VIDEO-KISWAHILI
VIDEO-KISWAHILI
By, Melkisedeck Shine.
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huu ukataji wa ugali ni noma, πAngalia video hapa
Tags π bunduki vichekesho. Category πvideos,: bunduki vichekesho, Angalia huyu jamaa anachofanya na hii bunduki, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huyu mwizi kaiba na yeye kaibiwa. Hapa mjanja ni nani?, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Angalia huyu alivyomfanyia mwenzake anayesinzia huku akivua samaki, πAngalia video hapa
Tags π wanyama. Category πvideos,: wanyama, Simba wanavyowinda na kukamata wanyama, πAngalia video hapa
Tags π ajali pikipiki. Category πvideos,: ajali pikipiki, Hii ni miongoni mwa ajali mbaya ya pikipiki kuwahi kutokea, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Mazoea mabaya eti, mcheki huyu, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Pale mwanamke akivua makeup hiki ndicho hutokea, πAngalia video hapa
Tags π michezo muziki watoto. Category πvideos,: michezo muziki watoto, Watoto wenye vipaji vya kucheza mziki, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Jinsi Wasichana Kutoka maeneo mbalimbali wanavyokula Ice cream, πAngalia video hapa
Tags π mjusi wanyama. Category πvideos,: mjusi wanyama, Angalia huyu mjusi anavyojivua gamba, πAngalia video hapa
Tags π ajali gari. Category πvideos,: ajali gari, Angalia hili gari lilivyopata ajali kiajabu, πAngalia video hapa
Tags π ajali pikipiki. Category πvideos,: ajali pikipiki, Angalia huyu alivyogongwa kiajabu, kajigongesha mwenyewe, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huyu mtoto ni shida! Anapanga mbuzi kama farasi! Mcheki hapa, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huku ndio kutiana presha, cheki huyu mzee wa watu anavyostuka, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Cheki huyu jamaa anavyomtishia mwenzake, tutajauana presha bure hivi hivi, πAngalia video hapa
Tags π maajabu wanyama. Category πvideos,: maajabu wanyama, Huyu mbuzi atakua kafantaje? cheki huyu jamaa anachoufanyia, πAngalia video hapa
Tags π nyani vichekesho wanyama. Category πvideos,: nyani vichekesho wanyama, Mwendo wa kupaka makeup, Huyu nyani naye yumo kwenye mambo ya urembo, πAngalia video hapa
Tags π maajabu vichekesho. Category πvideos,: maajabu vichekesho, Angalia hii namna ya kujibadilisha kuwa mtoto, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Maisha ya nyumbani baada ya chuo, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Hawa wameangukaje vizuri, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Angalia huyu mwanamke alichokifanya sasa, kawa kama mtoto, πAngalia video hapa
Tags π nguruwe vichekesho. Category πvideos,: nguruwe vichekesho, Kilichompata huyu mtoto baada ya kupanda nguruwe kama farasi, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Mcheki huyu dada, mbwembwe na maringo vimemponza, πAngalia video hapa
Tags π gari maajabu vichekesho. Category πvideos,: gari maajabu vichekesho, MAAJABU: Hili gari ni kiboko, angalia lilivyobeba watu wengi, πAngalia video hapa
Tags π maajabu vichekesho. Category πvideos,: maajabu vichekesho, Angalia hili sofa la maajabu linalobadilika badilika, πAngalia video hapa
Tags π michezo vichekesho. Category πvideos,: michezo vichekesho, Angalia hizi Salamu za hawa wachezaji wa mpira wa miguu, mpaka raha yaani, πAngalia video hapa
Tags π maajabu. Category πvideos,: maajabu, Angalia huyu mtu kitu anachofanya, siku moja itakuja kula kwake, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Mambo ya mtu na baby wake haya, angalia huyu baby anacholilia sasa, πAngalia video hapa
Tags π changamoto michezo. Category πvideos,: changamoto michezo, Angalia huyu alivyo mtaalamu wa kucheza Pool table, πAngalia video hapa
Tags π gari maajabu. Category πvideos,: gari maajabu, Cheki haka kagari kanavyofanyiwa, πAngalia video hapa
Tags π maajabu mbwa. Category πvideos,: maajabu mbwa, Jinsi mbwa wanavyouzwa kama kitoweo kwa wachina, πAngalia video hapa
Tags π changamoto maajabu wanawake. Category πvideos,: changamoto maajabu wanawake, Matukio ma 5 ya kusisimua na kushangaza ya wamama wakiwaokoa watoto wao, πAngalia video hapa
Tags π gari nyoka wanyama. Category πvideos,: gari nyoka wanyama, Bonge la nyoka lilivyojibanza kwenye gari, πAngalia video hapa
Tags π nyani vichekesho. Category πvideos,: nyani vichekesho, Hawa nyani wajinga kweli, angalia huyu mwenzao walichomfanyia, πAngalia video hapa
Tags π changamoto maajabu. Category πvideos,: changamoto maajabu, Angalia huyu binti na nyoka wake, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Wakati wengine wakimfunga simba na kutembea nae huku wengine wakiogopa kitoto cha mbuzi, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Angalia hii familia ya mazombi wanapiga misele town, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Michezo mingine hii ni hatari, πAngalia video hapa
Tags π ajali umeme. Category πvideos,: ajali umeme, Kilichompata fundi umeme baada ya kuzidisha mbwe mbwe kazini, πAngalia video hapa
Tags π michezo vichekesho. Category πvideos,: michezo vichekesho, Angalia hizi Salamu za hawa wachezaji wa mpira wa miguu, mpaka raha yaani, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Hili jeshi la wapi? angalia wanavyokata mauno, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Angalia huyu kilichompata baada ya Baiskeli yake kukatika Breki, πAngalia video hapa
Tags π ajali bahari meli. Category πvideos,: ajali bahari meli, Angalia meli inavyokumbwa na dhoruba baharini, πAngalia video hapa
Tags π maajabu michezo vichekesho. Category πvideos,: maajabu michezo vichekesho, Angalia huyu jamaa alivyokomaa, anapigwa na tofali lakini wala hayumbi, πAngalia video hapa
Tags π michezo. Category πvideos,: michezo, Haka kitoto na kenyewe kanajidai kanafanya mazoezi, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Angalia huyu nyani anachomfanyia huyu nyoka, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huyu jamaa anataka kufa, thubutu!, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huku kujiamini kwa huyu kimepitiliza, mwangalie anachofanya, πAngalia video hapa
Tags π ajali vichekesho. Category πvideos,: ajali vichekesho, Hii ndio inaitwa "mission fail" cheki kilichotokea hapa sasa, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Angalia huyu mwizi alivyokamatwa, πAngalia video hapa
Tags π ajali vichekesho. Category πvideos,: ajali vichekesho, Angalia huyu jamaa alivyochukuliwa na hili gari, πAngalia video hapa
Tags π ajali farasi vichekesho. Category πvideos,: ajali farasi vichekesho, Cheki huyu jamaa anavyopanda farasi kijinga, πAngalia video hapa
Tags π michezo mieleka. Category πvideos,: michezo mieleka, Mieleka ya ufukweni, Huu mchezo ni hatari, πAngalia video hapa
