Angalia huyu mganga wa kienyeji alichomfanyia huyu dada
[VIDEO] Angalia huyu mganga wa kienyeji alichomfanyia huyu dada
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
π₯ Video nyingine kama hiiπ
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Jifunze kitu hapa, watu mara nyingi wanaangalia ubaya wako na sio uzuri wako
#*LEO NILIINGIA DARASANI NIKAANDIKA UBAONI KAMA IFUATAVYO:*. soma zaidi

Wazo mbadala kuhusu ajira au kupata kazi
Katika mambo ambayo nadhani nimeshawahi kujidanganya ni kufikiri kwamba nikipata kazi ndiyo utakuwa mwisho wa matatizo yangu na kuwa huru kufanya kila kitu ninacho kitaka.
πππππ
Sasaa baada ya kuipata iyo kazi nimekuja kupata ukweli kwamba kumbe kazi ya kuajiriwa siyo Mwarobaini wa Yale niliyo Nayo kumbe ndiyo safari inaanza na siyo mwisho kama nilivyo dhani.. soma zaidi

Jifunze kupitia kisa hiki cha mume na mke
Mume alirejea nyumbani na kukuta ujumbe juu ya meza umeandikwa "NIMEONDOKA" ilikuwa jioni, alienda jikoni na kukuta kukavu, aliwaita watoto na kuwauliza wakasema walimuona Mama akiondoka na begi lakini hakuwaambia anaenda wapi. Mume alichanganyikiwa, alijaribu kuchukua simu kumpigia lakini ilikuwa haipatikani, kabla hajafanya chochote mtoto wao wa mwaka mmoja alikuja akilia na kusema ana njaaa.. soma zaidi

Mambo ya kufanya mwezi Disemba
Ikiwa leo ni tarehe 1/12 huwezi amini kuwa hakuna tarehe 1 nyingine tutakayoiona ya mwaka huu hivyo sichelei kusema kuwa mwaka umeisha .Lakini mwaka unaishaje??? pengine hili ndilo swali gumu na la muhimu la kujiuliza .Je, Mwaka unaisha ukiwa umefanya nini cha kujipongeza??? .Je mwaka unakaribia kuisha maarifa yako yakiwa yameongozeka kwa kiasi gani???.Haya ni maswali muhimu sana unavyooanza kufikiria juu ya sherehe za mwisho wa mwaka.. soma zaidi

Makala Maarufu
Kinachoimarisha uwezo na ujuzi wa mtoto
Nini kinaimarisha au kuharibu uwezo wa mtoto?. soma zaidi

Nifanye nini ili kujua kama nina au sina maambukizi ya Virusi vya UKIMWI?
Ipo njia moja ya kuhakikisha kama umeambukizwa Virusi vya UKIMWI na UKIMWI au hapana. Njia hii ni ya kupima damu yako katika vituo vyenye utaalamu wa upimaji.
Ni muhimu kukumbuka kuwa Virusi vya UKIMWI, vinaonekana kwenye damu ya binadamu miezi mitatu baada ya kuambukizwa. Kipindi hiki kati ya kuambukizwa hadi kufikia miezi mitatu kipimo hiki i hakiwezi kuonyesha kama maambukizi ya virusi yapo au hayapo. Kipindi hiki ni cha hatari sana , kwani aliyeambukizwa anaweza kuwaambukiza wengine bila kujua.. soma zaidi

wanawake wanaweza kulewa haraka kuliko wanaume
Wasichana na wanawake wanaweza kulewa kwa ujumla.
Mara nyingi, hulewa pombe haraka kuliko wanaume. Hii
inatokana na uzito mdogo wa miili yao, na kiasi cha mafuta na
maji katika miili yao. Kilevi husambaa kiasi kikubwa katika miili
ya wanawake. Maini yao huharibika kirahisi zaidi kuliko maini
ya wanaume.. soma zaidi

Watu wanasema kuwa unaweza kupona UKIMWI kwa kujamiiana na Albino. Hii ni kweli?
Watu wanaweza kuvumisha uongo wowote ili kupotosha
ukweli na kufanya mambo yao maovu wanayoyapenda. Wapo
wanaosema kuwa unaweza kupona UKIMWI kwa kujamiiana na
bikira, mtu mlemavu au Albino, hizi ni imani potofu na hazina
msingi wowote.. soma zaidi

