CHEKA-WAHENGA-NA-VIDEO
By, Melkisedeck Shine.
Tags π maajabu vichekesho. Category πvideos,: maajabu vichekesho, Hawa majamaa walijua ni utani kumbe kweli ni wameona mzimu, πAngalia video hapa
Tags π michezo vichekesho. Category πvideos,: michezo vichekesho, Kocha akiwafundisha adabu wachezaji wake, πAngalia video hapa
Tags π maajabu. Category πvideos,: maajabu, Angalia hili gari lilivyofanywa chapati, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Angalia huyu alivyoumbuka wakati anasalimiana, πAngalia video hapa
Tags π bongo katuni kiswahili vichekesho. Category πvideos,: bongo katuni kiswahili vichekesho, Angalia huyu mganga wa kienyeji alichomfanyia huyu dada, πAngalia video hapa
Tags π michezo vichekesho watoto. Category πvideos,: michezo vichekesho watoto, Duh! Haka kamchezo ka hawa watoto ukitoka hapo ujue unaugulia maumivu, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Michezo mingine hii ni hatari, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Ukisikia ulofa ndio huu wa huyu, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Paka kasema sikubali! Angalia alichomfanyia huyu mtoto, πAngalia video hapa
Tags π maajabu wanyama. Category πvideos,: maajabu wanyama, Mtu anacheza na dubu kama anacheza na rafiki ake, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huyu Bibi anakumbukia ujana, cheki anachofanya sasa, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Mchawi akisafiri kwa ungo, ni shida ka ndege vile, πAngalia video hapa
Tags π ajali pantoni. Category πvideos,: ajali pantoni, Jamaa nusura agongwe na pantoni, πAngalia video hapa
Tags π maajabu michezo. Category πvideos,: maajabu michezo, Angalia hawa watu wanavyofanya michezo kwenye mazingira ya hatari, Ukikosea ndio imekula kwako, πAngalia video hapa
Tags π kiingereza kimya kiswahili silent vichekesho. Category πvideos,: kiingereza kimya kiswahili silent vichekesho, Ungekua ni wewe hapa ungefanyaje?, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huku kujiamini kwa huyu kimepitiliza, mwangalie anachofanya, πAngalia video hapa
Tags π ajali pikipiki. Category πvideos,: ajali pikipiki, Ajali kwenye mashindano ya pikipiki, πAngalia video hapa
Tags π michezo. Category πvideos,: michezo, Zoezi kali la kijeshi, cheki hapa uone, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Cheka tena kidogo hapa kwenye hii video ya vituko, πAngalia video hapa
.
.
Endelea kuperuzi;-π
π¬ CHEKA-WAHENGA-NA-VIDEOSβ
π¬ CHEKA-VIDEO-NA-WAHENGAβ
π¬ CHEKA-VIDEOS-NA-WAHENGAβ
π¬ CHEKA-VIDEOS-KWA-MHENGAβ
π¬ CHEKA-VIDEO-KWA-MHENGAβ
π¬ CHEKA-MHENGA-KWA-VIDEOSβ
π¬ CHEKA-WAHENGA-KWA-VIDEOβ
π¬ CHEKA-WAHENGA-KWA-VIDEOSβ
π¬ CHEKA-VIDEO-KWA-WAHENGAβ
π¬ CHEKA-VIDEOS-KWA-WAHENGAβ
π¬ CHEKA-VIDEOS-MHENGAβ
π¬ CHEKA-VIDEO-MHENGAβ
π¬ CHEKA-MHENGA-VIDEOSβ
π¬ CHEKA-WAHENGA-VIDEOβ
π¬ CHEKA-WAHENGA-VIDEOSβ
π¬ CHEKA-VIDEO-WAHENGAβ
π¬ CHEKA-VIDEOS-WAHENGAβ
π¬ ANGALIA-VIDEOS-NA-MHENGAβ
π¬ ANGALIA-VIDEO-NA-MHENGAβ
π¬ ANGALIA-MHENGA-NA-VIDEOSβ
Tagsπ uchumi
To ur Success!.. soma zaidi
Tagsπ uchumi
20 - 25 =Iwe kama ni kielimu hujafikia malengo yako,sitisha mara moja tafuta kazi/biashara ya kufanya,pigana kufa na kupona ili kama vipi urudi shule kwa pesa yako… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
