Angalia hawa wanachofanya na hii pikipiki ya tairi moja
[VIDEO] Angalia hawa wanachofanya na hii pikipiki ya tairi moja
Bofya Play (▶) kuanza Video…
.
🎥 Video nyingine kama hii👇
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Jifunze kupitia mfano huu wa ufutio na penseli ✏
¶>PENSELI: "Nisamehe sana". soma zaidi
¶>PENSELI: "Nisamehe sana". soma zaidi
Usiruhusu tabia hii itawale akili yako
Tabia ya kijidharau na kujiona hufai ama huwezi kufanya lolote ukafanikiwa maishani, hakuna mwanadamu aliyeumbwa ili ashindwe,, sote tu washindi zaidi, tunatofautiana njia za kufikia huo ushindi.. soma zaidi

ONYO: usisome hapa
⚠ USISOME⚠. soma zaidi
⚠ USISOME⚠. soma zaidi
Ujumbe kwa mabinti kuhusu uvaaji
Familia Kwanza: Wasichana wawili waliwasili kwenye Kikao huku wamevaa nguo ambazo zilikuwa zikionyesha miili yao.. soma zaidi

Makala Maarufu
Soma. Hii ndio sababu kwa nini nawapenda wanawake
Mme na mke walikuwa wamekaa wanatazama TV
mara mke akasema, “Ushakuwa usiku sasa,
nimechoka ngoja nikalale”
Akanyanyuka na kwenda jikoni akawaandaa
samaki wa chakula cha siku ya pili mchana,
akapika chapati kwa ajili ya chai ya siku ya pili
asubuhi kisha akachemsha chai kwa ajili ya
watoto asubuhi.. soma zaidi

Ndoa sio utani. Soma stori hii
"Mkeo amefariki. Rudi nyumbani kwako haraka sana" Hezron alimwambia Daniel katika simu.. soma zaidi

FUNZO: Maisha ni kuchagua
Siku hizi kuna tangazo moja la kampuni ya simu za mikononi, Tigo, likimuonesha mama akiwa _busy_ na pembeni yupo mwanae mdogo apo akijisemesha na akatamka maneno ambapo mama akaona ni kama ameanza kuongea. Kwa furaha anampigia simu mumewe akimtaka amsikilize mwanae akiongea. Hapo mama anamtaka mwanae aseme "mama" na baba naye anavutia kwake akimtaka aseme "baba". Kwa maajabu kabisa mtoto anawapotezea wote na kutamka "ni Tigo peesa". Wazazi wakashikwa na butwaa lakini huku wakitabasamu.. soma zaidi

JE UNAFAHAMU NINI KUHUSU KUJAMBA?
Kwanini tunajamba? kwanini "ushuzi" unanuka?
Kujamba inaweza kuwa kitendo cha aibu kwa wengi wetu,lakini
inaweza kukufanya ujisikie vizuri kujua kwamba ni tendo
la kawaida sana kwa mwili wa binadamu kutenda.Kila
mtu anajamba,hata Halle Berry nae hujamba.. soma zaidi

Ukipenda Boga, penda na ua lake
mwanaume akiwa ana hema ametoka kazini
kabla ya muda wa kawaida,akamwambia mke
wake Jiandae haraka tuna safiri kwenda
mbeya,mke akamuuliza kuna nini??. soma zaidi

Umri wa kuanza kutumia njia za uzazi wa mpango
Muda unaofaa kutumia njia ya kupanga uzazi ni wakati unapojamiiana kwa mara ya kwanza. Huu ni wakati mzuri wa kutumia kondomu, kwa sababu kondomu inazuia kupata mimba isiyotarajiwa pamoja na magonjwa ya zinaa.
Huu pia ni muda mzuri wa kwenda kliniki ili kupata ufafanuzi kuhusu njia mbalimbali za kuzuia mimba. Daktari au muuguzi anaweza kuwasaidia mwanaume na mwanamke kuamua njia inayofaa kwa hali yao.
Mara nyingi, watu wanafikiri kwamba huduma ya uzazi wa mpango ni kwa wanawake ambao wameshaolewa, kwa mama wajawazito au wanawake waliozaa tu. Lakini si kweli. Hapa Tanzania, kisheria kila mtu aliyebalehe, iwe mvulana au msichana ana haki ya kupata huduma ya uzazi wa mpango.. soma zaidi

