ANGALIA-WAHENGA-KWA-VIDEO
By, Melkisedeck Shine.
Tags π maajabu wanyama. Category πvideos,: maajabu wanyama, Wanyama wenye akili ya kufundishwa, πAngalia video hapa
Tags π maajabu vichekesho. Category πvideos,: maajabu vichekesho, Hizi TV nyingine bwana za kiajabu, πAngalia video hapa
Tags π michezo vichekesho. Category πvideos,: michezo vichekesho, Hawa wataalamu wa kucheza mziki wa dansi, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huyu bodaboda ataua huyu mzee wa watu, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huyu jamaa ni kiboko, kwa haya matusi ni shida, πAngalia video hapa
Tags π faru wanyama. Category πvideos,: faru wanyama, Angalia huyu faru alichokifanyia hili gari, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho wanawake. Category πvideos,: vichekesho wanawake, Angalia huyu dada wa watu kitu alichofanyiwa, πAngalia video hapa
Tags π ajali gari. Category πvideos,: ajali gari, Angalia kilichotokea wakati wanapigana, na ugomvi ukaisha, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huyu Bibi anakumbukia ujana, cheki anachofanya sasa, πAngalia video hapa
Tags π ajali gari maajabu. Category πvideos,: ajali gari maajabu, Angalia haya magari yalivyozama kwenye maji, hii ni mission fail nyingine, πAngalia video hapa
Tags π chui vichekesho wanyama. Category πvideos,: chui vichekesho wanyama, Kilichotokea baada ya chui wa maonyesho kuvunja banda, πAngalia video hapa
Tags π ajali gari michezo. Category πvideos,: ajali gari michezo, Michezo hatari ya magari, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Pale n'gombe anapoamua kukuhag ndio hiki hutokea, πAngalia video hapa
Tags π maajabu vichekesho. Category πvideos,: maajabu vichekesho, Angalia huyu jamaa anachofanya, usijaribu utaumbuka, πAngalia video hapa
Tags π accident english funny. Category πvideos,: accident english funny, Watch what happens to this man, πAngalia video hapa
Tags π ajali gari. Category πvideos,: ajali gari, Ajali ya gari ya ajabu, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Ndio maana unatakiwa uvae dera, kwa mwili huu?, πAngalia video hapa
Tags π mahusiano mapenzi vichekesho. Category πvideos,: mahusiano mapenzi vichekesho, Ukisikia bwege wa mapenzi ndio huyu, cheki anavyoropoka tuu, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Angalia hii familia ya mazombi wanapiga misele town, πAngalia video hapa
Tags π michezo vichekesho. Category πvideos,: michezo vichekesho, Hapa ndio pale mziki unaponoga, cheki wanavyocheza, πAngalia video hapa
.
.
Endelea kuperuzi;-π
π¬ ANGALIA-WAHENGA-KWA-VIDEOSβ
π¬ ANGALIA-VIDEO-KWA-WAHENGAβ
π¬ ANGALIA-VIDEOS-KWA-WAHENGAβ
π¬ ANGALIA-VIDEOS-MHENGAβ
π¬ ANGALIA-VIDEO-MHENGAβ
π¬ ANGALIA-MHENGA-VIDEOSβ
π¬ ANGALIA-WAHENGA-VIDEOβ
π¬ ANGALIA-WAHENGA-VIDEOSβ
π¬ ANGALIA-VIDEO-WAHENGAβ
π¬ ANGALIA-VIDEOS-WAHENGAβ
π¬ VIDEOS-NA-MHENGAβ
π¬ VIDEO-NA-MHENGAβ
π¬ MHENGA-NA-VIDEOSβ
π¬ WAHENGA-NA-VIDEOSβ
π¬ VIDEO-NA-WAHENGAβ
π¬ VIDEOS-NA-WAHENGAβ
π¬ VIDEOS-KWA-MHENGAβ
π¬ VIDEO-KWA-MHENGAβ
π¬ MHENGA-KWA-VIDEOSβ
π¬ WAHENGA-KWA-VIDEOβ
Tagsπ 1majani 2014 26th afrika ajili hasa hata hivyo huduma huku ili jinsi june katika kiangazi. kipato kubwa kukosekana kulima kuongeza kutosha kwa lishe maarufu malisho mashariki. matete maziwa mifugo moja muhimu mzuri. na napier ngΓ³mbe ni rudi sahihi tagi: tatizo ufugaji uzalishaji wa wafugaji wakati wakikosesha wakilipuuzia wamekuwa wengi ya zao zinazohitajika Β« wiki
Majani ya matete ni moja ya zao maarufu kwa lishe ya mifugo Afrika mashariki. Hata hivyo, wafugaji wengi wamekuwa wakilipuuzia huku wakikosesha huduma muhimu zinazohitajika kwa ajili ya uzalishaji mzuri. Moja ya tatizo kubwa katika uzalishaji wa maziwa ni kukosekana kwa malisho sahihi na ya kutosha kwa ajili ya mifugo ili kuongeza uzalishaji wa maziwa na kipato, hasa wakati wa kiangazi.
