CHEKI-VIDEO-NA-WAHENGA
By, Melkisedeck Shine.
Tags π michezo ngumi. Category πvideos,: michezo ngumi, Kati ya hawa wote nani mbabe?, πAngalia video hapa
Tags π treni vichekesho. Category πvideos,: treni vichekesho, Hii treni imebeba watu wengi kama daladala vile, πAngalia video hapa
Tags π ajali gari. Category πvideos,: ajali gari, Cheki gari lilivyopaa na ajali juu, πAngalia video hapa
Tags π ajali maajabu treni. Category πvideos,: ajali maajabu treni, HATARI: Angalia huyu jamaa alivyokoswa koswa kugongwa na treni, πAngalia video hapa
Tags π michezo vichekesho. Category πvideos,: michezo vichekesho, Ukita kuruka angani…. Agana na nyonga. Cheki huyu hajaagana na nyonga kikampata hiki, πAngalia video hapa
Tags π maajabu vichekesho. Category πvideos,: maajabu vichekesho, Huyu jamaa anaminguvu ni balaa, cheki anachofanya hapa, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huyu mlinzi kakimbia kaacha bunduki, ulinzi nacho kipaji, πAngalia video hapa
Tags π maajabu michezo. Category πvideos,: maajabu michezo, Angalia huu mchezo wa kuruka mpaka raha, πAngalia video hapa
Tags π maajabu. Category πvideos,: maajabu, Huyu fundi anajiamini ni balaa, cheki anachofanya, πAngalia video hapa
Tags π kobe mamba wanyama. Category πvideos,: kobe mamba wanyama, Kumbe Kobe na mamba wanaweza kukaa pamoja, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huyu jamaa alikua anaokoa yai moja kaishia kupasua yote, tatizo mawenge, πAngalia video hapa
Tags π maajabu wanyama. Category πvideos,: maajabu wanyama, Angalia huyu mnyama wa huyu mwanamke, japo mbaya lakini yeye anampenda, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Angalia hii familia ya mazombi wanapiga misele town, πAngalia video hapa
Tags π maajabu paka panya. Category πvideos,: maajabu paka panya, Angalia huyu Paka alivyotightishwa na panya, panya wengine ni noma, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Mambo mengine usipofanya utotoni utayafanya uzeeni, limetimia kwa huyu, πAngalia video hapa
Tags π ajali gari treni. Category πvideos,: ajali gari treni, Angalia gari ilivyogongwa na treni, πAngalia video hapa
Tags π ajali. Category πvideos,: ajali, Angalia haya Matukio yalivyofwatana, πAngalia video hapa
Tags π ajali pikipiki. Category πvideos,: ajali pikipiki, Angalia huyu alivyogongwa kiajabu, kajigongesha mwenyewe, πAngalia video hapa
Tags π michezo muziki watoto. Category πvideos,: michezo muziki watoto, Watoto wenye vipaji vya kucheza mziki, πAngalia video hapa
Tags π ajali vichekesho. Category πvideos,: ajali vichekesho, Utani mwingine mbaya, ona mwenzio kilichomkuta, kaishia kupigwa risasi, πAngalia video hapa
.
.
