Angalia huyu jamaa alivyokomaa, anapigwa na tofali lakini wala hayumbi
[VIDEO] Angalia huyu jamaa alivyokomaa, anapigwa na tofali lakini wala hayumbi
Bofya Play (▶) kuanza Video…
.
🎥 Video nyingine kama hii👇
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Siri za kumpata mpenzi bora
Jinsi ya kupata mpenzi bora
1_ lazima na wewe uwe bora kwanza
2_ lazima na wewe ujiheshimu. soma zaidi

Wosia mzuri wa baba kwa mwanae
Mwanangu, mimi baba yako nimeishi miaka mingi kuliko wewe ndio maana unaniita baba. Ni kweli sijasoma kama wewe ulivyosoma Ila mambo niliyokutana nayo tangu nimezaliwa ni elimu tosha ambayo wewe huna. Sasa nataka nikupe Elimu hiyo ili ukijumlisha na elimu yako ya darasani ujue namna nzuri ya kuishi katika dunia hii iliyojaa mishangazo mingi.. soma zaidi

Ujumbe wa leo kwa mtu anayetaka kufanikiwa katika maisha kiuchumi
Kila mtu aliyefanikiwa ukifuatilia historia yake pengine unaweza kukata tamaa kabisa Na kusema mimi hii njia siiwez.. soma zaidi

Kisa cha wizi mpya wa kwenye ATM 🏧 💳
Mdada mmoja ametusimulia kisa hiki.. Wapendwa kuweni macho… Nilikua pale Total nje ya Mliman city nikaenda kutoa hela NBC nikakuta machine haitoi hela since ni master card nikaenda Atm ya CRDB… soma zaidi

Makala Maarufu
Iwapo mtu mzima amejamiiana na mtoto na wote wawili wamekubaliana.
Ni kweli hiyo ni dhuluma na inaitwa unyanyasaji wa kijinsia kwa
mtoto. Watoto wanaweza kushawishiwa kwa kutumia hila kwa
mtu mzima anayejaribu kuwavuta ili waweze kujamiiana naye. Na
zaidi wanaweza wasielewe matatizo au madhara watakayopata
kutokana na kujamiiana kwa afya zao pia wanaweza wasiweze
kufanya maamuzi sahihi kwa vile hawana habari.
Mtoto hana uwezo wa kuchunguza mambo katika akili yake
kabla ya kujamiiana.
Uhusiano unaweza pia usiwe sawa kwa vile yule mtu mzima ana
uwezo na nguvu juu ya yule mtoto. Kwa hiyo itakuwa vigumu
kwa mtoto kujadiliana juu ya matumizi ya kondomu .Hizi ndiyo
sababu kwa nini watoto wanahitaji ulinzi maalum. Ni kosa
kujamiiana na msichana wa umri chini ya miaka 18.
Iwapo mtu anajamiiana na msichana chini ya miaka 18 mtu
huyo anawajibika kisheria, katenda kosa hata kama msichana
amempa ridhaa yake.. soma zaidi

Kwa nini vijana wengine Albino wanaanza kujamiiana katika umri mdogo?
Kuna sababu nyingi ambazo zinamfanya kijana kuanza kujamiiana
katika umri mdogo. Baadhi ya sababu hizi ni kama vile:
• Ushindani kati ya vijana wa kuwa na vitu vya anasa kama
vile simu ya mkononi, saa na vitu vya kuchezea. Ama kutaka
mahitaji ya pesa kwa ajili ya kulipa ada ya shule.
• Shinikizo kutoka kwa rika wa kumfanya mtu ajiingize kwenye
kujamiiana. Shinikizo rika unakuwa na nguvu zaidi kwa
kijana Albino kwani yeye tayari anajiona ametengwa na
hivyo kushawishika zaidi katika mambo wanayofanya wengine
ili akubalike na wanarika hao.
• Kwa kuamini kwamba njia halisi ya kuonyesha mapenzi ni kujamiiana
na pia kulazimika kujamiiana hata kama ni kinyume
na matakwa yake kwa mtazamo kuwa haya ndio mapenzi ya
kweli.. soma zaidi

Sababu ya tatizo la Tumbo kujaa gesi na jinsi ya kujitibu
Tatizo la tumbo kujaa gesi husababishwa na kumeza chakula pamoja na gesi inayotolewa katika vyakula mbalimbali tunavokula ambayo hujaa tumboni na kwenye utumbo mdogo. Hali hii husababisha tumbo kujaa au kuvimba na mtu hutoa gesi hiyo kwa njia ya ushuzi na kubeua.. soma zaidi

