Cheki huyu jamaa alichofanyiwa na huyu n'gombe
[VIDEO] Cheki huyu jamaa alichofanyiwa na huyu n'gombe
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Ningekufa kwa ajili ya mwanamke
Leo nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. ,Nikamuuliza eti dada unavijua visa vya wanawake??
Akajibu kaka niache, nikakomaa anijibu…
Badala ya kujbu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada.. hadi wananchi wenye mapanga, mawe na mishale wakaanza kuja, dada huyo alivyoona wanakuja akajmwagia maji mwili mzima. Nikajua leo ndio mwisho wangu nikajuta sana kutaka kujua kila kitu…
Wananchi walivyofika, wakamuulza, kuna nini? Akawajibu, nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndie amensaidia!!
Wakanipongeza sana sana kisha wakaondoka…
Yule dada akaniambia, hivyo ndivyo visa vya mwanamke anaweza kukuua au kukulinda! So muheshmu mwanamke hata kinafiki, usijfanye jeuri!!!. soma zaidi

Elimu tuu haitoshi kukunufaisha maishani na kukupa mafanikio
EMBU SOMA HII KWA MAKINI SJUI NI KWELI? USIMAINDI LAKINI MAANA ITAKUGUSA TUU. MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI
βπ½Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa.. soma zaidi

Wadada haya ndiyo yalikua mapenzi ya kweli
Ladies jaribu kuchukua hata dakika mbili kuwakumbuka na kuwaombea mema huko walipo wale watu mliokua mna date nao wakati mko secondary …anakupenda bila make up.. Bila mawigi.. Bila kusuka.. Umenyoa kichwa kama baba ako.. Unashinda na sketi jekundu lina marinda miezi 6 alafu oversize… Shape haieleweki haionekani.. Umekonda.. Unakula ugali na maharage ya wadudu ila yeye yuko bega kwa bega na wewe.. Yale ndio yaliitwa True Love sasa… soma zaidi

Kwa nini wanaume huumia zaidi kwenye mapenzi π
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, watu kutoka koo, makabila, mataifa na wenye rangi tofauti hujikuta katika dimbwi zito.
Hujikuta katika wakati ambao kila mmoja haoni kitu kingine cha thamani zaidi ya mpenzi wake. Huu ni wakati ambao si tu kuwa neno usaliti linakuwa halipo bali wapenzi hawahisi hata kama kuna maisha bila ya yule wampendaye.
Usaliti ni jambo lenye maumivu yasiyovumilika hasa ikiwa ni jambo ambalo halikutarajiwa. Mtu hahisi kama itatokea mpaka inapotokea.

Mwishoni mwa wiki hii kumeenea picha za mwanaume aliyejikatisha uhai kisa mapenzi. Hii ikanikumbusha utafiti usio rasmi nilio ahi kufanya juu ya kwanini wanaume huumizwa zaidi na usaliti kuliko wanawake.. soma zaidi
Makala Maarufu
mafuta kwenye kondomu
Mafuta yanayowekwa kwenye pakiti ya kondomu ni mafuta maalum na yana kazi ya kuhifadhi kondomu mpaka siku yake ya kutumiwa. Bila mafuta haya kondomu isingekuwa imara, ingekauka na isingekuwa nyumbufu vya kutosha. Vilevile mafuta hayo yanalainisha mpira ili kurahisisha uvaaji na matumizi yake. Kwa watu wengi, mafuta haya hayawaletei matatizo yoyote. Watu wachache sana ambao ngozi yao ni nyepesi kuathirika wanapata matatizo ya kuwasha baada ya kutumia kondomu.. soma zaidi

Inakuwaje mtoto anakuwa wa kike au wa kiume?
Mwili wa mwanaume unatengeneza aina mbili za mbegu. Kuna mbegu zinazokua kuwa mtoto wa kiume na kuna mbegu zinazokua kuwa mtoto wa kike. Ile mbegu inayofika kwenye yai kwanza, inarutubisha yai na ni wakati uleule, jinsia ya mtoto i inatokea. Uwezekano wa kumpata mtoto wa kike au wa kiume unafanana, na hii ni kweli katika nchi zote duniani.. soma zaidi