Endelea kuperuzi;-π
π¬ CHEKI-VIDEOS-NA-WAHENGAβ
π¬ CHEKI-VIDEOS-KWA-MHENGAβ
π¬ CHEKI-VIDEO-KWA-MHENGAβ
π¬ CHEKI-MHENGA-KWA-VIDEOSβ
π¬ CHEKI-WAHENGA-KWA-VIDEOβ
π¬ CHEKI-WAHENGA-KWA-VIDEOSβ
π¬ CHEKI-VIDEOS-KWA-WAHENGAβ
π¬ CHEKI-VIDEOS-MHENGAβ
π¬ CHEKI-VIDEO-MHENGAβ
π¬ CHEKI-MHENGA-VIDEOSβ
π¬ CHEKI-WAHENGA-VIDEOβ
π¬ CHEKI-VIDEO-WAHENGAβ
π¬ CHEKI-VIDEOS-WAHENGAβ
π¬ FURAHIA-VIDEOS-NA-MHENGAβ
π¬ FURAHIA-VIDEO-NA-MHENGAβ
π¬ FURAHIA-MHENGA-NA-VIDEOSβ
π¬ FURAHIA-WAHENGA-NA-VIDEOβ
π¬ FURAHIA-WAHENGA-NA-VIDEOSβ
π¬ FURAHIA-VIDEO-NA-WAHENGAβ
π¬ FURAHIA-VIDEOS-NA-WAHENGAβ
Tagsπ mahusiano
MAISHA ya DADA zetu FACEBOOK na INSTAGRAM
Wiki ya kwanza
Status:"Location flani amazing"
"Having fun"
"I love my life"
"sijali mnayosema nafanya nachotaka".. soma zaidi
Tagsπ wiki
Mama mwenye virusi vya UKIMWI na UKIMWI, anaweza kuzaa mtoto? Na anaweza kumwambukiza mtoto aliye tumboni au wakati wa kumnyonyesha?
Ndiyo, mama mwenye virusi vya UKIMWI na UKIMWI anaweza kubeba mimba kama mwanamke mwingine yeyote. Ila ni muhimu kukumbuka kwamba kuna uwezekano wa mtoto kuambukizwa na Virusi vya UKIMWI… soma zaidi
Tagsπ (ukipenda) 1 1/2 1/4 3 cha chai hiliki jinsi karafuu karoti kata katika kijicho kijiko kikombe kikubwa kupika mafuta magi maji manga mchele mdalasini na nyama pilipli refu roweka tagi: unakata unga viambaupishi: vikubwa vitunguu wa wali ya zaafarani mapishinalishe
Mchele 3 Magi.. soma zaidi
Tagsπ mahusiano
Kulikuwa na mfalme mmoja aliyekuwa na mbwa kumi wakali sana. Alipenda kuwatumia mbwa hawa pindi akitaka kumuadhibu mtumwa aliyekosea… soma zaidi
Tagsπ uchumi
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mtu anayejenga GHOROFA na yule anayejenga Nyumba ya KAWAIDA... soma zaidi
Tagsπ wiki
Hapana, Virusi vya UKIMWI na UKIMWI hauambukizwi kwa kuvaliana nguo na mgonjwa, kwa sababu vijidudu vya UKIMWI vinakufa baada ya muda mfupi vikiwa hewani. Hata hivyo, kufuatana na kanuni za usafi, ni vizuri zaidi kuvaa nguo zilizofuliwa na kupigwa pasi… soma zaidi
Tagsπ afya mapishinalishe
Mungu ameumba miti na mimea kwa ajili ya binadamu. Kila mti au mmea una makusudio yake. Mbuyu ni miongoni mwa miti yenye faida nyingi na maajabu mengi. Vitu vyote vilivyomo kwenye mbuyu vinatumika kama chakula au dawa kwa faida ya binadamu… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Unga wa ngano (plain flour 1/2 of kilo)
Siagi (butter vijiko 2 vya chakula)
Yai (egg 1)
Chumvi (1/2 ya kijiko cha chai)
Hiliki (ground cardamon 1/4 ya kijiko cha chai)
Maji ya uvuguvugu (warm water)
Mafuta (vegetable oil).. soma zaidi
Tagsπ 3 aina au baada baadhi hizi kujifungua la maji moto ndoa ngono ni nizijuazo sababu tendo utumiaji wa ya za wiki
Kungonoana au kungonoka na kufurahia tendo baada ya kujifungua inategemea zaidi na wewe mwenyewe (uponaji wako) na lini unadhani uko tayari vilevile ushirikiano wa kutosha kutoka kwa mume/mpenzi wako wakati unaendelea na uponaji baada ya kutoa kiumbe kipya duniani… soma zaidi
Tagsπ wiki
Ndiyo. Kuna mashirika yasiyo ya kiserikali (AZISE)
yanayotoa ushauri nasaha kwa watumiaji wa dawa za
kulevya. Katika AZISE hizi kuna wataalamu wenye
kusikiliza na kujaribu kutafuta ufumbuzi wa matatizo yako. Kama mtu anategemea dawa za kulevya au anahitaji msaada wa kitaalamu, basi kuna vituo vya kuwasaidia kwenye hospitali za serikali, (Anwani zao ziko mwisho wa kitabu kwa mawasiliano zaidi)… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Biriani ni miongoni mwa vyakula ambavyo ni nadra sana kupikwa katika familia nyingi tofauti na vyakula vingine. Inawezekana ni kutokana na watu wengi kutoelewa namna ya kuoika chakula hiki kutokana na kuhitaji viungo vingi ambavyo huwapa usumbufu wapishi.
