ANGALIA-VIDEOS-NA-WAHENGA
By, Melkisedeck Shine.
Tags ๐ maajabu. Category ๐videos,: maajabu, Angalia huyu mtu akimbusu nyoka aina ya Cobra, haya ndio mambo ambayo hutakiwi kujaribu, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ changamoto michezo. Category ๐videos,: changamoto michezo, Angalia huyu alivyokomaa, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ changamoto michezo vichekesho. Category ๐videos,: changamoto michezo vichekesho, Hii michezo mingine bwana ni balaa, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ ngumi vichekesho. Category ๐videos,: ngumi vichekesho, Hizi ngumi ni balaa, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ ajali. Category ๐videos,: ajali, Cheki jamaa alivyoanguka mtini, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Angalia huyu mwizi wa kondoo, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ maajabu michezo. Category ๐videos,: maajabu michezo, Mtu mwenye uwezo wa kunawa uso kwa kutumia miguu, mcheki hapa, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ kondoo vichekesho. Category ๐videos,: kondoo vichekesho, Cheki huyu kondoo dume anachokifanya sasa, mbabe kweli, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ maajabu. Category ๐videos,: maajabu, Hizi staili nyingine za ujenzi ni noma, cheki hawa, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ maajabu. Category ๐videos,: maajabu, Angalia huyu mtu akimbusu nyoka aina ya Cobra, haya ndio mambo ambayo hutakiwi kujaribu, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ mbwa vichekesho. Category ๐videos,: mbwa vichekesho, Mbwa wakiwa kwenye mapozi yao ka watu vile, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Hawa wameangukaje vizuri, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ ajali michezo vichekesho. Category ๐videos,: ajali michezo vichekesho, Angalia hawa majamaa walivyobugi sasa, watu chali, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho wanawake. Category ๐videos,: vichekesho wanawake, Angalia huyu dada wa watu kitu alichofanyiwa, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Hii ndiyo inathibitisha ule msemo ukitaka uzuri sharti udhurike, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Kwa wale wanaopenda kuchokoza mabinti za watu angalia huyu kilichompata baada ya kumchokoza huyu dada, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Huyu anakula chakula cha mtoto kijanja, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ maajabu pikipiki. Category ๐videos,: maajabu pikipiki, Angalia huyu alichokifanya kwenye hii pikipiki, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Huyu dogo anawenge, siku nyingine hawezi kurudia, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ ajali umeme. Category ๐videos,: ajali umeme, Kilichompata fundi umeme baada ya kuzidisha mbwe mbwe kazini, ๐Angalia video hapa
.
.
Endelea kuperuzi;-๐
๐ฌ ANGALIA-VIDEOS-KWA-MHENGAโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEO-KWA-MHENGAโ
๐ฌ ANGALIA-MHENGA-KWA-VIDEOSโ
๐ฌ ANGALIA-WAHENGA-KWA-VIDEOโ
๐ฌ ANGALIA-WAHENGA-KWA-VIDEOSโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEO-KWA-WAHENGAโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEOS-KWA-WAHENGAโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEOS-MHENGAโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEO-MHENGAโ
๐ฌ ANGALIA-MHENGA-VIDEOSโ
๐ฌ ANGALIA-WAHENGA-VIDEOโ
๐ฌ ANGALIA-WAHENGA-VIDEOSโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEO-WAHENGAโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEOS-WAHENGAโ
๐ฌ VIDEOS-NA-MHENGAโ
๐ฌ VIDEO-NA-MHENGAโ
๐ฌ MHENGA-NA-VIDEOSโ
๐ฌ WAHENGA-NA-VIDEOSโ
๐ฌ VIDEO-NA-WAHENGAโ
๐ฌ VIDEOS-NA-WAHENGAโ