Kuachwa kusikupe Stress, Haijalishi umeachwa mara ngapi, Jali kile ulichojifunza kutoka kwa mtu aliyekuacha… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Asthma /pumu ni ugonjwa sugu ambao huathiri njia ya hewa ambazo huingiza na kutoa hewa katika mapafu, pia hufanya kuta za ndani ya njia ya hewa kuvimba na hivyo hupunguza kiasi cha hewa kinachoingia na kutoka ktk mapafu, Hali hii husababisha mgonjwa kutoa mlio kama wa filimbi/mluzi wakati wa kupumua, kifua kubana, kushindwa kupumua vizuri na kukohoa sana, watu wa pumu huwa na dalil hizo nyakat za usiku na asubuhi sana pia ugonjwa huu huwaathiri watu wa Rika zote ingawaje Mara nying huwaathiri watoto kwa sababu huanza utoton na hivyo takriban MILION 6 ya watoto wanaumwa pumu na watu takriban 255,000 hufa kila mwaka kwa ugonjwa huu… soma zaidi
Tagsπ habari
Kuanzia miaka 14 hadi 18 anachezeana na wanafunzi wenzake huko hajui lolote kuhusu shule yeye ni kuoga na kupunguza skirts zake tu, mrembo wa shule, kichwani bila bila yaani tupu ( utupu ) anadhani alizaliwa vizuri zaidi ya wengine… soma zaidi
Tagsπ (internet) afya au biashara bidhaa dunia elimu faida habari haraka hasa hizi ilivyo inapoendelea kama katika kazi kibenki kifedha. kijiji kila kimoja. kozi kuagiza kupata kupitia kupokea kusoma kutuma kuwa kwa maendeleo maisha marafiki masafa matumizi mbalimbali mikopo msichana mtandao na nafasi nguvu njia nyingi pale pamoja sayansi siku taarifa teknolojia ujumbe utandawazi vya vyanzo wanaweza wasichana watu wavuti wengine ya za zama zipo wiki
Zipo faida nyingi za matumizi ya wavuti au mtandao (internet) katika maisha ya kila siku katika zama hizi za maendeleo, utandawazi, sayansi na teknolojia hasa pale dunia inapoendelea kuwa kama kijiji kimoja.
Kupitia wavuti wasichana kama ilivyo kwa watu wengine, wanaweza kupata habari, taarifa, elimu ya afya, kusoma kozi mbalimbali kwa njia ya masafa, kupokea na kutuma ujumbe kwa haraka, kupata marafiki, nafasi za kazi, kuagiza au kutuma bidhaa mbalimbali, kupata habari za biashara, habari za kibenki pamoja na vyanzo vya mikopo ya kifedha.
Pamoja na faida hizi za matumizi ya wavuti kwa watu wa malika mbambali, wavuti unazo hasara pia. Mbali na athari za kimaadili, matumizi ya wavuti yanaweza kutokeza hasara na athari za kiafya hasa kwa vijana. Wasichana wengi hasa wale wanaotoka katika familia zenye uchumi mzuri na wazazi wasomi, hukabiliwa na athari za kiafya, kijamii na kimaadili zinazotokana na matumizi mabaya ya wavuti endapo tahadhari hazitachukuliwa… soma zaidi
Tagsπ wiki
Kinga ya mwili ni mpangilio wa mwili kujikinga na maradhi. Chembechembe nyeupe zilizopo katika damu ya mwili mzima wa binadamu zina kazi maalum katika kuhakikisha kinga ya mwili i i ipo. Kama askari jeshi wanaolinda nchi yao, chembechembe hizo kwa pamoja zinalinda mwili dhidi ya magonjwa. Hivyo, kama chembeche-mbe hizo zikishambuliwa, mwili hauwezi kujikinga na maradhi au magonjwa… soma zaidi
Tagsπ habari
JE, UNATUMIA JIKO LA GESI KUPIKIA SOMA HII MUHIMU… soma zaidi
Tagsπ ambavyo hali haraka hiyo hiyo. hukasirishwa hupoteza husababisha huwapiga huyachukulia kama katika kawaida kufanya kugombana. kuhimili kuona kushindwa kutokana kwa maamumzi madhara maneno. mara matokeo mazingira mihemko mlevi na nini njia nyingi pombe tabia tofauti ushawishi vigumu vitu wa wagomvi wakali wakati waliolewa walioolewa wamelewa. wamelewa? wanakuwa wanapokuwa wangetatua wangevipuuza wasingekuwa wasingelewa. watu ya yake za zao wiki
Madhara ya pombe husababisha watu walioolewa kugombana.
