CHEKA-WAHENGA-VIDEOS
By, Melkisedeck Shine.
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Hili jeshi la wapi? angalia wanavyokata mauno, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ ajali vichekesho. Category ๐videos,: ajali vichekesho, Utani mwingine mbaya, ona mwenzio kilichomkuta, kaishia kupigwa risasi, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ kuku vichekesho. Category ๐videos,: kuku vichekesho, Hawa kuku ni noma, angalia wanachomfanya huyu mtoto, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Wazee wengine wahuni sana, mwangalie huyu mzee anachomfanyia huyu bibi wa watu, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ mjusi wanyama. Category ๐videos,: mjusi wanyama, Angalia huyu mjusi anavyojivua gamba, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ swala wanyama. Category ๐videos,: swala wanyama, Swala ni noma, kumbe na yeye anajua kupiga, cheki anavyomfanyia huyu mtu, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ mahusiano mapenzi vichekesho. Category ๐videos,: mahusiano mapenzi vichekesho, Ukisikia bwege wa mapenzi ndio huyu, cheki anavyoropoka tuu, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ mbuzi wanyama. Category ๐videos,: mbuzi wanyama, Huyu mbuzi kwa anavyopigwa hata kaa arudie alichofanya, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ chui vichekesho wanyama. Category ๐videos,: chui vichekesho wanyama, Kilichotokea baada ya chui wa maonyesho kuvunja banda, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ maajabu mbwa. Category ๐videos,: maajabu mbwa, Jinsi mbwa wanavyouzwa kama kitoweo kwa wachina, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ ajali vichekesho. Category ๐videos,: ajali vichekesho, Hii ndio inaitwa "mission fail" cheki kilichotokea hapa sasa, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Kilichotokea kwa huyu jamaa baada ya kujaribu kumpanda n'gombe, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Cheki hawa kuku wanachomfanyia huyu dogo, utoto jamani, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ faru wanyama. Category ๐videos,: faru wanyama, Angalia huyu faru alichokifanyia hili gari, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ nyani vichekesho. Category ๐videos,: nyani vichekesho, Ka-nyani kanakomalia kupanda pikipiki, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ gari maajabu. Category ๐videos,: gari maajabu, Huyu dereva kwa kona hii aliyokata kweli ni mtaalamu, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Ukisikia ulofa ndio huu, huyu ndiyo mume bwege sasa, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ faru wanyama. Category ๐videos,: faru wanyama, Angalia huyi faru alivyolifanya hili gari, ungekuwa ndio wewe upo ndani ya gari ungefanyaje?, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ ajali gari. Category ๐videos,: ajali gari, Angalia kilichotokea wakati wanapigana, na ugomvi ukaisha, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Ng'ombe mwenye kichaa azua taharuki mjini, ๐Angalia video hapa
.
.
Endelea kuperuzi;-๐
๐ฌ CHEKA-VIDEO-WAHENGAโ
๐ฌ CHEKA-VIDEOS-WAHENGAโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEOS-NA-MHENGAโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEO-NA-MHENGAโ
๐ฌ ANGALIA-MHENGA-NA-VIDEOSโ
๐ฌ ANGALIA-WAHENGA-NA-VIDEOโ
๐ฌ ANGALIA-WAHENGA-NA-VIDEOSโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEO-NA-WAHENGAโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEOS-NA-WAHENGAโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEOS-KWA-MHENGAโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEO-KWA-MHENGAโ
๐ฌ ANGALIA-MHENGA-KWA-VIDEOSโ
๐ฌ ANGALIA-WAHENGA-KWA-VIDEOโ
๐ฌ ANGALIA-WAHENGA-KWA-VIDEOSโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEO-KWA-WAHENGAโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEOS-KWA-WAHENGAโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEOS-MHENGAโ
๐ฌ ANGALIA-VIDEO-MHENGAโ
๐ฌ ANGALIA-MHENGA-VIDEOSโ
๐ฌ ANGALIA-WAHENGA-VIDEOโ
Tags๐ mapishinalishe
Unga - 4 Vikombe vya chai
Sukari ya laini (icing sugar) - 1 Kikombe cha chai
Baking powder - 2 Vijiko vya chai
Mayai - 2
Siagi au margarine - 1 Kikombe cha chai
Vanilla -1 Kijiko cha chai
Maziwa ya kuchanganyia - kiasi
Tende iliyotolewa koko - 1 Kikombe
ufuta (sasame) kiasi 1/4 kikombe.. soma zaidi
Tags๐ wiki
Mama mwenye virusi vya UKIMWI na UKIMWI, anaweza kuzaa mtoto? Na anaweza kumwambukiza mtoto aliye tumboni au wakati wa kumnyonyesha?
