Angalia anachofanya huyu, Wewe unaweza?
[VIDEO] Angalia anachofanya huyu, Wewe unaweza?
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
JITAMBUE : Maisha yako ya kesho hayalingani na maisha yako ya jana, Anza sasa
THERE IS NO FUTURE IN THE PAST. Ukitaka kufanikiwa usiangalie nyuma yako kunanini na ulishindwa mara ngapi. Siku zote kukaa Chini nakuanza kujuta kwa makosa uliofanya uko nyuma nikupoteza muda, huo muda Utumie kwa kupanga ya kesho.. soma zaidi

BADILIKA : huu ni mwaka mpya
Badilika huu mwaka. Kipenga kimeshapulizwa wenye mbio zao wameshatoka, wewe bado uko kitandani unaandika happy new year kwenye mitandao ya kijamii
Kipenga kimeshapulizwa wewe maliza bajet yote leo kwenye starehe alafu uanze kulalamika eti Mwezi wa kwanza Mgumu utadhani umeubonyeza. soma zaidi

Ndoa nyingine ngumu sana. Soma kisa hiki
Misingi mingine ya ndoa zetu ni migumu sana.
Pata simulizi hii toka Marekani.. soma zaidi

Huu ndio ukichaa wa mapenzi
π΅Kushika mimba ukadhani ni mtego ili uolewe.
π΅ Kutafuta mkamilifu wakati tabia zako tunakuvumilia tu.
π΅ Kutafuta msichana mrembo wakati huna pesa.
π΅ Kutafuta mke mwema kanisani wakati we unaenda kanisani wakati wa maombi ya Christmas tu.. soma zaidi

Makala Maarufu
Urusi yashambulia Islamic State
Urusi imesema kuwa imetekeleza shambulio kali zaidi dhidi ya maeneo yanayokaliwa na wapiganaji wa Islamic State nchini Syria,ikiwa ni miongoni mwa mashambulizi yake ya hewani kufikia sasa.
Waziri wa ulinzi Sergei Shoigu,amethibitisha ripoti za Ufaransa na Marekani kwamba Moscow ilitumia mabomu ya masafa marefu na makombora .
Amesema kuwa ndege hiyo ilirusha makombora katika maeneo ya wapiganaji hao mjini Raqqa,ambao ndio ngome kuu ya wapiganaji hao na Deir ez Zor mashariki mwa Syria,huku mabomu yakilenga Kaskazini.
Awali rais Vladmir Putin alionya mashambulizi makali dhidi ya IS,kufuatia thibitisho kwamba ndege ya Urusi ilioanguka nchini Misri mwezi uliopita ilisababishwa na shambulizi la kigaidi.
Maafisa wa Urusi wanasema kuwa chembechembe za vilipuzi zilionekana katika mabaki ya ndege hiyo aina Airbus.
Abiria wote 224 walioabiri ndege hiyo ,wengi wao wakiwa watalii wa Urusi waliuawa.
Kundi la Islamic State limethibitisha kutekeleza shambulio hilo.. soma zaidi

Tabia ambazo zinamfanya mwanamke asiolewe
KUOLEWA NI NDOTO KUU YA KILA MWANAMKE ALIYEKAMILIKA ILA KAMA UNA TABIA HIZI UTAZEEKEA NYUMBANI. soma zaidi

Dalili za mahusiano feki, mahusiano ya kichina
Ukitaka kujua Simu ya Kichina utajua tu jinsi ilivyo na makelele mengiiiii sana wakati wa kuita….Sasa ukitaka kujua relationship feki ya kichina utaona tu makelele yalivyo mengi kama ile simu…Watu hawatulii kwenye wall,mara I miss my baby,mara baby come back,mara baby this,ooh my man/Girl is special,mara picha …mi and my baby,full kujishaua..ukiona wall zenye hayo makelele asilimia 90 ni penzi la kichina na lazima lina double line.Relationship serious na Original hazina makeke wala mikelele mingi kama hiyo yako na milio mikubwa ya ajabu na vibration ambazo zinaweza kufyeka hata majani.TULIA,hatuhitaji kujua who is ur baby au umemmiss,ukimmiss mpigie simu hukooo! Ebooo!!!. soma zaidi

