CHEKI-VIDEO-WAHENGA
By, Melkisedeck Shine.
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Angalia kilichompata huyu jamaa, yaani pigo moja tuu mtu kule, πAngalia video hapa
Tags π michezo vichekesho. Category πvideos,: michezo vichekesho, Hii chenza nyingine ya muziki ni ya kiajabu, πAngalia video hapa
Tags π ajali gari maajabu. Category πvideos,: ajali gari maajabu, Huyu mtoto na yeye anataka kuendesha kigari chake kwenye main road, πAngalia video hapa
Tags π maajabu pikipiki. Category πvideos,: maajabu pikipiki, Angalia huyu alichokifanya kwenye hii pikipiki, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Angalia huyu jamaa anachofanya mbele ya kioo, πAngalia video hapa
Tags π maajabu sanaa. Category πvideos,: maajabu sanaa, Hii ndiyo inaitwa sanaa, πAngalia video hapa
Tags π maajabu paka wanyama. Category πvideos,: maajabu paka wanyama, Mcheki huyu Paka, jiulize kaingizaje kichwa kwenye hii chupa, πAngalia video hapa
Tags π ajali vichekesho. Category πvideos,: ajali vichekesho, Angalia huyu dogo baisikeli yake ilichomfanya, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huu ushamba mwingine bwana, πAngalia video hapa
Tags π maajabu vichekesho. Category πvideos,: maajabu vichekesho, Huyu kamuweza mshikaji, anashangaa damu imetoka wapi tena , ungekua ni wewe ungefanyaje, πAngalia video hapa
Tags π maajabu. Category πvideos,: maajabu, Angalia huyu mtu asiyekuwa na miguu lakini anaweza kuogelea vizuri kabisa kama mzima vile, πAngalia video hapa
Tags π maajabu vichekesho. Category πvideos,: maajabu vichekesho, Hizi TV nyingine bwana za kiajabu, πAngalia video hapa
Tags π changamoto michezo. Category πvideos,: changamoto michezo, Angalia huyu alivyokomaa, πAngalia video hapa
Tags π n'gombe tembo wanyama. Category πvideos,: n'gombe tembo wanyama, Angalia Tembo akimpiga n'gombe, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huyu Dada kazidi sasa cheki alichomfanyia huyu ex wake hiki kama kisasi kimepitiliza, πAngalia video hapa
Tags π kuku vichekesho. Category πvideos,: kuku vichekesho, Hawa kuku ni noma, angalia wanachomfanya huyu mtoto, πAngalia video hapa
Tags π maajabu pikipiki vichekesho. Category πvideos,: maajabu pikipiki vichekesho, Pikipiki ya ajabu, ulishawahi kuona?, πAngalia video hapa
Tags π maajabu. Category πvideos,: maajabu, Meli inavyoingizwa kwenye maji, πAngalia video hapa
.
.
Endelea kuperuzi;-π
π¬ CHEKI-VIDEOS-WAHENGAβ
π¬ FURAHIA-VIDEOS-NA-MHENGAβ
π¬ FURAHIA-VIDEO-NA-MHENGAβ
π¬ FURAHIA-MHENGA-NA-VIDEOSβ
π¬ FURAHIA-WAHENGA-NA-VIDEOβ
π¬ FURAHIA-WAHENGA-NA-VIDEOSβ
π¬ FURAHIA-VIDEO-NA-WAHENGAβ
π¬ FURAHIA-VIDEOS-NA-WAHENGAβ
π¬ FURAHIA-VIDEOS-KWA-MHENGAβ
π¬ FURAHIA-VIDEO-KWA-MHENGAβ
π¬ FURAHIA-MHENGA-KWA-VIDEOSβ
π¬ FURAHIA-WAHENGA-KWA-VIDEOβ
π¬ FURAHIA-WAHENGA-KWA-VIDEOSβ
π¬ FURAHIA-VIDEO-KWA-WAHENGAβ
π¬ FURAHIA-VIDEOS-KWA-WAHENGAβ
π¬ FURAHIA-VIDEOS-MHENGAβ
π¬ FURAHIA-VIDEO-MHENGAβ
π¬ FURAHIA-MHENGA-VIDEOSβ
π¬ FURAHIA-WAHENGA-VIDEOβ
π¬ FURAHIA-WAHENGA-VIDEOSβ
Tagsπ ambavyo ambazo au baadhi bado giza hata hatari hivyo ikatokea. inaweza jinsi jizuie kama katika kila kitu kubakwa. kuchota kujikinga kuna kupunguza kutembea kutokea kwa kwenye misitu mtu. na peke sehemu ubakaji ujinsia unaweza unyanyasaji usibakwe usiwe utafanya vinaweza vitu wa wachache watu ya yako zina wiki
Hata kama utafanya kila kitu usibakwe bado inaweza ikatokea.
