Angalia huyu kajaribu kuunda helikopta
[VIDEO] Angalia huyu kajaribu kuunda helikopta
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
π₯ Video nyingine kama hiiπ
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Kwa nini wanaume huumia zaidi kwenye mapenzi π
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, watu kutoka koo, makabila, mataifa na wenye rangi tofauti hujikuta katika dimbwi zito.
Hujikuta katika wakati ambao kila mmoja haoni kitu kingine cha thamani zaidi ya mpenzi wake. Huu ni wakati ambao si tu kuwa neno usaliti linakuwa halipo bali wapenzi hawahisi hata kama kuna maisha bila ya yule wampendaye.
Usaliti ni jambo lenye maumivu yasiyovumilika hasa ikiwa ni jambo ambalo halikutarajiwa. Mtu hahisi kama itatokea mpaka inapotokea.

Mwishoni mwa wiki hii kumeenea picha za mwanaume aliyejikatisha uhai kisa mapenzi. Hii ikanikumbusha utafiti usio rasmi nilio ahi kufanya juu ya kwanini wanaume huumizwa zaidi na usaliti kuliko wanawake.. soma zaidi
Je, ni kweli au si kweli kuwa Wadada waliosoma sana hawana sifa ya kuwa mke
Halina ukweli kwa sehemu, na lina ukweli kwa sehemu. Ni hivi : ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Shule inamfanya mtu awe overconfidence na kukosa unyenyekevu, hii ni output ya makuzi na malezi aliyopita plus msukumo wa marafiki waigizaji kwenye mahusiano. Mwanamke msomi can spend any amount of cash on saloon, urembo na vitu binafsi vya luxury , but utasikia kazi ya mwanamme ni kulisha family kujenga etc, na shati lake likichakaa atajijua, hata hela yavkunyolea ndevu tu ni yeye π€π€ but hana haki ya kuhoji income ya mkewe. Si mnakumbuka message ya 5000 za baba +2000 za mama=5000 za familia ,hiki ni practical kibonzo kwa some families.. soma zaidi

Kuwa na msimamo katika mahusiano
Sio Kila EX Wako Anayeomba Mrudiane Anamaanisha! Wengine Huomba Kurudi Ili Wakutesti Tu Jinsi Ulivyo Mbulula,Jinsi Usivyo Na Msimamo Na Jinsi Ulivyo CHEAP Na Huna Misimamo Wala Future.. soma zaidi

Nini kinachokufanya udhani utashindwa sasa
Kwa mujibu wa Biologia, baada ya tendo la kukutana kimwili takribani mbegu milioni 200 hadi 300 hutolewa na mwanaume…halafu zote huanza kupiga mbizi kuogelea kwenye njia safarini kukutana na yai la kike.. soma zaidi

Makala Maarufu
Siku Nyerere alivyotinga Kizimbani akituhumiwa kuvamia Uganda Kijeshi
WAKATI akiondoka Dar es Salaam kuelekea nchini Liberia kuhudhuria Mkutano wa 16 wa Wakuu wa nchi Huru za Kiafrika (OAU) uliopangwa kufanyika Julai 17, 1979, Rais wa Awamu ya kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alifahamu fika, kwamba pasingekuwa na vigelegele kwake mjini Monrovia kwa kushinda vita dhidi ya nduli Idi Amin wa Uganda, aliyevamia nchi yake Oktoba 30, 1978, na yeye Mwalimu akalazimika kuingia vitani bila kupenda.. soma zaidi

Utani lakini umeelewa!!!
Mdada mmoja alitaka kujua kiasi gani
anapendwa na mume wake, hivyo akataka kujua
mumewe atafanya nini endapo ataamua
kuondoka na kumuacha!
Mwanamke huyo akaamua kuandika barua
inayosema "Samahani mume wangu, nimeamua
kuondoka na kwenda kuanza maisha mapya
mbali na wewe". soma zaidi

