VIDEOS-ZA-WANAUME
By, Melkisedeck Shine.
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Haya mambo mengine huyawezi, waachie wenyewe, πAngalia video hapa
Tags π maajabu michezo. Category πvideos,: maajabu michezo, Hii ndiyo inaitwa ushirikiano kazini, πAngalia video hapa
Tags π michezo vichekesho. Category πvideos,: michezo vichekesho, Kocha akiwafundisha adabu wachezaji wake, πAngalia video hapa
Tags π maajabu. Category πvideos,: maajabu, Angalia hili gari lilivyofanywa chapati, πAngalia video hapa
Tags π ajali vichekesho. Category πvideos,: ajali vichekesho, Angalia huyu dogo baisikeli yake ilichomfanya, πAngalia video hapa
Tags π maajabu vichekesho. Category πvideos,: maajabu vichekesho, Angalia hii namna ya kujibadilisha kuwa mtoto, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Cheki kilichowapata hawa wadada, hawatakaa warudie, πAngalia video hapa
Tags π maajabu. Category πvideos,: maajabu, Angalia huyu mtu kitu anachofanya, siku moja itakuja kula kwake, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Mambo mengine usipofanya utotoni utayafanya uzeeni, limetimia kwa huyu, πAngalia video hapa
Tags π ajali gari. Category πvideos,: ajali gari, Angalia hili gari lilivyopata ajali kiajabu, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho wanawake. Category πvideos,: vichekesho wanawake, Dawa ya wanaume wanaopenda kuwachabo wanawake ndio hii, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Cheki hawa kuku wanachomfanyia huyu dogo, utoto jamani, πAngalia video hapa
Tags π ajali umeme. Category πvideos,: ajali umeme, Kilichompata fundi umeme baada ya kuzidisha mbwe mbwe kazini, πAngalia video hapa
Tags π maajabu vichekesho. Category πvideos,: maajabu vichekesho, Ona haya mazingaumbwe hapa ni noma ni kiboko, πAngalia video hapa
Tags π maajabu. Category πvideos,: maajabu, Angalia huyu mtu asiyekuwa na miguu lakini anaweza kuogelea vizuri kabisa kama mzima vile, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Kilichotokea kwa huyu jamaa baada ya kujaribu kumpanda n'gombe, πAngalia video hapa
Tags π maajabu. Category πvideos,: maajabu, Jamaa kiboko kwa mapishi haya, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huyu alivyokaa, kama zimwi vile, πAngalia video hapa
Tags π mjusi wanyama. Category πvideos,: mjusi wanyama, Angalia huyu mjusi anavyojivua gamba, πAngalia video hapa
.
.
Endelea kuperuzi;-π
π¬ VIDEOS-ZA-WANAWAKEβ
π¬ VIDEOS-KWA-WAZEEβ
π¬ VIDEOS-KWA-VIJANAβ
π¬ VIDEOS-KWA-WAKUBWAβ
π¬ VIDEOS-KWA-WANAWAKEβ
π¬ VIDEOS-KWA-WANAUMEβ
π¬ VIDEOS-TATAβ
π¬ VIDEOS-MAPEMAβ
π¬ VIDEOS-USIKUβ
π¬ VIDEOS-JIONIβ
π¬ VIDEOS-MCHANAβ
π¬ VIDEOS-ASUBUHIβ
π¬ VIDEOS-SASAβ
π¬ VIDEOS-FUPI-KALIβ
π¬ VIDEOS-FUPIβ
π¬ VIDEOS-KISWAHILIβ
π¬ VIDEOS-ZA-INSTAβ
π¬ VIDEOS-ZA-VICHEKESHOβ
π¬ VIDEOS-KUBWAβ
π¬ VIDEOS-MIKASAβ
Tagsπ mapishinalishe
Hizi ni nyama zitokanazo na samaki, kuku, ndege wa aina zote, bata, wadudu.. soma zaidi
Tagsπ habari
Mwendesha Mashtaka Mkuu nchini LIBYA, anaufanyia uchunguzi mkanda wa video unaowaonyesha walinzi wa gereza moja nchini humo wakimpiga mtoto wa aliyekuwa kiongozi wa nchi hiyo, Kanal MUAMMAR GADDAFI, SAAD GADDAFI… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
1. Kupakwa GV kwenye kidonda
2. Kung'olewa jino kwa uzi
3. Ubwabwa kupikwa jumapili tu
4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili' a.k.a tetesakrin
5. Kupamba kadi na pamba sebuleni
