Angalia huyu dereva wa pikipiki huruma yake ilivyomponza
[VIDEO] Angalia huyu dereva wa pikipiki huruma yake ilivyomponza
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
π₯ Video nyingine kama hiiπ
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Siri za kumpata mpenzi bora
Jinsi ya kupata mpenzi bora
1_ lazima na wewe uwe bora kwanza
2_ lazima na wewe ujiheshimu. soma zaidi

Wosia mzuri wa baba kwa mwanae
Mwanangu, mimi baba yako nimeishi miaka mingi kuliko wewe ndio maana unaniita baba. Ni kweli sijasoma kama wewe ulivyosoma Ila mambo niliyokutana nayo tangu nimezaliwa ni elimu tosha ambayo wewe huna. Sasa nataka nikupe Elimu hiyo ili ukijumlisha na elimu yako ya darasani ujue namna nzuri ya kuishi katika dunia hii iliyojaa mishangazo mingi.. soma zaidi

Ujumbe wa leo kwa mtu anayetaka kufanikiwa katika maisha kiuchumi
Kila mtu aliyefanikiwa ukifuatilia historia yake pengine unaweza kukata tamaa kabisa Na kusema mimi hii njia siiwez.. soma zaidi

Kisa cha wizi mpya wa kwenye ATM π§ π³
Mdada mmoja ametusimulia kisa hiki.. Wapendwa kuweni macho… Nilikua pale Total nje ya Mliman city nikaenda kutoa hela NBC nikakuta machine haitoi hela since ni master card nikaenda Atm ya CRDB… soma zaidi

Makala Maarufu
Namna ya kukabiliana na Magonjwa ya kuku
Hakikisha unamuona mtaalamu wa mifugo mara uonapo dalili zozote za kuumwa kwa mifugo wako.. soma zaidi

Uwezekano kwa msichana au mwanamke aliyebakwa kupata mimba
Inawezekana kwa msichana au mwanamke aliyebakwa kupata
mimba. Uwezekano wa kupata mimba ni sawa kama vile amekubali
mwenyewe au kulazimishwa. Iwapo mwathiriwa atamwona
mhudumu wa afya mara baada ya kubakwa anaweza kupata
dawa za dharura za vidonge vya kuzuia mimba na uwezekano
wa kupata matibabu ya kuzuia maambukizi yasitokee na kupata
ushauri na zaidi nini cha kufanya.. soma zaidi

Bikira na ubikira
Ubikira ni nini?: Maana halisi ya neno βbikiraβ ni mwanamke au mwanaume ambaye hajawahi kabisa kujamii ana. Kujamii ana hapa i ina maana kwamba uume wa mwanaume unaingia katika uke wa mwanamke.. soma zaidi

Kama watu wanataka kuacha kuvuta sigara au kunywa pombe wafanyeje?
Kwanza kabisa, watu ni kweli wawe wamedhamiria kuacha.
Hii inataka uamuzi wa wazi na nia imara kwa sababu si rahisi
kuacha.
Pili, mtu anatakiwa kufikiria ni katika mazingira gani huwa
anajisikia kuvuta sigara au kunywa pombe. Hii kwa kawaida ni
pamoja na kundi maalumu la marafiki, katika sherehe, baada ya
kazi ngumu, baada au wakati wa kula. Kwa hiyo, kama wanataka
kuacha kuvuta sigara au kunywa pombe, wanatakiwa kubadili
mtindo wa maisha na kuepuka vishawishi.
Hatua ya kwanza katika kuacha kuvuta sigara au kunywa
pombe, inaweza ikawa ni kujiwekea malengo; kwa mfano, kuacha
kuvuta sigara kwa wiki nzima. Jipongeze kuwa umetimiza lengo
lako. Kama umeshindwa anza tena. Ni watu wachache ambao
wameweza kuacha kabisa katika jaribio la kwanza. Watu
wengine wanapata ugumu kuacha kabisa pombe na sigara.. soma zaidi

Kwa nini uume unasimama mara nyingine wakati wa kuamka asubuhi?
Ni kweli kwamba mara nyingi hali hii huwatokea wavulana na wanaume. Ndani ya uume kuna mishipa mingi ya damu na kama damu nyingi i i ikienda sehemu hii i ii inasababisha uume kuwa mgumu na kusimama. Mtu anapolala huwa ametulia na hivyo damu inaweza kusukumwa kuelekea kwenye uume. Kwa hiyo, msukumo wa damu ndani ya uume ni sababu pekee ya uume kusimama. Pia kujaa kwa kibofu cha mkojo huweza kusababisha uume kusimama wakati wa kuamka usingizini asubuhi.. soma zaidi