Ndiyo, mama mwenye virusi vya UKIMWI na UKIMWI anaweza kubeba mimba kama mwanamke mwingine yeyote. Ila ni muhimu kukumbuka kwamba kuna uwezekano wa mtoto kuambukizwa na Virusi vya UKIMWI… soma zaidi
Tags๐ (computer) (hardware) (software). afya bila chenye chombo haishikiki hakiwezi hii hiki hujulikana ile inayoonekana kama kasi katika kazi kimegawanyika kufanya kushikika kuu kwa kwamba kwanza la lakini maana. maneno mbili; mengine mkubwa mkubwa. mnunuzi moyoni na ndani ni nje nyingi nyingine pamoja program sana sehemu tarakilishi ufanisi ukweli umbo umuhimu unaomvutia urembo uwezo uzuri wa ya yoyote za wiki
Tarakilishi (computer) ni chombo chenye uwezo mkubwa sana wa kufanya kazi nyingi kwa kasi na ufanisi mkubwa. Chombo hiki kimegawanyika katika sehemu kuu mbili; sehemu ya kwanza ni ile ya nje inayoonekana na kushikika (hardware) na sehemu nyingine ni ile ya ndani inayoonekana lakini haishikiki, kwa maneno mengine sehemu hii hujulikana kama program za tarakilishi (software).
Pamoja na umuhimu na uzuri wa umbo la nje la tarakilishi unaomvutia mnunuzi, ukweli ni kwamba bila program za ndani, chombo hiki hakiwezi kufanya kazi yoyote ya maana.
Wabunifu na wasanifu wa tarakilishi wakati wanaanza kubuni na kutengeneza chombo hiki hapo mwanzo, waliiga maumbile na utendaji wa mwili na akili ya binadamu vinavyofanya kazi kimfumo… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
โข Kula chakula bora kunamaanisha kula vyakula aina tofauti ya vyakula kila siku kama vile matunda, mboga, maziwa na aina ya vyakula vyenye asili ya nyama wa kufuga kama kuku, mbuzi, ngombe, samaki na na vyakula vya nafaka… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
โข Maziwa ya mama pekee ndio chakula na kinywaji cha mtoto bora zaidi kwa watoto kwa miezi sita ya kwanza.
โข Ni jambo la muhimu sana kunyonyesha watoto wachanga kwa muda wa miezi minne na uendelee kunyonyesha hadi mtoto atakapofikisha mwaka mmoja na kuendelea… soma zaidi
Tags๐ habari
WANYATURU ambao awali walijulikana kwa jina la Warimi ni watu wanaoishi karibu wilaya zote za mkoa wa Singida yenye tarafa saba. Kwa Mujibu wa Patrick Mdachi katika kitabu cha Wanyaturu wa Singida, Mila na Desturi zao, Wanyaturu ni moja ya makabila yanayojumlishwa katika kundi la Nilo-Hamites, lenye asili ya Wabantu walioishi Abysinia ambayo sasa inajulikana kama nchi ya Ethiopia… soma zaidi
Tags๐ wiki
Ndiyo, hii i ii inawezekana. Lakini ujue kwamba watu wanaotumia dawa za kulevya huwa dhaifu kisaikolojia na kiumbile kwa maana hiyo wanaweza wasiwe katika hali nzuri ya kupata watoto. Hawajali afya zao. Wanakosa hisia na hutumia muda mwingi kushiriki katika matumizi ya dawa za kulevya; pia hutumia fedha nyingi. Haya si mazingira mazuri ya kulea watoto… soma zaidi
Tags๐ mahusiano
Wakaka acheni ujinga, ukitaka dem wa peke yako mgharamie nakwambia wanawake asilimia kubwa hukumbuka fadhila za mtu anayemgharamikia kuliko wanaume zao… soma zaidi
Tags๐ afya mapishinalishe
Ili uweze kuwa na siku nzuri basi unashauriwa kuanza siku yako kwa kutumia mchanganyiko wa maji ya uvuguvugu, asali mbichi, tangawizi, pamoja na limao… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Leo wapendwa nitaenda kuzungumzia mapishi ya mchuzi wa kuku (chicken curry)… soma zaidi
Tags๐ uchumi
Bila shaka upo uhusiano mkubwa kati ya pesa na muda…. soma zaidi
Tags๐ sayansinatekinolojia
Kuna hawa ndg zangu wanachemsha mihogo kisha wanaifunikia nailon ili ilainike vzr. Wengine huhifadhi ugali ktk mifuko ya plastic na kuitumbukiza kwenye maji moto ili ugali usipoe, wengine huchemsha supu ya kichwa cha ng'ombe ule ubongo wanautia ktk mifuko ya plastic na kuuchemsha ktk supu hiyo hiyo hadi unaiva ukiwa ndani ya plastic na plastic ndani ya supu. Je, hizi plastic madhara yake kitaalamu yakoje?.. soma zaidi
Tags๐ afya mapishinalishe
Ugonjwa wa dengue ni tishio la ugonjwa hatari linaongezeka siku hadi siku. Dengue ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vinavyoenezwa na mbu aitwae aedes… soma zaidi
Tags๐ uchumi
MASKINI NA TAJIRI WANA MAWAZO TOFAUTI.
