Angalia samaki alivyo na mdomo mkubwa
[VIDEO] Angalia samaki alivyo na mdomo mkubwa
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Ningekufa kwa ajili ya mwanamke
Leo nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. ,Nikamuuliza eti dada unavijua visa vya wanawake??
Akajibu kaka niache, nikakomaa anijibu…
Badala ya kujbu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada.. hadi wananchi wenye mapanga, mawe na mishale wakaanza kuja, dada huyo alivyoona wanakuja akajmwagia maji mwili mzima. Nikajua leo ndio mwisho wangu nikajuta sana kutaka kujua kila kitu…
Wananchi walivyofika, wakamuulza, kuna nini? Akawajibu, nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndie amensaidia!!
Wakanipongeza sana sana kisha wakaondoka…
Yule dada akaniambia, hivyo ndivyo visa vya mwanamke anaweza kukuua au kukulinda! So muheshmu mwanamke hata kinafiki, usijfanye jeuri!!!. soma zaidi

Elimu tuu haitoshi kukunufaisha maishani na kukupa mafanikio
EMBU SOMA HII KWA MAKINI SJUI NI KWELI? USIMAINDI LAKINI MAANA ITAKUGUSA TUU. MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI
βπ½Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa.. soma zaidi

Wadada haya ndiyo yalikua mapenzi ya kweli
Ladies jaribu kuchukua hata dakika mbili kuwakumbuka na kuwaombea mema huko walipo wale watu mliokua mna date nao wakati mko secondary …anakupenda bila make up.. Bila mawigi.. Bila kusuka.. Umenyoa kichwa kama baba ako.. Unashinda na sketi jekundu lina marinda miezi 6 alafu oversize… Shape haieleweki haionekani.. Umekonda.. Unakula ugali na maharage ya wadudu ila yeye yuko bega kwa bega na wewe.. Yale ndio yaliitwa True Love sasa… soma zaidi

Kwa nini wanaume huumia zaidi kwenye mapenzi π
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, watu kutoka koo, makabila, mataifa na wenye rangi tofauti hujikuta katika dimbwi zito.
Hujikuta katika wakati ambao kila mmoja haoni kitu kingine cha thamani zaidi ya mpenzi wake. Huu ni wakati ambao si tu kuwa neno usaliti linakuwa halipo bali wapenzi hawahisi hata kama kuna maisha bila ya yule wampendaye.
Usaliti ni jambo lenye maumivu yasiyovumilika hasa ikiwa ni jambo ambalo halikutarajiwa. Mtu hahisi kama itatokea mpaka inapotokea.

Mwishoni mwa wiki hii kumeenea picha za mwanaume aliyejikatisha uhai kisa mapenzi. Hii ikanikumbusha utafiti usio rasmi nilio ahi kufanya juu ya kwanini wanaume huumizwa zaidi na usaliti kuliko wanawake.. soma zaidi
Makala Maarufu
USIWASIKILIZE WAKATISHA TAMAA
Dunia imejaa wakatisha tamaa kuliko watia moyo. Unapoingia shuleni kwa mara ya kwanza utaambiwa masomo ni magumu sana; cha ajabu, watu wanafaulu.. soma zaidi

Mambo muhimu ya kuzingatia kwenye ufugaji wa nyuki wa asali
Unapohitaji unahitaji kufuga nyuki ni lazima uwe na uelewa wa mzunguko wa maisha ya nyuki. Unapoanza ni lazima uulize mtaalamu wa nyuki, wafugaji wenzako ambao wana uzoefu wa kutosha, au kujiunga katika kikundi cha ufugaji ili apate ufahamu zaidi juu ya ufugaji wa nyuki.. soma zaidi

SMS tamu za kimahaba
Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi?. soma zaidi
Kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi
Je, kuna madhara kama mtu akikaa muda mrefu bila kufanya mapenzi?
Ukweli ni kwamba hakuna madhara yoyote ya kiafya ukikaa muda mrefu bila kujamii ana. Hakuna madhara yatakayokutokea kwenye sehemu zako za siri au katika sehemu nyingine ya mwili wako. Mwanaume au mwanamke akianza kujamii ana baada ya kukaa muda mrefu, atapata raha na starehe.. soma zaidi

