Angalia hawa swala walichofanyiwa na mamba
[VIDEO] Angalia hawa swala walichofanyiwa na mamba
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
JITAMBUE : Maisha yako ya kesho hayalingani na maisha yako ya jana, Anza sasa
THERE IS NO FUTURE IN THE PAST. Ukitaka kufanikiwa usiangalie nyuma yako kunanini na ulishindwa mara ngapi. Siku zote kukaa Chini nakuanza kujuta kwa makosa uliofanya uko nyuma nikupoteza muda, huo muda Utumie kwa kupanga ya kesho.. soma zaidi

BADILIKA : huu ni mwaka mpya
Badilika huu mwaka. Kipenga kimeshapulizwa wenye mbio zao wameshatoka, wewe bado uko kitandani unaandika happy new year kwenye mitandao ya kijamii
Kipenga kimeshapulizwa wewe maliza bajet yote leo kwenye starehe alafu uanze kulalamika eti Mwezi wa kwanza Mgumu utadhani umeubonyeza. soma zaidi

Ndoa nyingine ngumu sana. Soma kisa hiki
Misingi mingine ya ndoa zetu ni migumu sana.
Pata simulizi hii toka Marekani.. soma zaidi

Huu ndio ukichaa wa mapenzi
π΅Kushika mimba ukadhani ni mtego ili uolewe.
π΅ Kutafuta mkamilifu wakati tabia zako tunakuvumilia tu.
π΅ Kutafuta msichana mrembo wakati huna pesa.
π΅ Kutafuta mke mwema kanisani wakati we unaenda kanisani wakati wa maombi ya Christmas tu.. soma zaidi

Makala Maarufu
Nini kinachokufanya udhani utashindwa sasa
Kwa mujibu wa Biologia, baada ya tendo la kukutana kimwili takribani mbegu milioni 200 hadi 300 hutolewa na mwanaume…halafu zote huanza kupiga mbizi kuogelea kwenye njia safarini kukutana na yai la kike.. soma zaidi

Video ya Lumumba Dar es Salaam wanaCCM baada ya ushindi wa Dr. Magufuli
Baadhi ya wanachama wa CCM walikutana kwa pamoja katika Ofisi za Chama hicho jioni ya October 29 2015 kusherehekea ushindi iliomtangaza Dk. John Magufuli kuwa Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ataongoza Serikali ya awamu ya tano. soma zaidi

Uwezekano kwa msichana au mwanamke aliyebakwa kupata mimba
Inawezekana kwa msichana au mwanamke aliyebakwa kupata
mimba. Uwezekano wa kupata mimba ni sawa kama vile amekubali
mwenyewe au kulazimishwa. Iwapo mwathiriwa atamwona
mhudumu wa afya mara baada ya kubakwa anaweza kupata
dawa za dharura za vidonge vya kuzuia mimba na uwezekano
wa kupata matibabu ya kuzuia maambukizi yasitokee na kupata
ushauri na zaidi nini cha kufanya.. soma zaidi

Elimu ya biashara
Jifunze kujikagua, jifunze kujiuliza je hapa ndipo napotakiwa kuwa? Usifurahie tu kwamba upo hapo kwa muda mrefu yamkini unaona panakufaa and you are settled lakini ukweli ni kwamba sio pako na haukutengenezwa kuwa hapo. Hata kama tai ataonekana kwenye banda la kuku lakini ukweli ni kwamba tai kaumbiwa kuwa angani tofauti na kuku aishie bandani. Jiulize hapo ulipo ni pako??. soma zaidi

Jinsi ya kutengeneza biskuti za Matunda Makavu Na Cornflakes
Unga - 4 Vikombe. soma zaidi
Unga - 4 Vikombe. soma zaidi
Elimu Kuhusu Madawa ya Kulevya, Mambo ya Msingi kujua Kuhusu dawa za Kulevya
Madawa ya kulevya ni aina ya madawa au vilevi ambapo mtumiaji akishatumia mfumo wa mwili na akili yake hubadilika. Mtumiaji huweza kudhoofika kimwili au kupata madhara ya kiakili na baadhi huweza hata KUFA.. soma zaidi

