FURAHIA-VIDEOS-KWA-MHENGA
By, Melkisedeck Shine.
Tags ๐ maajabu vichekesho. Category ๐videos,: maajabu vichekesho, Angalia huyu jamaa anachofanya, usijaribu utaumbuka, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Kama hujui kupigana usipigane, angalia kilichompata huyu, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Huyu mtoto kavalishwa nguo Kawa kama kuku, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Huyu mwalimu kiboko, anataka kumscopion huyu mwanafunzi, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Cheka tena kidogo hapa kwenye hii video ya vituko, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Angalia ujinga wanaofanya hawa, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Na mzuka wote wa kuogelea wa huyu jamaa umeishia hapo hapo, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ maajabu. Category ๐videos,: maajabu, Huyu fundi anajiamini ni balaa, cheki anachofanya, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ maajabu michezo. Category ๐videos,: maajabu michezo, Duh Hawa watu ni hatari kwa kuruka, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Tamaa nyingine bwana, huyu jamaa kazidi sasa, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Duh! kumbe punda nao wahuni, angalia anachomfanya huyu, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ ajali gari. Category ๐videos,: ajali gari, Mafuriko mabaya usiombee, angalia huyu anavyozama na gari lake, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ ajali vichekesho. Category ๐videos,: ajali vichekesho, Utani mwingine mbaya, ona mwenzio kilichomkuta, kaishia kupigwa risasi, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ mazoezi michezo. Category ๐videos,: mazoezi michezo, Mtaalamu wa kufanya mazoezi, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ vichekesho. Category ๐videos,: vichekesho, Huyu alivyokaa, kama zimwi vile, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ changamoto michezo vichekesho. Category ๐videos,: changamoto michezo vichekesho, Hii michezo mingine bwana ni balaa, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ maajabu nyoka wanyama. Category ๐videos,: maajabu nyoka wanyama, Kwa watumiaji wa vyoo vya sinki cheki kilichotokea hapa kwenye Choo hii ni hatari, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ simba wanyama. Category ๐videos,: simba wanyama, Huyu kweli katisha, cheki anachofanya na hawa simba wake, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ maajabu michezo. Category ๐videos,: maajabu michezo, Angalia huyu jamaa alivyo mtaalamu wa haka kamchezo, ๐Angalia video hapa
Tags ๐ gari maajabu vichekesho. Category ๐videos,: gari maajabu vichekesho, MAAJABU: Hili gari ni kiboko, angalia lilivyobeba watu wengi, ๐Angalia video hapa
.
.
Endelea kuperuzi;-๐
๐ฌ FURAHIA-VIDEO-KWA-MHENGAโ
๐ฌ FURAHIA-MHENGA-KWA-VIDEOSโ
๐ฌ FURAHIA-WAHENGA-KWA-VIDEOโ
๐ฌ FURAHIA-WAHENGA-KWA-VIDEOSโ
๐ฌ FURAHIA-VIDEO-KWA-WAHENGAโ
๐ฌ FURAHIA-VIDEOS-KWA-WAHENGAโ
๐ฌ FURAHIA-VIDEOS-MHENGAโ
๐ฌ FURAHIA-VIDEO-MHENGAโ
๐ฌ FURAHIA-MHENGA-VIDEOSโ
๐ฌ FURAHIA-WAHENGA-VIDEOโ
๐ฌ FURAHIA-WAHENGA-VIDEOSโ
๐ฌ FURAHIA-VIDEO-WAHENGAโ
๐ฌ FURAHIA-VIDEOS-WAHENGAโ
๐ฌ CHEKA-VIDEOS-NA-MHENGAโ
๐ฌ CHEKA-VIDEO-NA-MHENGAโ
๐ฌ CHEKA-MHENGA-NA-VIDEOSโ
๐ฌ CHEKA-WAHENGA-NA-VIDEOโ
๐ฌ CHEKA-WAHENGA-NA-VIDEOSโ
๐ฌ CHEKA-VIDEO-NA-WAHENGAโ
๐ฌ CHEKA-VIDEOS-NA-WAHENGAโ
Tags๐ wiki
Neno VVU ni i virusi au vijidudu vinavyosababisha ugonjwa wa UKIMWI. Neno hili kwa lugha ya Kii ngereza ni HIV yaani โHuman Immunodeficiency Virusโ. UKIMWI ni kifupi cha maneno matatu ambayo ni Upungufu wa Kinga Mwilini. Kwa Kii ngereza jina la UKIMWI AIDS ambacho kirefu chake ni โAcquired Immune Deficiency Syndromeโ. Neno UKIMWI tayari linaonyesha tayari aina ya ugonjwa, i ikii manisha kuwa mwili umepungua uwezo wake wa kinga kwa maradhi mbalimbali mwilini. Dalili za upungufu huu ukianza kujitokeza basi maradhi haya huitwa UKIMWI.
