Angalia simba wakipigana wao kwa wao
[VIDEO] Angalia simba wakipigana wao kwa wao
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
π₯ Video nyingine kama hiiπ
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Ningekufa kwa ajili ya mwanamke
Leo nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. ,Nikamuuliza eti dada unavijua visa vya wanawake??
Akajibu kaka niache, nikakomaa anijibu…
Badala ya kujbu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada.. hadi wananchi wenye mapanga, mawe na mishale wakaanza kuja, dada huyo alivyoona wanakuja akajmwagia maji mwili mzima. Nikajua leo ndio mwisho wangu nikajuta sana kutaka kujua kila kitu…
Wananchi walivyofika, wakamuulza, kuna nini? Akawajibu, nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndie amensaidia!!
Wakanipongeza sana sana kisha wakaondoka…
Yule dada akaniambia, hivyo ndivyo visa vya mwanamke anaweza kukuua au kukulinda! So muheshmu mwanamke hata kinafiki, usijfanye jeuri!!!. soma zaidi

Elimu tuu haitoshi kukunufaisha maishani na kukupa mafanikio
EMBU SOMA HII KWA MAKINI SJUI NI KWELI? USIMAINDI LAKINI MAANA ITAKUGUSA TUU. MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI
βπ½Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa.. soma zaidi

Wadada haya ndiyo yalikua mapenzi ya kweli
Ladies jaribu kuchukua hata dakika mbili kuwakumbuka na kuwaombea mema huko walipo wale watu mliokua mna date nao wakati mko secondary …anakupenda bila make up.. Bila mawigi.. Bila kusuka.. Umenyoa kichwa kama baba ako.. Unashinda na sketi jekundu lina marinda miezi 6 alafu oversize… Shape haieleweki haionekani.. Umekonda.. Unakula ugali na maharage ya wadudu ila yeye yuko bega kwa bega na wewe.. Yale ndio yaliitwa True Love sasa… soma zaidi

Kwa nini wanaume huumia zaidi kwenye mapenzi π
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, watu kutoka koo, makabila, mataifa na wenye rangi tofauti hujikuta katika dimbwi zito.
Hujikuta katika wakati ambao kila mmoja haoni kitu kingine cha thamani zaidi ya mpenzi wake. Huu ni wakati ambao si tu kuwa neno usaliti linakuwa halipo bali wapenzi hawahisi hata kama kuna maisha bila ya yule wampendaye.
Usaliti ni jambo lenye maumivu yasiyovumilika hasa ikiwa ni jambo ambalo halikutarajiwa. Mtu hahisi kama itatokea mpaka inapotokea.

Mwishoni mwa wiki hii kumeenea picha za mwanaume aliyejikatisha uhai kisa mapenzi. Hii ikanikumbusha utafiti usio rasmi nilio ahi kufanya juu ya kwanini wanaume huumizwa zaidi na usaliti kuliko wanawake.. soma zaidi
Makala Maarufu
Mambo muhimu ya kufanya kwa mpenzi wako msichana ili asikuache
1. Hakikisha unakuwa msafi kwa kila kitu hasa unapo kuwa naye.
2. hakikisha unampa uhuru wa kutosha mnapo kuwa mnafanya mapenzi namaanisha awe na maamzi juu ya mwili wake usimrazimishe kama hayuko tiari, umuandae kabula ya kutumbukiza dushelele yako, uhakikishe anafika kileleni kila unapofanya naye mapenzi. soma zaidi

Ugumba wa mwanaume unasababishwa na nini?
Ugumba wa mwanaume ni hali ya mwanaume kushindwa kumpa mwanamke mimba. Kuna mambo mengi yanayoweza kusababisha ugumba.. soma zaidi

FAIDA NA MADHARA YA PUNYETO
Kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi.. soma zaidi