Mapishi ya Muhogo Na Mbatata Za Nazi Kwa Nyama Ngombe
Nyama ya n’gombe ya mifupa - 3 lb. soma zaidi

Vyakula vinavyosaidia kuongeza kinga ya mwili
Watu wengi tumekuwa tukijali kazi zetu za kila siku bila kujali hali ya afya zetu matokeo yake kumekuwa na ongezeko kubwa la vifo vya ghafla. Suala la kula pengine ndilo nguzo ya kwanza ya afya ya binadamu. Mwili ukiwa sawia bila shaka utaweza kufanya mambo yako yote, na usipokuwa sawa basi hutaweza kutimiza lengo lako lolote! Hivi ni vyakula kadhaa vinavyoweza kukusaidia kuongeza kinga ya mwili wako. soma zaidi

Mambo ya Muhimu kufahamu kuhusu tatizo la mgongo wazi
Uti wa mgongo ulio wazi( Spinal bifida) ni hali ambayo mtoto anazaliwa nayo huku uti wa mgongo (mishipa ya fahamu mkubwa unaotoka kwenye ubongo) ukiwa wazi kutokana na mifupa (vipingili vya uti wa mgongo) kutokufunga vizuri.. soma zaidi

Fursa 150 za ujasiriamali, biashara na miradi nchini Tanzania
Zijue Fursa 150 za biashara na miiradi mbalimbali nchini
Tanzania.. soma zaidi

Mapishi ya Pilau Ya Nyama Ng'ombe Karoti Na Zabibu
Nyama ng’ombe ya mifupa ilokatwa vipande - 1 kilo. soma zaidi

Sheria zinazohusiana na ndoa za kulazimishwa
Sheria ya msingi ya ndoa nchini Tanzania ni Sheria ya ndoa ya
Bunge, iliyopitishwa mwaka 1971. Sheria hii inakataza ndoa za
kulazimisha. Inatambua ndoa kama ni muungano kati ya mume
na mke ambao kwa hiari yao wameamua kuishi kama mume na
mke. Sheria hiyo inasema kwamba iwapo ndoa haikuwa ya hiari,
basi hiyo siyo ndoa. Sheria pia imefafanua utoaji wa adhabu
kwa watu wote wanaoshawishi au wanaolazimisha pande hizo
mbili kuingia katika ndoa bila hiari yao. Kwa hiyo mwathiriwa wa
ndoa ya kulazimishwa anatakiwa kutoa taarifa juu ya wale wote
waliomlazimisha katika ndoa kwa polisi ambaye atawashitaki
kwa kuwa hili ni kosa la jinai.. soma zaidi

Jinsi mimba i inavyopatikana
Ukitaka kuelewa jinsi mimba i inavyopatikana, lazima uelewe mzunguko wa hedhi wa mwanamke. Baada ya kuvunja ungo (yaani kupata hedhi kwa mara ya kwanza) msichana hupata hedhi mara moja kila mwezi. Kwa wanawake wengi ni kila baada ya siku 28, hata hivyo wengine huweza kupata hedhi chini au zaidi ya siku hizo.
Siku ya kwanza ya hedhi huhesabiwa kama siku ya kwanza ya mzunguko. Baada ya damu kutoka, yai moja linaanza kukua ndani ya kokwa. Na vilevile utando ndani ya mfuko wa uzazi huanza kujengeka i ili ukaribishe mimba. Kati ya siku 11 au 14 yai hupevuka ndani ya kokwa na halafu husafiri kwenye mrija. soma zaidi