Pamoja na wafugaji wengi kuwa na ardhi ya kutosha ambayo wanaweza kuzalishia malisho mazuri na yakutosha bado utunzaji wa malisho hayo ni hafifu na ni vigumu kuendeleza mifugo yao. Utunzaji mzuri wa malisho humhakikishia mfugaji kuwa na lishe ya kutosha kwa ajili ya mifugo yake katika kipindi chote cha mwaka.
Moja ya zao la lishe ni majani ya matete. Majani ya matete hutoa mavuno mengi ukilinganisha na aina nyingine zote za lishe ya mifugo. Wafugaji hawapati faida ya zao hili kutokana na kutokupenda kufanya matunzo kwa njia sahihi… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
Mwanaume mmoja alimuoa mwanamke mrembo. Alikuwa akimpenda sana. Siku moja mwanamke alipatwa na maradhi ya ngozi. Kidogokidogo alianza kupoteza urembo wake.
.
.
… soma zaidi
Tagsπ biashara elimu fursa masoko mbinu ujasiriamali wiki
Ujasiriamali ni uwezo wa kubaini na utayari wa kuanzisha shughuli ya kiuchumi bila kujali hatari za kibiashara zinazoweza kujitokeza… soma zaidi
Tagsπ kuzuia_magonjwa_kuku kilimonaufugaji
Hakikisha unamuona mtaalamu wa mifugo mara uonapo dalili zozote za kuumwa kwa mifugo wako… soma zaidi
Tagsπ wiki
Hakuna jibu la ujumla kwa swali hili, kwa sababu tiba ya ugumba inategemea chanzo maalum cha ugumba huo kwa mhusika. Kuna matatizo ya ugumba ambayo yanaweza kutibiwa, lakini mara nyingi ni vigumu au hata haiwezekani kumtibu mwanaume au mwanamke mgumba.
Kwanza kabisa, lazima daktari atafute sababu za ugumba kwa kufanya uchunguzi wa kitaalamu kwa mwanamke na mwanaume. Baada ya uchunguzi daktari anaweza akawashauri kuhusu uwezekano wa kuwatibu. Mara nyingine tiba ni rahisi, lakini matatizo mengine ni mazito na ni vigumu au haiwezekani kuyatibu… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
Wosia mzuri kwako:
1.USIMWAMINI MTU YEYOTE
2.ANAYESEMA ANAKUPENDA SANA MCHUNGUZE
KWA MAKINI.