Mambo yakuzingatia kabla ya kuingia kwenye ndoa
Ujumbe wangu kwako Leo: NI VEMA UKAYAJUA
HAYA KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA:
1. Sherehe ya Harusi ni ya siku moja tu, na Ndoa
ni ya maisha yote.
2. Mwanamume/Mwanamke aliyezoea kuchepuka
kabla ya Ndoa, ataendelea kuchepuka hata baada
ya Ndoa.. soma zaidi

MAMBO YANAYO BORESHA AFYA YA MSICHANA
Wasichana wanahitaji mlo kamili na chakula kingi zaidi ya wanawake watu wazima wenye uzito sawa na wao. Katika kipindi hiki cha makuzi na kupevuka msichana huhitaji viini lishe vya kutosha. Katika kipindi hiki protein, madini ya chokaa, chuma na zinc huhitajika mara dufu. Vitamini, wanga na mafuta pia huhitajika kwa wingi.
Kupoteza damu wakati wa hedhi na mchakato wa kukua huongeza mahitaji ya madini chuma katika mwili wa msichana. Msichana anahitaji kula chakula chenye asili ya mimea, kula matunda na maji ya matunda (juice) kwa wingi. Nafaka na mboga za majani, vyakula vitokanavyo na mizizi kama karoti, viazi na vyakula vingine ni muhimu sana.
Wasichana inawapasa kuepuka vyakula visivyo na viini lishe vya kutosha, vyenye sukari nyingi, chumvi nyingi pamoja na mafuta mengi ambavyo huandaliwa kwa harakaharaka au kufungashwa viwandani (junk foods). Vyakula vya namna hii, vinaweza kusababisha matatizo ya kiafya kama vile kutoa kinyesi kikavu, unene wa kupindukia, kisukari, shinikozo la damu, uchovu wa mwili wa mara kwa mara, uvimbe wa maungio na vifundo vya mwili pamoja na magonjwa ya figo.. soma zaidi

Mapishi ya wali wa mboga
Wali uliopikwa (cooked rice) kiasi
Hoho la kijani (green pepper) 1/2
Hoho jekundu (red pepper) 1/2
Carrot 1
Kitunguu kikubwa (onion) 1
Njegere (pears) 1/2 kikombe cha chai
Mayai (eggs) 2
Uyoga (mushroom) 2 vikombe vya chai
Soy source 2 vijiko vya chakula
Chumvi (salt) kiasi
Mafuta (veg oil) 3 vijiko vya chakula. soma zaidi

Jinsi ya kuandaa Vileja Vya Karanga
Mayai 5. soma zaidi
Mayai 5. soma zaidi
Namna ya Kuifanya ngozi yako kuwa laini bila Madoa
Ili kufanya ngozi yako kuwa laini bila madoa zingatia mambo haya yafuatayo;. soma zaidi

Kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi
Je, kuna madhara kama mtu akikaa muda mrefu bila kufanya mapenzi?
Ukweli ni kwamba hakuna madhara yoyote ya kiafya ukikaa muda mrefu bila kujamii ana. Hakuna madhara yatakayokutokea kwenye sehemu zako za siri au katika sehemu nyingine ya mwili wako. Mwanaume au mwanamke akianza kujamii ana baada ya kukaa muda mrefu, atapata raha na starehe.. soma zaidi

Kwa nini uume unasimama mara nyingine wakati wa kuamka asubuhi?
Ni kweli kwamba mara nyingi hali hii huwatokea wavulana na wanaume. Ndani ya uume kuna mishipa mingi ya damu na kama damu nyingi i i ikienda sehemu hii i ii inasababisha uume kuwa mgumu na kusimama. Mtu anapolala huwa ametulia na hivyo damu inaweza kusukumwa kuelekea kwenye uume. Kwa hiyo, msukumo wa damu ndani ya uume ni sababu pekee ya uume kusimama. Pia kujaa kwa kibofu cha mkojo huweza kusababisha uume kusimama wakati wa kuamka usingizini asubuhi.. soma zaidi

Mapishi ya Ndizi Za Supu Ya Nyama Ya Ngβombe
Ndizi - 15 takriiban. soma zaidi
Ndizi - 15 takriiban. soma zaidi
Je , vipimo vya Virusi vya UKIMWI vinasema ukweli?
Uwezekano wa kupata majibu ya uwongo ni mdogo sana, isipokuwa tu kama vipimo vitafanyika kipindi i chini ya miezi mitatu baada ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI kukupata.. soma zaidi