Kutokana na ushawishi wa pombe watu hupoteza tabia zao
za kawaida na kuona vigumu kuhimili mihemko na kushindwa
kufanya maamumzi katika hali hiyo. Matokeo yake, mlevi
huyachukulia tofauti mazingira na maneno. Watu waliolewa hukasirishwa haraka na vitu ambavyo wangevipuuza kama
wasingekuwa wamelewa. Mara nyingi huwapiga watu wakati
wangetatua hali hiyo kwa njia tofauti kama wasingelewa.
Kama jambo hili litatokea miongoni mwa rafiki zako au familia,
jaribu kuwa mbali na uepuke ulevi. Usijaribu kujadiliana na mtu
aliyelewa kwa sababu kwa vyovyote hatakuelewa… soma zaidi
Tagsπ (cucumber) ardhini arusha biashara chakula. cucumber fito hata hili huoza. hustawi jinsi katika kilimanjaro kulima kulimwa kuwekea kwa kwani la matango matunda mazao mboga mikoa muhimu na nchini ni nje pia pwani. tagi: tanga tanzania tanzania. vizuri wingi ya yake yakilala zao wiki
Matango (cucumber) ni zao muhimu katika mazao ya mboga na matunda nchini Tanzania na hata nje ya Tanzania. Ni vizuri kuwekea matango fito kwani matunda yake yakilala ardhini huoza. Hili ni zao la biashara, pia chakula. Zao hili hustawi na kulimwa kwa wingi katika mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Pwani… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
Hizi hapa njia za kuamsha na kudumisha uhusiano mzuri kati yako na mpenzi wako hasa baada ya kuwa mmeshazoeana sana na kuhisi kuchokana… soma zaidi
Tagsπ uchumi
*SIMULIZI YA KUSISIMUA*
ππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎπ€
*Mtu aliyefanya kazi ngumu zaidi afunguka*.. soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Maini ya kuku 1/2 kilo
Vitunguu vikubwa 2
Hoho 1
Pilipil 1
Limao 1/2
Swaum/tangawizi 1 kijiko cha chai
Curry powder 1/2 kijiko cha chai
Mafuta ya kupikia.. soma zaidi
Tagsπ mahusiano
Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye sahihi,,,… soma zaidi
Tagsπ ambavyo mara matumizi muda ndivyo nyingi tunatofautiana vinavyowatoa vitu wanalalamikia watu wengine.. ya habari
Mara nyingi watu wanalalamikia vitu
ambavyo ndivyo vinavyowatoa wengine..
Tuna masaa 24 lakini baada ya kumaliza
siku kuna watu wanachekelea na wengi
wanalia⦠umetumiaje saa moja uliyoipata?.. soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Mchele wa mpunga - 4 Vikombe.. soma zaidi
Tagsπ binadamu? cha chini dalili damu dhaifu. iliyo je katika kichefuchefu kichwa kikubwa kiwango kizunguzungu kuharisha kujaa kujihisi kuongezeka kupata kutapika kuumwa kwa kwenye la mapigo mate maumivu mdomoni moyo na ndiyo. ni nikotini nyingine sehemu shinikizo sigara sumu sumu. tagi: tumbaku tumbo ukiwa utajisikia ya za wiki
Ndiyo. Nikotini iliyo kwenye tumbaku ni sumu. Ukiwa na kiwango
kikubwa cha nikotini katika damu utajisikia kichefuchefu,
kutapika, kujaa kwa mate mdomoni, maumivu ya sehemu za
chini ya tumbo, kuharisha, na kujihisi dhaifu. Dalili nyingine
ni kuumwa na kichwa, kizunguzungu, kuongezeka kwa mapigo
ya moyo, kupata shinikizo la damu, kutetemeka na kutokwa na
jasho baridi. Nikotini nyingi inaweza kusababisha ukosefu wa
umakini na pia ukosefu wa usingizi… soma zaidi
Tagsπ habari
Hakika historia ya biashara ya utumwa ina mambo mengi sana. kwa maana tangu tumeanza kusikia na kusoma habari za biashara ya utumwa , tumesoma na kusikia mengi sana. Wengine wanasema biashara ya utumwa Iinahusiana na dini, wengine wanasema biashara ya utumwa inahusu maendeleo ya biashara na wengine wanadai biashara ya utumwa ni mfumo tu wa maisha ya watu kama mifumo mingine… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Unga 4 Vikombe
Sukari 10 Ounce
Siagi 10 Ounce
Mdalasini ya unga 2 vijiko vya chai
Matunda makavu/njugu (kama lozi,
Zabibu, maganda ya chungwa,
Cherries na kadhalika 4 ounce
Maziwa ya maji 4 Vijiko vya supu.. soma zaidi
Tagsπ kutibu-chunusi-kiasili mapishinalishe
Maganda ya ndizi ni dawa nyingine nzuri ya kuondoa chunusi. Unachohitaji ni kuwa tu na maganda ya ndizi kwa ajili hii… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
Hakuna mtu aliye mkamilifu kwa asilimia 100. (mfano).. soma zaidi
Tagsπ kilimonaufugaji
Udongo ni kiungo muhimu sana katika uzalishaji wa mazao. Ni mfumo wa uhai kwa mimea. Kwa hiyo, mkulima ni lazima alenge katika kutunza uhai wa udongo na kuepuka usumbufu kwa uhai wa udongo.