Tags๐ achangie aina aliye bahati fulani gani. hakuna hamna hana husababisha i inategemea je jinsia juu kama kike kiume. kosa kuhakikisha kupanga kutokea kuzaa kwa la mbegu mbegu. mbili moja mtoto mtoto. mwanamke mwanaume mwenye na nani? ndiye ni nyingine sababu tu tulivyoona uwezekano uwezo wa wanapata watoto ya za wiki
Hakuna mwenye kosa, kwa sababu jinsia ya mtoto i inategemea na bahati na hamna uwezekano wa kupanga kuzaa aina fulani ya mtoto. Tulivyoona juu ni mwanaume ndiye aliye na aina mbili za mbegu. Aina moja husababisha kutokea mtoto wa kike na aina nyingine mtoto wa kiume. Mwanaume hana uwezo wa kuhakikisha achangie aina ya mbegu gani. Kwa hiyo, hata kama ni mwanaume anayeyakinisha jinsia ya mtoto, hana kosa, kwa sababu hana uwezo wa kuamua achangie mbegu ya aina gani… soma zaidi
Tags๐ ambao au cha ghafla. hasa hii huwatokea idadi iitwayo iliyo inaweza je kama katika kifo kipindi kirefu kubwa kufa kunywa kupata kusababisha kutokana kuvuta kwa lakini magonjwa moyo. na ndiyo. nikotini pale pombe. pombe? saratani. sigara sumu tagi: tu tumbaku. unaweza utakapozidisha. utavuta uvutaji wana watu wingi ya wiki
Ndiyo. Unaweza kufa kutokana na kuvuta sigara au kunywa
pombe. Lakini pale tu utakapozidisha. Kama utavuta idadi kubwa
ya sigara unaweza kupata kwa wingi sumu, iitwayo nikotini iliyo
katika tumbaku. Hii inaweza kusababisha kifo cha ghafla. Hii
huwatokea hasa watu ambao wana magonjwa ya moyo. Uvutaji
sigara kwa wingi na kwa kipindi kirefu unaweza kusababisha
kifo kutokana na saratani.
Pombe inaweza kukuua ghafla. Kama utakunywa kiasi kikubwa
cha pombe. Matokeo yake yanaweza yakawa ni kusimama kabisa
kwa shughuli za ubongo. Hii inamaanisha kuwa sehemu maalumu
katika ubongo ambazo zinaratibu uvutaji hewa na mapigo ya moyo
hazitaweza tena kufanya kazi na matokeo yake ni kifo.
Lakini pombe pia ni chanzo cha ajali nyingi za barabarani na
kazini. Kumbuka kwamba pombe ni chanzo cha vifo vingi kuliko
dawa zingine za kulevya… soma zaidi
Tags๐ tibu-shinikizo-chini mapishinalishe
- Chukua majani 10 mpaka 15 ya mrehani mbichi
- Saga au twanga kupata maji maji yake (juisi).
- Weka asali kijiko kidogo kimoja ndani yake.
- Kunywa mchanganyiko huu kila siku asubuhi ukiamka tu tumbo likiwa tupu… soma zaidi
Tags๐ hadithi
Mume alirejea nyumbani na kukuta ujumbe juu ya meza umeandikwa "NIMEONDOKA" ilikuwa jioni, alienda jikoni na kukuta kukavu, aliwaita watoto na kuwauliza wakasema walimuona Mama akiondoka na begi lakini hakuwaambia anaenda wapi. Mume alichanganyikiwa, alijaribu kuchukua simu kumpigia lakini ilikuwa haipatikani, kabla hajafanya chochote mtoto wao wa mwaka mmoja alikuja akilia na kusema ana njaaa… soma zaidi
Tags๐ (cucumber) ardhini arusha biashara chakula. cucumber fito hata hili huoza. hustawi jinsi katika kilimanjaro kulima kulimwa kuwekea kwa kwani la matango matunda mazao mboga mikoa muhimu na nchini ni nje pia pwani. tagi: tanga tanzania tanzania. vizuri wingi ya yake yakilala zao wiki
Matango (cucumber) ni zao muhimu katika mazao ya mboga na matunda nchini Tanzania na hata nje ya Tanzania. Ni vizuri kuwekea matango fito kwani matunda yake yakilala ardhini huoza. Hili ni zao la biashara, pia chakula. Zao hili hustawi na kulimwa kwa wingi katika mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Pwani… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
1. Fanya mazoezi ya viungo kwa saa moja kila siku
2. Kunywa maji mengi kila siku
3. Ondoa mfadhaiko (stress)
4. Weka homoni sawa kama hazipo sawa
5. Kuwa msafi wa mwili wote kila mara
6. Usiziguse chunusi au kuzitoboa na mikono yako au na chochote kuepuka makovu yasiyo ya lazima
7. Epuka vyakula vifuatavyo kama unasumbuliwa na chunusi kila mara, navyo ni pamoja na:.. soma zaidi
Tags๐ mahusiano
kwanza kabisa nikupongeze kwa hatua uliyofikia, najua umekumbana na vikwazo vingi lakini haukukata tamaa ndio maana umefikia hatua hiyo.