6. Ukumbi wa sherehe kupambwa kwa toilet paper
7. Kunyolewa kwa mkasi.. soma zaidi
Tagsπ kilimonaufugaji
Vitungu saumu vina manufaa sana katika kukabiliana na aina mbalimbali za wadudu waharibifu na baadhi ya magonjwa kutokana na kuwa na harufu kali inayosaidia kuwafukuza wadudu kama vidukari, bungo na hata panya… soma zaidi
Tagsπ wiki
Hii ni imani potofu ambayo imewafanya wanaume wengi kujiingiza kufanya surgery za gharama kubwa na wengine kupoteza pesa zao kwa ajili ya kutafuta dawa za kienyeji ili kuongeza maumbile kuwa marefu zaidi… soma zaidi
Tagsπ habari
Mkwawa alikuwa mmoja ya Kiongozi wa kabila la Wahehe, aliyepata kujiwekea historia kubwa sana katiba bara la Afrika na Tanzania kwa ujumla. Alifanikiwa kurithgi uongozi kutoka kwa Mwinyigumba kutokana na ushupavu wake katika kujengwa na kuendelea ufalme wa Uhehe miaka yab 1800. Hivyo katika kuhakikisha anafanya upanuzi wa utawala wake, Mkwawa ailijaribu kuvamia ardhi ya Ugogo ambayokwa miaka ambayo anafanya uvamizi huko Ugogoni kuliluwa na jamii za Kigogo zilizopata kukua. Hivyo kwenye makala hii fupi utapata Kufahamu habari na historia ya Chifu Mkwawa kuvamia ardhi yaUgogo… soma zaidi
Tagsπ akamwambia akina akiwa alienda anawasiwasi daktari huku kutoa kwa magonjwa mama mimba mmoja na wa ya mahusiano
Mama mmoja huku akiwa anawasiwasi alienda kwa daktari wa magonjwa ya akina mama na akamwambia
" mwanangu hajafikisha hata mwaka mmoja na mimi nimepata ujauzito tena"
Daktari akamwambia
"ni sawa, kwa hiyo unataka mimi nifanyeje?"
Mama akasema
"nakuomba unisaidie kutoa hii mimba na ninakutegemea mno daktari tafadhali nisaidie"
Daktari baada ya ukimya mfupi na kufikiri kidogo akamwambia yule mama
" Nadhani ninao msaada mzuri zaidi na ambao hautakuathiri kwa kwa namna yoyote kiafya".. soma zaidi
Tagsπ bata bei cha chakula faida ghali gharama hali hawa hula huwa ili jinsi juu. kabla kadri kama kawaida kingi kuanza kubwa kufuga kuhakikisha kuku. kula kuliko kumpatia kutosha kuwa kuzaliana kwa lazima majani matunzo mfugaji mzinga na ndege ni sababu sehemu tagi: ufugaji uhuru ulishaji una virutubisho. wa wanahitaji wanavyokua ya yake zaidi. wiki
Ili kuzaliana na kumpatia mfugaji faida, bata mzinga wanahitaji matunzo ya hali ya juu. Kwa kawaida bata mzinga hula chakula kingi kuliko kuku. Bei yake ni ghali zaidi… soma zaidi
Tagsπ amani ambazo furaha hisia humfanya kali ktk kujisikia maana mapenzi moyo mtu na ni tagi: upendo wake. ya za mahusiano
Mapenzi Ni Hisia Kali Za Upendo Ambazo Humfanya Mtu Kujisikia Furaha Na Amani Ktk Moyo Wake. Vilevile Mapenzi Yapo Ktk Matabaka Mawili, Tabaka La Kwanza Ni Mapenzi Ya Yanayohusisha Jinsia Mbili Tofauti Au Moja Kwa Dhamira Ya Kuridhishana Kingono. Tabaka La Pili Ni Mapenzi Yanayohusisha Jinsia Mbili Tofauti Au Jinsia Moja Kwa Dhamira Ya Urafiki Na Sio Kingono… soma zaidi
Tagsπ afya mapishinalishe
Dawa za kuulia wadudu maarufu kama viwatilifu zimetengenezwa kwa lengo la kuangamiza wadudu wanaoharibu mazao au wanaomdhuru binadamu. Hata hivyo kutokana na sababu kuwa lengo la dawa hizi ni kuangamiza, huathiri pia viumbe hai vingine akiwemo binadamu… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
1.Usichelewe kwenda HAJA. Kutunza mkojo kweye kibofu chako kwa muda mrefu ni wazo baya. Kibofu kikijaa kinaweza kusababisha uharibifu. Mkojo ambao unakaa kwenye kibofu huzidisha bakteria haraka.