Maskini hudhani utajiri ni chanzo cha matatizo.
Tajiri hudhani umaskini ni chanzo cha matatizo… soma zaidi
Tags๐ ambavyo bidhaa cha chumvichumvi hatari hii hiyo. hizo huangalia huo. huongezwa huzipima inamaanisha kama katika kienyeji kihalali. kilevi kiwanda kiwandani kiwango kuliko kutengenezea kutokuwepo kwa kwamba madhara malighafi mara mbolea mchanganyiko na ni nini nyingi pombe ubora umethibitishwa usafi utaratibu vile vitu viwandani? viwango wa wake wataalamu ya yanatokana za zinafuata zinazotengenezwa zinazotumika wiki
Pombe zinazotengenezwa kiwandani zinafuata viwango
ambavyo ubora wake umethibitishwa kihalali. Hii inamaanisha
kwamba wataalamu katika kiwanda, huzipima bidhaa hizo
mara kwa mara huangalia usafi wake, kiwango cha kilevi, na
mchanganyiko wa malighafi zinazotumika kutengenezea pombe
hiyo. Madhara ya pombe za kienyeji yanatokana na kutokuwepo
kwa utaratibu kama huo. Mara nyingi vitu kama vile mbolea za
chumvichumvi huongezwa ili kuichachusha haraka. Kwa bahati
mbaya, mara nyingi watu hupata madhara makubwa baada ya
kunywa pombe zilizotengenezwa kienyeji. Wengi hupata upofu
na hata wengine hufa… soma zaidi
Tags๐ albino albino. ambazo asome au bila hata hawana hawapewi hawawezi hii ikiamini ili inawalinda inawatenga inaweza jambo jamii jua katika kazi kazi? kufanya kuhusu kumshinda. kumtaka kusikiliza kuwa kuwapa kuwatenga kuwazuia kuzingatia kwa kwamba lisilofaa macho madhara maoni mapungufu mara mfano mrefu msingi mtazamo muda muhimu na nayo ndiyo ngozi ni nini nyingi sababu uelewa ulemavu unaotosheleza uwezo vilevile wa walio walionao. wanapaswa wanaweza wanazimudu wasipatwe watu wengi ya yao. za ziada. wiki
Watu wengi katika jamii hawana uelewa unaotosheleza kuhusu
ulemavu wa ngozi na ulemavu wa macho wa Albino.
Hii ndiyo sababu mara nyingi jamii inawatenga ikiamini kuwa
inawalinda ili wasipatwe na madhara ya ziada. Wanaweza
vilevile kuwatenga hata kwa kuwazuia kufanya kazi ambazo
wanazimudu bila sababu za msingi au bila kusikiliza maoni yao.
Watu wanapaswa kuzingatia mapungufu walio nayo Albino na
kuwapa kazi kwa kuzingatia uwezo walionao. Kwa mfano kufanya
kazi katika jua kwa muda mrefu ni jambo lisilofaa au kumtaka
Albino asome kwa muda mrefu inaweza kumshinda. Ni muhimu
pia kwa mtu anayeishi na ualbino kujielewa, kujitambua na.. soma zaidi
Tags๐ mahusiano
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, watu kutoka koo, makabila, mataifa na wenye rangi tofauti hujikuta katika dimbwi zito.
Hujikuta katika wakati ambao kila mmoja haoni kitu kingine cha thamani zaidi ya mpenzi wake. Huu ni wakati ambao si tu kuwa neno usaliti linakuwa halipo bali wapenzi hawahisi hata kama kuna maisha bila ya yule wampendaye.
Usaliti ni jambo lenye maumivu yasiyovumilika hasa ikiwa ni jambo ambalo halikutarajiwa. Mtu hahisi kama itatokea mpaka inapotokea.
Mwishoni mwa wiki hii kumeenea picha za mwanaume aliyejikatisha uhai kisa mapenzi. Hii ikanikumbusha utafiti usio rasmi nilio ahi kufanya juu ya kwanini wanaume huumizwa zaidi na usaliti kuliko wanawake... soma zaidi
Tags๐ hewa ikasababisha ile inaweza kondomu kujamiiana. kunasababishwa kupasuka kutoa kutowekwa kuvalisha kwa mara muhimu na ndani ni nyingi sababu sana uume. uumeni. vizuri wa wakati ya wiki
Kupasuka kwa kondomu mara nyingi kunasababishwa na kondomu kutowekwa vizuri uumeni. Ni muhimu sana kutoa hewa ndani ya kondomu wakati wa kuvalisha uume. Kwa sababu ile hewa ndani ya kondomu inaweza ikasababisha kondomu kupasuka wakati wa kujamiiana.