Mnamo mwaka 1975,Hayati Mwalimu J.K Nyerere wakati anakifungua rasmi chuo kikuu cha Dar es salaam alisema Maneno yafuatayo,.. soma zaidi
Tags๐ uchumi
KILA mtu duniani ana ndoto ingawa haijalishi ni ndoto gani uliyonayo.
Ndoto uliyonayo ina thamani kubwa kuliko fedha wala kitu chochote kile. Ndoto uliyonayo ina nguvu kubwa ya kubadilisha maisha yako na kukufikisha sehemu ambayo ulitaka ufike ama zaidi ya pale ulipotarajia kufika… soma zaidi
Tags๐ hadithi
Nilianza kujisikia vibaya hata kabla ya kufunga ndoa. Nakumbuka miezi mitatu kabla wakati tukiwa katika maandalizi maandalizi ya Bashiri kuja nyumbani kuleta mahari miguu ilianza kuuma kiasi cha kushindwa hata kutembea. Mama ainikanda mara kwa mara na ilikuwa ikivimba na kutoa maji kama vile jasho lakini la baridi… soma zaidi
Tags๐ wiki
1. Kware anakula chakula chochote anachoweza kula kuku ikiwemo chakula cha broiler. Kama utaamua kuwapa chakula cha broiler unawapa โstarterโ kware wenye umri kuanzia siku moja hadi wiki ya tatu baada ya hapo unawapa Falcon au hill… soma zaidi
Tags๐ chochote fundisha hapa huku husika jifunze jinsi karibu kirahisi. kiswahili kuandika kufundisha kuhariri kujua kurahisisha kurahisishia kusaidia kuweka kwenye mada mahali majadiliano mambo mbalimbali mtandao na ni nia pamoja tagi: tukiruhusu tunatamani ujifunze upatikanaji utafutaji wa watumiaji ya yetu zote wiki
< %%title_linked%%
[**[http://jinsi.wikidot.com/wiki:hhome soma zaidi**
Tags๐ mahusiano
HII NI MISINGI 6 YA KUWA AMANI NA FURAHA KATIKA MAISHA:.. soma zaidi
Tags๐ mahusiano
Ambacho mabinti wanatakiwa kustuka , ni kwamba wengi wataolewa na bodaboda, wafanya biashara, ukibahatika mwanasiasa, kwa sababu wasomi hawana ajira, hivyo atakwambia nisubiri nipate kazi , utazeeka unamsubiri.. soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Maini ya kuku 1/2 kilo
Vitunguu vikubwa 2
Hoho 1
Pilipil 1
Limao 1/2
Swaum/tangawizi 1 kijiko cha chai
Curry powder 1/2 kijiko cha chai
Mafuta ya kupikia.. soma zaidi
Tags๐ wiki
Ni vigumu kutoa jibu kamili kwa nini hisia hii i ii inatokea kwa watu wengine, kwa sababu wataalamu bado wanalifanyia utafiti… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Kidali cha kuku 1 (chicken breast)
Kitunguu maji 1/2 (onion)
Kitunguu swaum/tangawizi (garlic and ginger paste) 1 kijiko cha chai
Limao ( lemon)1/4 kijiko cha chai
Curry powder 1/4 kijiko cha chai
Pilipili ya unga kidogo (Chilli powder)
Coriander powder 1/4 kijiko cha chai
Soy sauce 1kijiko cha chai
Mafuta 2 vijiko vya chai.
Chumvi kiasi (salt)
Vijiti vya mishkaki.. soma zaidi
Tags๐ afya ana azimio binadamu. gani haki huru imetia inayohakikisha katika kila kimataifa kuhusu kukubali kulinda kutokunyanyaswa kuwa kwa la mapatano mashirika mataifa mdhamana mfano mikataba mtu na saini serikali sheria tanzania ukeketaji? umoja wa wameweka ya za zimetungwa zote wiki
Serikali zote na mashirika ya kimataifa wameweka mdhamana
na kukubali kulinda haki za binadamu. Tanzania imetia saini ya
mapatano na mikataba ya kimataifa inayohakikisha kuwa kila
mtu ana haki kwa afya na haki ya kuwa huru kutokunyanyaswa
kwa mfano katika Azimio la Umoja wa Mataifa kuhusu Haki za
Binadamu.
