Angalia uoga wa huyu jamaa unavyomponza, uoga mbaya
[VIDEO] Angalia uoga wa huyu jamaa unavyomponza, uoga mbaya
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
π₯ Video nyingine kama hiiπ
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Wosia mzuri wa baba kwa mwanae
Mwanangu, mimi baba yako nimeishi miaka mingi kuliko wewe ndio maana unaniita baba. Ni kweli sijasoma kama wewe ulivyosoma Ila mambo niliyokutana nayo tangu nimezaliwa ni elimu tosha ambayo wewe huna. Sasa nataka nikupe Elimu hiyo ili ukijumlisha na elimu yako ya darasani ujue namna nzuri ya kuishi katika dunia hii iliyojaa mishangazo mingi.. soma zaidi

Ujumbe wa leo kwa mtu anayetaka kufanikiwa katika maisha kiuchumi
Kila mtu aliyefanikiwa ukifuatilia historia yake pengine unaweza kukata tamaa kabisa Na kusema mimi hii njia siiwez.. soma zaidi

Kisa cha wizi mpya wa kwenye ATM π§ π³
Mdada mmoja ametusimulia kisa hiki.. Wapendwa kuweni macho… Nilikua pale Total nje ya Mliman city nikaenda kutoa hela NBC nikakuta machine haitoi hela since ni master card nikaenda Atm ya CRDB… soma zaidi

Hofu inavyo tugharimu katika safari ya ujasiriamali na Jinsi ya kuiepuka
Wengi wetu tunapenda Mafanikio, tunapenda kufika mbali tunapeda kuwa kama Mengi siku moja.. soma zaidi

Makala Maarufu
LISTI YA FURSA ZA BIASHARA NA MIRADI
LISTI YA FURSA ZA BIASHARA NA MIRADI
Karibuni;
1. Kununua Mashine za kukoroga zege na
kukodisha.
2. Kununua Mashine za kukata vyuma na
kuzikodisha.
3. Kutengeneza na kuuza tofali
4. Ufundi, Website updating/Database: Katika
Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya
na Makampuni mbalimbali.
5. ** Kuanzisha kituo cha redio na televisheni. soma zaidi

Sababu za Magonjwa ya Figo na jinsi ya kujikinga
*SABABU ZA MAGOJWA YA FIGO. JIHADHARI NA ONYEKA!.*
Raia wa Ghana wanazidi kufa kwa matokeo ya ugonjwa wa Figo.
*JINSI YA KUONDOKANA NA JANGA HATARI LA UGONJWA WA FIGO:*
*1.Usichelewe kwenda HAJA.* Kutunza mkojo kweye kibofu chako kwa muda mrefu ni wazo baya. Kibofu kikijaa kinaweza kusababisha uharibifu. Mkojo ambao unakaa kwenye kibofu huzidisha bakteria haraka.
Mara mkojo unaporudi nyuma ya njia na Figo, sumu dutu husababisha maambukizi ya figo, pia njia ya mkojo na "nephritis", pamoja na "uremia". Wakati wito asili (unahisi mkojo) fanya hivyo haraka iwezekanavyo.
*2. Kula Chumvi kupita kiasi.* Inatupasa kula Chumvi isiyozidi 5.8 gramu kwa siku.. soma zaidi

MAKUNDI MANNE YA WATU DUNIANI
Habari tazama leo ni siku nyingine Mungu katenda miujiza kwako wakati wengine wamekufa usiku wewe umeamka tena, hebu sema asante kwa hilo, tunaendele na mada zetu na leo tutaangalia makundi manne ya watu katika dunia.. soma zaidi

Mbinu 11 za kufuata ili uweze kuacha pombe
Pombe ni kinywaji kinachotumiwa na watu wengi pasipo hata kufahamu athari zake. Pombe ina athari mbalimbali kiafya na kisaikolojia. Wengi baada ya kuathiriwa na pombe hutamani kuacha matumizi ya pombe lakini ni wachache tu ndiyo hufanikiwa katika hili.. soma zaidi