Kuna aina mbalimbali za upishi wa biriani ambapo mara nyingi hutofautiana kutokana na viungo vinavyotumika katika upishi.
Biriani la mbogamboga ni miongoni mwa aina hizo za upishi. Chakula hiki kinaweza kuliwa na kila mtu hususan wale wasiotumia nyama wala samaki… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Mchele - 3 Vikombe.. soma zaidi
Tagsπ wiki
Mnyama aliyelishwa vizuri na kupata maji ya kutosha huzalisha maziwa mengi yenye virutubisho vya kutosha. Iwapo ngβombe atalishwa majani kidogo na chakula chenye wanga kwa wingi, kiasi cha Mafuta kwenye maziwa kinaweza kushuka chini ya asilimia 2.5. Hivyo, uwiano mzuri wa majani na chakula cha ziada ni muhimu. Unaweza kumlisha ngβombe chakula cha ziada lakini hakikisha kuna uwiano mzuri. Usimlishe ngβombe wakati wa kukamua au muda mfupi kabla ya kukamua kwa vile yatachukua ladha ya silaji. Inashauriwa kuwa ngβombe apewe silaji saa mbili kabla ya kukamuliwa… soma zaidi
Tagsπ uchumi
*AMINI UNA AKILI YENYE UWEZO MKUBWA WA KUBUNI WAZO LA KUWEZA KUKUSAIDIA KUFANIKIWA KIMAISHA.*.. soma zaidi
Tagsπ afya mapishinalishe
Kuna wakati mwanaume huweza kupata maumivu ya korodani, ambapo inawezekana ikawa ni maumivu kwa korodani moja au zote mbili… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Naamini umeshawahi kusikia kuhusu changamoto ya uvimbe kwenye kizazi kwa Wanawake yaani Fibroids. Uchunguzi unaonesha kuwa kati ya asilimia 30 mpaka 70 ya wanawake wapo kwenye hatari ya kupata tatizohili au wengine Tayari wameshalipata. Mpaka hivi sasa hakuna Sababu ya moja kwa moja ambayo inaelezwa kama chanzo cha tatizo hili… soma zaidi
Tagsπ habari
WAKATI akiondoka Dar es Salaam kuelekea nchini Liberia kuhudhuria Mkutano wa 16 wa Wakuu wa nchi Huru za Kiafrika (OAU) uliopangwa kufanyika Julai 17, 1979, Rais wa Awamu ya kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alifahamu fika, kwamba pasingekuwa na vigelegele kwake mjini Monrovia kwa kushinda vita dhidi ya nduli Idi Amin wa Uganda, aliyevamia nchi yake Oktoba 30, 1978, na yeye Mwalimu akalazimika kuingia vitani bila kupenda… soma zaidi
Tagsπ wiki
Ujana ni kipindi cha mabadiliko kutoka utotoni kuelekea utu uzima, wakati wa kipindi hiki kijana hupata mabadiliko ya kimwili, kiakili na kimtazamo. Mwili na akili hupevuka. Ni kipindi muhimu cha kuweka msingi wa maisha ya baadaye. Vijana wanakatazwa kujamiiana kwa sababu matatizo mengi yanaweza kutokea kutokana na tendo hilo… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Ni kazi ngumu kidogo kuacha uvutaji wa sigara. Uvutaji ni tishio kwa maisha yetu. Yawezekana hufahamu kwamba nusu ya watu wanaovuta sigara watakufa, ikiwa ni matokeo ya athari kilevi hicho. Sigara inasababisha robo ya vifo vyote vya kansa nchini Uingereza kila mwaka… soma zaidi