3.ANAYEKULETEA HABARI ETI FULANI KASEMA
HIVI, FIKIRIA YEYE ALISEMA NINI… soma zaidi
Tagsπ kilimonaufugaji
Kutifua udongo ni jambo la muhimu sana ili kuufanya udongo kuwa bora… soma zaidi
Tagsπ ambao au bustani chui hali hapana. hujulikana inayoweza india je katika kundi kutokea kwa kwenye la mahakama mamalia. mbuga mfalme na ndiyo ni pori. sana sasa simba tembo tu twiga ualbino ualbino? wa walithaminiwa wameathirika wanadamu wanafurahiwa wanyama weupe ya za wiki
Hapana. Ualbino ni hali
inayoweza kutokea kwa
wanadamu na wanyama wa
kundi la mamalia. Tembo
weupe wa India hujulikana
sana na walithaminiwa
sana katika mahakama ya
Mfalme au chui, twiga na
simba weupe ambao sasa
wanafurahiwa sana kwenye
bustani za wanyama na
mbuga za wanyama pori… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Mchele basmati - 3 magi (kikombe kikubwa).. soma zaidi
Tagsπ tibu-shinikizo-chini mapishinalishe
Kahawa husaidia kuongeza presha au shinikizo la damu. Unashauriwa Kunywa kikombe kimoja cha kahawa kunaweza pia kusaidia kupandisha shinikizo lako la damu kwa muda… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
1. Fanya mazoezi ya viungo kwa saa moja kila siku
2. Kunywa maji mengi kila siku
3. Ondoa mfadhaiko (stress)
4. Weka homoni sawa kama hazipo sawa
5. Kuwa msafi wa mwili wote kila mara
6. Usiziguse chunusi au kuzitoboa na mikono yako au na chochote kuepuka makovu yasiyo ya lazima
7. Epuka vyakula vifuatavyo kama unasumbuliwa na chunusi kila mara, navyo ni pamoja na:.. soma zaidi
Tagsπ uchumi
1. Uelekeo ni muhimu kuliko kasi. Ni heri kwenda taratibu katika Uelekeo sahihi, kuliko kwenda kwa kasi katika Uelekeo usio sahihi… soma zaidi
Tagsπ hadithi
Mimi ni mwanamke mjane ninaishi mjini Arusha. Huu ni ushuhuda wangu wa maisha yangu… soma zaidi
Tagsπ sayansinatekinolojia
Daktari justice Authur, ambae ni daktari kule africa kusini ameniomba kuwagawia hii na nyie pia. Amesema ni muhimu sana… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
Moyo umebeba hisia nying sana za mwanadamu
usipende kukwaza moyo Wa Mwenzako… soma zaidi
Tagsπ wiki
Lengo kuu la kujamiiana ni kutafuta watoto. Lakini si sababu pekee. Sababu hizo ni pamoja na;.. soma zaidi
Tagsπ wiki
Watu Wengi Ambao Wako Kwenye Uhusiano Wanalalamika Kuwa Wenzi Wao Hawawaoneshi Upendo Kama Ilivyokuwa Siku Za Mwanzo Za Uhusiano Wao. Wanaeleza Kuwa Wanaona Uhusiano Wao Unalegalega Na Mapenzi Yanapungua Taratibu Kama Barafu Iyeyukavyo Juani… soma zaidi
Tagsπ afya alizeti asali. binadamu bora bora. cha chakula chanzo gharama haitoi inakupa inatoa inayotumiwa kama kupunguza kutengeneza kutumia kuwa kwa lakini mafuta mailisho malighafi malisho mifugo mifugojinsi na nyuki peke pekee pia si tagi: tu uhakika unapotengeneza wa wafugaji wanaopanda wanapata ya yako wiki
Alizeti haitoi mailisho pekee, pia inatoa mafuta bora kwa afya ya binadamu na pia malighafi inayotumiwa na nyuki kutengeneza asali… soma zaidi
Tagsπ mapishi vitafunwa vitumbua wiki
Vitumbua ni vitafunwa vizuri na vinavyopendwa na wengi lakini ni wengi wasiojua kupika vitumbua japokua wanavipenda sana. Leo nimekuandalia namna rahisi ya kupika vitumbua kama ifuatavyo;.. soma zaidi
Tagsπ 151116004546_hungary_team_304x171_bbc_nocredit.jpg 1986. 2-1. 2016 baada euro fainali hatua hii hivyo hungary imefuzu katika kucheza kuifunga kutinga kwanza kwao makubwa mara mashindano mataifa mchezo mchujo mwaka na ni norway tagi: taifa timu toka ulaya wa waingia walivyofanya ya za habari
.. soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Pika mboga mpya za majani au zilizogandishwa kwa barafu katika wimbi mikro kwa mlo wa haraka na rahisi kuongeza kwa mlo wowote. Pika maharagwe ya kijani, karoti, au brokoli kwa mvuke katika bakuli na kiwango kidogo cha maji katika wimbi mikro kwa mlo wa haraka… soma zaidi
Tagsπ uchumi
Watu wengi tunapenda sana Pesa lakini hatuko tayari kuzifanyia Pesa kazi nikiwa na maana kutumia njia sahihi kuzipata na tunapozipata hatuna Akili ya kuweza kuwa nazo muda mrefu zisiondoke.