Kulima Korosho
Ubebeshaji miche ya mikorosho ni moja ya mbinu muhimu katika uendelezaji wa zao la korosho kwa sababu ni teknolojia pekee inayohakikisha usahihi wa viwango vya uzalishaji wa aina ya mkorosho uliopandwa.. soma zaidi

Dalili za mahusiano feki, mahusiano ya kichina
Ukitaka kujua Simu ya Kichina utajua tu jinsi ilivyo na makelele mengiiiii sana wakati wa kuita….Sasa ukitaka kujua relationship feki ya kichina utaona tu makelele yalivyo mengi kama ile simu…Watu hawatulii kwenye wall,mara I miss my baby,mara baby come back,mara baby this,ooh my man/Girl is special,mara picha …mi and my baby,full kujishaua..ukiona wall zenye hayo makelele asilimia 90 ni penzi la kichina na lazima lina double line.Relationship serious na Original hazina makeke wala mikelele mingi kama hiyo yako na milio mikubwa ya ajabu na vibration ambazo zinaweza kufyeka hata majani.TULIA,hatuhitaji kujua who is ur baby au umemmiss,ukimmiss mpigie simu hukooo! Ebooo!!!. soma zaidi

Jinsi ya kugundua upungufu wa virutubisho shambani
Jinsi ya kugundua upungufu wa virutubisho. soma zaidi

Elimu tuu haitoshi kukunufaisha maishani na kukupa mafanikio
EMBU SOMA HII KWA MAKINI SJUI NI KWELI? USIMAINDI LAKINI MAANA ITAKUGUSA TUU. MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI
βπ½Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa.. soma zaidi

Namna ya kutengeneza Visheti Vya Nazi Na Njugu (Sudani)
Unga - 3 mug za chai. soma zaidi
Unga - 3 mug za chai. soma zaidi
Kila mtu dunia hii anahistoria yake
Kijana wa miaka 24 alikua anaangalia ktk dirisha la treni, mara akahamaki akasema…. soma zaidi

Kukosa hela sio tatizo bali ndio kigezo ya kutafuta hela
To ur Success!. soma zaidi
To ur Success!. soma zaidi
Ufaransa kuchuana na England Jumanne
Kocha wa Uingereza Roy Hodgson amekubali kwa moyo mkunjufu na wa huruma mechi kati ya England na Ufaransa itakayochezwa juma lijalo katika uwanja wa Wembley.
Hogson amesema licha ya maafa yaliyosababishwa na ugaidi, tutajianda ipasavyo ndani na nje ya uwanja huo wa Wembley.
''Huu ni wakati wetu kuonesha dunia kuwa kandanda kwa hakika inaweza kuunganisha ulimwengu.'' alisema Hogson.
''Ninaamini kuwa wachezaji wetu watajiandaa ipasavyo kuwaonesha wageni wetu kuwa Uingereza inaungana na Wafaransa wakati huu wa majonzi.
Mechi hiyo ya kirafiki itaendelea kama ilivyopangwa siku ya jumanne jioni licha ya msururu wa mashambulio ambayo yamewaua takriban watu 129.
Washambuliaji 3 wa kujitolea muhanga walifariki katika milipuko nje ya uwanja wa Stade de France huku wachezaji wa Ufaransa wakicheza dhidi ya Ujerumani siku ya ijumaa.. soma zaidi

Kunyonyana ulimi kunaweza kuchangia kupata virusi vya UKIMWI?
Uwezekano wa kuambukizwa virusi vya UKIMWI kwa kunyonyana ndimi ni mdogo sana. Kwa kubadilishana mate wakati wa kubusiana tu, haiwezekani maambukizi ya virusi vya UKIMWI kutokea. Lakini kama mmoja kati ya wapenzi ana vidonda / michubuko mdomoni, uwezekano wa kuambukizana huongezeka.. soma zaidi

Tatizo la kutoka majimaji kwenye matiti
Tatizo hili husimama lenyewe kama ugonjwa ingawa pia inaweza kuwa ni dalili kama mwanamke ni mjamzito, ananyonyesha au ametoa mimba au ameharibikiwa na mimba. Kusimama kwake kama ugonjwa ni pale yanapotoka wakati mwanamke hana historia ya dalili hizo hapo juu.. soma zaidi