Sababu muhimu za kulima/kutifua udongo ni:
β’ Hulainisha udongo ili kuruhusu mizizi ya mimea kupenya kwa urahisi.
β’ Kutifua kunaboresha uwezekano wa kupenya kwa nitrogen na oxygen kutoka kwenye hewa… soma zaidi
Tagsπ wiki
Je, kuna madhara kama mtu akikaa muda mrefu bila kufanya mapenzi?
Ukweli ni kwamba hakuna madhara yoyote ya kiafya ukikaa muda mrefu bila kujamii ana. Hakuna madhara yatakayokutokea kwenye sehemu zako za siri au katika sehemu nyingine ya mwili wako. Mwanaume au mwanamke akianza kujamii ana baada ya kukaa muda mrefu, atapata raha na starehe… soma zaidi
Tagsπ afya akina aliye ambao atavuta au damu hawatakiwi hunywa hurutubishwa hushambulia illiyopo inapoingia itamfikia je kama katika kiasi kukua kunywa kupita kupitia kuvuta kwa kwenye maisha mama mama. moyo mtoto na nini pia. pombe pombe? sigara sumu tumboni tumboni. ubongo uendeleao wa wajawazito wakiwa wanahatarisha wanaokunywa wanawake ya yake wiki
Wanawake wajawazito ambao hunywa pombe au kuvuta sigara
wanahatarisha afya na maisha ya mtoto aliye tumboni. Mtoto aliye
tumboni hurutubishwa kupitia damu ya mama. Kama mama atavuta
sigara au kunywa pombe, sumu illiyopo katika sigara au pombe
inapoingia kwenye damu yake itamfikia mtoto pia. Pombe hushambulia
moyo uendeleao kukua na ubongo wa mtoto aliye tumboni.
Akina mama wanaokunywa kupita kiasi wakiwa wajawazito
wanaweza kupata watoto wenye magonjwa ya moyo au mtindio
wa akili, kwa sababu chembechembe za ubongo hazikui vizuri.
Mara nyingi watoto huzaliwa na upungufu katika mwonekano
wa sura. Kwa mtoto pombe ni sumu kali, hata kama ni kwa kiasi
kidogo, itamdhuru… soma zaidi
Tagsπ uchumi
Waziri mkuu wa zamani wa uingereza Sir Wiston Churchill aliwahi kusema
"huwezi kufika mwisho wa safari yako kama utakuwa unasimama kila mahali kumtupia jiwe kila mbwa anaye kubwekea".. soma zaidi
Tagsπ (0.7 (0.9 4 082. 2.9) 2002/2003 4.1) 95.2 96.2 281 asilimia bara hizi idadi ikifuatiwa ikiwa inaonekana jinsi kienyeji kisasa kufuga kupongezeka kuwa kwa maziwa mkoa mwaka na ndio ndiyo ng'ombe ni nyama sensa shinyanga tabora. tagi: takwimu tanzania ufugaji ukilinganisha unaofuga visiwani visiwani. wa walioboreshwa wanaofugwa wengi wingi ya zaidi zinaonyesha wiki
UFUGAJI WA NG'OMBE.. soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Mchele 3 vikombe.. soma zaidi
Tagsπ mahusiano
Kati ya wanawake na wanaume wote wawili wanahitaji kuvutiwa na wenza wao ili wadumu katika mahusiano. Kama mwanaume lazima upate wakati wa kujua unatakiwa kufanya nini kwa ajili ya kulifanya penzi lako lizidi kuchanua.