Tags π maajabu vichekesho wanyama. Category πvideos,: maajabu vichekesho wanyama, Cheki huyu jamaa anachomfanyia huyu panya, kama wewe ni muoga usiangalie, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Angalia huyu msichana alichomfanyia huyu mwanaume, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Dada kashoboka kwa huyu kaka cheki alivyoumbuka, πAngalia video hapa
Tags π maajabu vichekesho. Category πvideos,: maajabu vichekesho, Angalia huyu dogo kabeba kondoo wawili kwenye baisikeli isiyokuwa na kitako, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Kweli bangi sio kitu cha kucheza, angalia ilivyomtuma huyu, πAngalia video hapa
Tags π gari maajabu michezo. Category πvideos,: gari maajabu michezo, Huyu dereva wa hili gari kweli mtaalamu kwa hiki anachofanya, πAngalia video hapa
Tags π ajali pikipiki. Category πvideos,: ajali pikipiki, Ajali kwenye mashindano ya pikipiki, πAngalia video hapa
Tags π maajabu michezo. Category πvideos,: maajabu michezo, Ukisikia mtaalamu wa baisikeli ndio huyu, baisikeli inapaishwa yani, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Mwangalie huyu bwana harusi mshamba alivyo muoga, πAngalia video hapa
Tags π ajali bajaji vichekesho. Category πvideos,: ajali bajaji vichekesho, Cheki kilichompata huyu jamaa aliyekuwa kapanda bajaji, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huu ukataji wa ugali ni noma, πAngalia video hapa
Tags π utani vichekesho wanafunzi. Category πvideos,: utani vichekesho wanafunzi, Dawa ya Wanafunzi wanaosinzia na kulala darasani, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Hapa nani kawezwa zaidi, πAngalia video hapa
Tags π maajabu. Category πvideos,: maajabu, Huyu kuona zimwi, ungekua ni wewe ungefanyaje?, πAngalia video hapa
Tags π ajali maajabu ndege. Category πvideos,: ajali maajabu ndege, Cheki hii ndege ilivyowaka, πAngalia video hapa
Tags π ajali maajabu treni. Category πvideos,: ajali maajabu treni, HATARI: Angalia huyu jamaa alivyokoswa koswa kugongwa na treni, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Angalia hawa nyoka wanachokifanya sasa, Pata picha ndio umekutana nao, πAngalia video hapa
Tags π mbwa vichekesho. Category πvideos,: mbwa vichekesho, Eti siku yako ya kwanza kupelekwa kwenda shule ndiyo ulikua hivi?, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Angalia uoga wa huyu jamaa unavyomponza, uoga mbaya, πAngalia video hapa
Tags π ajali gari. Category πvideos,: ajali gari, Hii ajali ya hili gari kwenye mchanga ni balaa, πAngalia video hapa
Tags π chui nguruwe-pori wanyama. Category πvideos,: chui nguruwe-pori wanyama, Angalia huyu chui alivyomuweza huyu nguruwe pori, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huu ulaji wa huyu ni noma, hata kama ni uroho huyu kazidi, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huyu dada hapa kazidi sasa, cheki anachomfanyia huyu jamaa, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Hapa nani kawezwa zaidi, πAngalia video hapa
Tags π michezo vichekesho watoto. Category πvideos,: michezo vichekesho watoto, Duh! Haka kamchezo ka hawa watoto ukitoka hapo ujue unaugulia maumivu, πAngalia video hapa
Tags π michezo vichekesho. Category πvideos,: michezo vichekesho, Vita ya kweli ya ngumi ndio hii sasa, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Sifa mbaya jamani, cheki kilichompata huyu, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Wazee wengine wahuni sana, mwangalie huyu mzee anachomfanyia huyu bibi wa watu, πAngalia video hapa
Tags π wanyama. Category πvideos,: wanyama, Huyu mwenye gari atawaepukaje hawa wanyama?, πAngalia video hapa
Tags π maajabu michezo. Category πvideos,: maajabu michezo, Kipaji ni kipaji tuu, huyu japo kilema lakini mtaalamu wa mpira, πAngalia video hapa
Tags π chui wanyama. Category πvideos,: chui wanyama, Cheki chui wakipiga wao kwa wao kinachotokea, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Angalia kilichompata huyu msanii halafu anajidai anazuga, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Kwa uchoyo huu, huyu msichana kazidi sasa, πAngalia video hapa
Tags π faru wanyama. Category πvideos,: faru wanyama, Angalia huyu faru alichokifanyia hili gari, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Utani mwingine huu mbaya, kutiana presha, πAngalia video hapa
Tags π ajali vichekesho. Category πvideos,: ajali vichekesho, Angalia huyu dogo baisikeli yake ilichomfanya, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Angalia kilichompata huyu jamaa baada ya kuamka na hang over yake, πAngalia video hapa
Tags π kiingereza kimya kiswahili silent vichekesho. Category πvideos,: kiingereza kimya kiswahili silent vichekesho, Cheki huyu jamaa alivyoumbuka sasa, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Kwa wale wapenzi wa katuni angalia hii, πAngalia video hapa
Tags π sifa vichekesho. Category πvideos,: sifa vichekesho, Pale sifa zinapozidi ndio kinachotokea hivi, πAngalia video hapa
Tags π maajabu sanaa. Category πvideos,: maajabu sanaa, Hii ndiyo inaitwa sanaa, πAngalia video hapa
Tags π kuku maajabu mbuzi vichekesho wanyama. Category πvideos,: kuku maajabu mbuzi vichekesho wanyama, Kuku na mbuzi wanapigana, nani mbabe sasa, πAngalia video hapa
Tags π ajali gari maajabu. Category πvideos,: ajali gari maajabu, Ukisikia watu wenye bahati ndio hawa, wameponea chupu chupu, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Mazoea mabaya eti, mcheki huyu, πAngalia video hapa
Tags π maajabu wanyama. Category πvideos,: maajabu wanyama, Angalia huyu mnyama wa huyu mwanamke, japo mbaya lakini yeye anampenda, πAngalia video hapa
Tags π ajali. Category πvideos,: ajali, Kilichowasibu polisi wa zima moto wakati wapo kazini wakizima moto, kazi nyingine ni ngumu, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huyu kuku kweli mbabe, yaani anampiga mbwa, πAngalia video hapa
Tags π maajabu vichekesho. Category πvideos,: maajabu vichekesho, Angalia huyu kajaribu kuunda helikopta, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Cheka kidogo kwa kutazama vichekesho hivi hapa, πAngalia video hapa
Tags π maajabu vichekesho. Category πvideos,: maajabu vichekesho, Ona haya mazingaumbwe hapa ni noma ni kiboko, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Kwa michezo hii unatakiwa uwe mtaalamu kweli, πAngalia video hapa
Tags π changamoto maajabu mapishi. Category πvideos,: changamoto maajabu mapishi, Angalia anachofanya huyu, Wewe unaweza?, πAngalia video hapa
Tags π maajabu. Category πvideos,: maajabu, Angalia huyu mtu anavyochezea Hawa nyuki, πAngalia video hapa
Tags π changamoto maajabu. Category πvideos,: changamoto maajabu, Angalia huyu binti na nyoka wake, πAngalia video hapa
Tags π maajabu mbwa. Category πvideos,: maajabu mbwa, Angalia hili bonge la jibwa lilivyo na hasira, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huyu mwanamama ni hatari, cheki anachofanya hapa sasa, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Cheki huyu mlevi mjinga alichofanyiwa, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Cheki huyu jamaa Kawa kama katuni, πAngalia video hapa