Vilevile siyo vizuri kupaka mafuta kama vaselini juu ya kondomu ili kurahisisha kitendo cha kuingiliana. Mafuta kama vaseline yanadhoofisha uimara wa kondomu na yanarahisisha kondomu kupasuka. Mafuta haya yanayowekwa kwenye pakiti ya kondomu yanahifadhi uimara wa kondomu, na ni aina maalumu ya mafuta.
Ni muhimu kukumbuka kwamba mwanaume akivaa kondomu vizuri jinsi tulivyoeleza awali, uwezekano wa kondomu kupasuka ni mdogo sana… soma zaidi
Tags๐ bata bei cha chakula faida ghali gharama hali hawa hula huwa ili jinsi juu. kabla kadri kama kawaida kingi kuanza kubwa kufuga kuhakikisha kuku. kula kuliko kumpatia kutosha kuwa kuzaliana kwa lazima majani matunzo mfugaji mzinga na ndege ni sababu sehemu tagi: ufugaji uhuru ulishaji una virutubisho. wa wanahitaji wanavyokua ya yake zaidi. wiki
Ili kuzaliana na kumpatia mfugaji faida, bata mzinga wanahitaji matunzo ya hali ya juu. Kwa kawaida bata mzinga hula chakula kingi kuliko kuku. Bei yake ni ghali zaidi… soma zaidi
Tags๐ 20% 80% aina ambao fika hawajui huleta hupata inatokana jinsi katika kawaida kuanzia. kuanzisha kufuga kununua kupokea kutafuta kutoka kuwa kwa lakini mafanikio maombi matunzo. maziwa maziwa. mipango mwisho na ngโombe ngโombe. ni pa pesa tagi: thabiti tumekutana ufugaji uzalishaji vizuri wa wafugaji waliofanikiwa wanafahamu wanataka wanaweka wao wapi watu wengi ya wiki
Mipango thabiti huleta mafanikio katika ufugaji wa ngโombe wa maziwa. Wafugaji waliofanikiwa wanafahamu fika kuwa katika uzalishaji wa maziwa 20% inatokana na aina ya ngโombe na 80% matunzo… soma zaidi
Tags๐ wiki
Yafuatayo ni mambo muhimu yanayochangia ubora wa maziwa.. soma zaidi
Tags๐ uchumi
Sikia haihitaji ukalishwe chini ndo uelewe, Ukweli ni kwamba unajishughulisha Sana na mambo yasiyo Kuhusu katika mafanikio.wazungu husema mind your own business sasa Sijui huu msemo unauchukuliaje?? Imagine unamjua Ali kiba hadi bafuni kwake, tour zote za mwaka huu unazijua hadi nyingine unataka kumpangia, nikuulize wewe ni mwanamziki??.. soma zaidi
Tags๐ mahusiano
Kuna kijana mmoja daktari alikwenda kuposa. Binti aliyemposa akamuwekea masharti mazito. Akamwambia chagua mawili imma kunioa mimi au kukaa na mama yako, kwa sababu ukinioa mimi sitokubali mama yako aje hata harusini kwangu! Yule kijana aliemewa. Hakujua la kufanya. Mke anamtaka, lakini mama yake pia anampenda… soma zaidi
Tags๐ akapata akijamii akijamiiana ambalo ana anajamii anaweza hedhi. i ileile inategemea kama kupata kurutubishwa kwa la lipo mara mimba mimba. moja msichana mvulana mzunguko na ndani ni pevu siku tayari tu tu. tumbo wa ya yai wiki
msichana anaweza kupata mimba akijamii ana mara moja tu. Inategemea na mzunguko wa hedhi. Kama ndani ya tumbo la msichana lipo yai pevu ambalo ni tayari kwa kurutubishwa, na siku i ileile msichana anajamii ana na mvulana anaweza kupata mimba. Isitoshe, anaweza kupata mimba hata kama ni mara ya kwanza ya kujamii ana… soma zaidi
Tags๐ akamwambia akina akiwa alienda anawasiwasi daktari huku kutoa kwa magonjwa mama mimba mmoja na wa ya mahusiano
Mama mmoja huku akiwa anawasiwasi alienda kwa daktari wa magonjwa ya akina mama na akamwambia
" mwanangu hajafikisha hata mwaka mmoja na mimi nimepata ujauzito tena"
Daktari akamwambia
"ni sawa, kwa hiyo unataka mimi nifanyeje?"