Kama tujuavyo katika maisha yetu haya Pesa ndio kila kitu,tunahitaji Pesa ili tuweze kufanya mambo mengi mazuri na makubwa.Kitu kinachotukwamisha hatujui tufanye nini ili tuweze kuzipata hizi Pesa na tunapozipata tunakosea tena cha kuzifanyia ili zisipotee tena au zisiishe… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Viazi (potato) 1 kilo
Nyama ya ng'ombe 1/2 kilo
Nyanya ya kopo iliyosagwa 1/2 tin
Vitunguu maji 2
Tangawizi/ swaum 1 kijiko cha chai
Hoho 1
Curry powder 1 kijiko cha chai
Pilipili ya unga 1/2 kijiko cha chai
Limao 1/2
Chumvi
Coriander
Mafuta ya kupikia.. soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Mchele wa Basmati /Pishori - 4 vikombe.. soma zaidi
Tagsπ mahusiano
1. Hakikisha unakuwa msafi kwa kila kitu hasa unapo kuwa naye.
2. hakikisha unampa uhuru wa kutosha mnapo kuwa mnafanya mapenzi namaanisha awe na maamzi juu ya mwili wake usimrazimishe kama hayuko tiari, umuandae kabula ya kutumbukiza dushelele yako, uhakikishe anafika kileleni kila unapofanya naye mapenzi.. soma zaidi
Tagsπ wiki
(1) Maumivu ya misuli.
(2) Kupata shida ya upumuaji.
(3) Maumivu ya kichwa.
(4) Maumivu ya macho au kulegea kwa macho.
(5) Kupiga chafya ovyo ovyo… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
Kamwe usianze mahusiano yako kwa kusema
uongo… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
KUOLEWA NI NDOTO KUU YA KILA MWANAMKE ALIYEKAMILIKA ILA KAMA UNA TABIA HIZI UTAZEEKEA NYUMBANI.. soma zaidi
Tagsπ kilimonaufugaji
Ili Kabiliana na wadudu shambani unatakiwa kuzingatia mambo yafuatayo;.. soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Mchele - 3 vikombe.. soma zaidi
Tagsπ afya mapishinalishe
Kuacha Matumizi ya pombe wakati wa ujauzito ni moja ya njia ya kuzuia kupata matatizo ya kuzaliwa nayo na udhaifu kwa mtoto. Pia kuna matatizo kadhaa yanaweza kutokea kwa kichaga kutokana na matumizi ya pombe wakati wa ujauzito… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Mboga za majani makavu ΒΌ kg
Mafuta vijiko vikubwa 3-4
Karanga zilizosagwa kikombe Β½
Maziwa au tui la nazi kikombe 1
Kitunguu 1
Nyanya 2
Chumvi (kama kuna ulazima)
Maji baridi.. soma zaidi
Tagsπ uchumi
Ebu fikiria Dada anayechoma mahindi maeneo ya Manzese Darajani kuanzia saa 12 jioni mpaka SAA 2 usiku, kwa siku moja anauwezo wa kuchoma mahindi .50. Kila hindi moja ananunua shambani kwa shilingi 100/- Na Anauza kwa sh.600/-.. soma zaidi
Tagsπ mahusiano
Umempata bwana
Umempenda kweli
Umemlalamikia kwanini hakupeleki kwa wazazi
Bwana akakupeleka kwa wazazi wake kukutambulisha
Siku ya kwanza umeshinda unachat…. soma zaidi
Tagsπ uchumi
Kazi au shughuli unayoifanya ina thamani gani kwa wengine?unawasaidia au unawaumiza??