Kwanini Albino wanakuwa na mabaka meusi kwenye ngozi zao?
Ngozi ya Albino haina jinsi ya kujilinda na mionzi ya jua. Inaungua
sana baada ya kupatwa na jua na ngozi huwasha na kuuma. Ngozi
ya Albino inajitahidi kujilinda na mionzi ya jua lakini ina pigimenti
nyeusi kidogo sana kwa hiyo inatengeneza mabaka meusi1. Kwa
hiyo, mabaka meusi huonyesha kuwa ngozi haijalindwa ipasavyo
dhidi ya jua. Kama Albino atajilinda na jua ngozi yake inakuwa na
mabaka kidogo sana au bila mabaka.. soma zaidi

Relaxer na Afya ya Msichana/Mwanamke
Relaxer ni dawa ya nywele inayofanya nywele za mtu mwenye ngozi nyeusi wa asili ya Afrika zilainike na kunyooka kama nywele za wazungu. Watu wengi hasa wanawake wanapenda kutumia relaxer ili nywele zao ziwe na mwonekano tofauti. Kihistoria matumizi ya relaxer yalianza kama matokeo ya watu weusi kubaguliwa. Watu weusi walipoona hivyo waliamua kuiga maisha ya kizungu ili kufanana fanana na wazungu kwa rangi ya ngozi na nywele ili wathaminiwe na kupewa upendeleo wa kupata fursa za mafanikio na watawala wetu enzi za ukoloni. Wakoloni waliwapendelea watu walioipokea kasumba hii kwa mikono miwili.. soma zaidi

Mambo Ya Kuzingatia Kuongeza Utagaji Wa Kuku
Inafahamika kuku kutaga mayai mengi hutokana na aina ya mbegu ya kuku, ila jua kwamba hata aina ya mbegu ya kuku yenye sifa ya kutaga mayai mengi kama haitapewa matunzo mazuri basi sifa yake ya utagaji itapotea.
Kwa kawaida Tetea anatumia muda wa masaa 24 - 27 (siku moja) kutengeneza yai. Hakuna njia ya kupunguza muda huu (yaani atengeneze mayai miwili katika siku moja). Hiyo ndio asili yake. Njia Nzuri ya kumfanya kuku atage muda mrefu ni kumfanya awe na furaha na afya.
Njia za kuwafanya kuku wawe na furaha na afya:. soma zaidi

Jinsi ya kutumia maziwa ya mtindi kufanya ngozi yako kuwa laini na soft
Ulisha wahi kukaa ukajiuliza mbona kuna baadhi ya watu wana ngozi nzuri laini na soft? lakini kwako ni tofauti?. soma zaidi

Utajuaje kama una upungufu wa maji mwilini? Dalili ni hizi
Upungufu wa maji ni pale mwili unapopoteza kiasi kingi cha maji kwa njia mbalimbali, ikiwemo jasho na mkojo, mwili hupungukiwa maji na hivyo mtu huyo huambiwa ana upungufu wa maji. Tunaelezwa kuwa karibu theluthi mbili ya miili yetu imejaa maji.. soma zaidi

Ujue na ufahamu mfumo wa Moyo
@UJUE NA UFAHAMU MFUMO WA MOYO (CARDIOVASCULAR SYSTEM). soma zaidi

Jinsi ya kupika Biskuti Za Kopa Za Kunyunyuziwa Sukari Za Rangi
Unga vikombe 2 ΒΌ. soma zaidi
Unga vikombe 2 ΒΌ. soma zaidi
Angalia jinsi maamuzi yako ya jana na ya leo yanavyoweza kukuathiri
By Malisa GJ,
Nimeitoa kwa Comrade Markus Mpangala na kuitafsiri kwa Kiswahili (kisicho rasmi sana).
Mwaka 1998 "Google" walitaka kuiuza kampuni yao kwa "Yahoo" kwa dola Milioni 1 (sawa na Shilingi Bilioni 2) lakini Yahoo wakakataa. Yani Yahoo wakakataa kuinunua Google.. soma zaidi

