Angalia huyu dogo kilichompata, kuigaiga kwake kumemponza
[VIDEO] Angalia huyu dogo kilichompata, kuigaiga kwake kumemponza
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Dondoo muhimu kwa Afya yako unapostuka usiku
Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukisa damu ya kutosha.. soma zaidi

Mambo muhimu kujua Kuhusu Uvimbe kwenye kizazi cha mwanamke
Naamini umeshawahi kusikia kuhusu changamoto ya uvimbe kwenye kizazi kwa Wanawake yaani Fibroids. Uchunguzi unaonesha kuwa kati ya asilimia 30 mpaka 70 ya wanawake wapo kwenye hatari ya kupata tatizohili au wengine Tayari wameshalipata. Mpaka hivi sasa hakuna Sababu ya moja kwa moja ambayo inaelezwa kama chanzo cha tatizo hili.. soma zaidi

Uhusiano uliopo kati ya pesa na muda
Bila shaka upo uhusiano mkubwa kati ya pesa na muda… soma zaidi

Umasikini isiwe sababu wala utajiri isiwe sababu
Umasikini sio sababu ya kuwa mchafu wala utajiri Sio kuwa na kila kitu hata kama hukihitaji. Hebu angalia hapo nyumbani kwako!. soma zaidi

Makala Maarufu
Hadithi ya kusisimua, jifunze kitu hapa
By Malisa GJ,
Alikuwepo mama mmoja aliyekuwa chongo na mwanae alimchukia kwa sababu ya kuwa chongo. Mwanae alijisikia aibu kutembea na mama yake mwenye jicho moja na hakupenda watu wajue kuwa yule ni mama yake.. soma zaidi

Jinsi ya kuhifadhi mayai
Wakulima wanaowekeza kwenye mradi wa kuku, hupata hasara pale ambapo hawatunzi mayai ipasavyo.. soma zaidi

Sababu ya Wasichana wengi kutoolewa ni hizi
KWANINI MABINTI WENGI HAWAOLEWI..!
zifuatazo ni baadhi ya sababu kwanini mabinti wengi wanashindwa KUOLEWA… soma zaidi

Fursa 150 za ujasiriamali, biashara na miradi nchini Tanzania
Zijue Fursa 150 za biashara na miiradi mbalimbali nchini
Tanzania.. soma zaidi

Kupasuka kwa kondomu
Kupasuka kwa kondomu mara nyingi kunasababishwa na kondomu kutowekwa vizuri uumeni. Ni muhimu sana kutoa hewa ndani ya kondomu wakati wa kuvalisha uume. Kwa sababu ile hewa ndani ya kondomu inaweza ikasababisha kondomu kupasuka wakati wa kujamiiana.
Vilevile siyo vizuri kupaka mafuta kama vaselini juu ya kondomu ili kurahisisha kitendo cha kuingiliana. Mafuta kama vaseline yanadhoofisha uimara wa kondomu na yanarahisisha kondomu kupasuka. Mafuta haya yanayowekwa kwenye pakiti ya kondomu yanahifadhi uimara wa kondomu, na ni aina maalumu ya mafuta.
Ni muhimu kukumbuka kwamba mwanaume akivaa kondomu vizuri jinsi tulivyoeleza awali, uwezekano wa kondomu kupasuka ni mdogo sana.. soma zaidi

Kutoa Mimba
Mama mmoja huku akiwa anawasiwasi alienda kwa daktari wa magonjwa ya akina mama na akamwambia
" mwanangu hajafikisha hata mwaka mmoja na mimi nimepata ujauzito tena"
Daktari akamwambia
"ni sawa, kwa hiyo unataka mimi nifanyeje?"
Mama akasema
"nakuomba unisaidie kutoa hii mimba na ninakutegemea mno daktari tafadhali nisaidie"
Daktari baada ya ukimya mfupi na kufikiri kidogo akamwambia yule mama
" Nadhani ninao msaada mzuri zaidi na ambao hautakuathiri kwa kwa namna yoyote kiafya". soma zaidi

Usipuuze kila kitu na usiahirishe kila kitu
USIPUUZE KILA KITU NA USIAHIRISHE KILA KITU. soma zaidi

