Angalia huyu jamaa anajitestia bastola yake kama inafanya kazi
[VIDEO] Angalia huyu jamaa anajitestia bastola yake kama inafanya kazi
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
π₯ Video nyingine kama hiiπ
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Kwa nini wanaume huumia zaidi kwenye mapenzi π
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, watu kutoka koo, makabila, mataifa na wenye rangi tofauti hujikuta katika dimbwi zito.
Hujikuta katika wakati ambao kila mmoja haoni kitu kingine cha thamani zaidi ya mpenzi wake. Huu ni wakati ambao si tu kuwa neno usaliti linakuwa halipo bali wapenzi hawahisi hata kama kuna maisha bila ya yule wampendaye.
Usaliti ni jambo lenye maumivu yasiyovumilika hasa ikiwa ni jambo ambalo halikutarajiwa. Mtu hahisi kama itatokea mpaka inapotokea.

Mwishoni mwa wiki hii kumeenea picha za mwanaume aliyejikatisha uhai kisa mapenzi. Hii ikanikumbusha utafiti usio rasmi nilio ahi kufanya juu ya kwanini wanaume huumizwa zaidi na usaliti kuliko wanawake.. soma zaidi
Je, ni kweli au si kweli kuwa Wadada waliosoma sana hawana sifa ya kuwa mke
Halina ukweli kwa sehemu, na lina ukweli kwa sehemu. Ni hivi : ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Shule inamfanya mtu awe overconfidence na kukosa unyenyekevu, hii ni output ya makuzi na malezi aliyopita plus msukumo wa marafiki waigizaji kwenye mahusiano. Mwanamke msomi can spend any amount of cash on saloon, urembo na vitu binafsi vya luxury , but utasikia kazi ya mwanamme ni kulisha family kujenga etc, na shati lake likichakaa atajijua, hata hela yavkunyolea ndevu tu ni yeye π€π€ but hana haki ya kuhoji income ya mkewe. Si mnakumbuka message ya 5000 za baba +2000 za mama=5000 za familia ,hiki ni practical kibonzo kwa some families.. soma zaidi

Kuwa na msimamo katika mahusiano
Sio Kila EX Wako Anayeomba Mrudiane Anamaanisha! Wengine Huomba Kurudi Ili Wakutesti Tu Jinsi Ulivyo Mbulula,Jinsi Usivyo Na Msimamo Na Jinsi Ulivyo CHEAP Na Huna Misimamo Wala Future.. soma zaidi

Nini kinachokufanya udhani utashindwa sasa
Kwa mujibu wa Biologia, baada ya tendo la kukutana kimwili takribani mbegu milioni 200 hadi 300 hutolewa na mwanaume…halafu zote huanza kupiga mbizi kuogelea kwenye njia safarini kukutana na yai la kike.. soma zaidi

Makala Maarufu
Je, ukinywa pombe unaongeza damu?
Si kweli.
Pombe haiongezi damu, vitamini wala nguvu. Ukweli ni kwamba unywaji pombe kupita kiasi huvuruga ufyonzaji wa vitamini na madini kutoka kwenye chakula kuingia mwilini.. soma zaidi
Mambo muhimu kujua Kuhusu Uvimbe kwenye kizazi cha mwanamke
Naamini umeshawahi kusikia kuhusu changamoto ya uvimbe kwenye kizazi kwa Wanawake yaani Fibroids. Uchunguzi unaonesha kuwa kati ya asilimia 30 mpaka 70 ya wanawake wapo kwenye hatari ya kupata tatizohili au wengine Tayari wameshalipata. Mpaka hivi sasa hakuna Sababu ya moja kwa moja ambayo inaelezwa kama chanzo cha tatizo hili.. soma zaidi

