ANGALIA-VIDEO-NA-MHENGA
By, Melkisedeck Shine.
Tags ๐ maajabu mbwa. Category ๐videos,: maajabu mbwa, Angalia hili bonge la jibwa lilivyo na hasira, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ gari maajabu. Category ๐videos,: gari maajabu, Huyu dereva kwa kona hii aliyokata kweli ni mtaalamu, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Kilichotokea kwa huyu jamaa baada ya kujaribu kumpanda n'gombe, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Kilichompata huyu bonge hatarudia tena, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ maajabu mbuzi wanyama. Category ๐videos,: maajabu mbuzi wanyama, Mbuzi mwenye miguu miwili tuu kama binadamu na anaweza kutembea, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ maajabu mbwa pikipiki. Category ๐videos,: maajabu mbwa pikipiki, MAAJABU:mbwa anayeweza kuendesha pikipiki, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Mambo ya mtu na baby wake haya, angalia huyu baby anacholilia sasa, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ gari maajabu michezo. Category ๐videos,: gari maajabu michezo, Huyu dereva wa hili gari kweli mtaalamu kwa hiki anachofanya, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ ajali n'gombe vichekesho. Category ๐videos,: ajali n'gombe vichekesho, Cheki huyu jamaa alichofanyiwa na huyu n'gombe, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ ajali bahari meli. Category ๐videos,: ajali bahari meli, Angalia meli inavyokumbwa na dhoruba baharini, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Imani ya huyu dada imemponza kwa huyu mwanaume, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ ajali punda vichekesho wanyama. Category ๐videos,: ajali punda vichekesho wanyama, Angalia kilichompata huyu baada ya kutaka kumgeuza punda pikipiki, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Kumuomba mwanamke umuoe sio lazima umvike Pete tuu hata alichofanya huyu mwanamme, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Ukisikia utoto ndio huu, cheki hawa watoto wanavyocheza mpira, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho wanawake. Category ๐videos,: vichekesho wanawake, Angalia huyu dada wa watu kitu alichofanyiwa, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Huyu jamaa chizi kweli, anapiga gwaride na punda na kondoo, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ maajabu wanyama. Category ๐videos,: maajabu wanyama, Mnyama anayefanana na mti au kichaka, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ paka vichekesho. Category ๐videos,: paka vichekesho, Cheki huyu paka mwenye kitambi kinachompata, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Mambo ya watoto wa Sumbawanga haya, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ ajali baisikeli gari maajabu vichekesho. Category ๐videos,: ajali baisikeli gari maajabu vichekesho, Tizama baisikeli moja ilivyosababisha ajali ya magari zaidi ya 10, ๐Angalia video hapa
.
.
Endelea kuperuzi;-๐
๐ฌ ANGALIA-MHENGA-NA-VIDEOSโ
๐ฌ ANGALIA-WAHENGA-NA-VIDEOโ
๐ฌ ANGALIA-WAHENGA-NA-VIDEOSโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEO-NA-WAHENGAโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEOS-NA-WAHENGAโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEOS-KWA-MHENGAโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEO-KWA-MHENGAโ
๐ฌ ANGALIA-MHENGA-KWA-VIDEOSโ
๐ฌ ANGALIA-WAHENGA-KWA-VIDEOโ
๐ฌ ANGALIA-WAHENGA-KWA-VIDEOSโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEO-KWA-WAHENGAโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEOS-KWA-WAHENGAโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEOS-MHENGAโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEO-MHENGAโ
๐ฌ ANGALIA-MHENGA-VIDEOSโ
๐ฌ ANGALIA-WAHENGA-VIDEOโ
๐ฌ ANGALIA-WAHENGA-VIDEOSโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEO-WAHENGAโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEOS-WAHENGAโ
๐ฌ VIDEOS-NA-MHENGAโ
Tags๐ wiki
Neno VVU ni i virusi au vijidudu vinavyosababisha ugonjwa wa UKIMWI. Neno hili kwa lugha ya Kii ngereza ni HIV yaani โHuman Immunodeficiency Virusโ. UKIMWI ni kifupi cha maneno matatu ambayo ni Upungufu wa Kinga Mwilini. Kwa Kii ngereza jina la UKIMWI AIDS ambacho kirefu chake ni โAcquired Immune Deficiency Syndromeโ. Neno UKIMWI tayari linaonyesha tayari aina ya ugonjwa, i ikii manisha kuwa mwili umepungua uwezo wake wa kinga kwa maradhi mbalimbali mwilini. Dalili za upungufu huu ukianza kujitokeza basi maradhi haya huitwa UKIMWI.