Jinsi ya kupika Pilau Ya Nyama Ya Ng'ombe Na Nyanya
Mchele (Basmati) 3 vikombe
Mchele (Basmati) 3 vikombe
Nyama ya ngoβmbe 1 kg
Pilipili boga 1 kubwa
Nyanya 2 kubwa
Vitunguu maji 2 vikubwa
Kitunguu saumu(thomu/galic) iliyosagwa 1 kijiko cha supu
Tangawizi 1 kijiko cha chai
Ndimu 1
Mafuta ya kupikia Β½ kikombe
Mdalasini Β½ kijiko cha chai
Binzari nyembamba 1 kijiko cha chai
Pilipili manga Β½ Kijiko cha chai
Hiliki Β½ Kijiko cha chai. soma zaidi
Je, unajua kwa nini hufanikiwi?
Una mizigo mingi isiyo ya lazima wala faida ambayo umeibeba:-
1.Umejipa jukumu la kuwa "mpelelezi" wa maisha ya wengine na umesahau maisha yako.
2.Umebeba vinyongo na visasi moyoni vinavyokufanya uwafikirie waliokuumiza zaidi kuliko kufikiria furaha na maendeleo yako.. soma zaidi

Ufaransa kuchuana na England Jumanne
Kocha wa Uingereza Roy Hodgson amekubali kwa moyo mkunjufu na wa huruma mechi kati ya England na Ufaransa itakayochezwa juma lijalo katika uwanja wa Wembley.
Hogson amesema licha ya maafa yaliyosababishwa na ugaidi, tutajianda ipasavyo ndani na nje ya uwanja huo wa Wembley.
''Huu ni wakati wetu kuonesha dunia kuwa kandanda kwa hakika inaweza kuunganisha ulimwengu.'' alisema Hogson.
''Ninaamini kuwa wachezaji wetu watajiandaa ipasavyo kuwaonesha wageni wetu kuwa Uingereza inaungana na Wafaransa wakati huu wa majonzi.
Mechi hiyo ya kirafiki itaendelea kama ilivyopangwa siku ya jumanne jioni licha ya msururu wa mashambulio ambayo yamewaua takriban watu 129.
Washambuliaji 3 wa kujitolea muhanga walifariki katika milipuko nje ya uwanja wa Stade de France huku wachezaji wa Ufaransa wakicheza dhidi ya Ujerumani siku ya ijumaa.. soma zaidi

Jinsi ya kupika Vileja Vya Tambi
Tambi (vermiceli Roasted) Mifuko 2. soma zaidi

Je, watu wanaoishi na hali ya ualbino wanaweza kuzaa watoto bila matatizo?
Ulemavu wa watu wanaoishi na ualbino hauingiliani na uwezo
wa kuweza kuzaa. Tuelewe kwamba ulemavu huu uko tu kwenye
ngozi na siyo kwenye via / mfumo wa uzazi. Kwa maana hiyo
basi; Albino anaweza kuzaa watoto wenye afya nzuri. Pia
wanaweza kuzaa watoto wenye ngozi ya kawaida (blackii) kama
mzazi mwenzie hatakuwa amebeba vinasaba vya ualbino.. soma zaidi

Uhusiano uliopo kati ya pesa na muda
Bila shaka upo uhusiano mkubwa kati ya pesa na muda… soma zaidi

Mimi ni msichana Albino ninaogopa kuwa na rafiki mwanaume kwa kuhofia kuwa anataka tu kujamiiana na mimi na halafu aniache.
Wakati mwingine kuwa na muonekano tofauti na watu wengine
huvuta udadisi. Na hasa tukikumbuka kwamba uvumi uliopo
unasema kuwa Albino wako tofauti katika kujamiiana jambo
ambalo linaimarisha udadisi huu. Kwa maana hiyo basi, chukua
muda wa kutafakari. Kama vile tunavyofanya katika urafiki
mwingine ni lazima uchukue muda, ujaribu kujenga mazingira
ya kusikilizana na kuelewana. Mnaweza kufanya shughuli nyingi
pamoja na baada ya muda utaweza kugundua kama urafiki wenu
ni wa kweli kwa maana anakupenda wewe kama ulivyo na siyo
kwa kitu kingine. Baada ya hapo ndipo unaweza kuingia katika
uhusiano wa karibu bila kuogopa kuachwa.. soma zaidi