Kisa cha mama na mwanae namkwe wake
Kuna kijana mmoja daktari alikwenda kuposa. Binti aliyemposa akamuwekea masharti mazito. Akamwambia chagua mawili imma kunioa mimi au kukaa na mama yako, kwa sababu ukinioa mimi sitokubali mama yako aje hata harusini kwangu! Yule kijana aliemewa. Hakujua la kufanya. Mke anamtaka, lakini mama yake pia anampenda. Hivyo aliamua kuomba ushauri kwa mwalimu wake wa chuo kikuu. Alimwambia: moyo wangu unampenda mno binti niliyekwenda kumposa, lakini pia siwezi kuishi mbali na mama yangu. Nifanye nini?. soma zaidi

Uhusiano uliopo kati ya pesa na muda
Bila shaka upo uhusiano mkubwa kati ya pesa na muda… soma zaidi

Jinsi ya kutambua myama aliye kwenye joto
Uzalishaji wenye faida kwa ng’ombe wa maziwa huhitaji uangalizi wa karibu, unaowezesha kutambua ni wakati gani ng’ombe ana joto, hivyo kufanya uhamilishaji kwa wakati unaotakiwa.

Standing heatKushindwa kutambua joto ni chanzo kikubwa cha urutubishaji hafifu. Mbali na Tanzania, kulingana na utafiti uliofanywa na chuo cha PennState huko Marekani, takriban nusu ya joto hushindwa kutambulika katika uzalishaji wa maziwa nchini humo.. soma zaidi
Sheria kuhusu utoaji mimba
Sheria kuhusu utoaji
mimba zinatofautiana
kati ya nchi na nchi. Hapa
Tanzania utoaji mimba
ni kosa la jinai.5 Kosa la
jinai linamchukulia mtu
hatua aliyetoa mimba na
yule aliyemtoa au
kumsaidia kutoa mimba.
Hata hivyo hapa Tanzania
unaruhusiwa kutoa mimba
pale tu inapokwepo sababu
za kuokoa maisha ya mama
mjamzito kama kuna
matatizo ya kiafya au
pale mimba inatokana na
kubakwa.6 Utoaji mimba hufanyika kwa siri.
Ni hatari iwapo utoaji mimba utafanyika bila ya utaalamu. Yule
anayesaidia kutoa mimba anawajibishwa kisheria. Iwapo utoaji
mimba umefanywa na mtu asiye na ujuzi, kwa mama mwenyewe,
au kifaa kilichotumika ni kichafu, au majani au dawa zimewekwa
ukeni, zinaweza kuhatarisha maisha ya mama.
Ni muhimu hata hivyo kujua kuwa wahudumu wengine hutoa
huduma baada ya mimba kuharibika kwa wale wanaohitaji
msichana au mama, kutokana na matatizo ya utoaji mimba au
kuharibika kwa mimba.. soma zaidi

Mambo usiyoyajua kuhusu mimba na wasichana
Ukitaka kuelewa jinsi mimba i inavyopatikana, lazima uelewe mzunguko wa hedhi wa mwanamke. Baada ya kuvunja ungo (yaani kupata hedhi kwa mara ya kwanza) msichana hupata hedhi mara moja kila mwezi. Kwa wanawake wengi ni kila baada ya siku 28, hata hivyo wengine huweza kupata hedhi chini au zaidi ya siku hizo.
Siku ya kwanza ya hedhi huhesabiwa kama siku ya kwanza ya mzunguko. Baada ya damu kutoka, yai moja linaanza kukua ndani ya kokwa. Na vilevile utando ndani ya mfuko wa uzazi huanza kujengeka i ili ukaribishe mimba. Kati ya siku 11 au 14 yai hupevuka ndani ya kokwa na halafu husafiri kwenye mrija wa kupitisha mayai hadi mfuko wa uzazi. Mwanamke anapata mimba kama yai litaungana na mbegu ya kiume ndani ya mrija wa kupitisha mayai. Ina maana kwamba endapo atajamii ana kipindi cha siku chache kabla ya yai kupevuka au siku yai linapopevuka na kutoka kwenye kokwa, linarutubishwa wakati linaelekea kwenye mji wa mimba, na linapofika hapo kwenye mji wa mimba linatulia kwenye utando wa mji wa mimba. Mtoto anahifadhiwa na kukua ndani ya mji wa uzazi mpaka siku ya kuzaliwa. Kama yai halikurutubishwa, basi yai hufa na hutoka pamoja na utando wa mfuko wa uzazi na hutoka nje ya mwili wa mwanamke kama damu ya hedhi. Yaani, mwanamke atapata hedhi kama kawaida na atafahamu kwamba hajashika mimba.. soma zaidi

Job Ole Ndugai ndie spika mpya wa bunge la Tanzania
Alikuwa naibu wa spika wa bunge lililokamilika.. soma zaidi