Mara mkojo unaporudi nyuma ya njia na Figo, sumu dutu husababisha maambukizi ya figo, pia njia ya mkojo na "nephritis", pamoja na "uremia". Wakati wito asili (unahisi mkojo) fanya hivyo haraka iwezekanavyo… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
BILA shaka ubongo ni miongoni mwa viungo muhimu vya binadamu lakini ni watu wachache sana wanaoutilia maanani. Ubongo ndiyo kiungo kinachohusika na utendaji kazi wote wa mwili na ndiyo unaowezesha mwili kuishi maisha ya furaha au karaha… soma zaidi
Tagsπ wiki
Kuchagua mchumba ni moja ya maamuzi ambayo kijana anahitaji kuyafanya kwa uangalifu mkubwa sana. Kwa sababu huyo ndiye atakayekuwa mwenzi wake wa maisha. Katika kuchagua mchumba kila mtu ana mawazo yake kuhusiana na kilicho muhimu kuzingatiwa. Mara nyingi mhemuko una nguvu zaidi kuliko uamuzi wa kimantiki.. soma zaidi
Tagsπ habari
Zaidi ya watu MIA MOJA wameripotiwa kupoteza maisha kufuatia mvua kubwa iliyotokea nchini INDIA… soma zaidi
Tagsπ wiki
Yafuatayo ni mambo muhimu yanayochangia ubora wa maziwa.. soma zaidi
Tagsπ 18 afya atakayekuwa chini duni hatari hawajakomaa hawajawa huu juu katika kiakili kimwili kisayansi kuanza kufaa kupevuka kuwa kuyakabili kwa licha maamuzi maisha maisha. majukumu mdogo miaka mimba msichana mstakabali mtoto mtu mwenzi mwingi na ndoa ni nyingi pia sababu sahihi tayari umri unaonyesha ushahidi uwezo uzazi wa wakati wake.wasichana wanakuwa wao wasichana wengi ya yake zipo wiki
Zipo sababu nyingi na ushahidi mwingi wa kisayansi, unaonyesha kuwa, ndoa na mimba katika umri mdogo wa msichana chini ya umri wa miaka 18 ni hatari kwa afya na mstakabali wa maisha yake na mtoto wake.Wasichana wengi wakati huu licha ya kuanza kupevuka wanakuwa hawajakomaa kiakili na uwezo wao ni duni katika maamuzi juu ya kufaa kwa mtu atakayekuwa mwenzi sahihi wa maisha.
Kimwili pia wasichana katika umri huu wanakuwa hawajawa tayari kuyakabili majukumu ya uzazi na unyumba, nyonga za wasichana wanaoendelea kukuwa mara nyingi huwa changa na finyu kiasi kwamba husababisha matatizo mengi ya uzazi wakati wa kujifungua kwa njia ya kawaida… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye sahihi,,,… soma zaidi
Tagsπ kutibu-chunusi-kiasili mapishinalishe
Moja ya sababu za kutokea chunusi katika ngozi yako ni kuwepo kwa takataka au uchafu juu ya ngozi yako na njia rahisi ya kusafisha taka hizo ni kwa kutumia baking soda hivyo kuifanya ngozi ipumuwe vizuri… soma zaidi
Tagsπ wiki
Kitunguu swaumu ni jamii ya vitunguu ambayo kwa kitaalamu huitwa Allium sativum. Jamii hii ilianza kutumika katika mabara mbalimbali duniani hususani Asia, Afrika na Ulaya takribani miaka 6000 iliyopita. Matumizi makuu nyakati hizo yakiwa viungo katika mboga na tiba… soma zaidi
Tagsπ afya basi gani hali hiyo ina inahusiana kama katika kuamua kukidhi kuwa kwa kwamba lini maana maisha mambo mapenzi mfumo mtu muda na ni nini? pia uhuru ujinsia. usalama uwezo uzazi via vya wa wana wapate watoto watoto. watu watu. ya yanayojumuisha yao yote wiki
Afya ya uzazi inahusiana na mfumo wa uzazi wa mtu, na via
vya uzazi kwa watu. Kwa hali hiyo basi inahusiana na mambo
yote yanayojumuisha uzazi na ujinsia. Ina maana kuwa watu
wana uwezo wa kukidhi mapenzi na usalama katika maisha
yao, kwamba watu wana uwezo wa kuwa na watoto na pia wana
uhuru wa kuamua, kama lini na kwa muda gani wapate watoto.