Jinsi ya kuandaa Pilau ya sosi ya soya, nyama na mboga
Nyama isiyokuwa na mifupa - 1 Β½ Lb(ratili)
Mchele wa Basmati (rowanisha) - 3 Magi
Vitunguu maji - 2
Mchanganyiko wa mboga za barafu - 1 Magi
(karoti, mahindi, njegere)
Pilipili Mbichi - 3
Pilipili mboga kijani na nyekundu - 1
Pilipili manga - Β½ kijiko cha chai
Chumvi - Kiasi
Sosi ya soya (soy sauce) - 5 Vijiko vya supu
Kitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi iliyosagwa - 1 Kijiko cha supu
Mchanganyiko wa bizari (garam masala) - 1 Kijiko cha supu
Kotmiri iliyokatwa - Β½ Kikombe
Mafuta ya kukaangia - Kiasi. soma zaidi

Kupima lishe au afya ya mtu
Hiki ni kipimo kinachotumika kuangalia uwiano wa urefu na uzito wa mtu, ni muhimu kuchukua vipimo kwa usahihi.Uwiano wa uzito katika Kilogramu na urefu katika mita hupatikana kwa kutumia kanuni ifuatayo:. soma zaidi

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia limau au limao
Dawa nyingine nzuri kwa ajili ya chunusi usoni na mwilini ni limau. Limau linajitokeza kwenye vyakula vingi tunavyokula kila siku mathalani limau halikosekani pakiwepo supu au mapishi yoyote ya samaki.. soma zaidi

Mambo muhimu yanayochangia ubora wa maziwa
Yafuatayo ni mambo muhimu yanayochangia ubora wa maziwa. soma zaidi

Sababu za matumizi ya dawa za kulevya
Zipo sababu nyingi zinazowafanya watu kutumia dawa za kulevya, nazo ni kama zifuatazo:
Watu wengi hutumia dawa wakitumaini kusahau matatizo yanayowakabili, wengine hutumia kama viburudisho na wanataka kujionyesha kwamba ni watu wazima na wenye nguvu. Wengine pia huanza kutumia dawa kiutani na hatimaye hushindwa kujizuia kuzitumia. Wengine hutumia kutokana na msukumo wa rika au kutokana na kushawishiwa na watu wengine kwamba dawa za kulevya huwapa raha. Wengine hutumia kutokana na ukali wa maisha, uchovu pamoja na upweke. Kimsingi, dawa za kulevya hazimpatii mtu ufumbuzi wa matatizo, bali humwongezea matatizo mtumiaji.. soma zaidi

Mapishi ya Wali na kuku wa kienyeji
Kuku wa kienyeji (boiler chicken 1)
Mchele (rice 1/2 kilo)
Nyanya ya kopo (tin tomato 1)
Vitunguu (onion 2)
Vitunguu swaum (garlic cloves 6)
Tangawizi (ginger)
Carry powder
Binzari ya njano (Turmaric 1/2)
Njegere(peas 1/2kikombe)
Carrot iliyokwanguliwa 1
Limao (lemon 1)
Bilinganya (aubergine 1)
Chumvi
Pilipili (scotch bonnet pepper)
Mafuta (vegetable oil). soma zaidi
Kuku wa kienyeji (boiler chicken 1)
Mchele (rice 1/2 kilo)
Nyanya ya kopo (tin tomato 1)
Vitunguu (onion 2)
Vitunguu swaum (garlic cloves 6)
Tangawizi (ginger)
Carry powder
Binzari ya njano (Turmaric 1/2)
Njegere(peas 1/2kikombe)
Carrot iliyokwanguliwa 1
Limao (lemon 1)
Bilinganya (aubergine 1)
Chumvi
Pilipili (scotch bonnet pepper)
Mafuta (vegetable oil). soma zaidi
USIPITE BILA KUSOMA HII
Siku moja jioni katika mji flani, kulikuwa na basi likisafiri kutoka mji huo kuelekea mji mwingine. Lilikuwa ni basi kubwa na limejaa abiria. Wakati wakiendelea na safari, ghafla, mvua kubwa iliyoambatana na radi ikaanza kunyesha. Dereva hakuogopa, wala abiria, wakaendelea na safari. Mara wakati wanaenda, radi ikaanza kufuatilia gari. Kila wakienda, radi inapiga karibu na basi kana kwamba inalifuata basi. Likisimama, radi inapiga pembezoni mwa basi.. soma zaidi