Salamu za kiinjilisti kwa wadada
~Yaanike matiti yako kwenye mitandao wee, yabane vizuri na vaa vinguo vya ajabu ili yaonekane…
~Jaa kiburi wanavyokusifia wanaume wazinzi kuwa wewe ni mzuri na umependeza…
~Vaa visiketi vyako vya kubana na kuacha vimapaja vyako nje wanaume wasio na huruma wakusifie kisha wakulaghai na kuzini na wewe…
~Zitoe mimba hizo wanazokupa endelea na huo mchezo mpaka pale utakapoona kuua sio maagizo ya Mungu na wakati huo umeshaua kizazi.. soma zaidi

Tatizo la nguvu za kiume na chanzo chake
Zaid ya asilimia 60 ya wanaume wote duniani wanakumbwa na UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Tatizo hili limesababisha ndoa nying kuyumba na nyingine kuvunjika kabsa.. soma zaidi

Kwa nini watu wanaotumia dawa za kulevya mara nyingi hudanganya?
Wengi wa waathirika wa dawa za kulevya hukataa matatizo yao. Hudanganya kwa sababu hawataki kukubali matatizo yao pia hutoa maelezo kujitetea au kulaumu wengine. Mara nyingi huanza kudanganya au kusaliti marafiki na ndugu pale wanapohitaji fedha kwa ajili ya kununulia dawa za kulevya.. soma zaidi

Jinsi ya kutumia mashonanguo kama dawa ya kuzuia wadudu kwenye mimea
Mashonanguo kwa kiingereza ni Blackjack au kwa kisayansi yanajulikana kama (Bidens
pilosa)
Mashona nguo yanazuia wadudukama vile Vidukari, Siafu, bungo, katapila, chenene (crickets), nyenyere, siafu na inzi weupe.. soma zaidi
Mapishi ya Wali, samaki, bilinganya na spinach
Samaki
Spinach
Bilinganya
Nyanya ya kopo (Kopo 1)
Vitunguu maji
Vitunguu swaumu
Tangawizi
Pilipli mbuzi
Chumvi
Limao
Carry powder
Mchele
Mafuta ya kupikia
Coriander
Hiliki
Amdalasini
Karafuu. soma zaidi
Samaki
Spinach
Bilinganya
Nyanya ya kopo (Kopo 1)
Vitunguu maji
Vitunguu swaumu
Tangawizi
Pilipli mbuzi
Chumvi
Limao
Carry powder
Mchele
Mafuta ya kupikia
Coriander
Hiliki
Amdalasini
Karafuu. soma zaidi
UPENDO WA MUNGU
Upendo wa Mungu hauna mipaka, Soma makala Hizi Zifuatazo;. soma zaidi

USIPITE BILA KUSOMA HII
Siku moja jioni katika mji flani, kulikuwa na basi likisafiri kutoka mji huo kuelekea mji mwingine. Lilikuwa ni basi kubwa na limejaa abiria. Wakati wakiendelea na safari, ghafla, mvua kubwa iliyoambatana na radi ikaanza kunyesha. Dereva hakuogopa, wala abiria, wakaendelea na safari. Mara wakati wanaenda, radi ikaanza kufuatilia gari. Kila wakienda, radi inapiga karibu na basi kana kwamba inalifuata basi. Likisimama, radi inapiga pembezoni mwa basi.. soma zaidi

Jinsi ya kuzuia magonjwa ya kuku
Ufugaji wa kuku una faida kubwa, lakini mkulima anatakiwa kuzuia kadri awezavyo uwezekano wa kuwepo magonjwa shambulizi.. soma zaidi

Hii ndio sababu kwa nini mabinti wengi hawaolewi
Zifuatazo ni baadhi ya sababu kwanini mabinti wengi wanashindwa KUOLEWA… soma zaidi

Jinsi ya kupika mkate wa sembe
Unga sembe glass 1
Unga ngano glass 1
Sukari glass 1 (unaweza kupunguza kidogo)
Maziwa glass 1
Mafuta 1/2 glass
Mayai 4
Iliki iliosagwa 2tbs
Bp 2tbs. soma zaidi

Jinsi ya kupika Mseto Kwa Mchuzi Wa Samaki Wa Nazi
Tanbihi: Kiasi ya vipimo inategemea wingi wa watu, unaweza kupunguza au kuongeza. Hiki ni kiasi cha watu 6 takriban.. soma zaidi

Njia za kutunza nywele zako
Suala la kutunza nywele za asili wengi hutamani japokuwa ukweli kwamba kuna changamoto kadhaa, lakini kwa mtu aliye makini anao uwezo wa kupata kilicho bora katika nyewle zake. Leo tunaangazia vitu vya kufanya ili kukuza na kutunza nywele za asili.. soma zaidi