Maazimio mengine yaliyoboreshwa ili kulinda haki za wanawake na
watoto,15 ni kama lile Azimio la Kuondoa Ubaguzi kwa Wanawake
na Azimio la Haki za Mtoto. Maazimio haya yanaeleza wazi kuwa
ukeketaji ni desturi mbaya na ni kinyume na haki za binadamu,
kinyume cha haki za mtoto na kinyume cha haki za afya kwa
wanawake. Na zaidi nchi nyingi za kiafrika wamepitisha sheria
kupiga marufuku ukeketaji.16 Hapa Tanzania, Bunge limepitisha
sheria maalumu ya Makosa ya Kujamiiana ya mwaka 1998 ambayo
inakataza ukeketaji kwa wasichana na wanawake vijana chini ya
miaka 18. Pia kuna sera17 ambayo inaelezea jamii kuondoa mila na
desturi kama vile ukeketaji kwa kuwa zina madhara kwa vijana.
Hivyo kama wewe ni msichana chini ya miaka 18 ni kosa la jinai
kufanyiwa tohara na pia ni kosa kwa mangariba kujishughulisha
na ukeketaji wa wanawake… soma zaidi
Tags๐ wiki
Ndoa ni makubaliano kati ya watu wawili wenye jinsia mbili tofauti kuishi pamoja kama mume na mke… soma zaidi
Tags๐ uchumi
HUWEZI KUFANIKIWA KIBIASHARA KAMA UNAPENDA KUJIHURUMIA HURUMIA!
๐ฅMama mmoja Mzungu alitembelea mlima Kilimanjaro miaka iliyopita. Alikuwa amepanga kupanda mlima Kilimanjaro mpaka kileleni, yaani Kibo na Mawenzi, ili hatimaye apewe cheti cha kupanda mlima mrefu Afrika… soma zaidi
Tags๐ uchumi
Jifunze kanuni za fedha
kama ilivyoainishwa hapo chini.
Fedha inatakiwa uwe na nidhamu nayo katika kutumia
Hii kanuni inatumika kwenye vyanzo vyako vyote vya fedha ili uwe na mafanikio yenye amani.. soma zaidi
Tags๐ uchumi
Jifunze kujikagua, jifunze kujiuliza je hapa ndipo napotakiwa kuwa? Usifurahie tu kwamba upo hapo kwa muda mrefu yamkini unaona panakufaa and you are settled lakini ukweli ni kwamba sio pako na haukutengenezwa kuwa hapo. Hata kama tai ataonekana kwenye banda la kuku lakini ukweli ni kwamba tai kaumbiwa kuwa angani tofauti na kuku aishie bandani. Jiulize hapo ulipo ni pako??.. soma zaidi
Tags๐ chapati chapati_mayai familia kupika mapishi mayai vitafunwa wiki
Kuandaa Pancakes au chapati za mayai ni kama ifuatavyo;.. soma zaidi
Tags๐ uchumi
Kwa mujibu wa Biologia, baada ya tendo la kukutana kimwili takribani mbegu milioni 200 hadi 300 hutolewa na mwanaume…halafu zote huanza kupiga mbizi kuogelea kwenye njia safarini kukutana na yai la kike… soma zaidi
Tags๐ uchumi
Ndoto ni nini?
Ndoto ambayo tunakwenda kuizungumzia sio ndoto unayoota ukiwa umelala ni ndoto ya mchana.
Ni kile kitu unachotamani kuja kukipata siku moja kabla hujaondoka duniani Ndoto inaweza kua katika makundi ya aina mbalimbali, unaweza kua na ndoto ya kuwa Rais, Mwimbaji bora, Mchezaji bora, Mwandishi Bora, Mfanyabiashara maarufu.
