Cheki hawa wanavyojenga bonge la nyumba
[VIDEO] Cheki hawa wanavyojenga bonge la nyumba
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Ningekufa kwa ajili ya mwanamke
Leo nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. ,Nikamuuliza eti dada unavijua visa vya wanawake??
Akajibu kaka niache, nikakomaa anijibu…
Badala ya kujbu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada.. hadi wananchi wenye mapanga, mawe na mishale wakaanza kuja, dada huyo alivyoona wanakuja akajmwagia maji mwili mzima. Nikajua leo ndio mwisho wangu nikajuta sana kutaka kujua kila kitu…
Wananchi walivyofika, wakamuulza, kuna nini? Akawajibu, nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndie amensaidia!!
Wakanipongeza sana sana kisha wakaondoka…
Yule dada akaniambia, hivyo ndivyo visa vya mwanamke anaweza kukuua au kukulinda! So muheshmu mwanamke hata kinafiki, usijfanye jeuri!!!. soma zaidi

Elimu tuu haitoshi kukunufaisha maishani na kukupa mafanikio
EMBU SOMA HII KWA MAKINI SJUI NI KWELI? USIMAINDI LAKINI MAANA ITAKUGUSA TUU. MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI
βπ½Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa.. soma zaidi

Wadada haya ndiyo yalikua mapenzi ya kweli
Ladies jaribu kuchukua hata dakika mbili kuwakumbuka na kuwaombea mema huko walipo wale watu mliokua mna date nao wakati mko secondary …anakupenda bila make up.. Bila mawigi.. Bila kusuka.. Umenyoa kichwa kama baba ako.. Unashinda na sketi jekundu lina marinda miezi 6 alafu oversize… Shape haieleweki haionekani.. Umekonda.. Unakula ugali na maharage ya wadudu ila yeye yuko bega kwa bega na wewe.. Yale ndio yaliitwa True Love sasa… soma zaidi

Kwa nini wanaume huumia zaidi kwenye mapenzi π
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, watu kutoka koo, makabila, mataifa na wenye rangi tofauti hujikuta katika dimbwi zito.
Hujikuta katika wakati ambao kila mmoja haoni kitu kingine cha thamani zaidi ya mpenzi wake. Huu ni wakati ambao si tu kuwa neno usaliti linakuwa halipo bali wapenzi hawahisi hata kama kuna maisha bila ya yule wampendaye.
Usaliti ni jambo lenye maumivu yasiyovumilika hasa ikiwa ni jambo ambalo halikutarajiwa. Mtu hahisi kama itatokea mpaka inapotokea.

Mwishoni mwa wiki hii kumeenea picha za mwanaume aliyejikatisha uhai kisa mapenzi. Hii ikanikumbusha utafiti usio rasmi nilio ahi kufanya juu ya kwanini wanaume huumizwa zaidi na usaliti kuliko wanawake.. soma zaidi
Makala Maarufu
Madhara ya kutumia plastiki kuwekea chakula
Kuna hawa ndg zangu wanachemsha mihogo kisha wanaifunikia nailon ili ilainike vzr. Wengine huhifadhi ugali ktk mifuko ya plastic na kuitumbukiza kwenye maji moto ili ugali usipoe, wengine huchemsha supu ya kichwa cha ng'ombe ule ubongo wanautia ktk mifuko ya plastic na kuuchemsha ktk supu hiyo hiyo hadi unaiva ukiwa ndani ya plastic na plastic ndani ya supu. Je, hizi plastic madhara yake kitaalamu yakoje?. soma zaidi

Mapishi ya Mandazi ya nazi
Unga wa ngano (self risen flour) vikombe 2 na1/2
Sukari (sugar) 1/2 kikombe
Hamira (yeast) 1/2 kijiko cha chai
Hiliki (cardamon powder) 1/4 kijiko cha chai
Tui la nazi (coconut milk) kiasi
Baking powder 1/4 kijiko cha chai
Siagi (butter)1 kijiko cha chakula
Mafuta ya kukaagia. soma zaidi

UMETOKA KAZINI UMEKUTA PANYA 6 ndani
UMETOKA KAZINI UMEKUTA PANYA 6 ndani.
Panya wa 1- Anakula Vyet vyako vya degree ya pili.Β
Panya wa 2- Anakula cheti chako cha Ndoa
Panya wa 3- Anakula Hati ya kusafiria na safari ni kesho.. soma zaidi

Ndoa sio utani. Soma stori hii
"Mkeo amefariki. Rudi nyumbani kwako haraka sana" Hezron alimwambia Daniel katika simu.. soma zaidi