Yaliyomo humu yanampa haki mwanamume na mwanamke kupewa
habari au kuelekezwa na kufikiwa na njia za uzazi wa mpango
ambazo ni salama, zinazofanya kazi, anazomudu kulipia na njia
zinazokubalika za uzazi wa mpango alizochagua na haki ya kuwa
na huduma za afya zinazofaa ambazo zitawawezesha wanawake
kuwa salama wakati wa ujazito na kujifungua… soma zaidi
Tagsπ uchumi
Ikiwa leo ni tarehe 1/12 huwezi amini kuwa hakuna tarehe 1 nyingine tutakayoiona ya mwaka huu hivyo sichelei kusema kuwa mwaka umeisha .Lakini mwaka unaishaje??? pengine hili ndilo swali gumu na la muhimu la kujiuliza .Je, Mwaka unaisha ukiwa umefanya nini cha kujipongeza??? .Je mwaka unakaribia kuisha maarifa yako yakiwa yameongozeka kwa kiasi gani???.Haya ni maswali muhimu sana unavyooanza kufikiria juu ya sherehe za mwisho wa mwaka… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Mbatata / viazi - 2 kilo.. soma zaidi
Tagsπ afya mapishinalishe
Unapotokwa na damu puani fanya yafuatayo;
1. Simama wima na inamisha kichwa kwa mbele, kusimama itakusaidi kupunguza kasi na presha katika mishipa ya damu puani wakati unapoinamisha kichwa kwa mbele huzuia kumeza damu ambayo italeta shida tumboni… soma zaidi
Tagsπ albino. ambavyo amebeba bado cha hakuna hali hayo inayofuatia je kama kichanga kikiwa kinachovuta kinasaba kipimo kitakuwa kugundua kujua kuna kuona kuonyesha kupima kutumia kuwepo kuwezesha kwa kwenye lakini maalamu maji majimaji mama mimba mjamzito mji mtoto na rahisi tumboni? ualbino ualbino. upo uwezekano vinaweza vipimo wa wakati wamepata watakuwa wazazi ya yaliyo wiki
Hakuna kipimo rahisi cha kuwezesha kuonyesha kama mama
mjamzito amebeba kinasaba cha ualbino. Lakini uwezekano upo,
kama wazazi watakuwa wamepata mtoto Albino. Uwezekano wa
kujua kama mimba inayofuatia kichanga kitakuwa na ualbino kwa
kutumia kipimo maalamu kinachovuta maji yaliyo kwenye mji wa
mimba na kupima hayo majimaji kuona kama kuna kinasaba cha
Albino. Hata hivyo, vipimo hivi ni vya gharama kubwa na kwa
kiasi kikubwa kwa sasa vinapatikana, katika hospitali kubwa
maalumu za nchi zilizoendelea (Ulaya, Marekani na kadhalika)… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Slice za mkate 6
Mayai 3
Chumvi
Olive oil.. soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Unga wa ngano (self risen flour) kikombe 1na 1/2
Sukari (sugar) 1/4 kikombe
Barking powder 1/2 kijiko cha chai
Magadi soda (bicarbonate soda) 1 kijiko cha chai
Mafuta 2 vijiko vya chai
Mafuta ya kukaangia
Maji ya uvuguvugu kiasi.. soma zaidi
Tagsπ hata je kumeza kuzuia lazima mimba ni nisipojamiiana? siku vidonge vya zile zote wiki
Ndiyo, vidonge vya kuzuia mimba ni lazima vimezwe kila siku hata kama hufanyi ngono siku hiyo. Kuna aina ya vidonge vya kuzuia mimba inayokuja katika pakiti yenye vidonge 21 na kuna inayokuja katika pakiti ya vidonge 28. Iwapo utapewa ile ya vidonge 21 utapumzika kunywa siku 7 katika mwezi. Iwapo utapewa ile ya vidonge 28, itabidi kumeza kidonge kimoja kila siku, hata siku za hedhi. Ili kuhakikisha vidonge vya kuzuia mimba vinafanya kazi sawasawa, mwulize yule aliyekushauri kutumia vidonge hivyo jinsi ya kuvimeza.
Kama mwanamke akisahau kunywa kidonge hata kama ni siku moja kuna uwezekano wa kupata mimba. Anaposahau kumeza vidonge, ni vizuri zaidi watumie kondom wakati wa kujamiiana kwa kuhakikisha kutopata mimba. Hii inahusika vilevile kama mwanamke ameharisha au ametapika katika kipindi cha saa 4 tangu ameze vidonge. Kama mwanamke anashindwa kukumbuka kunywa vidonge mara kwa mara, ni vizuri zaidi apate ushauri kutoka kwenye kliniki ya uzazi wa mpango kutumia njia nyingine ya kuzuia mimba… soma zaidi
Tagsπ sayansinatekinolojia
JE WAJUA?????…….
Nyangumi ni aina ya samaki Na ndie mnyama mkubwa kuliko
wanyama wote wanaoishi majini…….
Sifa za NYANGUMI hizi hapa…..