Mama akasema
"nakuomba unisaidie kutoa hii mimba na ninakutegemea mno daktari tafadhali nisaidie"
Daktari baada ya ukimya mfupi na kufikiri kidogo akamwambia yule mama
" Nadhani ninao msaada mzuri zaidi na ambao hautakuathiri kwa kwa namna yoyote kiafya".. soma zaidi
Tags๐ mahusiano
Ladies jaribu kuchukua hata dakika mbili kuwakumbuka na kuwaombea mema huko walipo wale watu mliokua mna date nao wakati mko secondary …anakupenda bila make up.. Bila mawigi.. Bila kusuka.. Umenyoa kichwa kama baba ako.. Unashinda na sketi jekundu lina marinda miezi 6 alafu oversize… Shape haieleweki haionekani.. Umekonda.. Unakula ugali na maharage ya wadudu ila yeye yuko bega kwa bega na wewe.. Yale ndio yaliitwa True Love sasa…. soma zaidi
Tags๐ mahusiano
Wanawake wengi warembo husalia peke yao na kufa katika hali hiyo kutokana na sababu tofauti… soma zaidi
Tags๐ wiki
Mnyama aliyelishwa vizuri na kupata maji ya kutosha huzalisha maziwa mengi yenye virutubisho vya kutosha. Iwapo ngโombe atalishwa majani kidogo na chakula chenye wanga kwa wingi, kiasi cha Mafuta kwenye maziwa kinaweza kushuka chini ya asilimia 2.5. Hivyo, uwiano mzuri wa majani na chakula cha ziada ni muhimu. Unaweza kumlisha ngโombe chakula cha ziada lakini hakikisha kuna uwiano mzuri. Usimlishe ngโombe wakati wa kukamua au muda mfupi kabla ya kukamua kwa vile yatachukua ladha ya silaji. Inashauriwa kuwa ngโombe apewe silaji saa mbili kabla ya kukamuliwa… soma zaidi
Tags๐ uchumi
Tabia ya kijidharau na kujiona hufai ama huwezi kufanya lolote ukafanikiwa maishani, hakuna mwanadamu aliyeumbwa ili ashindwe,, sote tu washindi zaidi, tunatofautiana njia za kufikia huo ushindi… soma zaidi
Tags๐ habari
Mdada mmoja ametusimulia kisa hiki.. Wapendwa kuweni macho… Nilikua pale Total nje ya Mliman city nikaenda kutoa hela NBC nikakuta machine haitoi hela since ni master card nikaenda Atm ya CRDB…. soma zaidi
Tags๐ (mwanzo 1 2:18). 7 adamu akiwaumba alimuumba alipokuwa aliyoona awe baada bustani edeni. haifai hapo hawa hiyo inafaa katika kuchagua kuona kuwa kwa kwanza maisha mchumba mke mpango mume mungu mwanamke mwanamume mwanamume. na namna ni peke somo: tagi: ushirika utukufu uumbaji wa wakorintho walitakiwa wamoja watu wawe ya yake yao yote. wiki
SOMO: 1 Wakorintho 7.. soma zaidi
Tags๐ aibu au duniani. fulani hasa hudhani hupendelea ili katika kidini kijamii kipindi kujiburudisha kunywa kuondoa kuongeza kusahau kwa kwamba lakini matatizo mfupi. muda na nchi ni nini nyinginezo nyumbani pia pombe sehemu sherehe tagi: tanzania ujasiri unywaji utamaduni vijana vilabuni. wa wanakunywa watu wavulana wengi ya yao za wiki
Unywaji wa pombe ni sehemu ya utamaduni wa Tanzania na nchi
nyinginezo duniani… soma zaidi
Tags๐ mahusiano
1. Wana Nguo Nyingi KulikoWanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba HalisiWa Watoto Wao… soma zaidi
Tags๐ wiki
Tunasema ngono kutumia njia ya haja kubwa pale ambapo uume uliodinda unaingizwa kwenye njia ya haja kubwa (mkunduni)… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Unga wa ngano (self risen flour) kikombe 1na 1/2
Sukari (sugar) 1/4 kikombe
Barking powder 1/2 kijiko cha chai
Magadi soda (bicarbonate soda) 1 kijiko cha chai
Mafuta 2 vijiko vya chai
Mafuta ya kukaangia
Maji ya uvuguvugu kiasi.. soma zaidi
Tags๐ (cell afya amepungukiwa anakuwa asipokuwa cha chombo duniani. halina haraka hilo imefikia itatumika kama katika kiasi kila kiungo kizuri kujifunza kukuza kwa kwamba leo maana mabara mahali maisha malengo mambo mapya mawasiliano mengine mjadala. mkononi msichana mtu muhimu mwanadamu mwili na ni phone) sehemu simu ubishi uchumi uhakika unaofaa urahibu vizuri wakati wake. wala ya yote za zimekuwa zimesababisha wiki
Simu za mkononi leo zimekuwa kama sehemu ya maisha ya kila mwanadamu katika mabara yote duniani. Imefikia mahali simu zimesababisha urahibu kiasi kwamba mtu asipokuwa na simu anakuwa kama amepungukiwa na kiungo muhimu cha mwili wake. Kama simu ya mkononi (cell phone) itatumika vizuri kwa malengo na kwa wakati unaofaa, ni chombo kizuri na cha uhakika kwa mawasiliano ya haraka, kujifunza mambo mapya, kukuza uchumi na mambo mengine ya maana na hilo halina ubishi wala mjadala.