Upendo wa Yesu
. soma zaidi
. soma zaidi
Madhara ya kuwa mnene kupindukia
Unene(obesity), ni ugonjwa unaokua kwa kasi kipindi hiki ukiambatana na madhara makubwa kiafya hata vifo.. soma zaidi

Faida 8 za kula pilipili mbuzi
Watu wengi tumekuwa hatufahamu utumiaji wa pipilipili, hasa pilipili mbuzi. Naomba leo tuangalie kwa uchache faida hizo za pilipili mbuzi.. soma zaidi

Kutahiriwa kwa wanaume ni sawa na ukeketaji?
Hapana. Ukeketaji na kutahiriwa kwa mwanaume havifanani.
Kama kutahiriwa kwa mwanamume ni sawa na ukeketaji basi
ingebidi uume wote ukatwe kabisa. Katika kumtahiri mwanamume
ni ile ngozi ya govi ya uume ndiyo inaondolewa. Wakati kutahiriwa
kwa wanaume siyo lazima na pia kuna watu wengine wanapinga,
hauna madhara ya kiafya kwa mvulana kama umefanyika
kwa kutumia vyombo na katika mazingira safi. Kwa mvulana
hakuna matatizo kama ametahiriwa au hakutahiriwa! Baadhi
ya wavulana wametahiriwa wakiwa wadogo sana na wengine
wametahiriwa wakati walipokuwa vijana. Hivyo kutahiriwa kila
mara kunaambatana na kumfundisha mvulana kuhusu mila na
jinsi ya kujiheshimu kama mwanamume. Mafunzo haya ndiyo
kitu ambacho hakitofautiani kwa mwanamume na mwanamke
wanaotahiriwa. Vinginevyo kutahiriwa kwa wasichana ni hatari
na huwezi kufananisha na ile ya wavulana.. soma zaidi

Mapishi ya Bokoboko La Kuku
Ngano nzima (shayiri) - 3 Vikombe. soma zaidi

Vidokezo vya jinsi ya kulisha kuku
β’ Kuku mmoja anahitaji wastani wa kilo 2.2 za chakula kwa wiki 8. Hivyo, kuku 100 = 2.2Kg x 100 = 220Kg. Ni lazima kuku waachwe wale muda wote pamoja na kuwapatia maji safi na ya kutosha wakati wote. Wanapomaliza resheni ya chakula cha siku hiyo, wape majani na matunda.. soma zaidi

Waziri mwenye ushawishi mkubwa katika serikali ya Rais Uhuru Kenyatta amejiuzulu
Waziri mwenye ushawishi mkubwa katika serikali ya Rais Uhuru Kenyatta amejiuzulu wadhifa wake baada ya shinikizo kutolewa ajiuzulu kutokana na tuhuma za ufisadi.. soma zaidi

Jinsi ya kupika Mishkaki ya kuku
Kidali cha kuku 1 kikubwa
Swaum,tangawizi 1 kijiko cha chai
Limao 1/2
Pilipili ya unga 1/2 kijiko cha chai
Curry powder 1/2 kijiko
Paprika 1/2 kijiko cha chai
Hoho jekundu 1/2
Hoho la njano 1/2
Kitunguu 1/2
Chumvi
Olive oil. soma zaidi
Kidali cha kuku 1 kikubwa
Swaum,tangawizi 1 kijiko cha chai
Limao 1/2
Pilipili ya unga 1/2 kijiko cha chai
Curry powder 1/2 kijiko
Paprika 1/2 kijiko cha chai
Hoho jekundu 1/2
Hoho la njano 1/2
Kitunguu 1/2
Chumvi
Olive oil. soma zaidi
Wakubwa nisaidieni!!
π Sio kila EX ni EXPIRED, EX zingine ni EXAMPLE:
Utanielewa tu.
Ulimwengu huu tunaoishi Muogope sana Mpenzi
wa Zamani wa Mkeo kabla HUJAMUOA na
Muogope sana EX wa Mmeo kabla HAJAKUOA
kuliko hata hawa Vidume na Vijike vinavyomtaka
akiwa tayari amevaa pete.. soma zaidi