Tagsπ agizo alphonce chadema kesi kuagwa kufungua kupinga kuzui la mawazo mwili polisi tanzania: wa habari
Baada ya zoezi la kuuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo kushindikana kutokana na jeshi la polisi mkoani Mwanza kupiga marufuku mikusanyiko ya wanachama na wafuasi wa chama hicho kwa madai ya kuwepo kwa ugonjwa wa kipindupindu jijini Mwanza, hatimaye viongozi wakuu wa kitaifa wa Chadema pamoja na familia ya marehemu wameamua kwenda mahakamani kutafuta haki yao ya kisheria… soma zaidi
Tagsπ kuzuia_magonjwa_kuku kilimonaufugaji
Mambo hayo ni haya yafuatayo;
1. Hakikisha unaondoa matandazo yote ndani ya nyumba,
2. Ondoa vyombo vya kulishia na kunyweshea… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
1. Ngono haimfanyi mwanaume asikuache, hata ukukuruke vipi, jikwatue kiasi gani kama hajaona quality za kuwa mke atakuacha tu.
2. Mwanaume anaekupata kwa vile alitumia pesa zake kwako hatakaa na wewe milele. Wanaume halisi hawawezi wakatoka na wanawake feki wanaopenda pesa. Ukibahatika sana atakufanya daraja la pili yaani mchepuko!.. soma zaidi
Tagsπ mahusiano
1. Hakikisha unakuwa msafi kwa kila kitu hasa unapo kuwa naye.
2. hakikisha unampa uhuru wa kutosha mnapo kuwa mnafanya mapenzi namaanisha awe na maamzi juu ya mwili wake usimrazimishe kama hayuko tiari, umuandae kabula ya kutumbukiza dushelele yako, uhakikishe anafika kileleni kila unapofanya naye mapenzi.. soma zaidi
Tagsπ babati bei bora eneo ester hapa hasa idadi iko ilikaribiana imeongezeka imepungua jinsi jumla juu. kigeni kondoo kondoo. kondoo.β kote. kufuga kuwa kwa letu maelezo mbuzi mkm msomaji na namna naomba nchini nyuma qwang raia sana sawa siku tagi: tanzania ufugaji wa wafugaji wakati wanaofugwa wanohitaji ya za β βkatika wiki
βKatika eneo letu, idadi ya wafugaji wa kondoo imepungua sana, wakati idadi ya wanohitaji imeongezeka hasa raia wa kigeni, na bei iko juu. Naomba maelezo namna ya ufugaji bora wa kondoo.β β Ester Qwang, msomaji wa MkM,Babati
Kwa siku za nyuma, jumla ya idadi ya kondoo wanaofugwa hapa nchini Tanzania ilikaribiana kuwa sawa na idadi ya mbuzi nchini kote. Kwa sasa, idadi ya kondoo imepungua kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na idadi ya mbuzi. Hii imetokana na wafugaji kuhamishia mapenzi yao kwenye ufugaji wa mbuzi… soma zaidi
Tagsπ 100 alikuwa anatarajiwa bunge hilo. idadi ikiwa job katika kubwa kuchaguliwa kuliongoza kutoka kuwahi la lenye lililokamilika. mpya naibu ndie ndio ndugai ole spika tagi: tanzania upinzani wa wabunge ya zaidi habari