Ujumbe wa leo kwa mtu anayetaka kufanikiwa katika maisha kiuchumi
Kila mtu aliyefanikiwa ukifuatilia historia yake pengine unaweza kukata tamaa kabisa Na kusema mimi hii njia siiwez.. soma zaidi

Usindikaji wa viazi vitamu
1. Husaidia utunzaji na usafirishaji
2. Kupunguza ukubwa wa viazi na upotevu wa viazi kwa sababu viazi uharibika haraka na kama viazi vikiachwa ardhini wadudu (fukuzi) huweza kushambulia
3. Huongeza muda wa kuhifadhika
4. Unga na chipsi vina virutubisho vingi kwa vile kiwango kikubwa cha maji kwenye kiazi kinakuwa kimetolewa kwa hiyo kiwango cha protini, wanga, pectini, mafuta na chumvichumvi huongezeka
5. Huongeza chanzo cha mapato kwa wakulima kama vile upatikanaji wa masoko na chanzo kipya cha kipato 6. Husaidia kusambaza taarifa kwamba viazi vitamu huweza kuwa zao la biashara lenye matumizi mbalimbali na watumiaji wengi. soma zaidi

Jinsi ilivyo hatari kuchanganya mifugo maeneo hatarishi
Licha ya kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazozalisha mifugo ya aina mbalimbali na kwa wingi kama vile ng’ombe, mbuzi, kondoo lakini inakabiliwa na upungufu mkubwa wa maeneo ya ufugaji sambamba na malisho ya kutosha kwa ajili ya mifugo hiyo.. soma zaidi

Hatua gani zichukuliwe dhidi ya wanaowakeketa au kuwachezea unyago Albino juani?
Swali hili linaonyesha mambo mawili ambayo ni mabaya. Jambo
la kwanza ni ukeketaji ambao ni kinyume dhidi ya haki ya afya
ya uzazi kwa mwanamke na ni uvunjaji sheria ya kukeketa mtoto
wa kike. Jambo la pili ni kuwacheza Albino unyago juani. Kitendo
hiki ni kuwaumiza Albino kwa sababu ya ulemavu walionao wa
ngozi watapata madhara wakikaa sana juani. Pia hii ni aina ya
unyanyapaa kwa nini weusi wachezeshwe ndani na Albino juani?. soma zaidi

Umuhimu wa kufanya Masaji
Kufanya Masaji kuna faida hizi zifuatazo;. soma zaidi

Hii ndio inaitwa mbinu ya biashara
Anakuja Mchina anasema anahitaji Paka🐈,
ananunua mmoja kwa bei ya 20,000/=, basi
wanakijiji wanahaha kusaka Paka🐈,
wanawaleta mchina ananunua wote anasepa
nao. Anarudi tena anasema vipi, naona
wameadimika, sasa ntanunua kwa bei ya
35,000 Paka🐈 mmoja, wanakijiji wanaenda
deep zaidi msituni, kamata Paka🐈, leta kwa
mchina, mchina anasepa nao.. soma zaidi

Vidokezo vya Hatari katika Mapenzi
UKIYAONA HAYA CHUKUA TAHADHARI MAPEMA.
(1). kama mpenzi wako anataka SEX.
Hiki ni kidokezo hatar kwa wasichana hapa wanapaswa kuwa makini.. soma zaidi

Historia ya Kabila la Wangoni
Wangoni ni moja ya kabila linalopatikana nchini Tanzania na baadhi ya maeneo mengine kusini mwa Afrika. Ni kabila ambalo lina historia ya aina yake kama ilivyo kwa makabila mengine ya kibantu hata yale yasiokuwa ya kibantu.. soma zaidi