Tofauti kati ya VVU na UKIMWI ni kuwa mtu aliyeambukizwa VVU bado anaweza kuonekana mzima wa afya. Pamoja na kuwa virusi hivyo vitaonenekana katika damu yake, ni kwamba virusi hivyo vitakuwa havijaanza bado kushambulia chembechembe nyeupe za damu. Kwa upande mwingine kinga ya mwili ya mtu anayeumwa UKIMWI i itakuwa tayari i i imepungua. Mwili wake utaanza kuugua magonjwa nyemelezi. Magonjwa nyemelezi hupata nafasi ya kushambulia mwili huu ambao tayari kinga imepungua. Watu wnaoumwa UKIMWI wanaweza kupungua uzito wa mwili, kuharisha au kupata matatizo ya ngozi. Hata hivyo maradhi haya siyo lazima yatokane na kuwa na VVU. Ili kuwa na uhakika, onana na mtaalamu yaani dakatari wako… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Unga wa ngano (self risen flour) vikombe 2 na1/2
Sukari (sugar) 1/2 kikombe
Hamira (yeast) 1/2 kijiko cha chai
Hiliki (cardamon powder) 1/4 kijiko cha chai
Tui la nazi (coconut milk) kiasi
Baking powder 1/4 kijiko cha chai
Siagi (butter)1 kijiko cha chakula
Mafuta ya kukaagia.. soma zaidi
Tags๐ uchumi
Habari za Leo Rafiki yangu wa Muhimu sana. Ni furaha yangu kujua unaendelea vyema sana na majukumu yako… soma zaidi
Tags๐ hadithi
Kuna kijana mmoja daktari alikwenda kuposa. Binti aliyemposa akamuwekea masharti mazito. Akamwambia chagua mawili imma kunioa mimi au kukaa na mama yako, kwa sababu ukinioa mimi sitokubali mama yako aje hata harusini kwangu! Yule kijana aliemewa. Hakujua la kufanya. Mke anamtaka, lakini mama yake pia anampenda. Hivyo aliamua kuomba ushauri kwa mwalimu wake wa chuo kikuu. Alimwambia: moyo wangu unampenda mno binti niliyekwenda kumposa, lakini pia siwezi kuishi mbali na mama yangu. Nifanye nini?.. soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Masaji kushuka kwa homoni inayohusika na kupunguza maambukizi mbalimbali homoni ijulikanayo kama โcytokinesโ vile vile masaji inashusha homoni inayohusika na matendo ya mashari homoni ijulikanayo kama โcortisolโ… soma zaidi
Tags๐ uchumi
Kwa mujibu wa Biologia, baada ya tendo la kukutana kimwili takribani mbegu milioni 200 hadi 300 hutolewa na mwanaume…halafu zote huanza kupiga mbizi kuogelea kwenye njia safarini kukutana na yai la kike… soma zaidi
Tags๐ (0.7 (0.9 4 082. 2.9) 2002/2003 4.1) 95.2 96.2 281 asilimia bara hizi idadi ikifuatiwa ikiwa inaonekana jinsi kienyeji kisasa kufuga kupongezeka kuwa kwa maziwa mkoa mwaka na ndio ndiyo ng'ombe ni nyama sensa shinyanga tabora. tagi: takwimu tanzania ufugaji ukilinganisha unaofuga visiwani visiwani. wa walioboreshwa wanaofugwa wengi wingi ya zaidi zinaonyesha wiki
UFUGAJI WA NG'OMBE.. soma zaidi
Tags๐ alipokuwa amesema ameyasema anazungumza hayo hilo katika kwamba magaidi manuel mapema. mkuu na nchi runinga tagi: taifa ubelgiji ufaransa ugaidi valls wa wahamiaji wahusika wakati walijifanya walikuwemo waziri wengine ya za habari
Ameyasema hayo wakati alipokuwa anazungumza katika runinga ya taifa hilo na kwamba wahusika wengine wa ugaidi walikuwemo katika nchi za Ufaransa na Ubelgiji mapema.
Aidha aliongeza kuwa haikufahamika mara moja kwamba kulikuwa na makundi ya namna hiyo kwa ukubwa wake ,ama mshukiwa Salah Abdeslam, ambaye ndiye hasa kielelezo cha mwanamume anayesakwa zaidi kimataifa na haikujulikana kama alikuwa Ubelgiji ama Ufaransa… soma zaidi
Tags๐ wiki
Ugumba wa mwanamke ni hali ya mwanamke kushindwa kupata mimba. Kama kwa wanaume kuna mambo mengi yanayoweza kusababisha ugumba wa wanawake.