Ubakaji na unyanyasaji wa ujinsia unaweza kutokea kwa kila mtu.
Hata hivyo kuna baadhi ya vitu ambavyo vinaweza kupunguza
hatari ya kubakwa.
Jizuie usiwe peke yako kwenye giza, kutembea peke yako
katika misitu au sehemu ambazo zina watu wachache, kuchota
maji sehemu ya mbali. Hakikisha kuwa kuna watu karibuni wa
kukusaidia iwapo kuna hatari. Pia jihadhari na watu walevi na
sehemu ya kunywea pombe maana watu walevi wanaweza wakawa
hatari. Iwapo umelazimika kufanya kazi katika mazingira
ya hatari, jaribu kujadili tatizo hili na wazazi wako au mtu
unayemwamini na muulize huyu mwanamume au mwanamke
azungumze na wazazi wako.
Usikubali zawadi au upendeleo, kama unafikiri unapewa wewe
kwa kubadilishana na ngono. Kama unajisikia unatishwa jaribu
kukimbia na piga kelele kwa kutafuta msaada mara moja.
Utafiti umeonyesha kuwa wasichana au wanawake ambao kwa
ushupavu wanasema hapana na ambao wanathubutu kupiga
kelele na kuvutia hisia za wengine wakati wanaposhambuliwa
wana hatari kidogo ya kubakwa. Unapokuwa unajitetea kwa
uhakika unapoanza unachopenda na usichopenda, ni sehemu
muhimu ya kujilinda… soma zaidi
Tagsπ 3 500 8000. ambao bila chake fund grumet hadi kampuni kazi kitengo kuajiriwa kufanyishwa kufanyiwa kufukuzwa kumi kunakodaiwa kuongeza kupinga kupitia kushindwa kutoka kwa maandamano makubwa malipo mandamano mgomo17.jpg miaka mshahara na ovyo shilingi siku tagi: ujenzi unyanyasaji uongozi vitendo vya wa wafanya wafanyakazi wakati wakipinga wameafanya ya za zaidi habari
Zaidi ya wafanyakazi 500 wa kampuni ya Grumet Fund kupitia kitengo chake za ujenzi wameafanya mandamano makubwa kwa kupinga vitendo vya unyanyasaji na kufukuzwa ovyo kunakodaiwa kufanyiwa na uongozi wa kampuni ambao wakati wakipinga kufanyishwa kazi miaka kumi bila kuajiriwa na kushindwa kuongeza malipo ya mshahara kutoka shilingi 3,500 kwa siku hadi shilingi 8000… soma zaidi
Tagsπ akiwa basi hapana hili? ili inagharimu je jibu kama karibu kufikia kuhakikisha kuingia kulisha kumfanya kupata kuzalisha kwa kwamba lengo lishe maendeleo mahitaji maziwa maziwa? mdog mfumo mitamba mtamba na ng'ombe ng'ombejinsi ni nini tagi: uangalizi ufahamu. ulingoni ulishaji umri unafahamu unafuatilia unakuhakikishia unakusaidia uzalishaji wa wakati wako ya wiki
Uangalizi wa karibu kwa mahitaji ya lishe ya mtamba wako, unakuhakikishia uzalishaji wa maziwa akiwa na umri mdog.. soma zaidi
Tagsπ jinsi kike kondomu kutumia ya wiki
Kondomu ya kike inafahamika kwa jina la βcareβ na βLady Petetaβ. Hapa Tanzania hazipatikani sehemu zote na bei yake ni kubwa kidogo.
Kondomu ya kike huingizwa ukeni kabla ya kujamiiana. Kama unatumia kondomu ya kike, chana kwa uangalifu pembezoni mwa pakiti. Kondomu ina pete mbili za plastiki na uwazi upande wa juu. Pete moja imelegea ni ndogo na iko kwa ndani, upande usio na uwazi. Pete ya pili ni kubwa zaidi, imeshikiliwa na iko upande wa tundu. Shikilia kondomu upande uliozibwa na minya pete ya ndani kwa dole gumba na kidole cha pili na cha kati. Mara nyingine inaweza ikakuponyoka, (kuteleza) lakini endelea kujaribu hadi umeiminya vizuri. Tafuta mkao mzuri na ingiza kondomu ya kike. Huku bado unaminya kwa vidole vyako iongoze kondomu ndani ya uke wako. Ukiiachia pete ya ndani itashikilia kondomu ndani ya uke. Sasa ingiza kidole chako kwenye kondomu, sukuma pete mpaka inapogota kwenye mlango wa uzazi.