Je, ni tabia zipi zinazochangia kuenea kwa virusi vya UKIMWI?
Virusi vya UKIMWI kwa kiasi kikubwa vinaenea kwa njia ya kujamii ana. Kama mtu ana wapenzi wengi wa kufanya ngono, uwezekano wa kupata maambukizi unaongezeka,. Hi ni kwa sababau kila mpenzi anaweza kuwa chanzo cha maambukizi endapo watashiriki ngono za aina yeyote (ukeni au sehemu ya haja kubwa) bila kutumia kondomu.
Pia kuchelewa kutibu magonjwa mengine ya zinaa, i inachangia kuenea kwa virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Kwa mfano, kama mtu anaugua ugonjwa wa zinaa, vijidudu vya UKIMWI vinaweza kuingia mwilini kwa urahisi zaidi kwa sababu ya vidonda sehemu zake za siri.
Mwisho, matumizi ya dawa za kulevya pamoja na ulevi wa pombe wa kupindukia yanaweza kuchangia kufanya maamuzi yasiyo sahihi katika matendo ya ngono.. soma zaidi

Jinsi ya Kupika Kalmati
Unga wa ngano (self risen flour 2 vikombe vya chai)
Hamira (yeast kijiko 1 cha chai)
Sukari (sugar 2 vikombe vya chai)
Hiliki (cardamon 1/4 ya kijiko cha chai)
Maji kikombe1 na 1/2
Mafuta. soma zaidi

Matumizi ya kahawa kutibu presha ya kushuka au shinikizo la chini la damu
Kahawa husaidia kuongeza presha au shinikizo la damu. Unashauriwa Kunywa kikombe kimoja cha kahawa kunaweza pia kusaidia kupandisha shinikizo lako la damu kwa muda.. soma zaidi

Soma hii tafadhali!!
πΎπΎπΎSoma hii mpaka mwisho tafadhali. Jina langu ni Mungu. Mara nyingi huna muda nami. Nakupenda na kukubariki kila mara na kila mara nipo nawe. Nahitaji utumie dakika 30 leo ukiwa nami sio maombi lakini kwa kunisifu na kukuabudu. Leo Nahitaji meseji hii iwafikie watu wote duniani kabla ya sita usiku. Je utanisaidia?. soma zaidi

Faida za kila kitu kwenye mti wa papai
Watu wengi hulitumia tunda la papai kwa sababu ya utamu wake. Hata hivyo mbali na kuwa na ladha nzuri, tunda la papai lina faida lukuki kwa afya ya mwanadamu.. soma zaidi

Unapotaka kunyunyiza mbolea ya maji shambani zingatia mambo haya ya muhimu
Ili upate matokeo mazuri wakati wa kunyunyiza mbolea ya maji unatakiwa kufuata vigezo vifuatavyo:
β’ Inashauriwa kutumia mbolea iliyochanganywa vizuri ili kuepukana na kuunguza mimea.
β’ Unatakiwa kutingisha vizuri mbolea yako ya maji kabla ya kunyunyiza. Chembechembe ndogo ambazo hazikuyeyuka zinaweza kuziba mdomo wa bomba la kunyunyizia.
β’ Matokeo mazuri yanaweza kupatikana endapo mbolea imechanganywa vizuri na kunyunyiziwa wakati hakuna upepo.
β’ Unatakiwa kunyunyizia mbolea wakati wa asubuhi au jioni wakati hakuna joto na upepo ukiwa umepungua.. soma zaidi

Nifanyeje ili niepukane na kuwa mgumba?
Sababu kuu ya ugumba unayoweza kujisababishia ni kupata magonjwa ya zinaa. Unaweza kuepuka kuwa mgumba kwa njia ya kuzuia kuambukizwa magonjwa ya zinaa. Magonjwa ya zinaa unaweza kuyazuia kwa njia ya kutojamii ana au kwa njia ya kutumia kondomu kila unapojamii ana. Kuna sababu nyingine za ugumba, nyingine unaweza kuzisababisha na nyingine ni za kimaumbile yako tangu ulipozaliwa.. soma zaidi

