Angalia mdomo wa Mamba ulivyo akiupanua
[VIDEO] Angalia mdomo wa Mamba ulivyo akiupanua
Bofya Play (โถ) kuanza Video…
.
๐ฅ Video nyingine kama hii๐
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
JITAMBUE : Maisha yako ya kesho hayalingani na maisha yako ya jana, Anza sasa
THERE IS NO FUTURE IN THE PAST. Ukitaka kufanikiwa usiangalie nyuma yako kunanini na ulishindwa mara ngapi. Siku zote kukaa Chini nakuanza kujuta kwa makosa uliofanya uko nyuma nikupoteza muda, huo muda Utumie kwa kupanga ya kesho.. soma zaidi

BADILIKA : huu ni mwaka mpya
Badilika huu mwaka. Kipenga kimeshapulizwa wenye mbio zao wameshatoka, wewe bado uko kitandani unaandika happy new year kwenye mitandao ya kijamii
Kipenga kimeshapulizwa wewe maliza bajet yote leo kwenye starehe alafu uanze kulalamika eti Mwezi wa kwanza Mgumu utadhani umeubonyeza. soma zaidi

Ndoa nyingine ngumu sana. Soma kisa hiki
Misingi mingine ya ndoa zetu ni migumu sana.
Pata simulizi hii toka Marekani.. soma zaidi

Huu ndio ukichaa wa mapenzi
๐ตKushika mimba ukadhani ni mtego ili uolewe.
๐ต Kutafuta mkamilifu wakati tabia zako tunakuvumilia tu.
๐ต Kutafuta msichana mrembo wakati huna pesa.
๐ต Kutafuta mke mwema kanisani wakati we unaenda kanisani wakati wa maombi ya Christmas tu.. soma zaidi

Makala Maarufu
Jinsi wigo wa mimea kwenye shamba unavyoweza kukinga mazao yako na wadudu waharibifu
Wigo wa mimea ni kinga nzuri ya mazao shambani. Mimea ya wigo inaweza kutumika kama kizuizi cha wadudu kuhama hama.. soma zaidi

Jinsi ya kulima mtama
Mtama hutoa mazao mengi hata kwenye hali ambayo haifai kwa kilimo cha aina nyingine za mazao ya nafaka. Mtama una uwezo mkubwa wa kustahimili ukame.. soma zaidi

Dondoo muhimu kwa Afya yako unapostuka usiku
Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukisa damu ya kutosha.. soma zaidi

Mbinu za kuzuia magonjwa kwa kuku
Mbinu hizo ni hizi zifuatazo;. soma zaidi

Mapishi ya Chapati za Kusukuma kitaalamu
Unga wa ngano (plain flour 1/2 of kilo)
Siagi (butter vijiko 2 vya chakula)
Yai (egg 1)
Chumvi (1/2 ya kijiko cha chai)
Hiliki (ground cardamon 1/4 ya kijiko cha chai)
Maji ya uvuguvugu (warm water)
Mafuta (vegetable oil). soma zaidi

Ni hatua zipi zinazochukuliwa na Serikali kuhusu matumizi na biashara haramu ya dawa za kulevya?
Serikali i i inatambua kukua kwa tatizo la dawa za kulevya nchini, kwani dawa za kulevya nyingi zinazotumika zinapitishwa na kuingizwa kwa magendo nchini. Kutokana na hali hii serikali imepitisha sheria kuhusu tuhuma za dawa za kulevya yaani Sheria ya Kuzuia Matumizi ya Dawa za Kulevya ya mwaka 1995.. soma zaidi

Leo tujifunze lugha yetu ya Kiswahili
Leo tujifunze lugha teule ya Kiswahili.
1. password- Nywila.
2. juice - sharubati.
3. chips - vibanzi.
4. PhD - uzamifu.
5. Masters - uzamili.. soma zaidi
Leo tujifunze lugha teule ya Kiswahili.
1. password- Nywila.
2. juice - sharubati.
3. chips - vibanzi.
4. PhD - uzamifu.
5. Masters - uzamili.. soma zaidi
Faida za kila kitu kwenye mti wa papai
Watu wengi hulitumia tunda la papai kwa sababu ya utamu wake. Hata hivyo mbali na kuwa na ladha nzuri, tunda la papai lina faida lukuki kwa afya ya mwanadamu.. soma zaidi

