Angalia hili gari lilivyopata ajali kiajabu
[VIDEO] Angalia hili gari lilivyopata ajali kiajabu
Bofya Play (▶) kuanza Video…
.
🎥 Video nyingine kama hii👇
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Ningekufa kwa ajili ya mwanamke
Leo nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. ,Nikamuuliza eti dada unavijua visa vya wanawake??
Akajibu kaka niache, nikakomaa anijibu…
Badala ya kujbu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada.. hadi wananchi wenye mapanga, mawe na mishale wakaanza kuja, dada huyo alivyoona wanakuja akajmwagia maji mwili mzima. Nikajua leo ndio mwisho wangu nikajuta sana kutaka kujua kila kitu…
Wananchi walivyofika, wakamuulza, kuna nini? Akawajibu, nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndie amensaidia!!
Wakanipongeza sana sana kisha wakaondoka…
Yule dada akaniambia, hivyo ndivyo visa vya mwanamke anaweza kukuua au kukulinda! So muheshmu mwanamke hata kinafiki, usijfanye jeuri!!!. soma zaidi

Elimu tuu haitoshi kukunufaisha maishani na kukupa mafanikio
EMBU SOMA HII KWA MAKINI SJUI NI KWELI? USIMAINDI LAKINI MAANA ITAKUGUSA TUU. MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI
✍🏽Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa.. soma zaidi

Wadada haya ndiyo yalikua mapenzi ya kweli
Ladies jaribu kuchukua hata dakika mbili kuwakumbuka na kuwaombea mema huko walipo wale watu mliokua mna date nao wakati mko secondary …anakupenda bila make up.. Bila mawigi.. Bila kusuka.. Umenyoa kichwa kama baba ako.. Unashinda na sketi jekundu lina marinda miezi 6 alafu oversize… Shape haieleweki haionekani.. Umekonda.. Unakula ugali na maharage ya wadudu ila yeye yuko bega kwa bega na wewe.. Yale ndio yaliitwa True Love sasa… soma zaidi

Kwa nini wanaume huumia zaidi kwenye mapenzi 💓
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, watu kutoka koo, makabila, mataifa na wenye rangi tofauti hujikuta katika dimbwi zito.
Hujikuta katika wakati ambao kila mmoja haoni kitu kingine cha thamani zaidi ya mpenzi wake. Huu ni wakati ambao si tu kuwa neno usaliti linakuwa halipo bali wapenzi hawahisi hata kama kuna maisha bila ya yule wampendaye.
Usaliti ni jambo lenye maumivu yasiyovumilika hasa ikiwa ni jambo ambalo halikutarajiwa. Mtu hahisi kama itatokea mpaka inapotokea.

Mwishoni mwa wiki hii kumeenea picha za mwanaume aliyejikatisha uhai kisa mapenzi. Hii ikanikumbusha utafiti usio rasmi nilio ahi kufanya juu ya kwanini wanaume huumizwa zaidi na usaliti kuliko wanawake.. soma zaidi
Makala Maarufu
Nifanye nini ili kuepuka kubakwa na mpenzi/ rafiki?
Kuna baadhi ya vidokezo ambavyo vinaweza kukusaidia:
1. Usikae faragha na mwenzi wako kabla hujawa tayari na kumwamini. Ongozana na marafiki wengine hasa mwanzoni mwa urafiki wenu. Msitoke tu nyie wawili hadi hapo utakapojisikia kuwa umemjua kiasi cha kumwelewa na kumwamini. Pia jiepushe kukaa sehemu za faragha naye.. soma zaidi

Jinsi ya kutumia Kondomu
Wakati wa kutumia kondomu ya kiume ni muhimu kufuata hatua zifuatazo. Hakikisha kwamba pakiti inayoihifadhi haijapasuka na kwamba tarehe ya kuisha muda wake haijafika.
Uume ukishadinda, fungua pakiti kwa uangalifu. Minya sehemu ya juu kutoa hewa ndani ya kondomu wakati wa kuvalisha uume, ili kuzuia kupasuka kwa kondomu wakati wa kujamiiana. Visha uume kondomu taratibu mpaka uufunike wote. Ukiwa na uhakika kwamba kondomu imevishwa inavyotakiwa, unaweza kukutana kimwili na mwanamke.
Wakati wa kutoa uume kutoka ukeni, uwe mwangalifu kwamba kondomu bado ipo sehemu inayopaswa kuwa. Baada ya kutoa uume kutoka ukeni, vua kondomu kwa uangalifu uume ukiwa bado umedinda, ili kuepuka shahawa zisimwagikie ukeni. Tupa kondomu iliyotumika kwenye choo cha shimo au uichome. Usitupe kondomu iliyotumika ovyo. Pia usitupe kondomu iliyotumika kwenye vyoo vya kisasa yaani vya kuflashi na maji.
Ukinunua “salama kondomu“ ndani ya pakiti, kuna maelekezo kuhusu matumizi ya kondom. Unapotaka kutumia kondom wakati wa kujamiiana, ni vizuri ukajaribisha kwanza ukiwa peke yako ili kuzoea jinsi ya kuitumia.. soma zaidi