Ukweli kuhusu albino
- Je, ualbino unaambukiza? ……….. Hapana
- Ualbino ni ugonjwa? ………..Hapana
- Ualbino ni laana? ………..Hapana
- Ualbino ni kitu cha kawaida? ………..Hapana
- Ualbino unawapata tu watu weusi?……….. Hapana
- Watu wanaoishi na ualbino wana macho mekundu?……….. Hapana
- Albino ni watu wenye imani za ushirikina? ………..Hapana
- Albino wana nguvu za giza? ………..Hapana
- Je, Albino hawana akili? ………..Hapana
- Je, ni kosa la mwanamke anayezaa mtoto Albino? ………..Hapana
- Je, jamii ibadili mtazamo hasi iliyo nao kuhusu Albino?……….. NDIYO. soma zaidi
Sababu, tiba na jinsi ya kujikinga na Tatizo la uke kutoa harufu
Ni matumaini nyote mnaendelea vyema, nami alhamdulillah ala kul Hali naendelea vyema
Leo naona ni bora tukazungumzia tatizo la kutokwa na harufu mbaya ukeni maana watu wengi hudhani kuwa na harufu mbaya itokayo ukeni ni matokeo ya uchafu tu.. soma zaidi

Watu wanasema kuwa unaweza kupona UKIMWI kwa kujamiiana na Albino. Hii ni kweli?
Watu wanaweza kuvumisha uongo wowote ili kupotosha
ukweli na kufanya mambo yao maovu wanayoyapenda. Wapo
wanaosema kuwa unaweza kupona UKIMWI kwa kujamiiana na
bikira, mtu mlemavu au Albino, hizi ni imani potofu na hazina
msingi wowote.. soma zaidi

Watu wanaamini kuwa Albino wana joto katika mapenzi kuliko watu weusi, Je, hiyo ni kweli?
Hii siyo kweli,
tofauti
baina ya Albino
na mtu a s i
ekuwa na ualbino
i m e e l e z w a
hapo mwanzoni
ambapo tofauti
ipo tu kwenye
muonekano wa
rangi ya ngozi,
nywele n a macho. Mifumo yao yote mingine ya mwili iko sawa na watu
wasio na ualbino.
Watu wanaweza tu kuanzisha uvumi kama huo popote pale.
Ipo pia mifano kama: Wajerumani wanaamini kuwa Wafaransa
wana joto katika mapenzi, Wazungu pia huamini kuwa Waafrika
wana joto n.k. Hizo ni hisia tu na siyo ukweli. Katika jamii wapo
watu ambao wanapenda kufanya ngono sana, wapo wa wastani
na wapo wale ambao hawajisikii msukumo wa kujamiiana. Uvumi
huu unatokana na mawazo ya kifikra na siyo ukweli halisi.. soma zaidi

Ufugaji Kware
1. Kware anakula chakula chochote anachoweza kula kuku ikiwemo chakula cha broiler. Kama utaamua kuwapa chakula cha broiler unawapa βstarterβ kware wenye umri kuanzia siku moja hadi wiki ya tatu baada ya hapo unawapa Falcon au hill.. soma zaidi

Kwa nini watu wanaamini kuwa Albino hawana maambukizo ya Virusi vya UKIMWI (VVU)?
Imani hiyo si kweli kabisa. Inawezekana ni kupotoshwa kwa
makusudi wa ukweli kuhusu jambo hilo kunakofanywa na watu
wachache katika jamii ili kuendeleza matendo yao maovu. Watu
wanaweza kufuata imani potofu na zisizo na msingi wowote ili
kukwepa ukweli kuhusu VVU na UKIMWI. Kwa mfano; imani
kuwa mtu anaweza kupona UKIMWI kwa kufanya mapenzi na
bikira, mlemavu au Albino ni za uongo na hazina msingi wowote.
VVU huambukizwa kupitia majimaji ya mwili, na njia kuu ya
maambukizo ni kujamiiana bila kinga. Njia pekee za kuzuia
maambukizo ni kuacha kabisa kufanya ngono, kuwa na mpenzi
mmoja muaminifu au kutumia kondomu.Watu wanaoeneza imani hizi
potofu wanatafuta njia mbadala ya kuhalalisha tabia zao mbaya.. soma zaidi

Billboard imetoa list ya rappers wakali duniani
Baada ya mtandao wa Billboard kuachia orodha yao ya 10 Greatest Rappers Of All Time, kumekuwa na maneno mengi sana kwenye mitandao ya kijami kuhusu 2 Pac, Kanye West na Drake kutokutajwa kwenye orodha hiyo.. soma zaidi