Umri unaofaa kuoa
Kuoana maana yake ni kuwajibika kwa maisha yako na mke au mume wako. Mara nyingi kuoana kunaambatana na kuzaa watoto. Ni vigumu sana kutambua umri sahihi wa mtu kuoa au kuolewa, kwa sababu watu wanatofautiana katika kuamua ni lini yuko tayari kujitegemea na kuwajibika kumtunza mtu mwingine. Wengine wanakuwa tayari katika umri wa miaka 20 na wengine katika umri mkubwa zaidi.. soma zaidi

mapenzi salama
Mapenzi salama ni yale yanayofanyika bila wasiwasi wa kupata mimba zisizotarajiwa, magonjwa ya zinaa pamoja na maambukizi ya virusi vya UKIMWI. Mapenzi salama yanaweza kuwa ni vitendo vya kumaliza hamu bila uume kuingizwa ukeni. Ngono ya kuingiza uume ukeni inaweza kuwa ngono salama kama tahadhari husika zinatumika.
Vitendo vya kumaliza hamu bila kujamiiana ni kupiga busu, kukumbatia, kunyonyana ndimi, kushikana mikono na kupiga punyeto. Matendo haya yote ni salama kabisa kuhusiana na mimba zisizotarajiwa na maambukizi ya virusi vya UKIMWI.
Ili kuhakikisha mnafanya mapenzi salama wakati mnahusisha mwingiliano kati ya uume na uke, lazima mchukue tahadhari. Tahadhari mojawapo ni uaminifu katika mapenzi, kwa maana wewe uwe mwaminifu na yeye awe mwaminifu. Lakini pia inabidi muwe na uhakika kwamba wote wawili hamjaambukizwa magonjwa wakati mnapojamiiana kwa mara ya kwanza. Tahadhari nyingine ni kutumia kondomu. Kondomu inazuia mimba pamoja na magonjwa ya zinaa. Kuwa mwaminifu pekee yake haitoshi kama mmoja wenu au wote wawili mliwahi kujihusisha na uhusiano wa kimapenzi ambao haukuwa salama. Kama kweli mnataka kuwa upande wa uhakika wote ni vyema kwenda kupima Virusi vya Ukimwi kwa hiari.. soma zaidi

Dondoo!
<Dharau zitaisha pale utakapoanza kujiheshimu.
<Ukahaba utaisha pale WANAUME watakapoacha
kuwa Wateja.
<UKIMWI utaisha pale utakapoacha NGONO.
<Michepuko itaisha pale utakapoacha kutongoza-
tongoza na <kujitongozesha-tongozesha ovyo
ovyo.. soma zaidi

Utayarishaji bora wa chakula
Β· Osha mikono yako kwa sabuni kabla na baada
ya kutayarisha chakula
Β· Tumia vyombo safi na sehemu safi kwa
kutayarisha na kula chakula
Β· Viporo vipashwe moto vizuri kabla ya kula
Β· Chemsha maji ya kunywa na kuyaacha jikoni
dakika kumi baada ya kuchemka. soma zaidi

Mapishi ya Ugali Kwa Mchuzi Wa Nyama, Mchicha, Maharage Na Chatini Ya Pilipili Mbichi
Nyama ya ngβombe vipande vidogo - 2lb. soma zaidi

Jinsi ya kutengeneza Nangatai
Unga wa ngano - 2 - 2 ΒΌ Vikombe. soma zaidi

Mapishi ya Firigisi za kuku
Filigisi (chicken gizzard) 1/2 kilo
Carrot iliyokwanguliwa 1
Nyanya 1/2 kopo
Vitunguu maji 1 kikubwa
Tangawizi/swaum 1 kijiko cha chai
Hoho 1 iliyokatwakatwa
Limao 1/2
Chumvi
Curry powder 1/2 kijiko cha chai
Turmaric 1/2 kijiko cha chai
Chilli powder 1/4 kijiko cha chai
Mafuta
Chopped coriander. soma zaidi
Filigisi (chicken gizzard) 1/2 kilo
Carrot iliyokwanguliwa 1
Nyanya 1/2 kopo
Vitunguu maji 1 kikubwa
Tangawizi/swaum 1 kijiko cha chai
Hoho 1 iliyokatwakatwa
Limao 1/2
Chumvi
Curry powder 1/2 kijiko cha chai
Turmaric 1/2 kijiko cha chai
Chilli powder 1/4 kijiko cha chai
Mafuta
Chopped coriander. soma zaidi
Jinsi ya kutumia alizeti kama chanzo cha chakula cha mifugo
Alizeti haitoi mailisho pekee, pia inatoa mafuta bora kwa afya ya binadamu na pia malighafi inayotumiwa na nyuki kutengeneza asali.. soma zaidi