Tags π maajabu paka panya. Category πvideos,: maajabu paka panya, Angalia huyu Paka alivyotightishwa na panya, panya wengine ni noma, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Jamaa alichofanyiwa hata sahau, pikipiki yake imegeuzwa dumu kichawi, wachawi noma, πAngalia video hapa
Tags π ajali gari maajabu. Category πvideos,: ajali gari maajabu, Huyu mtoto na yeye anataka kuendesha kigari chake kwenye main road, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Cheki hawa kuku wanachomfanyia huyu dogo, utoto jamani, πAngalia video hapa
Tags π maajabu vichekesho. Category πvideos,: maajabu vichekesho, Angalia anachokifanya huyu, sipati picha akianguka bahati mbaya, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huu ushamba mwingine bwana, πAngalia video hapa
Tags π simba wanyama. Category πvideos,: simba wanyama, Huyu kweli katisha, cheki anachofanya na hawa simba wake, πAngalia video hapa
Tags π ajali maajabu vichekesho. Category πvideos,: ajali maajabu vichekesho, Videos hizi zilipendwa na wengi, πAngalia video hapa
Tags π ajali bahari meli. Category πvideos,: ajali bahari meli, Angalia meli inavyokumbwa na dhoruba baharini, πAngalia video hapa
Tags π maajabu. Category πvideos,: maajabu, Huyu jamaa kabuni chombo kipya cha kusafiria, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Hii ndiyo inathibitisha ule msemo ukitaka uzuri sharti udhurike, πAngalia video hapa
Tags π maajabu vichekesho wanyama. Category πvideos,: maajabu vichekesho wanyama, Nguruwe wanauwawa vibaya, cheki huyu anachofanywa, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Cheki huyu alivyopigwa bonge la kabari, πAngalia video hapa
Tags π ajali pikipiki. Category πvideos,: ajali pikipiki, Haya majanga mengine. Kwa ajali hii ya pikipiki, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Paka kasema sikubali! Angalia alichomfanyia huyu mtoto, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huyu jamaa kweli ni kiboko, cheki anavyowazungusha hawa, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho wanawake. Category πvideos,: vichekesho wanawake, Tofauti ya Muda wa kujiandaa wanaume na wanawake, πAngalia video hapa
Tags π maajabu mapishi. Category πvideos,: maajabu mapishi, Mapishi ya nyama ya chap chap, πAngalia video hapa
Tags π michezo. Category πvideos,: michezo, Angalia huyu baba anavyomfanyisha mwanae mazoezi, huyu mtoto akiwa mkubwa atakuwa mtaalamu Ile mbaya, πAngalia video hapa
Tags π kobe mamba wanyama. Category πvideos,: kobe mamba wanyama, Kumbe Kobe na mamba wanaweza kukaa pamoja, πAngalia video hapa
Tags π maajabu utaalamu. Category πvideos,: maajabu utaalamu, Utaalamu wa kufunga tai, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Cheki kilichowapata hawa wadada, hawatakaa warudie, πAngalia video hapa
Tags π nyoka vichekesho. Category πvideos,: nyoka vichekesho, Cheki huyu jamaa alivyo muoga, lakini mbele ya nyoka mbona unaweza ukajikojolea mtu mzima, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Sifa mbaya jamani, cheki kilichompata huyu, πAngalia video hapa
Tags π paka vichekesho wanyama. Category πvideos,: paka vichekesho wanyama, Angalia haka kapaka kanachofanya, Kasumbufu kweli, πAngalia video hapa
Tags π wanyama. Category πvideos,: wanyama, Huyu nyoka anajin'gata mwenyewe baada ya kukatwa kichwa, πAngalia video hapa
Tags π chui nguruwe-pori wanyama. Category πvideos,: chui nguruwe-pori wanyama, Angalia huyu chui alivyomuweza huyu nguruwe pori, πAngalia video hapa
Tags π maajabu nyoka wanyama. Category πvideos,: maajabu nyoka wanyama, Angalia hawa wananyonga huyu joka, duh! ni noma, πAngalia video hapa
Tags π maajabu. Category πvideos,: maajabu, Huyu jamaa kabuni chombo kipya cha kusafiria, πAngalia video hapa
Tags π nyumbu simba wanyama. Category πvideos,: nyumbu simba wanyama, Michezo ya simba na nyumbu, kimbiza nikukimbize, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Angalia huyu alivyomfanyia mwenzake anayesinzia huku akivua samaki, πAngalia video hapa
Tags π gari maajabu michezo. Category πvideos,: gari maajabu michezo, Huyu dereva wa hili gari kweli mtaalamu kwa hiki anachofanya, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huu ulaji wa huyu ni noma, hata kama ni uroho huyu kazidi, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Wazee wengine wahuni sana, mwangalie huyu mzee anachomfanyia huyu bibi wa watu, πAngalia video hapa
Tags π utani vichekesho wanafunzi. Category πvideos,: utani vichekesho wanafunzi, Dawa ya Wanafunzi wanaosinzia na kulala darasani, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huyu jamaa kwa uendeshaji huu, akianguka atapata akili, πAngalia video hapa
Tags π maajabu. Category πvideos,: maajabu, Angalia hii sigara ya ajabu, πAngalia video hapa
Tags π paka vichekesho wanyama. Category πvideos,: paka vichekesho wanyama, Angalia haka kapaka kanachofanya, Kasumbufu kweli, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Jinsi Wasichana Kutoka maeneo mbalimbali wanavyokula Ice cream, πAngalia video hapa
Tags π mbwa vichekesho. Category πvideos,: mbwa vichekesho, Eti siku yako ya kwanza kupelekwa kwenda shule ndiyo ulikua hivi?, πAngalia video hapa
Tags π michezo mpira. Category πvideos,: michezo mpira, Angalia huyu alivyofumga hili goli kwenye mpira kistaa, πAngalia video hapa
Tags π maajabu mamba wanyama. Category πvideos,: maajabu mamba wanyama, Huyu mtu anafuga mamba na kumpakia kama farasi vile, ogopa sana, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho wanyama. Category πvideos,: vichekesho wanyama, Huyu ndiyo paka wa mjini, anapanda pikipiki kama mtu, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho whatsapp. Category πvideos,: vichekesho whatsapp, Videos kali za WhatsApp ambazo lazima ucheke, πAngalia video hapa
Tags π maajabu. Category πvideos,: maajabu, Jamaa kiboko kwa mapishi haya, πAngalia video hapa
Tags π maajabu. Category πvideos,: maajabu, Haya ndiyo mafunzo ya kijeshi, kama wewe muoga utakufa kabla ya kwenda kazini, πAngalia video hapa
Tags π maajabu michezo. Category πvideos,: maajabu michezo, HUTOAMINI: Kinachotokea baada ya simu ya IPhone kupigwa mshale, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huyu jamaa mjinga sana kama Abunuasi vile, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Angalia huyu mwizi wa kondoo, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Utani mwingine huu mbaya, kutiana presha, πAngalia video hapa
Tags π wanyama. Category πvideos,: wanyama, Simba wanavyowinda na kukamata wanyama, πAngalia video hapa
