Angalia huyu bonge anavyocheza mziki
[VIDEO] Angalia huyu bonge anavyocheza mziki
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
π₯ Video nyingine kama hiiπ
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Jifunze kupitia mfano huu wa ufutio na penseli β
ΒΆ>PENSELI: "Nisamehe sana". soma zaidi
ΒΆ>PENSELI: "Nisamehe sana". soma zaidi
Usiruhusu tabia hii itawale akili yako
Tabia ya kijidharau na kujiona hufai ama huwezi kufanya lolote ukafanikiwa maishani, hakuna mwanadamu aliyeumbwa ili ashindwe,, sote tu washindi zaidi, tunatofautiana njia za kufikia huo ushindi.. soma zaidi

ONYO: usisome hapa
β USISOMEβ . soma zaidi
β USISOMEβ . soma zaidi
Ujumbe kwa mabinti kuhusu uvaaji
Familia Kwanza: Wasichana wawili waliwasili kwenye Kikao huku wamevaa nguo ambazo zilikuwa zikionyesha miili yao.. soma zaidi

Makala Maarufu
Sifa 15 za kijana ambaye hajakomaa kwa ajili ya ndoa
1. Anaigiza maisha. Anataka kuonekana amefanikiwa kimaisha, hajui kuwa anajidanganya mwenyewe.
2. Hana mipango inayoeleweka, anajua kuzungumza lakini matendo ni sifuri, hajui kwamba kuanza mahusiano ni kubeba majukum.. soma zaidi

Jinsi ya kuandaa Biriani Na Sosi Ya Nyama Ya Mbuzi
Nyama Ya Mbuzi - 1 Kilo. soma zaidi
Nyama Ya Mbuzi - 1 Kilo. soma zaidi
Ualbino unarithiwa vipi?
Watoto wengi wanaozaliwa na ualbino, wazazi wao wana rangi
ya ngozi, nywele na macho inayafanana na watu wa kabila /asili
yao. Mwili wa kila mwanadamu una seti mbili za vinasaba (moja
hutoka kwa mama na moja hutoka kwa baba). Mtu anaweza
kuwa na rangi ya asili ya kawaida, lakini akawa na kinasaba cha
ualbino. Kama mtu ana kinasaba kimoja cha rangi ya asili na
kimoja cha ualbino atakuwa na taarifa za vinasaba vya kutosha
kutengeneza rangi ya asili. Kinasaba cha ualbino ni seli dhoofu
haiwezi peke yake kuonyesha ualbino mpaka mtu awe nazo
mbili kwa pamoja.
Kama wazazi wote wawili wana vinasaba vya ualbino na wote
hawaonyeshi ualbino, kuna uwezekano wa kupata mtoto Albino
kati ya mmoja katika wanne kwa kila mimba.. soma zaidi

Je, matokeo ya kupima na kukutwa huna virusi vya Ukimwi ni yapi?
Kwa kawaida mtu anapoamua kwenda kupima mara nyingi anakuwa na sababu za kumfanya ahisi kuwa au kutokuwa na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI. Kwa hiyo mtu akipata jibu kuwa hana maambukizi ya Virusi vya UKIMWI, i itabidi ajiulize huo wasiwasi ulitokea wapi.
Pale mtu anapojua ni kitu gani kilimfanya aende kupima, ni vyema mtu huyo kukaa mbali / kuacha kurudia hilo jambo au tabia i iliyomweka katika hatari ya kupata maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Kwa mfano, kama alifanya ngono na mtu zaidi ya mmoja na kwa nyakati zote hakutumia kondomu. Baada ya kupima, mtu huyu anatakiwa aache tabia ya kuwa na wapenzi wengi na pia awe anatumia kondomu kujikinga dhidi ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Ni muhimu kuchukua tahadhari zote i ili kujikinga na maambukizi ya Virusi na UKIMWI na UKIMWI.. soma zaidi

Fedha za sherehe Bungeni zaelekezwa Hospitali ya Muhimbili asema Magufuli
Rais Magufuli ametoa agizo hilo baada ya kupokea taarifa kuwa wadau mbalimbali wamechanga kiasi cha shilingi milioni 225 kwa ajili ya kugharamia hafla ya wabunge katika siku ya uzinduzi wa Bunge.. soma zaidi
UPENDO WA MUNGU
Upendo wa Mungu hauna mipaka, Soma makala Hizi Zifuatazo;. soma zaidi