Kondomu ya kike inaweza kuvaliwa saa kadhaa kabla ya kufanya ngono na pia inaweza kuvuliwa baada ya muda wa kufanyika ngono kupita. Ili kuhakikisha kuwa uume umeingia sehemu husika, msaidie mwenzi wako kuongoza uume kuingia kwenye uke ili usipenye pembeni.
Baada ya kujamiiana, vua kondomu kwa uangalifu. Tupa kondomu iliyotumika kwenye choo cha shimo au uichome. Usitupe kondomu iliyotumika ovyo.
Kama ilivyo kwa kondomu ya kiume, kondomu ya kike itatumika kwa mafanikio zaidi pale ambapo wahusikia wanakuwa na makubaliano na maelewano juu ya matumizi yake… soma zaidi
Tagsπ uchumi
HUWEZI KUFANIKIWA KIBIASHARA KAMA UNAPENDA KUJIHURUMIA HURUMIA!
π₯Mama mmoja Mzungu alitembelea mlima Kilimanjaro miaka iliyopita. Alikuwa amepanga kupanda mlima Kilimanjaro mpaka kileleni, yaani Kibo na Mawenzi, ili hatimaye apewe cheti cha kupanda mlima mrefu Afrika… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
Lameck alikuwa akiendesha gari kwa kasi sana alipokutana na akina Mama watatu ambao walinyoosha mkono kumuomba lift, ingawa alikua na haraka lakini aliwaonea huruma na kusimama, sehemu waliyokuwa ilikuwa ni kichakani na kwakuwa alikuwa peke yake hakuona sababu ya kuwanyima lift… soma zaidi
Tagsπ kutibu-chunusi-kiasili mapishinalishe
Kitunguu swaumu hujulikana kama kitu cha kushangaza katika tiba huko mashariki ya mbali, Kitunguu swaumu ni maajabu ya Mungu mwenyewe… soma zaidi
Tagsπ afya mapishinalishe
Kila mmoja wetu anaweza kuwa na sababu tofauti inayoweza kumsababishia msongo (stress). Sababu kubwa ambazo husababisha msongo ni masuala ya kazi hata pia masuala ya kijamii. Masuala ya kikazi ni kama kutokuwa na furaha kazini, kazi nyingi, kufanya kazi kwa masaa mengi, kutokuwa na mipangilio bora, kutokujiwekea malengo na mengine mengi… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Unga 4 Vikombe
Sukari 10 Ounce
Siagi 10 Ounce
Mdalasini ya unga 2 vijiko vya chai
Matunda makavu/njugu (kama lozi,
Zabibu, maganda ya chungwa,
Cherries na kadhalika 4 ounce
Maziwa ya maji 4 Vijiko vya supu.. soma zaidi
Tagsπ wiki
Mwili wa mwanaume unatengeneza aina mbili za mbegu. Kuna mbegu zinazokua kuwa mtoto wa kiume na kuna mbegu zinazokua kuwa mtoto wa kike. Ile mbegu inayofika kwenye yai kwanza, inarutubisha yai na ni wakati uleule, jinsia ya mtoto i inatokea. Uwezekano wa kumpata mtoto wa kike au wa kiume unafanana, na hii ni kweli katika nchi zote duniani… soma zaidi
Tagsπ 19 196 2015/16. 52746 bilioni bodi elimu hadi juu kufikia kuwanufaisha kwa kwanza maafisa masomo mikopo mwaka novemba sh. tagi: tanzania utoaji vigezo wa wanafunzi wanasema wenye ya yakamilisha zaidi zimepangwa habari
Maafisa wa bodi ya mikopo wanasema hadi kufikia novemba 19 zaidi ya sh. bilioni 196 zimepangwa kuwanufaisha wanafunzi 52746 wenye vigezo kwa mwaka wa masomo 2015/16… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Unga kikombe 1 Β½.. soma zaidi
Tagsπ wiki
Mama mwenye virusi vya UKIMWI na UKIMWI, anaweza kuzaa mtoto? Na anaweza kumwambukiza mtoto aliye tumboni au wakati wa kumnyonyesha?
Ndiyo, mama mwenye virusi vya UKIMWI na UKIMWI anaweza kubeba mimba kama mwanamke mwingine yeyote. Ila ni muhimu kukumbuka kwamba kuna uwezekano wa mtoto kuambukizwa na Virusi vya UKIMWI… soma zaidi
Tagsπ wiki
Neno VVU ni i virusi au vijidudu vinavyosababisha ugonjwa wa UKIMWI. Neno hili kwa lugha ya Kii ngereza ni HIV yaani βHuman Immunodeficiency Virusβ. UKIMWI ni kifupi cha maneno matatu ambayo ni Upungufu wa Kinga Mwilini. Kwa Kii ngereza jina la UKIMWI AIDS ambacho kirefu chake ni βAcquired Immune Deficiency Syndromeβ. Neno UKIMWI tayari linaonyesha tayari aina ya ugonjwa, i ikii manisha kuwa mwili umepungua uwezo wake wa kinga kwa maradhi mbalimbali mwilini. Dalili za upungufu huu ukianza kujitokeza basi maradhi haya huitwa UKIMWI.