Ili mwanamke aweze kupata mimba, vitu vingi lazima vitokee. Lazima yai lipevushwe, lazima yai lii ngie kwenye mrija wa kupitisha yai ambapo mimba hutungwa, tena lazima yai lililorutubishwa lifikie kwenye mfuko wa mimba na mwishoni lazima utando ndani ya mfuko wa uzazi uandaliwe. Endapo yoyote kati ya hali hizi hazitafikiwa kwa sababu fulani, mimba haiwezi kutunga. Sababu za kutopevuka yai mara nyingi ni mfadhaiko wa kiakili na kisaikologia na sababu za kuziba mrija wa kupitisha yai mara nyingi ni magonjwa ya zinaa. Wanawake wengine wamepata ugumba kutokana na kujaribu kutoa mimba, matokeo yake wameziharibu kabisa sehemu za ndani za viungo vya uzazi. Bahati mbaya, hali nyingi katika hizi haziwezi kurekebishwa na wanawake wanabaki wagumba wa kudumu.
Kuna mambo mengine yanayosababisha ugumba wa muda. Mambo hayo ni pamoja na ugonjwa, ulevi, matumizi ya dawa za kulevya, lishe duni, mshituko na majonzi. Vingi vya vyanzo hivi vinaweza kutibwa, kwa mfano, kutumia madawa ya kulevya. Mara vikitibiwa, mwanamke ataweza kupata mimba… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Unga wa ngano (plain flour 1/2 of kilo)
Siagi (butter vijiko 2 vya chakula)
Yai (egg 1)
Chumvi (1/2 ya kijiko cha chai)
Hiliki (ground cardamon 1/4 ya kijiko cha chai)
Maji ya uvuguvugu (warm water)
Mafuta (vegetable oil).. soma zaidi
Tags๐ badilisha fikra haraka huu kwa mawazo mazoeaโฆ mpya mwaka ni tagi: usiishi yako zako habari
BADILISHA MAWAZO YAKO HARAKA HUU NI MWAKA MPYA USIISHI KWA MAZOEA…………. soma zaidi
Tags๐ mahusiano
1. Mwanangu, mwanamke anaweza kuwa mkeo, mwingine anaweza kuwa mama wa watoto wako, lakini ukipata mwanamke ambae atakuwa kama mama kwako, mama kwa wanao na mama kwa familia, tafadhali mwanangu usimuache huyo!
2. Mwanangu, usimfanye mwanamke wako kuwa ndio wa kupika na kufanya kazi zote za jikoni peke yake, tabia hiyo sio nzuri Kwani hata nyakati zetu, mashamba yetu yalijulikana kwa majina yetu wanaume lakini tulifanya kazi pamoja!
3. Mwanangu, nikikwambia wewe ni kichwa cha familia, simaanishi kutuna kwa pochi lako, usiangalie kabisa pochi yako, angalia kama utaona tabasamu usoni kwa mke wako. Pesa sio kila kitu katika ndoa na haileti ukuu wa familia!.. soma zaidi
Tags๐ ' '. 'kama 'kutoka 37 38 7: aje alisema aliye amezaliwa anaelezea anatuambia anayeniamini anywe aya hai hamu hii ili imani imani. inahusu inayofuata kama kamwe katika kiu kuacha kutafuta kwa kwamba kwangu lazima maandiko maji makali mito mjazwe mtabatizwa mtakatifu. mtu mungu mungu. na ndani nguvu nje omba roho roho. sisi tamaa. tuwe utu uzoefu vile vitatoa wake ya yaliyo yesu yetu yeye. yeyote yohana zaidi wiki
KIU YA MUNGU
Yesu anaelezea katika Yohana 7: 37,38 'Kama mtu yeyote aliye na kiu na aje kwangu anywe Yeye. Anayeniamini, kama vile maandiko alisema, 'Kutoka utu wake ndani vitatoa mito ya maji yaliyo hai ' '… soma zaidi
Tags๐ albino albino? hali hulka jadi. kila kuua kwa mambo mapya na ni nini njia sahihi sasa siyo tiba tunavyovishuhudia vitendo vya wanakuwa watu ya wiki
Vitendo vya kuua Albino tunavyovishuhudia sasa ni mambo
mapya na kwa kila hali siyo njia sahihi ya tiba ya jadi.