Njia za kuongeza wingi wa mbegu za kiume
Chakula unachokula kina mchango mkubwa katika kutibu tatizo hili. Vyakula vingi vya kisasa havina uwezo wa kuongeza uwingi wa mbegu.. soma zaidi

BADILIKA: Anza kupiga hatua ya maendeleo sasa
Ili kutoka hapo ULIPO uweze kwenda HATUA inayofuata kuna SWALI muhimu sana unahitaji kujiuliza.
Watu ambao huwa wanashindwa kupiga hatua katika maisha yao ni kwa sababu huwa wanajiuliza kinyume cha swali hili.
Swali hili ndilo wanalojiuliza watu wote waliofanikiwa:. soma zaidi

JINSI YA KUPATA MTOTO WA KIUME AU KIKE
Watu wengi hutamani kupata mtoto wa jinsia wanayoipenda. Nini nifanye ili nipate mtoto wa kike au kiume? Je kuna dawa au vyakula vya kusaidia kupata mtoto ninayemtaka? Siku gani nikikutana na mwenzangu naweza pata mtoto wa kiume au kike? Na maswali mengine mengi huonesha shauku kubwa ya kupata mtoto wa jinsia uipendayo.. soma zaidi

Elimu Kuhusu Madawa ya Kulevya, Mambo ya Msingi kujua Kuhusu dawa za Kulevya
Madawa ya kulevya ni aina ya madawa au vilevi ambapo mtumiaji akishatumia mfumo wa mwili na akili yake hubadilika. Mtumiaji huweza kudhoofika kimwili au kupata madhara ya kiakili na baadhi huweza hata KUFA.. soma zaidi

Mapishi ya Chapati za maji za vitunguu
Unga wa ngano (plain flour) 1/4
Kitunguu kikubwa (chopped/slice onion) 1
Yai (egg) 1
Chumvi (salt)
Mafuta (cooking oil). soma zaidi

Kwa nini mara nyingine uume hausimami?
Ili mwanaume aweze kujamii ana, ni lazima uume usimame na kuweza kupenya ukeni. Kama mvulana anasisimka kimapenzi, damu nyingi inaenda katika mishipa ya damu ndani ya uume. Halafu uume husimama kutokana na msukumo wa damu. Hivyo kama msukumo wa damu hautoshi, hii husababisha uume kutosimama au kusimama kwa unyonge.. soma zaidi

UBEBESHAJI WA MICHE YA MIKOROSHO
Ubebeshaji miche ya mikorosho ni moja ya mbinu muhimu katika uendelezaji wa zao la korosho kwa sababu ni teknolojia pekee inayohakikisha usahihi wa viwango vya uzalishaji wa aina ya mkorosho uliopandwa.
Kwa kutumia mbegu, huwezi kuwa na uhakika na uzalishaji wa aina ya mbegu ulioitumia kwa sababu kuna uwezekano mkubwa wa mbegu kubadilika tabia na kuwa tofauti na tabia ya mti mama.
Teknolojia ya ubebeshaji inamwezesha mkulima kutabiri mavuno na ubora wa korosho shambani mwake kama ukubwa wa korosho, sura yake, rangi, uzito na sifa zingine kulingana na mti mama.. soma zaidi

Historia ya asili ya neno Zanzibar
Zanzibar ni moja ya kisiwa kinacho patikana katika Pwani ya Afrika Mshariki. Ni miongoni mwa maeneo yenye historia ndefu sana barani Afrika. Tunaweza kuzungumzia mengi sana huu ya Zanziabr. Ila kwa leo tupate kufahamu habari za Jina Zanzibar.. soma zaidi

Je, kuna madhara gani usipooga baada ya kujamiiana?
Hakuna madhara yoyote ya msingi anayopata mtu asipooga baada ya kujamiiana. Isipokuwa kwa ajili ya kutunza usafi, mnashauriwa kunawa via vya uzazi mara baada ya tendo la kujamii ana.. soma zaidi

