[VIDEO] Ajali za magari za kutisha
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Leo nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. ,Nikamuuliza eti dada unavijua visa vya wanawake??
Akajibu kaka niache, nikakomaa anijibu…
Badala ya kujbu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada.. hadi wananchi wenye mapanga, mawe na mishale wakaanza kuja, dada huyo alivyoona wanakuja akajmwagia maji mwili mzima. Nikajua leo ndio mwisho wangu nikajuta sana kutaka kujua kila kitu…
Wananchi walivyofika, wakamuulza, kuna nini? Akawajibu, nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndie amensaidia!!
Wakanipongeza sana sana kisha wakaondoka…
Yule dada akaniambia, hivyo ndivyo visa vya mwanamke anaweza kukuua au kukulinda! So muheshmu mwanamke hata kinafiki, usijfanye jeuri!!!. soma zaidi
EMBU SOMA HII KWA MAKINI SJUI NI KWELI? USIMAINDI LAKINI MAANA ITAKUGUSA TUU. MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI
βπ½Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa.. soma zaidi
Ladies jaribu kuchukua hata dakika mbili kuwakumbuka na kuwaombea mema huko walipo wale watu mliokua mna date nao wakati mko secondary …anakupenda bila make up.. Bila mawigi.. Bila kusuka.. Umenyoa kichwa kama baba ako.. Unashinda na sketi jekundu lina marinda miezi 6 alafu oversize… Shape haieleweki haionekani.. Umekonda.. Unakula ugali na maharage ya wadudu ila yeye yuko bega kwa bega na wewe.. Yale ndio yaliitwa True Love sasa… soma zaidi
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, watu kutoka koo, makabila, mataifa na wenye rangi tofauti hujikuta katika dimbwi zito.
Hujikuta katika wakati ambao kila mmoja haoni kitu kingine cha thamani zaidi ya mpenzi wake. Huu ni wakati ambao si tu kuwa neno usaliti linakuwa halipo bali wapenzi hawahisi hata kama kuna maisha bila ya yule wampendaye.
Usaliti ni jambo lenye maumivu yasiyovumilika hasa ikiwa ni jambo ambalo halikutarajiwa. Mtu hahisi kama itatokea mpaka inapotokea.
Mwishoni mwa wiki hii kumeenea picha za mwanaume aliyejikatisha uhai kisa mapenzi. Hii ikanikumbusha utafiti usio rasmi nilio ahi kufanya juu ya kwanini wanaume huumizwa zaidi na usaliti kuliko wanawake.. soma zaidi
Makala Maarufu
KILIMO BORA CHA PILIPILI HOHO
Jina la kitalaamu la PILI PILI HOHO ni Capsicum annum. Asili ya zao hili ni bara la Amerika ya Kusini. Hapa nchini zao hili hulimwa katika mikoa ya Iringa, Tanga (Lushoto), Mbeya, Ruvuma, Tabora na Arusha. Kilimo hiki kinaendeshwa na wakulima wadogo katika maeneo yenye ukubwa wa kati ya hekta 0.2-0.4 pia kuna maeneo ya wakulima wakubwa wenye hekta kati ya 2-20. Wakulima hao hujishughulisha na kilimo cha zao hilo kwa njia ya mkataba na kampuni hiyo.. soma zaidi
Katika baadhi ya sehemu duniani watu wanaamini kuwa ngozi angavu huashiria uzuri, utajiri na uwezo(kifedha) alionao mtu.Katika baadhi ya sehemu watu wenye ngozi nyeusi huchukuliwa kuwa wapo chini ya kiwango, hii hupelekea watu hawa kutumia vingΒ΄arisha ngozi kama krimu, vidonge au nyenzo zingine kubadilisha ngozi zao.. soma zaidi
"Nilibakwa nikiwa na miaka 9 lakini leo mimi ni mmoja wa wanawake wenye ushawishi mkubwa duniani"- *OPRAH WINFREY!*. soma zaidi
Kitunguu swaumu ni jamii ya vitunguu ambayo kwa kitaalamu huitwa Allium sativum. Jamii hii ilianza kutumika katika mabara mbalimbali duniani hususani Asia, Afrika na Ulaya takribani miaka 6000 iliyopita. Matumizi makuu nyakati hizo yakiwa viungo katika mboga na tiba.. soma zaidi
Kibaka siku zote ni mtu mdokozi mdokozi yeye
anayakuwa kitu fasta na kusepa hana uwezo wa
kuja kuvunja nyumba yako na kuiba ila anaweza
kutoboa dirisha lako na kuiba simu, anaweza
kuruka ukuta na kuiba nguo.