Kwa nini Albino wengi hawataki kuoa/kuolewa au kujihusisha na uhusiano wa kimapenzi?
Watu ambao wanaonekana tofauti na wengine (ama kwa misingi
ya kabila, rangi, dini, kimo au hata ualbino) wanapata shida
ya kujichanganya katika jamii. Jambo hili linazidi kufanya hali
kuwa ngumu katika kupata nafasi ya kuanza uhusiano. Kwa hiyo,
siyo sahihi kulinganisha hali hii kwa watu wanaoishi na ualbino
kwani hali hii huwatokea watu tofauti.
Albino labda hawajiamini katika kuanzisha uhusiano wa
kimapenzi kutokana na uzoefu wa kunyanyapaliwa na kubaguliwa.
Wao mara nyingi wanakuwa na woga wa kukataliwa na labda
aliye na nia ya kutaka kuwa mwenzi. Awali ya yote ni kwamba
ili upendwe ni lazima wewe ujiamini na kujipenda mwenyewe.
Changamoto walizonazo familia zenye watoto wanaoishi
na ualbino ni hasa katika kuwajengea hali ya kujiamini na
kuwaelimisha kuwa ulemavu walionao ni katika muonekano
(wa ngozi, nywele na macho). Pamoja na kuwa na muonekano
huo, watoto Albino wana uwezo sawa kama watu wengine.. soma zaidi

Mapishi ya Supu Ya Maboga
Blue band vijiko vikubwa 2
Maziwa vikombe 2
Royco kijiko kikubwa 1-2
Pilipili manga (unga) kijiko cha 1
Chumvi kiasi Maji lita 2-3
Boga kipande Β½
Viazi mviringo 2
Vitunguu 2
Karoti 2
Nyanya 2. soma zaidi
Blue band vijiko vikubwa 2
Maziwa vikombe 2
Royco kijiko kikubwa 1-2
Pilipili manga (unga) kijiko cha 1
Chumvi kiasi Maji lita 2-3
Boga kipande Β½
Viazi mviringo 2
Vitunguu 2
Karoti 2
Nyanya 2. soma zaidi
Jinsi ya kutengeneza Rock-cakes Za Njugu Na Matunda Makavu
Unga - 4 Vikombe. soma zaidi
Unga - 4 Vikombe. soma zaidi
Mapishi ya Biskuti Za Mayai
Unga 3 Vikombe. soma zaidi
Unga 3 Vikombe. soma zaidi
Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia barafu
Barafu inaweza kuzipunguza chunusi zionekane ni ndogo na kupunguza madhara yatokanayo na chunusi.. soma zaidi

Kwa ushauri huu jitambue upate mafanikio
Ukiona unalala masaa 9 wakati Donald Trump analala manne tu. Afu unaamka huna nauli na bado kesho unalala masaa manane tena.. Ujue unashabikia mafanikio.
[[module Redirect destination="https://ackyshine.com/ujasiriamali/kwa-ushauri-huu-jitambue-upate-mafanikio"]]. soma zaidi

Mapishi ya Pilau Ya Samaki Wa Tuna Na Mboga
Mchele - 2 Mugs. soma zaidi
Mchele - 2 Mugs. soma zaidi
Mambo muhimu kuyajua kuhusu nchi ya Tanzania
Haya ndio mambo ninayoyafahamu kuhusu TANZANIA. soma zaidi

Jinsi ya kufuga vizuri
Mipango thabiti huleta mafanikio katika ufugaji wa ngβombe wa maziwa. Wafugaji waliofanikiwa wanafahamu fika kuwa katika uzalishaji wa maziwa 20% inatokana na aina ya ngβombe na 80% matunzo.. soma zaidi

Sababu ya meno kubadilika rangi
Wapo baadhi ya watu wanashindwa hata kuachia kicheko chenye bashasha hii ni kwa sababu meno yao yamekuwa na rangi, hivyo kuwafanya watu hao kuona aiabu. Pia watu wengi wakiona meno yana rangi ya njano hudhani ni machafu, meusi yanahitaji kusafishwa ili yawe meupe.. soma zaidi

Zaidi ya wafanyakazi 500 wa kampuni ya Grumet Fund kupitia kitengo chake za ujenzi wafanya maandamano
Zaidi ya wafanyakazi 500 wa kampuni ya Grumet Fund kupitia kitengo chake za ujenzi wameafanya mandamano makubwa kwa kupinga vitendo vya unyanyasaji na kufukuzwa ovyo kunakodaiwa kufanyiwa na uongozi wa kampuni ambao wakati wakipinga kufanyishwa kazi miaka kumi bila kuajiriwa na kushindwa kuongeza malipo ya mshahara kutoka shilingi 3,500 kwa siku hadi shilingi 8000.. soma zaidi