Je, zipo sheria zinazolinda watu wenye ulemavu hapa Tanzania?
Ndiyo, zipo sheria
hapa T a n z a n i a
z i n a z o w a l i n d a
watu wenye
ulemavu. Tanzania
ilitia saini na
kuridhia mkataba
wa kimataifa wa
ulinzi, haki na
usawa kwa watu
wenye ulemavu
mwaka 2006. Kwa
kitendo hicho
cha kuridhia
mkataba huo wa
kimataifa Tanzania
imeonyesha nia
yake ya kuwalinda
na kudumisha
haki za watu
wenye ulemavu.
Hata katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka
19772 inakataza ubaguzi wa aina yoyote kwa watu wenye
ulemavu.
Zipo sheria nyingi zinazolinda haki na usawa kwa watu wenye
ulemavu ambazo zinahusika na sekta mbalimbali. Kwa mfano;
elimu na mafunzo, ajira3, matunzo4 na ustawi5 kwa ujumla. Ipo
pia sera ya Taifa kuhusu ulemavu ya mwaka 20046. Sera hii
imeweka mazingira muafaka kwa watu wenye ulemavu kupata
haki sawa katika maendeleo ya kijamii, ikiwa ni pamoja na
kupata huduma na mahitaji ya msingi kutoka katika jamii.. soma zaidi

Je, kuna dawa yoyote ya kutibu ugumba?
Hakuna jibu la ujumla kwa swali hili, kwa sababu tiba ya ugumba inategemea chanzo maalum cha ugumba huo kwa mhusika. Kuna matatizo ya ugumba ambayo yanaweza kutibiwa, lakini mara nyingi ni vigumu au hata haiwezekani kumtibu mwanaume au mwanamke mgumba.
Kwanza kabisa, lazima daktari atafute sababu za ugumba kwa kufanya uchunguzi wa kitaalamu kwa mwanamke na mwanaume. Baada ya uchunguzi daktari anaweza akawashauri kuhusu uwezekano wa kuwatibu. Mara nyingine tiba ni rahisi, lakini matatizo mengine ni mazito na ni vigumu au haiwezekani kuyatibu.. soma zaidi

Sifa za mke mwema wa kuoa anayefaa kupendwa na kuishi nae
Mithali 14:1βKila mwanamke aliye na Hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu hibomoa kwa mikono yake mwenyeweβ Kuna mithali isemayo βMAJUTO MJUKUUβ, ni kawaida kwa wanandoa kuangalia na kulaumiana juu ya matatizo yanayojitokeza, badala ya kutafakari chanzo cha matatizo. Matatizo mengi ya ndoa yanatokana na wanandoa kutokuwa na elimu ya ndoa na kutofuata ushauri wa Mungu aliyeanzisha Ndoa. Baadhi ya sifa za Mwanamke mwenye Hekima β Pia Soma Mithali 31:10-31.. soma zaidi

Mbinu 9 za kuwavutia na kuwateka wanawake kimapenzi
Kati ya wanawake na wanaume wote wawili wanahitaji kuvutiwa na wenza wao ili wadumu katika mahusiano. Kama mwanaume lazima upate wakati wa kujua unatakiwa kufanya nini kwa ajili ya kulifanya penzi lako lizidi kuchanua.
Hali kadhalika kama bado haupo Kwenye mahusiano kuna mambo ambayo ni ya msingi kufanya au kuwa nayo ili uweze kuwa na mvuto zaidi kwa wanawake.. soma zaidi

Mambo yakuzingatia kabla ya kuingia kwenye ndoa
Ujumbe wangu kwako Leo: NI VEMA UKAYAJUA
HAYA KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA:
1. Sherehe ya Harusi ni ya siku moja tu, na Ndoa
ni ya maisha yote.
2. Mwanamume/Mwanamke aliyezoea kuchepuka
kabla ya Ndoa, ataendelea kuchepuka hata baada
ya Ndoa.. soma zaidi

Misingi 6 ya kuwa na Amani na Furaha katika Maisha
HII NI MISINGI 6 YA KUWA AMANI NA FURAHA KATIKA MAISHA:. soma zaidi