1»> moyo Wa nyangumi unakadiriwa kuwa Na kilo 600
2»> mtoto Wa Nyangumi anauwezo Wa kunywa Maji Lita
400 kwa Sikh.. soma zaidi
Tagsπ afya mapishinalishe
Tatizo hili husimama lenyewe kama ugonjwa ingawa pia inaweza kuwa ni dalili kama mwanamke ni mjamzito, ananyonyesha au ametoa mimba au ameharibikiwa na mimba. Kusimama kwake kama ugonjwa ni pale yanapotoka wakati mwanamke hana historia ya dalili hizo hapo juu… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
JE! KUANGALIA PICHA ZA NGONO NI DHAMBI?
Neno la Msingi:
Zaburi 101:3
Γ’β¬ΕSitaweka mbele ya macho yangu Neno la uovu. Kazi yao waliopotoka naichukia, Haitaambatana nami.Γ’β¬Β
Watu wengi wameanguka katika mtego huu wa Ibilisi na kujikuta wakifanya mambo ya "AIBU" wanapokuwa sehemu zao za Siri iwe ni chumbani au bafuni. Wanaume wamejikuta wakipiga punyeto (Mastubation) na Wanawake wakijisaga ( wanatumia mikono yao na viungo vyao vingine kama njia ya kujikidhi hali zao za tamaa mbaya waliloziamsha wao wenyewe). Haipaswi kamwe kuwa hivyo. Biblia inasema tusiyachochee wala kuyaamsha "mapenzi" mpaka yatakavyoona yenyewe (Wimbo ulio bora 2:7, 3:5). Naomba tufuatane pamoja kwenye somo hili muhimu sana ambalo litakuweka huru mbali na "utumwa wa fikra za kingono".. soma zaidi
Tagsπ (cauliflower ) afya. chote inayojumuisha jamii jinsi kabichi kale. kama katika kaulifulawa kichina kipindi kulima kutumika kwa la lake linaweza malisho mazao mifugo mimea moja msimu muhimu mwaka. na ni pia soko tagi: uhakika unaweza wa wote ya yaliyomo wiki
Kabichi ni moja ya mazao yaliyomo katika jamii ya mimea inayojumuisha mimea ya kaulifulawa (cauliflower ), kabichi ya kichina na kale. Kwa kawaida kabichi hupandwa kwa msimu mmoja, lakini iwapo itakuzwa kwa ajili ya kutoa mbegu hukuzwa zaidi ya msimu mmoja. Endapo inalimwa sehemu yenye maji ya kutosha, inaweza kulimwa msimu wote wa mwaka. Kichwa cha kabichi kinapofunga vizuri, hutumika kama chakula na huvunwa baada ya kufunga na kukomaa vizuri… soma zaidi
Tagsπ (helmet ) .jpg& 1659 amepona amesema anatamani angetamani arsenal bila cech cha hicho kichwa kichwani kifaa klabu kofia kucheza kulinda kuvaa kwani maumivu mlango mlinda moja na namba ngumu peter tagi: wa width=600 ya yake habari
CECH amesema amepona maumivu yake kichwani na angetamani kucheza bila kuvaa kifaa hicho cha kulinda kichwa kwani kinamfanya asijiamini awapo uwanjani lakini hana budi kufuata ushauri wa daktari wa kutovaa… soma zaidi
Tagsπ uchumi
1. Epuka kugeuza mshahara wako kuwa mali ya ukoo. Kamwe mshahara wako siyo mali ya ukoo. Siku utakapoacha kuufanya mshahara wako mali ya ukoo ndipo siku mshahara huo utakuwa mkubwa! Hapo ndipo mshahara utatosha… soma zaidi
Tagsπ binafsi. gani hadhari haki hakikisha hakuna kama katika kondomu kuchukua kujamiiana kujamiiana. kujamiiana? kujihusisha kujikinga kukuamulia. kumbuka kutokana kutumia kwamba lakini maamuzi magonjwa mambo matokeo mimba mtu muhimu. mwenye mwenzi na ni uamuzi ukimwi. uliojulishwa umri unaelewa unapoamua usisahau usizotarajia vijana vile virusi vya wa wako wana wewe ya yeyote wiki
Kujamiiana ni uamuzi wa mtu binafsi. Ni uamuzi wako na hakuna
mtu yeyote mwenye haki ya kukuamulia. Lakini unapoamua
kujamiiana hakikisha kwamba ni maamuzi uliojulishwa na kwamba
unaelewa matokeo ya kujamiiana. Usisahau kuchukua hadhari
muhimu. kumbuka kutumia kondomu kujikinga wewe na mwenzi
wako kutokana na mimba usizotarajia na magonjwa kama vile
Virusi vya UKIMWI. Madhari mwili wako unaendelea kukua,
kujamiiana bila ya kondomu ni hatari zaidi kuliko mtu mzima,
kwa sababu maambukizo mengine haswa kwa vijana yanaweza
kukuletea matatizo kama vile ugumba baadaye katika maisha.