KUJUA JINSIA YA MTOTO WAKATI WA UJAUZITO
Ujauzito ni kipindi kinachoweza kuwa cha furaha hasa kwa wazazi watarajiwa. Katika kipindi hiki shauku kubwa huwa ni kujua mtoto atayezaliwa ni wa kike au kiume?. soma zaidi

Jinsi ya kuanza ufugaji
Ufugaji ni neno linalotumika kumaanisha wanyama wanaofugwa na binadamu kwa malengo ya kumpatia chakula au faida Fulani. Mifugo inaweza kufugwa kwa ajili ya kukidhi mahitaji madogo madogo au ufugaji wa faida wenye kuinua uchumi wa mfugaji. Wanyama wanaoweza kufugwa na binadamu ni pamoja na ngโombe, mbuzi, kondoo, nguruwe, kuku, bata na aina zake, njiwa, punda, farasi, kware, kanga, ngamia, na mbogo maji. Mbwa nap aka hufugwa na binadamu kwa ajili ya kumsaidia ulinzi lakini pia siku hizi hufugwa kama rafiki wa binadamu.. soma zaidi

Je, kuna vipimo ambavyo vinaweza kugundua hali ya kuwepo kwa ualbino wakati kichanga kikiwa bado tumboni?
Hakuna kipimo rahisi cha kuwezesha kuonyesha kama mama
mjamzito amebeba kinasaba cha ualbino. Lakini uwezekano upo,
kama wazazi watakuwa wamepata mtoto Albino. Uwezekano wa
kujua kama mimba inayofuatia kichanga kitakuwa na ualbino kwa
kutumia kipimo maalamu kinachovuta maji yaliyo kwenye mji wa
mimba na kupima hayo majimaji kuona kama kuna kinasaba cha
Albino. Hata hivyo, vipimo hivi ni vya gharama kubwa na kwa
kiasi kikubwa kwa sasa vinapatikana, katika hospitali kubwa
maalumu za nchi zilizoendelea (Ulaya, Marekani na kadhalika).. soma zaidi

Jinsi ya kuandaa biskuti za Siagi Na Jam
Unga - 2 Vikombe
Sukari ya icing - 1 Kikombe
Siagi - 250 gm
Yai - 1
Vanilla - 2 Vijiko vya chai
Baking powder -1 Kijiko cha chai
Jam - ยผ kikombe
Lozi - ยผ kikombe. soma zaidi
Unga - 2 Vikombe
Sukari ya icing - 1 Kikombe
Siagi - 250 gm
Yai - 1
Vanilla - 2 Vijiko vya chai
Baking powder -1 Kijiko cha chai
Jam - ยผ kikombe
Lozi - ยผ kikombe. soma zaidi
Nini maana ya Ualbino?
Albino wana ngozi nyeupe, nywele nyeupe au nyekundu na macho
ya kijivu au ya bluu. Ngozi yao ni nyeupe zaidi kuliko ndugu zao
wa familia moja au watu wa jamii yake
ambao hawana hali ya ualbino. Ngozi hii inaonekana zaidi kuwa
nyeupe katika familia za watu weusi, ingawaje, ualbino
hutokea kwa watu wa kila taifa, rangi, kabila na dini. Albino
wako katika mabara yote ulimwenguni.. soma zaidi

Vyakula vinavyosaidia macho kuongeza uwezo wa kuona
Je unakula chakula bora ambacho ni bora pia kwa ajili ya macho yako? Kula vizuri kuna manufaa mengi kwa ajili ya miili yetu; macho nayo yakiwemo. Kuna virutubisho mbalimbali vinavyohitajika kwenye macho kuliko tu vile vinavyofahamika na wengi vilivyoko kwenye karoti.. soma zaidi