Alikuwa naibu wa spika wa bunge lililokamilika… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
Habari tazama leo ni siku nyingine Mungu katenda miujiza kwako wakati wengine wamekufa usiku wewe umeamka tena, hebu sema asante kwa hilo, tunaendele na mada zetu na leo tutaangalia makundi manne ya watu katika dunia… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
β’ Kula chakula bora kunamaanisha kula vyakula aina tofauti ya vyakula kila siku kama vile matunda, mboga, maziwa na aina ya vyakula vyenye asili ya nyama wa kufuga kama kuku, mbuzi, ngombe, samaki na na vyakula vya nafaka… soma zaidi
Tagsπ wiki
Tunaposema dawa za kulevya ina maana ni matumizi mabaya ya dawa na hasa pale yatumikapo kinyume cha maelekezo ya tabibu na hivyo kuleta madhara kwa mtumiaji… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Ndizi tamu (plantain) 3-4
Tui la nazi (coconut milk) kikombe 1 cha chai
Sukari (sugar) 1/4 ya kikombe cha chai
Hiliki (Ground cardamon) 1/4 ya kijiko cha chai
Chumvi (salt) 1/4 ya kijiko cha chai.. soma zaidi
Tagsπ uchumi
Eka moja ya shamba la papai inaweza kuingiza miche 1000-1200(elfu moja hadi elfu na mia mbili)-zile mbegu fupi. Tufanye umepanda miche 1,000. Mti mmoja ukiuhudumia vema unaweza kutoa matunda hadi 120 kwa msimu… soma zaidi
Tagsπ uchumi
Kuna watu wengi sana huwa wanani-challenge ninaposema kwamba ni muhimu sana mtu kuishi katika kusudi la maisha yake. Na moja kati ya hoja zao ni kwamba haya maisha ya sasa mtu akisema aanze kutafuta kusudi la maisha yake atakufa maskini. Hivyo wanaonelea ni bora kufanya chochote kitakachotokea mbele yake ilimradi mwisho wa siku anapata pesa. Yaani anachagua kuwa mtumwa wa Pesa.. soma zaidi
Tagsπ albino aliyo anahitaji au familia hali kama katika kawaida. kuchukizwa kujitambua kujua kukubali kulazimika kumwezesha kuonekana kupewa kuvumilia kuwa kwa maalumu maalumu. mahitaji matamshi matusi. msaada msingi mtoto mzigo na nayo. ndiyo ndugu ni nini pamoja tofauti tunaonekana uangalizi utani wa wakawa wanafamilia wanaohitaji wanaomba wanaotoa wanapaswa wanaweza watu wazazi wengine yao zetu? wiki
Watu wanaohitaji kupewa uangalizi maalumu wanaweza
kuonekana ni mzigo kwa kuwa wanaweza wakawa wanaomba
kupewa mahitaji au msaada maalumu tofauti na watu wengine
wa kawaida. Wazazi na wanafamilia wengine wanaweza
kuchukizwa na matamshi wanaotoa watu wengine pamoja na
kulazimika kuvumilia utani na matusi. Ndugu wanapaswa kujua
kwa nini ndugu yao Albino ni tofauti na kwa nini anahitaji
uangalizi maalumu.
