[VIDEO] Cheki huyu jamaa anavyomtishia mwenzake, tutajauana presha bure hivi hivi
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
π₯ Video nyingine kama hiiπ
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Leo nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. ,Nikamuuliza eti dada unavijua visa vya wanawake??
Akajibu kaka niache, nikakomaa anijibu…
Badala ya kujbu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada.. hadi wananchi wenye mapanga, mawe na mishale wakaanza kuja, dada huyo alivyoona wanakuja akajmwagia maji mwili mzima. Nikajua leo ndio mwisho wangu nikajuta sana kutaka kujua kila kitu…
Wananchi walivyofika, wakamuulza, kuna nini? Akawajibu, nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndie amensaidia!!
Wakanipongeza sana sana kisha wakaondoka…
Yule dada akaniambia, hivyo ndivyo visa vya mwanamke anaweza kukuua au kukulinda! So muheshmu mwanamke hata kinafiki, usijfanye jeuri!!!. soma zaidi
EMBU SOMA HII KWA MAKINI SJUI NI KWELI? USIMAINDI LAKINI MAANA ITAKUGUSA TUU. MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI
βπ½Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa.. soma zaidi
Ladies jaribu kuchukua hata dakika mbili kuwakumbuka na kuwaombea mema huko walipo wale watu mliokua mna date nao wakati mko secondary …anakupenda bila make up.. Bila mawigi.. Bila kusuka.. Umenyoa kichwa kama baba ako.. Unashinda na sketi jekundu lina marinda miezi 6 alafu oversize… Shape haieleweki haionekani.. Umekonda.. Unakula ugali na maharage ya wadudu ila yeye yuko bega kwa bega na wewe.. Yale ndio yaliitwa True Love sasa… soma zaidi
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, watu kutoka koo, makabila, mataifa na wenye rangi tofauti hujikuta katika dimbwi zito.
Hujikuta katika wakati ambao kila mmoja haoni kitu kingine cha thamani zaidi ya mpenzi wake. Huu ni wakati ambao si tu kuwa neno usaliti linakuwa halipo bali wapenzi hawahisi hata kama kuna maisha bila ya yule wampendaye.
Usaliti ni jambo lenye maumivu yasiyovumilika hasa ikiwa ni jambo ambalo halikutarajiwa. Mtu hahisi kama itatokea mpaka inapotokea.
Mwishoni mwa wiki hii kumeenea picha za mwanaume aliyejikatisha uhai kisa mapenzi. Hii ikanikumbusha utafiti usio rasmi nilio ahi kufanya juu ya kwanini wanaume huumizwa zaidi na usaliti kuliko wanawake.. soma zaidi
Makala Maarufu
Kuku anayetaga kwa siku huhitaji kiasi cha gramu 130 za chakula pamoja na maji safi wakati wote.. soma zaidi
Alikuwepo mama mmoja aliyekuwa chongo na mwanae alimchukia kwa sababu ya kuwa chongo. Mwanae alijisikia aibu kutembea na mama yake mwenye jicho moja na hakupenda watu wajue kuwa yule ni mama yake.. soma zaidi
Mwanamke unywele hasa ukiwa nao, hii ni kauli upya ambayo Muungwana blog inakupa siku ya leo. Miongoni mwa maswali ambavyo huwa tunaulizwa na wasamoaji wetu ni pamoja ni kwa jinsi gani naweza kutengeneza nywele zangu ili ziwe za kuvutia?. soma zaidi
Watu wengi tumekuwa tukijali kazi zetu za kila siku bila kujali hali ya afya zetu matokeo yake kumekuwa na ongezeko kubwa la vifo vya ghafla. Suala la kula pengine ndilo nguzo ya kwanza ya afya ya binadamu. Mwili ukiwa sawia bila shaka utaweza kufanya mambo yako yote, na usipokuwa sawa basi hutaweza kutimiza lengo lako lolote! Hivi ni vyakula kadhaa vinavyoweza kukusaidia kuongeza kinga ya mwili wako. soma zaidi
Kwa mwanaume, dalili ya kufikia mshindo ni uume kusimama halafu kumwaga manii . Manii kutotoka wakati wa kujamii ana inaweza kusababishwa na mambo mengi. Kutoa manii kunatumia nguvu nyingi za mwili.. soma zaidi
Filigisi (chicken gizzard) 1/2 kilo
Carrot iliyokwanguliwa 1
Nyanya 1/2 kopo
Vitunguu maji 1 kikubwa
Tangawizi/swaum 1 kijiko cha chai
Hoho 1 iliyokatwakatwa
Limao 1/2
Chumvi
Curry powder 1/2 kijiko cha chai
Turmaric 1/2 kijiko cha chai
Chilli powder 1/4 kijiko cha chai
Mafuta
Chopped coriander. soma zaidi
Njia hizo ni kama ifuatayo!!. soma zaidi
Watu sita wamepoteza maisha baada ya gari waliyokuwa wanasafiria kugongana uso kwa uso na basi linalomilikiwa na kampuni ya Prince Muro.. soma zaidi
Ukipenda kujenga nyumba ya vifaranga itafaa ufi kirie yafuatayo:-
a Nyumba ya vifaranga iwe karibu na nyumba yako mwenyewe ili uweze kuwakagua
vifaranga wako mara kwa mara.