Wapo vibaka wengi sana kwenye mapenzi siku
hizi
wao kazi yao ni kuonja onja miili ya watu kama
wanavyoonja mboga, yaani wao hawawezi
kudumu
katika mapenzi yupo na wewe siku kadhaa na
ndani ya siku hizo tayari anaanza kumfikiria mtu
mwingine.. soma zaidi
Mchele wa biriani - 5 gilasi. soma zaidi
MAHITAJI
240 gram za mchele wa basmati au mchele wowote mrefu, Loweka katika maji kwa dakika 20
1 kijiko kidogo cha chai mbegu za binzali nyembamba ( cumin seed)
1 kitunguu kikubwa kata kata
1 Nyanya kubwa kata kata
3 spring onions ( majani ya kitunguu)
1 bay leaf. soma zaidi
Tafadhali soma na uwapelekee wengine. Dr. Brian Berry wa Marekani amegundua kensa mpya kwa binadamu inayosababishwa na Silver Nitro Oxide. Unaponunua kadi ya simu usiichune kwa kucha kwani imo hiyo Silver Nitro Oxide na inaweza kusababisha kensa ya ngozi. Watumie ujumbe huu wale uwapendao.. soma zaidi
Kwa kuwa maziwa yanaharibika haraka yakiachwa kwenye hali ya joto kwa muda mrefu, yanahitaji kuhifadhiwa kwenye baridi mara baada ya kukamuliwa. Baridi hupunguza kasi ya kuongezeka kwa bacteria waharibifu. Kama huna jokofu au chombo cha kupoza maziwa, hifadhi ndani ya chombo chenye maji baridi au zungushia gunia au blanketi bichi, lakini hakikisha kuwa chombo chenye maziwa kimefunikwa vizuri ili uchafu usiingie ndani.
1. Tumia vyombo vya metali na vilivyo safi kuhifadhia maziwa kila wakati.
2. Unapohamisha maziwa kutoka chombo kimoja kwenda chombo kingine, mimina badala ya kuchota. Kuchota kunasababisha kuingiza bakteria waharibifu wa maziwa.
3. Ikiwa unaumwa, usikamue wala usijishughulishe na kazi za maziwa. Pata matibabu hadi hapo daktari atakapokuruhusu kuendelea na shughuli zako.. soma zaidi
Hatuwezi kusema mwanamke husikia raha gani akijamiiana na mwanaume aliyevaa kondomu au na mwanaume asiyevaa kondomu. Kila mtu ana upendeleo wake, lakini jambo la msingi katika kujamiiana ni hisia, hali ya kuelewana katika mapenzi na kiwango cha msisimko.
Wanawake wengine wanapendelea kujamiiana na mwanaume aliyevaa kondomu, kwa sababu hofu ya kupata mimba au kuambukizwa magonjwa ya zinaa haipo. Wanawake wengine wanapendelea kujamiiana bila kondomu. Lakini, pamoja na hatari ya kupata mimba, siku hizi kujamiiana bila kondomu kuna hatari ya kuambukizana magonjwa ya zinaa na hasa Virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Kwa hiyo ni vizuri zaidi kutomwamini mtu yeyote mpaka mpimwe kliniki wote wawili kuwa ni wazima wa afya na kuendelea kuwa waaminifu wote wawili.. soma zaidi
Nyanya ni aina ya mboga inayo zalishwa kwa wingi sana duniani. Kwa Tanzania, nyanya ni zao la kwanza katika mazao ya mboga linalo limwa na kuliwa kwa wingi ukilinganisha na mboga zingine. Nyanya hutumika karibu Katika kila mlo. Kulingana na umuhimu wa zao hili kama chakula na pia kama zao linalomwingizia kipato Mkulima, kuna haja ya kutoa mafunzo kuhusu mbinu bora za uzalishaji wake. Pia kuna umuhimu wa kufundisha wakulima kutoka sehemu zingine wasiolima zao hili ili nao waweze kuzalisha nyanya na hivyo kuongeza idadi ya aina za mboga katika maeneo yao.. soma zaidi
π¦SIRI HAINA WAWILIπ¦. soma zaidi
Wanaume mara nyingi huambukizwa sehemu za mrija wa mkojo. Katika sehemu hizi ni rahisi kusikia mwasho au maumivu zaidi kuliko kwenye via vya uzazi vya ndani vya mwanamke. Hasa wakati wa kukojoa, chumvichumvi iliyo kwenye mkojo inagusa vidonda ndani ya mrija. Hivyo, ni rahisi zaidi kwa mwanaume kujua kuwa ameambukizwa.
Vilevile mwanaume akiambukizwa na magonjwa haya, sehemu ya mbele ya njia ya mkojo inashambuliwa na huanza kutoa usaha mzito. Lakini uke wa mwanamke hutoa kemikali ambazo hufanya wadudu kutoweza kushambulia kwa haraka, na dalili hazionekani kwa urahisi. Bahati mbaya, kemikali hizi hazizuii kuingia kwa ugonjwa, lakini dalili huchelewa kuonekana.