Hali kadhalika kama bado haupo Kwenye mahusiano kuna mambo ambayo ni ya msingi kufanya au kuwa nayo ili uweze kuwa na mvuto zaidi kwa wanawake… soma zaidi
Tagsπ uchumi
Soma kidogo hapa.. Kuna watu wa aina NNE tunapoongelea pesa na muda… soma zaidi
Tagsπ afya mapishinalishe
Kuchagua vyakula sahihi kwa mlo wako inaweza kuwa changamoto na tungependa kuamini kwamba kupungua uzito ni jambo tu la kula kalori chache na kufanya mazoezi zaidi . Hata hivyo, si mara zote zoezi hili linakuwa rahisi. Kama ni lengo lako kupunguza uzito, kuchagua chakula gani ule ni muhimu kama kuchagua kiasi gani cha chakula ule… soma zaidi
Tagsπ afya ambao ambaye anaishi anayeishi anayekunywa furaha hali hanywi hauna hawajathibitisha hawajijali je kabisa? katika kiakili. kiasi kidogo kimsingi kimwili kuliko kunywa kutojijali. kwa kwamba kweli kweli. maisha mpaka mrefu mrefu. mtu muda na ndio ndiye ni njema pombe sasa si tagi: ujumla unywaji usafi wa wale wanaoishi wanasayansi watu ya yenye yule wiki
Si kweli. Mpaka sasa wanasayansi hawajathibitisha kwamba
mtu anayekunywa pombe kidogo ndiye anayeishi kwa muda
mrefu. Kwa ujumla, watu wanaoishi katika hali ya usafi, afya
njema na maisha yenye furaha ndio wanaoishi kwa muda
mrefu kuliko wale ambao hawajijali kimwili na kiakili. Kimsingi,
kunywa pombe ni kutojijali. Unywaji wa pombe kwa kiasi hauna
madhara, lakini inakupasa kuwa macho katika unywaji huo ili
usizidishe kupita kiasi… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Kisamvu ni aina ya mboga ya majani inayopatikana kwa wingi na kwa urahisi katika mikoa takriban yote nchini Tanzania.
Pia aina hii ya mboga hupikwa katika mapishi ya aina mbalimbali kulingana na mahitaji ya mpishi… soma zaidi
Tagsπ kazi kondomu kuhifadhi kutumiwa. kwenye maalum mafuta mpaka na ni pakiti siku ya yake yana yanayowekwa wiki
Mafuta yanayowekwa kwenye pakiti ya kondomu ni mafuta maalum na yana kazi ya kuhifadhi kondomu mpaka siku yake ya kutumiwa. Bila mafuta haya kondomu isingekuwa imara, ingekauka na isingekuwa nyumbufu vya kutosha. Vilevile mafuta hayo yanalainisha mpira ili kurahisisha uvaaji na matumizi yake. Kwa watu wengi, mafuta haya hayawaletei matatizo yoyote. Watu wachache sana ambao ngozi yao ni nyepesi kuathirika wanapata matatizo ya kuwasha baada ya kutumia kondomu… soma zaidi
Tagsπ afya mapishinalishe
Mayai ni kitu kilichozoeleka na kinachopatikana kwa gharama nafuu. Kutokana na kuzoeleka huku watu wengi wamekuwa wakipuuza umuhimu au nafasi ya mayai katika afya zao. Pengine kupuuza huku kunatokana na mazoea au ukosefu wa elimu juu ya faida zinazopatikana kutokana na ulaji wa mayai… soma zaidi
Tagsπ wiki
β’ Ni lazima nyumba ya kuku iwe safi na kavu muda wote
β’ Nyumba ya kuku iwe na nafasi za kupitisha hewa ya kutosha ili kuepuka joto na unyevunyevu
β’ Hakikisha unaondoa matandazo na takataka zote kwenye banda wakati wote. Matandazo na taka zinaweza kuwa mbolea nzuri ya mboji kwa mimea yako.
β’ Fagia banda na kuhakikisha ni safi wakati wote. Weka matandazo mapya mara kwa mara.
β’ Weka nafasi ya kutosha kuku kupumzikia, viota vya kutosha, na kuweka maji sehemu ambayo ni rahisi kusafisha.
β’ Hakikisha unaondoa wanyama kama panya na wadudu nyemelezi kwenye sehemu ya malisho ya kuku kwani wao hubeba vimelea vya magonjwa… soma zaidi
Tagsπ wiki
Sababu kuu ya ugumba unayoweza kujisababishia ni kupata magonjwa ya zinaa. Unaweza kuepuka kuwa mgumba kwa njia ya kuzuia kuambukizwa magonjwa ya zinaa. Magonjwa ya zinaa unaweza kuyazuia kwa njia ya kutojamii ana au kwa njia ya kutumia kondomu kila unapojamii ana. Kuna sababu nyingine za ugumba, nyingine unaweza kuzisababisha na nyingine ni za kimaumbile yako tangu ulipozaliwa… soma zaidi
Tagsπ habari
Watu watatu wamekufa na wengine thelathini wamelazwa hospitalini kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu nchini Tanzania na hasa katika mji wa kibiashara wa Dar es salaam.