Tofauti kati ya VVU na UKIMWI ni kuwa mtu aliyeambukizwa VVU bado anaweza kuonekana mzima wa afya. Pamoja na kuwa virusi hivyo vitaonenekana katika damu yake, ni kwamba virusi hivyo vitakuwa havijaanza bado kushambulia chembechembe nyeupe za damu. Kwa upande mwingine kinga ya mwili ya mtu anayeumwa UKIMWI i itakuwa tayari i i imepungua. Mwili wake utaanza kuugua magonjwa nyemelezi. Magonjwa nyemelezi hupata nafasi ya kushambulia mwili huu ambao tayari kinga imepungua. Watu wnaoumwa UKIMWI wanaweza kupungua uzito wa mwili, kuharisha au kupata matatizo ya ngozi. Hata hivyo maradhi haya siyo lazima yatokane na kuwa na VVU. Ili kuwa na uhakika, onana na mtaalamu yaani dakatari wako… soma zaidi
Tagsπ afya alizeti asali. binadamu bora bora. cha chakula chanzo gharama haitoi inakupa inatoa inayotumiwa kama kupunguza kutengeneza kutumia kuwa kwa lakini mafuta mailisho malighafi malisho mifugo mifugojinsi na nyuki peke pekee pia si tagi: tu uhakika unapotengeneza wa wafugaji wanaopanda wanapata ya yako wiki
Alizeti haitoi mailisho pekee, pia inatoa mafuta bora kwa afya ya binadamu na pia malighafi inayotumiwa na nyuki kutengeneza asali… soma zaidi
Tagsπ 167615paris-web2-tmagarticle.jpg&width=600 akihutubia aliapa alisema ametangaza bunge cha dhidi francois hapo hii hilo. hollande huyo iko islamic italiangamiza jana kikundi kimataifa kiongozi kudhibiti kuhutubiwa kundi kutaundwa kuwa kwa kwamba kwanza kwenye mabaraza mara mawili miaka mipaka. mmoja. muungano na nchi ndani ni rais sita state tagi: ufaransa ulinzi vikosi vita vitaimarishwa vya wa wakati wapiganaji ya yake habari
Akihutubia mabaraza mawili ya bunge hapo jana HOLLANDE aliapa kuwa UFARANSA italiangamiza kundi hilo… soma zaidi
Tagsπ uchumi
Jifunze kanuni za fedha
kama ilivyoainishwa hapo chini.
Fedha inatakiwa uwe na nidhamu nayo katika kutumia
Hii kanuni inatumika kwenye vyanzo vyako vyote vya fedha ili uwe na mafanikio yenye amani.. soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Unga wa ngano vikombe vikubwa 3
Boga lililopondwa kikombe 1
Baking powder vijiko vidogo
Sukari kikombe kikubwa 1
Blue band kikombe Β½
Vanilla kijiko kidogo 1
Mayai 2
Maji kiasi/ maziwa
(kama nilazima).. soma zaidi
Tagsπ a aina ambayo cha hadi hakuna itokanayo je jirani kama karibu kidogo kitu kuichuja. kuliko kuna kutoka kutumia kuvuta kuwa kwa kweli kwenye madhara madhara. mapafu mdomo moja moja. moshi mvutaji mwingine na ni nitasimama nyingi sababu sigara siyo sumu tagi: tumbaku una unaweza upande utapata utavuta uvutaji viungo vyako. wa ya yako yale yatokananyo za zote wiki
Uvutaji wa aina zote una madhara. Kama utavuta sigara na
kuvuta moshi kwa kutumia mdomo hadi kwenye mapafu yako
utapata madhara moja kwa moja kwenye viungo vyako.