Vile vile unaweza kuwa na ndoto ya kumiliki vitu, nyumba nzuri ya kifahari sana labda ya milioni 300, Gari la kifahari sana, Unaweza kuwa na ndoto ya kumiliki utajiri au kuwa Bilionea,Kutembelea nchi fulani na kadhalika… soma zaidi
Tags๐ uchumi
"Nilibakwa nikiwa na miaka 9 lakini leo mimi ni mmoja wa wanawake wenye ushawishi mkubwa duniani"- *OPRAH WINFREY!*.. soma zaidi
Tags๐ kilimonaufugaji
Unapohitaji unahitaji kufuga nyuki ni lazima uwe na uelewa wa mzunguko wa maisha ya nyuki. Unapoanza ni lazima uulize mtaalamu wa nyuki, wafugaji wenzako ambao wana uzoefu wa kutosha, au kujiunga katika kikundi cha ufugaji ili apate ufahamu zaidi juu ya ufugaji wa nyuki… soma zaidi
Tags๐ wiki
Dawa za kulevya zenyewe hazisababishi UKIMWI na magonjwa ya zinaa. Lakini utumiaji wa dawa za kulevya hurahisisha kupata na kuenea kwa magonjwa haya. Dawa hizi hudhoofisha mwili na kinga ya mwili. Hivyo basi hurahisisha virusi vya magonjwa kuingia mwilini mwa mtumiaji kiurahisi… soma zaidi
Tags๐ mahusiano
NAPENDA Nikutie MOYO,Ukiwa DUNIANI USIHUZUNIKE na usiwe MNYONGE hata kama una MATATIZO kiasi gani,Mungu yuko pamoja nawe,
Na unatakiwa kuzingatia haya yafuatayo:.. soma zaidi
Tags๐ jinsi kike kondomu kutumia ya wiki
Kondomu ya kike inafahamika kwa jina la โcareโ na โLady Petetaโ. Hapa Tanzania hazipatikani sehemu zote na bei yake ni kubwa kidogo.
Kondomu ya kike huingizwa ukeni kabla ya kujamiiana. Kama unatumia kondomu ya kike, chana kwa uangalifu pembezoni mwa pakiti. Kondomu ina pete mbili za plastiki na uwazi upande wa juu. Pete moja imelegea ni ndogo na iko kwa ndani, upande usio na uwazi. Pete ya pili ni kubwa zaidi, imeshikiliwa na iko upande wa tundu. Shikilia kondomu upande uliozibwa na minya pete ya ndani kwa dole gumba na kidole cha pili na cha kati. Mara nyingine inaweza ikakuponyoka, (kuteleza) lakini endelea kujaribu hadi umeiminya vizuri. Tafuta mkao mzuri na ingiza kondomu ya kike. Huku bado unaminya kwa vidole vyako iongoze kondomu ndani ya uke wako. Ukiiachia pete ya ndani itashikilia kondomu ndani ya uke. Sasa ingiza kidole chako kwenye kondomu, sukuma pete mpaka inapogota kwenye mlango wa uzazi.
Kondomu ya kike inaweza kuvaliwa saa kadhaa kabla ya kufanya ngono na pia inaweza kuvuliwa baada ya muda wa kufanyika ngono kupita. Ili kuhakikisha kuwa uume umeingia sehemu husika, msaidie mwenzi wako kuongoza uume kuingia kwenye uke ili usipenye pembeni.
Baada ya kujamiiana, vua kondomu kwa uangalifu. Tupa kondomu iliyotumika kwenye choo cha shimo au uichome. Usitupe kondomu iliyotumika ovyo.
Kama ilivyo kwa kondomu ya kiume, kondomu ya kike itatumika kwa mafanikio zaidi pale ambapo wahusikia wanakuwa na makubaliano na maelewano juu ya matumizi yake… soma zaidi
Tags๐ akiacha ataweza au baada hizo je kupata kutumia kuzitumia kwa mimba mrefu muda mwamamke njia sindano tena? vidonge ya wiki
Vidonge na sindano zinazuia mimba kwa kuzuia yai lisipevuke. Akitumia njia hizi za kuzuia mimba, mwanamke anaona hedhi yake kama kawaida, lakini hakuna yai linalokuwa limepevuka kwa ajili ya kurutubishwa.
Mara mwanamke akiacha kutumia vidonge, mayai hupevuka tena ndani ya kokwa na mwanamke huweza kupata mimba. Mwanamke aliyetumia sindano, anaweza akachukua muda kiasi kurudia hali yake ya uzazi. Kwa wanawake wengine inachukua miezi 12.