Ndoa sio utani. Soma stori hii
"Mkeo amefariki. Rudi nyumbani kwako haraka sana" Hezron alimwambia Daniel katika simu.. soma zaidi

Habari na historia ya Mkwawa kuvamia ardhi ya Ugogo
Mkwawa alikuwa mmoja ya Kiongozi wa kabila la Wahehe, aliyepata kujiwekea historia kubwa sana katiba bara la Afrika na Tanzania kwa ujumla. Alifanikiwa kurithgi uongozi kutoka kwa Mwinyigumba kutokana na ushupavu wake katika kujengwa na kuendelea ufalme wa Uhehe miaka yab 1800. Hivyo katika kuhakikisha anafanya upanuzi wa utawala wake, Mkwawa ailijaribu kuvamia ardhi ya Ugogo ambayokwa miaka ambayo anafanya uvamizi huko Ugogoni kuliluwa na jamii za Kigogo zilizopata kukua. Hivyo kwenye makala hii fupi utapata Kufahamu habari na historia ya Chifu Mkwawa kuvamia ardhi yaUgogo.. soma zaidi

Jinsi ya kupika mboga ya majani ya mashona nguo
Mashonanguo mkono 1
Tui la nazi kikombe 1
Karanga zilizosagwa kikombe Β½
Mafuta vijiko vikubwa 4
Kitunguu 1
Nyanya ndogo 2
Chumvi kiasi. soma zaidi
Mashonanguo mkono 1
Tui la nazi kikombe 1
Karanga zilizosagwa kikombe Β½
Mafuta vijiko vikubwa 4
Kitunguu 1
Nyanya ndogo 2
Chumvi kiasi. soma zaidi
Afrika Kusini imetia saini makubaliano na Marekani kuruhusu Marekani kuuza kuku wake nchini humo
Makubaliano hayo yanatarajiwa kuondoa wasiwasi kati ya mataifa hayo baada ya Marekani kutishia kusimamisha manufaa ya biashara za bidhaa za kilimo inayopata Afrika Kusini kufuata mgogoro huo wa kuku.
Afrika Kusini ina wasiwasi kwamba mlipuko wa ugonjwa wa homa ya kuku ambao umewaua takriban ndege milioni 50 huenda ikasababisha hatari ya kiafya miongoni mwa wanyama na binaadamu.
Kuku ni chakula kinachopendwa sana Afrika kusini na wakosoaji wana wasiwasi kwamba Marekani itapeleka kuku wa ziada katika taifa hilo,hatua ambayo wanasema itaathiri pakubwa bishara ya nyama hiyo nchini humo.. soma zaidi

Maajabu ya Waafrika tunayofanya kwa jina la UTAMADUNI WETU
Nimekopi sehemu wacha nipesti humuπππ
ππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎ
Naipenda hii!Maajabu yetu Waafrika tuyafanyayo kwa jina la "UTAMADUNI WETU". soma zaidi

Kulima Korosho
Ubebeshaji miche ya mikorosho ni moja ya mbinu muhimu katika uendelezaji wa zao la korosho kwa sababu ni teknolojia pekee inayohakikisha usahihi wa viwango vya uzalishaji wa aina ya mkorosho uliopandwa.. soma zaidi

Kisa cha mama na mwanae namkwe wake
Kuna kijana mmoja daktari alikwenda kuposa. Binti aliyemposa akamuwekea masharti mazito. Akamwambia chagua mawili imma kunioa mimi au kukaa na mama yako, kwa sababu ukinioa mimi sitokubali mama yako aje hata harusini kwangu! Yule kijana aliemewa. Hakujua la kufanya. Mke anamtaka, lakini mama yake pia anampenda. Hivyo aliamua kuomba ushauri kwa mwalimu wake wa chuo kikuu. Alimwambia: moyo wangu unampenda mno binti niliyekwenda kumposa, lakini pia siwezi kuishi mbali na mama yangu. Nifanye nini?. soma zaidi

