Angalia hii ajali, mwenzake kakoswa koswa
[VIDEO] Angalia hii ajali, mwenzake kakoswa koswa
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
JITAMBUE : Maisha yako ya kesho hayalingani na maisha yako ya jana, Anza sasa
THERE IS NO FUTURE IN THE PAST. Ukitaka kufanikiwa usiangalie nyuma yako kunanini na ulishindwa mara ngapi. Siku zote kukaa Chini nakuanza kujuta kwa makosa uliofanya uko nyuma nikupoteza muda, huo muda Utumie kwa kupanga ya kesho.. soma zaidi

BADILIKA : huu ni mwaka mpya
Badilika huu mwaka. Kipenga kimeshapulizwa wenye mbio zao wameshatoka, wewe bado uko kitandani unaandika happy new year kwenye mitandao ya kijamii
Kipenga kimeshapulizwa wewe maliza bajet yote leo kwenye starehe alafu uanze kulalamika eti Mwezi wa kwanza Mgumu utadhani umeubonyeza. soma zaidi

Ndoa nyingine ngumu sana. Soma kisa hiki
Misingi mingine ya ndoa zetu ni migumu sana.
Pata simulizi hii toka Marekani.. soma zaidi

Huu ndio ukichaa wa mapenzi
π΅Kushika mimba ukadhani ni mtego ili uolewe.
π΅ Kutafuta mkamilifu wakati tabia zako tunakuvumilia tu.
π΅ Kutafuta msichana mrembo wakati huna pesa.
π΅ Kutafuta mke mwema kanisani wakati we unaenda kanisani wakati wa maombi ya Christmas tu.. soma zaidi

Makala Maarufu
Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za Chumvi
Unga - 3 Vikombe vya chai. soma zaidi
Unga - 3 Vikombe vya chai. soma zaidi
Jinsi ya kupika Keki Ya Maboga
Unga wa ngano vikombe vikubwa 3
Boga lililopondwa kikombe 1
Baking powder vijiko vidogo
Sukari kikombe kikubwa 1
Blue band kikombe Β½
Vanilla kijiko kidogo 1
Mayai 2
Maji kiasi/ maziwa
(kama nilazima). soma zaidi
Unga wa ngano vikombe vikubwa 3
Boga lililopondwa kikombe 1
Baking powder vijiko vidogo
Sukari kikombe kikubwa 1
Blue band kikombe Β½
Vanilla kijiko kidogo 1
Mayai 2
Maji kiasi/ maziwa
(kama nilazima). soma zaidi
Namna ya kutengeneza Visheti Vya Nazi Na Njugu (Sudani)
Unga - 3 mug za chai. soma zaidi
Unga - 3 mug za chai. soma zaidi
Hofu inavyo tugharimu katika safari ya ujasiriamali na Jinsi ya kuiepuka
Wengi wetu tunapenda Mafanikio, tunapenda kufika mbali tunapeda kuwa kama Mengi siku moja.. soma zaidi

Mapishi ya Muhogo Na Mbatata Za Nazi Kwa Nyama Ngombe
Nyama ya nβgombe ya mifupa - 3 lb. soma zaidi

Jifunze kitu hapa, watu mara nyingi wanaangalia ubaya wako na sio uzuri wako
#*LEO NILIINGIA DARASANI NIKAANDIKA UBAONI KAMA IFUATAVYO:*. soma zaidi

Je, ni matatizo yapi yanayotokana na ujauzito katika umri mkubwa?
Kwa wanawake wenye miaka zaidi ya 35 uwezekano wa kupata matatizo ya kiafya wakati wa ujauzito au wakati wa kujifungua ni mkubwa zaidi kuliko wanawake kati ya miaka 20 na 35.
Matatizo ni mengi zaidi kama mama ameshakuwa na watoto wengi. Baada ya kuzaa mimba tano au zaidi, misuli ya mfuko wa uzazi hulegea. Hivyo hufanya mama kutokwa na damu nyingi, kuwa na uchungu wa muda mrefu na kuchanika kwa mji wa mimba. Matatizo mengine ni mtoto kukaa vibaya tumboni na kuwa na watoto wakubwa. Wanawake wa umri mkubwa ambao wamekuwa na i idadi kubwa ya mimba za karibukaribu (za kufululiza) wanakabiliwa na uwezekano mkubwa wa kufariki wakati wa ujauzito na wakati wa kujifungua.. soma zaidi

Faida ya kunywa maji yenye limao au ndimu kila siku
Watalam mbalimbali wa afya wanasema ya kwamba kwa kila siku ni vyema unywe maji ya ndimu ili uweze kujitibu magonjwa yafuatayo;. soma zaidi

FAIDA ZA MATUMIZI YA UKWAJU
Chanzo kizuri cha viuasumu mwilini 'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani (cancer)
Chanzo cha Vitamini B na C vile vile "carotentes"
Hushusha joto la mwili na kuondosha homa, hasa homa ya malaria na homa ya matumbo
Huulinda mwili dhidi ya mafua na kero za mafua kooni
Husaidia myeyusho na mmengenyo wa chakula na kuondosha kuvimbiwa. soma zaidi