Familia ndiyo msingi wa kumwezesha mtoto Albino kujitambua
na kukubali hali aliyo nayo. Familia inayoweza kumkubali mtoto
wao Albino inaneemeka na kuwa yenye furaha kwa sababu
mtoto Albino anakuwa kiungo maalumu katika familia, yaani
inaipa familia hali ya kuwa na nguvu yao iliyoungana… soma zaidi
Tagsπ afya mapishinalishe
Je unafahamu ya kwamba rangi ya mkoja inakupa matokea sahihi kuhusu afya yako? Kama jibu ni hapana basi makala haya yanakusu wewe, kwani rangi ya mkoja kwa mujibu wa watalamu wa afya unauwezo mkubwa wa kukuoa ukweli juu ya afya yako… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Karibu tena jikoni, leo tunaandaa vitafunwa kwa ajili ya kifungua kinywa asubuhi… soma zaidi
Tagsπ 1ufugaji ambayo asali cha chumba faida imekuwepo inamwezesha jenga jinsi karne kazi kipato. kisasa kudumu kufuga kujenga kujengea kuongeza kuzalisha kwa mfugaji mtindo na ni nyingi nyuki nyumba pamoja sana. tagi: upate uzalishaji wa ya zaidi wiki
Jenga nyumba ya nyuki upate faida zaidi.. soma zaidi
Tagsπ mahusiano
Siku moja nitakua na familia(mke na watoto)
Nitakua kiongozi katika familia hiyo
Maamuzi ya mwisho yatatoka kwangu kama Baba
Kitakapo jitokeza chochote kama Baba nitakua responsible eidha kwa kuulizwa au kwa chochote kile.. soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Maharage yaliyochemshwa kiasi
Spinach zilizokatwa kiasi
Vitunguu maji 2
Nyanya 1/2 kopo
Swaum/Tangawizi 1 kijiko cha chakula
Curry powder 1 kijiko cha chai
Olive oil
Chumvi.. soma zaidi
Tagsπ uchumi
Njia hizo ni kama ifuatayo!!.. soma zaidi
Tagsπ albino? anakupenda anasema anathamini anayesema dini enye hawa hayabagui hisia hiyo hizi inawezekana jamii kabila katika kawaida kuna kuwa kwa kweli lako maana mapenzi matokeo muhimu mvuto. na ni nini penzi pia rangi. siku tofauti ualbino. uhakika uhusiano ukweli unalomwonyesha. wala wamevutiwa wanaume wanawake wazi/tayari ya za zaidi wiki
Mapenzi ya kweli hayabagui dini, kabila wala rangi. Kwa
kawaida, mapenzi ni matokeo ya hisia za mvuto. Kwa maana
hiyo, inawezekana kweli wanaume hawa wamevutiwa na hawa
wanawake enye ualbino. Ni muhimu pia kuwa na uhakika kuwa
anayesema anakupenda, anasema ukweli na zaidi anathamini
penzi lako unalomwonyesha. Pia katika jamii kuna imani kuwa
karibu na Albino kunaongeza bahati ya kutajirika… soma zaidi
Tagsπ ( ) 3.png alphonce cha chadema chama demokrasia maelfu maendeleo mawazo mkoa mwanza mwenyekiti mwili na tagi: taifa wa wakazi wakiongozwa wameuaga wananchi ya habari
Maelfu ya wananchi wa mkoa wa Mwanza,wakiongozwa na mwenyekiti wa taifa wa chama cha demokrasia na maendeleo ( CHADEMA ) Mh.Freeman Mbowe wameuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Geita Alphonce Mawazo,huku baadhi ya viongozi wa chama hicho,wakiwemo mawaziri wakuu wastaafu wakilitaka jeshi la polisi mkoani Geita kuhakikisha watu waliohusika na mauaji ya kiongozi huyo wanakamatwa na kufikishwa mahakamani mara moja… soma zaidi
Tagsπ kutibu-chunusi-kiasili mapishinalishe
Dawa nyingine nzuri kwa ajili ya chunusi usoni na mwilini ni limau. Limau linajitokeza kwenye vyakula vingi tunavyokula kila siku mathalani limau halikosekani pakiwepo supu au mapishi yoyote ya samaki… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
Nini kinaimarisha au kuharibu uwezo wa mtoto?.. soma zaidi
Tagsπ mahusiano
Nisaidie hili :
KUNA BWANA 1 MKAZI WA UNGUJA, ILA yupo London akawaagiza nduguze wamuolee MKE, wakamuolea… soma zaidi
Tagsπ afya mapishinalishe