Baadhi ya waganga wa jadi hutumia viungo vya wanyama na
binadamu katika sherehe zao. Kwa mfano fuvu za binadamu
huwekwa chini ya msingi wa nyumba kuleta bahati njema, au
biashara nzuri. Damu huaminika kuongeza nguvu za kiume
(urijali) na kondo la nyuma hutibu utasa na ugumba… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Unga vikombe vikombe 4.. soma zaidi
Tags๐ afya mapishinalishe
Wakati wa kufanya tendo la ndoa wapo baadhi ya watu hupatwa na maumivu wakati au baada ya kushiriki tendo, Maumivu haya yaweza kuwa;- Wakati tu uume unaingia,
Unapoingiza kitu chochote hata kidole, Wakati uume ukiwa ndani na Maumivu ya kupita (throbbing pain) yanayodumu masaa kadhaa baada ya tendo… soma zaidi
Tags๐ tibu-shinikizo-chini mapishinalishe
Juisi hii ni nzuri sana katika kutibu shinikizo la juu la damu… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Soda ni kiburudisho ambacho si muhimu sana kwa afya… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Tambi (spaghetti 1/2 ya packet)
Mafuta (vegetable oil)
Sukari (sugar 1/2 kikombe cha chai)
Hiliki (cardamon 1/2 kijiko cha chai)
Chumvi (salt 1/2 kijiko cha chai)
Tui la nazi (coconut oil 1 kikombe cha chai)
Maji kiasi.. soma zaidi
Tags๐ asili kiholela kuacha kujitangaza tiba wa waganga watakiwa habari
Waganga wa Tiba Asili mkoani Mtwara wametakiwa kuacha kutangaza shughuli zao kiholela na badala yake wametakiwa kutumia mabaraza ya Tiba Asili ili kuondokana na mkanganyiko katika jamii na pia waweze kufuata kanuni na sheria za kusajili kazi zao… soma zaidi
Tags๐ uchumi
Njia hizo ni kama ifuatayo!!.. soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Pika mboga mpya za majani au zilizogandishwa kwa barafu katika wimbi mikro kwa mlo wa haraka na rahisi kuongeza kwa mlo wowote. Pika maharagwe ya kijani, karoti, au brokoli kwa mvuke katika bakuli na kiwango kidogo cha maji katika wimbi mikro kwa mlo wa haraka… soma zaidi
Tags๐ aliyemtoa aliyetoa au hapa hatua jinai jinai.5 kati kosa kuhusu kumsaidia kutoa la linamchukulia mimba mimba. mtu na nchi nchi. ni sheria tanzania utoaji ya yule zinatofautiana wiki
Sheria kuhusu utoaji
mimba zinatofautiana
kati ya nchi na nchi. Hapa
Tanzania utoaji mimba
ni kosa la jinai.5 Kosa la
jinai linamchukulia mtu
hatua aliyetoa mimba na
yule aliyemtoa au
kumsaidia kutoa mimba.
Hata hivyo hapa Tanzania
unaruhusiwa kutoa mimba
pale tu inapokwepo sababu
za kuokoa maisha ya mama
mjamzito kama kuna
matatizo ya kiafya au
pale mimba inatokana na
kubakwa.6 Utoaji mimba hufanyika kwa siri.
Ni hatari iwapo utoaji mimba utafanyika bila ya utaalamu. Yule
anayesaidia kutoa mimba anawajibishwa kisheria. Iwapo utoaji
mimba umefanywa na mtu asiye na ujuzi, kwa mama mwenyewe,
au kifaa kilichotumika ni kichafu, au majani au dawa zimewekwa
ukeni, zinaweza kuhatarisha maisha ya mama.
Ni muhimu hata hivyo kujua kuwa wahudumu wengine hutoa
huduma baada ya mimba kuharibika kwa wale wanaohitaji
msichana au mama, kutokana na matatizo ya utoaji mimba au
kuharibika kwa mimba… soma zaidi
Tags๐ kutibu-chunusi-kiasili mapishinalishe
a)Binzari ya unga
b)Maziwa fresh
c)Asali
d)Bakuli
e)Kijiko cha chai.. soma zaidi
Tags๐ wiki
Virusi hivi vinakaa katika chembechembe nyeupe zilizopo kwenye majimaji ya mwili i wa binadamu hasa kwenye damu, shahawa na maji maji ya ukeni na maziwa ya mama anayenyonyesha. Ndani ya chembechembe nyeupe ndiyo mahali virusi vinakaa na kuendelea kuzaliana. Vikiwa ndani ya chembechembe nyeupe hizi, virusi huendelea kuzaliana hadi kusababisha chembechembe nyeupe hizi kupasuka. Virusi hivi hupata nafasi ya kuendelea kushambulia chembechembe nyingine nyeupe za damu. Kwa kadri chembechembe nyeupe zilizoshambuliwa zinavyoendelea kupasuka ni kwa kiwango hicho hicho chembechembe nyeupe zinaendelea kuharibiwa na kupungua. Matokeo yake ni kupungua kwa kinga mwilini na mtu kuendelea kudhoofika… soma zaidi