Madhara ya Uvaaji wa Wigi au nywele Bandia
Katika miongo kadhaa iliyopita, uvaaji wa wigi umekuwa fasheni katika sekta ya urembo na hutumika hususani na wanawake. Ingawa uvaaji wa wigi huwafanya wanawake hao kuonekana mithili ya mtu aliyevaa kofia ngumu (helmet), lakini yaonekana ni mapendeleo ya wengi.. soma zaidi

Kinga ya mwili ni nini?
Kinga ya mwili ni mpangilio wa mwili kujikinga na maradhi. Chembechembe nyeupe zilizopo katika damu ya mwili mzima wa binadamu zina kazi maalum katika kuhakikisha kinga ya mwili i i ipo. Kama askari jeshi wanaolinda nchi yao, chembechembe hizo kwa pamoja zinalinda mwili dhidi ya magonjwa. Hivyo, kama chembeche-mbe hizo zikishambuliwa, mwili hauwezi kujikinga na maradhi au magonjwa.. soma zaidi

Jinsi siku ya kichaa cha mbwa duniani ilivyoanza
SIKU YA KICHAA CHA MBWA DUNIANI. soma zaidi

Mambo ya Kuzingatia ili uwe mrembo siku zote
Katika Jamii nyingi duniani, dhana ya urembo imekuwa na mitazamo tofauti kwa watu wengi. Kila mmoja anautafakari urembo kwa namna yake kulingana na malezi na tamaduni za mahali husika. Wako wanaoamini kuwa mrembo ni lazima awe na ngozi nyeupe, wengine hudhani kuwa ili kuonekana mrembo, lazima uwe na nywele ndefu, lakini pia wapo wanaodhani kwamba ili uwe mrembo ni lazima uwe na umbo namba nane na wapo wanaojua urembo ni kuwa mwembamba (kimbaumbau au Miss) au kuwa mrefu na wapo wanaoamini urembo ni kuwa mnene.. soma zaidi

Mapishi ya Pilau Ya Mchicha
Mchele - 3 Vikombe. soma zaidi
Mchele - 3 Vikombe. soma zaidi
JINSI YA KUACHA KUJICHUA AU KUPIGA PUNYETO KWA WANAWAKE NA WANAUME
Hebu niambie…umeshawahi kujichua? Mara ngapi? Bado unaendelea na mchezo huo? Vipi, umewahi kusikia watu wakizungumza kuhusu suala hilo? Najua unaona aibu, hasa kama una tabia hiyo. Usiogope rafiki yangu, leo nitazungumza na wewe taratibu halafu mwisho kabisa nitakuacha na tabasamu la nguvu!. soma zaidi

Kuna fikra kuwa Albino ni watu wa kawaida je, kisayansi hii ni kweli?
Hii ni kweli kabisa. Watu wanaoishi na ualbino ni watu wa
kawaida kama binadamu wengine wote na wanaweza kuwa
wa aina tofauti kama binadamu wengine. Wanaweza kuwa
wadogo au warefu, wanene au wembamba, warembo au wasio
warembo, wenye vipaji au wa wastani. Wanaweza kuwa na
uthubutu au wenye aibu, wachangamfu au jeuri, wenye tabia ya
ushirikiano au wenye tabia ya uhasama.
Kumbuka kuwa utofauti wao upo tu kwenye muonekano wa ukosefu
wa rangi kwenye ngozi, nywele na macho. Wakati umefika kwa
jamii kujifunza kuwakubali Albino kama binadamu wengine, wenye
hisia, mahitaji, uwezo na wanastahili haki zote za binadamu kama
alivyo mtu mwingine yoyote.. soma zaidi

