Dada wa watu kafanyiwa uhuni, mcheki hapa
[VIDEO] Dada wa watu kafanyiwa uhuni, mcheki hapa
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
π₯ Video nyingine kama hiiπ
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Jielewe, kipato chako kinakusaidia nini?
ASSET AND LIABILITY
Asset ni kitu chochote kinacho kuingizia pesa mfukoni uwepo au usiwepo.. soma zaidi

Kauli 10 za mtu ambaye unatakiwa umuepuke maishani
Kauli 10 za mtu asiye na malengo wala uthubutu
1)Sina mtaji
2)Sina Connection
3)Nitaanza rasmi kesho
4)Mimi ni wa hivihivi tu. soma zaidi

BADILIKA: Anza kupiga hatua ya maendeleo sasa
Ili kutoka hapo ULIPO uweze kwenda HATUA inayofuata kuna SWALI muhimu sana unahitaji kujiuliza.
Watu ambao huwa wanashindwa kupiga hatua katika maisha yao ni kwa sababu huwa wanajiuliza kinyume cha swali hili.
Swali hili ndilo wanalojiuliza watu wote waliofanikiwa:. soma zaidi

JITAMBUE: Kipi hauna kati ya pesa na muda?
Soma kidogo hapa.. Kuna watu wa aina NNE tunapoongelea pesa na muda.. soma zaidi

Makala Maarufu
Mapishi ya viazi mbatata Vya Nazi Kwa Nyama Ya Ng'ombe
Mbatata / viazi - 2 kilo. soma zaidi
Mbatata / viazi - 2 kilo. soma zaidi
Mapishi ya Bokoboko La Kuku
Ngano nzima (shayiri) - 3 Vikombe. soma zaidi

Leo tujifunze lugha yetu ya Kiswahili
Leo tujifunze lugha teule ya Kiswahili.
1. password- Nywila.
2. juice - sharubati.
3. chips - vibanzi.
4. PhD - uzamifu.
5. Masters - uzamili.. soma zaidi
Leo tujifunze lugha teule ya Kiswahili.
1. password- Nywila.
2. juice - sharubati.
3. chips - vibanzi.
4. PhD - uzamifu.
5. Masters - uzamili.. soma zaidi
Je, unajua kwa nini hufanikiwi?
Una mizigo mingi isiyo ya lazima wala faida ambayo umeibeba:-
1.Umejipa jukumu la kuwa "mpelelezi" wa maisha ya wengine na umesahau maisha yako.
2.Umebeba vinyongo na visasi moyoni vinavyokufanya uwafikirie waliokuumiza zaidi kuliko kufikiria furaha na maendeleo yako.. soma zaidi

Mapishi ya Chapati za Kusukuma kitaalamu
Unga wa ngano (plain flour 1/2 of kilo)
Siagi (butter vijiko 2 vya chakula)
Yai (egg 1)
Chumvi (1/2 ya kijiko cha chai)
Hiliki (ground cardamon 1/4 ya kijiko cha chai)
Maji ya uvuguvugu (warm water)
Mafuta (vegetable oil). soma zaidi

Sababu za magonjwa ya figo na jinsi ya kuondokana na janga la magonjwa ya Figo
1.Usichelewe kwenda HAJA. Kutunza mkojo kweye kibofu chako kwa muda mrefu ni wazo baya. Kibofu kikijaa kinaweza kusababisha uharibifu. Mkojo ambao unakaa kwenye kibofu huzidisha bakteria haraka.
Mara mkojo unaporudi nyuma ya njia na Figo, sumu dutu husababisha maambukizi ya figo, pia njia ya mkojo na "nephritis", pamoja na "uremia". Wakati wito asili (unahisi mkojo) fanya hivyo haraka iwezekanavyo.. soma zaidi

Jinsi ya kupika Biskuti Za Tende
Unga 4 Vikombe vya chai. soma zaidi
Unga 4 Vikombe vya chai. soma zaidi
Mambo muhimu ya kufanya kwa mpenzi wako msichana ili asikuache
1. Hakikisha unakuwa msafi kwa kila kitu hasa unapo kuwa naye.
2. hakikisha unampa uhuru wa kutosha mnapo kuwa mnafanya mapenzi namaanisha awe na maamzi juu ya mwili wake usimrazimishe kama hayuko tiari, umuandae kabula ya kutumbukiza dushelele yako, uhakikishe anafika kileleni kila unapofanya naye mapenzi. soma zaidi