Muhimu ni kukumbuka kwamba sindano na vidonge siyo njia za kudumu za kuzuia mimba, hata kama itachukua muda fulani kurudia hali ya kawaida ya uzazi.. soma zaidi
Tags๐ habari
WAKATI akiondoka Dar es Salaam kuelekea nchini Liberia kuhudhuria Mkutano wa 16 wa Wakuu wa nchi Huru za Kiafrika (OAU) uliopangwa kufanyika Julai 17, 1979, Rais wa Awamu ya kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alifahamu fika, kwamba pasingekuwa na vigelegele kwake mjini Monrovia kwa kushinda vita dhidi ya nduli Idi Amin wa Uganda, aliyevamia nchi yake Oktoba 30, 1978, na yeye Mwalimu akalazimika kuingia vitani bila kupenda… soma zaidi
Tags๐ uchumi
UKIWA NA HIZI TABIA 9, JIANDAE KUFA MASKINI…………
By Kashindi Edson.. soma zaidi
Tags๐ sayansinatekinolojia
Sababu zifuatazo zinaweza kuwa na ukweli
mtupu;.. soma zaidi
Tags๐ afya mapishinalishe
Tatizo la kukosa choo (constipation) ni tatizo ambalo limekuwa likiwakumba watu wengi sana katika dunia, watu wamekuwa wakiteseka bila kujua nini chanzo cha tatizo hili na vipi kuliondoa tatizo hili na wengine wamekuwa wakilipuuzia bila kujua madhara ambayo wanaweza kuyapata kutokana na tatizo hili… soma zaidi
Tags๐ asema bungeni fedha hospitali magufuli muhimbili sherehe ya za zaelekezwa habari
Rais Magufuli ametoa agizo hilo baada ya kupokea taarifa kuwa wadau mbalimbali wamechanga kiasi cha shilingi milioni 225 kwa ajili ya kugharamia hafla ya wabunge katika siku ya uzinduzi wa Bunge… soma zaidi
Tags๐ mahusiano
Umempata bwana
Umempenda kweli
Umemlalamikia kwanini hakupeleki kwa wazazi
Bwana akakupeleka kwa wazazi wake kukutambulisha
Siku ya kwanza umeshinda unachat…. soma zaidi
Tags๐ uchumi
1. Tafuta fursa kila kona.
2. Tumia kipaji chako.
3. Kuwa na nidhamu katika fedha - matumizi mazuri ya pesa, nidhamu kwa watu wanaokuzunguka, usijikweze, usibague jamii, heshimu wote waliokaribu yako nk.
4. Kuwa na nidhamu katika afya yako: Afya ndio mtaji sahihi katika biashara yoyote - kuwa na mazoea ya kuangalia afya yako mara kwa mara nk… soma zaidi
Tags๐ akili ambalo damu hilo hisia hivyo huathiri huathirika huingia ina ini kama katika kazi kiasi kilevi kuathiri kufyonza kupita kuzunguka kwa kwenye linafanya madhara mfano mwili mzima na ndilo pamoja pombe tabia tagi: ubongo ukinywa unaweza unywaji utaathiri vingi viungo vya wa wako wako. ya zaidi zaidi. zako. wiki
Pombe huingia kwenye damu na kuzunguka mwili mzima pamoja
na kwenye ubongo wako. Ina madhara kwa viungo vya mwili
wako na ubongo wako na hivyo huathiri tabia na hisia zako… soma zaidi
Tags๐ (2) (2). (broiler) *eneo 100 dogo. eneo huu jinsi katika kufugakuku kuku kwa la linalohitajika maana mbili mbili(2) mita moja(1). na ni nyama tagi: tija ufugaji upana urefu wa wenye ya wiki
UFUGAJI WA KUKU WA NYAMA (BROILER) 100 KATIKA ENEO LA MITA MBILI (2)… soma zaidi
Tags๐ mahusiano
Hakuna mtu aliye mkamilifu kwa asilimia 100. (mfano).. soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Wafer Powder/gram wafer (unga wa biskuti uliosagwa wa tayari) - vikombe 2.. soma zaidi
Tags๐ wiki
Wanawake wengi huwa katika wakati mgumu kufahamu ni line wanaweza kurudi kwenye maisha ya kuendelea na tendo la ndoa (sex) na waume zao baada ya kujifungua.