Hizi ndizo sababu kwa nini ule Tende kipindi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
Kitaalamu chakula unachokula leo ndio kinaamua hali ya afya yako kwa siku za usoni. Na ni muhimu sana kuzingatia ulaji bora wa chakula na si kula ilimradi umekula. Wataalamu wa lishe wanatuambia kuwa ulaji unaofaa hutokana na kula chakula mchanganyiko kulingana na wakati.. soma zaidi
Kitaalamu chakula unachokula leo ndio kinaamua hali ya afya yako kwa siku za usoni. Na ni muhimu sana kuzingatia ulaji bora wa chakula na si kula ilimradi umekula. Wataalamu wa lishe wanatuambia kuwa ulaji unaofaa hutokana na kula chakula mchanganyiko kulingana na wakati.. soma zaidi
Hofu inavyo tugharimu katika safari ya ujasiriamali na Jinsi ya kuiepuka
Wengi wetu tunapenda Mafanikio, tunapenda kufika mbali tunapeda kuwa kama Mengi siku moja.. soma zaidi
Wengi wetu tunapenda Mafanikio, tunapenda kufika mbali tunapeda kuwa kama Mengi siku moja.. soma zaidi
Jinsi ya Kulima karoti
Nimepanda karoti lakini sitaki kutumia dawa za viwandani kuua magugu mbali na kupalilia kwa mikono ni dawa gani za asili ninazoweza kutumia kuua magugu?. soma zaidi

Ni vizuri kujua haya
ππΏDegree au vyeti ulivyo navyo haviwezi kukupa mafanikio.
ππΏUzuri ulio nao hauwezi kukupeleka kwenye ndoto zako.
ππΏUsipobadilisha hao marafiki ulio nao hutofika mahali popote.. soma zaidi

Kwa nini pombe za kienyeji ni hatari kuliko pombe za viwandani?
Pombe zinazotengenezwa kiwandani zinafuata viwango
ambavyo ubora wake umethibitishwa kihalali. Hii inamaanisha
kwamba wataalamu katika kiwanda, huzipima bidhaa hizo
mara kwa mara huangalia usafi wake, kiwango cha kilevi, na
mchanganyiko wa malighafi zinazotumika kutengenezea pombe
hiyo. Madhara ya pombe za kienyeji yanatokana na kutokuwepo
kwa utaratibu kama huo. Mara nyingi vitu kama vile mbolea za
chumvichumvi huongezwa ili kuichachusha haraka. Kwa bahati
mbaya, mara nyingi watu hupata madhara makubwa baada ya
kunywa pombe zilizotengenezwa kienyeji. Wengi hupata upofu
na hata wengine hufa.. soma zaidi

Jinsi ya kupika Visheti
Viamba upishi
Viamba upishi
Unga 2 Vikombe
Samli au shortening ya mboga 2 Vijiko vya supu
Maziwa ΒΎ Kikombe
Iliki Kiasi
Mafuta ya kukarangia Kiasi
Shira
Sukari 1 Kikombe
Maji ΒΎ Kikombe
Vanila Β½ Kijiko cha chai
Zafarani (ukipenda) Kiasi. soma zaidi
Mapishi ya Ugali Kwa Mchuzi Wa Nazi Wa Nyanya Chungu/Mshumaa/Ngogwe Na Bamia, Mboga Ya Matembele Na Samaki Wa Kukaanga
Unga wa mahindi - 4. soma zaidi
Unga wa mahindi - 4. soma zaidi
Mtu aliyefanya kazi ngumu zaidi afunguka
*SIMULIZI YA KUSISIMUA*
ππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎπ€
*Mtu aliyefanya kazi ngumu zaidi afunguka*. soma zaidi

Mavazi Mazuri kwa wanawake wanene
Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiangaika kupata aina ya nguo za kuvaa tena hasa wanawake wanene, kutokana na maumbo yao wanaona ni kazi sana kutafuta nguo, wengine hukosa hata uhuru wa kutoka out na watu wao wa karibu kwa sababu tu wanakosa nguo.Wengi ujikuta wakichagua nguo pana pana ili kuficha maumbo yao, lakini kumbe unaweza kuwa huru sana na mwili wako.. soma zaidi

Jinsi ya kupika Magimbi Kwa Nyama Ya Ngβombe
Majimbi (Eddoes) kiasi 6 au 7. soma zaidi

Faida 14 za kufunga chakula
Watu wengi wanafahamu kuwa kufunga kula ni swala linalohusiana na imani zaidi. Wengi hawafahamu kuwa kufunga kula kuna manufaa ya kiafya pia. Kufunga kula ni tendo lenye historia ndefu sana ambayo kimsingi chimbuko lake ni sababu za kiimani. Hata hivyo shuhuda na tafiti mbalimbali zimedhihirisha kuwa kuna manufaa mengine kemkem ya kufunga kula mbali na yale ya kiimani.. soma zaidi