Sifa za mume bora hizi sasa
Kama wewe ni mwanamke na haujaolewa na upo kwenye mauhusiano na mwanaume ambaye haujafunga naye ndoa basi zingatia hili, linaweza kukusaidia na kukupa nuru nzuri ya ndoa bora yenye tija katika maisha yako ya mauhisiano.
Chagua mwanaume bora kwa kutizama utashi wake na mawazo yake chanya, mwanaume bora ni yule aliyekuzidi utashi,tabia nzuri pamoja hekima na busara na mwenye mapenzi ya dhati kwako.. soma zaidi

Mambo manne muhimu ya kuzingatia kukabiliana na wadudu shambani
Ili Kabiliana na wadudu shambani unatakiwa kuzingatia mambo yafuatayo;. soma zaidi

Mapishi ya Biriani Ya Kuku Wa Kuchoma Wa Tanduri
Mchele - 4 vikombe. soma zaidi
Mchele - 4 vikombe. soma zaidi
Watu husema bia hukufanya uwe mnene, je, ni kweli?
Ni kweli kwamba baadhi ya pombe, hasa bia, husababisha
ongezeko la uzito kwa baadhi ya watu kwa sababu ina mkusanyiko
mkubwa wa sukari na wanga.. soma zaidi

Je, kuna madhara gani yatokanayo na uvutaji sigara kwa vijana hasa kijana Albino?
Kuna madhara mengi ambayo hutokana na uvutaji sigara.
Madhara mengi yanampata mvutaji kwani moshi unaingia
kwenye mapafu na kuendelea kuleta madhara mengine sehemu
nyingine za mwili.. soma zaidi

Kama sitaki kujamiiana kabla ya ndoa, nifanye nini ili kuondokana na adha ya vishawishi vya hao ambao wameshaanza kujamiiana?
Kama umeamua kutojamiiana kabla ya ndoa, huo ni uamuzi mzuri na ni haki yako. Kutojamiiana kabla ya ndoa ni uamuzi wako binafsi kama ambavyo watu wengine walivyo na haki ya kuamua kuhusu maisha yao.. soma zaidi

Upendo wa kweli hauna sababu!
Hivi Mpenzi Hebu Niambie umenipendea nini mimi"""…Hamna Swali linalonishangazaga kama hili,halafu wadada wanalipenda balaa..Na sijui huwa wanataka tuwajibuje kwa mfano…Je niseme macho…Inye gwedegwede…Miguu yako yenye tege kama Boban..Nywele zako ndefu ama??Mbona mnatuforce tuwe waongo jamani?We Unapendwa inatosha shukuru Mungu unapendwa yaishe… soma zaidi

Je, nikila na mtu mwenye Virusi vya UKIMWI, nitaambukizwa na virusi vya UKIMWI na UKIMWI?
Hapana, ukila na mtu mwenyemaambukizi ya Virusi vya UKIMWI huwezi kuambukizwa Virusi vya UKIMWI wala UKIMWI, isipokuwa pale ambapo wote wawili mna vidonda mdomoni na mnachangia kijiko kimoja. Lakini uwezekano huu ni mdogo sana, kiasi tunachoweza kusema kwamba huwezi kuambukizwa Virusi vya UKIMWI na UKIMWI ukila sahani moja na mtu aliyeambukizwa na virusi.
Lakini, kufuatana na kanuni za afya, ni vizuri zaidi kila mtu atumie vifaa vyake na baada ya kuvitumia avioshe kikamilifu.. soma zaidi

Kisa cha baba mzee na mwanae
Mtoto alifanya maamuzi ya kumpeleka baba yake ambaye alikuwa Mzee sana kwenye Makazi Maalum ya kulelea wazee ya Kanisa Katoliki iliyokuwa CHINI ya uratibu wa Padre. Alifanya hivyo Baada ya kushauriwa Na mkewe aliyekuwa akiona Ni kero kumlea baba Mkwe wake nyumbani kwao.. soma zaidi

Mapishi ya Wali, mchicha wa nazi na nyama ya kukaanga
Mchele (rice 1/2 kilo)
Mchicha uliokatwakatwa (spinach mafungu 2)
Nyama (beef 1/2 ya kilo)
Nyanya (tin tomato 1/2 ya tin)
Nyanya chungu ( garden egg 3)
Kitunguu swaum (garlic cloves 3)
Tangawizi (ginger)
Curry powder
Vitunguu (onion 2)
Limao (lemon 1)
Chumvi
Pilipili (scotch bonnet pepper )
Tui la nazi (coconut milk 1 kikombe cha chai). soma zaidi