UFUGAJI WA KUKU
Kuna njia kuu mbili za ufugaji wa kuku.. soma zaidi

Mapishi ya Biskuti Za Jam
Unga 2 Β½ gilasi. soma zaidi
Unga 2 Β½ gilasi. soma zaidi
Ukubwa wa uume si kigezo cha kumridhisha mpenzi wako
Utajuaje kuwa ni kubwa au ndogo? Obviously ni kwa kujipima….lakini wanaume wengi wanapenda au hata kujisifia kuwa wao ni wakubwa, wakidhani ni moja ya sifa au hitaji la muhimu la wanawake.. soma zaidi

Dalili za kwanza za msichana au mwanamke kuwa na mimba ni zipi?
Dalili moja i iliyo wazi zaidi ni kukosa hedhi. Mwanamke akijamii ana na mwanaume bila kutumia kinga yoyote na asipopata hedhi katika muda unaotakiwa, mara nyingi i i ina maana kwamba amepata mimba.. soma zaidi

Mambo 10 ambayo wanawake wamewazidi wanaume
1. Wana Nguo Nyingi KulikoWanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba HalisiWa Watoto Wao.. soma zaidi

Jinsi ya kuzuia magonjwa ya kuku
Ufugaji wa kuku una faida kubwa, lakini mkulima anatakiwa kuzuia kadri awezavyo uwezekano wa kuwepo magonjwa shambulizi.. soma zaidi

Unaweza kushare maneno haya kuntu kwa vijana wote ambao hawajaoa na walio kwenye ndoa
1. Mwanangu, mwanamke anaweza kuwa mkeo, mwingine anaweza kuwa mama wa watoto wako, lakini ukipata mwanamke ambae atakuwa kama mama kwako, mama kwa wanao na mama kwa familia, tafadhali mwanangu usimuache huyo!. soma zaidi

Je unajua haya mambo yanashangaza?
Unatoa Makamasi Kwa Kutumia Kitambaa Halafu Unarudisha Kitambaa Mfukoni, Ili Iweje?
…'
Unanunua Ndizi Mbivu Halaf Unaosha Vizuri Ganda La Nje Then Unamenya Unalitupa Ganda, Uliosha Ili Iweje??. soma zaidi

Nguvu ya umoja na ushirikiano
Siku moja kundi la watu 500 walikua wamehudhuria Semina. Mara msemaji mkuu wa semina hiyo akaanza kumpa kila mtu puto (balloon), na kuwaambia kila mmoja aandike jina lake juu la puto alilopewa.. soma zaidi

FAIDA ZA MATUMIZI YA TENDE
1. Ukila tende mara kwa mara, mwili wako utapata aina mbalimbali za madini na vitamin za kutosha, ambazo zinapatikana kwenye tunda hili maarufu duniani. Katika tende kuna kiasi kidogo tu cha mafuta (fat) na haina lehemu (kolestrol).. soma zaidi

Mapishi ya Biriani Ya Kuku Wa Kuchoma (Grilled)
Mchele wa Basmati /Pishori - 4 vikombe. soma zaidi

Mapishi ya Biriani la nyama ya ng'ombe
Nyama ya ng'ombe (beef 1/2 kilo)
Mchele (rice 1/2 kilo)
Vitunguu (onion 2)
Viazi (potato 2)
Vitunguu swaum (garlic 3 cloves)
Tangawizi (ginger)
Nyanya ya kopo (tomato 1/2 ya tin)
Curry powder (1/2 kijiko cha chai)
Binzari nyembamba ya kusaga (cumin 1/2 kijiko cha chai)
Binzari manjano (tarmaric 1/2 kijiko cha chai)
Mafuta (vegetable oil)
Chumvi (salt)
Rangi ya chakula (food colour)
Giligilani (fresh coriander)
Maziwa ya mgando (yogurt kikombe 1 cha chai)
Hiliki nzima (cardamon 3cloves)
Karafuu (clove 3)
Pilipili mtama nzima (black pepper 5)
Amdalasini (cinamon stick 1). soma zaidi

Sababu na madhara ya tatizo la kukosa choo
Tatizo la kukosa choo (constipation) ni tatizo ambalo limekuwa likiwakumba watu wengi sana katika dunia, watu wamekuwa wakiteseka bila kujua nini chanzo cha tatizo hili na vipi kuliondoa tatizo hili na wengine wamekuwa wakilipuuzia bila kujua madhara ambayo wanaweza kuyapata kutokana na tatizo hili.. soma zaidi