Tags๐ wiki
Lengo kuu la kujamiiana ni kutafuta watoto. Lakini si sababu pekee. Sababu hizo ni pamoja na;.. soma zaidi
Tags๐ wiki
Kambale (Ietalurus Punetaus), ni aiana ya samaki ambao wana majina mengi kulingana na eneo na jamii husika. Samaki hawa unaweza kusikia wakitajwa kwa majina mengine kama vile, kambale channel, koleo, samaki kidevu n.k… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Mchele - 3 vikombe.. soma zaidi
Tags๐ afya mapishinalishe
Unapotokwa na damu puani fanya yafuatayo;
1. Simama wima na inamisha kichwa kwa mbele, kusimama itakusaidi kupunguza kasi na presha katika mishipa ya damu puani wakati unapoinamisha kichwa kwa mbele huzuia kumeza damu ambayo italeta shida tumboni… soma zaidi
Tags๐ mahusiano
*_Kwa wale wadada ๐๐ฟ๐๐ฟ ambao msione mkaka kasimama madhabahuni anahubiri, mmeshampenda…_*
๐๐๐
๐ณ๐ณ๐ณ
*_Kwenye NDOA hakuna ๐ ๐ฟ๐ ๐ฟ kuhubiriana, na kama kupo ni robo ya robo ya NDOA, badili MTAZAMO ๐ค๐ค_*.. soma zaidi
Tags๐ anajisikia anatakiwa au baada gani hatua hii hiyo huwa imara inataka kabisa kama katika kawaida kazi kuacha kuacha. kubadili kuepuka kufikiria kula. kundi kunywa kuvuta kwa kwanza kweli la maalumu maisha marafiki mazingira mtindo mtu na ngumu ni nia pamoja pili pombe pombe. rahisi sababu sherehe si sigara uamuzi vishawishi. wa wafanyeje? wakati wamedhamiria wanataka wanatakiwa watu wawe wazi ya wiki
Kwanza kabisa, watu ni kweli wawe wamedhamiria kuacha.
Hii inataka uamuzi wa wazi na nia imara kwa sababu si rahisi
kuacha.
Pili, mtu anatakiwa kufikiria ni katika mazingira gani huwa
anajisikia kuvuta sigara au kunywa pombe. Hii kwa kawaida ni
pamoja na kundi maalumu la marafiki, katika sherehe, baada ya
kazi ngumu, baada au wakati wa kula. Kwa hiyo, kama wanataka
kuacha kuvuta sigara au kunywa pombe, wanatakiwa kubadili
mtindo wa maisha na kuepuka vishawishi.
Hatua ya kwanza katika kuacha kuvuta sigara au kunywa
pombe, inaweza ikawa ni kujiwekea malengo; kwa mfano, kuacha
kuvuta sigara kwa wiki nzima. Jipongeze kuwa umetimiza lengo
lako. Kama umeshindwa anza tena. Ni watu wachache ambao
wameweza kuacha kabisa katika jaribio la kwanza. Watu
wengine wanapata ugumu kuacha kabisa pombe na sigara… soma zaidi
Tags๐ albino. ambavyo amebeba bado cha hakuna hali hayo inayofuatia je kama kichanga kikiwa kinachovuta kinasaba kipimo kitakuwa kugundua kujua kuna kuona kuonyesha kupima kutumia kuwepo kuwezesha kwa kwenye lakini maalamu maji majimaji mama mimba mjamzito mji mtoto na rahisi tumboni? ualbino ualbino. upo uwezekano vinaweza vipimo wa wakati wamepata watakuwa wazazi ya yaliyo wiki
Hakuna kipimo rahisi cha kuwezesha kuonyesha kama mama
mjamzito amebeba kinasaba cha ualbino. Lakini uwezekano upo,
kama wazazi watakuwa wamepata mtoto Albino. Uwezekano wa
kujua kama mimba inayofuatia kichanga kitakuwa na ualbino kwa
kutumia kipimo maalamu kinachovuta maji yaliyo kwenye mji wa
mimba na kupima hayo majimaji kuona kama kuna kinasaba cha
Albino. Hata hivyo, vipimo hivi ni vya gharama kubwa na kwa
kiasi kikubwa kwa sasa vinapatikana, katika hospitali kubwa
maalumu za nchi zilizoendelea (Ulaya, Marekani na kadhalika)… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Yai bichi linaweza kuwa na vijidudu viitwavyo kwa kitaalamu โSALMONELLAโ vinavyoweza kusababisha tumbo kuuma, kichefuchefu na pia kuharisha.