Pamoja na kuwa na imani potofu zinazozuia mwanamke kujihusisha na sex baada ya kuzaa mtoto bado hakuna uthibitisho wa kitaalamu (scientific research) kuelezea ni muda gani muafaka wa kuanza sex baada ya kujifungua au hatari za kuendelea na tendo la ndoa baada ya kujifungua.
Mke anao uhuru wa kuamua ni wakati gani anajiona yupo huru kuanza tena kushiriki katitka sex na mume wake… soma zaidi
Tags๐ wiki
Ndiyo, mwanamke anaweza kufikia mshindo wakati wa kujamiiana. Dalili ya mwanamke kufikia mshindo katika kujamiiana ni ile hali ya pekee ya kujisikia vizuri kimwili. Tofauti na mwanaume, anapofikia mshindo mwanamke hakojoi kitu chochote… soma zaidi
Tags๐ hapana haziwezi ili je kiume kondomu kondomu. kondomu? kufikia kujamiiana. kupita kuzuia kwenye mbegu ukeni wa wakati za zimetengenezwa zinaweza wiki
Hapana, mbegu za kiume haziwezi kupita kwenye kondomu. Kondomu zimetengenezwa ili kuzuia mbegu za kiume kufikia ukeni wakati wa kujamiiana. Kwa sababu shahawa haziwezi kupita kwenye kondomu, kondomu ni njia nzuri ya kuzuia mimba pamoja na maambukizi ya magonjwa ya zinaa pamoja na maambukizi ya virusi vya UKIMWI… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Dagaa wabichi (Fresh anchovies packet 1)
Unga wa ugali (corn meal flour 1/4 kilo) (unaweza kutumia unga wa choice uipendayo)
Matembele ya kukaushwa (dried sweet potato leaves, handful)
Nyanya ya kopo (tin tomato 1)
Kitunguu maji (onion 2)
Limao (lemon 1/4)
Pilipili mbuzi nzima bila kukata (scotch bonnet pepper1, do not chop)
Chumvi (salt 1/2 ya kijiko cha chai)
Mafuta (vegetable oil)
Hoho (green pepper 1)
Kitunguu swaum (garlic 5 cloves)
Tangawizi (ginger 1 kijiko cha chai)
Binzari ya curry (Curry powder 1/2 kijiko cha chai).. soma zaidi
Tags๐ ambayo chakula damu damu? haiongezi huvuruga inasaidia je kama kiasi kinga kuimarisha kuingia kujikinga kupita kutoka kwa kwamba kweli. kwenye madini magonjwa maradhi muhimu mwili mwilini. na nguvu. ni pamoja pombe si tagi: ufyonzaji ukimwi. ukinywa ukweli unaongeza unywaji vitamini wa wala ya wiki
Si kweli.
Pombe haiongezi damu, vitamini wala nguvu. Ukweli ni kwamba unywaji pombe kupita kiasi huvuruga ufyonzaji wa vitamini na madini kutoka kwenye chakula kuingia mwilini… soma zaidi
Tags๐ wiki
Athari za muda mrefu za pombe hutapakaa baina ya uwezekano wa faida za kiafya kwa watumiaji wa viwango vya chini vya pombe hadi madhara makubwa katika hali ya matumizi mabaya ya pombe kwa muda mrefu. Viwango vya juu vya matumizi ya pombe huhusiana na ongezeko la hatari ya kuendeleza ulevi, ugonjwa wa moyo, kutofyonza vyakula, ugonjwa sugu wa kongosho , ugonjwa wa ini kutokana na pombe, na kansa. Uharibifu kwa mfumo mkuu wa neva na mfumo wa neva za pembeni unaweza kusababishwa matumizi kila mara ya pombe. Matumizi ya pombe kupita kiasi kwa muda mrefu yanaweza kuharibu takribani kila kiungo na mfumo katika mwili. Ubongo unaokua wa kijana aliyebaleghe huwa hasa katika hatari kubwa ya kudhurika na sumu ya pombe… soma zaidi
Tags๐ mahusiano
Siku moja jioni katika mji flani, kulikuwa na basi likisafiri kutoka mji huo kuelekea mji mwingine. Lilikuwa ni basi kubwa na limejaa abiria. Wakati wakiendelea na safari, ghafla, mvua kubwa iliyoambatana na radi ikaanza kunyesha. Dereva hakuogopa, wala abiria, wakaendelea na safari. Mara wakati wanaenda, radi ikaanza kufuatilia gari. Kila wakienda, radi inapiga karibu na basi kana kwamba inalifuata basi. Likisimama, radi inapiga pembezoni mwa basi… soma zaidi
Tags๐ uchumi
EMBU SOMA HII KWA MAKINI SJUI NI KWELI? USIMAINDI LAKINI MAANA ITAKUGUSA TUU. MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI
โ๐ฝUkichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa… soma zaidi
Tags๐ kupika mapishi uji uji-wa-ulezi uji_wa_ulezi ulezi wagonjwa watoto wiki
Uji wa ulezi ni kati ya vyakula vyenye nguvu na vinavyopendekezwa kutumiwa hasa kwa wagonjwa na watoto. Uji wa ulezi unapikwa hivi.. soma zaidi
Tags๐ habari
KUTOKA JESHI LA POLICE:
USALAMA WA MAISHA YAKO.