Tags π kiingereza kimya kiswahili silent vichekesho. Category πvideos,: kiingereza kimya kiswahili silent vichekesho, Ulishawahi kuona mashine ya kulisha watu chakula? Hii hapa, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Mambo ya mtu na baby wake haya, angalia huyu baby anacholilia sasa, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Cheka tena kidogo hapa kwenye hii video ya vituko, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Kama hujui kupigana usipigane, angalia kilichompata huyu, πAngalia video hapa
Tags π maajabu vichekesho. Category πvideos,: maajabu vichekesho, Huyu jamaa anaachia ushuzi kama gari vile, duh ni shida, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho watoto. Category πvideos,: vichekesho watoto, Angalia kilichompata huyu mtoto wakati akionyesha mbwe mbwe zake, πAngalia video hapa
Tags π maajabu vichekesho. Category πvideos,: maajabu vichekesho, Hii ndiyo kwa nini usiwaachie watoto wadogo mtoto, πAngalia video hapa
Tags π maajabu vichekesho wezi wiki. Category πvideos,: maajabu vichekesho wezi wiki, Mwanaume anachofanya mbele ya wadada warembo, πAngalia video hapa
Tags π twiga wanyama. Category πvideos,: twiga wanyama, Jinsi wanavyochinja twiga, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Wanawake jamani, shida kweli kweli, hapa alijua jamaa ndio kashapropose, πAngalia video hapa
Tags π maajabu michezo. Category πvideos,: maajabu michezo, Mcheki huyu jamaa anavyopiga sarakasi kwenye magari, anaruka gari na sarakasi, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Cheki huyu alivyomtishia mwenzake na Karai, πAngalia video hapa
Tags π maajabu michezo. Category πvideos,: maajabu michezo, Kipaji ni kipaji tuu, huyu japo kilema lakini mtaalamu wa mpira, πAngalia video hapa
Tags π ajali bahati gari. Category πvideos,: ajali bahati gari, Angalia jamaa alivyokoswa koswa kugongwa na gari, jamaa anabahati ile mbaya, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Mwanamke alivyowaponza wanaume, mbele ya mwanamke mwanaume anaweza kufa, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Cheka kidogo hapa kwenye video hii, πAngalia video hapa
Tags π maajabu. Category πvideos,: maajabu, Hizi mila nyingine ni balaa, cheki hawa watoto wanachofanyiwa, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Mwangalie huyu bwana harusi mshamba alivyo muoga, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Angalia huyu mwalimu kilichompata akiwa darasani, aibu kweli kweli, πAngalia video hapa
Tags π ajali pikipiki. Category πvideos,: ajali pikipiki, Angalia huyu alivyogongwa kiajabu, kajigongesha mwenyewe, πAngalia video hapa
Tags π maajabu vichekesho. Category πvideos,: maajabu vichekesho, Angalia hili sofa la maajabu linalobadilika badilika, πAngalia video hapa
Tags π maajabu. Category πvideos,: maajabu, Meli inavyoingizwa kwenye maji, πAngalia video hapa
Tags π bunduki vichekesho. Category πvideos,: bunduki vichekesho, Angalia huyu jamaa anachofanya na hii bunduki, πAngalia video hapa
Tags π tumbili vichekesho wanyama. Category πvideos,: tumbili vichekesho wanyama, Haka katumbili kanawaambia Hawa watoto 'nikuneni tena', πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Angalia kilichompata huyu bonge alipojaribu kuendesha pikipiki, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Ukisikia ukichaa ndio huu wa kumbeba punda, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huyu bodaboda leo kapatikana, hapa ndipo mtu unakimbia abiria, πAngalia video hapa
Tags π ajali gari. Category πvideos,: ajali gari, Angalia hili gari lilivyopata ajali kiajabu, πAngalia video hapa
Tags π maajabu nyoka wanyama. Category πvideos,: maajabu nyoka wanyama, Kwa watumiaji wa vyoo vya sinki cheki kilichotokea hapa kwenye Choo hii ni hatari, πAngalia video hapa
Tags π maajabu wanyama. Category πvideos,: maajabu wanyama, Kati ya Huyu nyoka Na mjusi nani atakayemmeza mwenzake?, πAngalia video hapa
Tags π ajali bajaji vichekesho. Category πvideos,: ajali bajaji vichekesho, Cheki kilichompata huyu jamaa aliyekuwa kapanda bajaji, πAngalia video hapa
Tags π maajabu mazingaumbwe. Category πvideos,: maajabu mazingaumbwe, Ukisikia mazingaumbwe haya ndiyo yenyewe, jamaa kajitenganisha miguu na kiwiliwili, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Angalia huyu ng'ombe alichowafanyia hawa watoto waliotaka kumgeuza punda, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Kwa wale wanaopenda kuchokoza mabinti za watu angalia huyu kilichompata baada ya kumchokoza huyu dada, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Cheki huyu mtoto alichomfanyia baba yake, πAngalia video hapa
Tags π simba wanyama. Category πvideos,: simba wanyama, Angalia huyu simba alivyokwama mguu kwenye pembe ya nyati, πAngalia video hapa
Tags π maajabu mapishi. Category πvideos,: maajabu mapishi, Mapishi ya nyama ya chap chap, πAngalia video hapa
Tags π ajali gari maajabu. Category πvideos,: ajali gari maajabu, Ukisikia watu wenye bahati ndio hawa, wameponea chupu chupu, πAngalia video hapa
Tags π ajali gari vichekesho. Category πvideos,: ajali gari vichekesho, Angalia huyu jamaa mwenye mbwe mbwe kilichompata mwanae, πAngalia video hapa
Tags π gari maajabu. Category πvideos,: gari maajabu, Cheki haka kagari kanavyofanyiwa, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Wanaume wengine wana shida, cheki huyu alichofanyiwa na huyu mwanamke baada ya kumchokoza, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huyu ng'ombe anayependa kupiga watu kawezwa kweli, πAngalia video hapa
Tags π ngumi vichekesho wanawake. Category πvideos,: ngumi vichekesho wanawake, Hawa wadada wanavyopigana ni balaa, πAngalia video hapa
Tags π ajali vichekesho. Category πvideos,: ajali vichekesho, Angalia huyu dogo baisikeli yake ilichomfanya, πAngalia video hapa
Tags π maajabu vichekesho. Category πvideos,: maajabu vichekesho, Hizi TV nyingine bwana za kiajabu, πAngalia video hapa
Tags π gari maajabu. Category πvideos,: gari maajabu, Huyu dereva kwa kona hii aliyokata kweli ni mtaalamu, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Kwa mbwembwe zote wageni waalikwa wameanguka wakati wakipanda jukwaani, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Huyu jamaa chizi kweli, anapiga gwaride na punda na kondoo, πAngalia video hapa
Tags π maajabu. Category πvideos,: maajabu, Angalia huyu mbwa anayeweza kuendesha gari, πAngalia video hapa
Tags π vichekesho. Category πvideos,: vichekesho, Angalia huyu jamaa anachofanya mbele ya kioo, πAngalia video hapa
Tags π ngumi vichekesho wanawake. Category πvideos,: ngumi vichekesho wanawake, Cheki hawa wadada wanavyopigana, πAngalia video hapa
.
Endelea kuperuzi;-π
π¬ VIDEO-FUPIβ
π¬ VIDEO-FUPI-KALIβ
π¬ VIDEO-SASAβ
π¬ VIDEO-ASUBUHIβ
π¬ VIDEO-MCHANAβ
π¬ VIDEO-JIONIβ
π¬ VIDEO-USIKUβ
π¬ VIDEO-MAPEMAβ
π¬ VIDEO-TATAβ
π¬ VIDEO-KWA-WANAUMEβ
π¬ VIDEO-KWA-WANAWAKEβ
π¬ VIDEO-KWA-WAKUBWAβ
π¬ VIDEO-KWA-VIJANAβ
π¬ VIDEO-KWA-WAZEEβ
π¬ VIDEO-ZA-WANAWAKEβ
π¬ VIDEO-ZA-WANAUMEβ
π¬ VIDEO-ZA-WAKUBWAβ
π¬ VIDEO-ZA-VIJANAβ
π¬ VIDEOβ
π¬ VIDEOSβ