Biashara unayoifanya ina thamani gani kwa wengine?ni lazima uwaumize ndipo ufaidike au uwasaidie ili nawe upate faida?.. soma zaidi
Tagsπ habari
JE, UNATUMIA JIKO LA GESI KUPIKIA SOMA HII MUHIMU… soma zaidi
Tagsπ amekubali amesema england hodgson hogson huo huruma ipasavyo itakayochezwa juma jumanne kati katika kocha kuchuana kwa licha lijalo maafa mechi mkunjufu moyo na ndani nje roy tagi: tutajianda ufaransa ugaidi uingereza uwanja wa wembley. ya yaliyosababishwa habari
Kocha wa Uingereza Roy Hodgson amekubali kwa moyo mkunjufu na wa huruma mechi kati ya England na Ufaransa itakayochezwa juma lijalo katika uwanja wa Wembley.
Hogson amesema licha ya maafa yaliyosababishwa na ugaidi, tutajianda ipasavyo ndani na nje ya uwanja huo wa Wembley.
''Huu ni wakati wetu kuonesha dunia kuwa kandanda kwa hakika inaweza kuunganisha ulimwengu.'' alisema Hogson.
''Ninaamini kuwa wachezaji wetu watajiandaa ipasavyo kuwaonesha wageni wetu kuwa Uingereza inaungana na Wafaransa wakati huu wa majonzi.
Mechi hiyo ya kirafiki itaendelea kama ilivyopangwa siku ya jumanne jioni licha ya msururu wa mashambulio ambayo yamewaua takriban watu 129.
Washambuliaji 3 wa kujitolea muhanga walifariki katika milipuko nje ya uwanja wa Stade de France huku wachezaji wa Ufaransa wakicheza dhidi ya Ujerumani siku ya ijumaa… soma zaidi
Tagsπ ambayo anaingia baadhi chunusi gani haswa hayo i kama kimwili kuanza kukua; kuna kuongezeka kuota kupanuka kuwa kwa kwenye mabadiliko mafuta makuzi matiti mengi miili msichana mwili na ngozi ni nyonga pia taanza tagi: unaweza urefu usoni; utu uzima. wa wakati wasichana? ya yafuatayo: yako yanatokea wiki
- Kuongezeka urefu na kupanuka mwili haswa nyonga na matiti kuanza kukua;
- Ngozi yako i taanza kuwa na mafuta mengi, unaweza pia kuota chunusi usoni;
- Kuota nywele sehemu za siri (mavuzi) na makwapani; na
- Kupata damu ya hedhi (kuvunja ungo)… soma zaidi
Tagsπ ambavyo bidhaa cha chumvichumvi hatari hii hiyo. hizo huangalia huo. huongezwa huzipima inamaanisha kama katika kienyeji kihalali. kilevi kiwanda kiwandani kiwango kuliko kutengenezea kutokuwepo kwa kwamba madhara malighafi mara mbolea mchanganyiko na ni nini nyingi pombe ubora umethibitishwa usafi utaratibu vile vitu viwandani? viwango wa wake wataalamu ya yanatokana za zinafuata zinazotengenezwa zinazotumika wiki
Pombe zinazotengenezwa kiwandani zinafuata viwango
ambavyo ubora wake umethibitishwa kihalali. Hii inamaanisha
kwamba wataalamu katika kiwanda, huzipima bidhaa hizo
mara kwa mara huangalia usafi wake, kiwango cha kilevi, na
mchanganyiko wa malighafi zinazotumika kutengenezea pombe
hiyo. Madhara ya pombe za kienyeji yanatokana na kutokuwepo
kwa utaratibu kama huo. Mara nyingi vitu kama vile mbolea za
chumvichumvi huongezwa ili kuichachusha haraka. Kwa bahati
mbaya, mara nyingi watu hupata madhara makubwa baada ya
kunywa pombe zilizotengenezwa kienyeji. Wengi hupata upofu
na hata wengine hufa… soma zaidi
Tagsπ kutibu-chunusi-kiasili mapishinalishe
Kitunguu swaumu hujulikana kama kitu cha kushangaza katika tiba huko mashariki ya mbali, Kitunguu swaumu ni maajabu ya Mungu mwenyewe… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
HERUFI A
Mwenye jina linaloanziana na herufi A ni mtu anayependa mambo makubwa, anajiamini na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake. Ni mtu mwenye tahadhari, mchangamfu na mpenda matukio. Anapenda Kuheshimiwa, anapenda Mamlaka, na ana kiburi, na hasira… soma zaidi