Maziwa ni chakula kikuu cha mtoto punde anapozaliwa. Mama anahitaji kuwa na Maziwa ya kutosha ili mtoto aweze kuwa na afya. Zipo sababu mbalimbali zinazopelekea wakina mama wengi kushindwa kuzalisha maziwa mengi kwa ajili ya kuwanyonyesha watoto zao. Hata hivyo kama wewe ni mama na una tatizo hilo basi unatakiwa kufanya yafuatayio ili utengeneze maziwa kwa wingi;.. soma zaidi
Tagsπ : aina basi chakula hali hii hivyo hula huwazuia jinsi katika kila kilicho kitakachotengeneza kuambukizwa kufahamu kula kulisha kumpa kuwa kuwalisha kwa kwenye mahali maziwa mbuzi mchanga minyoo muhimu muhimu: na ndicho ni o palipo sababu safi tagi: unachomlisha usiwaruhusu wa wako wanaopatikana ya wiki
Jinsi Ya Kuwalisha Mbuzi Wa Maziwa
Ni muhimu kufahamu kuwa chakula unachomlisha mbuzi wako ndicho kitakachotengeneza maziwa hivyo basi ni muhimu:.. soma zaidi
Tagsπ 14 akapata ana anajamii anaweza au baada cha chache endapo gani hedhi hupevuka husafirishwa i inayofuata. kabla katika kipindi kiume kokwa kukomaa kulia kupevuka kupitisha kurutubishwa. kurutubishwa? kushoto kwenye la likijiunga linapopevuka linapoweza linaweza mayai mbegu mfuko mimba. mmoja mpaka mrija mwanamke mzunguko na ndani ni siku upande uzazi. wa ya yaani yai zilezile wiki
Yai mmoja hupevuka siku 14 kabla ya hedhi i i inayofuata. Baada ya yai kukomaa ndani ya kokwa la upande wa kulia au wa kushoto, yai husafirishwa kwenye mrija wa kupitisha mayai mpaka kwenye mfuko wa uzazi.
Yai likijiunga na mbegu ya kiume ndani ya mrija wa kupitisha mayai siku zilezile, linaweza kurutubishwa. Yaani, endapo mwanamke anajamii ana kipindi cha siku chache kabla ya yai kupevuka au siku yai linapopevuka anaweza akapata mimba.
Kwa sababu wasichana wengi hawapati hedhi ya kawaida, yaani mzunguko wa siku 28 katika kila mwezi, ni vigumu sana kwao kufahamu tarehe ya hedhi i i inayofuata. Hivyo ni vigumu kujua lini litakuwepo yai linalongojea kurutubishwa.
Mzunguko wa hedhi kwa msichana unaweza kuathiriwa na mfadhaiko, huzuni, safari au mabadiliko mengine katika maisha ya msichana. Hata kama msichana ana mzunguko wa kawaida wa hedhi hali hiyo inaweza kubadilika ghafla na ukawa sio wa kawaida. Wanawake wengi na hasa wasichana hawawezi kutegemea kuhesabu siku kama njia ya kuzuia mimba, kwa sababu hawawezi kuwa na uhakika i iwapo lipo yai linalongojea kurutubishwa au la. Hakuna siku salama za kuepukana na mimba!.. soma zaidi
Tagsπ wiki
Dawa za kulevya huharibu ufanyaji kaza wa kawaida wa mfumo wa mwili hasa tumbo na utumbo wa watumiaji
hushindwa kufyonza virutubisho vidogo kama vile
vitamini, madini kutoka kwenye chakula na kwenda kwenye mfumo wa damu. Hiki ndicho kinachowafanya wakonde. Isitoshe, hupunguza uwezo wa mwili kujikinga na maradhi na hivyo huuweka mwili katika hatari ya kuambukizwa na magonjwa likiwemo gonjwa hatari la UKIMWI… soma zaidi
Tagsπ afya mapishinalishe
Mapera ni matunda yanayo patikana kwa wingi lakini mara nyingi huwa hayapendelewi sana kutokana na ugumu wake wakati wa kuyatafuna pamoja na kuwa na mbegu mbegu nyingi. Hata hivyo matunda haya yana faida kubwa sana kwa afya ya mwili wa mwanadamu… soma zaidi
Tagsπ wiki
Ndoa ni makubaliano kati ya watu wawili wenye jinsia mbili tofauti kuishi pamoja kama mume na mke… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Mchele vikombe 3.. soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
JINSI YA KUEPUKA KUNUKA MDOMO
MUUNGWANA BLOG / 3 hours ago.. soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Leo tunaangalia mapishi ya fish finger ( sijui kama unaweza kusema kidole cha samaki)!, Ni mlo mzuri hasa kuliwa kama kitafunio au mboga ya pembeni… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