Tagsπ wiki
Ndiyo. Kuna mashirika yasiyo ya kiserikali (AZISE)
yanayotoa ushauri nasaha kwa watumiaji wa dawa za
kulevya. Katika AZISE hizi kuna wataalamu wenye
kusikiliza na kujaribu kutafuta ufumbuzi wa matatizo yako. Kama mtu anategemea dawa za kulevya au anahitaji msaada wa kitaalamu, basi kuna vituo vya kuwasaidia kwenye hospitali za serikali, (Anwani zao ziko mwisho wa kitabu kwa mawasiliano zaidi)… soma zaidi

Tagsπ habari
Zanzibar ni moja ya kisiwa kinacho patikana katika Pwani ya Afrika Mshariki. Ni miongoni mwa maeneo yenye historia ndefu sana barani Afrika. Tunaweza kuzungumzia mengi sana huu ya Zanziabr. Ila kwa leo tupate kufahamu habari za Jina Zanzibar… soma zaidi

Tagsπ kutibu-chunusi-kiasili mapishinalishe
Barafu inaweza kuzipunguza chunusi zionekane ni ndogo na kupunguza madhara yatokanayo na chunusi… soma zaidi

Tagsπ wiki
Ndiyo, unaweza kuambukizwa ukitumia nyembe kali au sindano kwa kuchangia pamoja na mtu mwenye virusi i vya UKIMWI. Matumizi ya vyombo vyenye makali, kama sindano, visu au nyembe yana hatari. Kama baada ya kutumika damu husalia katika vyombo hivi, na endapo vitatumika bila kutakaswa au kuchemshwa, matumizi yake yanaweza kusababisha maambukizi ya magonjwa mbalimbali, pamoja na UKIMWI.
Kwa hiyo ni muhimu sana kutochangia vifaa vyenye makali na watu wengine au lazima kuvitakasa na kuchemsha kila baada ya kuvitumia… soma zaidi

Tagsπ habari
KUTOKA JESHI LA POLICE:
USALAMA WA MAISHA YAKO.
- Usinunue simu za Android kwa mtu usiyemjua. Hiyo ni hatari kwani hujui huyo jamaa kaitoa wapi, mwisho wa siku unapewa kesi ya wizi au mauaji. Inawezekana simu hiyo iliibiwa kwa mtu aliyeuawa… soma zaidi

Tagsπ mapishinalishe
Filigisi (chicken gizzard) 1/2 kilo
Carrot iliyokwanguliwa 1
Nyanya 1/2 kopo
Vitunguu maji 1 kikubwa
Tangawizi/swaum 1 kijiko cha chai
Hoho 1 iliyokatwakatwa
Limao 1/2
Chumvi
Curry powder 1/2 kijiko cha chai
Turmaric 1/2 kijiko cha chai
Chilli powder 1/4 kijiko cha chai
Mafuta
Chopped coriander.. soma zaidi

Tagsπ mapishinalishe
Makongoro (miguu ya ng'ombe) kiasi
Limao 1 kubwa
Kitunguu swaum
Tangawizi
Chumvi
Pilipili.. soma zaidi

Tagsπ mapishinalishe
Mchele wa Basmati/Pishori - 1 kilo moja.. soma zaidi

Tagsπ afya mapishinalishe
Mojawapo kati ya magonjwa yanayohusishwa na umaskini na uchafu wa kupindukia ni ugonjwa wa Kipindupindu. Inaripotiwa kuwa Kipingupindu ni miongoni mwa magonjwa ambayo huathiri jamii maskini zaidi kwa kiasi kikubwa hasa hasa kwenye nchi zinazoendelea, kiasi kwamba Shirika la Afya Duniani (WHO) limeuweka ugonjwa huu kama mojawapo ya viashiria vya maendeleo ya jamii husika… soma zaidi

Tagsπ mapenzi wiki
Dawa za kulevya huathiri ubongo jinsi unavyofanya kazi. Hubadili hisia na husaidia kuondoa aibu na vizuizi vingine. Mtu hujisikia jasiri na mwenye nguvu na hivyo ni rahisi zaidi kwake kushawishika kufanya ngono kuliko asipozitumia dawa hizo… soma zaidi

Tagsπ uchumi
MASKINI NA TAJIRI WANA MAWAZO TOFAUTI.
Maskini hudhani utajiri ni chanzo cha matatizo.
Tajiri hudhani umaskini ni chanzo cha matatizo… soma zaidi

Tagsπ wiki
Kufanya mapenzi wakati msichana yuko katika hedhi hakuna madhara yoyote kiafya kwa mwanaume wala mwanamke kama kati yao hakuna mwenye ugonjwa wa zinaa… soma zaidi

Tagsπ mahusiano
Kijana maskini na mwenye maisha duni alimpenda msichana mmoja
Baada ya kutumia muda mwingi kumfikiria msichana huyo,
Siku moja akaamua kumwita na kumwambia ukweli ya kwamba amempenda na angehitaji kumuoa… soma zaidi

Tagsπ afya mapishinalishe
Ili uweze kuwa na siku nzuri basi unashauriwa kuanza siku yako kwa kutumia mchanganyiko wa maji ya uvuguvugu, asali mbichi, tangawizi, pamoja na limao… soma zaidi

Tagsπ uchumi
Watu wengi tunapenda sana Pesa lakini hatuko tayari kuzifanyia Pesa kazi nikiwa na maana kutumia njia sahihi kuzipata na tunapozipata hatuna Akili ya kuweza kuwa nazo muda mrefu zisiondoke.
Kama tujuavyo katika maisha yetu haya Pesa ndio kila kitu,tunahitaji Pesa ili tuweze kufanya mambo mengi mazuri na makubwa.Kitu kinachotukwamisha hatujui tufanye nini ili tuweze kuzipata hizi Pesa na tunapozipata tunakosea tena cha kuzifanyia ili zisipotee tena au zisiishe… soma zaidi

Tagsπ + anahitaji asili bora cha chakula chenye chokaa chuma damu dufu. hedhi hiki huhitaji huhitajika huongeza (juice) kama kamili karoti katika kingi kipindi kukua kula kupevuka kupoteza kutosha. kwa lishe madini mafuta mahitaji majani maji makuzi mara matunda mboga mchakato mimea mizizi mlo msichana msichana. muhimu mwili na nafaka ni pia protein sana. sawa uzito viazi viini vingine vitamini vitokanavyo vya vyakula wa wakati wanahitaji wanawake wanga wao. wasichana watu wazima wenye wingi. ya za zaidi zinc wiki
Wasichana wanahitaji mlo kamili na chakula kingi zaidi ya wanawake watu wazima wenye uzito sawa na wao. Katika kipindi hiki cha makuzi na kupevuka msichana huhitaji viini lishe vya kutosha. Katika kipindi hiki protein, madini ya chokaa, chuma na zinc huhitajika mara dufu. Vitamini, wanga na mafuta pia huhitajika kwa wingi.
Kupoteza damu wakati wa hedhi na mchakato wa kukua huongeza mahitaji ya madini chuma katika mwili wa msichana. Msichana anahitaji kula chakula chenye asili ya mimea, kula matunda na maji ya matunda (juice) kwa wingi. Nafaka na mboga za majani, vyakula vitokanavyo na mizizi kama karoti, viazi na vyakula vingine ni muhimu sana.
Wasichana inawapasa kuepuka vyakula visivyo na viini lishe vya kutosha, vyenye sukari nyingi, chumvi nyingi pamoja na mafuta mengi ambavyo huandaliwa kwa harakaharaka au kufungashwa viwandani (junk foods). Vyakula vya namna hii, vinaweza kusababisha matatizo ya kiafya kama vile kutoa kinyesi kikavu, unene wa kupindukia, kisukari, shinikozo la damu, uchovu wa mwili wa mara kwa mara, uvimbe wa maungio na vifundo vya mwili pamoja na magonjwa ya figo… soma zaidi