Mapishi ya viazi mbatata Vya Nazi Kwa Nyama Ya Ng'ombe
Mbatata / viazi - 2 kilo. soma zaidi
Mbatata / viazi - 2 kilo. soma zaidi
Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia tango
Tango ni tunda na ni mboga pia na ni chanzo kizuri cha potasiamu na vitamini nyingi ambazo zina kazi mhimu katika ngozi yako na huifanya ngozi ngozi ionekane laini na yenye kupendeza.. soma zaidi

Jinsi ya Kupika skonzi
Unga wa ngano (self risen flour 2 vikombe vya chai)
Sukari (sugar 1/2 kijiko cha chakula)
Chumvi (salt 1/2 kijiko cha chai)
Hamira (yeast 1/2 kijiko cha chakula)
Baking powder 1/2 kijiko cha chai
Siagi (butter 1/4 ya kikombe cha chai)
Maziwa (fresh milk 3/4 ya kikombe cha chai)(unaweza kutumia maji badala ya maziwa). soma zaidi

Neno la kutia Moyo
NAPENDA Nikutie MOYO,Ukiwa DUNIANI USIHUZUNIKE na usiwe MNYONGE hata kama una MATATIZO kiasi gani,Mungu yuko pamoja nawe,
Na unatakiwa kuzingatia haya yafuatayo:. soma zaidi

Hofu inavyo tugharimu katika safari ya ujasiriamali na Jinsi ya kuiepuka
Wengi wetu tunapenda Mafanikio, tunapenda kufika mbali tunapeda kuwa kama Mengi siku moja.. soma zaidi

Ushauri wa Imani ya dini kwa watu walio katika ndoa, wakati mmoja au wote wameambukizwa na HIV
Ombeni kwa pamoja kwa ajili ya hekima na ujasiri.
Amueni kwa pamoja, kwa msaada wa Mungu, kuwa
waaminifu wenyewe kwa wenyewe.. soma zaidi

Inasikitisha lakini inafundisha!! Soma!
Tajiri mmoja alikuwa anakaribia kufa, alikuwa na
marafiki matajiri wakubwa, wataalam, wasomi,
wanasiasa na watu mashuhuri. Akaiita familia
yake kuwapa wosia.. soma zaidi

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia maganda ya ndizi
Maganda ya ndizi ni dawa nyingine nzuri ya kuondoa chunusi. Unachohitaji ni kuwa tu na maganda ya ndizi kwa ajili hii.. soma zaidi

KUJICHUA KWA WANAWAKE: HASARA NA FAIDA ZA MWANAMKE ALIYEZOEA KUPIGA PUNYETO.
Kujichua au kujichezea (kupiga puli au punyeto)
sio kwa wanaume tu bali hata wanawake
wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako
huru kulizungumzia au kukili kuwa wakizidiwa
huwa wanajisaidia…
Wakati mwingine mtu
anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige
moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi
unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka upige
moja ndio nguvu zinakuja…hasa kama
umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi
hayupo karibu.. soma zaidi

Je, pombe ni moja ya sababu za kuenea kwa Virusi vya UKIMWI na VVU au magonjwa mengine yatokanayo na kujamiiana?
Matumizi mabaya ya pombe ndiyo yanayosababisha kuenea kwa
VVU au magonjwa mengine yatokanayo na kujamiiana. Tabia
ya ulevi ya kupindukia huwaweka watu katika hatari kubwa ya
kupata na kueneza magonjwa haya.
Pombe husababisha watu kusahau hatari ya kuwa na wapenzi
wengi na pia kufanya mapenzi na watu ambao hawafahamu hali
za afya zao. Husahau kujilinda wao wenyewe na wapenzi wao, kwa
kutumia kondomu na kusahau majukumu yao ya familia.. soma zaidi

Wakati wa kutunga mimba ni mbegu moja tu ya kiume inayopenya kwenye yai, mbegu nyingine zinaenda wapi?
Ni kweli kwamba wakati wa kujamii ana na kutunga mimba ni mbegu moja tu ya kiume i inayopenya kwenye yai. Mbegu zilizosalia hufa na kutoka kwa kupitia ukeni kwa sababu hazina kazi tena. Inashauriwa kwamba watu wanapomaliza kujamii ana, wasafishe vizuri sehemu zao za uzazi.. soma zaidi