Tofauti kati ya VVU na UKIMWI ni kuwa mtu aliyeambukizwa VVU bado anaweza kuonekana mzima wa afya. Pamoja na kuwa virusi hivyo vitaonenekana katika damu yake, ni kwamba virusi hivyo vitakuwa havijaanza bado kushambulia chembechembe nyeupe za damu. Kwa upande mwingine kinga ya mwili ya mtu anayeumwa UKIMWI i itakuwa tayari i i imepungua. Mwili wake utaanza kuugua magonjwa nyemelezi. Magonjwa nyemelezi hupata nafasi ya kushambulia mwili huu ambao tayari kinga imepungua. Watu wnaoumwa UKIMWI wanaweza kupungua uzito wa mwili, kuharisha au kupata matatizo ya ngozi. Hata hivyo maradhi haya siyo lazima yatokane na kuwa na VVU. Ili kuwa na uhakika, onana na mtaalamu yaani dakatari wako… soma zaidi
Tags๐ (mashudu 1. 2. 3. ardhi binadamu bora cha chakula dodoma hili hustawi hutumika jinsi karanga katika kilimo kulima kurutubisha kusini kutoa kwa mafuta mafuta. majani) mashariki mazao mbali mikoa mojawapo morogoro. na na: nazo ni njia nyingine pamoja tagi: tanzania vile wanyama ya yanayotoa zaid zao wiki
Karanga ni mojawapo ya mazao yanayotoa mafuta. Katika Tanzania zao hili hustawi zaid katika mikoa ya Kusini Mashariki, Dodoma na Morogoro. Pamoja na kutoa mafuta vile vile zao hutumika kwa njia nyingine mbali mbali, nazo ni pamoja na:.. soma zaidi
Tags๐ wiki
Ubikira ni nini?: Maana halisi ya neno โbikiraโ ni mwanamke au mwanaume ambaye hajawahi kabisa kujamii ana. Kujamii ana hapa i ina maana kwamba uume wa mwanaume unaingia katika uke wa mwanamke… soma zaidi
Tags๐ wiki
Watu Wengi Ambao Wako Kwenye Uhusiano Wanalalamika Kuwa Wenzi Wao Hawawaoneshi Upendo Kama Ilivyokuwa Siku Za Mwanzo Za Uhusiano Wao. Wanaeleza Kuwa Wanaona Uhusiano Wao Unalegalega Na Mapenzi Yanapungua Taratibu Kama Barafu Iyeyukavyo Juani… soma zaidi
Tags๐ afya mapishinalishe
Kukosa choo ni tatizo kubwa katika jamii zetu japo huwa halionekani kama ni tatizo. Hata hivyo kuna vyakula ambavyo vinapatikana kwa urahisi na vinasaidia kutibu tatizo la kukosa choo kwa njia rahisi kabisa… soma zaidi
Tags๐ wiki
Ndiyo, i inawezekana kwamba mwanamke anayepata hedhi yake kila mwezi akawa mgumba. Na vilevile i inawezekana kwamba mwanamke asiyepata hedhi kila mwezi siyo mgumba.
Ni kweli kwamba kuna uhusiano fulani kati ya hedhi na uwezo wa kupata mimba. Kupata hedhi kila mwezi i i inamaanisha kuwa mwanamke anao uwezi wa kutengeneza yai kila mwezi. Hata hivyo, siyo rahisi kuwa na uhakika i iwapo mirija ya kupitisha yai inaweza kulipitisha yai hilo kutoka kwenye kokwa hadi kwenye tumbo la uzazi. Kwa hiyo hata mwanamke ambaye anapata hedhi kila mwezi anaweza kuwa mgumba.