Pia jiulize mwenyewe kwa uangalifu kama kweli unataka
kujamiiana. Ni muhimu pia kujadiliana na mwenzi wako na kuwa
na hakika kama wote wawili mnataka kujamiiana. Usijamiiane
kwa sababu tu unafikiria kwamba watu wengine wanajamiiana
au unajitosa kwa kuwa unashawishiwa na marafiki au watu
wazima… soma zaidi
Tagsπ afya mapishinalishe
Watu wengi wanafahamu kuwa kufunga kula ni swala linalohusiana na imani zaidi. Wengi hawafahamu kuwa kufunga kula kuna manufaa ya kiafya pia. Kufunga kula ni tendo lenye historia ndefu sana ambayo kimsingi chimbuko lake ni sababu za kiimani. Hata hivyo shuhuda na tafiti mbalimbali zimedhihirisha kuwa kuna manufaa mengine kemkem ya kufunga kula mbali na yale ya kiimani… soma zaidi
Tagsπ (computer) (hardware) (software). afya bila chenye chombo haishikiki hakiwezi hii hiki hujulikana ile inayoonekana kama kasi katika kazi kimegawanyika kufanya kushikika kuu kwa kwamba kwanza la lakini maana. maneno mbili; mengine mkubwa mkubwa. mnunuzi moyoni na ndani ni nje nyingi nyingine pamoja program sana sehemu tarakilishi ufanisi ukweli umbo umuhimu unaomvutia urembo uwezo uzuri wa ya yoyote za wiki
Tarakilishi (computer) ni chombo chenye uwezo mkubwa sana wa kufanya kazi nyingi kwa kasi na ufanisi mkubwa. Chombo hiki kimegawanyika katika sehemu kuu mbili; sehemu ya kwanza ni ile ya nje inayoonekana na kushikika (hardware) na sehemu nyingine ni ile ya ndani inayoonekana lakini haishikiki, kwa maneno mengine sehemu hii hujulikana kama program za tarakilishi (software).
Pamoja na umuhimu na uzuri wa umbo la nje la tarakilishi unaomvutia mnunuzi, ukweli ni kwamba bila program za ndani, chombo hiki hakiwezi kufanya kazi yoyote ya maana.
Wabunifu na wasanifu wa tarakilishi wakati wanaanza kubuni na kutengeneza chombo hiki hapo mwanzo, waliiga maumbile na utendaji wa mwili na akili ya binadamu vinavyofanya kazi kimfumo… soma zaidi
Tagsπ wiki
Si kweli kabisa! Baada ya kuvuta bangi mtu hujiona kama jasiri sana na mwenye nguvu. Lakini madhara ya bangi ni kinyume na matarajio ya mtumiaji kwani mishipa husinyaa na ubongo hushindwa kufanya kazi zake vyema na kutoa uamuzi usio sahihi wa utendaji sahihi wa kazi za mwili… soma zaidi
Tagsπ uchumi
Wengi wetu tunapenda Mafanikio, tunapenda kufika mbali tunapeda kuwa kama Mengi siku moja… soma zaidi
Tagsπ kilimonaufugaji
Ngβombe wa maziwa wanahitaji virutubisho zaidi ili kuweza kuzalisha maziwa kwa wingi hasa katika kipindi cha miezi 3-4 ya mwanzo baada ya kuzaa, wakati ambao uzalishaji wa maziwa unakuwa juu… soma zaidi
Tagsπ sayansinatekinolojia
Haya ndio mambo ninayoyafahamu kuhusu TANZANIA.. soma zaidi
Tagsπ albino ambao au bluu. dini. familia hali hawana hii hutokea inaonekana ingawaje jamii kabila katika kijivu kila kuliko kuwa kwa maana mabara macho moja na ndugu ngozi ni nini nyekundu nyeupe nywele rangi taifa ualbino ualbino. ualbino? ulimwenguni. wa wako wana watu weusi ya yake yao yote za zaidi zao wiki
Albino wana ngozi nyeupe, nywele nyeupe au nyekundu na macho
ya kijivu au ya bluu. Ngozi yao ni nyeupe zaidi kuliko ndugu zao
wa familia moja au watu wa jamii yake
ambao hawana hali ya ualbino. Ngozi hii inaonekana zaidi kuwa
nyeupe katika familia za watu weusi, ingawaje, ualbino
hutokea kwa watu wa kila taifa, rangi, kabila na dini. Albino
wako katika mabara yote ulimwenguni… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
Mwanamke akikupenda anakuwa na furaha, anakuwa anajivunia kuwa na wewe, na hujihisi furaha kuongea na wewe.