Mapishi ya mboga ya mnavu
Mnavu mkono 1
Kitungu 1
Karoti 2
Maziwa kikombe 1
Mafuta vijiko viubwa 4
Karanga zilizosagwa kikombe 1
Chumvi kiasi ½. soma zaidi
Mnavu mkono 1
Kitungu 1
Karoti 2
Maziwa kikombe 1
Mafuta vijiko viubwa 4
Karanga zilizosagwa kikombe 1
Chumvi kiasi ½. soma zaidi
Mama mwenye virusi vya UKIMWI na UKIMWI, anaweza kuzaa mtoto?
Mama mwenye virusi vya UKIMWI na UKIMWI, anaweza kuzaa mtoto? Na anaweza kumwambukiza mtoto aliye tumboni au wakati wa kumnyonyesha?
Ndiyo, mama mwenye virusi vya UKIMWI na UKIMWI anaweza kubeba mimba kama mwanamke mwingine yeyote. Ila ni muhimu kukumbuka kwamba kuna uwezekano wa mtoto kuambukizwa na Virusi vya UKIMWI.. soma zaidi

Jinsi ya kufanya kupunguza mwili kwa kupanga ulaji wa chakula
Ulaji wa vyakula vingi vya wanga na mafuta ni chanzo kikubwa cha unene na uzito kuongezeka. Vyakula kama ugali,wali,mkate mweupe,bia na pombe za kienyeji zinazotokana na wanga (kimea) huchangia kuongezeka kwa uzito. Matumizi ya aina hii ya chakula ni muhimu kupunguzwa katika mlo wako.. soma zaidi

Je, ni kweli kuwa ulemavu unaweza kugundulika mara tu mtoto anapozaliwa?
Ni kweli kuwa daktari anaweza kufanya vipimo vya kugundua
kama mtoto aliye tumboni ni mwenye ulemavu au la. Baadhi ya
vipimo hivi ni “ultra sound” ambacho kinawezesha kuona picha ya
umbo la mtoto akiwa bado tumboni. Vipimo vingine vinaangalia
damu. Lakini ualbino hauwezi kugundulika kwa vipimo hivi.
Pia baada ya kuzaliwa daktari ana uwezo wa kutambua kama
mtoto ana ulemavu / hitilafu kama vile moyo, kwenye damu
kama vile “sickle cell”. Ualbino unaweza kugundulika mara tu
mtoto anapozaliwa au baada ya wiki chache.. soma zaidi

Jinsi ya kuimarisha ndoa zetu
Ndoa ni makubaliano kati ya watu wawili wenye jinsia mbili tofauti kuishi pamoja kama mume na mke.. soma zaidi

Jinsi ya kufuga vifaranga
Kwa karne na miaka mingi, ufugaji wa kuku imekuwa ni kazi muhimu na inayokubalika katika jamii nyingi. Ni kazi isiyohitaji gharama kubwa sana, ambayo imekuwa na mafanikio kwa kiasi kikubwa kwa wanaiofanya kibiashara.. soma zaidi

Madhara ya Kujichubua
Katika baadhi ya sehemu duniani watu wanaamini kuwa ngozi angavu huashiria uzuri, utajiri na uwezo(kifedha) alionao mtu.Katika baadhi ya sehemu watu wenye ngozi nyeusi huchukuliwa kuwa wapo chini ya kiwango, hii hupelekea watu hawa kutumia ving´arisha ngozi kama krimu, vidonge au nyenzo zingine kubadilisha ngozi zao.. soma zaidi

SIRI ZA MWANAMKE: Soma yote unayotamani kujua kuhusu wanawake
Wanawake wengi hutegemea kuwa wanapokuwa na wapenzi watasaidiwa katika matatizo ya kimaisha na migogoro ya kimawazo. Kwa mfano ushauri juu ya maisha yao, kulindwa na hatari za kimaisha, kusaidiwa katika shida na kuongozwa pale wanapohisi kushindwa kufanya jambo. Kama mwanaume hatamfanyia mpenzi wake hili atakuwa amekosa sifa za kuteka penzi la mwanamke.. soma zaidi

Jinsi ya kutengeneza saladi
Tango 1/2
Kitunguu 1/2
Cherry tomato 8
Lettice kiasi
Green olives kidogo
Black olives kidogo
Hoho jekundu 1
Carrot
Giligilani kidogo. soma zaidi
Tango 1/2
Kitunguu 1/2
Cherry tomato 8
Lettice kiasi
Green olives kidogo
Black olives kidogo
Hoho jekundu 1
Carrot
Giligilani kidogo. soma zaidi