Ili mwanamke awe na uhakika kama ni mgumba au la, ni vyema akamwone daktari kwa ajili ya uchunguzi… soma zaidi
Tags๐ mahusiano
UMETOKA KAZINI UMEKUTA PANYA 6 ndani.
Panya wa 1- Anakula Vyet vyako vya degree ya pili.ยญ
Panya wa 2- Anakula cheti chako cha Ndoa
Panya wa 3- Anakula Hati ya kusafiria na safari ni kesho… soma zaidi
Tags๐ habari
Watu watatu wamekufa na wengine thelathini wamelazwa hospitalini kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu nchini Tanzania na hasa katika mji wa kibiashara wa Dar es salaam.
Wataalamu wa afya wamesema kwamba mlipuko huo unapatikana kwenye maeneo ambayo hayana usafi wa kutosha na vyoo vya kisasa hasa katika maeneo yenye msongamano wa makazi katika jiji hilo… soma zaidi
Tags๐ mahusiano
DONGO LA LEO ……..
Kwa lugha nyepesi ni kwamba ukiajiriwa maana
yake umeshindwa kujitegemea kwa ujuzi wako
(yaani hujui ufanyie nini) hivyo umeona uukabidhi
ujuzi wako kwa wenye "akili na uwezo" wa
kuupangia matumizi ya huo ujuzi wako… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Tambi (vermiceli Roasted) Mifuko 2.. soma zaidi
Tags๐ kilimonaufugaji
Mbinu hizo ni hizi zifuatazo;.. soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Viazi utamu 3
Nyanya 2 kubwa
Kitunguu
Tango
Limao
Chumvi
Pilipili
Mafuta (vegetable oil).. soma zaidi
Tags๐ ambayo anaozwa au bila hayo hiari hivyo ile katika kizuri kufunga kukubali kulazimishwa kuwachagulia kwa mazingira mke. mume mwanamke mwanamume mwenyewe mwingine ndoa ndoa. ni nini wakati wanafikiri wanajua wanalazimishwa waona wasichana watoto wavulana wazazi ya yake. yeye wiki
Ndoa ya kulazimishwa ni ile ambayo mwanamume au mwanamke
anaozwa bila yeye mwenyewe kukubali kufunga ndoa kwa
hiari yake. Katika mazingira hayo wasichana au wavulana
wanalazimishwa kufunga ndoa. Wakati mwingine wazazi wanafikiri
wanajua nini kizuri kwa watoto waona hivyo kuwachagulia mume
au mke… soma zaidi
Tags๐ biashara. cahakula cha chini. hili huchanganya jinsi kama kipato kulima kunde kutupatia kwa la mazao mbaazi mengine muhimu muhogo mwingine n.k. na ni njugumawe sana tagi: tanzania umuhimu utangulizi vile wa wadogo wakati wakulima wengi wenye ya zaidi zao wiki
Utangulizi
Zao la muhogo ni muhimu sana kwa Tanzania zaidi kwa wakulima wadogo wenye kipato cha chini. Wakulima wengi huchanganya zao la muhogo na mazao mengine kama vile kunde, mbaazi, njugumawe, n.k. Umuhimu wa zao hili ni kutupatia cahakula na wakati mwingine kwa biashara. Kwa kanda ya kusini muhogo ni chakula kikuu ambacho kinachuku asilimia 75 ya chakula kwa maeneo yote yamikoa ya Lindi na Mtwara… soma zaidi
Tags๐ ama anavyopenda au binafsi familia haki hata hilo. huwa imegeukwa. iwapo jambo juu kama kuanzisha kuchagua kuishi. kumchukulia kumlazimisha kuoa kuolewa lini maamuzi msichana mtoto mtu mvulana mwenyewe na nani ni rafiki uhuru unaoa wa wamelazimishwa wanakushauri wazazi wewe ya yako zinazokiukwa wiki
Nani na lini unaoa ni maamuzi yako binafsi wewe mwenyewe,
hata kama rafiki na wazazi wanakushauri juu ya jambo hilo.