b) Ijengwe hatua 20 au zaidi mbali na nyumba ya kuku wakubwa, hii ni kinga mojawapo
ya kupunguza hatari ya maambukizi ya magonjwa.. soma zaidi
Kujamiiana ni uamuzi wa mtu binafsi. Ni uamuzi wako na hakuna
mtu yeyote mwenye haki ya kukuamulia. Lakini unapoamua
kujamiiana hakikisha kwamba ni maamuzi uliojulishwa na kwamba
unaelewa matokeo ya kujamiiana. Usisahau kuchukua hadhari
muhimu. kumbuka kutumia kondomu kujikinga wewe na mwenzi
wako kutokana na mimba usizotarajia na magonjwa kama vile
Virusi vya UKIMWI. Madhari mwili wako unaendelea kukua,
kujamiiana bila ya kondomu ni hatari zaidi kuliko mtu mzima,
kwa sababu maambukizo mengine haswa kwa vijana yanaweza
kukuletea matatizo kama vile ugumba baadaye katika maisha.
Pia jiulize mwenyewe kwa uangalifu kama kweli unataka
kujamiiana. Ni muhimu pia kujadiliana na mwenzi wako na kuwa
na hakika kama wote wawili mnataka kujamiiana. Usijamiiane
kwa sababu tu unafikiria kwamba watu wengine wanajamiiana
au unajitosa kwa kuwa unashawishiwa na marafiki au watu
wazima.. soma zaidi
Baada ya mtandao wa Billboard kuachia orodha yao ya 10 Greatest Rappers Of All Time, kumekuwa na maneno mengi sana kwenye mitandao ya kijami kuhusu 2 Pac, Kanye West na Drake kutokutajwa kwenye orodha hiyo.. soma zaidi
Mungu ameumba miti na mimea kwa ajili ya binadamu. Kila mti au mmea una makusudio yake. Mbuyu ni miongoni mwa miti yenye faida nyingi na maajabu mengi. Vitu vyote vilivyomo kwenye mbuyu vinatumika kama chakula au dawa kwa faida ya binadamu.. soma zaidi
Ndiyo, utaweza kuvipata virusi vya UKIMWI. Uwezekano wa kuambukizwa hautegemei umri wa mpenzi wako, lakini unategemea afya yake! Kama huyu msichana au mvulana tayari ameshapata virusi vya UKIMWI na unajamii ana naye utaweza kuambukizwa.
Mara nyingi huwezi kufahamu kama mtu ana virusi vya UKIMWI au hapana, kwa sababu katika hatua ya mwanzo baada ya kuambukizwa hakuna dalili zozote za kuugua.
Vilevile ni tabia mbaya sana kushawishi wasichana au wavulana wadogo kujamii ana. Kwa usalama na faida ya wote, mnashauriwa kuacha mapenzi na wasichana au wavulana wadogo.. soma zaidi
Hapana, huwezi kupona Virusi vya UKIMWI au UKIMWI kwa kufanya ngono na bikira. Hakuna tiba ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI!
Pamoja na hayo, kama utakuwa na maambukizi ya magonjwa ya ngono, utaweka afya ya huyo bikira katika hatari kama ngono hiyo i tafanyika bila kinga.. soma zaidi
Maziwa ya unga 2 vikombe. soma zaidi
Majani ya matete ni moja ya zao maarufu kwa lishe ya mifugo Afrika mashariki. Hata hivyo, wafugaji wengi wamekuwa wakilipuuzia huku wakikosesha huduma muhimu zinazohitajika kwa ajili ya uzalishaji mzuri. Moja ya tatizo kubwa katika uzalishaji wa maziwa ni kukosekana kwa malisho sahihi na ya kutosha kwa ajili ya mifugo ili kuongeza uzalishaji wa maziwa na kipato, hasa wakati wa kiangazi.
Pamoja na wafugaji wengi kuwa na ardhi ya kutosha ambayo wanaweza kuzalishia malisho mazuri na yakutosha bado utunzaji wa malisho hayo ni hafifu na ni vigumu kuendeleza mifugo yao. Utunzaji mzuri wa malisho humhakikishia mfugaji kuwa na lishe ya kutosha kwa ajili ya mifugo yake katika kipindi chote cha mwaka.