Tatizo la simu za mkononi linakuja pale tunapoanza kuangalia athari za mionzi inayopenya mwilini kama matokeo ya matumizi ya simu hizi na athari nyingine za kiafya zitokanazo na matumizi ya muda mrefu ya simu pamoja na athari za kijamii zinazotokana na matumizi mabaya ya simu… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Unga wa mchele ( Vikombe 2 vikubwa)
Sukari (Nusu ya kikombe kikubwa)
Hamira ( Nusu ya kijiko cha chai)
Hiliki (Nusu ya kijiko cha chai)
Tui la nazi ( Kikombe kimoja kikubwa)
Unga wa ngano (Vijiko viwili vya chakula)
Mafuta ya kuchomea (Vegetable oil).. soma zaidi
Tags๐ (yaani 28 au baada chini hata hedhi hivyo hizo. huhesabiwa hupata huweza i inavyopatikana jinsi kama kila kuelewa kupata kuvunja kwa kwanza kwanza) lazima mara mimba moja msichana mwanamke. mwezi. mzunguko mzunguko. ni siku uelewe ukitaka ungo wa wanawake wengi wengine ya zaidi wiki
Ukitaka kuelewa jinsi mimba i inavyopatikana, lazima uelewe mzunguko wa hedhi wa mwanamke. Baada ya kuvunja ungo (yaani kupata hedhi kwa mara ya kwanza) msichana hupata hedhi mara moja kila mwezi. Kwa wanawake wengi ni kila baada ya siku 28, hata hivyo wengine huweza kupata hedhi chini au zaidi ya siku hizo.
Siku ya kwanza ya hedhi huhesabiwa kama siku ya kwanza ya mzunguko. Baada ya damu kutoka, yai moja linaanza kukua ndani ya kokwa. Na vilevile utando ndani ya mfuko wa uzazi huanza kujengeka i ili ukaribishe mimba. Kati ya siku 11 au 14 yai hupevuka ndani ya kokwa na halafu husafiri kwenye mrija.. soma zaidi
Tags๐ hadithi
Mtoto alifanya maamuzi ya kumpeleka baba yake ambaye alikuwa Mzee sana kwenye Makazi Maalum ya kulelea wazee ya Kanisa Katoliki iliyokuwa CHINI ya uratibu wa Padre. Alifanya hivyo Baada ya kushauriwa Na mkewe aliyekuwa akiona Ni kero kumlea baba Mkwe wake nyumbani kwao… soma zaidi
Tags๐ (september) 000 28 100 bure cha chanjo dar duniani es hapa hii ilivyoanza imetoa kampeni katika kiasi kichaa kila kwa lindi maalum mafugaji mbwa mbwajinsi mikoa mtwara mwaka mwezi na nchini ni pemba salaam serekali siku ta tagi: tarehe tisa wa ya wiki
SIKU YA KICHAA CHA MBWA DUNIANI.. soma zaidi
Tags๐ wiki
Ili mwanaume aweze kujamii ana, ni lazima uume usimame na kuweza kupenya ukeni. Kama mvulana anasisimka kimapenzi, damu nyingi inaenda katika mishipa ya damu ndani ya uume. Halafu uume husimama kutokana na msukumo wa damu. Hivyo kama msukumo wa damu hautoshi, hii husababisha uume kutosimama au kusimama kwa unyonge… soma zaidi
Tags๐ 18 afya atakayekuwa chini duni hatari hawajakomaa hawajawa huu juu katika kiakili kimwili kisayansi kuanza kufaa kupevuka kuwa kuyakabili kwa licha maamuzi maisha maisha. majukumu mdogo miaka mimba msichana mstakabali mtoto mtu mwenzi mwingi na ndoa ni nyingi pia sababu sahihi tayari umri unaonyesha ushahidi uwezo uzazi wa wakati wake.wasichana wanakuwa wao wasichana wengi ya yake zipo wiki
Zipo sababu nyingi na ushahidi mwingi wa kisayansi, unaonyesha kuwa, ndoa na mimba katika umri mdogo wa msichana chini ya umri wa miaka 18 ni hatari kwa afya na mstakabali wa maisha yake na mtoto wake.Wasichana wengi wakati huu licha ya kuanza kupevuka wanakuwa hawajakomaa kiakili na uwezo wao ni duni katika maamuzi juu ya kufaa kwa mtu atakayekuwa mwenzi sahihi wa maisha.