Mapishi ya Mitai
Unga wa ngano - magi 2 (vikombe vikubwa). soma zaidi

Jinsi ya kutibu chunusi za usoni kwa kutumia Parachichi na asali
a)Kijiko kimoja cha asali
b)Parachichi 1. soma zaidi
a)Kijiko kimoja cha asali
b)Parachichi 1. soma zaidi
Vyakula vinavyofaa kutumiwa kwa mtu mwenye kisukari aina ya kwanza
Vyakula hivyo ni;. soma zaidi
Vyakula hivyo ni;. soma zaidi
Je, kuna madhara yoyote yanayompata kijana Albino wa kike au wa kiume anayeamua kutoanza kujamiiana hadi afikie umri uliokubalik
Ukweli ni kwamba hakuna athari zinazojulikana kwakusubiri au
kuacha kujamiiana hadi mtu afikie umri unaokubalika / utu uzima
au hata muda mrefu zaidi. Pia via vya uzazi havitaathirika kwa
njia moja au nyingine (havisinyai wala kutoweka.) Kuna uvumi
potofu unaodai kuwa watu wanaoacha kujamiiana kwa muda
mrefu wanaota chunusi na upele usoni au pia kwenye sehemu
zao za siri na wengine kuchanganyikiwa. Hakuna ukweli wowote
kuhusu uvumi huu. Kuwa na chunusi usoni ni mojawapo ya hali
inayowakabili vijana wenye umri kati ya miaka 13 hadi 19. Hali ya
kuota chunusi inasababishwa na kuwepo mafuta mengi kwenye
ngozi. Hali hii hubadilika kadri umri unavyosogea mbele. Mara
nyingi inashauriwa kufanya mazoezi ya mwili ili kuwezesha
vitundu vilivyopo kwenye ngozi kufunguka na kuwezesha ngozi
kupumua.
Hakuna madhara ya kiafya ambayo yanatokana na kuacha
kujamiiana, bali kinyume ni kuwa, kuna madhara mengi ya
kiafya, hisia na ya kimwili yanayotokana na kujamiiana katika
umri mdogo kama vile mimba zisizotarajiwa, uambukizo wa
magonjwa yatokanayo na kujamiiana pamoja na Virusi vya
UKIMWI.. soma zaidi

Jinsi ya kulima karanga bora
Ni moja ya jamii ya kunde, ambayo hulimwa lengo kubwa likiwa ni uzalishaji wa mafuta, chakula na malisho kwa ajili ya mifugo.. soma zaidi

Angalia jinsi maamuzi yako ya jana na ya leo yanavyoweza kukuathiri
By Malisa GJ,
Nimeitoa kwa Comrade Markus Mpangala na kuitafsiri kwa Kiswahili (kisicho rasmi sana).
Mwaka 1998 "Google" walitaka kuiuza kampuni yao kwa "Yahoo" kwa dola Milioni 1 (sawa na Shilingi Bilioni 2) lakini Yahoo wakakataa. Yani Yahoo wakakataa kuinunua Google.. soma zaidi

Sera ya mapenzi kwa vipindi tofauti tofauti
MIAKA YA:
1986-1990. Ukimtongoza binti, alikuwa akijibu
"NIMEKUBALI ila usimwambie mtu..!". soma zaidi