Moja ya zao la lishe ni majani ya matete. Majani ya matete hutoa mavuno mengi ukilinganisha na aina nyingine zote za lishe ya mifugo. Wafugaji hawapati faida ya zao hili kutokana na kutokupenda kufanya matunzo kwa njia sahihi.. soma zaidi
Mayai yaliochemshwa 4
Nyama ya kusaga robo kilo
Kitunguu swaum
Tangawizi
Limao
Chumvi
Pilipili
Breadcrambs
Carry powder
Binzari nyembamba ya unga
Yai moja bichi
Mafuta. soma zaidi
Samaki mbichi (1)
Viazi mbatata (3)
Nyanya (1)
Kitunguu maji
Limao
Kitunguu saumu
Tangawizi
Chumvi
Pilipili
Vegetable oil. soma zaidi
Kuanzia miaka 14 hadi 18 anachezeana na wanafunzi wenzake huko hajui lolote kuhusu shule yeye ni kuoga na kupunguza skirts zake tu, mrembo wa shule, kichwani bila bila yaani tupu ( utupu ) anadhani alizaliwa vizuri zaidi ya wengine.. soma zaidi
Tende zilizotolewa kokwa - 1 Kilo. soma zaidi
1. Ukija kijiweni au pub au kwenye nyama choma acha zile stori za sijui umesoma wapi hadi wapi, sijui una madigirii mangapi. Piga stori nyingine, mbona ziko nyingi tu. Kujielezea sana shule yako ni ushamba fulani hivi, dizaini kama hujiamini so lazima ujivishe nyota. Unaboa.. soma zaidi
Hapana, hii si kweli! Vijana wanaoamini kwamba wana uwezo wa kufikiri baada ya kuvuta bangi kwa sababu inawapa hisia ya kuzoea mihemko ya kusikia vizuri au kufahamu kwa haraka. Lakini ni kawaida kwamba uvutaji wa bangi unaathiri shule, kazi na shughuli nyingine kinyume na matarajio ya mafanikio. Siku zote vijana wavutaji bangi wanapoteza ari shuleni au mafunzoni. Wanashindwa kuweka malengo ya maisha yao ya baadaye.. soma zaidi
. soma zaidi
πΎπMwanadamu ulizaliwa katika hisia za kulia ukiwa kichanga mwenye uchafu Asili ya upendo ipo kwa mama ulipofumbua macho ulikutana na tabasamu la mama.. soma zaidi
Mackerel 2
Kitunguu swaum na tangawizi (ginger and garlic paste) 1 kijiko cha cha kula
Pilipili iliyo katwakatwa (chopped scotch bonnet ) 1/2
Limao (lemon) 1/2
Chumvi (salt) kiasi
Curry powder 1/2 kijiko cha chai
Coriander powder 1/2 kijiko cha chai
Mafuta 1 kijiko cha chai. soma zaidi
Aina Za Mbuzi Wa Maziwa
Aina ya mbuzi anayepatikana sehemu nyingi nchini ni Small East African Goat na hutoa kiwango kidogo sana cha maziwa. Hata hivyo mbuzi hawa wanaweza kuzalishwa na mbuzi wa kigeni ili kupata mbuzi wa aina ya hali ya juu wanaotoa maziwa mengi na wenye uwezo wa kustahimili magonjwa na hali ya anga ya hapa nchini.
Aina ya mbuzi wa kigeni wanaopatikana nchini ni kama vile:
Toggenburg, Boer, Saanen, British Alpine, German Alpine, Anglo Nubian,Angora na Oberhauzen.
Aina hizi zote za mbuzi hustahimili aina tofauti ya hali ya anga na huitaji mazingira tofauti ya ya kuwafuga.
Ikiwa unataka kufuga mbuzi wa maziwa ni bora kutafuta ushauri kutoka kwa wataalamu wa mifugo katika eneo lako ili wakufahamishe aina nzuri ya mbuzi wanaopatikana na mbinu nzuri za kuwazalisha zinazopatikana nchini.. soma zaidi
Miguu ya kuku (chicken legs) 10
Kitunguu swaum na tangawizi (ginger & garlic paste) 1 kijiko cha chakula
Limao (lemon) 1
Pilipili iliyosagwa (ground scotch bonnet) 1/2
Giligilani iliyokatwakatwa (chopped coriander) kiasi
Chumvi (salt) kiasi
Mafuta ya kukaangia (veg oil). soma zaidi
Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukisa damu ya kutosha.. soma zaidi
Hapana, hamna njia ya kufahamu kama amempa msichana mimba siku i ileile wanapojamii ana. Inachukua muda kwa mwili kuonyesha dalili za mimba.
Msichana akitaka kwenda kliniki kupimwa mkojo, kwanza ahesabu tarehe i ipi alikuwa anategemea kupata hedhi yake.
Kama anakosa hedhi katika muda aliotegemea, i itambidi aende kliniki. Mimba i inaonekana kwenye kipimo cha mkojo wakati ambapo mwanamke alitakiwa kwenda mwezini. Msichana akienda kupimwa mkojo kabla, hali halisi kuhusiana na ujauzito haiwezi kutambuliwa.. soma zaidi
Leo wapendwa nitaenda kuzungumzia mapishi ya mchuzi wa kuku (chicken curry).. soma zaidi