Kwa nini hairuhususiwi kuotesha au kuvuta bangi, iwapo kupanda na kuvuta tumbaku kunaruhusiwa?
Sheria ya Tanzania inaeleza dawa zilizo halali na zisizo halali.
Tumbaku imekubalika na jamii kwa muda mrefu, na ni katika
miaka kama hamsini iliyopita ndipo madhara yatakanayo na
nikotini iliyomo kwenye tumbaku yalipoanza kukubalika. Hata
hivyo, hadi sasa tumbaku ni halali, lakini ni bangi kwa upande
mwingine si halali kisheria Tanzania.
Kwa hivyo, kutokana na kwamba nikotini kwenye sigara
ina madhara, basi serikali ilichukua hatua ya kuanza
kuwatahadhadharisha wavutaji na kuwazuia vijana kuvuta sigara.
Kuna sheria mpya Tanzania ambayo inawalazimisha
watengenezaji wa bidhaa za tumbaku kuandika tahadhari
ya afya kwenye bidhaa wanazotengeneza na kuuza. Kuanzia
mwaka 2000 bidhaa za tumbaku zote zililazimika kuwa na onyo
kwamba βUvutuaji wa sigara ni hatari kwa afya yako.β. soma zaidi

Je, ni kweli kwamba uvutaji wa bangi hupunguza mawazo?
Bangi hupunguza mawazo kwa muda mfupi kwani huleta hisia za furaha na utulivu. Lakini hata hivyo matatizo hubakia palepale na mara nyingi huongezeka hapo baadaye. Watu wanaovuta bangi huikimbia dunia halisi na huingia dunia ya ndoto kwa muda mfupi. Mara hisia zilizoletwa na bangi zinapoondoka, aghalabu matatizo huwa mabaya zaidi kuliko mwanzo. Matumizi ya bangi huahirisha na kuchelewesha tu utatuzi wa matatizo.. soma zaidi

Nini kinatokea wakati Virusi vya UKIMWI (VVU) vinapoingia mwilini na vinakwenda wapi katika sehemu ya mwili?
Virusi hivi vinakaa katika chembechembe nyeupe zilizopo kwenye majimaji ya mwili i wa binadamu hasa kwenye damu, shahawa na maji maji ya ukeni na maziwa ya mama anayenyonyesha. Ndani ya chembechembe nyeupe ndiyo mahali virusi vinakaa na kuendelea kuzaliana. Vikiwa ndani ya chembechembe nyeupe hizi, virusi huendelea kuzaliana hadi kusababisha chembechembe nyeupe hizi kupasuka. Virusi hivi hupata nafasi ya kuendelea kushambulia chembechembe nyingine nyeupe za damu. Kwa kadri chembechembe nyeupe zilizoshambuliwa zinavyoendelea kupasuka ni kwa kiwango hicho hicho chembechembe nyeupe zinaendelea kuharibiwa na kupungua. Matokeo yake ni kupungua kwa kinga mwilini na mtu kuendelea kudhoofika.. soma zaidi

Jinsi ya Kutumia Bmia kuondoa chunusi Usoni
Wiki hii kwenye urembo tutaongelea mboga aina ya bamia jinsi inavyotibu chunusi na kuziondoa moja kwa moja. Mbali na chunusi, pia husababisha ngozi kuteleza na kuwa nyororo.. soma zaidi

Ndege zagongana angani
. soma zaidi
. soma zaidi
Jinsi ya kupika vizuri Wali Wa Karoti Na Nyama
Mchele - 3 Magi. soma zaidi
Mchele - 3 Magi. soma zaidi
Fedha za sherehe Bungeni zaelekezwa Hospitali ya Muhimbili asema Magufuli
Rais Magufuli ametoa agizo hilo baada ya kupokea taarifa kuwa wadau mbalimbali wamechanga kiasi cha shilingi milioni 225 kwa ajili ya kugharamia hafla ya wabunge katika siku ya uzinduzi wa Bunge.. soma zaidi
Jinsi biogesi ilivyo bora: Uzalishaji, Matumizi na faida za Bayoges
Hii ni aina ya nishati inayosaidia kupunguza uharibifu wa mazingira na inazalisha mbolea ya mboji ambayo imethibitishwa kurutubisha udongo.Biogesi ni gesi inayozalishwa na bacteria wanapovunjavunja malighafi zinazooza kwa urahisi kama vile kinyesi cha ngβombe na mifugo wengine, na mabaki ya jikoni, yanapowekwa kwenye sehemu isiyokuwa na hewa ya oksijeni. Nishati hii inaweza kutumika kwa kupikia pamoja na kuwasha taa majumbani.. soma zaidi

