Angalia haka kapaka kanachofanya, Kasumbufu kweli
[VIDEO] Angalia haka kapaka kanachofanya, Kasumbufu kweli
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
π₯ Video nyingine kama hiiπ
π¬ Huu ukataji wa ugali ni nomaβ
π¬ Angalia huyu mwizi wa kondooβ
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
JITAMBUE : Maisha yako ya kesho hayalingani na maisha yako ya jana, Anza sasa
THERE IS NO FUTURE IN THE PAST. Ukitaka kufanikiwa usiangalie nyuma yako kunanini na ulishindwa mara ngapi. Siku zote kukaa Chini nakuanza kujuta kwa makosa uliofanya uko nyuma nikupoteza muda, huo muda Utumie kwa kupanga ya kesho.. soma zaidi

BADILIKA : huu ni mwaka mpya
Badilika huu mwaka. Kipenga kimeshapulizwa wenye mbio zao wameshatoka, wewe bado uko kitandani unaandika happy new year kwenye mitandao ya kijamii
Kipenga kimeshapulizwa wewe maliza bajet yote leo kwenye starehe alafu uanze kulalamika eti Mwezi wa kwanza Mgumu utadhani umeubonyeza. soma zaidi

Ndoa nyingine ngumu sana. Soma kisa hiki
Misingi mingine ya ndoa zetu ni migumu sana.
Pata simulizi hii toka Marekani.. soma zaidi

Huu ndio ukichaa wa mapenzi
π΅Kushika mimba ukadhani ni mtego ili uolewe.
π΅ Kutafuta mkamilifu wakati tabia zako tunakuvumilia tu.
π΅ Kutafuta msichana mrembo wakati huna pesa.
π΅ Kutafuta mke mwema kanisani wakati we unaenda kanisani wakati wa maombi ya Christmas tu.. soma zaidi

Makala Maarufu
Tanzania: Serikali imewaagiza wataaalam wanaosimamia kituo cha kuzalisha umeme cha MTERA kuhakikisha maji hayakauki
Serikali imewaagiza wataaalam wanaosimamia kituo cha kuzalisha umeme cha MTERA kuhakikisha maji katika bwawa hilo hayakauki wakati wote hasa kipindi cha kiangazi ili kuzalisha umeme wakati wote.. soma zaidi

Kukosa hela sio tatizo bali ndio kigezo ya kutafuta hela
To ur Success!. soma zaidi
To ur Success!. soma zaidi
Neno la kutia Moyo
NAPENDA Nikutie MOYO,Ukiwa DUNIANI USIHUZUNIKE na usiwe MNYONGE hata kama una MATATIZO kiasi gani,Mungu yuko pamoja nawe,
Na unatakiwa kuzingatia haya yafuatayo:. soma zaidi

Jinsi ya kufuga kondoo.
βKatika eneo letu, idadi ya wafugaji wa kondoo imepungua sana, wakati idadi ya wanohitaji imeongezeka hasa raia wa kigeni, na bei iko juu. Naomba maelezo namna ya ufugaji bora wa kondoo.β β Ester Qwang, msomaji wa MkM,Babati

Kwa siku za nyuma, jumla ya idadi ya kondoo wanaofugwa hapa nchini Tanzania ilikaribiana kuwa sawa na idadi ya mbuzi nchini kote. Kwa sasa, idadi ya kondoo imepungua kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na idadi ya mbuzi. Hii imetokana na wafugaji kuhamishia mapenzi yao kwenye ufugaji wa mbuzi.. soma zaidi
Jinsi ya Kupokea Ubatizo katika Roho Mtakatifu.

Sisi sasa kuwasili kwa swali muhimu sana - jinsi ya kupokea ahadi ya Baba; jinsi ya kubatizwa katika Roho Mtakatifu. neno la Mungu inatupa majibu hapa.
Kumbuka, kama wewe ni Mkristo, una Roho Mtakatifu tayari (Warumi 8 :9). neno 'kupokea ' limetumika kwa maana ya kufanya mgeni welcome. Roho Mtakatifu ni takatifu, na pia muungwana. Yeye si katika majahazi kama wewe unataka kwake. Madaraka yake ni hiari inapatikana kwa wale ambao watakuwa wamemwamini na kutii (Matendo 5: 32).. soma zaidi

Kilimo cha nyanya
Nyanya ni aina ya mboga inayo zalishwa kwa wingi sana duniani. Kwa Tanzania, nyanya ni zao la kwanza katika mazao ya mboga linalo limwa na kuliwa kwa wingi ukilinganisha na mboga zingine. Nyanya hutumika karibu Katika kila mlo. Kulingana na umuhimu wa zao hili kama chakula na pia kama zao linalomwingizia kipato Mkulima, kuna haja ya kutoa mafunzo kuhusu mbinu bora za uzalishaji wake. Pia kuna umuhimu wa kufundisha wakulima kutoka sehemu zingine wasiolima zao hili ili nao waweze kuzalisha nyanya na hivyo kuongeza idadi ya aina za mboga katika maeneo yao.. soma zaidi