Wataalamu wa afya wamesema kwamba mlipuko huo unapatikana kwenye maeneo ambayo hayana usafi wa kutosha na vyoo vya kisasa hasa katika maeneo yenye msongamano wa makazi katika jiji hilo… soma zaidi
Tagsπ - 1 9 18 2: 2:14 3:8 alidhihirishwa alikuja amharibu anayofanya au azivunje biblia dhambi hebu ibilisi ibilisi. ibilisi.β inamwongelea inaweza jibu kama katika kazi kiyunani kumtuma kusudi kutupa kuwa kweli la maana mungu na nani? neno ni nini pia sababu somo: tunaambiwa tunapewa tuone waebrania ya yakishinda. yasiwe yenyewe. yesu yesu; yohana za zake. βdiabolosβ. βili wiki
Somo: Waebrania 2: 9 - 18
Ni kweli Biblia inamwongelea Ibilisi. Ibilisi ni nini au ni nani? Neno la Kiyunani ni βdiabolosβ. Hebu tuone kama Biblia inaweza kutupa jibu yenyewe… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
Siku moja nitakua na familia(mke na watoto)
Nitakua kiongozi katika familia hiyo
Maamuzi ya mwisho yatatoka kwangu kama Baba
Kitakapo jitokeza chochote kama Baba nitakua responsible eidha kwa kuulizwa au kwa chochote kile.. soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Naamini umeshawahi kusikia kuhusu changamoto ya uvimbe kwenye kizazi kwa Wanawake yaani Fibroids. Uchunguzi unaonesha kuwa kati ya asilimia 30 mpaka 70 ya wanawake wapo kwenye hatari ya kupata tatizohili au wengine Tayari wameshalipata. Mpaka hivi sasa hakuna Sababu ya moja kwa moja ambayo inaelezwa kama chanzo cha tatizo hili… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Yafuatayo ni magonjwa na njia za kujitibu kwa kutumia matunda.. soma zaidi
Tagsπ akamuuliza akamwambia akiwa alifika ametoka ana boga haraka hema jiandae kabla kawaida kazini kuna kwenda lake: mbeya mke muda mwanaume na nini?? penda safiri tuna ua ukipenda wa wake ya mahusiano
mwanaume akiwa ana hema ametoka kazini
kabla ya muda wa kawaida,akamwambia mke
wake Jiandae haraka tuna safiri kwenda
mbeya,mke akamuuliza kuna nini??.. soma zaidi
Tagsπ kutibu-chunusi-kiasili mapishinalishe
Maganda ya ndizi ni dawa nyingine nzuri ya kuondoa chunusi. Unachohitaji ni kuwa tu na maganda ya ndizi kwa ajili hii… soma zaidi
Tagsπ wiki
Kwa wastani i i inachukua kama muda wa mwaka mmoja kwa mwanamke kuanza kupata ujauzito, wakikutana kimwili mwanaume na mwanamke bila kutumia njia ya kupanga uzazi. Wengine wanachukua muda mwingi zaidi, na wengine muda mfupi zaidi.
Kama baada ya muda wa mwaka mmoja au mwaka moja na nusu, mwanamke hajashika mimba, watu wanaanza kushangaa na kujiuliza chanzo cha hali hii ni kipi. Kwa sababu kuna vyanzo mbalimbali, lazima mwanaume na mwanamke waende kumwona daktari i i ili wakafanyiwe uchunguzi wa kitaalamu. Halafu daktari anaweza kutambua kama tatizo liko kwa mwanamke au mwanaume au kwa wote wawili. Yaani, bila kumwona daktari haiwezekani kuwa na uhakika tatizo liko kwa nani.