Mambo ya Msingi kuyajua kuhusu Ugonjwa wa Kipindupindu
Mojawapo kati ya magonjwa yanayohusishwa na umaskini na uchafu wa kupindukia ni ugonjwa wa Kipindupindu. Inaripotiwa kuwa Kipingupindu ni miongoni mwa magonjwa ambayo huathiri jamii maskini zaidi kwa kiasi kikubwa hasa hasa kwenye nchi zinazoendelea, kiasi kwamba Shirika la Afya Duniani (WHO) limeuweka ugonjwa huu kama mojawapo ya viashiria vya maendeleo ya jamii husika.. soma zaidi

Kushindwa au vikwazo sio sababu ya kutofanikiwa
"Nilibakwa nikiwa na miaka 9 lakini leo mimi ni mmoja wa wanawake wenye ushawishi mkubwa duniani"- *OPRAH WINFREY!*. soma zaidi

Hizi ndizo sababu kwa nini ule Tende kipindi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
Kitaalamu chakula unachokula leo ndio kinaamua hali ya afya yako kwa siku za usoni. Na ni muhimu sana kuzingatia ulaji bora wa chakula na si kula ilimradi umekula. Wataalamu wa lishe wanatuambia kuwa ulaji unaofaa hutokana na kula chakula mchanganyiko kulingana na wakati.. soma zaidi

Mambo muhimu kuyajua katika maisha
1- chumvi ikizidi kwenye wali weka kiazi mviringo kati kati kikiwa kimemenywa chumvi itapungua. soma zaidi

Jinsi ya kulisha mbuzi wa maziwa
Jinsi Ya Kuwalisha Mbuzi Wa Maziwa
Ni muhimu kufahamu kuwa chakula unachomlisha mbuzi wako ndicho kitakachotengeneza maziwa hivyo basi ni muhimu:. soma zaidi

Jinsi ya kupika Juisi Ya Mabungo
Mahitaji. soma zaidi
Mahitaji. soma zaidi
Mapishi ya Biriani Ya Kuku Wa Kuchoma (Grilled)
Mchele wa Basmati /Pishori - 4 vikombe. soma zaidi

Rais FRANCOIS HOLLANDE wa UFARANSA ametangaza kwamba nchi yake iko kwenye vita dhidi ya wapiganaji wa kikundi cha ISLAMIC STATE
Akihutubia mabaraza mawili ya bunge hapo jana HOLLANDE aliapa kuwa UFARANSA italiangamiza kundi hilo.. soma zaidi

Kukosa hela sio tatizo bali ndio kigezo ya kutafuta hela
To ur Success!. soma zaidi
To ur Success!. soma zaidi
Jinsi ya kusafisha na Kutunza Kucha zako
Inashauriwa kwamba kabla ya kuchukuwa uamuzi wa kwenda kununua vifaa husika ambavyo utavitumia unapaswa kufahamu aina ya kucha ili uweze kununua vifaa vinavyoendana na kucha zako kwa lengo la kuzilinda badala ya kuvamia na kuziharibu.. soma zaidi

Jinsi ya kufuga kondoo.
βKatika eneo letu, idadi ya wafugaji wa kondoo imepungua sana, wakati idadi ya wanohitaji imeongezeka hasa raia wa kigeni, na bei iko juu. Naomba maelezo namna ya ufugaji bora wa kondoo.β β Ester Qwang, msomaji wa MkM,Babati

Kwa siku za nyuma, jumla ya idadi ya kondoo wanaofugwa hapa nchini Tanzania ilikaribiana kuwa sawa na idadi ya mbuzi nchini kote. Kwa sasa, idadi ya kondoo imepungua kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na idadi ya mbuzi. Hii imetokana na wafugaji kuhamishia mapenzi yao kwenye ufugaji wa mbuzi.. soma zaidi
Dalili za homa ya dengu (Dengue fever)
Dengue ni moja kati ya homa kali inayodhoofisha na kuambatana na maumivu makali. Kwa sasa hakuna kinga ya homa ya dengue, njia pekee ya kuepuka ugonjwa huu ni kuzuia kuumwa na mbu anayesambaza homa ya dengue.. soma zaidi