Jinsi ya kulima vitunguu
Hapo awali kitungu kilikuwa ni zao lililokuwa linapatikana porini katika ukanda wa bahari ya Mediterania. Zao hili hulimwa katika nchi nyingi za magharibi, nchi za milima zilipo kaskazini mwa dunia, likwemo bara la Afrika. Vitunguu hustawi katika hali ya hewa ya jotoridi 13Β°C β 24Β°C, hali ya hewa inayofaa kwa kuotesha na kukuzia miche kwenye kitalu ni jotoridi 20Β°C β 25Β°C. Kwa kawaida vitunguu huhitaji kiasi cha joto nyuzi 20Β°C-25Β°C ili kuweza kustawi na kukua vizuri. Joto zaidi ya hapo hufanya vitunguu kudumaa na kutoweza kutengeneza viazi (bulbs).. soma zaidi

Ndoa ya kulazimishwa
Ndoa ya kulazimishwa ni ile ambayo mwanamume au mwanamke
anaozwa bila yeye mwenyewe kukubali kufunga ndoa kwa
hiari yake. Katika mazingira hayo wasichana au wavulana
wanalazimishwa kufunga ndoa. Wakati mwingine wazazi wanafikiri
wanajua nini kizuri kwa watoto waona hivyo kuwachagulia mume
au mke.. soma zaidi

Mambo 6 muhimu ya kuzingatia kupata udongo bora mzuri shambani
Udongo ni kiungo muhimu sana katika uzalishaji wa mazao. Ni mfumo wa uhai kwa mimea. Kwa hiyo, mkulima ni lazima alenge katika kutunza uhai wa udongo na kuepuka usumbufu kwa uhai wa udongo.
Sababu muhimu za kulima/kutifua udongo ni:
β’ Hulainisha udongo ili kuruhusu mizizi ya mimea kupenya kwa urahisi.
β’ Kutifua kunaboresha uwezekano wa kupenya kwa nitrogen na oxygen kutoka kwenye hewa.. soma zaidi

Sheria zinazolinda haki za Albino
Hakuna sheria mahususi inayowalenga watu wanaoishi na ualbino
hapa Tanzaina. Ingawaje haki za msingi za Albino zinalindwa
chini ya Katiba
ya nchi pamoja
na Sheria
z i n a z o h u s i k a
na sekta
m b a l i m b a l i .
Sheria hizi
zinakataza na
kukemea aina
zote za ubaguzi
kwa misingi ya;
rangi, kabila,
ulemavu na
kadhalika.
Sera ya Taifa ya ulemavu inabainisha hali ya ulemavu kuwa ni,
βkutokuwa au kupungukiwa na uwezo wa kushiriki kwa usawa
katika shughuli za kawaida za kijamii kutokana na sababu
za mapungufu ya kimwili, akili au kijamiiβ. Sera hii inatoa
mwongozo wa kutolewa kwa haki na fursa sawa kwa walemavu
kupata mambo na huduma za msingi kama; elimu, taarifa, ajira,
matunzo, huduma za afya, kumudu na kufikia huduma muhimu.
Katika siku za karibuni kumeongezeka vitendo vya kikatili dhidi
ya Albino ambavyo ni pamoja na mauaji ya kikatili na kukatwa
viungo kutokana na imani za kishirikina. Watu wenye ualbino
wanalindwa kisheria kutokana na vitendo hivi kwa kupitia
sheria zilizopo za makosa ya jinai.. soma zaidi

Kisa cha kusisimua cha kijana na mke wake na mama yake
Kuna kijana mmoja daktari alikwenda kuposa. Binti aliyemposa akamuwekea masharti mazito. Akamwambia chagua mawili imma kunioa mimi au kukaa na mama yako, kwa sababu ukinioa mimi sitokubali mama yako aje hata harusini kwangu! Yule kijana aliemewa. Hakujua la kufanya. Mke anamtaka, lakini mama yake pia anampenda.. soma zaidi