Kimwili pia wasichana katika umri huu wanakuwa hawajawa tayari kuyakabili majukumu ya uzazi na unyumba, nyonga za wasichana wanaoendelea kukuwa mara nyingi huwa changa na finyu kiasi kwamba husababisha matatizo mengi ya uzazi wakati wa kujifungua kwa njia ya kawaida… soma zaidi
Tags๐ (rafiki kwa kwenu leo mabinti mliookoka ni tagi: wa waliookoka yesu)..๐ผ ๐๐haya mahusiano
Eti binti kwasababu amempa Yesu maisha (ameokoka) basi ndo haelewekiiiiii,๐.. Uso alishaacha kupaka hata kapoda tu! Wanja ndo kabisa hagusi eti una mapepo, tehe;๐.. soma zaidi
Tags๐ tibu-shinikizo-chini mapishinalishe
Juisi hii ni nzuri sana katika kutibu shinikizo la juu la damu… soma zaidi
Tags๐ amefanya baraza katika kenya la lake mabadiliko mawaziri rais wa habari
Rais Uhuru Kenyatta amechukua hatua hiyo siku moja tu baada ya kutangaza ufisadi kuwa tishio kwa usalama wa kitaifa. Rais Kenyatta amefanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri baada ya mawaziri sita kulazimika kujiondoa kutokana na wizara walizosimamia kuhusishwa na ufisadi huku wawili kati yao wakikabiliwa na kesi mahakamani.
Ni Mabadiliko yaliyotarajiwa hasa baada ya hatua ya aliyekuwa waziri wa Ugatuzi Anne Waiguru kujihuzulu mwishoni mwa juma kutokana na kile alichosema ni ushauri wa daktari wake- baada ya usumbufu aliopata wizara yake ilipohusishwa na sakata kadhaa za ufisadi.
Kwa mujibu wa katiba idadi ya mawaziri inapaswa kuwa kati ya kumi na wanne na ishirini na wawili- na hivyo kujiuzulu kwake kulisababisha idadi hiyo kupungua hadi kumi na tatu… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Masaji kushuka kwa homoni inayohusika na kupunguza maambukizi mbalimbali homoni ijulikanayo kama โcytokinesโ vile vile masaji inashusha homoni inayohusika na matendo ya mashari homoni ijulikanayo kama โcortisolโ… soma zaidi
Tags๐ albino ana anaweza au bila gani inapokuja je kama kujali kujamiiana kupata kwa kwenye la mara mimba mimba. mimi moja msichana na ndiyo ngozi ngozi. ni nikijamiiana ninaweza rangi suala tu tu? ualbino ulemavu uwezekano wa wanafanana wanaoishi wasichana wasio weupe weusi wote ya wiki
Ndiyo msichana anaweza kupata mimba kwa kujamiiana mara
moja tu bila kujali ana rangi gani ya ngozi. Wasichana weupe,
weusi na wanaoishi na ualbino au wasio na ulemavu wa ngozi
wanafanana wote inapokuja kwenye suala la uwezekano wa
kupata mimba. Kinachobainisha/ kinachosababisha upatikanaji
wa mimba ni wakati tendo la kujamiiana linapofanywa na hatua
ya mzunguko wa hedhi. Kama yai lililopevuka kwa ajili ya
kurutubishwa litakuwa tayari basi ujauzito utatokea mara tu
baada ya mbegu ya mwanaume kuingia, (wakati wa kujamiiana).
Ujauzito unaweza kutokea hata kama msichana alikuwa bado
bikira na ni mara yake ya kwanza kujamiiana… soma zaidi
Tags๐ albino aliyo anahitaji au familia hali kama katika kawaida. kuchukizwa kujitambua kujua kukubali kulazimika kumwezesha kuonekana kupewa kuvumilia kuwa kwa maalumu maalumu. mahitaji matamshi matusi. msaada msingi mtoto mzigo na nayo. ndiyo ndugu ni nini pamoja tofauti tunaonekana uangalizi utani wa wakawa wanafamilia wanaohitaji wanaomba wanaotoa wanapaswa wanaweza watu wazazi wengine yao zetu? wiki
Watu wanaohitaji kupewa uangalizi maalumu wanaweza
kuonekana ni mzigo kwa kuwa wanaweza wakawa wanaomba
kupewa mahitaji au msaada maalumu tofauti na watu wengine
wa kawaida. Wazazi na wanafamilia wengine wanaweza
kuchukizwa na matamshi wanaotoa watu wengine pamoja na
kulazimika kuvumilia utani na matusi. Ndugu wanapaswa kujua
kwa nini ndugu yao Albino ni tofauti na kwa nini anahitaji
uangalizi maalumu.
