukizana huongezeka… soma zaidi
Tags๐ uchumi
Habari za Leo Rafiki yangu wa Muhimu sana. Ni furaha yangu kujua unaendelea vyema sana na majukumu yako… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Mpunga - 4 vikombe.. soma zaidi
Tags๐ mahusiano
Jamaa kam2mia dem wake elfu 2
#M-PESA,demu kuona sms ya
Tigo pesa akafurah lakin ile kufungua
akakta
buk 2
akaamua kumpigia jamaa cm!!.. soma zaidi
Tags๐ wiki
Wakati wa kujifungua, uke wa mwanamke mzima hupanuka kuanzia kipenyo cha sentimeta kumi mpaka kumi na mbili i i ili kuruhusu kichwa cha mtoto kupita. Kwa kawaida, mwanamke anayejifungua, uke na mlango wa mfuko wa uzazi hupanuka vya kutosha… soma zaidi
Tags๐ hadithi
Alikuwepo mama mmoja aliyekuwa chongo na mwanae alimchukia kwa sababu ya kuwa chongo. Mwanae alijisikia aibu kutembea na mama yake mwenye jicho moja na hakupenda watu wajue kuwa yule ni mama yake… soma zaidi
Tags๐ mahusiano
Kijana wa miaka 24 alikua anaangalia ktk dirisha la treni, mara akahamaki akasema….. soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Wakati mafuta ya nazi yakiwa yamemengโenywa na mwili huhamasisha uundwaji wa nguvu mpya za ubongo zijulikanazo kama โketonesโ… soma zaidi
Tags๐ . 18. akiwa albino albino? athari bado chini gani hasa hawana inashauriwa katika kijana kuna kutiliwa kutopata kwa kwamba masuala mdogo miaka mimba mkazo msichana na ni tofauti umri umuhimu utotoni vijana wa wengine ya za wiki
Katika masuala ya athari za mimba katika umri mdogo ni
kwamba vijana Albino hawana tofauti na vijana wengine . Bado
inashauriwa na kutiliwa mkazo umuhimu wa msichana kutopata
mimba akiwa na umri chini ya miaka 18… soma zaidi