Kumlazimisha mtoto kuoa au kuolewa ni kumchukulia mtu uhuru
wa anavyopenda kuishi. Haki ya kuchagua kuoa, ama kuolewa
au kuanzisha familia yako huwa imegeukwa. Haki hii ni sehemu
ya makubaliano ya kimataifa na sehemu ya programu na hatua
ya Umoja wa Mataifa tangu mkutano wa Cairo 1994. Sheria
ya ndoa, Tanzania13 inasisitiza kwamba hakuna ndoa halali,
isipokuwa ipate ridhaa na iwe ya uhuru na hiari kutoka pande
zote za wanaokusudia kuoana. Ndoa yoyote ambapo pande
zimehusika hazikubaliani ndoa hiyo si halali… soma zaidi
Tags๐ uchumi
Wengi wetu tunapenda Mafanikio, tunapenda kufika mbali tunapeda kuwa kama Mengi siku moja… soma zaidi
Tags๐ mahusiano
Ishara hizi zinaweza zikakusaidia kumgundua msichana anayekupenda, wasichana wanatofautiana ila wengi wao wana-share ishara tofauti. Mwanamke anayekupenda hatakosa kati ya hizi.. soma zaidi
Tags๐ tibu-shinikizo-chini mapishinalishe
Unaweza kutumia Lozi na maziwa kutibu shinikizo la chini la damu kama ifuatavyo;.. soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Yai bichi linaweza kuwa na vijidudu viitwavyo kwa kitaalamu โSALMONELLAโ vinavyoweza kusababisha tumbo kuuma, kichefuchefu na pia kuharisha.
Vijidudu ya โSalmonellaโ vinaweza kusababisha madhara makubwa kwa watoto, wazee na wale wenye hali dhaifu ya kimwili kama wagonjwa wa UKIMWI… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Wali wa hoho ni chakula maalum kinachotumika katika hafla au sherehe. Ni chakula chenye ladha nzuri na kina muonekano wa kuvutia kinapokuwa mezani tayari kwa kuliwa… soma zaidi
Tags๐ sayansinatekinolojia
Daktari justice Authur, ambae ni daktari kule africa kusini ameniomba kuwagawia hii na nyie pia. Amesema ni muhimu sana… soma zaidi
Tags๐ aina inayohakikisha katika korosho kulima kwa la mbinu miche mikorosho mkorosho moja muhimu ni pekee sababu tagi: teknolojia ubebeshaji uendelezaji uliopandwa. usahihi utangulizi uzalishaji viwango vya wa ya zao wiki
Ubebeshaji miche ya mikorosho ni moja ya mbinu muhimu katika uendelezaji wa zao la korosho kwa sababu ni teknolojia pekee inayohakikisha usahihi wa viwango vya uzalishaji wa aina ya mkorosho uliopandwa… soma zaidi
Tags๐ afya mapishinalishe
Kila wakati unashauriwa na watalam wa afya ya kwamba unatakiwa kula tende kwa wingi ili kupata faida zifuatazo katika mwili wako:.. soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
โโpiga chini kitambiโโ.. soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Biriani ni miongoni mwa vyakula ambavyo ni nadra sana kupikwa katika familia nyingi tofauti na vyakula vingine. Inawezekana ni kutokana na watu wengi kutoelewa namna ya kuoika chakula hiki kutokana na kuhitaji viungo vingi ambavyo huwapa usumbufu wapishi.
Kuna aina mbalimbali za upishi wa biriani ambapo mara nyingi hutofautiana kutokana na viungo vinavyotumika katika upishi.