Unaweza kushare maneno haya kuntu kwa vijana wote ambao hawajaoa na walio kwenye ndoa
1. Mwanangu, mwanamke anaweza kuwa mkeo, mwingine anaweza kuwa mama wa watoto wako, lakini ukipata mwanamke ambae atakuwa kama mama kwako, mama kwa wanao na mama kwa familia, tafadhali mwanangu usimuache huyo!. soma zaidi

Jinsi ya kutumia kondomu ya kike
Kondomu ya kike inafahamika kwa jina la βcareβ na βLady Petetaβ. Hapa Tanzania hazipatikani sehemu zote na bei yake ni kubwa kidogo.
Kondomu ya kike huingizwa ukeni kabla ya kujamiiana. Kama unatumia kondomu ya kike, chana kwa uangalifu pembezoni mwa pakiti. Kondomu ina pete mbili za plastiki na uwazi upande wa juu. Pete moja imelegea ni ndogo na iko kwa ndani, upande usio na uwazi. Pete ya pili ni kubwa zaidi, imeshikiliwa na iko upande wa tundu. Shikilia kondomu upande uliozibwa na minya pete ya ndani kwa dole gumba na kidole cha pili na cha kati. Mara nyingine inaweza ikakuponyoka, (kuteleza) lakini endelea kujaribu hadi umeiminya vizuri. Tafuta mkao mzuri na ingiza kondomu ya kike. Huku bado unaminya kwa vidole vyako iongoze kondomu ndani ya uke wako. Ukiiachia pete ya ndani itashikilia kondomu ndani ya uke. Sasa ingiza kidole chako kwenye kondomu, sukuma pete mpaka inapogota kwenye mlango wa uzazi.
Kondomu ya kike inaweza kuvaliwa saa kadhaa kabla ya kufanya ngono na pia inaweza kuvuliwa baada ya muda wa kufanyika ngono kupita. Ili kuhakikisha kuwa uume umeingia sehemu husika, msaidie mwenzi wako kuongoza uume kuingia kwenye uke ili usipenye pembeni.
Baada ya kujamiiana, vua kondomu kwa uangalifu. Tupa kondomu iliyotumika kwenye choo cha shimo au uichome. Usitupe kondomu iliyotumika ovyo.
Kama ilivyo kwa kondomu ya kiume, kondomu ya kike itatumika kwa mafanikio zaidi pale ambapo wahusikia wanakuwa na makubaliano na maelewano juu ya matumizi yake.. soma zaidi

Mahitaji na Jinsi ya kupika chapati nzuri tamu za mayai (Pancakes) kwa ajili yako, familia au kuuza
Kuandaa Pancakes au chapati za mayai ni kama ifuatavyo;. soma zaidi

Mapishi ya Sambusa za nyama
Nyama ya kusaga (minced beef 1/4 kilo)
Vitunguu maji vilivyokatwakatwa(diced onion 2 vikubwa )
Kitunguu swaum/ tangawizi (garlic and ginger paste 1 kijiko cha chakula)
Chumvi (salt)
Pilipili iliyokatwakatwa (scotch bonnet 1)
Limao (lemon 1/2)
Curry powder 1/2 kijiko cha chai
Cinnamon powder 1/4 kijiko cha chai
Coriander powder 1/4 kijiko cha chai
Cumin powder 1/4 kijiko cha chai
Unga wa ngano (all purpose flour kidogo)
Manda za kufungia (spring roll pastry)
Giligilani (fresh coriander kiasi)
Mafuta ya kukaangia. soma zaidi

Jinsi ya kupika Wali wa hoho
Wali wa hoho ni chakula maalum kinachotumika katika hafla au sherehe. Ni chakula chenye ladha nzuri na kina muonekano wa kuvutia kinapokuwa mezani tayari kwa kuliwa.. soma zaidi

Jinsi ya kufanya wazazi wamkubali mchumba
Uhusiano mzuri na wazazi ni muhimu sana siyo katika masuala ya uchaguzi wa mchumba tu, bali katika masuala yote ya msingi maishani. Kwa hiyo, hatua ya kwanza ni kujaribu kuelewana nao.
Mara nyingi vijana hufikiri wazazi hawaelewi maisha ya vijana wa kisasa. Mara nyingine hufikiri kwamba mila na desturi zinamzuia kijana kufanya uamuzi ambao unafaa. Pia wengine hufikiri kwamba tofauti ya malengo kati ya vijana na wazazi huleta mgongano.. soma zaidi