Ubakaji
Ubakaji ni tendo la kutumia nguvu katika ngono ambapo mbakaji anatumia nguvu kuonyesha ubabe wake. Ubakaji ni kosa la jinai i na huadhibiwa kisheria.
Kama mtu hayuko tayari kufanya ngono na analazimishwa kukubali kufanya hivyo hii , i inahesabiwa kama ubakaji, hata kama anayekulazimisha ni rafiki, ndugu, jirani, mume au mtu usiyefahamiana naye.. soma zaidi

Nini matokeo ya unusaji/uvutaji wa petroli kwa vijana?
Kama kijana akinusa au kuvuta petroli kupitia puani au mdomoni, petroli hiyo huingia kwenye mapafu na sehemu zote mwilini.
Madhara ya unusaji au uvutaji petroli ni sawa kabisa na pombe. Baada ya kunusa/kuvuta petroli mtuamiaji hujisikia kizunguzungu na kulewa. Wengine huhisi kama kwamba wanaota na kujisikia furaha. Lakini wengine hujisikia kuumwa na kusinzia.
Unusaji/uvutaji wa petroli ni hatari sana na hata huweza kusababisha vifo kwani petroli humfanya mtu apoteze fahamu, huharibu mapafu na wengine hufa kwenye ajali. Hii hutokana na kushindwa kutoa uamuzi ufaao wanapokabiliwa na hali zinazoweza kusababisha ajali, hasa barabarani.
Matumizi ya muda mrefu ya petroli huweza kumsababishia madhara mtumiaji kama kutokwa na damu puani, kupoteza hamu ya kula, kuwa dhaifu, kupata matatizo ya mtindio wa ubongo, kupatwa na magonjwa ya figo, moyo, mapafu na kuharibika maini.. soma zaidi

Je, ni kweli kuwa madhara ya uvutaji moshi wa sigara yako ni kidogo kuliko yale yatokananyo na kuvuta moshi kutoka kwa mvutaji a
Uvutaji wa aina zote una madhara. Kama utavuta sigara na
kuvuta moshi kwa kutumia mdomo hadi kwenye mapafu yako
utapata madhara moja kwa moja kwenye viungo vyako.
Kama nitasimama karibu na mvutaji na kuvuta moshi, kuna
madhara ambayo siyo ya moja kwa moja. Kwa upande mwingine
kama jirani wa mvutaji unaweza kuvuta sumu nyingi itokanayo
na tumbaku kwa sababu hakuna kitu cha kuichuja. Sigara za
viwandani zina kishungi ambacho huchuja tindikali mbalimbali
zenye sumu, kama vile kaboni na asidi ya magamba ya miti,
ambazo zina madhara kwa mapafu.. soma zaidi

Je, ni kweli kwamba kufanya ngono na bikira inaponyesha maambukizi?
Hapana, huwezi kupona Virusi vya UKIMWI au UKIMWI kwa kufanya ngono na bikira. Hakuna tiba ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI!
Pamoja na hayo, kama utakuwa na maambukizi ya magonjwa ya ngono, utaweka afya ya huyo bikira katika hatari kama ngono hiyo i tafanyika bila kinga.. soma zaidi

KUCHAGUA MCHUMBA
SOMO: 1 Wakorintho 7. soma zaidi
SOMO: 1 Wakorintho 7. soma zaidi
Soma hii tafadhali!!
πΎπΎπΎSoma hii mpaka mwisho tafadhali. Jina langu ni Mungu. Mara nyingi huna muda nami. Nakupenda na kukubariki kila mara na kila mara nipo nawe. Nahitaji utumie dakika 30 leo ukiwa nami sio maombi lakini kwa kunisifu na kukuabudu. Leo Nahitaji meseji hii iwafikie watu wote duniani kabla ya sita usiku. Je utanisaidia?. soma zaidi

FURSA ZA NDOA NA UMRI WA WANAWAKE
Poleni Sana madada wa zama hizi wenye umri wa kuanzia miaka 30 na kuendelea. Mliochezea fursa.. soma zaidi