Mambo 7 ambayo mwanamme hapaswi kumfanyia mke wake
Mambo 7 ambayo mwanaume apaswi kumfanyia mke wake..
1. Usimpige.
2. Usimtukane na kumshushia heshima.. soma zaidi

Madhara ya kutumia dawa bila ushauri wa Dakitari
Mara nyingi watu wanaugua maradhi mbalimbali, lakini wengi wao hawapendi kwenda hospitali kufanya vipimo au kupata ushauri wa kitaalamu kutoka kwa daktari. Kutokana na uwepo wa maduka ya dawa baridi, watu wengi wanapojisikia kuwa wagonjwa, hununua dawa kwenye maduka hayo na kuanza kuzitumia.. soma zaidi

Mapishi ya Mchemsho wa ndizi na nyama
Ndizi mbichi 6
Nyama ya ng'ombe (nusu kilo)
Viazi mviringo 2
Kitunguu swaum
Tangawizi
Kitunguu maji
Nyanya 1 kubwa
Mafuta (vegetable oil)
Chumvi
Limao
Pilipili. soma zaidi
Ndizi mbichi 6
Nyama ya ng'ombe (nusu kilo)
Viazi mviringo 2
Kitunguu swaum
Tangawizi
Kitunguu maji
Nyanya 1 kubwa
Mafuta (vegetable oil)
Chumvi
Limao
Pilipili. soma zaidi
Faida za kutumia mafuta ya Nazi
Siyo sehemu za ndani tu ya mwili zinazofaidika na mafuta haya ya nazi kama yanavyofanya mafuta mengine ya asili, kama unataka kuwa na ngozi nzuri yenye mngβaro na yenye afya na yenye muonekano wa asili basi paka mafuta ya nazi kila siku kwenye ngozi yako, mafuta ya nazi yana uwezo mkubwa katika kuua bakteria, virusi, na vijidudu vya aina yeyote vinavyoweza kuidhuru ngozi, haya ni mafuta kwa mwili mzima yaani pakaa kwenye ngozi yote usoni, mwilini, kwenye nywele na kwenye kucha. Pia unaruhusiwa kuyatumia mafuta haya wakati wa masaji.. soma zaidi

Madhara ya kunywa soda
Tafiti zinasema kwamba mtu mmoja anayekunywa soda moja kwa siku, anakunywa zaidi ya galoni au dumu 56 za soda kwa
mwaka.
Japokua kuna watu wamekiri kunywa hata zaidi ya soda moja kwa siku ambayo huenda wanakunywa zaidi ya hicho kipimo.. soma zaidi

Faida za mafuta ya nazi kiafya kwenye mwili
Wakati mafuta ya nazi yakiwa yamemengβenywa na mwili huhamasisha uundwaji wa nguvu mpya za ubongo zijulikanazo kama βketonesβ.. soma zaidi

Ushauri wangu kwa leo: Zingatia hili, hamasika, badilika
Tupo kwenye dunia ambayo tulikuta watu na tutawaacha watu.
Vyote tulivyovikuta vilianzishwa na binadamu wengine wenye mawazo mema na wenye mawazo mabaya pia. Vitu vingi tunavyovifanya tunaendeleza tulivyovikuta ni mara chache kukuta kitu kipya ambacho hakitegemei mazingira na asili ya tulivyovikuta.. soma zaidi

Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za Tende Na Ufuta
Unga - 3 Vikombe vya chai. soma zaidi
Unga - 3 Vikombe vya chai. soma zaidi
Soma Kisha Jifunze
Jamaa kam2mia dem wake elfu 2
#M-PESA,demu kuona sms ya
Tigo pesa akafurah lakin ile kufungua
akakta
buk 2
akaamua kumpigia jamaa cm!!. soma zaidi
Jamaa kam2mia dem wake elfu 2
#M-PESA,demu kuona sms ya
Tigo pesa akafurah lakin ile kufungua
akakta
buk 2
akaamua kumpigia jamaa cm!!. soma zaidi