Tagsπ 2.2 100 130 2.2kg 220kg. 4.5 8. = alishwe anahitaji anayetaga cha chakula gramu hivyo hiyo huhitaji jinsi kg kiasi kilo kipindi kuku kulisha kutosha kuwapatia kwa lazima majani maji matunda. miezi mifugo mifugovidokezo miwili mmoja mtetea muda na ni pamoja resheni safi siku tagi: vya wa waachwe wakati wale wanapomaliza wape wastani wiki wote wote. x ya za β’ wiki
β’ Kuku mmoja anahitaji wastani wa kilo 2.2 za chakula kwa wiki 8. Hivyo, kuku 100 = 2.2Kg x 100 = 220Kg. Ni lazima kuku waachwe wale muda wote pamoja na kuwapatia maji safi na ya kutosha wakati wote. Wanapomaliza resheni ya chakula cha siku hiyo, wape majani na matunda… soma zaidi
Tagsπ wiki
Ndiyo, mwanaume ambaye ana uwezo wa kumwaga mbegu bila shida anaweza kuwa mgumba. Kutokuwa mgumba kuna maana kwamba uume wa mwanaume unaweza kusimama, kwamba mwanaume anaweza kumwaga shahawa na vilevile kwamba zile mbegu ni nzima na zina nguvu za kutosha za kurutubisha yai… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
*_Kwa wale wadada ππΏππΏ ambao msione mkaka kasimama madhabahuni anahubiri, mmeshampenda…_*
πππ
π³π³π³
*_Kwenye NDOA hakuna π πΏπ πΏ kuhubiriana, na kama kupo ni robo ya robo ya NDOA, badili MTAZAMO π€π€_*.. soma zaidi
Tagsπ albino anashauriwa basi daima dhidi hatima hivyo ikiwa ili jua jua. kila kofia kudhurika kujikinga kujipaka kukinga kulinda kuona kupata kuvaa kwa maalumu mafuta matatizo mikono mionzi mirefu miwani mkubwa na ngozi ngozi. nguo ni nini pamoja pana rahisi sana saratani uwezekano uwezo vijana wa wafanye wale wenye ya yake yanayosaidia yao? za wiki
Pamoja na matatizo ya kuona, ngozi ya Albino ni rahisi sana
kudhurika kwa mionzi ya jua. Hatima yake ikiwa ni uwezekano
mkubwa wa kupata saratani ya ngozi. Hivyo basi, kila Albino
anashauriwa daima kujikinga dhidi ya mionzi ya jua kwa kuvaa
nguo za mikono mirefu, kuvaa kofia pana, kuvaa miwani ya jua na
kwa wale wenye uwezo kujipaka mafuta maalumu yanayosaidia
kukinga ngozi dhidi ya mionzi ya jua… soma zaidi
Tagsπ wiki
Mapaja na nyonga ni sehemu ya mwili i i iliyo karibu na viungo vya uzazi vya mwanamke. Kwa sababu ya mvuto wa kijinsia kati ya mwanaume na mwanamke, ambao ni wa asili, mwanaume anapoona kilicho na uhusiano wa karibu na viungo vya uzazi au viungo vyenyewe hupata msisimko… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Vyakula hivyo ni;.. soma zaidi
Tagsπ kilimonaufugaji
Mbolea ya mboji hutokana na mabaki ya majani na miti. Majani na miti yanapooza hugeuka na kutengeneza virutubisho ambavyo husaidia kurutubisha udongo na kupunguza gharama… soma zaidi
Tagsπ ambao au cha ghafla. hasa hii huwatokea idadi iitwayo iliyo inaweza je kama katika kifo kipindi kirefu kubwa kufa kunywa kupata kusababisha kutokana kuvuta kwa lakini magonjwa moyo. na ndiyo. nikotini pale pombe. pombe? saratani. sigara sumu tagi: tu tumbaku. unaweza utakapozidisha. utavuta uvutaji wana watu wingi ya wiki
Ndiyo. Unaweza kufa kutokana na kuvuta sigara au kunywa
pombe. Lakini pale tu utakapozidisha. Kama utavuta idadi kubwa
ya sigara unaweza kupata kwa wingi sumu, iitwayo nikotini iliyo
katika tumbaku. Hii inaweza kusababisha kifo cha ghafla. Hii
huwatokea hasa watu ambao wana magonjwa ya moyo. Uvutaji
sigara kwa wingi na kwa kipindi kirefu unaweza kusababisha
kifo kutokana na saratani.