Mara chanzo cha tatizo kikijulikana, daktari anaweza kuwashauri mwanamke na mwanaume kuhusu uwezekano wa kuwatibu na kuwasaidia kupata mimba… soma zaidi
Tagsπ afya mapishinalishe
Katika urutubishaji yai la mwanamke linabeba chromosome X yani XX. Na mbegu ya mwanaume inabeba chromosome XY. Chromosome X kutoka kwa mwanamke ikikutana na Y kutoka kwa mwanaume mtoto wa kiume hupatikana. Chromosome X kutoka kwa mwanamke ikikutana na X kutoka kwa mwanaume mtoto wa kike hupatikana.. soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Mchele (rice 1/2 kilo)
Mchicha uliokatwakatwa (spinach mafungu 2)
Nyama (beef 1/2 ya kilo)
Nyanya (tin tomato 1/2 ya tin)
Nyanya chungu ( garden egg 3)
Kitunguu swaum (garlic cloves 3)
Tangawizi (ginger)
Curry powder
Vitunguu (onion 2)
Limao (lemon 1)
Chumvi
Pilipili (scotch bonnet pepper )
Tui la nazi (coconut milk 1 kikombe cha chai).. soma zaidi
Tagsπ babati bei bora eneo ester hapa hasa idadi iko ilikaribiana imeongezeka imepungua jinsi jumla juu. kigeni kondoo kondoo. kondoo.β kote. kufuga kuwa kwa letu maelezo mbuzi mkm msomaji na namna naomba nchini nyuma qwang raia sana sawa siku tagi: tanzania ufugaji wa wafugaji wakati wanaofugwa wanohitaji ya za β βkatika wiki
βKatika eneo letu, idadi ya wafugaji wa kondoo imepungua sana, wakati idadi ya wanohitaji imeongezeka hasa raia wa kigeni, na bei iko juu. Naomba maelezo namna ya ufugaji bora wa kondoo.β β Ester Qwang, msomaji wa MkM,Babati
Kwa siku za nyuma, jumla ya idadi ya kondoo wanaofugwa hapa nchini Tanzania ilikaribiana kuwa sawa na idadi ya mbuzi nchini kote. Kwa sasa, idadi ya kondoo imepungua kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na idadi ya mbuzi. Hii imetokana na wafugaji kuhamishia mapenzi yao kwenye ufugaji wa mbuzi… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Unga 4 Vikombe
Sukari 10 Ounce
Siagi 10 Ounce
Mdalasini ya unga 2 vijiko vya chai
Matunda makavu/njugu (kama lozi,
Zabibu, maganda ya chungwa,
Cherries na kadhalika 4 ounce
Maziwa ya maji 4 Vijiko vya supu.. soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Maziwa mazito matamu (condensed milk) - 2 vibati.. soma zaidi
Tagsπ ambayo au baada bila dawa hali hamu hatari hatua hii hiyo hutokea huwezi inabidi inayohitaji kabisa kama kazi kila kuacha kubwa kuepuka kufanya kufikiri kukutuliza kula. kulevya kupambana kupunguza kutamani kutumia. kuu kuvuta kuzoea kwa lolote matamanio matumizi mkali. msimamo na nafsi ndiyo ni nini nzito pamoja pia pombe sigara sigara? tabia ubadili unapojisikia. unataka unaweza unayazoea upande utakapoanza uvutaji vigumu vishawishi wa wengi ya yake yako. za wiki
Ndiyo hatari kuu ya matumizi ya dawa za kulevya ambayo
unayazoea na kufikiri huwezi kufanya lolote bila ya kutumia… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
*_Kwa wale wadada ππΏππΏ ambao msione mkaka kasimama madhabahuni anahubiri, mmeshampenda…_*
πππ
π³π³π³
*_Kwenye NDOA hakuna π πΏπ πΏ kuhubiriana, na kama kupo ni robo ya robo ya NDOA, badili MTAZAMO π€π€_*.. soma zaidi
Tagsπ wiki
Katika miezi sita ya mwanzo baada ya kujifungua, mwanamke anayenyonyesha mtoto anapata kinga ya mimba kwa asilimia kubwa. Lakini i i inabidi mama anyonyeshe mtoto kwa kipindi kirefu (muda wote mtoto awe ananyonya maziwa ya mama tu na anyonye kila anapohitaji) na vilevile mama awe hajaanza kupata hedhi yake. Kama mama ameanza kupata hedhi yake au kama anampa mtoto chakula kingine, anaweza kupata mimba tena. Kwa hivyo, anashauriwa kutumia njia za kupanga uzazi i i ili kuzuia mimba za mfululizo… soma zaidi
Tagsπ uchumi
*AMINI UNA AKILI YENYE UWEZO MKUBWA WA KUBUNI WAZO LA KUWEZA KUKUSAIDIA KUFANIKIWA KIMAISHA.*.. soma zaidi
Tagsπ wiki
Ndiyo, hii i ii inawezekana. Lakini ujue kwamba watu wanaotumia dawa za kulevya huwa dhaifu kisaikolojia na kiumbile kwa maana hiyo wanaweza wasiwe katika hali nzuri ya kupata watoto. Hawajali afya zao. Wanakosa hisia na hutumia muda mwingi kushiriki katika matumizi ya dawa za kulevya; pia hutumia fedha nyingi. Haya si mazingira mazuri ya kulea watoto… soma zaidi
Tagsπ kilimonaufugaji
Inafahamika kuku kutaga mayai mengi hutokana na aina ya mbegu ya kuku, ila jua kwamba hata aina ya mbegu ya kuku yenye sifa ya kutaga mayai mengi kama haitapewa matunzo mazuri basi sifa yake ya utagaji itapotea.