Vijidudu ya โSalmonellaโ vinaweza kusababisha madhara makubwa kwa watoto, wazee na wale wenye hali dhaifu ya kimwili kama wagonjwa wa UKIMWI… soma zaidi
Tags๐ hadithi
Dada mmoja aliyejulikana kwa jina
la Angel, alikuwa anafanya
biashara ya kujiuza ili aweze
kuweka kitu tumboni mwake.
dada huyo alikuwa na wateja
wamaana na mapedeshee wengi
sana kwa hiyo kwa siku yeye
kuondoka na laki 4 au 5
ilikuwa ni kawaida sana… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
BILA shaka ubongo ni miongoni mwa viungo muhimu vya binadamu lakini ni watu wachache sana wanaoutilia maanani. Ubongo ndiyo kiungo kinachohusika na utendaji kazi wote wa mwili na ndiyo unaowezesha mwili kuishi maisha ya furaha au karaha… soma zaidi
Tags๐ wiki
Mara nyingi utunguaji mimba nje ya mfuko wa uzazi hutokea kwa sababu ya maradhi kwenye via vya uzazi. Maradhi hayo huharibu mirija ya kupitisha mayai. Uharibifu huo hufanya yai lisiweze kufika kwenye mfuko wa mimba na mara nyingi unasababishwa na magonjwa ya zinaa. Kama mwanamke alikuwa na magonjwa ya zinaa uwezekano wa kutunga mimba kwenye mrija wa kupitia mayai unaongezeka.
Ikiwa unafikiri una mimba au iwapo una maumivu chini ya tumbo, unashauriwa uende kliniki kwa ajili ya uchunguzi.
Yai lililorutubishwa linapokaa kwenye mrija wa kupitisha mayai tunasema mimba i imetungwa nje ya mji wa mimbaโectopic pregnancyโ. Kwa maana hiyo basi,, ukuta mwembamba wa mrija utashindwa kutanuka kikamilifu i ili kubeba mimba i inayokua. Mrija hupasuka na damu kutoka. Ikitokea hali hii , lazima mwanamke aende hospitali kwa ajili ya kupasuliwa na pengine kuongezwa damu… soma zaidi
Tags๐ mahusiano
"Nikufundishe nini mwanangu kuhusu wanawake? Baba yako nimezeeka ghafla nikiwa na ufahamu mdogo na mwanangu umeshakua kiasi cha kuhitaji elimu hii adhimu, nikupe neno gani?, labda hivi,.. soma zaidi
Tags๐ habari
Zaidi ya watu MIA MOJA wameripotiwa kupoteza maisha kufuatia mvua kubwa iliyotokea nchini INDIA… soma zaidi
Tags๐ afya aliyebakwa amekubali anaweza atamwona au baada dawa dharura inawezekana iwapo kama kubakwa kulazimishwa. kupata kwa mara mhudumu mimba mimba. msichana mwanamke mwathiriwa mwenyewe ni sawa uwezekano vile wa ya za wiki
Inawezekana kwa msichana au mwanamke aliyebakwa kupata
mimba. Uwezekano wa kupata mimba ni sawa kama vile amekubali
mwenyewe au kulazimishwa. Iwapo mwathiriwa atamwona
mhudumu wa afya mara baada ya kubakwa anaweza kupata
dawa za dharura za vidonge vya kuzuia mimba na uwezekano
wa kupata matibabu ya kuzuia maambukizi yasitokee na kupata
ushauri na zaidi nini cha kufanya… soma zaidi
Tags๐ mahusiano
Maisha ya ndoa yanahitaji maandalizi mazuri, kama waswahili wasemavyo nyote njema huonekana asubuhi, asubuhi ya maisha ya ndoa ni kipindi cha uchumba. Ndugu zangu, kipindi cha uchumba ni lazima tukitumie vizuri na kwa makini na kila jambo, ukitambua hakuna jambo dogo wa kubwa, kila jambo uliangalie katika mapana yake na katika uzito wake… soma zaidi
Tags๐ wiki
Ndiyo, unaweza. Kifo kinaweza kuwa cha ghafla au
kutokana na madhara ya muda mrefu katika viungo vya
ndani ya mwili kutokana na matumizi ya dawa za kulevya. Watu wengi hufa katika ajali pale wanapokuwa wana kiasi kikubwa cha kilevi katika damu, kwani wanashindwa kutambua mazingira ya hatari.