Biriani la mbogamboga ni miongoni mwa aina hizo za upishi. Chakula hiki kinaweza kuliwa na kila mtu hususan wale wasiotumia nyama wala samaki… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Pilipili hoho (Red pepper 3)
Cougette 1
Kitunguu (onion 1)
Uyoga (mashroom 1 kikombe cha chai)
Carrot 1
Nyanya (fresh tomato 1)
Nyanya ya kopo iliyosagwa (tomato paste 3 vijiko vya chai)
Giligilani (fresh coriander)
Binzari manjano (Turmaric 1/2 ya kijiko cha chai)
Curry powder 1/2 ya kijiko cha chai
Chumvi (salt)
Mafuta (vegetable oil).. soma zaidi
Tags๐ wiki
Dalili moja i iliyo wazi zaidi ni kukosa hedhi. Mwanamke akijamii ana na mwanaume bila kutumia kinga yoyote na asipopata hedhi katika muda unaotakiwa, mara nyingi i i ina maana kwamba amepata mimba… soma zaidi
Tags๐ aina albino cha hapana. hawafanani hawana hizi je kabisa kiasi kidogo kufuatana kwa mbalimbali melanini na nacho; tu. ualbino ualbino. walicho wamegundua wanafanana wanaoishi wanasayansi wanatofautiana wanayo watu wengine wote wote? za wiki
Hapana. Albino wote hawafanani, wanatofautiana kufuatana na
kiasi cha melanini walicho nacho; wengine hawana kabisa na
wengine wanayo kwa kiasi kidogo tu. Wanasayansi wamegundua
aina mbalimbali za ualbino. Kufuatana na aina hizi za ualbino.. soma zaidi
Tags๐ afya mapishinalishe
Ukwaju ni tunda maarufu sana ambalo hupatikana katika maeneo yenye uoto wa kitropiki. Kwa kingereza hujulikana kama tamarind, na kwa kitaalamu (botanical name) huitwa tamarindus indica, waarabu huita tamru alhind. Katika baadhi ya maeneo hutumiwa kama kiungo katika mboga… soma zaidi
Tags๐ kilimonaufugaji
Vitungu saumu vina manufaa sana katika kukabiliana na aina mbalimbali za wadudu waharibifu na baadhi ya magonjwa kutokana na kuwa na harufu kali inayosaidia kuwafukuza wadudu kama vidukari, bungo na hata panya… soma zaidi
Tags๐ wiki
Kuku anayetaga kwa siku huhitaji kiasi cha gramu 130 za chakula pamoja na maji safi wakati wote… soma zaidi
Tags๐ albino cha hapana je kawaida? kitu kuhusu laana? macho mekundu?โฆโฆโฆ.. na ni tu ualbino ugonjwa? ukweli unaambukiza? unawapata wana wanaoishi watu weusi?โฆโฆโฆ.. โฆโฆโฆ.. โฆโฆโฆ..hapana wiki
- Je, ualbino unaambukiza? ……….. Hapana
- Ualbino ni ugonjwa? ………..Hapana
- Ualbino ni laana? ………..Hapana
- Ualbino ni kitu cha kawaida? ………..Hapana
- Ualbino unawapata tu watu weusi?……….. Hapana
- Watu wanaoishi na ualbino wana macho mekundu?……….. Hapana
- Albino ni watu wenye imani za ushirikina? ………..Hapana
- Albino wana nguvu za giza? ………..Hapana
- Je, Albino hawana akili? ………..Hapana
- Je, ni kosa la mwanamke anayezaa mtoto Albino? ………..Hapana
- Je, jamii ibadili mtazamo hasi iliyo nao kuhusu Albino?……….. NDIYO.. soma zaidi
Tags๐ afya mapishinalishe
Mojawapo kati ya magonjwa yanayohusishwa na umaskini na uchafu wa kupindukia ni ugonjwa wa Kipindupindu. Inaripotiwa kuwa Kipingupindu ni miongoni mwa magonjwa ambayo huathiri jamii maskini zaidi kwa kiasi kikubwa hasa hasa kwenye nchi zinazoendelea, kiasi kwamba Shirika la Afya Duniani (WHO) limeuweka ugonjwa huu kama mojawapo ya viashiria vya maendeleo ya jamii husika… soma zaidi
Tags๐ asilia chakula hamu homoni katika kufanya kukosa kutengeneza kuwa kwa la madawa mapenzi matatizo matumizi mfumo mkubwa msongo mwanamme na ndoa pombe sababu tatizo tendo tiba uchovu umri viagra wa ya za wiki
Tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa mwanamme linaweza kusababishwa na vitu vingi sana. Sababu hizo zinaweza kuwa za kimaumbile au kisaikolojia au za mchanganyiko wa vitu hivyo viwili. Hebu tuone baadhi ya vyanzo vya tatizo hili… soma zaidi
Tags๐ afrika baada biashara bidhaa hayo humo huo imetia inayopata kati kilimo kufuata kuku kuku. kuondoa kuruhusu kusimamisha kusini kutishia kuuza makubaliano manufaa marekani mataifa mgogoro na nchini saini tagi: wa wake wasiwasi ya yanatarajiwa za habari
Makubaliano hayo yanatarajiwa kuondoa wasiwasi kati ya mataifa hayo baada ya Marekani kutishia kusimamisha manufaa ya biashara za bidhaa za kilimo inayopata Afrika Kusini kufuata mgogoro huo wa kuku.