Mambo 7 ambayo mwanamme hapaswi kumfanyia mke wake
Mambo 7 ambayo mwanaume apaswi kumfanyia mke wake..
1. Usimpige.
2. Usimtukane na kumshushia heshima.. soma zaidi

Mapishi ya Ndizi Za Supu Ya Nyama Ya Ngβombe
Ndizi - 15 takriiban. soma zaidi
Ndizi - 15 takriiban. soma zaidi
Albino anaathirikaje na unyanyapaa na ubaguzi katika jamii?
Watu wengi huwaona Albino kama watu tofauti na watu wengine
na kuwakwepa, wanaweza hata kubadili upande wa barabara
ili wasikutane nao au kukaa karibu nao katika daladala. Wengi
wanaamini katika uongo na uvumi unaosambazwa. Jamii inawatenga
katika matukio mengi na kwa hiyo kuimarisha uvumi usiyo na
usahihi uliopo kuhusu Albino. Hii inapelekea kunyanyapaliwa,
kubagulliwa na kuwekwa pembeni. Mbaya zaidi, ni kuwa ubaguzi
huu huchangia katika kushuka kujithamini kwa kijana Albino.
Akisha kuwa hajithamini ni vigumu kukubalika au kupata kazi. Kwa
hiyo, ubaguzi unaleta mzunguko wa madhara kwa Albino. Hitaji
muhimu kwa binadamu ni kupendwa, kukubalika na kutunzwa.
Kwani ualbino unatokea katika familia bila kutarajiwa. Kuwepo kwa
ualbino katika familia kunaweza kuwa kichocheo cha kukubalika
na kupendwa miongoni mwa ndugu, wazazi, mababu na mabibi.
Changamoto kubwa iliyopo Tanzania ni kupambana na unyanyapaa
na ubaguzi na kugombea haki sawa kwa ajili ya Albino.. soma zaidi

Jinsi ya kupika Visheti Vya Kastadi Vya Shepu Ya Kombe
Unga wa ngano 1 Kilo. soma zaidi
Unga wa ngano 1 Kilo. soma zaidi
Jinsi ya kutengeneza biskuti za Matunda Makavu Na Cornflakes
Unga - 4 Vikombe. soma zaidi
Unga - 4 Vikombe. soma zaidi
Fedha za sherehe Bungeni zaelekezwa Hospitali ya Muhimbili asema Magufuli
Rais Magufuli ametoa agizo hilo baada ya kupokea taarifa kuwa wadau mbalimbali wamechanga kiasi cha shilingi milioni 225 kwa ajili ya kugharamia hafla ya wabunge katika siku ya uzinduzi wa Bunge.. soma zaidi
Je, mapacha wanapatikanaje?
Zipo aina mbili za mapacha, wale wanaofanana na wale wasiofanana. Karibu robo ya mapacha wote hufanana. Hii ina maana kwamba wametokana na yai moja lililotungwa mimba ambalo hujigawa katika makundi mawili tofauti ya chembechembe, kila mojawapo hubadilika kuwa kiumbe pekee. Hadi sasa, wataalamu hawaelewi vizuri sababu za yai kujigawa. Mapacha wa aina hii , kwa vile wametokana na yai moja, mara zote huwa na jinsia moja na hufanana sana kimaumbile.
Mapacha wasiofanana hutokea wakati wa yai kupevuka, kokwa za mwanamke hutokea zikawa mayai mawili badala ya moja tu. Mayai yote mawili hurutubishwa na hutungishwa mimba kwa mbegu mbili tofauti za mwanaume. Viumbe viwili hukua wakati mmoja katika mfuko wa uzazi. Mbali ya kukua katika mfuko mmoja wa uzazi na kuwa na umri uleule, mapacha hawa ni sawa sawa na watoto wengine wawili wa wazazi haohao. Wanaweza kuwa wa jinsia na maumbile tofauti kabisa.. soma zaidi