Kukosa hela sio tatizo bali ndio kigezo ya kutafuta hela
To ur Success!. soma zaidi
To ur Success!. soma zaidi
Mapishi ya tambi za mayai
- Tambi Β½ paketi
- Vitunguu maji 2 vikubwa
- Karoti 1
- Hoho 1
- Vitunguu swaumu(kata vipande vidogo) kijiko 1 cha chakula
- Carry powder kijiko 1 cha chai
- Njegere zilizochemshwa Β½ kikombe
- Mafuta kwa kiasi upendacho
- Mayai 2
- Chumvi kwa ladha upendayo. soma zaidi
Jinsi ya kupika Mgagani
Mgagani mkono 1
Mafuta vijiko vikubwa 4
Karanga zilizosagwa kikombe Β½
Maji kikombe 1
Kitunguu 1
Karoti 2
Maziwa kikombe 1
Chumvi kiasi. soma zaidi
Mgagani mkono 1
Mafuta vijiko vikubwa 4
Karanga zilizosagwa kikombe Β½
Maji kikombe 1
Kitunguu 1
Karoti 2
Maziwa kikombe 1
Chumvi kiasi. soma zaidi
Mtu aliyefanya kazi ngumu zaidi afunguka
*SIMULIZI YA KUSISIMUA*
ππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎπ€
*Mtu aliyefanya kazi ngumu zaidi afunguka*. soma zaidi

Madhara ya zinaa kisayansi
Wengi katika wanadamu wanajaribu kuhoji kwa nini Mwenyezi Mungu anakataza zinaa wakati kuingiliana baina ya mke na mume na kuingiliana baina ya hawara na hawara mambo ni yale yale, sasa kwa nini akataze???. soma zaidi

Mapishi β Kisamvu cha Karanga
Mapishi yetu leo ni kisamvu cha kuchanganya na karanga. Karibu.. soma zaidi

Jinsi ya kulima kabichi
Kabichi ni moja ya mazao yaliyomo katika jamii ya mimea inayojumuisha mimea ya kaulifulawa (cauliflower ), kabichi ya kichina na kale. Kwa kawaida kabichi hupandwa kwa msimu mmoja, lakini iwapo itakuzwa kwa ajili ya kutoa mbegu hukuzwa zaidi ya msimu mmoja. Endapo inalimwa sehemu yenye maji ya kutosha, inaweza kulimwa msimu wote wa mwaka. Kichwa cha kabichi kinapofunga vizuri, hutumika kama chakula na huvunwa baada ya kufunga na kukomaa vizuri.. soma zaidi

Mapishi ya Pilau Ya Mchicha
Mchele - 3 Vikombe. soma zaidi
Mchele - 3 Vikombe. soma zaidi
Jinsi ya kulima bamia inavyotakiwa
Suluhisho rahisi la nguvu za kiume hili hapa
NI muujiza! Pengine hivyo ndivyo yeyote anaweza kusema pindi akisikia kwa mara ya kwanza juu ya namna mihogo mibichi na nazi kavu maarufu kama mbata vinavyoweza kuwasaidia watu kiafya, na hasa wanaume.. soma zaidi

Mtu anaweza kurithi uvutaji wa bangi?
Hapana, huwezi ukarithi uvutaji wa bangi. Lakini mara nyingi watoto huiga tabia za wazazi wao. Wakiwaona wazazi au babu zao wakitumia bangi, wao hufikiri ni halali na wanaweza wakaanza kuvuta bangi pia.. soma zaidi

Sababu za magonjwa ya figo na jinsi ya kuondokana na janga la magonjwa ya Figo
1.Usichelewe kwenda HAJA. Kutunza mkojo kweye kibofu chako kwa muda mrefu ni wazo baya. Kibofu kikijaa kinaweza kusababisha uharibifu. Mkojo ambao unakaa kwenye kibofu huzidisha bakteria haraka.
Mara mkojo unaporudi nyuma ya njia na Figo, sumu dutu husababisha maambukizi ya figo, pia njia ya mkojo na "nephritis", pamoja na "uremia". Wakati wito asili (unahisi mkojo) fanya hivyo haraka iwezekanavyo.. soma zaidi