Afrika Kusini ina wasiwasi kwamba mlipuko wa ugonjwa wa homa ya kuku ambao umewaua takriban ndege milioni 50 huenda ikasababisha hatari ya kiafya miongoni mwa wanyama na binaadamu.
Kuku ni chakula kinachopendwa sana Afrika kusini na wakosoaji wana wasiwasi kwamba Marekani itapeleka kuku wa ziada katika taifa hilo,hatua ambayo wanasema itaathiri pakubwa bishara ya nyama hiyo nchini humo… soma zaidi
Tags๐ kilimonaufugaji
Ukitaka kuwavutia na kuingiza nyiki kwenye mzinga unatakiwa kufanya yafuatayo;.. soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Mchele - 3 vikombe.. soma zaidi
Tags๐ mahusiano
Mambo 7 ambayo mwanaume apaswi kumfanyia mke wake..
1. Usimpige.
2. Usimtukane na kumshushia heshima… soma zaidi
Tags๐ afya mapishinalishe
Hakuna mtu anayependa kupata majeraha au kuchelewa kupona majeraha. Kwa kuwa uhai na uzima wetu haupo mikononi mwetu, ni vyema tukafahamu kuwa kuna wakati tunaweza kuumia… soma zaidi
Tags๐ uchumi
*AMINI UNA AKILI YENYE UWEZO MKUBWA WA KUBUNI WAZO LA KUWEZA KUKUSAIDIA KUFANIKIWA KIMAISHA.*.. soma zaidi
Tags๐ habari
Katika nchi ya Kenya kuna kabila linafahamika kwa jina la Wagiriama. Kiasilia kabila hili linatokea kwenye familia lugha ya Wakushitiki,ambao wanahistoria wengi wanakubaliana kuwa walitokea maeneoa ya Uhabeshi yapata miaka ya 1000. Kabila hili nchini Kenya linapatikana kando kando ya mto Athi na pia kwa sasa wanapatikana maeneo mengi ya pwani ya Kenya ikijumuisha Mombasa mpaka Lamu.shughuri kubwa ya kabila hili ni ufugaji kama ilivyo kwa makabila yanayopakana nao kwa mfano Wamasai… soma zaidi
Tags๐ tibu-shinikizo-chini mapishinalishe
Hatua za kufuata.. soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Unga 4 Vikombe
Sukari 10 Ounce
Siagi 10 Ounce
Mdalasini ya unga 2 vijiko vya chai
Matunda makavu/njugu (kama lozi,
Zabibu, maganda ya chungwa,
Cherries na kadhalika 4 ounce
Maziwa ya maji 4 Vijiko vya supu.. soma zaidi
Tags๐ uchumi
Kwenye maisha fursa moja tu inatosha kabisa
kubadilisha hali yako ya sasa na kukuweka kwenye
kiwango kingine kabisa cha mafanikio.Kuna watu
wengi sana ambao waliwahi kufikiria kuwa maisha
yao yatachukua miaka mingi sana kabla
hayajabadilika na kwa mshangao wao walipoanza
kufanya vitu sahihi wakakutana na mabadiliko
makubwa sana katika maisha yao kwa kupitia
fursa moja tu… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Unaweza kutibu chunusi bila kwenda hospitalini kama ifuatavyo;.. soma zaidi
Tags๐ mahusiano
1. Hakikisha unakuwa msafi kwa kila kitu hasa unapo kuwa naye.
2. hakikisha unampa uhuru wa kutosha mnapo kuwa mnafanya mapenzi namaanisha awe na maamzi juu ya mwili wake usimrazimishe kama hayuko tiari, umuandae kabula ya kutumbukiza dushelele yako, uhakikishe anafika kileleni kila unapofanya naye mapenzi.. soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukisa damu ya kutosha… soma zaidi
Tags๐ mahusiano
Moyo umebeba hisia nying sana za mwanadamu
usipende kukwaza moyo Wa Mwenzako… soma zaidi
Tags๐ akili akili. au hali hatari hukabiliwa ili ilivyo kama kawaida kukabiliana kuvikwepa. kwa maisha mawazo mfadhaiko msichana msongo mwili mwitikio na ngumu.. ni pia rahisi sehemu siyo tagi: wa wasichana watu wengine ya wiki
Wasichana pia kama ilivyo kwa watu wengine, hukabiliwa na msongo wa mawazo na mfadhaiko wa akili. Msongo na mfadhaiko ni sehemu ya maisha na siyo rahisi kuvikwepa. Msongo wa mawazo ni mwitikio wa akili na mwili ili kukabiliana na hali ya hatari au hali ngumu..