Mapishi ya Tambi za sukari
Tambi (spaghetti 1/2 ya packet)
Mafuta (vegetable oil)
Sukari (sugar 1/2 kikombe cha chai)
Hiliki (cardamon 1/2 kijiko cha chai)
Chumvi (salt 1/2 kijiko cha chai)
Tui la nazi (coconut oil 1 kikombe cha chai)
Maji kiasi. soma zaidi

Jinsi siku ya kichaa cha mbwa duniani ilivyoanza
SIKU YA KICHAA CHA MBWA DUNIANI. soma zaidi

Salamu za kuaga mwaka na kukaribisha mwaka mpya
KWAHERI MWAKA JANA. UMENIFUNZA MENGI.. soma zaidi

Magonjwa ya zinaa yanavyoenea
Magonjwa ya zinaa husababishwa na vijidudu vya magonjwa na huambukizwa kwa kukutana kimwili na mtu mwenye vijidudu hivyo.
Katika Tanzania magonjwa haya yameenea sana haswa kwa vijana.. Hivyo kama una wasiwasi wewe au mpenzi uliyekutana naye kimwili kuwa na ugonjwa kama huo, muhimu mwende kupimwa. Magonjwa hayo yasipotibiwa kikamilifu yanaweza kuleta madhara makubwa. Magonjwa ya zinaa mara nyingi yanasababisha ugumba.. soma zaidi

Jinsi ilivyo hatari kuchanganya mifugo maeneo hatarishi
Licha ya kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazozalisha mifugo ya aina mbalimbali na kwa wingi kama vile ngβombe, mbuzi, kondoo lakini inakabiliwa na upungufu mkubwa wa maeneo ya ufugaji sambamba na malisho ya kutosha kwa ajili ya mifugo hiyo.. soma zaidi

Mwanamke kuamka mapeme asubuhi kunapunguza uwezekano wa kupata saratani ya matiti
Kuamka asubuhi na mapema hupunguza uwezekano wa mwanamke kupata saratani ya matiti.. soma zaidi

Mambo muhimu yanayochangia ubora wa maziwa
Yafuatayo ni mambo muhimu yanayochangia ubora wa maziwa. soma zaidi

Mapishi ya Sambusa za nyama
Nyama ya kusaga (minced beef 1/4 kilo)
Vitunguu maji vilivyokatwakatwa(diced onion 2 vikubwa )
Kitunguu swaum/ tangawizi (garlic and ginger paste 1 kijiko cha chakula)
Chumvi (salt)
Pilipili iliyokatwakatwa (scotch bonnet 1)
Limao (lemon 1/2)
Curry powder 1/2 kijiko cha chai
Cinnamon powder 1/4 kijiko cha chai
Coriander powder 1/4 kijiko cha chai
Cumin powder 1/4 kijiko cha chai
Unga wa ngano (all purpose flour kidogo)
Manda za kufungia (spring roll pastry)
Giligilani (fresh coriander kiasi)
Mafuta ya kukaangia. soma zaidi

Mapishi ya Dagaa wa nazi, nyanya chungu na bamia
Dagaa waliokaushwa (dried anchovy 2 kikombe cha chai)
Bamia (okra 5)
Nyanya chungu (garden egg 5)
Tui la nazi (coconut milk 1 kikombe cha chai)
Nyanya (fresh tomato 2)
Kitunguu (onion 1)
Curry powder 1/2 ya kijiko cha chai
Turmeric powder 1/2 kijiko cha chai
Limao (lemon 1/2)
Chumvi (salt kiasi)
Pilipili (scotch bonnet 1)
Mafuta (veg oil). soma zaidi

KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 90 HAYA AMAMBO YALIKUPITA
1. Kupakwa GV kwenye kidonda
2. Kung'olewa jino kwa uzi
3. Ubwabwa kupikwa jumapili tu
4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili' a.k.a tetesakrin
5. Kupamba kadi na pamba sebuleni
6. Ukumbi wa sherehe kupambwa kwa toilet paper
7. Kunyolewa kwa mkasi. soma zaidi

Wosia mzuri kwako
Wosia mzuri kwako:
1.USIMWAMINI MTU YEYOTE
2.ANAYESEMA ANAKUPENDA SANA MCHUNGUZE
KWA MAKINI.
3.ANAYEKULETEA HABARI ETI FULANI KASEMA
HIVI, FIKIRIA YEYE ALISEMA NINI.. soma zaidi

Mambo ya kuzingatia kama una ngozi yenye Mafuta
Ngozi yenye mafuta kwa kawaida huwa inang'ara, nene na yenye rangi iliyotitia. Mara nyingi ngozi yenye mafuta mengi sana huwa na chunusi nyingi na vipelepele na mara nyingine huwa na chunusi zenye vichwa vyeusi. Katika aina hizi za ngozi mafuta hutokana na tezi za sebaceous na kuzalisha mafuta zaidi ya kiwango kinachotakiwa. Mafuta hayo husambaa katika ngozi na kuifanya iwe na mafuta mafuta.. soma zaidi