Tagsπ mapishinalishe
Mchele 3 vikombe.. soma zaidi

Tagsπ wiki
Katika swali hili lazima tutofautishe kati ya kutoa damu na kuwekewa damu. Kutoa damu hakuleti hatari, kama mtaalamu wa afya aliyechoma sindano kwa ajili ya kutoa damu anatumia sindano na vifaa vilivyochemshwa.
Kwa kawaida hakuna matatizo kuongezwa damu, kwa sababu damu i inapimwa kabla ya kumuongeza mgonjwa hospitalini. Iwapo damu i imepimwa na sindano zilizochemshwa zimetumika hakuna ubaya wowote katika kuongezwa damu… soma zaidi

Tagsπ uchumi
Njia hizo ni kama ifuatayo!!.. soma zaidi

Tagsπ mapishinalishe
Pika mboga mpya za majani au zilizogandishwa kwa barafu katika wimbi mikro kwa mlo wa haraka na rahisi kuongeza kwa mlo wowote. Pika maharagwe ya kijani, karoti, au brokoli kwa mvuke katika bakuli na kiwango kidogo cha maji katika wimbi mikro kwa mlo wa haraka… soma zaidi

Tagsπ basi govi hapana. hauna havifanani. ile inaondolewa. ingebidi kabisa. kama katika kiafya kumtahiri kuna kutahiriwa kutumia kwa lazima madhara mazingira mvulana mwanamume mwanaume na ndiyo ngozi ni pia safi. sawa siyo ukatwe ukeketaji ukeketaji? umefanyika uume vyombo wakati wanapinga wanaume watu wengine wote ya wiki
Hapana. Ukeketaji na kutahiriwa kwa mwanaume havifanani.
Kama kutahiriwa kwa mwanamume ni sawa na ukeketaji basi
ingebidi uume wote ukatwe kabisa. Katika kumtahiri mwanamume
ni ile ngozi ya govi ya uume ndiyo inaondolewa. Wakati kutahiriwa
kwa wanaume siyo lazima na pia kuna watu wengine wanapinga,
hauna madhara ya kiafya kwa mvulana kama umefanyika
kwa kutumia vyombo na katika mazingira safi. Kwa mvulana
hakuna matatizo kama ametahiriwa au hakutahiriwa! Baadhi
ya wavulana wametahiriwa wakiwa wadogo sana na wengine
wametahiriwa wakati walipokuwa vijana. Hivyo kutahiriwa kila
mara kunaambatana na kumfundisha mvulana kuhusu mila na
jinsi ya kujiheshimu kama mwanamume. Mafunzo haya ndiyo
kitu ambacho hakitofautiani kwa mwanamume na mwanamke
wanaotahiriwa. Vinginevyo kutahiriwa kwa wasichana ni hatari
na huwezi kufananisha na ile ya wavulana… soma zaidi

Tagsπ wiki
Yafuatayo ni mambo muhimu yanayochangia ubora wa maziwa.. soma zaidi

Tagsπ tibu-shinikizo-chini mapishinalishe
Zabibu huweza kutumika kama tiba ya shinikizo la chini la damu kama ifuatavyo.. soma zaidi

Tagsπ tibu-shinikizo-chini mapishinalishe
Ni mhimu kula mlo kamili kila siku. Kula lishe duni kunaweza kupelekea kuzalishwa kwa damu isiyo na afya inayoleta shinikizo la damu… soma zaidi

Tagsπ mapishinalishe
Leo wapendwa nitaenda kuzungumzia mapishi ya mchuzi wa kuku (chicken curry)… soma zaidi

Tagsπ tibu-shinikizo-chini mapishinalishe
Juisi hii ni nzuri sana katika kutibu shinikizo la juu la damu… soma zaidi

Tagsπ mapishinalishe
Mchele wa biriani - 5 gilasi.. soma zaidi

Tagsπ mahusiano
Kuachwa kusikupe Stress, Haijalishi umeachwa mara ngapi, Jali kile ulichojifunza kutoka kwa mtu aliyekuacha… soma zaidi

Tagsπ mahusiano
Kuna story moja ya kweli kabisa binti alikuwa anamnywesha viroba mtoto wa bosi wake. Ni hivi mabosi ni wafanyakazi hivyo binti alikuwa anabaki na mtoto peke yake. Baada ya muda alipata rafiki ambaye alimshswishi kuingia ktk mahusiano ya kimapenzi… soma zaidi

Tagsπ mahusiano
Mdada mmoja alitaka kujua kiasi gani
anapendwa na mume wake, hivyo akataka kujua
mumewe atafanya nini endapo ataamua
kuondoka na kumuacha!
Mwanamke huyo akaamua kuandika barua
inayosema "Samahani mume wangu, nimeamua
kuondoka na kwenda kuanza maisha mapya
mbali na wewe".. soma zaidi
adds
afya
aina
ajali
albino
ambao
ambayo
anaweza
animation
au
baada
biblia
bikira_maria
bila
bora
cha
chakula
cheka
christianity
daraja
dedications
dhambi
dini
economic
ekaristi
english
funniest
funny
gani
gari
haki
hali
hasa
hata
hii
hivyo
hiyo
hizi
home-page
ibada
ili
jamii
je
jinsi
jokes
just_for_laughing
kadi
kale
kama
kanisa
katika
katoliki
kiasi
kichekesho
kila
kipaimara
kiswahili
kitendawili
kitubio
kufanya
kuna
kupata
kurasa_kuu
kurasa-kuu
kutafutana
kutokana
kutumia
kuwa
kwa
kwamba
kwenye
la
lakini
liturujia
maajabu
maana
madhehebu
magonjwa
main_charity
main-page
maisha
malaika
maombi
mara
masomo_ya_misa
methali
michezo
mimba
misa
moja
msichana
mtoto
mtu
muda
muhimu
mungu
mwanamke
na
ndoa
ni
nini
njia
nyingi
pamoja
photos
pia
picha-kali
picha-za-ackyshine
picha-za-kuchekesha
pombe
relationship
roho_mtakatifu
sababu
sala
sana
sehemu
siku
tafakari
tagi:
tanzania
technology
ubatizo
unaweza
uumbaji
uwezo
vichekesho
vihoja
vile
vituko
vunja-mbavu
vya
wa
wakati
wanawake
wanyama
watakatifu
watoto
watu
wengi
wengine
wenye
wishes
wote
x-mass
ya
yake
yesu
za
zaidi
zao