Upendo wa kweli hauna sababu!
Hivi Mpenzi Hebu Niambie umenipendea nini mimi"""…Hamna Swali linalonishangazaga kama hili,halafu wadada wanalipenda balaa..Na sijui huwa wanataka tuwajibuje kwa mfano…Je niseme macho…Inye gwedegwede…Miguu yako yenye tege kama Boban..Nywele zako ndefu ama??Mbona mnatuforce tuwe waongo jamani?We Unapendwa inatosha shukuru Mungu unapendwa yaishe… soma zaidi

Madhara ya kutumia dawa za kuzuia mimba wakati wa hatari
Watu wengi hasa vijana watakuwa wanafahamu dawa ambazo hutumiwa sana kuzuia ujauzito pale ambapo wapenzi wamejamiiana ndani ya siku za hatari. Ninazungumzia dawa za kuzuia mimba sio dawa za kupanga uzazi. Dawa hizi zipo za aina nyingi ambazo zitozitaja hapa siku ya leo. Endapo wawili hawa wanakuwa hawapo tayari kupata mtoto, na wanaona kwamba siku walizojamiiana zitapelekea mwanamke huyo kutunga mimba, basi anaweza kutumia dawa hizi ambazo zinaharibu mazingira au uwezekano wa mimba kutungwa.. soma zaidi

Vitu ambavyo mama mjamzito hapaswi kutumia
Vipo vitu mbalimbali ambavyo mama mjamzito hapaswi kuvitumia wakati wa ujauzito kwani vina athari kubwa sana kwake yeye mwenyewe pamoja na mwanaye aliye tumboni.. soma zaidi

Njia ya kitaalamu ya kujua kama una kitambi
Kitambi kinaweza kuonekana kwa kirahisi kwa macho. Ila kujua ni kwa kiwango gani kitambi chako kipo inabidi kufanya vipimo vya kiuno(waist) na nyonga (hips). Mzingo wa kiuno ukiwa >102 cm au 40 in kwa wanaume na >88 cm au 35 in kwa wanawake, na uwiano wa kiuno na hips(Waist-Hip Ratio) ikiwa >0.9 kwa wanaume na >0.85 kwa wanawake.. soma zaidi

Hii chain ya mahusiano ni shida
BOSS anamwambia sekretari wake:
Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote.. soma zaidi

Ugonjwa wa kichomi
Kichomi ni moja ya dalili za ugonjwa moyo. Kupatwa kichomi mara moja moja si vibaya.
Ukipatwa muda mrefu au kila wakti ; basi Β chunguza zaidi.
Kichomi husababishwa au kinaweza kuwa.. soma zaidi

Dada zangu huu ni mwaka wa mabadiliko
Umempata bwana
Umempenda kweli
Umemlalamikia kwanini hakupeleki kwa wazazi
Bwana akakupeleka kwa wazazi wake kukutambulisha
Siku ya kwanza umeshinda unachat… soma zaidi

Jinsi ya kumfanya mpenzi au rafiki yako asiwe na mwingine
Jambo la muhimu ni kuwasiliana kwa karibu i ili kuelewa mawazo na matatizo ya rafiki yako. Hakikisha unakuwa muwazi na mkweli. Mkielewana vizuri mnaweza kufurahia mazungumzo yenu vizuri. Vilevile mnaweza kusaidiana katika kutatua matatizo yanayoweza kumkabili mmoja wenu. Kwa kufanya hivyo mtajenga moyo wa kuaminiana.. soma zaidi

Angalia binadamu walivyo
Angalia Binadamu walivyo!,. soma zaidi
Angalia Binadamu walivyo!,. soma zaidi
Jinsi ya kulima mtama
Mtama hutoa mazao mengi hata kwenye hali ambayo haifai kwa kilimo cha aina nyingine za mazao ya nafaka. Mtama una uwezo mkubwa wa kustahimili ukame.. soma zaidi