Njia ya kutambua kama umeambukizwa Virusi vya UKIMWI (VVU)?
Njia pekee ya kujitambua kama umepata maambukizo ya
VVU ni kufanya kipimo cha damu (HIV-test). Vipimo hivi
vinapatikana katika vituo vya afya na pia kupitia vituo maalumu
vya ushauri nasaha vya kupima kama vile vya Angaza, huduma
hizi zimesambaa nchi nzima. Kipimo hiki huchukua kiasi kidogo
cha damu na kawaida majibu hupatikana baada ya muda mfupi.
Mshauri nasaha ataongea na wewe na kukuelimisha zaidi kuhusu
kipimo na maana ya majibu.. soma zaidi

Watu husema bia hukufanya uwe mnene, je, ni kweli?
Ni kweli kwamba baadhi ya pombe, hasa bia, husababisha
ongezeko la uzito kwa baadhi ya watu kwa sababu ina mkusanyiko
mkubwa wa sukari na wanga.. soma zaidi

MLINDA MLANGO namba moja wa klabu ya ARSENAL, PETER CECH amesema anatamani kucheza bila kuvaa kofia ngumu (HELMET ) kichwani
CECH amesema amepona maumivu yake kichwani na angetamani kucheza bila kuvaa kifaa hicho cha kulinda kichwa kwani kinamfanya asijiamini awapo uwanjani lakini hana budi kufuata ushauri wa daktari wa kutovaa.. soma zaidi

Watatu wafa kipindupindu Dar
Watu watatu wamekufa na wengine thelathini wamelazwa hospitalini kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu nchini Tanzania na hasa katika mji wa kibiashara wa Dar es salaam.
Wataalamu wa afya wamesema kwamba mlipuko huo unapatikana kwenye maeneo ambayo hayana usafi wa kutosha na vyoo vya kisasa hasa katika maeneo yenye msongamano wa makazi katika jiji hilo.. soma zaidi

Kisa cha kusisimua: Funzo kwa mabinti
Kijana maskini na mwenye maisha duni alimpenda msichana mmoja
Baada ya kutumia muda mwingi kumfikiria msichana huyo,
Siku moja akaamua kumwita na kumwambia ukweli ya kwamba amempenda na angehitaji kumuoa.. soma zaidi

Aina ya mazoezi na umuhimu wa mazoezi kwa wamama wajawazito
Leo tutaongelea mazoezi gani ya kawaida ambayo mama mjamzito anaweza kuendelea kuyafanya kila siku ya ujauzito wake na umuhimu wake.. soma zaidi

Mapishi ya Tambi za sukari
Tambi (spaghetti 1/2 ya packet)
Mafuta (vegetable oil)
Sukari (sugar 1/2 kikombe cha chai)
Hiliki (cardamon 1/2 kijiko cha chai)
Chumvi (salt 1/2 kijiko cha chai)
Tui la nazi (coconut oil 1 kikombe cha chai)
Maji kiasi. soma zaidi

Namna ya kupika Vitumbua
Vitumbua ni aina ya vitafunwa vya chai ambavyo hutengenezwa kwa kutumia unga wa mchele. Kiasili vitumbua ni chakula ambacho hupendelewa sana na watu wa pwani. Na mara nyingi wamekuwa wakipika kwa kuchanganya na nazi ili kuvifanya view na ladha nzuri zaidi. soma zaidi

Full video ya Dr. Magufuli alivyotangazwa mshindi wa urais Tanzania 2015
Video yote unaweza kuitazama kwa kubonyeza play hapa chiniβ¦. soma zaidi

Jinsi ya kuzalisha magimbi
Magimbi ni chakula muhimu chenye kiwango kikubwa cha wanga kinachohitajika katika mwili wa binadamu na moja kati ya mazao makuu ya chakula kama vile viazi mviringo, mihogo na viazi vitamu. Zao hili hulimwa katika sehemu mbalimbali duniani kama barani Afrika, Caribbean, Asia, America na Pacific. Kwa nchi za Afrika, zao hili hutumika zaidi kunapokuwa na uhaba wa chakula, kwani lenyewe hupatikana msimu wote wa mwaka na katika majira yote.. soma zaidi

Umeiona hii!!
Asilimia 76% Ya Wasichana Kila Ukiwatongoza Wanakwambia Wapo In relationship SAWA ATUKATAI…. soma zaidi

Namna ya kufanya Ukaguzi wa mara kwa mara wa banda la kuku kuzuia magonjwa
Ukaguzi wa Kila siku
β’ Hakikisha unasafisha vyombo vya kulishia na kunyweshea pamoja na viota.
β’ Ondoa kinyesi kwa kuku.
β’ Waangalie kuku wako kwa makini ili kujua afya na maendeleo yao. Yaani ili kutambua kama kuna mwenye ugonjwa. soma zaidi