Rais Dr.Magufuli ametekeleza kwa vitendo agizo alilolitoa kwa watanzania kufanya usafi
Rais na amiri jeshi mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli ametekeleza kwa vitendo agizo alilolitoa kwa watanzania kushiriki katika shughuli za kuweka mazingira ya nchi safi kwa kufanya usafi katika maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika Decembr 09.. soma zaidi

Jinsi ya kutengeneza Fagi Ya Kumumunyuka Mdomoni
Maziwa mazito matamu (condensed milk) - 2 vibati. soma zaidi

Mapishi ya Ugali Mchuzi Wa Samaki Nguru Wa Nazi Na Bamia Za Kukaanga
Unga wa mahindi/sembe - 4. soma zaidi
Unga wa mahindi/sembe - 4. soma zaidi
Mapishi ya Mandazi
Unga wa ngano (nusu kilo)
Sukari (Kikombe 1 cha chai)
Chumvi (nusu kijiko cha chai)
Hamira (kijiko kimoja cha chai)
Yai (1)
Maziwa ya unga (vijiko 2 vya chakula)
Butter (kijiko 1 cha chakula)
Hiliki (kijiko1 cha chai)
Maji ya uvuguvugu ya kukandia
Mafuta ya kuchomea. soma zaidi
Unga wa ngano (nusu kilo)
Sukari (Kikombe 1 cha chai)
Chumvi (nusu kijiko cha chai)
Hamira (kijiko kimoja cha chai)
Yai (1)
Maziwa ya unga (vijiko 2 vya chakula)
Butter (kijiko 1 cha chakula)
Hiliki (kijiko1 cha chai)
Maji ya uvuguvugu ya kukandia
Mafuta ya kuchomea. soma zaidi
Faida za kutumia mafuta ya Nazi
Siyo sehemu za ndani tu ya mwili zinazofaidika na mafuta haya ya nazi kama yanavyofanya mafuta mengine ya asili, kama unataka kuwa na ngozi nzuri yenye mngβaro na yenye afya na yenye muonekano wa asili basi paka mafuta ya nazi kila siku kwenye ngozi yako, mafuta ya nazi yana uwezo mkubwa katika kuua bakteria, virusi, na vijidudu vya aina yeyote vinavyoweza kuidhuru ngozi, haya ni mafuta kwa mwili mzima yaani pakaa kwenye ngozi yote usoni, mwilini, kwenye nywele na kwenye kucha. Pia unaruhusiwa kuyatumia mafuta haya wakati wa masaji.. soma zaidi

Jifunze kuwajali wazazi kwa kusoma kisa hiki
Lameck alikuwa akiendesha gari kwa kasi sana alipokutana na akina Mama watatu ambao walinyoosha mkono kumuomba lift, ingawa alikua na haraka lakini aliwaonea huruma na kusimama, sehemu waliyokuwa ilikuwa ni kichakani na kwakuwa alikuwa peke yake hakuona sababu ya kuwanyima lift.. soma zaidi

Jinsi ya kupika Mkate wa sinia
Unga wa mchele (rice flour 2 vikombe vya chai)
Sukari (sugar 3/4 ya kikombe cha chai)
Hamira (dried yeast 3/4 kijiko cha chakula)
Hiliki (cardamon powder 1/2 kijiko cha chai)
Ute wa yai 1(egg white)
Tui la nazi (coconut milk kikombe 1 na 1/2 cha chai)
Mafuta (vegetable oil). soma zaidi

Ufaransa kuchuana na England Jumanne
Kocha wa Uingereza Roy Hodgson amekubali kwa moyo mkunjufu na wa huruma mechi kati ya England na Ufaransa itakayochezwa juma lijalo katika uwanja wa Wembley.
Hogson amesema licha ya maafa yaliyosababishwa na ugaidi, tutajianda ipasavyo ndani na nje ya uwanja huo wa Wembley.
''Huu ni wakati wetu kuonesha dunia kuwa kandanda kwa hakika inaweza kuunganisha ulimwengu.'' alisema Hogson.
''Ninaamini kuwa wachezaji wetu watajiandaa ipasavyo kuwaonesha wageni wetu kuwa Uingereza inaungana na Wafaransa wakati huu wa majonzi.
Mechi hiyo ya kirafiki itaendelea kama ilivyopangwa siku ya jumanne jioni licha ya msururu wa mashambulio ambayo yamewaua takriban watu 129.
Washambuliaji 3 wa kujitolea muhanga walifariki katika milipuko nje ya uwanja wa Stade de France huku wachezaji wa Ufaransa wakicheza dhidi ya Ujerumani siku ya ijumaa.. soma zaidi

Ujue na ufahamu mfumo wa Moyo
@UJUE NA UFAHAMU MFUMO WA MOYO (CARDIOVASCULAR SYSTEM). soma zaidi

Jinsi ya Kuvaa hereni kwa Mpangilio kuongeza Mvuto wako
HERENI ni pambo linavoliwa masikioni na kwa kiasi kikubwa linachangia kuongeza mvuto na muonekano mzuri. Kuna aina nyingi za hereni katika tamaduni mbalimbali. Zipo ambazo hutengenezwa kwa kutumia vito vya thamani kama vile Dhahabu, Almasi, Shaba au Kopa.. soma zaidi