Mapishi ya Wali na kuku wa kienyeji
Kuku wa kienyeji (boiler chicken 1)
Mchele (rice 1/2 kilo)
Nyanya ya kopo (tin tomato 1)
Vitunguu (onion 2)
Vitunguu swaum (garlic cloves 6)
Tangawizi (ginger)
Carry powder
Binzari ya njano (Turmaric 1/2)
Njegere(peas 1/2kikombe)
Carrot iliyokwanguliwa 1
Limao (lemon 1)
Bilinganya (aubergine 1)
Chumvi
Pilipili (scotch bonnet pepper)
Mafuta (vegetable oil). soma zaidi
Kuku wa kienyeji (boiler chicken 1)
Mchele (rice 1/2 kilo)
Nyanya ya kopo (tin tomato 1)
Vitunguu (onion 2)
Vitunguu swaum (garlic cloves 6)
Tangawizi (ginger)
Carry powder
Binzari ya njano (Turmaric 1/2)
Njegere(peas 1/2kikombe)
Carrot iliyokwanguliwa 1
Limao (lemon 1)
Bilinganya (aubergine 1)
Chumvi
Pilipili (scotch bonnet pepper)
Mafuta (vegetable oil). soma zaidi
Mambo Mubimu kujua Kuhusu Tatizo la Shinikizo la damu (Tatizo la presha)
Ni msukumo wa damu ulio juu kuliko inavyotakiwa kwa muda mrefu. Msukumo wa damu huhitajika mwilini ili kusambaza chakula, oksijeni na kutoa uchafu. Shinikizo la damu hupimwa kwa kutumia kifaa kinachoitwa Sphygmomanometer. soma zaidi

Faida za kula uyoga kiafya
Uyoga una vitamini na aina nyingi na madini. Virutubisho vilivyothibitishwa kuwemo kwenye uyoga ni pamoja na Vitamin B2, B3, B5, B6, B Complex pamoja na madini ya Potasiamu na Phosphorus.. soma zaidi

MAPISHI YA LADU
Unga - 6 vikombe. soma zaidi
Unga - 6 vikombe. soma zaidi
Je, ni kweli matumizi ya dawa za kulevya ni mojawapo ya sababu zinazochangia maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU)
Dawa za kulevya zenyewe hazisababishi UKIMWI na magonjwa ya zinaa. Lakini utumiaji wa dawa za kulevya hurahisisha kupata na kuenea kwa magonjwa haya. Dawa hizi hudhoofisha mwili na kinga ya mwili. Hivyo basi hurahisisha virusi vya magonjwa kuingia mwilini mwa mtumiaji kiurahisi.. soma zaidi

Mapishi ya wali wa Kiafrika Mangaribi
Mchele (rice vikombe 2 na 1/2)
Vitunguu (onion 2)
Nyanya ya kopo (tin tomato kopo 1)
Tangawizi (ginger paste kijiko 1 cha chakula)
Kitunguu swaum (garlic paste kijiko 1 cha chakula)
Paprika (kijiko 1 na 1/2 cha cha chai)
Pilipil (scotch bonnet pepper 1)
Curry powder (kijiko 1 cha chai)
Maggi cubes 3(unaweza kutumia yenye ladha ya chicken, beef au vegetable. Inategemea unasevu na mchuzi wa aina gani)
Chumvi (salt)

Mapishi ya Supu Ya Maboga
Blue band vijiko vikubwa 2
Maziwa vikombe 2
Royco kijiko kikubwa 1-2
Pilipili manga (unga) kijiko cha 1
Chumvi kiasi Maji lita 2-3
Boga kipande Β½
Viazi mviringo 2
Vitunguu 2
Karoti 2
Nyanya 2. soma zaidi
Blue band vijiko vikubwa 2
Maziwa vikombe 2
Royco kijiko kikubwa 1-2
Pilipili manga (unga) kijiko cha 1
Chumvi kiasi Maji lita 2-3
Boga kipande Β½
Viazi mviringo 2
Vitunguu 2
Karoti 2
Nyanya 2. soma zaidi
Jinsi ya kutibu chunusi kwa Siki ya tufaa
Siki ya tufaa (Apple cider vinegar) ni moja kati ya dawa zinazojulikana katika kutibu chunusi ahsante kwa uwezo wake wa kurudishia tindikali katika ngozi. Bakteria wabaya, mafuta na uchafu mwingine wowote utaondoka juu ya ngozi yako bila kupenda ukitumia dawa hii.. soma zaidi