Pombe inaweza kukuua ghafla. Kama utakunywa kiasi kikubwa
cha pombe. Matokeo yake yanaweza yakawa ni kusimama kabisa
kwa shughuli za ubongo. Hii inamaanisha kuwa sehemu maalumu
katika ubongo ambazo zinaratibu uvutaji hewa na mapigo ya moyo
hazitaweza tena kufanya kazi na matokeo yake ni kifo.
Lakini pombe pia ni chanzo cha ajali nyingi za barabarani na
kazini. Kumbuka kwamba pombe ni chanzo cha vifo vingi kuliko
dawa zingine za kulevya… soma zaidi
Tagsπ afya mapishinalishe
Watu wengi hulitumia tunda la papai kwa sababu ya utamu wake. Hata hivyo mbali na kuwa na ladha nzuri, tunda la papai lina faida lukuki kwa afya ya mwanadamu… soma zaidi
Tagsπ wiki
Kambale (Ietalurus Punetaus), ni aiana ya samaki ambao wana majina mengi kulingana na eneo na jamii husika. Samaki hawa unaweza kusikia wakitajwa kwa majina mengine kama vile, kambale channel, koleo, samaki kidevu n.k… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Asthma /pumu ni ugonjwa sugu ambao huathiri njia ya hewa ambazo huingiza na kutoa hewa katika mapafu, pia hufanya kuta za ndani ya njia ya hewa kuvimba na hivyo hupunguza kiasi cha hewa kinachoingia na kutoka ktk mapafu, Hali hii husababisha mgonjwa kutoa mlio kama wa filimbi/mluzi wakati wa kupumua, kifua kubana, kushindwa kupumua vizuri na kukohoa sana, watu wa pumu huwa na dalil hizo nyakat za usiku na asubuhi sana pia ugonjwa huu huwaathiri watu wa Rika zote ingawaje Mara nying huwaathiri watoto kwa sababu huanza utoton na hivyo takriban MILION 6 ya watoto wanaumwa pumu na watu takriban 255,000 hufa kila mwaka kwa ugonjwa huu… soma zaidi
Tagsπ wiki
β’ Ni lazima nyumba ya kuku iwe safi na kavu muda wote
β’ Nyumba ya kuku iwe na nafasi za kupitisha hewa ya kutosha ili kuepuka joto na unyevunyevu
β’ Hakikisha unaondoa matandazo na takataka zote kwenye banda wakati wote. Matandazo na taka zinaweza kuwa mbolea nzuri ya mboji kwa mimea yako.
β’ Fagia banda na kuhakikisha ni safi wakati wote. Weka matandazo mapya mara kwa mara.
β’ Weka nafasi ya kutosha kuku kupumzikia, viota vya kutosha, na kuweka maji sehemu ambayo ni rahisi kusafisha.
β’ Hakikisha unaondoa wanyama kama panya na wadudu nyemelezi kwenye sehemu ya malisho ya kuku kwani wao hubeba vimelea vya magonjwa… soma zaidi
Tagsπ anajisikia anatakiwa au baada gani hatua hii hiyo huwa imara inataka kabisa kama katika kawaida kazi kuacha kuacha. kubadili kuepuka kufikiria kula. kundi kunywa kuvuta kwa kwanza kweli la maalumu maisha marafiki mazingira mtindo mtu na ngumu ni nia pamoja pili pombe pombe. rahisi sababu sherehe si sigara uamuzi vishawishi. wa wafanyeje? wakati wamedhamiria wanataka wanatakiwa watu wawe wazi ya wiki
Kwanza kabisa, watu ni kweli wawe wamedhamiria kuacha.