Ndoa ya kulazimishwa
Ndoa ya kulazimishwa ni ile ambayo mwanamume au mwanamke
anaozwa bila yeye mwenyewe kukubali kufunga ndoa kwa
hiari yake. Katika mazingira hayo wasichana au wavulana
wanalazimishwa kufunga ndoa. Wakati mwingine wazazi wanafikiri
wanajua nini kizuri kwa watoto waona hivyo kuwachagulia mume
au mke.. soma zaidi

Faida 10 za kula tende kiafya
Kila wakati unashauriwa na watalam wa afya ya kwamba unatakiwa kula tende kwa wingi ili kupata faida zifuatazo katika mwili wako:. soma zaidi

Una thamani gani?
Kazi au shughuli unayoifanya ina thamani gani kwa wengine?unawasaidia au unawaumiza??
Biashara unayoifanya ina thamani gani kwa wengine?ni lazima uwaumize ndipo ufaidike au uwasaidie ili nawe upate faida?. soma zaidi

Mtu hutoa kile alichonacho
Wakati wa Ujerumani ikiwa imegawanyika enzi hizo za vuguvugu, siku moja watu wa Ujerumani Mashariki walichukua Lori kuukuu wakalijaza takataka na uchafu wenye uvundo wakaenda kulitelekeza Ujerumani Magharibi.
Watu wa Uj/ Magharibi walipoliona wakalichukua wakaziteketeza taka zile, wakalisafisha , kisha wakajaza mikate mizuri, siagi na vyakula vingine vizuri, kisha wakaandika ujumbe huu "KILA MTU HUTOA ALICHO NACHO" wakalirudisha Lori ujerumani Mashariki pamoja na ujumbe huo….. soma zaidi

Mambo Mubimu kujua Kuhusu Tatizo la Shinikizo la damu (Tatizo la presha)
Ni msukumo wa damu ulio juu kuliko inavyotakiwa kwa muda mrefu. Msukumo wa damu huhitajika mwilini ili kusambaza chakula, oksijeni na kutoa uchafu. Shinikizo la damu hupimwa kwa kutumia kifaa kinachoitwa Sphygmomanometer. soma zaidi

Je, nikioga mara baada ya kujamiiana, nitaweza kuwatoa wadudu wa ugonjwa wa zinaa na nisiambukizwe?
Hapana, huwezi kuwatoa wadudu wa magonjwa ya zinaa kwa njia ya kuoga baada ya kujamiiana. Wadudu hao hawakai sehemu ambazo unaweza ukawaondoa, wanaingia mwilini moja kwa moja na wanakaa kwenye damu. Mara wakishaingia kwenye damu, inabidi mtaalamu wa kiafya afanye uchunguzi na akutibu kikamilifu.. soma zaidi

Kujamiiana au kufanya mapenzi salama
Mapenzi salama ni yale yanayofanyika bila wasiwasi wa kupata mimba zisizotarajiwa, magonjwa ya zinaa pamoja na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Mapenzi salama yanaweza kuwa ni pamoja na kumaliza hamu bila ya kujamiiana au kuchukua tahadhari kwa maana ya kutumia kondomu wakati wa kujamiiana.. soma zaidi

MAPENZI NA AFYA
Kwa binadamu maisha ni kupata uzoefu wa mapenzi na kujifunza kila siku kuhusu mapenzi. Mapenzi ni hitaji la msingi la kila binadamu tangu siku ya kwanza ya maisha hadi siku ya mwisho wa maisha. Mapenzi ni hitaji la vitoto vichanga, wavulana na wasichana, wanawake na wanaume, wazee na vikongwe, matajiri na maskini, watawala na raia wa kawaida.
Maumbile yetu wenyewe yanashuhudia kuwa sisi ni viumbe tusioweza kutenganishwa na mapenzi. Mapenzi yako ndani ya bongo na akili zetu, katika moyo na roho zetu, katika damu na nyama zetu na katika kila chembechembe yenye uhai inayotengeneza miili yetu.
Maisha yetu hapa duniani yanachomoza kutoka ndani ya mapenzi na yanajengwa juu ya msingi wa mapenzi. Raha ya binadamu kuishi duniani inategemea sana dozi ya mapenzi yaani kupendwa na kupenda. Mapenzi ndiyo ikulu ya maisha ya mwanadamu, ndicho kitovu na nguzo ya maisha, ndicho kichocheo cha furaha na afya. Mapenzi sio ubunifu wa binadamu, asili na chimbuko la mapenzi ni ndani ya moyo wa Mungu aliyetuumba, Yeye ndie muasisi wa mapenzi.. soma zaidi