Usisahau kwamba kama mwanaume anajitambua kuwa na dalili za kuumwa magonjwa ya zinaa, mpenzi wake pia anatakiwa kwenda kliniki ili apate uchunguzi na tiba.. soma zaidi
Maharagwe yanapandwa kwenye kabichi yanafanya kazi zifuatazo;. soma zaidi
1. Wana Nguo Nyingi KulikoWanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba HalisiWa Watoto Wao.. soma zaidi
Upungufu wa damu ni tatizo linalosababishwa na kupoteza damu nyingi, kupungua kwa uzalishaji wa chembe hai za da damu na uharibifu wa chembe za damu kutokana na matatizo na magonjwa mbali mbali seli mundu, ujauzito, hedhi nzito, kurithi, magonjwa sugu na Lishe duni yenye ukosefu wa madini ya folic, chuma na vitamini B12.. soma zaidi
Tafuta fulsa kila kona.
Tumia kipaji chako.
Kuwa na nidhamu katika fedha - matumizi mazuri ya pesa, nidhamu kwa watu wanaokuzunguka, usijikweze, usibague jamii, heshimu wote waliokaribu yako nk.. soma zaidi
Zifuatazo ni baadhi ya sababu kwanini mabinti wengi wanashindwa KUOLEWA… soma zaidi
ΒΆ>PENSELI: "Nisamehe sana". soma zaidi
Jinsi ya kugundua upungufu wa virutubisho. soma zaidi
Mchele wa pishori (basmati) - 4. soma zaidi
. soma zaidi
Baba mmoja alikuwa na wake wanne. Alimpenda sana mke wake wa nne na alitumia gharama kubwa kwaajii yake na kumpa matunzo bora. Pia alimpenda mke wake wa tatu na siku zote alipenda kuwaonyesha marafiki zake mke huyu wa tatu kwakuwa alikuwa mrembo kwelikweli. Hata hivyo alikuwa na hofu kwamba huenda mke huyu anaweza msaliti aende kwa mtu mwingine kati ya hao rafiki zake. Pia alimpenda mke wake wa pili kwakuwa kila alipokabiliwa na matatizo mke huyu alikuwa faraja na msaada mkubwa katika kumshauri. Hata hivyo, huyu baba hakuwa na upendo kabisa na mke wake wa kwanza japo mke huyu alimpenda sana mume wake na alikuwa mwaminifu sana kwake.. soma zaidi
Kwa kawaida wakati wa kupima ubora, kiasi kidogo cha maziwa (sampuli) kutoka kwenye kila chombo hupimwa. Maziwa ambayo sampuli yake haikufikia kiwango kinachotakiwa hukataliwa na ni hasara kwa mfugaji. kwa hiyo, ni muhimu kushughulikia na kuhifadhi maziwa kwa kuzingatia kanuni za usafi. Vipimo hivi hufanyika kila wakati maziwa yanapofikishwa katika vituo vya kukusanyia maziwa ili kuhakikisha maziwa bora pekee ndiyo yanayopokelewa. Utaratibu huu wa upimaji maziwa kama unavyofafanuliwa hapo chini utakusaidia kuelewa na kukubali matokeo ya upimaji.. soma zaidi
Vijana wengi wanajikuta wanatumbukia katika matatizo mazito kama kupata mimba mapema, utoaji wa mimba, magonjwa ya zinaa pamoja na maambikizi ya virusi vya UKIMWI na UKIMWI, kwa sababu wanapokea zawadi bila ya kujiuliza lengo la zawadi hizo.. soma zaidi
Viazi ulaya 4 vya wastani
Hoho jekundu 1/2
Hoho la njano 1/2
Hoho la kiajani 1/2
Njegere 1 kikombe cha chai
Carrot 1 kubwa
Broccoli kidogo
Cauliflower kidogo
Kitunguu 1
Nyanya 1/2 kopo
Swaum/tangawizi 1 kijiko cha chakula
Curry power 1 kijiko cha chakula
Coriander powder 1 kijiko cha chai
Tarmaric 1/2 kijiko cha chai
Olive oil
Chumvi
1/4 ya limao. soma zaidi
Si kweli.
Pombe haiongezi damu, vitamini wala nguvu. Ukweli ni kwamba unywaji pombe kupita kiasi huvuruga ufyonzaji wa vitamini na madini kutoka kwenye chakula kuingia mwilini.. soma zaidi
Boga la kiasi - nusu yake. soma zaidi
Siki ya tufaa (Apple cider vinegar) ni moja kati ya dawa zinazojulikana katika kutibu chunusi ahsante kwa uwezo wake wa kurudishia tindikali katika ngozi. Bakteria wabaya, mafuta na uchafu mwingine wowote utaondoka juu ya ngozi yako bila kupenda ukitumia dawa hii.. soma zaidi
Dagaa (dried anchovies packet 1)
Unga wa ugali (corn meal flour 1/4 kilo) (unaweza kutumia unga wa choice uipendayo)
Nyanya ya kopo (tin tomato 1/2)
Kitunguu maji (onion 1)
Limao (lemon 1/4)
Pilipili mbuzi nzima bila kukata (scotch bonnet pepper1, do not chop)
Chumvi (salt 1/4 ya kijiko cha chai)
Mafuta (vegetable oil)
Hoho (green pepper). soma zaidi