Kwa nini watu wanaamini kuwa Albino hawana maambukizo ya Virusi vya UKIMWI (VVU)?
Imani hiyo si kweli kabisa. Inawezekana ni kupotoshwa kwa
makusudi wa ukweli kuhusu jambo hilo kunakofanywa na watu
wachache katika jamii ili kuendeleza matendo yao maovu. Watu
wanaweza kufuata imani potofu na zisizo na msingi wowote ili
kukwepa ukweli kuhusu VVU na UKIMWI. Kwa mfano; imani
kuwa mtu anaweza kupona UKIMWI kwa kufanya mapenzi na
bikira, mlemavu au Albino ni za uongo na hazina msingi wowote.
VVU huambukizwa kupitia majimaji ya mwili, na njia kuu ya
maambukizo ni kujamiiana bila kinga. Njia pekee za kuzuia
maambukizo ni kuacha kabisa kufanya ngono, kuwa na mpenzi
mmoja muaminifu au kutumia kondomu.Watu wanaoeneza imani hizi
potofu wanatafuta njia mbadala ya kuhalalisha tabia zao mbaya.. soma zaidi

Kulambana sehemu za siri ni salama kiafya? Je, tendo hili ni la kawaida?
Si rahisi kusema ni kitendo kipi kilicho cha kawaida na kisicho cha kawaida. Kulamba ni jambo linalofanyika. soma zaidi

Jinsi ya kujua kama mwanamke anakupenda kweli kwa dhati
Mwanamke anayekupenda atakuwa tayari kujitoa muhanga kwa ajili yako. Mwanamke anayekupenda atakua tayari kufanya chochote kile kwa ajili yako kitu ambacho hawezi kufanya kwa ajili ya mtu mwingine yoyote.. soma zaidi

Jinsi ya kusafisha na Kutunza Kucha zako
Inashauriwa kwamba kabla ya kuchukuwa uamuzi wa kwenda kununua vifaa husika ambavyo utavitumia unapaswa kufahamu aina ya kucha ili uweze kununua vifaa vinavyoendana na kucha zako kwa lengo la kuzilinda badala ya kuvamia na kuziharibu.. soma zaidi

Mapishi ya Chai ya maziwa, mandazi, uyoga na mayai
Mandazi (angalia jinsi ya kupika katika recipe ya mandazi ya nyuma)
Uyoga (mashroom kikombe 1 cha chai)
Mayai (eggs 4)
Hoho (greenpepper 1/4 ya hoho)
Nyanya (fresh tomato 1)
Kitunguu (onion 1/4 ya kitunguu)
Chumvi (salt)
Mafuta (vegetable oil)
Hiliki nzima (cardamon 4)
Masala ya chai (tea masala 1 kijiko cha chai)
Pilipili mtama iliyosagwa (ground black pepper 1/4 ya kijiko cha chai)
Maziwa (fresh milk 1 kikombe cha chai)
Majani ya chai (tea leaves)
Maji kiasi.
Sukari (sugar). soma zaidi

Jinsia ya mtoto angali mimba
Mwili wa mwanaume unatengeneza aina mbili za mbegu. Kuna mbegu zinazokua kuwa mtoto wa kiume na kuna mbegu zinazokua kuwa mtoto wa kike. Ile mbegu inayofika kwenye yai kwanza, inarutubisha yai na ni wakati uleule, jinsia ya mtoto i inatokea. Uwezekano wa kumpata mtoto wa kike au wa kiume unafanana, na hii ni kweli katika nchi zote duniani.. soma zaidi

Faida za mafuta ya nazi kiafya kwenye mwili
Wakati mafuta ya nazi yakiwa yamemengβenywa na mwili huhamasisha uundwaji wa nguvu mpya za ubongo zijulikanazo kama βketonesβ.. soma zaidi

Mambo ya Msingi kujua kuhusu rangi ya mkojo wako
Je unafahamu ya kwamba rangi ya mkoja inakupa matokea sahihi kuhusu afya yako? Kama jibu ni hapana basi makala haya yanakusu wewe, kwani rangi ya mkoja kwa mujibu wa watalamu wa afya unauwezo mkubwa wa kukuoa ukweli juu ya afya yako.. soma zaidi

Habari na historia ya Kijiji cha Ipole
Ipole ni moja ya kijiji kinachoipatikana wilayani Sikonge, mkoani Tabora, takribani kilomita za umbali 22 kutoka wilayani Sikonge na kilomita 101 kutoka Tabora mjini. Ni moja ya kijiji ambacho kina kutanisha barabara ya kutoka Mbeya kuelekea Tabora, Shinyanga na Mwanza na pia barabaraya Rukwa kwenda Tabora, Shinyanga na Mwanza. Ukiwa kwenye kijiji hiki unaweza kuona safu za milima ya Ipole pamoja na misitu yenye kila aina ya miti.. soma zaidi