Hii inataka uamuzi wa wazi na nia imara kwa sababu si rahisi
kuacha.
Pili, mtu anatakiwa kufikiria ni katika mazingira gani huwa
anajisikia kuvuta sigara au kunywa pombe. Hii kwa kawaida ni
pamoja na kundi maalumu la marafiki, katika sherehe, baada ya
kazi ngumu, baada au wakati wa kula. Kwa hiyo, kama wanataka
kuacha kuvuta sigara au kunywa pombe, wanatakiwa kubadili
mtindo wa maisha na kuepuka vishawishi.
Hatua ya kwanza katika kuacha kuvuta sigara au kunywa
pombe, inaweza ikawa ni kujiwekea malengo; kwa mfano, kuacha
kuvuta sigara kwa wiki nzima. Jipongeze kuwa umetimiza lengo
lako. Kama umeshindwa anza tena. Ni watu wachache ambao
wameweza kuacha kabisa katika jaribio la kwanza. Watu
wengine wanapata ugumu kuacha kabisa pombe na sigara… soma zaidi
Tagsπ wiki
Sababu mojawapo ni kuwa bangi hulimwa hapa nchini na
hivyo hupatikana kwa urahisi. Bangi huuzwa kwa bei
nafuu kuliko dawa nyingine za kulevya. Vilevile, vijana
wengi huwaona wakubwa wao wakitumia na hii huwafanya waone kuvuta bangi ni kitu halali… soma zaidi
Tagsπ habari
Watu watatu wamekufa na wengine thelathini wamelazwa hospitalini kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu nchini Tanzania na hasa katika mji wa kibiashara wa Dar es salaam.
Wataalamu wa afya wamesema kwamba mlipuko huo unapatikana kwenye maeneo ambayo hayana usafi wa kutosha na vyoo vya kisasa hasa katika maeneo yenye msongamano wa makazi katika jiji hilo… soma zaidi
Tagsπ uchumi
Tupo kwenye dunia ambayo tulikuta watu na tutawaacha watu.
Vyote tulivyovikuta vilianzishwa na binadamu wengine wenye mawazo mema na wenye mawazo mabaya pia. Vitu vingi tunavyovifanya tunaendeleza tulivyovikuta ni mara chache kukuta kitu kipya ambacho hakitegemei mazingira na asili ya tulivyovikuta… soma zaidi
Tagsπ albino albino. ambazo asome au bila hata hawana hawapewi hawawezi hii ikiamini ili inawalinda inawatenga inaweza jambo jamii jua katika kazi kazi? kufanya kuhusu kumshinda. kumtaka kusikiliza kuwa kuwapa kuwatenga kuwazuia kuzingatia kwa kwamba lisilofaa macho madhara maoni mapungufu mara mfano mrefu msingi mtazamo muda muhimu na nayo ndiyo ngozi ni nini nyingi sababu uelewa ulemavu unaotosheleza uwezo vilevile wa walio walionao. wanapaswa wanaweza wanazimudu wasipatwe watu wengi ya yao. za ziada. wiki
Watu wengi katika jamii hawana uelewa unaotosheleza kuhusu
ulemavu wa ngozi na ulemavu wa macho wa Albino.
Hii ndiyo sababu mara nyingi jamii inawatenga ikiamini kuwa
inawalinda ili wasipatwe na madhara ya ziada. Wanaweza
vilevile kuwatenga hata kwa kuwazuia kufanya kazi ambazo
wanazimudu bila sababu za msingi au bila kusikiliza maoni yao.
Watu wanapaswa kuzingatia mapungufu walio nayo Albino na
kuwapa kazi kwa kuzingatia uwezo walionao. Kwa mfano kufanya
kazi katika jua kwa muda mrefu ni jambo lisilofaa au kumtaka
Albino asome kwa muda mrefu inaweza kumshinda. Ni muhimu
pia kwa mtu anayeishi na ualbino kujielewa, kujitambua na.. soma zaidi
Tagsπ mahusiano
KUOLEWA NI NDOTO KUU YA KILA MWANAMKE ALIYEKAMILIKA ILA KAMA UNA TABIA HIZI UTAZEEKEA NYUMBANI.. soma zaidi