Kama nitasimama karibu na mvutaji na kuvuta moshi, kuna
madhara ambayo siyo ya moja kwa moja. Kwa upande mwingine
kama jirani wa mvutaji unaweza kuvuta sumu nyingi itokanayo
na tumbaku kwa sababu hakuna kitu cha kuichuja. Sigara za
viwandani zina kishungi ambacho huchuja tindikali mbalimbali
zenye sumu, kama vile kaboni na asidi ya magamba ya miti,
ambazo zina madhara kwa mapafu… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Mchele wa pishori (basmati) - 4.. soma zaidi
Tagsπ ( ) 1 1/2 3 5 20 240 au basmati bay binzali cardamom cha chai cloves cumin dakika gram hiriki) jinsi karafuu kata katika kidogo kijiko kikubwa kitunguu kitunguu) kubwa kupika kwa leaf loweka mahitaji majani maji manjano) mbegu mchele mrefu nyanya nyembamba onions pilau powder seed) spring swaumu tagi: turmeric unga wa wowote ya za wiki
MAHITAJI
240 gram za mchele wa basmati au mchele wowote mrefu, Loweka katika maji kwa dakika 20
1 kijiko kidogo cha chai mbegu za binzali nyembamba ( cumin seed)
1 kitunguu kikubwa kata kata
1 Nyanya kubwa kata kata
3 spring onions ( majani ya kitunguu)
1 bay leaf.. soma zaidi
Tagsπ wiki
Hakuna madhara yoyote ya msingi anayopata mtu asipooga baada ya kujamiiana. Isipokuwa kwa ajili ya kutunza usafi, mnashauriwa kunawa via vya uzazi mara baada ya tendo la kujamii ana… soma zaidi
Tagsπ ambao asipate fanya hali hawatumii huo jamaa jaribu karibu katika kazi kuacha kukaa kumsaidia kunywa kushinda kutafuta kuvuta kuwa kwa mbali mlevi mrefu mshughulishe mtambulishe mtu muda mvutaji. mweleze na naye ndugu ni ninawezaje nini pombe. pombe? rafiki sababu sana sigara tabia ukiwa ulevi umuhimu unapotoa ushauri usiwe vigumu vishawishi vishawishi. wa wala ya yakupasa yeye zako zinazowafanya wiki
Jaribu kutafuta sababu zinazowafanya rafiki, ndugu na jamaa
zako kuwa na tabia ya kuvuta sigara na kunywa sana pombe.
Jaribu kuwa naye karibu na mshughulishe asipate muda wa
kuvuta na kunywa pombe. Kuwa naye kwa muda mrefu, fanya
naye kazi na mtambulishe kwa rafiki zako ambao hawatumii
sigara wala pombe. Mweleze umuhimu wa yeye kukaa mbali na
vishawishi. Mweleze kwa nini ni vigumu sana kushinda vishawishi
ukiwa katika hali ya ulevi, na unapotoa ushauri huo yakupasa
usiwe mlevi na mvutaji.
Inaweza ikatokea, jamaa unayemshauri kuhusu madhara ya
kunywa pombe na kuvuta sigara, akachukia au ukawa ndio mwisho
wa urafiki wenu. Usijilaumu, ujitahidi kumsaidia kadiri uwezavyo.
Wakati mwingine ni vyema ukavunja urafiki huo kwa usalama
wako na wa rafiki yako. Endapo kama itatokea akaanza kutambua
madhara na matokeo ya uvutaji sigara na unywaji pombe na
hatimaye kuchukua uamuzi wa kuelezea matatizo yake, itampasa
amtafute mtaalamu ili aweze kupata ushauri nasaha… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
UKIYAONA HAYA CHUKUA TAHADHARI MAPEMA.
(1). kama mpenzi wako anataka SEX.
Hiki ni kidokezo hatar kwa wasichana hapa wanapaswa kuwa makini… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Mchele mpunga - 4 Vikombe.. soma zaidi
Tagsπ afya mapishinalishe
Faida kuu za ukwaju ni kama ifuatavyo:.. soma zaidi
Tagsπ wiki
Wataalamu wanashauri kwamba msichana anastahili kuanza kubeba mimba kuanzia umri wa miaka 18 hadi 20. Kabla ya umri huu, mwili wa msichana bado haujakomaa vizuri. Viungo vya uzazi bado ni vidogo na ngozi ni laini. Vilevile mfupa wa nyonga bado mwembamba kiasi cha kumwezesha mtoto kupitia wakati wa kuzaliwa.
Wasichana chini ya miaka 18 wana uwezekano mkubwa zaidi wa kupata matatizo, hasa wakati wa kujifungua. Matatizo hayo ni pamoja na mapigo ya moyo kuwa juu, kuumwa uchungu kwa muda mrefu, kukwama kwa mtoto, kujifungua kwa njia ya operesheni, kujifungua kabla ya wakati na watoto kuzaliwa na uzito mdogo. Mwili huwa na mahitaji makubwa wakati wa ujauzito na kujifungua na mwili wa wasichana wenye umri chini ya miaka 18 huwa haujakomaa vya kutosha kwa kazi ya kubeba mimba.