Mtumiaji wa dawa za kulevya anaweza akafa ghafla kwa kile kinachoitwa kuzidisha dawa, pale mtu atakapotumia dawa za kulevya zaidi ya uwezo wa mwili. Kifo cha ghafla kinaweza kutokea au kutokana na matumizi ya kokaini na vifukishi kama petroli bila hata ya kuzidisha kiwango. Watumiaji wa vifukishi kama petroli mara nyingi hutumia mifuko ya plastiki i i ili kuongeza kiwango cha mvuke wanaovuta. Katika mazingira haya ni rahisi kupoteza fahamu kutokana na kukoseshwa hewa na mifuko hiyo. Kuchanganya baadhi ya dawa za kulevya kama vile heroini na dawa zingine hasa dawa za kutuliza maumivu (mfano valium) au pombe pia huweza kusababisha kifo… soma zaidi
Tags๐ afya mapishinalishe
Uti wa mgongo ulio wazi( Spinal bifida) ni hali ambayo mtoto anazaliwa nayo huku uti wa mgongo (mishipa ya fahamu mkubwa unaotoka kwenye ubongo) ukiwa wazi kutokana na mifupa (vipingili vya uti wa mgongo) kutokufunga vizuri… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Daal (lentils) nyekundu au/na kijani - 1 Kikombe kikubwa
Bizari ya manjano ya unga - 1/2 Kijiko cha chai
Pili pili ya unga - 1/2 kijiko cha chai
Chumvi - Kiasi
Maji ya ndimu - 3 Vijiko vya supu
Kitunguu - 1 kiasi
Kitunguu saumu(thomu/galic) - 1 Kijiko cha chai
Bizari ya unga (cummin powder) - 1 Kijiko cha chai
Mafuta ya kukaangia - Kiasi.. soma zaidi
Tags๐ wiki
Ni vigumu sana kujibu swali hili kwa sababu muda wa madhara hutegemea sababu mbalimbali kama vile aina za dawa za kulevya, njia za utumiaji, hali ya mtu na mazingira anapozitumia dawa hizo za kulevya. Mtu anaweza kuanza kutumia dawa za kulevya mara kwa mara i ili kukidhi kile anachokihitaji. Kwa baadhi ya dawa za kulevya, na baadhi ya watu, matumizi ya mara kwa mara kwa kipindi cha zaidi ya wiki mbili ni kipimo tosha cha kumfanya aishi kwa kutegemea dawa za kulevya… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Nimekutana na hiki kitabu japo nimekipitia juu juu nikaona nisiwe mchoyo Wa kukushirikisha wewe utakayependezwa na kusoma hapa Chini japo ni changamoto sana kwa sisi waongo kusoma.. soma zaidi
Tags๐ wiki
Hapa Tanzania utoaji wa mimba hauruhusiwi kisheria. Hata hivyo watu wengine wanaamua kutoa mimba kwa sababu mimba zao hazikutarajiwa. Kwa mfano, msichana mdogo ambaye bado anaenda shule, au mama ambaye tayari ana watoto wengi au umri mkubwa sana. Wanawake wengine wanaamua kutoa mimba kwa sababu wamepata mimba kutokana na kulazimishwa kufanya mapenzi au kubakwa, au kwa sababu baba wa mtoto anakataa kuchukua jukumu la kumlea mtoto. Hizi ni baadhi tu ya sababu za kutoa mimba, na kila mwanamke anayeamua kutoa mimba ana sababu zake.
Kwa sababu utoaji mimba hauruhusiwi, huduma za kutoa mimba hazipatikani kwa urahisi na wanawake wengi wanajiamulia kuitoa mimba wenyewe au kwa msaada wa mtu asiyesomea kufanya hivyo. Kama tulivyosema hapo juu, hii ni hatari sana kwa afya ya mwanamke… soma zaidi
Tags๐ punyeto wiki
Punyeto ni nini?
Hii ni tabia ambayo mwanamke au mwanaume anajichua sehemu za siri ili kufika kileleni, mara nyingi kitendo hiki hufanyika na muhusika akiwa peke yake chumbani au bafuni.
Wahanga wengi wa tabia hii ni wanaume kwani huanza katika umri mdogo sana kwasababu ya uoga wa kufuata wasichana na kuangalia video za ngono ambazo huwasukuma kufanya vitendo hivi..
Lakini punyeto huambatana na madhara makubwa ya kijamii na kiafya na leo tutaangalia madhara hayo kumi ya punyeto…. soma zaidi
Tags๐ biashara elimu fursa masoko mbinu ujasiriamali wiki
Ujasiriamali ni uwezo wa kubaini na utayari wa kuanzisha shughuli ya kiuchumi bila kujali hatari za kibiashara zinazoweza kujitokeza… soma zaidi
Tags๐ mahusiano
Kuwa Rubani wa Ndege haimaanishi ndio utakuwa Rubani wa Ndoa,…Unaweza kuwa Mwanajeshi tena Brigedia lakini kwenye Ndoa ukawa Kuruta๐…..Mwanasheria unaweza kusimama kwenye Court kwa ustadi lakini kusimama ndani ya ndoa ni zaidi ya Extended Jurisdiction!.. soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Vyakula hivyo ni;.. soma zaidi
Tags๐ afunge albino ambae ana anafuata anakataa anapenda au dini haki hayuko katika kike kujamiiana kukataa kuogopa kusubiri kwa kwenye labda lakini maadili maamuzi matokeo mdogo mimi? mpaka na ndoa. ngozi ni nina nini rafiki sana tayari tunapendana umri wa wewe. ya yake yake. yako yaliyo yametokana yatakuwa wiki
Rafiki yako wa kike ana haki ya kukataa kujamiiana na wewe.