Jinsi ya kulima giligilani
Kilimo cha giligilani (coriander) ni mradi mkubwa unaojitosheleza kukuza maisha ya mkulima kutokana na zao hili la biashara huchukua muda mfupi toka kuotesha hadi kuvuna.

giligilani 2Zao hili linalotumika kama kiungo cha chakula katika mapishi mbalimbali kama nyama, supu au mchuzi. Giligilani inafaa kulimwa wakati wowote na katika maeneo mengi ya Tanzania hususani mikoa ya Mbeya, Iringa na Arusha.
Uhitaji mkubwa wa walaji pamoja na urahisi wa kuzalisha zao hili katika maeneo mbalimbali nchini, umewezesha wakulima kupata soko zuri na kujiongezea kipato kwa urahisi zaidi.. soma zaidi
Faida za kutumia maji ya uvuguvugu na asali
Ili uweze kuwa na siku nzuri basi unashauriwa kuanza siku yako kwa kutumia mchanganyiko wa maji ya uvuguvugu, asali mbichi, tangawizi, pamoja na limao.. soma zaidi

Ushauri kwa usiku wa leo
Usijenge urafiki na starehe wakati shida ni jirani yako, hakuna tuzo za ngono zaidi ya ukimwi.. soma zaidi

Je, ni sahihi kufanya mapenzi wakati mkeo akiwa na MIMBA?
Ni kawaida kwa mwanaadamu aliye mzima kupenda kuwa na mtoto, na kwa namna ya upekee katika kuumbwa kwa mwanaadamu, hakuna njia nyingine yoyote ile ambako mtoto anaweza kupatikana bila ya maingiliano ya kimwili baina ya watu wa jinsia mbili tofauti (ukiachilia mbali instances chache ambapo mambo ya test tube na artificial insemination hutumika).. soma zaidi

Sababu za ukeketaji
Hakuna hata mmoja anayejua hasa kwa nini, na lini desturi
imeanza. Jamii inatoa maelezo tofauti kwa nini wasichana
wanatakiwa watahiriwe. Sababu zifuatazo zimetolewa kufanya
desturi hii: mila na utamaduni, dini, usafi, kulinda ubikira, kukaa
bila kuzini.
Kila mara sababu zinazotolewa za kuondoa au kukata kisimi
ni kupunguza nyege au starehe kwa mwanamke. Kwa makosa,
baadhi ya watu huamini kuwa kwa njia hii wanawake watakuwa
waaminifu kwa waume zao.
Kiafya hakuna sababu ya kumtahiri msichana, kinyume chake
inaweza kusababisha idadi ya matatizo ya afya. Ukeketaji
hautakiwi na dini yoyote. Hatakiwi na Koran wala Biblia.
Ukeketaji ni desturi na mila ambayo imepitishwa toka kizazi
kimoja hadi kizazi kingine.. soma zaidi

Jinsi ya kuzuia magonjwa ya kuku
Ufugaji wa kuku una faida kubwa, lakini mkulima anatakiwa kuzuia kadri awezavyo uwezekano wa kuwepo magonjwa shambulizi.. soma zaidi

JINSI YA KUANDAA VILEJA
Unga wa mchele - 500g. soma zaidi
Unga wa mchele - 500g. soma zaidi
Namna ndizi inavyotumika katika urembo
Mbali na kulika, ndizi zina manufaa mengine, hasa katika urembo wa ngozi.
Ndizi zina virutubisho muhimu vinavyoboresha ngozi. Ndizi pia zina aina tatu za sukari zinazojulikana kama βsucroseβ, βfructoseβ na βglucoseβ.. soma zaidi

Jinsi ya kuboresha ufugaji wa kuku
Ufugaji wa kuku wa kienyeji unaweza kuimarika kupitia uzalishaji na utunzaji sahihi. soma zaidi

Simulizi ya mapenzi
SIMULIZI, hii iwasute na kupatwa na hofu ya mungu nyote mlio ktk mahusiano/ndoa yenu.. soma zaidi

Mapishi ya Ugali Kwa Mchuzi Wa Samaki Wa Kuchoma
Unga wa mahindi - 4 vikombe. soma zaidi
Unga wa mahindi - 4 vikombe. soma zaidi
Mapishi ya wali wa hoho nyekundu
Pilipili hoho (Red pepper 3)
Cougette 1
Kitunguu (onion 1)
Uyoga (mashroom 1 kikombe cha chai)
Carrot 1
Nyanya (fresh tomato 1)
Nyanya ya kopo iliyosagwa (tomato paste 3 vijiko vya chai)
Giligilani (fresh coriander)
Binzari manjano (Turmaric 1/2 ya kijiko cha chai)
Curry powder 1/2 ya kijiko cha chai
Chumvi (salt)
Mafuta (vegetable oil). soma zaidi