1. Hakikisha unakuwa msafi kwa kila kitu hasa unapo kuwa naye.
2. hakikisha unampa uhuru wa kutosha mnapo kuwa mnafanya mapenzi namaanisha awe na maamzi juu ya mwili wake usimrazimishe kama hayuko tiari, umuandae kabula ya kutumbukiza dushelele yako, uhakikishe anafika kileleni kila unapofanya naye mapenzi.. soma zaidi
Tagsπ (die) (wigi)? abadili/ageuze albino anavyopendelea. asilia au avae baadhi bandia hali hili hupendelea jambo je kadri kahawia kama katika kila kuacha kujisikia kuvaa kuwa kuzigeuza kwa la litatagemea msingi mtu na ndivyo ni nyeupe nyeupe. nyeusi nywele rangi suala ukijipenda unavyojisikia utakavyojiamini vizuri vizuri. walivyozaliwa wanapendelea watakupenda. watu wengine wewe ya zao zenye wiki
Suala hili litatagemea na kila mtu anavyopendelea. Baadhi ya
watu hupendelea kuacha nywele zao katika hali asilia kama
walivyozaliwa, wengine wanapendelea kuzigeuza rangi kuwa
nyeupe au nyeusi na wengine wanapendelea kuvaa nywele bandia
zenye rangi nyeusi, kahawia au nyeupe. Jambo la msingi ni
wewe kujisikia vizuri. Kwa kadri unavyojisikia vizuri ni ndivyo
utakavyojiamini na ukijipenda na wengine watakupenda… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
NI VEMA UKAYAJUA HAYA KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA:.. soma zaidi
Tagsπ uchumi
Ndoto ni nini?
Ndoto ambayo tunakwenda kuizungumzia sio ndoto unayoota ukiwa umelala ni ndoto ya mchana.
Ni kile kitu unachotamani kuja kukipata siku moja kabla hujaondoka duniani Ndoto inaweza kua katika makundi ya aina mbalimbali, unaweza kua na ndoto ya kuwa Rais, Mwimbaji bora, Mchezaji bora, Mwandishi Bora, Mfanyabiashara maarufu.
Vile vile unaweza kuwa na ndoto ya kumiliki vitu, nyumba nzuri ya kifahari sana labda ya milioni 300, Gari la kifahari sana, Unaweza kuwa na ndoto ya kumiliki utajiri au kuwa Bilionea,Kutembelea nchi fulani na kadhalika… soma zaidi
Tagsπ baadhi bia hasa hukufanya husababisha husema ina je kwa kwamba kweli kweli? la mkubwa mkusanyiko mnene na ni ongezeko pombe sababu sukari tagi: uwe uzito wa wanga. watu ya wiki
Ni kweli kwamba baadhi ya pombe, hasa bia, husababisha
ongezeko la uzito kwa baadhi ya watu kwa sababu ina mkusanyiko
mkubwa wa sukari na wanga… soma zaidi