Kwa kawaida Tetea anatumia muda wa masaa 24 - 27 (siku moja) kutengeneza yai. Hakuna njia ya kupunguza muda huu (yaani atengeneze mayai miwili katika siku moja). Hiyo ndio asili yake. Njia Nzuri ya kumfanya kuku atage muda mrefu ni kumfanya awe na furaha na afya.
Njia za kuwafanya kuku wawe na furaha na afya:.. soma zaidi
Tagsπ ambavyo hali haraka hiyo hiyo. hukasirishwa hupoteza husababisha huwapiga huyachukulia kama katika kawaida kufanya kugombana. kuhimili kuona kushindwa kutokana kwa maamumzi madhara maneno. mara matokeo mazingira mihemko mlevi na nini njia nyingi pombe tabia tofauti ushawishi vigumu vitu wa wagomvi wakali wakati waliolewa walioolewa wamelewa. wamelewa? wanakuwa wanapokuwa wangetatua wangevipuuza wasingekuwa wasingelewa. watu ya yake za zao wiki
Madhara ya pombe husababisha watu walioolewa kugombana.
Kutokana na ushawishi wa pombe watu hupoteza tabia zao
za kawaida na kuona vigumu kuhimili mihemko na kushindwa
kufanya maamumzi katika hali hiyo. Matokeo yake, mlevi
huyachukulia tofauti mazingira na maneno. Watu waliolewa hukasirishwa haraka na vitu ambavyo wangevipuuza kama
wasingekuwa wamelewa. Mara nyingi huwapiga watu wakati
wangetatua hali hiyo kwa njia tofauti kama wasingelewa.
Kama jambo hili litatokea miongoni mwa rafiki zako au familia,
jaribu kuwa mbali na uepuke ulevi. Usijaribu kujadiliana na mtu
aliyelewa kwa sababu kwa vyovyote hatakuelewa… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
Ni vibaya pia kwa mwanaume wako kusema anaupenda mchezo fulani kama anavyokupenda! Au ukiwa na msongo wa mawazo, usinase kwenye mtego wa mapenzi kwa kudhani unaweza kuwa tiba. Ni vizuri zaidi kutafuta mwanaume ambaye hahitaji utabibu… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Unga wa mchele (rice flour 2 vikombe vya chai)
Sukari (sugar 3/4 ya kikombe cha chai)
Hamira (dried yeast 3/4 kijiko cha chakula)
Hiliki (cardamon powder 1/2 kijiko cha chai)
Ute wa yai 1(egg white)
Tui la nazi (coconut milk kikombe 1 na 1/2 cha chai)
Mafuta (vegetable oil).. soma zaidi
Tagsπ au cha hali havipo hawana hii huitwa husababishwa imekaa itategemeana kabisa kama katika kiasi kilichopo. kutoa kuwa kuzalisha kwenye macho. madhara mdogo melanini na ngozi ni nini? nywele rangi rangi. ualbino ukosefu upungufu uwezo vimebadilishwa vinasaba vya vyetu. wa wana watu wenye ya yake zao βmelaniniβ. wiki
Watu wenye ualbino hawana uwezo kabisa au wana uwezo mdogo
wa kuwa na rangi kwenye ngozi zao, nywele na macho. Rangi hii
huitwa βmelaniniβ. Rangi ya ngozi itategemeana na kiasi cha
melanini kilichopo. Hali ya kuzalisha melanini imekaa katika
vinasaba vyetu. Kama vinasaba vya kutoa melanini havipo au
vimebadilishwa madhara yake ni ukosefu au upungufu wa rangi.
Kwa hiyo hali ya ualbino ni ya kurithi. Inaweza kurithishwa
kutoka kwa wazazi kwenda kwa mtoto… soma zaidi