Hupenda awe rafiki wa rafiki zako na ndugu zako, uvipendavyo na yeye atavipenda, atabadilisha mtindo wake wa maisha kuendana na mtindo wako… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
HERUFI A
Mwenye jina linaloanziana na herufi A ni mtu anayependa mambo makubwa, anajiamini na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake. Ni mtu mwenye tahadhari, mchangamfu na mpenda matukio. Anapenda Kuheshimiwa, anapenda Mamlaka, na ana kiburi, na hasira… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
Zifuatazo ni njia za kuamsha hamu ya kufanya mpenzi ya mwanamke. Njia hizi zimegawanyika katika hatua mbili kuu, kwanza ni kumfanya akukubali na kisha kuamsha hisia zake… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Mackerel 2
Kitunguu swaum na tangawizi (ginger and garlic paste) 1 kijiko cha cha kula
Pilipili iliyo katwakatwa (chopped scotch bonnet ) 1/2
Limao (lemon) 1/2
Chumvi (salt) kiasi
Curry powder 1/2 kijiko cha chai
Coriander powder 1/2 kijiko cha chai
Mafuta 1 kijiko cha chai.. soma zaidi
Tagsπ vichekesho wachaga wiki
Warombo wajanja sana kibiashara/wezi pia.wameajiri wamarangu mjini ni walevi sana hupeleka wake zao vijijini wakileta kiburi mjini… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
Kama wewe ni mwanamke na haujaolewa na upo kwenye mauhusiano na mwanaume ambaye haujafunga naye ndoa basi zingatia hili, linaweza kukusaidia na kukupa nuru nzuri ya ndoa bora yenye tija katika maisha yako ya mauhisiano.
Chagua mwanaume bora kwa kutizama utashi wake na mawazo yake chanya, mwanaume bora ni yule aliyekuzidi utashi,tabia nzuri pamoja hekima na busara na mwenye mapenzi ya dhati kwako… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
1. Ametulia si macho juu juu kama nzi kila akionacho hata kichafu chaliwa.
2. Anajiheshimu, anamuheshimu mkewe, ndugu wa pande zote, watu wengine pamoja na majirani pia.
3. Mwenye huruma na mapenzi ya kweli kwa mke na familia kwa ujumla.
4. Mtunzaji wa familia na si bahili au mfujaji wa mali.
5. Mcha mungu, au mwenye utu… soma zaidi
Tagsπ sayansinatekinolojia
Madawa ya kulevya ni aina ya madawa au vilevi ambapo mtumiaji akishatumia mfumo wa mwili na akili yake hubadilika. Mtumiaji huweza kudhoofika kimwili au kupata madhara ya kiakili na baadhi huweza hata KUFA… soma zaidi
Tagsπ afya mapishinalishe
Ni msukumo wa damu ulio juu kuliko inavyotakiwa kwa muda mrefu. Msukumo wa damu huhitajika mwilini ili kusambaza chakula, oksijeni na kutoa uchafu. Shinikizo la damu hupimwa kwa kutumia kifaa kinachoitwa Sphygmomanometer.. soma zaidi
Tagsπ mahusiano
1. Ngono haimfanyi mwanaume asikuache, hata ukukuruke vipi, jikwatue kiasi gani kama hajaona quality za kuwa mke atakuacha tu.