Jinsi ya kujisaidia unapotokwa na damu Puani
Unapotokwa na damu puani fanya yafuatayo;
1. Simama wima na inamisha kichwa kwa mbele, kusimama itakusaidi kupunguza kasi na presha katika mishipa ya damu puani wakati unapoinamisha kichwa kwa mbele huzuia kumeza damu ambayo italeta shida tumboni.. soma zaidi

Unamkabidhi Moyo kibaka wa mapenzi unategemea nini!!
Kibaka siku zote ni mtu mdokozi mdokozi yeye
anayakuwa kitu fasta na kusepa hana uwezo wa
kuja kuvunja nyumba yako na kuiba ila anaweza
kutoboa dirisha lako na kuiba simu, anaweza
kuruka ukuta na kuiba nguo.
Wapo vibaka wengi sana kwenye mapenzi siku
hizi
wao kazi yao ni kuonja onja miili ya watu kama
wanavyoonja mboga, yaani wao hawawezi
kudumu
katika mapenzi yupo na wewe siku kadhaa na
ndani ya siku hizo tayari anaanza kumfikiria mtu
mwingine.. soma zaidi

Njia za Kuzuia Mimba
Njia za uzazi wa mpango zinatofautiana sana na zinaweza kugawanywa katika makundi mengi:. soma zaidi

Mambo ya kuzingatia kuhusu ugonjwa wa Kaswende
Kaswende husababishwa na bakteria aitwaye Treponema pallidum , ambaye pia huitwa spirochetes kutokana na umbo lake la mzunguko. Viumbe hawa hujipenyeza kwenye ngozi laini inayotanda midomo au sehemu nyeti. Yafuatayo ni mambo Muhimu ambayo unapaswa kuyafahamu kuhusu Ugonjwa wa Kaswende.. soma zaidi

HADITH: Hadithi ya kusisimua
Nilianza kujisikia vibaya hata kabla ya kufunga ndoa. Nakumbuka miezi mitatu kabla wakati tukiwa katika maandalizi maandalizi ya Bashiri kuja nyumbani kuleta mahari miguu ilianza kuuma kiasi cha kushindwa hata kutembea. Mama ainikanda mara kwa mara na ilikuwa ikivimba na kutoa maji kama vile jasho lakini la baridi.. soma zaidi

Video ya mtoto wa MUAMMAR GADDAFI akipigwa na polisi yachunguzwa
Mwendesha Mashtaka Mkuu nchini LIBYA, anaufanyia uchunguzi mkanda wa video unaowaonyesha walinzi wa gereza moja nchini humo wakimpiga mtoto wa aliyekuwa kiongozi wa nchi hiyo, Kanal MUAMMAR GADDAFI, SAAD GADDAFI.. soma zaidi

Mapishi ya Mchuzi wa kambale
Kambale 2
Nazi kopo 1
Nyanya kopo 1
Vitunguu 2
Curry powder 1 kijiko cha chai
Turmaric 1/2 kijiko cha chai
Binzari nyembamba ya unga 1/2 kijiko cha chai
Swaum/ tangawizi 1 kijiko cha chakula
Giligilani kiasi
Limao 1/2
Chumvi
Olive oil. soma zaidi

Uvaaji wa Tai kulingana na Umbo lako
Kuna mambo mengi ya kufanya ili tuwe watu wa kuvutia kila wakati.Mpangilio wa mavazi hufanya mtu kuonekana maridadi. Kama wewe ni mvaaji wa tai unapovaa unazingatia mambo yapi? Na je unafunga tai yako kwa namna inayokubalika?. soma zaidi

Afrika Kusini imetia saini makubaliano na Marekani kuruhusu Marekani kuuza kuku wake nchini humo
Makubaliano hayo yanatarajiwa kuondoa wasiwasi kati ya mataifa hayo baada ya Marekani kutishia kusimamisha manufaa ya biashara za bidhaa za kilimo inayopata Afrika Kusini kufuata mgogoro huo wa kuku.
Afrika Kusini ina wasiwasi kwamba mlipuko wa ugonjwa wa homa ya kuku ambao umewaua takriban ndege milioni 50 huenda ikasababisha hatari ya kiafya miongoni mwa wanyama na binaadamu.
Kuku ni chakula kinachopendwa sana Afrika kusini na wakosoaji wana wasiwasi kwamba Marekani itapeleka kuku wa ziada katika taifa hilo,hatua ambayo wanasema itaathiri pakubwa bishara ya nyama hiyo nchini humo.. soma zaidi

Vitu (6) sita usivyotakiwa kufanya kabla ya kulala
Saa ya mkononi ina madhara iwapo
utaivaa kwa muda mrefu,
wanasayansi
wanashauri sio sahihi kulala ukiwa
umevaa saa mkononi.. soma zaidi
Saa ya mkononi ina madhara iwapo
utaivaa kwa muda mrefu,
wanasayansi
wanashauri sio sahihi kulala ukiwa
umevaa saa mkononi.. soma zaidi