Jinsi ya Kutumia Papai na Asali kuondoa Madoa Usoni
KUMEKUWA na sababu mbalimbali zinazofanya watu kutokuwa na ngozi zisizokubalika.Mbali na hali ya hewa pia matumizi ya pombe na sigara hata matumizi ya cream kali ambazo zimekuwa zikitumiwa na watu bila kujua madhara yake kumechangia kwa kiasi kikubwa tatizo hilo.. soma zaidi

Je, uume una urefu kiasi gani? Ni kweli kwamba wanaume warefu wana uume mkubwa na wale wafupi wana uume mdogo?
. soma zaidi
. soma zaidi
Machungwa, Zabibu Hupunguza Uwezekano wa Kupata Kiharusi
Utafiti mpya uliofanyika nchini Marekani umesema ya kwamba kula machungwa na zabibu kunaweza kupunguza uwezekano wa kupata kiharusi (Stroke).
Utafiti huo uliangalia faida za matunda chachu (Citrus Fruit) pekee kwa mara ya kwanza tofauti na tafiti nyingi ambazo tumezizoea zinazoangalia umuhimu wa matunda na mboga za majani kwa afya kiujumla.
Utafiti huu umehusisha maelfu ya wanawake wanaoshiriki katika tafiti ya manesi Nurseβs Health Study lakini wataalamu wanaamini faida hizo za machungwa na zabibu pia zinapatikana kwa wanaume.. soma zaidi

Video ya Lumumba Dar es Salaam wanaCCM baada ya ushindi wa Dr. Magufuli
Baadhi ya wanachama wa CCM walikutana kwa pamoja katika Ofisi za Chama hicho jioni ya October 29 2015 kusherehekea ushindi iliomtangaza Dk. John Magufuli kuwa Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ataongoza Serikali ya awamu ya tano. soma zaidi

MALEZI YA WATOTO
Malezi ni uangalizi wa karibu wa wazazi kwa mtoto wake kiroho, kiafya, kiakili, kitabia, Mungu ndie mwanzilishi wa watoto. Mungu alipomumba adamu, akamfanyia msaidizi wake Hawa, akasema zaeni mkaongezeke. Mwanzo 1.8.
Katika somo hili tutajifunza namna ya kulea watoto wetu tuliopewa na Mungu. Malezi haya yatagusa maisha ya watoto ya kiroho na kimwili. Tutaangalia haki na wajibu wa mtoto kama Neno la Mungu linavyofundisha, yaani Biblia Takatifu. Kwa njia ya somo hili wazazi tunaweza kuutimiza mpango wa Mungu kupitia malezi bora ya kiroho na kimwili kwa watoto wetu, kwa kufanya kazi pamoja na Mungu. Katika Rum. 8:28 tunasoma: βNasi twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia memaβ¦β¦β¦β Hii ni pamoja na kazi ya kulea watoto; Mungu hufanya kazi hiyo pamoja na sisi.. soma zaidi

Huruma ya mama kwa mwanae ilivyomtesa
Alikuwepo mama mmoja aliyekuwa chongo na mwanae alimchukia kwa sababu ya kuwa chongo. Mwanae alijisikia aibu kutembea na mama yake mwenye jicho moja na hakupenda watu wajue kuwa yule ni mama yake.. soma zaidi

Matumizi ya kahawa kutibu presha ya kushuka au shinikizo la chini la damu
Kahawa husaidia kuongeza presha au shinikizo la damu. Unashauriwa Kunywa kikombe kimoja cha kahawa kunaweza pia kusaidia kupandisha shinikizo lako la damu kwa muda.. soma zaidi

Matumizi ya juisi ya limao kutibu shinikizo la chini la damu
Juisi hii ni nzuri sana katika kutibu shinikizo la juu la damu.. soma zaidi

Mapishi ya Wali Wa Nazi Kwa Mchuzi Wa Samaki Na Rojo La Bilingani Na Viazi/Mbatata
Mpunga - 4 vikombe. soma zaidi
Mpunga - 4 vikombe. soma zaidi
Faida 10 za kula tende kiafya
Kila wakati unashauriwa na watalam wa afya ya kwamba unatakiwa kula tende kwa wingi ili kupata faida zifuatazo katika mwili wako:. soma zaidi