2. Mwanaume anaekupata kwa vile alitumia pesa zake kwako hatakaa na wewe milele. Wanaume halisi hawawezi wakatoka na wanawake feki wanaopenda pesa. Ukibahatika sana atakufanya daraja la pili yaani mchepuko!.. soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Vifaa vingi vya kisasa vya kieletroniki vinasababisha kushuka kwa wingi na ubora wa mbegu kwa wanaume wengi miaka ya sasa kwani mionzi yake hupelekea joto lisilohitajika katika mifuko ya mbegu za kiume. Vifaa hivi ni pamoja na simu na Kompyuta… soma zaidi
Tagsπ albino anataka aniache. halafu hasa huvuta kuhofia kujamiiana kuwa kwa kwamba mimi msichana muonekano mwanaume mwingine na ni ninaogopa rafiki tofauti tu tukikumbuka udadisi. uliopo uvumi wakati watu wengine wiki
Wakati mwingine kuwa na muonekano tofauti na watu wengine
huvuta udadisi. Na hasa tukikumbuka kwamba uvumi uliopo
unasema kuwa Albino wako tofauti katika kujamiiana jambo
ambalo linaimarisha udadisi huu. Kwa maana hiyo basi, chukua
muda wa kutafakari. Kama vile tunavyofanya katika urafiki
mwingine ni lazima uchukue muda, ujaribu kujenga mazingira
ya kusikilizana na kuelewana. Mnaweza kufanya shughuli nyingi
pamoja na baada ya muda utaweza kugundua kama urafiki wenu
ni wa kweli kwa maana anakupenda wewe kama ulivyo na siyo
kwa kitu kingine. Baada ya hapo ndipo unaweza kuingia katika
uhusiano wa karibu bila kuogopa kuachwa… soma zaidi
Tagsπ 18 afya atakayekuwa chini duni hatari hawajakomaa hawajawa huu juu katika kiakili kimwili kisayansi kuanza kufaa kupevuka kuwa kuyakabili kwa licha maamuzi maisha maisha. majukumu mdogo miaka mimba msichana mstakabali mtoto mtu mwenzi mwingi na ndoa ni nyingi pia sababu sahihi tayari umri unaonyesha ushahidi uwezo uzazi wa wakati wake.wasichana wanakuwa wao wasichana wengi ya yake zipo wiki
Zipo sababu nyingi na ushahidi mwingi wa kisayansi, unaonyesha kuwa, ndoa na mimba katika umri mdogo wa msichana chini ya umri wa miaka 18 ni hatari kwa afya na mstakabali wa maisha yake na mtoto wake.Wasichana wengi wakati huu licha ya kuanza kupevuka wanakuwa hawajakomaa kiakili na uwezo wao ni duni katika maamuzi juu ya kufaa kwa mtu atakayekuwa mwenzi sahihi wa maisha.
Kimwili pia wasichana katika umri huu wanakuwa hawajawa tayari kuyakabili majukumu ya uzazi na unyumba, nyonga za wasichana wanaoendelea kukuwa mara nyingi huwa changa na finyu kiasi kwamba husababisha matatizo mengi ya uzazi wakati wa kujifungua kwa njia ya kawaida… soma zaidi
Tagsπ kilimonaufugaji
Mbolea ya mboji hutokana na mabaki ya majani na miti. Majani na miti yanapooza hugeuka na kutengeneza virutubisho ambavyo husaidia kurutubisha udongo na kupunguza gharama… soma zaidi
Tagsπ mahusiano
Mimi ni mwanamke mjane ninaishi mjini Arusha. Huu ni ushuhuda wangu wa maisha yangu… soma zaidi
Tagsπ habari
Eti jamaa mmoja akaja kwangu akawa anang'ang'ania kunisimulia matatizo ya familia yake… soma zaidi
Tagsπ ambao au cha ghafla. hasa hii huwatokea idadi iitwayo iliyo inaweza je kama katika kifo kipindi kirefu kubwa kufa kunywa kupata kusababisha kutokana kuvuta kwa lakini magonjwa moyo. na ndiyo. nikotini pale pombe. pombe? saratani. sigara sumu tagi: tu tumbaku. unaweza utakapozidisha. utavuta uvutaji wana watu wingi ya wiki
Ndiyo. Unaweza kufa kutokana na kuvuta sigara au kunywa
pombe. Lakini pale tu utakapozidisha. Kama utavuta idadi kubwa
ya sigara unaweza kupata kwa wingi sumu, iitwayo nikotini iliyo
katika tumbaku. Hii inaweza kusababisha kifo cha ghafla. Hii
huwatokea hasa watu ambao wana magonjwa ya moyo. Uvutaji
sigara kwa wingi na kwa kipindi kirefu unaweza kusababisha
kifo kutokana na saratani.
Pombe inaweza kukuua ghafla. Kama utakunywa kiasi kikubwa
cha pombe. Matokeo yake yanaweza yakawa ni kusimama kabisa
kwa shughuli za ubongo. Hii inamaanisha kuwa sehemu maalumu
katika ubongo ambazo zinaratibu uvutaji hewa na mapigo ya moyo
hazitaweza tena kufanya kazi na matokeo yake ni kifo.
Lakini pombe pia ni chanzo cha ajali nyingi za barabarani na
kazini. Kumbuka kwamba pombe ni chanzo cha vifo vingi kuliko
dawa zingine za kulevya… soma zaidi
Tagsπ mapishinalishe
Nyonyo Mbarika (Castor)
Mnyony(KiSwahili) Erand (KiHindi) Kastorka(KiRusi) ni mmea wa jamii ya Mbono Kaburi, kwa
jina la kitaalamu Japtropha.. soma zaidi
Tagsπ wiki
Hii ni imani potofu ambayo imewafanya wanaume wengi kujiingiza kufanya surgery za gharama kubwa na wengine kupoteza pesa zao kwa ajili ya kutafuta dawa za kienyeji ili kuongeza maumbile kuwa marefu zaidi… soma zaidi