Je, watu huchanganyikiwa baada ya matumizi ya dawa za kulevya?
Kuna i imani potofu kwamba wote wenye matatizo ya akili wamekuwa hivyo kutokana na matumizi ya dawa za kulevya. Hii siyo kweli. Lakini dawa za kulevya nyingine huleta ulemavu wa akili. Hizi ni zile zii twazo vichagamsho kama kokaini na mirungi. Pale zitumiwapo kwa viwango vikubwa mtu huchanganyikiwa kwa muda wa siku chache au wiki nzima. Hii hutokea pia kwa bangi.. soma zaidi

Jinsi ya kuondoa weusi kwenye magoti na viwiko vya mikono
Ngozi nyeusi katika magoti na nyuma ya mikono hutokana na mkusanyiko wa cells zilizokufa, na hata unavyoweka pressure kwenye magoti na vipepsi vya mikono yako. Kama ukiwa unaweka mikono kwenye meza ukiwa kazini, ule msuguano unafanya ngozi iwe nyeusi.. soma zaidi

Je, wazazi ambao wote ni Albino wanaweza kupata mtoto ambaye siyo Albino?
Kwa kawaida, wazazi wote wakiwa Albino watazaa mtoto
Albino. Kwa maana hiyo basi, iwapo watu wawili wanaoishi na
ualbino wataamua kuunda familia itakuwa vizuri wafikirie kwa
makini kama wangependa kuzaa pamoja wakizingatia matatizo
ambayo wamewahi kupitia wao wenyewe kama Albino ndani ya
jamii. Ualbino ni hali ya kurithi na inabidi mtoto Albino abebe
vinasaba kutoka kwa wazazi pande zote ili aweze kuonyesha
ualbino. Hata hivyo, kuna aina zaidi ya moja ya ualbino na
pia aina tofauti za vinasaba, kama wazazi watakuwa na aina
tofauti ya ualbino na aina tofauti katika vinasaba, uwezekano
wa kupata mtoto asiyekuwa na ulemavu wa ngozi unakuwepo.
Lakini matukio kama haya yamejitokeza mara chache sana
ulimwenguni.. soma zaidi

Njia za kutibu shinikizo la chini la damu au presha ya kushuka
Nyia hizo ni kama ifuatavyo;. soma zaidi

Usindikaji wa viazi vitamu
1. Husaidia utunzaji na usafirishaji
2. Kupunguza ukubwa wa viazi na upotevu wa viazi kwa sababu viazi uharibika haraka na kama viazi vikiachwa ardhini wadudu (fukuzi) huweza kushambulia
3. Huongeza muda wa kuhifadhika
4. Unga na chipsi vina virutubisho vingi kwa vile kiwango kikubwa cha maji kwenye kiazi kinakuwa kimetolewa kwa hiyo kiwango cha protini, wanga, pectini, mafuta na chumvichumvi huongezeka
5. Huongeza chanzo cha mapato kwa wakulima kama vile upatikanaji wa masoko na chanzo kipya cha kipato 6. Husaidia kusambaza taarifa kwamba viazi vitamu huweza kuwa zao la biashara lenye matumizi mbalimbali na watumiaji wengi. soma zaidi

Je, ni wanadamu tu ndiyo wameathirika na ualbino?
Hapana. Ualbino ni hali
inayoweza kutokea kwa
wanadamu na wanyama wa
kundi la mamalia. Tembo
weupe wa India hujulikana
sana na walithaminiwa
sana katika mahakama ya
Mfalme au chui, twiga na
simba weupe ambao sasa
wanafurahiwa sana kwenye
bustani za wanyama na
mbuga za wanyama pori.. soma zaidi
Hapana. Ualbino ni hali
inayoweza kutokea kwa
wanadamu na wanyama wa
kundi la mamalia. Tembo
weupe wa India hujulikana
sana na walithaminiwa
sana katika mahakama ya
Mfalme au chui, twiga na
simba weupe ambao sasa
wanafurahiwa sana kwenye
bustani za wanyama na
mbuga za wanyama pori.. soma zaidi
Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia barafu
Barafu inaweza kuzipunguza chunusi zionekane ni ndogo na kupunguza madhara yatokanayo na chunusi.. soma zaidi