Mapishi ya Mlenda wa bamia na nyanya chungu
Bamia (okra) 20
Nyanya chungu (garden eggs) 5
Magadi soda (Bicabonate soda) 1/4 ya kijiko cha chai
Nyanya (fresh tomato) 1
Chumvi (salt) kidogo
Pilipili 1/4. soma zaidi

Dondoo Muhimu
Tafadhali soma na uwapelekee wengine. Dr. Brian Berry wa Marekani amegundua kensa mpya kwa binadamu inayosababishwa na Silver Nitro Oxide. Unaponunua kadi ya simu usiichune kwa kucha kwani imo hiyo Silver Nitro Oxide na inaweza kusababisha kensa ya ngozi. Watumie ujumbe huu wale uwapendao.. soma zaidi

Mapishi ya wali kuku wa Kisomali
Mchele - 3 vikombe. soma zaidi
Mchele - 3 vikombe. soma zaidi
Watu wanaamini kuwa Albino wana joto katika mapenzi kuliko watu weusi, Je, hiyo ni kweli?
Hii siyo kweli,
tofauti
baina ya Albino
na mtu a s i
ekuwa na ualbino
i m e e l e z w a
hapo mwanzoni
ambapo tofauti
ipo tu kwenye
muonekano wa
rangi ya ngozi,
nywele n a macho. Mifumo yao yote mingine ya mwili iko sawa na watu
wasio na ualbino.
Watu wanaweza tu kuanzisha uvumi kama huo popote pale.
Ipo pia mifano kama: Wajerumani wanaamini kuwa Wafaransa
wana joto katika mapenzi, Wazungu pia huamini kuwa Waafrika
wana joto n.k. Hizo ni hisia tu na siyo ukweli. Katika jamii wapo
watu ambao wanapenda kufanya ngono sana, wapo wa wastani
na wapo wale ambao hawajisikii msukumo wa kujamiiana. Uvumi
huu unatokana na mawazo ya kifikra na siyo ukweli halisi.. soma zaidi

Ungekua wewe ndo huyo mama ungefanyaje??
Mke wa Frank anajivunia mume mtulivu, hashindi baa na hatongozi videmu. Akitoka kazini huenda kucheza basketball na hurudi nyakati za dinner. Siku moja mkewe akamhurumia. Anachoka na kazi. Mtu gani asiyependa starehe japo kidogo? Mke akamlazimisha outing, Frank akabisha lakini taxi ikafika. Gonga Club & Lodge.. soma zaidi

Ukeketaji ni nini?
Katika baadhi za jamii viungo vya uzazi vya nje vya msichana,
yaani kisimi au sehemu ya ndani na nje ya mashavu ya uke
yanakatwa na kuondolewa kabisa. Huu ndiyo ukeketaji au
kutahiriwa kwa mwanamke.
Wakati mwingine uekeketaji hufanyika katika umri wa miezi ya
mwanzo ya maisha ya mtoto wa kike. Mara kwa mara kutahiriwa
kwa wanawake hufanyika wakati msichana anapofikia utu uzima
au kuadhimisha na kuvuka kutoka utoto kuingia utu uzima.
Mara nyingine ukeketaji ni sehemu ya unyago na kuadhimia kwa
msichana kujifunza jinsi ya kuwa mtu mzima.
Kuna aina mbalimbali za ukeketaji:
1 Sehemu ya ngozi inayofunika kisimi huwa inaondolewa.
Mara nyingine kisimi au eneo lake hukatwa pia. Watu
wengi huita aina hii sunna.
2 Kisimi pamoja na sehemu za mashavu ya ndani
hutolewa.
3 Sehemu yote au baadhi ya viungo vya nje hutolewa na
uke hufungwa kwa kushona. Hii huacha sehemu ndogo
ya tundu ambapo mkojo na damu ya mwezi (hedhi)
hupita. Aina hii huitwa mfyato (Infibulation).
4 Aina yeyote ya kuchezea kwa lengo la kuharibu
sehemu yoyote ya viungo vya nje kama vile kutia vitu
vyenye madhara kwenye uke, kurefusha mashavu au
kisimi kwa kuvivuta au kutoboatoboa.. soma zaidi

Kwa nini watu wanaotumia dawa za kulevya mara nyingi hudanganya?
Wengi wa waathirika wa dawa za kulevya hukataa matatizo yao. Hudanganya kwa sababu hawataki kukubali matatizo yao pia hutoa maelezo kujitetea au kulaumu wengine. Mara nyingi huanza kudanganya au kusaliti marafiki na ndugu pale wanapohitaji fedha kwa ajili ya kununulia dawa za kulevya.. soma zaidi