Tagsπ mapishinalishe
Ndizi tamu (plantain) 3-4
Tui la nazi (coconut milk) kikombe 1 cha chai
Sukari (sugar) 1/4 ya kikombe cha chai
Hiliki (Ground cardamon) 1/4 ya kijiko cha chai
Chumvi (salt) 1/4 ya kijiko cha chai.. soma zaidi

Tagsπ wiki
Ndoa ni makubaliano kati ya watu wawili wenye jinsia mbili tofauti kuishi pamoja kama mume na mke… soma zaidi

Tagsπ mahusiano
Siku moja nitakua na familia(mke na watoto)
Nitakua kiongozi katika familia hiyo
Maamuzi ya mwisho yatatoka kwangu kama Baba
Kitakapo jitokeza chochote kama Baba nitakua responsible eidha kwa kuulizwa au kwa chochote kile.. soma zaidi

Tagsπ afya mapishinalishe
Hypotension ndio jina linalotumika kuelezea presha ya kushuka ambayo mpaka sasa chanzo chake hakijawa wazi. Kipimo cha presha huwa na namba mbili. Namba moja huwa juu na nyengine huwa chini. Hivyo basi namba ya juu kikawaida kwa mtu mzima inapaswa kuwa 100 hadi 139 na ya chini inapaswa kuwa 60 hadi 90. Hivyo basi pressure yako ikiwa chini ya 100/60 Ndio inajulikana kama Hyptension yaani pressure iko chini… soma zaidi

Tagsπ wiki
Katika miezi sita ya mwanzo baada ya kujifungua, mwanamke anayenyonyesha mtoto anapata kinga ya mimba kwa asilimia kubwa. Lakini i i inabidi mama anyonyeshe mtoto kwa kipindi kirefu (muda wote mtoto awe ananyonya maziwa ya mama tu na anyonye kila anapohitaji) na vilevile mama awe hajaanza kupata hedhi yake. Kama mama ameanza kupata hedhi yake au kama anampa mtoto chakula kingine, anaweza kupata mimba tena. Kwa hivyo, anashauriwa kutumia njia za kupanga uzazi i i ili kuzuia mimba za mfululizo… soma zaidi

Tagsπ wiki
Dawa za kulevya zenyewe hazisababishi UKIMWI na magonjwa ya zinaa. Lakini utumiaji wa dawa za kulevya hurahisisha kupata na kuenea kwa magonjwa haya. Dawa hizi hudhoofisha mwili na kinga ya mwili. Hivyo basi hurahisisha virusi vya magonjwa kuingia mwilini mwa mtumiaji kiurahisi… soma zaidi

Tagsπ mahusiano
[11:24, 18/02/2015] Grace Ngehula: fungue geti atakuja kukufungulia yeye,
[17:09, 02/02/2015] Lily .CPA: Tumejenga nyumba ya ghorofa basi ile naingia naongea na mlinzi kumbe yuko ghorofan ananiangalia atu mie sikumuona maaan niusiku na amekaa kwenye kono, badae ndio kaka akaniambia umeona anavyokuangalia yule kule juu, ndio nikamuona, alipoona nimemuona tu akarudi ndani.. soma zaidi

Tagsπ mahusiano
RAFIKI ZANGU WA FACEBOOK, LEO NATAKA TUKUMBUSHANE NENO DOGO TU, LAKINI NI LA MUHIMU SANA:
Fuatana nami;.. soma zaidi

Tagsπ mahusiano
Ishara hizi zinaweza zikakusaidia kumgundua msichana anayekupenda, wasichana wanatofautiana ila wengi wao wana-share ishara tofauti. Mwanamke anayekupenda hatakosa kati ya hizi.. soma zaidi

Tagsπ mapishinalishe
Tambi (vermiceli Roasted) Mifuko 2.. soma zaidi

Tagsπ aibu au duniani. fulani hasa hudhani hupendelea ili katika kidini kijamii kipindi kujiburudisha kunywa kuondoa kuongeza kusahau kwa kwamba lakini matatizo mfupi. muda na nchi ni nini nyinginezo nyumbani pia pombe sehemu sherehe tagi: tanzania ujasiri unywaji utamaduni vijana vilabuni. wa wanakunywa watu wavulana wengi ya yao za wiki
Unywaji wa pombe ni sehemu ya utamaduni wa Tanzania na nchi
nyinginezo duniani… soma zaidi

Tagsπ mapishinalishe
Mchele basmati - 3 magi (kikombe kikubwa).. soma zaidi

Tagsπ kutibu-chunusi-kiasili mapishinalishe
.. soma zaidi

Tagsπ wiki
Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI mara nyingi huenea sana kwa njia ya kujamii ana, na hauambukizwi kwa kumhudumia mtu mwenye maambukizi ya Virusi vya UKIMWI au UKIMWI. Hata hivyo ni muhimu kuwa mwangalifu na kuchukua tahadhari ili kuzuia kuambukizwa.
Ukimtibu vidonda vya mtu aliyeambukizwa na Virusi vya UKIMWI, ni vyema kuvaa mipira ya mikononi (glavu ) na daima ni vizuri kufunga kitambaa au plasta mahali penye jeraha. Vifaa vyenye ncha kali vinavyotumiwa na mtu mwenye maambukizi ya virusi vya UKIMWI, kwa mfano nyembe, kutunzwa sehemu ya pekee na visitumiwe na watu wengine.
Hatua hizi ni muhimu na za msingi kwa wahudumu wa watu wenye virusi vya UKIMWI i ili kuzuia yeye au watu wengine wasipate maambukizi ya virusi vya UKIMWI. Kama unamtunza / unamhudumia mtu aliyeambukizwa na Virusi vya UKIMWI na huna uhakika au una wasiwasi na tahadhari za kuchukua, unashauriwa kutafuta msaada kutoka kwa mtoa huduma wa afya i li akupe maelezo zaidi… soma zaidi

Tagsπ akiacha ataweza au baada hizo je kupata kutumia kuzitumia kwa mimba mrefu muda mwamamke njia sindano tena? vidonge ya wiki
Vidonge na sindano zinazuia mimba kwa kuzuia yai lisipevuke. Akitumia njia hizi za kuzuia mimba, mwanamke anaona hedhi yake kama kawaida, lakini hakuna yai linalokuwa limepevuka kwa ajili ya kurutubishwa.
Mara mwanamke akiacha kutumia vidonge, mayai hupevuka tena ndani ya kokwa na mwanamke huweza kupata mimba. Mwanamke aliyetumia sindano, anaweza akachukua muda kiasi kurudia hali yake ya uzazi. Kwa wanawake wengine inachukua miezi 12.
Muhimu ni kukumbuka kwamba sindano na vidonge siyo njia za kudumu za kuzuia mimba, hata kama itachukua muda fulani kurudia hali ya kawaida ya uzazi.. soma zaidi

Tagsπ au hajakubali halikubaliki hapo hilo hiyo ili iwapo jambo kubadilishana kujamiiana kutoa kwa la lilikuwa mbaya. mpokeaji mtu mwanamke mwanamume na ndiyo ni sababu unamlazimisha unamwonea unyanyasaji utoaji wa yule. zawadi wiki
Kutoa zawadi kwa mtu kwa kubadilishana ili kujamiiana
ni unyanyasaji mbaya. Iwapo mpokeaji wa zawadi hajakubali
kujamiiana na unamlazimisha, mwanamume au mwanamke
kujamiiana hapo hiyo ni unyanyasaji na unamwonea kwa sababu
jambo hilo la kujamiiana lilikuwa halikubaliki kwa mtu yule.
Hapa Tanzania kosa la namna hii hujulikana kama unyanyasaji/
unyonyaji wa ujinsia10 ambapo mtu hufikiria kutumia fedha,
mali au msaada kwa mtoto au wazazi kwa kusudi la kumpata ili
ajamiiane naye… soma zaidi