Kwa nini watu hutaka kufanya mapenzi baada ya kutumia dawa za kulevya?
Dawa za kulevya huathiri ubongo jinsi unavyofanya kazi. Hubadili hisia na husaidia kuondoa aibu na vizuizi vingine. Mtu hujisikia jasiri na mwenye nguvu na hivyo ni rahisi zaidi kwake kushawishika kufanya ngono kuliko asipozitumia dawa hizo.. soma zaidi

Madhara ya kuitumia simu kwenye giza
Daktari justice Authur, ambae ni daktari kule africa kusini ameniomba kuwagawia hii na nyie pia. Amesema ni muhimu sana.. soma zaidi

Aina ya vyakula vinavyotakiwa kwa wajawazito
Kwa ajili afya ya mama na mtoto ni muhimu sana, mwanamke anatakiwa apate chakula bora kilicho na madini yote kama vitamini na protini. Mama mjamzito anatakiwa apate gramu 100 za protini kila siku. Ifuatayo ni mlo kamili anaotakiwa apate mama mjamzito kila siku ya ujauzito wake kwa afya bora.. soma zaidi

Namna ya kupika Vitumbua
Vitumbua ni aina ya vitafunwa vya chai ambavyo hutengenezwa kwa kutumia unga wa mchele. Kiasili vitumbua ni chakula ambacho hupendelewa sana na watu wa pwani. Na mara nyingi wamekuwa wakipika kwa kuchanganya na nazi ili kuvifanya view na ladha nzuri zaidi. soma zaidi

Jinsi ya kuzalisha papai
Papai ni tunda lenye ladha nzuri, na rahisi kuliwa. Aina hii ya tunda ni chanzo cha virutubisho muhimu mwilini, ambavyo husaidia kujenga mwili. Zao hili asili yake ni ukanda wa kitropiki ambao hauna baridi kali na joto kiasi.. soma zaidi

# Mbinu Bora za Ujasiriamali
Ujasiriamali ni uwezo wa kubaini na utayari wa kuanzisha shughuli ya kiuchumi bila kujali hatari za kibiashara zinazoweza kujitokeza.. soma zaidi
Jipe moyo kamwe usikate tamaa
Nilikuwa naangalia mpira wa miguu katika uwanja wa
shule.
Nilipokaa, Nilimuuliza kijana mmoja juu ya Matokeo ya mchezo.. soma zaidi

Faida za kunywa juisi ya ubuyu
Mungu ameumba miti na mimea kwa ajili ya binadamu. Kila mti au mmea una makusudio yake. Mbuyu ni miongoni mwa miti yenye faida nyingi na maajabu mengi. Vitu vyote vilivyomo kwenye mbuyu vinatumika kama chakula au dawa kwa faida ya binadamu.. soma zaidi

Vijana wajiunga na al-Shabab Kenya
Polisi nchini Kenya wamewalaumu viongozi watatu wa kiislamu kwa kuwashawishi vijana wakiwemo wanafunzi wa vyuo vikuu kujiunga na kundi la kiislamu la al-Shabab.
Polisi wanadai kuwa viongozi hao wa kiislamu walivuka mpaka na kuingia nchini Somalia yalipo makao makuu ya al Shabab ambapo huwashawishi vijana hao kupitia kwa mitandao.. soma zaidi

Kisa cha kusisimua: Funzo kwa mabinti
Kijana maskini na mwenye maisha duni alimpenda msichana mmoja
Baada ya kutumia muda mwingi kumfikiria msichana huyo,
Siku moja akaamua kumwita na kumwambia ukweli ya kwamba amempenda na angehitaji kumuoa.. soma zaidi