Tanzania: Chadema kufungua kesi kupinga agizo la polisi kuzui kuagwa mwili wa Alphonce Mawazo
Baada ya zoezi la kuuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo kushindikana kutokana na jeshi la polisi mkoani Mwanza kupiga marufuku mikusanyiko ya wanachama na wafuasi wa chama hicho kwa madai ya kuwepo kwa ugonjwa wa kipindupindu jijini Mwanza, hatimaye viongozi wakuu wa kitaifa wa Chadema pamoja na familia ya marehemu wameamua kwenda mahakamani kutafuta haki yao ya kisheria.. soma zaidi

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia barafu
Barafu inaweza kuzipunguza chunusi zionekane ni ndogo na kupunguza madhara yatokanayo na chunusi.. soma zaidi

Mtu aliyefanya kazi ngumu zaidi afunguka
*SIMULIZI YA KUSISIMUA*
ππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎπ€
*Mtu aliyefanya kazi ngumu zaidi afunguka*. soma zaidi

Nia yako isishindwe
Nimejifunza jambo kubwa sana ambalo sote tuna lijua nalo ni "NIA".
Nimemtazama mwendesha pikipiki anaiwasha pikipiki kwa muda mrefu kwa kupiga kiki kwa kurudia rudia, akiamini lazima iwake ili aende anakotaka kwenda. Anajaribu kuwasha kwa kiki ikikataa anajaribu kwa starter, ikigoma anajaribu kuchomoa plug na kuangalia kama kuna tatizo, anajaribu tena na tena mpaka inawaka, anaanza safari yake.. soma zaidi

Magonjwa yatokanayo na sigara
Kuna matatizo na magonjwa mengi na ya aina mbalimbali
unayoweza kuyapata kutokana na utuvaji wa sigara. Kiungo
rahisi kuathirika ni mapafu. Baada ya kuvuta huo moshi, kaboni
na tindikali iliyomo kwenye tumbaku huishia kwenye mapafu.
Malimbikizo haya ya kaboni na tindikali husababisha ugumu
katika kupumua na kusabisha usaha kwenye mapafu. Matatizo
haya ya mapafu humfanya mvutaji awe mwepesi kupata
maambukizo mengine.
Hii inaweza ikawa kikohozi sugu na pia inaweza kusababisha
nimonia (kichomi) pamoja na kifua kikuu na sarakani. Nikotini
vilevile ni mbaya kwa tumbo. Husababisha kupoteza hamu ya
kula na maumivu katika sehemu za chini ya tumbo.. soma zaidi

Siri za mafanikio na Jinsi ya kufanikiwa
Tafuta fulsa kila kona.
Tumia kipaji chako.
Kuwa na nidhamu katika fedha - matumizi mazuri ya pesa, nidhamu kwa watu wanaokuzunguka, usijikweze, usibague jamii, heshimu wote waliokaribu yako nk.. soma zaidi

Nifanyeje ili niepukane na kuwa mgumba?
Sababu kuu ya ugumba unayoweza kujisababishia ni kupata magonjwa ya zinaa. Unaweza kuepuka kuwa mgumba kwa njia ya kuzuia kuambukizwa magonjwa ya zinaa. Magonjwa ya zinaa unaweza kuyazuia kwa njia ya kutojamii ana au kwa njia ya kutumia kondomu kila unapojamii ana. Kuna sababu nyingine za ugumba, nyingine unaweza kuzisababisha na nyingine ni za kimaumbile yako tangu ulipozaliwa.. soma zaidi

Historia ya Kabila la Wangoni
Wangoni ni moja ya kabila linalopatikana nchini Tanzania na baadhi ya maeneo mengine kusini mwa Afrika. Ni kabila ambalo lina historia ya aina yake kama ilivyo kwa makabila mengine ya kibantu hata yale yasiokuwa ya kibantu.. soma zaidi

Vitu (6) sita usivyotakiwa kufanya kabla ya kulala
Saa ya mkononi ina madhara iwapo
utaivaa kwa muda mrefu,
wanasayansi
wanashauri sio sahihi kulala ukiwa
umevaa saa mkononi.. soma zaidi
Saa ya mkononi ina madhara iwapo
utaivaa kwa muda mrefu,
wanasayansi
wanashauri sio sahihi kulala ukiwa
umevaa saa mkononi.. soma zaidi
Ushauri kwa mwanamke anayetafuta Mwanaume ili upate Mume sahihi
Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye sahihi,,,.. soma zaidi