Jinsi ilivyo hatari kumfunga mbuzi kamba shingoni
Ni dhahiri kuwa wafugaji wengi wana bidii sana na kuwa na matumaini makubwa kutokana na kazi zao. Hari ya kuwa na uzalishaji mzuri kutokana na mifugo yao pia ni dhahiri.. soma zaidi

Utengenezaji wa Makalio ni Hatari na Hutakiwi kufanya
Mwanamke wa miaka mitatu amefariki baada ya kuripotiwa kuelekea Uturuki kwa aina ya upasuaji kwa jina Brazilian Butt Lift [uongezaji wa makalio}.. soma zaidi

Inakuaje mwanaume anaonyesha dalili za magonjwa ya zinaa zaidi kuliko mwanamke?
Wanaume mara nyingi huambukizwa sehemu za mrija wa mkojo. Katika sehemu hizi ni rahisi kusikia mwasho au maumivu zaidi kuliko kwenye via vya uzazi vya ndani vya mwanamke. Hasa wakati wa kukojoa, chumvichumvi iliyo kwenye mkojo inagusa vidonda ndani ya mrija. Hivyo, ni rahisi zaidi kwa mwanaume kujua kuwa ameambukizwa.
Vilevile mwanaume akiambukizwa na magonjwa haya, sehemu ya mbele ya njia ya mkojo inashambuliwa na huanza kutoa usaha mzito. Lakini uke wa mwanamke hutoa kemikali ambazo hufanya wadudu kutoweza kushambulia kwa haraka, na dalili hazionekani kwa urahisi. Bahati mbaya, kemikali hizi hazizuii kuingia kwa ugonjwa, lakini dalili huchelewa kuonekana.
Usisahau kwamba kama mwanaume anajitambua kuwa na dalili za kuumwa magonjwa ya zinaa, mpenzi wake pia anatakiwa kwenda kliniki ili apate uchunguzi na tiba.. soma zaidi

Mambo 8 ya kuzingatia kabla ya kuleta mifugo (kuku, ng'ombe,mbuzi n.k) wapya bandani
Mambo hayo ni haya yafuatayo;
1. Hakikisha unaondoa matandazo yote ndani ya nyumba,
2. Ondoa vyombo vya kulishia na kunyweshea.. soma zaidi

Jinsi ya kupika Biskuti Za Ufuta Na Jam
Unga 2 Viwili. soma zaidi
Unga 2 Viwili. soma zaidi
Nimwambie nini mtu anayejaribu kunishawishi nijihusishe na makundi ya watu wanaokunywa pombe na wavutaji sigara?
Kama umeamua kutovuta sigara wala kunywa pombe ni uamuzi
mzuri sana na wa kiafya. Ni haki yako binafsi kuchukua uamuzi
huu, kama vile watu wengine pia wanavyoruhusiwa kufanya
maamuzi kuhusu maisha yao wenyewe.. soma zaidi

Kwa nini uume unasimama mara nyingine wakati wa kuamka asubuhi?
Ni kweli kwamba mara nyingi hali hii huwatokea wavulana na wanaume. Ndani ya uume kuna mishipa mingi ya damu na kama damu nyingi i i ikienda sehemu hii i ii inasababisha uume kuwa mgumu na kusimama. Mtu anapolala huwa ametulia na hivyo damu inaweza kusukumwa kuelekea kwenye uume. Kwa hiyo, msukumo wa damu ndani ya uume ni sababu pekee ya uume kusimama. Pia kujaa kwa kibofu cha mkojo huweza kusababisha uume kusimama wakati wa kuamka usingizini asubuhi.. soma zaidi

Je, ni kweli kwamba kufanya ngono na bikira inaponyesha maambukizi?
Hapana, huwezi kupona Virusi vya UKIMWI au UKIMWI kwa kufanya ngono na bikira. Hakuna tiba ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI!
Pamoja na hayo, kama utakuwa na maambukizi ya magonjwa ya ngono, utaweka afya ya huyo bikira katika hatari kama ngono hiyo i tafanyika bila kinga.. soma zaidi