Mapishi ya Wali Wa Mboga Na Samaki Wa Pink Salmon
Mchele 3 vikombe. soma zaidi
Mchele 3 vikombe. soma zaidi
Mapishi ya Ndizi na Nyama Ya Ngβombe-2
Ndizi mbichi - 10-12. soma zaidi
Ndizi mbichi - 10-12. soma zaidi
Jinsi ya kutengeneza Wali Wa Dengu Kwa Samaki Wa Kukaanga
Mchele wa basmati - 3 Vikombe. soma zaidi

Mambo muhimu ya kufanya kwa mpenzi wako msichana ili asikuache
1. Hakikisha unakuwa msafi kwa kila kitu hasa unapo kuwa naye.
2. hakikisha unampa uhuru wa kutosha mnapo kuwa mnafanya mapenzi namaanisha awe na maamzi juu ya mwili wake usimrazimishe kama hayuko tiari, umuandae kabula ya kutumbukiza dushelele yako, uhakikishe anafika kileleni kila unapofanya naye mapenzi. soma zaidi

Usindikaji wa viazi vitamu
1. Husaidia utunzaji na usafirishaji
2. Kupunguza ukubwa wa viazi na upotevu wa viazi kwa sababu viazi uharibika haraka na kama viazi vikiachwa ardhini wadudu (fukuzi) huweza kushambulia
3. Huongeza muda wa kuhifadhika
4. Unga na chipsi vina virutubisho vingi kwa vile kiwango kikubwa cha maji kwenye kiazi kinakuwa kimetolewa kwa hiyo kiwango cha protini, wanga, pectini, mafuta na chumvichumvi huongezeka
5. Huongeza chanzo cha mapato kwa wakulima kama vile upatikanaji wa masoko na chanzo kipya cha kipato 6. Husaidia kusambaza taarifa kwamba viazi vitamu huweza kuwa zao la biashara lenye matumizi mbalimbali na watumiaji wengi. soma zaidi

Jinsi ya kupika Visheti Vyeupe Na Vya Kaukau
Unga wa Visheti. soma zaidi
Unga wa Visheti. soma zaidi
Kwa nini wanaume huumia zaidi kwenye mapenzi π
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, watu kutoka koo, makabila, mataifa na wenye rangi tofauti hujikuta katika dimbwi zito.
Hujikuta katika wakati ambao kila mmoja haoni kitu kingine cha thamani zaidi ya mpenzi wake. Huu ni wakati ambao si tu kuwa neno usaliti linakuwa halipo bali wapenzi hawahisi hata kama kuna maisha bila ya yule wampendaye.
Usaliti ni jambo lenye maumivu yasiyovumilika hasa ikiwa ni jambo ambalo halikutarajiwa. Mtu hahisi kama itatokea mpaka inapotokea.

Mwishoni mwa wiki hii kumeenea picha za mwanaume aliyejikatisha uhai kisa mapenzi. Hii ikanikumbusha utafiti usio rasmi nilio ahi kufanya juu ya kwanini wanaume huumizwa zaidi na usaliti kuliko wanawake.. soma zaidi
Je, nikila na mtu mwenye Virusi vya UKIMWI, nitaambukizwa na virusi vya UKIMWI na UKIMWI?
Hapana, ukila na mtu mwenyemaambukizi ya Virusi vya UKIMWI huwezi kuambukizwa Virusi vya UKIMWI wala UKIMWI, isipokuwa pale ambapo wote wawili mna vidonda mdomoni na mnachangia kijiko kimoja. Lakini uwezekano huu ni mdogo sana, kiasi tunachoweza kusema kwamba huwezi kuambukizwa Virusi vya UKIMWI na UKIMWI ukila sahani moja na mtu aliyeambukizwa na virusi.
Lakini, kufuatana na kanuni za afya, ni vizuri zaidi kila mtu atumie vifaa vyake na baada ya kuvitumia avioshe kikamilifu.. soma zaidi

Tanzania: Serikali imewaagiza wataaalam wanaosimamia kituo cha kuzalisha umeme cha MTERA kuhakikisha maji hayakauki
Serikali imewaagiza wataaalam wanaosimamia kituo cha kuzalisha umeme cha MTERA kuhakikisha maji katika bwawa hilo hayakauki wakati wote hasa kipindi cha kiangazi ili kuzalisha umeme wakati wote.. soma zaidi