Mbali ya shida za kiafya, kuna matatizo mengine yatokanayo na kupata mimba mapema. Mara nyingi msichana na mwenzie wanakuwa bado wanasoma shule, msichana hufukuzwa shule na hata hutengwa katika jamii . Vijana mara nyingi hawana mapato ya kumlea na kumtunza mtoto, na mahali pa kuishi huwa hawana. Vilevile mvulana mara nyingi hayuko tayari kuchukua jukumu la kuwa baba. Kwa sababu hizi zote, ni vizuri zaidi mimba zitungwe baada ya msichana kufikia umri wa miaka 18… soma zaidi
Tagsπ afya anayeishi binadamu dhahiri haki haki. hasa haya hizi hizi: husika. inayokubaliana kama katika kimataifa kuanzia kuheshimiwa kuthaminiwa mataifa matamko mikataba msingi; mtu muhimu na nchi ni pia sheria siku ualbino? ujinsia ulimwenguni unayozaliwa. uzazi wote ya yameridhia yote za ziko zile zinamhusu zinawahusu zinazohusiana wiki
Haki za msingi; hasa zile zinazohusiana na kuthaminiwa na
kuheshimiwa kama binadamu zinawahusu binadamu wote
kuanzia siku unayozaliwa. Mataifa yote Ulimwenguni yameridhia
mikataba ya Kimataifa inayokubaliana na matamko haya ya
haki. Haki hizi ziko dhahiri katika sheria za nchi husika. Haki
muhimu za ujinsia na afya ya uzazi ni hizi:
β’ Kupata habari juu ya ujinsia na mada zinazohusu afya ya
uzazi.
β’ Mwanamke au mwanaume kuamua kwa uhuru na kuwajibika,
kama anataka kujamiiana lini na mtu gani… soma zaidi
Tagsπ (dental (dentine). (enamel) ambako ambapo ambayo augustine bila cha chembe dalili damu dr. exposure). fahamu hali hii hili huanza hufanya hutegemea jino kabisa kama kati kiini kiwango kuiweka kulika kuna kuondoka kusababisha kuwa kwa likiendelea matibabu mbali mbehoma meno mishipa na ndani ngumu ni nje pia pulp rukoma sehemu tatizo ulikaji. uondoka wazi wazi. ya wiki
Na Dr. Augustine Mbehoma Rukoma
Hii ni hali ya ambapo sehemu ngumu ya nje ya meno uondoka na kusababisha sehemu ya ndani kuwa wazi. Tatizo hili huanza kwa kuondoka sehemu ngumu ya nje (enamel) na kuiweka wazi sehemu ya kati ambayo ni ngumu pia (dentine). Tatizo likiendelea bila matibabu hufanya kiini cha jino ambako kuna mishipa ya damu, mishipa ya fahamu na chembe chembe mbali kuwa wazi (dental pulp exposure).
Dalili hutegemea na kiwango cha ulikaji. Kama ni sehemu ya nje kabisa imetoka, dalili uweza kuwa msisimuko (sensitivity) wakati wakunywa vinywaji vya baridi, vya sukari na hata upepo ukiyapuliza meno. Kama kiini cha jino kitakuwa wazi basi maumivu uanza na yanaweza kuwa makali kabisa… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
UMETOKA KAZINI UMEKUTA PANYA 6 ndani.
Panya wa 1- Anakula Vyet vyako vya degree ya pili.Β
Panya wa 2- Anakula cheti chako cha Ndoa
Panya wa 3- Anakula Hati ya kusafiria na safari ni kesho… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Unga wa ngano (self risen flour 2 vikombe vya chai)
Sukari (sugar 1/2 kijiko cha chakula)
Chumvi (salt 1/2 kijiko cha chai)
Hamira (yeast 1/2 kijiko cha chakula)
Baking powder 1/2 kijiko cha chai
Siagi (butter 1/4 ya kikombe cha chai)
Maziwa (fresh milk 3/4 ya kikombe cha chai)(unaweza kutumia maji badala ya maziwa).. soma zaidi
Tagsπ wiki
.. soma zaidi
Tagsπ mahusiano
DONGO LA LEO ……..
Kwa lugha nyepesi ni kwamba ukiajiriwa maana
yake umeshindwa kujitegemea kwa ujuzi wako
(yaani hujui ufanyie nini) hivyo umeona uukabidhi
ujuzi wako kwa wenye "akili na uwezo" wa
kuupangia matumizi ya huo ujuzi wako… soma zaidi
Tagsπ ' '? 'ahadi 'kwa 'na (matendo 2 2: 39 :38). ahadi ajili ametuita anasema atamwita bwana kama katika kuwa kwa kwake. lakini matendo mbali mtakatifu mungu mwenyewe. na ni nini pentekoste petro roho siku tagi: tazama tunaweza walio watoto wengi wenu wetu wewe. wote ya yenu yetu zawadi wiki
Ahadi ni kwa wewe.