USIPITE BILA KUSOMA HII
Siku moja jioni katika mji flani, kulikuwa na basi likisafiri kutoka mji huo kuelekea mji mwingine. Lilikuwa ni basi kubwa na limejaa abiria. Wakati wakiendelea na safari, ghafla, mvua kubwa iliyoambatana na radi ikaanza kunyesha. Dereva hakuogopa, wala abiria, wakaendelea na safari. Mara wakati wanaenda, radi ikaanza kufuatilia gari. Kila wakienda, radi inapiga karibu na basi kana kwamba inalifuata basi. Likisimama, radi inapiga pembezoni mwa basi.. soma zaidi

Faida za kula tunda la apple (tufaa)
Tunda asili yake ni sehemu za Mashariki mwa Europe na pia Magharibi mwa Asia, na tunda hili linajulikana kwa miaka ya zamani mno katika miji ya Old China, Babulon na Egypt. Tunda hili hutumiwa na lina faida kubwa katika mwili wa mwanaadamu. Lina dawa ya maradhi tofauti:. soma zaidi

Wazo mbadala kuhusu ajira au kupata kazi
Katika mambo ambayo nadhani nimeshawahi kujidanganya ni kufikiri kwamba nikipata kazi ndiyo utakuwa mwisho wa matatizo yangu na kuwa huru kufanya kila kitu ninacho kitaka.
๐๐๐๐๐
Sasaa baada ya kuipata iyo kazi nimekuja kupata ukweli kwamba kumbe kazi ya kuajiriwa siyo Mwarobaini wa Yale niliyo Nayo kumbe ndiyo safari inaanza na siyo mwisho kama nilivyo dhani.. soma zaidi

Madhara ya dawa za kuulia wadudu maarufu kama viwatilifu
Dawa za kuulia wadudu maarufu kama viwatilifu zimetengenezwa kwa lengo la kuangamiza wadudu wanaoharibu mazao au wanaomdhuru binadamu. Hata hivyo kutokana na sababu kuwa lengo la dawa hizi ni kuangamiza, huathiri pia viumbe hai vingine akiwemo binadamu.. soma zaidi

Jinsi ya kupandikiza parachichi
Msukumo wa uhitaji mkubwa wa parachichi kwa wingi na zenye ubora unawasukuma wakulima kutumia teknolojia mpya.. soma zaidi

Maneno ya Hekima unayopaswa kujua
```๐ฎKucha zinapokuwa kubwa huwa tunakata kucha, hatukati vidole… Na matatizo yanapokuwa makubwa, jukumu letu ni kukata matatizo, si kukata uhusiano wetu ๐๐ฝ. soma zaidi

Nini kinatokea wakati Virusi vya UKIMWI (VVU) vinapoingia mwilini na vinakwenda wapi katika sehemu ya mwili?
Virusi hivi vinakaa katika chembechembe nyeupe zilizopo kwenye majimaji ya mwili i wa binadamu hasa kwenye damu, shahawa na maji maji ya ukeni na maziwa ya mama anayenyonyesha. Ndani ya chembechembe nyeupe ndiyo mahali virusi vinakaa na kuendelea kuzaliana. Vikiwa ndani ya chembechembe nyeupe hizi, virusi huendelea kuzaliana hadi kusababisha chembechembe nyeupe hizi kupasuka. Virusi hivi hupata nafasi ya kuendelea kushambulia chembechembe nyingine nyeupe za damu. Kwa kadri chembechembe nyeupe zilizoshambuliwa zinavyoendelea kupasuka ni kwa kiwango hicho hicho chembechembe nyeupe zinaendelea kuharibiwa na kupungua. Matokeo yake ni kupungua kwa kinga mwilini na mtu kuendelea kudhoofika.. soma zaidi

Jifunze kitu kupitia kisa hiki cha boss na mwajiri wake
Duna Lawrence (78) ni raia wa Togo ambaye alijitosa kwenda nchini Ujerumani kutafuta maisha mwanzoni mwa miaka ya 80. Baada ya kufika huko, alipata kazi, akawa muaminifu kwa Bosi wake ili aweze kupata mafanikio.. soma zaidi

Mapishi ya Ndizi Mbichi Za Nyama Ng'ombe
Ndizi mbichi - 10. soma zaidi
Ndizi mbichi - 10. soma zaidi