Kwa kawaida msongo wa mawazo na mfadhaiko wa akili hutokana na tafsiri hasi ya akili ya mtu kwa jambo lolote linapompata au analowazia kuwa litampata. Kwa wasichana wa kizazi kipya vyanzo vya msongo na mfadhaiko wa akili vinaongezeka.
Wanafunzi wanaposhinikizwa sana kufaulu masomo hutumia muda mwingi kukaza sana fikra zao juu ya kazi za shule na kukosa usingizi wa kutosha. Mlundikano wa masomo mengi na kazi nyigi za kimasomo kama maandalizi ya wanafunzi kufaulu mitihani na kujitayarisha kwa ajili ya kupata kazi katika ulimwengu usio na ajira za kutosha, huongeza shinikizo, msongo na mfadhaiko kwa wasichana… soma zaidi
Tags๐ wiki
Magonjwa mengi ya zinaa yana dawa za kutibu, kwa mfano: kisonono, kaswende, klamdia, kankroidi au utando mweupe. Lakini hata hivyo ni lazima upate matibabu mapema. Ukisubiri muda mrefu bila ya kutibiwa, inawezekana kwamba via vya uzazi vikapata madhara ya kudumu, kwa mfano, kuziba kwa mirija ya kupitisha mayai… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Chakula unachokula kina mchango mkubwa katika kutibu tatizo hili. Vyakula vingi vya kisasa havina uwezo wa kuongeza uwingi wa mbegu… soma zaidi
Tags๐ wiki
Ndiyo, unaweza kuambukizwa ukitumia nyembe kali au sindano kwa kuchangia pamoja na mtu mwenye virusi i vya UKIMWI. Matumizi ya vyombo vyenye makali, kama sindano, visu au nyembe yana hatari. Kama baada ya kutumika damu husalia katika vyombo hivi, na endapo vitatumika bila kutakaswa au kuchemshwa, matumizi yake yanaweza kusababisha maambukizi ya magonjwa mbalimbali, pamoja na UKIMWI.
Kwa hiyo ni muhimu sana kutochangia vifaa vyenye makali na watu wengine au lazima kuvitakasa na kuchemsha kila baada ya kuvitumia… soma zaidi
Tags๐ afya mapishinalishe
Mrija wa mkojo (urethra) ni kiungo muhimu kinachotoa mkojo nje ya mwili kutoka kwenye kibofu. Mrija huu unaposinyaa au kuziba hufanya utokaji wa mkojo kuwa wa
mashaka na maumivu makubwa. Kusinyaa/ Kuziba kwa mrija wa mkojo huitwa pia
urethral stricture… soma zaidi
Tags๐ habari
Tafakuri Tafakarishi:
Mwanaume hujaribiwa na Shetani akiwa na hela. Lakini shetani humkimbia akiishiwa. Angalia wanaume wengi wakiwa na hela wanavyo behave. Hawajali familia zao, attention yao kubwa ni kwenye ulevi, vimada, disco, kamari, makasino etc. Lakini wakiishiwa wanashinda nyumbani, wanajali familia, wanapanga mipango ya maendeleo (ambayo mingi haitekelezeki akishapata hela)… soma zaidi
Tags๐ albino ambao au bluu. dini. familia hali hawana hii hutokea inaonekana ingawaje jamii kabila katika kijivu kila kuliko kuwa kwa maana mabara macho moja na ndugu ngozi ni nini nyekundu nyeupe nywele rangi taifa ualbino ualbino. ualbino? ulimwenguni. wa wako wana watu weusi ya yake yao yote za zaidi zao wiki
Albino wana ngozi nyeupe, nywele nyeupe au nyekundu na macho
ya kijivu au ya bluu. Ngozi yao ni nyeupe zaidi kuliko ndugu zao
wa familia moja au watu wa jamii yake
ambao hawana hali ya ualbino. Ngozi hii inaonekana zaidi kuwa
nyeupe katika familia za watu weusi, ingawaje, ualbino
hutokea kwa watu wa kila taifa, rangi, kabila na dini. Albino
wako katika mabara yote ulimwenguni… soma zaidi