Katika Matendo 2: 39 Petro anasema 'Kwa kuwa ahadi ni kwa ajili yenu na watoto wenu, na kwa wote walio mbali, kama wengi kama Bwana Mungu wetu atamwita kwake. '
Tunaweza kuwa mbali na siku ya Pentekoste lakini ahadi ni kwa ajili yetu kama Mungu ametuita Mwenyewe… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Mbatata / viazi - 2 kilo.. soma zaidi
Tagsπ anaweza awe endapo fosiforasi gharama haijawa haipati hali haraka hilo ina inahitaji inaweza ishara jambo kabla kawaida kipato kubadili kugundua kukuonyesha kuongeza kupunguza kutatua kutenganeza kutengeneza kutosha. kuwa kwa kwenye la lazima madini majani maji mavuno mbaya. mbolea mboleajinsi mimea mimea. mkulima mwenyewe. na ni nini. nitrojen pamoja rahisi rangi rutuba sana tagi: tatizo tayari tosha udongo upungufu virutubisho virutubisho. vya wa ya wiki
Mkulima anaweza kupunguza gharama, kuongeza rutuba kwenye udongo, mavuno pamoja na kipato kwa kutengeneza mbolea mwenyewe… soma zaidi
Tagsπ albino albino. ambao faida gani? hakuna inayopatikana kisayansi kuua kwa uchunguzi umeonyesha wa wanaoua wanapata watu yoyote wiki
Hakuna uchunguzi wa kisayansi ambao umeonyesha faida
yoyote inayopatikana kwa kuua Albino.
Madai ya kuwepo kwa faida katika mauaji ya Albino ni uvumi
mtupu unaoimarishwa na imani ya kishirikina na hazina msingi.
Kwa bahati mbaya uvumi huu umeimarika katika baadhi ya
jamii na hivyo kupelekea Albino kupata madhara makubwa
ya kujeruhiwa na wakati mwingine kuuawa katika jitihada za
kupata damu au viungo vya miili yao.
Kuua na kujeruhi ni kosa la jinai linaloadhibiwa kisheria. Serikali
kwa sasa ina msimamo mkali wa kukomesha makosa haya ya jinai
kwa kutumia sheria kuhukumu watuhumiwa wanapokamatwa hii
ni pamoja na kuelimisha jamii… soma zaidi
Tagsπ wiki
Kwa kawaida mtu anapoamua kwenda kupima mara nyingi anakuwa na sababu za kumfanya ahisi kuwa au kutokuwa na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI. Kwa hiyo mtu akipata jibu kuwa hana maambukizi ya Virusi vya UKIMWI, i itabidi ajiulize huo wasiwasi ulitokea wapi.
Pale mtu anapojua ni kitu gani kilimfanya aende kupima, ni vyema mtu huyo kukaa mbali / kuacha kurudia hilo jambo au tabia i iliyomweka katika hatari ya kupata maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Kwa mfano, kama alifanya ngono na mtu zaidi ya mmoja na kwa nyakati zote hakutumia kondomu. Baada ya kupima, mtu huyu anatakiwa aache tabia ya kuwa na wapenzi wengi na pia awe anatumia kondomu kujikinga dhidi ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Ni muhimu kuchukua tahadhari zote i ili kujikinga na maambukizi ya Virusi na UKIMWI na UKIMWI… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
KUOLEWA NI NDOTO KUU YA KILA MWANAMKE ALIYEKAMILIKA ILA KAMA UNA TABIA HIZI UTAZEEKEA NYUMBANI.. soma zaidi
Tagsπ 1980 afya bila binadamu cha hatari husaidia hutegemea katika kinga kiwango kugawanyika kupambana kupungukiwa kutokana maambukizo magonjwa. makundi makuu mawili mbalimbali. miaka msichana mwa mwanzoni mwili mwilini mwilini. na sababisha sababu ujio ukimwi unaweza upungufu vimelea vinavyo vinaweza virisi virusi vya vyanzo wa ya yaani yake wiki
Afya ya mwili wa binadamu hutegemea kiwango cha kinga mwilini. Kinga ya mwili husaidia mwili kupambana na vimelea hatari vinavyo sababisha magonjwa. Mwili wa binadamu unaweza kupungukiwa na kinga yake kutokana na sababu mbalimbali.