Jinsi ya kupika Eggchop
Mayai yaliochemshwa 4
Nyama ya kusaga robo kilo
Kitunguu swaum
Tangawizi
Limao
Chumvi
Pilipili
Breadcrambs
Carry powder
Binzari nyembamba ya unga
Yai moja bichi
Mafuta. soma zaidi
Mayai yaliochemshwa 4
Nyama ya kusaga robo kilo
Kitunguu swaum
Tangawizi
Limao
Chumvi
Pilipili
Breadcrambs
Carry powder
Binzari nyembamba ya unga
Yai moja bichi
Mafuta. soma zaidi
Watu wanaoua Albino wanapata faida gani?
Hakuna uchunguzi wa kisayansi ambao umeonyesha faida
yoyote inayopatikana kwa kuua Albino.
Madai ya kuwepo kwa faida katika mauaji ya Albino ni uvumi
mtupu unaoimarishwa na imani ya kishirikina na hazina msingi.
Kwa bahati mbaya uvumi huu umeimarika katika baadhi ya
jamii na hivyo kupelekea Albino kupata madhara makubwa
ya kujeruhiwa na wakati mwingine kuuawa katika jitihada za
kupata damu au viungo vya miili yao.
Kuua na kujeruhi ni kosa la jinai linaloadhibiwa kisheria. Serikali
kwa sasa ina msimamo mkali wa kukomesha makosa haya ya jinai
kwa kutumia sheria kuhukumu watuhumiwa wanapokamatwa hii
ni pamoja na kuelimisha jamii.. soma zaidi

Je, kuna madhara yoyote pale utakapojaribu kutumia dawa za kulevya mara moja tu au utakapotumia kwa kiasi kidogo sana?
Kutumia dawa za kulevya kwa kiasi kidogo kunaweza kusilete madhara i ila mpaka tu pale utakapoyazoea. Mara nyingi watu huanza kuhitaji dawa zaidi pale wanapozizoea na kupata madhara. Hii i ii inaweza kusababishia mtu kutawaliwa na dawa za kulevya. Mtumiaji wa dawa za kulevya anaweza kuwa mtegemezi wa dawa hizo bila ya kujijua. Kujaribu dawa za kulevya kunaweza kukawa na madhara kama “utaishia pabaya”. “Kuishia pabaya” ni jambo la kutisha na si la kufurahisha hata kidogo! Hali hiyo inaweza kutokea mara ya kwanza unapoanza kutumia bangi.. soma zaidi

Je, ni tabia zipi zinazochangia kuenea kwa virusi vya UKIMWI?
Virusi vya UKIMWI kwa kiasi kikubwa vinaenea kwa njia ya kujamii ana. Kama mtu ana wapenzi wengi wa kufanya ngono, uwezekano wa kupata maambukizi unaongezeka,. Hi ni kwa sababau kila mpenzi anaweza kuwa chanzo cha maambukizi endapo watashiriki ngono za aina yeyote (ukeni au sehemu ya haja kubwa) bila kutumia kondomu.
Pia kuchelewa kutibu magonjwa mengine ya zinaa, i inachangia kuenea kwa virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Kwa mfano, kama mtu anaugua ugonjwa wa zinaa, vijidudu vya UKIMWI vinaweza kuingia mwilini kwa urahisi zaidi kwa sababu ya vidonda sehemu zake za siri.
Mwisho, matumizi ya dawa za kulevya pamoja na ulevi wa pombe wa kupindukia yanaweza kuchangia kufanya maamuzi yasiyo sahihi katika matendo ya ngono.. soma zaidi

Jinsi ya kupika Vileja Vya Tambi
Tambi (vermiceli Roasted) Mifuko 2. soma zaidi

Mwanamke akipenda amependa kweli
Mwanamke akikupenda anakuwa na furaha, anakuwa anajivunia kuwa na wewe, na hujihisi furaha kuongea na wewe.
Hupenda awe rafiki wa rafiki zako na ndugu zako, uvipendavyo na yeye atavipenda, atabadilisha mtindo wake wa maisha kuendana na mtindo wako.. soma zaidi

Je,mwanaume akitoa uume nje ya uke kabla ya kumwaga shahawa anaweza kuambukizwa yeye au mwanamke na Virusi vya UKIMWI na UKIMWI?
. soma zaidi
. soma zaidi
Mapishi ya Bagia dengu
Unga wa dengu (gram flour 1/4 kilo)
Kitunguu kilichokatwa (onion 2)
Hoho (green pepper 1/2)
Pilipili iliokatwakatwa (scotch bonnet pepper 1/2)
Barking powder (1/4 ya kijiko cha chai)
Chumvi (salt)
Kitunguu swaum (garlic cloves 2)
Mafuta ya kukaangia (vegetable oil)
Binzari manjano (turmeric 1/4 ya kijiko cha chai). soma zaidi

Je, ni sahihi kuzungumza na wenzio/ marafiki juu ya uhusiano wangu wa kimapenzi?
Kama unavyohusisha rafiki zako katika mihemuko mingine, inaeleweka kama utataka kuwashirikisha katika uhusiano wako wa kimapenzi.. soma zaidi