Je, ni matatizo yapi yanayotokana na ujauzito katika umri mkubwa?
Kwa wanawake wenye miaka zaidi ya 35 uwezekano wa kupata matatizo ya kiafya wakati wa ujauzito au wakati wa kujifungua ni mkubwa zaidi kuliko wanawake kati ya miaka 20 na 35.
Matatizo ni mengi zaidi kama mama ameshakuwa na watoto wengi. Baada ya kuzaa mimba tano au zaidi, misuli ya mfuko wa uzazi hulegea. Hivyo hufanya mama kutokwa na damu nyingi, kuwa na uchungu wa muda mrefu na kuchanika kwa mji wa mimba. Matatizo mengine ni mtoto kukaa vibaya tumboni na kuwa na watoto wakubwa. Wanawake wa umri mkubwa ambao wamekuwa na i idadi kubwa ya mimba za karibukaribu (za kufululiza) wanakabiliwa na uwezekano mkubwa wa kufariki wakati wa ujauzito na wakati wa kujifungua.. soma zaidi

KIU YA MUNGU
KIU YA MUNGU
Yesu anaelezea katika Yohana 7: 37,38 'Kama mtu yeyote aliye na kiu na aje kwangu anywe Yeye. Anayeniamini, kama vile maandiko alisema, 'Kutoka utu wake ndani vitatoa mito ya maji yaliyo hai ' '.. soma zaidi

Je,mwanaume akitoa uume nje ya uke kabla ya kumwaga shahawa anaweza kuambukizwa yeye au mwanamke na Virusi vya UKIMWI na UKIMWI?
. soma zaidi
. soma zaidi
Mapishi ya Mseto wa choroko
Mchele 2 vikombe vya chai
Choroko kikombe 1 na 1/2
Nazi kopo 1
Swaum 1 kijiko cha chakula
Kitunguu 1 kikubwa
Binzari nyembamba 1 kijiko cha chai
Chumvi
Mafuta. soma zaidi
Mchele 2 vikombe vya chai
Choroko kikombe 1 na 1/2
Nazi kopo 1
Swaum 1 kijiko cha chakula
Kitunguu 1 kikubwa
Binzari nyembamba 1 kijiko cha chai
Chumvi
Mafuta. soma zaidi
Jinsi ya kutambua magonjwa ya mbuzi wa maziwa
Magonjwa Yanayowakabili Mbuzi Wa Maziwa
Unaweza kuhakikisha kuwa unawachunguza mbuzi wako mara kwa mara na kuwapa chanjo ili kuwakinga dhidi ya magonjwa,wadudu hatari na kuwalisha vyakula bora viliyvo na madini muhimu.. soma zaidi

Jinsi ya kumfanya mwanamke afurahi na akupende kwa kumfanyia mambo anayoyataka
Kuna mambo ya msingi ambayo mwanamke anahitaji kutoka kwa mwanamme ili kufurahi na kutulia katika mahusiano japokuwa sio rahisi kukwambia mojakwa moja.. soma zaidi

Jinsi ya kutumia mashonanguo kama dawa ya kuzuia wadudu kwenye mimea
Mashonanguo kwa kiingereza ni Blackjack au kwa kisayansi yanajulikana kama (Bidens
pilosa)
Mashona nguo yanazuia wadudukama vile Vidukari, Siafu, bungo, katapila, chenene (crickets), nyenyere, siafu na inzi weupe.. soma zaidi
Jinsi ya kufanya nywele zako ziwe na mvuto na kuvutia zaidi
Mwanamke unywele hasa ukiwa nao, hii ni kauli upya ambayo Muungwana blog inakupa siku ya leo. Miongoni mwa maswali ambavyo huwa tunaulizwa na wasamoaji wetu ni pamoja ni kwa jinsi gani naweza kutengeneza nywele zangu ili ziwe za kuvutia?. soma zaidi

Jinsi ya kutumia alizeti kama chanzo cha chakula cha mifugo
Alizeti haitoi mailisho pekee, pia inatoa mafuta bora kwa afya ya binadamu na pia malighafi inayotumiwa na nyuki kutengeneza asali.. soma zaidi