Je, nikitoa au kupata damu hospitalini, itakuwepo hatari ya kupata virusi vya UKIMWI na UKIMWI?
Katika swali hili lazima tutofautishe kati ya kutoa damu na kuwekewa damu. Kutoa damu hakuleti hatari, kama mtaalamu wa afya aliyechoma sindano kwa ajili ya kutoa damu anatumia sindano na vifaa vilivyochemshwa.
Kwa kawaida hakuna matatizo kuongezwa damu, kwa sababu damu i inapimwa kabla ya kumuongeza mgonjwa hospitalini. Iwapo damu i imepimwa na sindano zilizochemshwa zimetumika hakuna ubaya wowote katika kuongezwa damu.. soma zaidi

Umeiona hii!!
Asilimia 76% Ya Wasichana Kila Ukiwatongoza Wanakwambia Wapo In relationship SAWA ATUKATAI…. soma zaidi

Jinsi ya Kutumia Papai na Asali kuondoa Madoa Usoni
KUMEKUWA na sababu mbalimbali zinazofanya watu kutokuwa na ngozi zisizokubalika.Mbali na hali ya hewa pia matumizi ya pombe na sigara hata matumizi ya cream kali ambazo zimekuwa zikitumiwa na watu bila kujua madhara yake kumechangia kwa kiasi kikubwa tatizo hilo.. soma zaidi

Sheria kuhusu kufanya punyeto
Punyeto ni kupapasa au kusugua kiungo cha uzazi ili uweze kupata
starehe. Hakuna kosa kwa tendo hilo, kwa sababu hakuna tatizo
lolote kwa mvulana au msichana. Kwa kawaida watu hufanya hivyo
kwa siri, baadhi ya mila na desturi wanapinga kufanyika kwa
tendo hili hata hivyo hakuna sheria yoyote kuhusu punyeto.. soma zaidi

Njia za Kuzuia Mimba
Njia za uzazi wa mpango zinatofautiana sana na zinaweza kugawanywa katika makundi mengi:. soma zaidi

Sababu za matumizi ya dawa za kulevya
Zipo sababu nyingi zinazowafanya watu kutumia dawa za kulevya, nazo ni kama zifuatazo:
Watu wengi hutumia dawa wakitumaini kusahau matatizo yanayowakabili, wengine hutumia kama viburudisho na wanataka kujionyesha kwamba ni watu wazima na wenye nguvu. Wengine pia huanza kutumia dawa kiutani na hatimaye hushindwa kujizuia kuzitumia. Wengine hutumia kutokana na msukumo wa rika au kutokana na kushawishiwa na watu wengine kwamba dawa za kulevya huwapa raha. Wengine hutumia kutokana na ukali wa maisha, uchovu pamoja na upweke. Kimsingi, dawa za kulevya hazimpatii mtu ufumbuzi wa matatizo, bali humwongezea matatizo mtumiaji.. soma zaidi

Mambo muhimu kuyajua kuhusu nchi ya Tanzania
Haya ndio mambo ninayoyafahamu kuhusu TANZANIA. soma zaidi

Dondoo Muhimu kuhusu ugonjwa wa kisukari
Wapendwa, napenda kushirikiana na nyinyi kujuzana hili nililolisikia kupitia channel ten leo asubuhi kuhusu ugonjwa wa kisukari.
Wataalam waliokua wakitoa mada walikua Prof Endrew Swai na Dr Mohamed Juma.
Kwa ufupi wamesisitiza sana kufanya mazoezi kwa takriban nusu saa kwa siku na ambayo mtu anatoa jasho na moyo kumwenda mbio. Hiyo ni kwa ajili ya kusaidia misuli ya miguu,tumbo kifua, mgongo na mikono kutumia kiasi cha sukari kinachozalishwa mwilini.. soma zaidi

Wastani wa upana na urefu wa uume wa kawaida
. soma zaidi
. soma zaidi