Mapishi ya Dagaa wa nazi, nyanya chungu na bamia
Dagaa waliokaushwa (dried anchovy 2 kikombe cha chai)
Bamia (okra 5)
Nyanya chungu (garden egg 5)
Tui la nazi (coconut milk 1 kikombe cha chai)
Nyanya (fresh tomato 2)
Kitunguu (onion 1)
Curry powder 1/2 ya kijiko cha chai
Turmeric powder 1/2 kijiko cha chai
Limao (lemon 1/2)
Chumvi (salt kiasi)
Pilipili (scotch bonnet 1)
Mafuta (veg oil). soma zaidi

Je, kuna njia salama ya kutoa mimba?
Hatari inategemea na mazingira ambapo mimba inatolewa. Kama ni hospitalini na i inatolewa na mtaalamu aliyesomea na kama mazingira na vifaa ni safi, uwezekano wa kutoa mimba salama ni mkubwa. Lakini, hata katika mazingira hayo, shida zinaweza kutokea.. soma zaidi

Ndege zagongana angani
. soma zaidi
. soma zaidi
Mama mwenye virusi vya UKIMWI na UKIMWI, anaweza kuzaa mtoto?
Mama mwenye virusi vya UKIMWI na UKIMWI, anaweza kuzaa mtoto? Na anaweza kumwambukiza mtoto aliye tumboni au wakati wa kumnyonyesha?
Ndiyo, mama mwenye virusi vya UKIMWI na UKIMWI anaweza kubeba mimba kama mwanamke mwingine yeyote. Ila ni muhimu kukumbuka kwamba kuna uwezekano wa mtoto kuambukizwa na Virusi vya UKIMWI.. soma zaidi

Jinsi ya kupika Vileja
VIPIMO. soma zaidi
VIPIMO. soma zaidi
Mambo ya kuzingatia kama una ngozi yenye Mafuta
Ngozi yenye mafuta kwa kawaida huwa inang'ara, nene na yenye rangi iliyotitia. Mara nyingi ngozi yenye mafuta mengi sana huwa na chunusi nyingi na vipelepele na mara nyingine huwa na chunusi zenye vichwa vyeusi. Katika aina hizi za ngozi mafuta hutokana na tezi za sebaceous na kuzalisha mafuta zaidi ya kiwango kinachotakiwa. Mafuta hayo husambaa katika ngozi na kuifanya iwe na mafuta mafuta.. soma zaidi

Haya ndiyo kweli matatizo
Eti jamaa mmoja akaja kwangu akawa anang'ang'ania kunisimulia matatizo ya familia yake.. soma zaidi

Dalili, athari, kinga na tiba ya ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB)
Kifua kikuu ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vya bacteria na kuenezwa kwa njia ya hewa. Mtu mwenye maambukizi ya kifua kifua kikuu akikohoa, kupiga chafya au kutema mate ovyo husambaza vijidudu hewa, huweza kumwabukiza mtu mwingine kama atakuwa hajaanza kutumia dozi ya kifua kikuu.. soma zaidi

Kama una miaka 24 hadi 29 huu ni ujumbe wako, Soma hii tafadhali
ITAKUSAIDIA KIJANA PLEASE ISOME NA UITAFAKARI SINTOFAHAMU MAISHANI KATI YA MIAKA 24 HADI 29
1. Umri mgumu zaidi katika maisha yako ni kati ya miaka 24 hadi 29 hivi. Presha ya kuwa mtu wa aina fulani au levo fulani ya maisha katika umri huo ni kubwa sana.. soma zaidi

Jinsi ya kumjua mwanamke ambaye hajatulia a.k.a kicheche
Dalili ya kwanza ya mwanamke kicheche mi kwamba huwa huwa mara nyingi hawataki mambo ya mahusiano na mambo ya kupendana, wanataka siku zote wawe huru hata mtu yeyote mwenye uwezo zaidi ya aliyenaye akitokea, iwe rahisi kwake kujihusisha naye. Utasikia akisema tuwe Marafiki tuu.. soma zaidi