Kutokana na ujio wa virusi vya UKIMWI mwanzoni mwa miaka ya 1980, sababu ya vyanzo vya upungufu wa kinga mwilini vinaweza kugawanyika katika makundi makuu mawili yaani upungufu wa kinga mwilini kutokana na maambukizo ya virisi vya UKIMWI na upungufu wa kinga mwilini bila maambukizi ya virusi vya UKIMWI… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Unga ngano vikombc 3
Unga mbegu za mchicha kikombe 1
Baking powder vijiko vidogo
Maziwa kikombe 1
Sukari kikombe 1
Blue band kikombe Β½
Mayai 10-12.. soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Nyama (kata vipande vidogodogo) - Β½ kilo.. soma zaidi
Tagsπ habari
USIPUUZE KILA KITU NA USIAHIRISHE KILA KITU.. soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Matunda yote yana faida mwilini kiafya lakini matunda yanatofautiana kifaida. Zifuatazo ni faida za kula matunda ya aina Mbalimbali;.. soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Mchele wa Basmati /Pishori - 4 vikombe.. soma zaidi
Tagsπ wiki
Dawa za kulevya zenyewe hazisababishi UKIMWI na magonjwa ya zinaa. Lakini utumiaji wa dawa za kulevya hurahisisha kupata na kuenea kwa magonjwa haya. Dawa hizi hudhoofisha mwili na kinga ya mwili. Hivyo basi hurahisisha virusi vya magonjwa kuingia mwilini mwa mtumiaji kiurahisi… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Matunda ni mojawapo wa kundi la vyakula, ni muhimu sana kwa afya bora. Matunda yakitengenezwa vizuri yanavutia sana na yanakuwa ni chakula kizuri sana… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Mchele Basmati - 4 vikombe.. soma zaidi
Tagsπ kilimonaufugaji
Kutifua udongo ni jambo la muhimu sana ili kuufanya udongo kuwa bora… soma zaidi
Tagsπ kutibu-chunusi-kiasili mapishinalishe
Mvuke husaidia kusafisha ngozi. Ni rahisi sana kutumia mvuke kutibu chunusi… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
Mume alirejea nyumbani na kukuta ujumbe juu ya meza umeandikwa "NIMEONDOKA" ilikuwa jioni, alienda jikoni na kukuta kukavu, aliwaita watoto na kuwauliza wakasema walimuona Mama akiondoka na begi lakini hakuwaambia anaenda wapi. Mume alichanganyikiwa, alijaribu kuchukua simu kumpigia lakini ilikuwa haipatikani, kabla hajafanya chochote mtoto wao wa mwaka mmoja alikuja akilia na kusema ana njaaa… soma zaidi
Tagsπ cha hayakauki imewaagiza kituo kuhakikisha kuzalisha maji mtera serikali tanzania: umeme wanaosimamia wataaalam habari
Serikali imewaagiza wataaalam wanaosimamia kituo cha kuzalisha umeme cha MTERA kuhakikisha maji katika bwawa hilo hayakauki wakati wote hasa kipindi cha kiangazi ili kuzalisha umeme wakati wote… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Unga wa ngano (plain flour) 1/4
Kitunguu kikubwa (chopped/slice onion) 1
Yai (egg) 1
Chumvi (salt)
Mafuta (cooking oil).. soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Kidali cha kuku 1 kikubwa
Swaum,tangawizi 1 kijiko cha chai
Limao 1/2
Pilipili ya unga 1/2 kijiko cha chai
Curry powder 1/2 kijiko
Paprika 1/2 kijiko cha chai
Hoho jekundu 1/2
Hoho la njano 1/2
Kitunguu 1/2
Chumvi
Olive oil.. soma zaidi
Tagsπ afya mapishinalishe
Je unafahamu ya kwamba rangi ya mkoja inakupa matokea sahihi kuhusu afya yako? Kama jibu ni hapana basi makala haya yanakusu wewe, kwani rangi ya mkoja kwa mujibu wa watalamu wa afya unauwezo mkubwa wa kukuoa ukweli juu ya afya yako… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Samaki mbichi (1)
Viazi mbatata (3)
Nyanya (1)
Kitunguu maji
Limao
Kitunguu saumu
Tangawizi
Chumvi
Pilipili
Vegetable oil.. soma zaidi
Tagsπ mahusiano
Nawaandikia ninyi vijana wa kiume na wanaume wote, maana mna nguvu na mmejaliwa na mwenyezi Mungu utashi, hekima na busara. Yote hayo ni ili muweze kutawala kila kitu tokea kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu huu. Wekeni wivu pembeni na Yafuateni haya;.. soma zaidi
Tagsπ tibu-shinikizo-chini mapishinalishe
.. soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Mashonanguo mkono 1
Tui la nazi kikombe 1
Karanga zilizosagwa kikombe Β½
Mafuta vijiko vikubwa 4
Kitunguu 1
Nyanya ndogo 2
Chumvi kiasi.. soma zaidi