Mapishi ya Mchuzi wa kambale
Kambale 2
Nazi kopo 1
Nyanya kopo 1
Vitunguu 2
Curry powder 1 kijiko cha chai
Turmaric 1/2 kijiko cha chai
Binzari nyembamba ya unga 1/2 kijiko cha chai
Swaum/ tangawizi 1 kijiko cha chakula
Giligilani kiasi
Limao 1/2
Chumvi
Olive oil. soma zaidi

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia Uwatu (Fenugreek)
Uwatu ni dawa nyingine ya asili inayotumika kutibu chunusi. Uwatu unaondoa sumu na maambukizi mbalimbali.. soma zaidi

Madhara ya dawa za kulevya yanadumu kwa muda gani?
Ni vigumu sana kujibu swali hili kwa sababu muda wa madhara hutegemea sababu mbalimbali kama vile aina za dawa za kulevya, njia za utumiaji, hali ya mtu na mazingira anapozitumia dawa hizo za kulevya. Mtu anaweza kuanza kutumia dawa za kulevya mara kwa mara i ili kukidhi kile anachokihitaji. Kwa baadhi ya dawa za kulevya, na baadhi ya watu, matumizi ya mara kwa mara kwa kipindi cha zaidi ya wiki mbili ni kipimo tosha cha kumfanya aishi kwa kutegemea dawa za kulevya.. soma zaidi

Sheria kuhusu kufanya punyeto
Punyeto ni kupapasa au kusugua kiungo cha uzazi ili uweze kupata
starehe. Hakuna kosa kwa tendo hilo, kwa sababu hakuna tatizo
lolote kwa mvulana au msichana. Kwa kawaida watu hufanya hivyo
kwa siri, baadhi ya mila na desturi wanapinga kufanyika kwa
tendo hili hata hivyo hakuna sheria yoyote kuhusu punyeto.. soma zaidi

Dondoo kuhusu tezi dume
Tezi dume kila mwanaume anazaliwa nayo ambayo inasaidia kutoa maji maji ambayo yanaweza kusaidia kutengeneza mbegu za kiume.. soma zaidi

Jinsi ya kutengeneza saladi
Tango 1/2
Kitunguu 1/2
Cherry tomato 8
Lettice kiasi
Green olives kidogo
Black olives kidogo
Hoho jekundu 1
Carrot
Giligilani kidogo. soma zaidi
Tango 1/2
Kitunguu 1/2
Cherry tomato 8
Lettice kiasi
Green olives kidogo
Black olives kidogo
Hoho jekundu 1
Carrot
Giligilani kidogo. soma zaidi
Mama mwenye virusi vya UKIMWI na UKIMWI, anaweza kuzaa mtoto?
Mama mwenye virusi vya UKIMWI na UKIMWI, anaweza kuzaa mtoto? Na anaweza kumwambukiza mtoto aliye tumboni au wakati wa kumnyonyesha?
Ndiyo, mama mwenye virusi vya UKIMWI na UKIMWI anaweza kubeba mimba kama mwanamke mwingine yeyote. Ila ni muhimu kukumbuka kwamba kuna uwezekano wa mtoto kuambukizwa na Virusi vya UKIMWI.. soma zaidi

Jinsi wigo wa mimea kwenye shamba unavyoweza kukinga mazao yako na wadudu waharibifu
Wigo wa mimea ni kinga nzuri ya mazao shambani. Mimea ya wigo inaweza kutumika kama kizuizi cha wadudu kuhama hama.. soma zaidi

Kutahiriwa kwa wanaume ni sawa na ukeketaji?
Hapana. Ukeketaji na kutahiriwa kwa mwanaume havifanani.
Kama kutahiriwa kwa mwanamume ni sawa na ukeketaji basi
ingebidi uume wote ukatwe kabisa. Katika kumtahiri mwanamume
ni ile ngozi ya govi ya uume ndiyo inaondolewa. Wakati kutahiriwa
kwa wanaume siyo lazima na pia kuna watu wengine wanapinga,
hauna madhara ya kiafya kwa mvulana kama umefanyika
kwa kutumia vyombo na katika mazingira safi. Kwa mvulana
hakuna matatizo kama ametahiriwa au hakutahiriwa! Baadhi
ya wavulana wametahiriwa wakiwa wadogo sana na wengine
wametahiriwa wakati walipokuwa vijana. Hivyo kutahiriwa kila
mara kunaambatana na kumfundisha mvulana kuhusu mila na
jinsi ya kujiheshimu kama mwanamume. Mafunzo haya ndiyo
kitu ambacho hakitofautiani kwa mwanamume na mwanamke
wanaotahiriwa. Vinginevyo kutahiriwa kwa wasichana ni hatari
na huwezi kufananisha na ile ya wavulana.. soma zaidi