Familia ndiyo msingi wa kumwezesha mtoto Albino kujitambua
na kukubali hali aliyo nayo. Familia inayoweza kumkubali mtoto
wao Albino inaneemeka na kuwa yenye furaha kwa sababu
mtoto Albino anakuwa kiungo maalumu katika familia, yaani
inaipa familia hali ya kuwa na nguvu yao iliyoungana… soma zaidi
Tags๐ akawa ambaye anaunga anaweza anayeaminika au desturi dini familia jamii juu katika kiongozi kukusaidia kumaliza kumtafuta kumwamini. kuzungumza kwamba la mawazo mbaya mkono mlezi msaada msaidizi msimamo mtu muuguzi mwalimu mwaminifu. mwenye mzazi mzima na ni pia rafiki tatizo ukajaribu ukamtafuta ukeketaji ukeketaji. unaweza wa wako wazazi ya yako wiki
Unaweza ukajaribu kuzungumza na wazazi wako kwamba
ukeketaji ni desturi mbaya, na pia unaweza ukamtafuta mtu
wa kukusaidia ambaye ni mwaminifu. Msaidizi anaweza akawa
rafiki, mlezi, mzazi au mtu mzima katika familia ambaye
unaweza kumwamini. Katika jamii yako unaweza kumtafuta
mwalimu anayeaminika, kiongozi wa dini au muuguzi ambaye
anaunga mkono mawazo yako na mwenye msimamo wa kumaliza
tatizo la ukeketaji… soma zaidi
Tags๐ sayansinatekinolojia
Kuna hawa ndg zangu wanachemsha mihogo kisha wanaifunikia nailon ili ilainike vzr. Wengine huhifadhi ugali ktk mifuko ya plastic na kuitumbukiza kwenye maji moto ili ugali usipoe, wengine huchemsha supu ya kichwa cha ng'ombe ule ubongo wanautia ktk mifuko ya plastic na kuuchemsha ktk supu hiyo hiyo hadi unaiva ukiwa ndani ya plastic na plastic ndani ya supu. Je, hizi plastic madhara yake kitaalamu yakoje?.. soma zaidi
Tags๐ mahusiano
Mke wa Frank anajivunia mume mtulivu, hashindi baa na hatongozi videmu. Akitoka kazini huenda kucheza basketball na hurudi nyakati za dinner. Siku moja mkewe akamhurumia. Anachoka na kazi. Mtu gani asiyependa starehe japo kidogo? Mke akamlazimisha outing, Frank akabisha lakini taxi ikafika. Gonga Club & Lodge… soma zaidi
Tags๐ mahusiano
Mwanangu, mimi baba yako nimeishi miaka mingi kuliko wewe ndio maana unaniita baba. Ni kweli sijasoma kama wewe ulivyosoma Ila mambo niliyokutana nayo tangu nimezaliwa ni elimu tosha ambayo wewe huna. Sasa nataka nikupe Elimu hiyo ili ukijumlisha na elimu yako ya darasani ujue namna nzuri ya kuishi katika dunia hii iliyojaa mishangazo mingi… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Tanbihi: Kiasi ya vipimo inategemea wingi wa watu, unaweza kupunguza au kuongeza. Hiki ni kiasi cha watu 6 takriban… soma zaidi
Tags๐ wiki
Mnyama aliyelishwa vizuri na kupata maji ya kutosha huzalisha maziwa mengi yenye virutubisho vya kutosha. Iwapo ngโombe atalishwa majani kidogo na chakula chenye wanga kwa wingi, kiasi cha Mafuta kwenye maziwa kinaweza kushuka chini ya asilimia 2.5. Hivyo, uwiano mzuri wa majani na chakula cha ziada ni muhimu. Unaweza kumlisha ngโombe chakula cha ziada lakini hakikisha kuna uwiano mzuri. Usimlishe ngโombe wakati wa kukamua au muda mfupi kabla ya kukamua kwa vile yatachukua ladha ya silaji. Inashauriwa kuwa ngโombe apewe silaji saa mbili kabla ya kukamuliwa… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Mchele (rice 1/2 kilo)
Nyama (beef 1/2 kilo)
Vitunguu (onion 2)
Kitunguu swaum (garlic 1 kijiko cha chai)
Tangawizi (ginger 1 kijiko cha chai)
Maziwa mgando (yogurt 1 kikombe cha chai)
Hiliki nzima (cardamon 6)
Amdalasini nzima (cinamon stick 2)
Karafuu nzima (cloves 6)
Pilipili mtama nzima (black pepper 8)
Curry powder 1/2 kijiko cha chai
Binzari manjano (turmaric 1/2 kijiko cha chai)
Binzari nyembamba nzima (cumin 1/4 kijiko cha chai)
Chumvi (salt)
Mafuta (vegetable oil).. soma zaidi