Mapishi ya Ugali Kwa Mchuzi Wa Samaki Wa Kuchoma
Unga wa mahindi - 4 vikombe. soma zaidi
Unga wa mahindi - 4 vikombe. soma zaidi
Jinsi ya kufanya nywele zako ziwe na mvuto na kuvutia zaidi
Mwanamke unywele hasa ukiwa nao, hii ni kauli upya ambayo Muungwana blog inakupa siku ya leo. Miongoni mwa maswali ambavyo huwa tunaulizwa na wasamoaji wetu ni pamoja ni kwa jinsi gani naweza kutengeneza nywele zangu ili ziwe za kuvutia?. soma zaidi

Je, mtu anaweza kuambukizwa virusi vya UKIMWI na UKIMWI iwapo atavaliana nguo na mtu mwenye Virusi vya UKIMWI na UKIMWI?
Hapana, Virusi vya UKIMWI na UKIMWI hauambukizwi kwa kuvaliana nguo na mgonjwa, kwa sababu vijidudu vya UKIMWI vinakufa baada ya muda mfupi vikiwa hewani. Hata hivyo, kufuatana na kanuni za usafi, ni vizuri zaidi kuvaa nguo zilizofuliwa na kupigwa pasi.. soma zaidi

Je, mvulana anaweza akafikia mshindo kwa njia ya kusugua uume na vidole na kuna madhara gani ukisugua uume na vidole?
Ndiyo, mvulana anaweza akafikia mshindo kwa njia ya kusugua uume na vidole. Anaposuguliwa uume na vidole, msisimko wa mwili unaongezeka na damu zinaingia kwenye mishipa ya damu katika uume.. soma zaidi

Mapishi ya Biriani Ya Tuna
Mchele Basmati - Mugs 2 Β½. soma zaidi
Mchele Basmati - Mugs 2 Β½. soma zaidi
KUJUA JINSIA YA MTOTO WAKATI WA UJAUZITO
Ujauzito ni kipindi kinachoweza kuwa cha furaha hasa kwa wazazi watarajiwa. Katika kipindi hiki shauku kubwa huwa ni kujua mtoto atayezaliwa ni wa kike au kiume?. soma zaidi

Ninawezaje kumsaidia mtu kuacha kuvuta sigara na kunywa pombe?
Jaribu kutafuta sababu zinazowafanya rafiki, ndugu na jamaa
zako kuwa na tabia ya kuvuta sigara na kunywa sana pombe.
Jaribu kuwa naye karibu na mshughulishe asipate muda wa
kuvuta na kunywa pombe. Kuwa naye kwa muda mrefu, fanya
naye kazi na mtambulishe kwa rafiki zako ambao hawatumii
sigara wala pombe. Mweleze umuhimu wa yeye kukaa mbali na
vishawishi. Mweleze kwa nini ni vigumu sana kushinda vishawishi
ukiwa katika hali ya ulevi, na unapotoa ushauri huo yakupasa
usiwe mlevi na mvutaji.
Inaweza ikatokea, jamaa unayemshauri kuhusu madhara ya
kunywa pombe na kuvuta sigara, akachukia au ukawa ndio mwisho
wa urafiki wenu. Usijilaumu, ujitahidi kumsaidia kadiri uwezavyo.
Wakati mwingine ni vyema ukavunja urafiki huo kwa usalama
wako na wa rafiki yako. Endapo kama itatokea akaanza kutambua
madhara na matokeo ya uvutaji sigara na unywaji pombe na
hatimaye kuchukua uamuzi wa kuelezea matatizo yake, itampasa
amtafute mtaalamu ili aweze kupata ushauri nasaha.. soma zaidi

Madhara ya pombe kwa mwili na akili
Pombe huingia kwenye damu na kuzunguka mwili mzima pamoja
na kwenye ubongo wako. Ina madhara kwa viungo vya mwili
wako na ubongo wako na hivyo huathiri tabia na hisia zako.. soma zaidi

Mapishi ya Haliym Ya Nyama Mbuzi -Bokoboko La Pakistan
Nyama ya mbuzi au ngβombe ya mafupa - 2 LB. soma zaidi

Jinsi ilivyo hatari kumfunga mbuzi kamba shingoni
Ni dhahiri kuwa wafugaji wengi wana bidii sana na kuwa na matumaini makubwa kutokana na kazi zao. Hari ya kuwa na uzalishaji mzuri kutokana na mifugo yao pia ni dhahiri.. soma zaidi