Watu husema bia hukufanya uwe mnene, je, ni kweli?
Ni kweli kwamba baadhi ya pombe, hasa bia, husababisha
ongezeko la uzito kwa baadhi ya watu kwa sababu ina mkusanyiko
mkubwa wa sukari na wanga.. soma zaidi

Jinsi ya kutengeneza Bisikuti Za Kaukau Na Kahawa (Cocoa Coffee Biscuits)
Maji baridi β kikombe 1. soma zaidi
Maji baridi β kikombe 1. soma zaidi
Magonjwa yatokanayo na sigara
Kuna matatizo na magonjwa mengi na ya aina mbalimbali
unayoweza kuyapata kutokana na utuvaji wa sigara. Kiungo
rahisi kuathirika ni mapafu. Baada ya kuvuta huo moshi, kaboni
na tindikali iliyomo kwenye tumbaku huishia kwenye mapafu.
Malimbikizo haya ya kaboni na tindikali husababisha ugumu
katika kupumua na kusabisha usaha kwenye mapafu. Matatizo
haya ya mapafu humfanya mvutaji awe mwepesi kupata
maambukizo mengine.
Hii inaweza ikawa kikohozi sugu na pia inaweza kusababisha
nimonia (kichomi) pamoja na kifua kikuu na sarakani. Nikotini
vilevile ni mbaya kwa tumbo. Husababisha kupoteza hamu ya
kula na maumivu katika sehemu za chini ya tumbo.. soma zaidi

Mapishi ya mboga mchanganyiko
Viazi ulaya 4 vya wastani
Hoho jekundu 1/2
Hoho la njano 1/2
Hoho la kiajani 1/2
Njegere 1 kikombe cha chai
Carrot 1 kubwa
Broccoli kidogo
Cauliflower kidogo
Kitunguu 1
Nyanya 1/2 kopo
Swaum/tangawizi 1 kijiko cha chakula
Curry power 1 kijiko cha chakula
Coriander powder 1 kijiko cha chai
Tarmaric 1/2 kijiko cha chai
Olive oil
Chumvi
1/4 ya limao. soma zaidi
Viazi ulaya 4 vya wastani
Hoho jekundu 1/2
Hoho la njano 1/2
Hoho la kiajani 1/2
Njegere 1 kikombe cha chai
Carrot 1 kubwa
Broccoli kidogo
Cauliflower kidogo
Kitunguu 1
Nyanya 1/2 kopo
Swaum/tangawizi 1 kijiko cha chakula
Curry power 1 kijiko cha chakula
Coriander powder 1 kijiko cha chai
Tarmaric 1/2 kijiko cha chai
Olive oil
Chumvi
1/4 ya limao. soma zaidi
Jielewe, kipato chako kinakusaidia nini?
ASSET AND LIABILITY
Asset ni kitu chochote kinacho kuingizia pesa mfukoni uwepo au usiwepo.. soma zaidi
ASSET AND LIABILITY
Asset ni kitu chochote kinacho kuingizia pesa mfukoni uwepo au usiwepo.. soma zaidi
Mapishi ya Chicken Satay
Kidali cha kuku 1 (chicken breast)
Kitunguu maji 1/2 (onion)
Kitunguu swaum/tangawizi (garlic and ginger paste) 1 kijiko cha chai
Limao ( lemon)1/4 kijiko cha chai
Curry powder 1/4 kijiko cha chai
Pilipili ya unga kidogo (Chilli powder)
Coriander powder 1/4 kijiko cha chai
Soy sauce 1kijiko cha chai
Mafuta 2 vijiko vya chai.
Chumvi kiasi (salt)
Vijiti vya mishkaki. soma zaidi