- Usinunue simu za Android kwa mtu usiyemjua. Hiyo ni hatari kwani hujui huyo jamaa kaitoa wapi, mwisho wa siku unapewa kesi ya wizi au mauaji. Inawezekana simu hiyo iliibiwa kwa mtu aliyeuawa… soma zaidi
Tags๐ (ukipenda) 1 1/2 1/4 3 cha chai hiliki jinsi karafuu karoti kata katika kijicho kijiko kikombe kikubwa kupika mafuta magi maji manga mchele mdalasini na nyama pilipli refu roweka tagi: unakata unga viambaupishi: vikubwa vitunguu wa wali ya zaafarani mapishinalishe
Mchele 3 Magi.. soma zaidi
Tags๐ wiki
Hapana, Virusi vya UKIMWI na UKIMWI hauambukizwi kwa kuvaliana nguo na mgonjwa, kwa sababu vijidudu vya UKIMWI vinakufa baada ya muda mfupi vikiwa hewani. Hata hivyo, kufuatana na kanuni za usafi, ni vizuri zaidi kuvaa nguo zilizofuliwa na kupigwa pasi… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Unga ngano vikombc 3
Unga mbegu za mchicha kikombe 1
Baking powder vijiko vidogo
Maziwa kikombe 1
Sukari kikombe 1
Blue band kikombe ยฝ
Mayai 10-12.. soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Viazi utamu 3
Nyanya 2 kubwa
Kitunguu
Tango
Limao
Chumvi
Pilipili
Mafuta (vegetable oil).. soma zaidi
Tags๐ uchumi
Nilikuwa naangalia mpira wa miguu katika uwanja wa
shule.
Nilipokaa, Nilimuuliza kijana mmoja juu ya Matokeo ya mchezo… soma zaidi
Tags๐ (bulbs). 13ยฐc 20ยฐc 20ยฐc-25ยฐc 24ยฐc 25ยฐc. afrika. awali bahari bara cha dunia hali hapo hewa hili hufanya huhitaji hulimwa hustawi ili inayofaa joto jotoridi kaskazini katika kawaida kiasi kilikuwa kitalu kitungu kudumaa kukua kukuzia kulima kuotesha kustawi kutengeneza kutoweza kuweza kwa kwenye la likwemo lililokuwa linapatikana magharibi mediterania. miche milima mwa na nchi ni nyingi nyuzi porini tagi: ukanda viazi vitunguu vitunguujinsi vizuri. wa ya za zaidi zao zilipo โ wiki
Hapo awali kitungu kilikuwa ni zao lililokuwa linapatikana porini katika ukanda wa bahari ya Mediterania. Zao hili hulimwa katika nchi nyingi za magharibi, nchi za milima zilipo kaskazini mwa dunia, likwemo bara la Afrika. Vitunguu hustawi katika hali ya hewa ya jotoridi 13ยฐC โ 24ยฐC, hali ya hewa inayofaa kwa kuotesha na kukuzia miche kwenye kitalu ni jotoridi 20ยฐC โ 25ยฐC. Kwa kawaida vitunguu huhitaji kiasi cha joto nyuzi 20ยฐC-25ยฐC ili kuweza kustawi na kukua vizuri. Joto zaidi ya hapo hufanya vitunguu kudumaa na kutoweza kutengeneza viazi (bulbs)… soma zaidi