Tagsπ mahusiano
Kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake
anatoka nje ya ndoa basi akamwuliza mke,
mkewe akakataa, akamwambia baba yake
akaambiwa na babaake tulia mwanangu ndoa
zina mengi! akawa kila siku analalamika kwa
babaake, mwisho babaake akamwambia basi
ntakusaidia… soma zaidi

Tagsπ afya mapishinalishe
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yamebadili mfumo wa maisha ya watu pamoja na kuathiri afya zao kwa kiasi kikubwa. Hivi leo watu wanatumia vyombo mbalimbali vya usafiri kwenda karibu kila eneo… soma zaidi

Tagsπ 20% 80% aina ambao fika hawajui huleta hupata inatokana jinsi katika kawaida kuanzia. kuanzisha kufuga kununua kupokea kutafuta kutoka kuwa kwa lakini mafanikio maombi matunzo. maziwa maziwa. mipango mwisho na ngβombe ngβombe. ni pa pesa tagi: thabiti tumekutana ufugaji uzalishaji vizuri wa wafugaji waliofanikiwa wanafahamu wanataka wanaweka wao wapi watu wengi ya wiki
Mipango thabiti huleta mafanikio katika ufugaji wa ngβombe wa maziwa. Wafugaji waliofanikiwa wanafahamu fika kuwa katika uzalishaji wa maziwa 20% inatokana na aina ya ngβombe na 80% matunzo… soma zaidi

Tagsπ afrika afya asili dawa fanana hasa hivyo ili inayofanya kama kihistoria kizungu kubaguliwa. kufanana kuiga kunyooka kutumia kwa maisha matokeo matumizi msichana/mwanamke mtu mwenye mwonekano na ngozi ni nyeusi nywele rangi relaxer tagi: tofauti. wa waliamua walipoona wanapenda wanawake watu wazungu wazungu. wengi weusi ya yalianza za zao zilainike ziwe wiki
Relaxer ni dawa ya nywele inayofanya nywele za mtu mwenye ngozi nyeusi wa asili ya Afrika zilainike na kunyooka kama nywele za wazungu. Watu wengi hasa wanawake wanapenda kutumia relaxer ili nywele zao ziwe na mwonekano tofauti. Kihistoria matumizi ya relaxer yalianza kama matokeo ya watu weusi kubaguliwa. Watu weusi walipoona hivyo waliamua kuiga maisha ya kizungu ili kufanana fanana na wazungu kwa rangi ya ngozi na nywele ili wathaminiwe na kupewa upendeleo wa kupata fursa za mafanikio na watawala wetu enzi za ukoloni. Wakoloni waliwapendelea watu walioipokea kasumba hii kwa mikono miwili… soma zaidi

Tagsπ wiki
Ubikira ni nini?: Maana halisi ya neno βbikiraβ ni mwanamke au mwanaume ambaye hajawahi kabisa kujamii ana. Kujamii ana hapa i ina maana kwamba uume wa mwanaume unaingia katika uke wa mwanamke… soma zaidi

Tagsπ wiki
Hapana, huwezi ukarithi uvutaji wa bangi. Lakini mara nyingi watoto huiga tabia za wazazi wao. Wakiwaona wazazi au babu zao wakitumia bangi, wao hufikiri ni halali na wanaweza wakaanza kuvuta bangi pia… soma zaidi

Tagsπ mahusiano
Nimezipenda hizi nasaha. Naamini na nyinyi wenzangu hamtakosa japo machache ya kujifunza:-
1. Epuka hasira za ovyo na kila mtu, kuwa msikivu kabla ya kukimbilia maamuzi (elewa kuwa ukiwa na hasira huwezi kupata suluhu ya jambo)
2. Usiwatendee wengine ubaya ukadhani kuwa utakuwa salama (ubaya hulipwa kwa ubaya, ipo siku ubaya wako kwa wengine utakurejea kama sio kuwarejea watu wa kizazi chako).. soma zaidi

Tagsπ afya mapishinalishe
Ni msukumo wa damu ulio juu kuliko inavyotakiwa kwa muda mrefu. Msukumo wa damu huhitajika mwilini ili kusambaza chakula, oksijeni na kutoa uchafu. Shinikizo la damu hupimwa kwa kutumia kifaa kinachoitwa Sphygmomanometer.. soma zaidi

Tagsπ afya anayeishi binadamu dhahiri haki haki. hasa haya hizi hizi: husika. inayokubaliana kama katika kimataifa kuanzia kuheshimiwa kuthaminiwa mataifa matamko mikataba msingi; mtu muhimu na nchi ni pia sheria siku ualbino? ujinsia ulimwenguni unayozaliwa. uzazi wote ya yameridhia yote za ziko zile zinamhusu zinawahusu zinazohusiana wiki
Haki za msingi; hasa zile zinazohusiana na kuthaminiwa na
kuheshimiwa kama binadamu zinawahusu binadamu wote
kuanzia siku unayozaliwa. Mataifa yote Ulimwenguni yameridhia
mikataba ya Kimataifa inayokubaliana na matamko haya ya
haki. Haki hizi ziko dhahiri katika sheria za nchi husika. Haki
muhimu za ujinsia na afya ya uzazi ni hizi:
β’ Kupata habari juu ya ujinsia na mada zinazohusu afya ya
uzazi.
β’ Mwanamke au mwanaume kuamua kwa uhuru na kuwajibika,
kama anataka kujamiiana lini na mtu gani… soma zaidi

Tagsπ mapishinalishe
Maji baridi β kikombe 1.. soma zaidi

Tagsπ mahusiano
Wanawake wengi siku hizi hawajui au hawataki kuonesha mahaba
Nimefanya kautafiti kangu kadogo nimegundua wanawake wengi siku hizi hawaonyeshi mahaba yani kwa ujumla hawako "Romantic". Wanawake wengi siku hizi akipata mwanaume anaona amepata mtu wa kumsaidia shida zake kwa hiyo hata akiwa ndani ya mahusiano anafikiria zaidi kutatuliwa shida zake kuliko mahusiano yenyewe… soma zaidi

Tagsπ habari
Tafakuri Tafakarishi:
Mwanaume hujaribiwa na Shetani akiwa na hela. Lakini shetani humkimbia akiishiwa. Angalia wanaume wengi wakiwa na hela wanavyo behave. Hawajali familia zao, attention yao kubwa ni kwenye ulevi, vimada, disco, kamari, makasino etc. Lakini wakiishiwa wanashinda nyumbani, wanajali familia, wanapanga mipango ya maendeleo (ambayo mingi haitekelezeki akishapata hela)… soma zaidi

Tagsπ wiki
Ndoto nyevu ni kitu kinachowatokea vijana wakiwa usingizini. Haiwezekani kuzuiwa kwa sababu uko usingizini, lakini labda ingekuwa vizuri wewe kujiuliza kwa nini unataka kuzuia jambo hili, haswa ukizingatia kwamba ndoto nyevu hazidhuru afya yako kabisa na kwamba ni dalili kuwa sasa unakuwa mtu mzima, yaani mwanaume… soma zaidi