Labda hayuko tayari kujamiiana au anapenda kusubiri mpaka
afunge ndoa. Maamuzi yake yatakuwa yametokana na kuogopa
matokeo ya kujamiiana katika umri mdogo au labda anafuata
maadili yaliyo kwenye dini yake. Na hata kuwa na wasiwasi kuwa
uhusiano wenu siyo wa kuaminika. Kama kweli unampenda na
unajali uhusiano weu mpe muda wa kufikiria, taratibu. Endelea
kusikilizana kwa makini na kuchunguza kwa uwazi na muweze
kufanya maamuzi sahihi. Kwa lolote lile mtakaloamua hakikisha
kuzuia matokeo yanayotokana na mimba… soma zaidi
Tags๐ afya mapishinalishe
Kufanya Masaji kuna faida hizi zifuatazo;.. soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
1 kilo unga wa ngano
240 ml maji ya vugu vugu
2 olive oil kijiko kikubwa cha chakula
2 asali kijiko kidogo cha chai
1 chumvi kijiko kidogo cha chai
1 hamira ya chenga kijiko kidogo cha chai.. soma zaidi
Tags๐ au desturi haki hali haya hiyo hizi husika. hutoa huwa huzaliwa ile jamii jinsi jinsia kati kibaiolojia kijamii kijinsia kike kike. kiume kutokana kuwa kwa la maana mahusiano majukumu malezi maumbile mbili. mgawanyo mila mtu mtu. na ni pamoja siyo swala uzazi viungo vya wa wajibu wakiwa wanaume wanawake wanawake. watu ya yanayoamua yanayoamuliwa za wiki
Jinsia ni ile hali ya kuwa mtu wa kiume au wa kike. Ni swala la mahusiano kati ya wanaume na wanawake yanayoamuliwa na mila na desturi za jamii husika. Mahusiano haya ya kijinsia hutoa mgawanyo wa haki, wajibu na majukumu kwa jinsia hizi mbili. Kwa maana hiyo siyo maumbile ya kibaiolojia ya viungo vya uzazi yanayoamua jinsia ya mtu.
Watu huzaliwa wakiwa na jinsi ya kike au kiume na kutokana na malezi pamoja na mgawanyo wa majukumu ya kijamii, huwa wanaume au wanawake. Majukumu ya kijinsia hutofautiana kati ya nchi moja na nyingine, kati ya kabila moja na jingine. Katika mahusiano bora ya kijinsia ni lazima haki za kijinsia ziheshimiwe. Msichana anayo haki ya kutawala mwili wake mwenyewe na kuamua kuhusu mahusiano yake na wengine kwa namna ambayo inadumisha afya na ustawi wake kwa mjibu wa sheria na taratibu za jamii… soma zaidi
Tags๐ wiki
Mgagani (Cleome gynandra) au Spider plant kwa kingereza, ni mmea wa asili ya Afrika unaostawi vizuri kwa kumwagiliwa hapa afrika ya mashariki wakati wa joto. Pia huchumwa mashambani ikiwa imeota yenyewe zao hili hushambiliwa na magonjwa na wadudu mara chache. Majani na Matawi machanga yana virutubisho kuliko Sukuma wiki na kabichi. Mahitaji yake yanaongezeka kwenye miji midogo na mikubwa kila siku… soma zaidi
Tags๐ akamwambia akina akiwa alienda anawasiwasi daktari huku kutoa kwa magonjwa mama mimba mmoja na wa ya mahusiano
Mama mmoja huku akiwa anawasiwasi alienda kwa daktari wa magonjwa ya akina mama na akamwambia
" mwanangu hajafikisha hata mwaka mmoja na mimi nimepata ujauzito tena"
Daktari akamwambia
"ni sawa, kwa hiyo unataka mimi nifanyeje?"
Mama akasema
"nakuomba unisaidie kutoa hii mimba na ninakutegemea mno daktari tafadhali nisaidie"
Daktari baada ya ukimya mfupi na kufikiri kidogo akamwambia yule mama
" Nadhani ninao msaada mzuri zaidi na ambao hautakuathiri kwa kwa namna yoyote kiafya".. soma zaidi
Tags๐ uchumi
Wengi wetu tunapenda Mafanikio, tunapenda kufika mbali tunapeda kuwa kama Mengi siku moja… soma zaidi
Tags๐ kilimonaufugaji
Muhogo Inazuia Minyoo na vidukari… soma zaidi