Tags๐ mahusiano
Mithali 14:1โKila mwanamke aliye na Hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu hibomoa kwa mikono yake mwenyeweโ
Kuna mithali isemayo โMAJUTO MJUKUUโ, ni kawaida kwa wanandoa kuangalia na kulaumiana juu ya matatizo yanayojitokeza, badala ya kutafakari chanzo cha matatizo. Matatizo mengi ya ndoa yanatokana na wanandoa kutokuwa na elimu ya ndoa na kutofuata ushauri wa Mungu aliyeanzisha Ndoa… soma zaidi
Tags๐ (yohana . 1. 2. 16 8). anauhakikishia bila dhambi habari haki hapo hawangeweza hayo hii hiyo hukumu inayokuja juu kama katika kazi kufanya kujitambua kumugeukia kutambua kutubu kuwa kwa la maalum mambo mawasiliano mtakatifu mtakatifu. mungu na neno ni roho ulimwengu upesi vile wanaositahili wao wao.na watu wenye ya yafuatayo. yaliyotajwa yeye wiki
Kazi ya Roho Mtakatifu… soma zaidi
Tags๐ habari
WAKATI akiondoka Dar es Salaam kuelekea nchini Liberia kuhudhuria Mkutano wa 16 wa Wakuu wa nchi Huru za Kiafrika (OAU) uliopangwa kufanyika Julai 17, 1979, Rais wa Awamu ya kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alifahamu fika, kwamba pasingekuwa na vigelegele kwake mjini Monrovia kwa kushinda vita dhidi ya nduli Idi Amin wa Uganda, aliyevamia nchi yake Oktoba 30, 1978, na yeye Mwalimu akalazimika kuingia vitani bila kupenda… soma zaidi
Tags๐ mapishinalishe
Unga 3 Vikombe vya chai.. soma zaidi
Tags๐ baadhi bia hasa hukufanya husababisha husema ina je kwa kwamba kweli kweli? la mkubwa mkusanyiko mnene na ni ongezeko pombe sababu sukari tagi: uwe uzito wa wanga. watu ya wiki
Ni kweli kwamba baadhi ya pombe, hasa bia, husababisha
ongezeko la uzito kwa baadhi ya watu kwa sababu ina mkusanyiko
mkubwa wa sukari na wanga… soma zaidi
Tags๐ afya amejamiiana anayejaribu au dhuluma habari. hawana hila hiyo ili inaitwa iwapo kijinsia kufanya kujamiiana kushawishiwa kutokana kutumia kuwavuta kwa kweli maamuzi madhara matatizo mtoto mtoto. mtu mzima na naye. ni pia sahihi unyanyasaji vile wa wamekubaliana. wanaweza wasielewe wasiweze watakayopata watoto waweze wawili wote zaidi zao wiki
Ni kweli hiyo ni dhuluma na inaitwa unyanyasaji wa kijinsia kwa
mtoto. Watoto wanaweza kushawishiwa kwa kutumia hila kwa
mtu mzima anayejaribu kuwavuta ili waweze kujamiiana naye. Na
zaidi wanaweza wasielewe matatizo au madhara watakayopata
kutokana na kujamiiana kwa afya zao pia wanaweza wasiweze
kufanya maamuzi sahihi kwa vile hawana habari.
Mtoto hana uwezo wa kuchunguza mambo katika akili yake
kabla ya kujamiiana.
Uhusiano unaweza pia usiwe sawa kwa vile yule mtu mzima ana
uwezo na nguvu juu ya yule mtoto. Kwa hiyo itakuwa vigumu
kwa mtoto kujadiliana juu ya matumizi ya kondomu .Hizi ndiyo
sababu kwa nini watoto wanahitaji ulinzi maalum. Ni kosa
kujamiiana na msichana wa umri chini ya miaka 18.
Iwapo mtu anajamiiana na msichana chini ya miaka 18 mtu
huyo anawajibika kisheria, katenda kosa hata kama msichana
amempa ridhaa yake… soma zaidi
Tags๐ kuzuia_magonjwa_kuku kilimonaufugaji
Mambo hayo ni haya yafuatayo;
1. Hakikisha unaondoa matandazo yote ndani ya nyumba,
2. Ondoa vyombo vya kulishia na kunyweshea… soma zaidi