[VIDEO] Duh Hawa watu ni hatari kwa kuruka
Bofya Play (โถ) kuanza Video…
.
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Sio Kila EX Wako Anayeomba Mrudiane Anamaanisha! Wengine Huomba Kurudi Ili Wakutesti Tu Jinsi Ulivyo Mbulula,Jinsi Usivyo Na Msimamo Na Jinsi Ulivyo CHEAP Na Huna Misimamo Wala Future.. soma zaidi
Kwa mujibu wa Biologia, baada ya tendo la kukutana kimwili takribani mbegu milioni 200 hadi 300 hutolewa na mwanaume…halafu zote huanza kupiga mbizi kuogelea kwenye njia safarini kukutana na yai la kike.. soma zaidi
Madawa ya kulevya ni aina ya madawa au vilevi ambapo mtumiaji akishatumia mfumo wa mwili na akili yake hubadilika. Mtumiaji huweza kudhoofika kimwili au kupata madhara ya kiakili na baadhi huweza hata KUFA.. soma zaidi
1. Tafuta fursa kila kona.
2. Tumia kipaji chako.
3. Kuwa na nidhamu katika fedha - matumizi mazuri ya pesa, nidhamu kwa watu wanaokuzunguka, usijikweze, usibague jamii, heshimu wote waliokaribu yako nk.
4. Kuwa na nidhamu katika afya yako: Afya ndio mtaji sahihi katika biashara yoyote - kuwa na mazoea ya kuangalia afya yako mara kwa mara nk.. soma zaidi
Makala Maarufu
Si rahisi kusema ni kitendo kipi kilicho cha kawaida na kisicho cha kawaida. Kulamba ni jambo linalofanyika. soma zaidi
Ugonjwa wa Shinikizo la chini la damu ambao hujulikana kama hypotension kwa Kiingereza ni hali ambayo shinikizo la damu ya mtu linakuwa chini sana.. soma zaidi
Nchini Tanzania ni 7% ya watu wenye umri kati ya miaka 15-49 wana maambukizi ya Virusi vya UKIMWI. Hii i ii inamaanisha kuwa kati ya watu 100 wa umri huu 7 wao wameambukizwa na Virusi vya UKIMWI.
Kila mkoa una watu walioambukizwa kwa kiwango tofauti, mikoa mingine i ikiwa na kiwango cha juu . Jedwali lilioambatanishwa hapa linaonyesha Mkoa wa Mbeya, Iringa na Dar es Salaam kuathirika zaidi na i idadi kubwa ya watu waliopima na kuonekana kuwa na virusi vya UKIMWI.. soma zaidi
Unaweza kutunza kuku wa kienyeji na ukawa na kipato cha uhakika, pamoja na lishe nzuri kwa ajili ya familia.. soma zaidi
WANYATURU ambao awali walijulikana kwa jina la Warimi ni watu wanaoishi karibu wilaya zote za mkoa wa Singida yenye tarafa saba. Kwa Mujibu wa Patrick Mdachi katika kitabu cha Wanyaturu wa Singida, Mila na Desturi zao, Wanyaturu ni moja ya makabila yanayojumlishwa katika kundi la Nilo-Hamites, lenye asili ya Wabantu walioishi Abysinia ambayo sasa inajulikana kama nchi ya Ethiopia.. soma zaidi
Mdada mmoja alitaka kujua kiasi gani
anapendwa na mume wake, hivyo akataka kujua
mumewe atafanya nini endapo ataamua
kuondoka na kumuacha!
Mwanamke huyo akaamua kuandika barua
inayosema "Samahani mume wangu, nimeamua
kuondoka na kwenda kuanza maisha mapya
mbali na wewe". soma zaidi
Mchele (rice vikombe 2 na 1/2)
Vitunguu (onion 2)
Nyanya ya kopo (tin tomato kopo 1)
Tangawizi (ginger paste kijiko 1 cha chakula)
Kitunguu swaum (garlic paste kijiko 1 cha chakula)
Paprika (kijiko 1 na 1/2 cha cha chai)
Pilipil (scotch bonnet pepper 1)
Curry powder (kijiko 1 cha chai)
Maggi cubes 3(unaweza kutumia yenye ladha ya chicken, beef au vegetable. Inategemea unasevu na mchuzi wa aina gani)
Chumvi (salt)
Mafuta (vegetable oil). soma zaidi
Maini (Cow liver) 1/4 kilo
Vitunguu (chopped onion) 2
Nyanya (chopped tomato) 1
Kitunguu swaum/tangawizi (ginger /garlic paste) 1 kijiko cha chai
Mafuta ya kupikia
Chumvi
Coriander
Curry powder 1 kijiko cha chai
Limao (lemon) 1/4
Pilipili (scotch bonnet ) 1. soma zaidi
Simu za mkononi leo zimekuwa kama sehemu ya maisha ya kila mwanadamu katika mabara yote duniani. Imefikia mahali simu zimesababisha urahibu kiasi kwamba mtu asipokuwa na simu anakuwa kama amepungukiwa na kiungo muhimu cha mwili wake. Kama simu ya mkononi (cell phone) itatumika vizuri kwa malengo na kwa wakati unaofaa, ni chombo kizuri na cha uhakika kwa mawasiliano ya haraka, kujifunza mambo mapya, kukuza uchumi na mambo mengine ya maana na hilo halina ubishi wala mjadala.
Tatizo la simu za mkononi linakuja pale tunapoanza kuangalia athari za mionzi inayopenya mwilini kama matokeo ya matumizi ya simu hizi na athari nyingine za kiafya zitokanazo na matumizi ya muda mrefu ya simu pamoja na athari za kijamii zinazotokana na matumizi mabaya ya simu.. soma zaidi
"Nilibakwa nikiwa na miaka 9 lakini leo mimi ni mmoja wa wanawake wenye ushawishi mkubwa duniani"- *OPRAH WINFREY!*. soma zaidi
1. Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara.
Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba yake.. soma zaidi
Ingawa ni vigumu kueleza kinagaubaga maana halisi ya neno urembo, naweza kusema kuwa urembo ni utumiaji wa mapambo, manukato, marashi, uturi, mavazi na rangi ili kuremba na kuongeza nakshi na umaridadi katika mwonekano, sifa na viwango vya ubora wa msichana au mwanamke kwa lengo la kuvutia au kufurahisha hisia (za kuona, kunusa au kugusa) za mtu mwingine atakayekutana naye.. soma zaidi
Viazi mbatata (potato 4 vya wastani)
Nyama ya kusaga (mince beef 1 kikombe cha chai)
Kitunguu (onion 1 cha wastani)
Carrot 1
Hoho (green pepper 1/2)
Kitunguu swaum (garlic)
Tangawizi (ginger )
Binzari nyembamba (ground cumin 1/2 kijiko cha chai)
Binzari manjano (turmeric 1/2 kijiko cha chai)
Curry powder 1/2 kijiko cha chai
Limao (lemon 1/2)
Pilipili ya unga (chilli powder 1/2 kijiko cha chai)
Giligilani (coriander kiasi)
Chumvi (salt)
Mafuta (vegetable oil)
Unga wa ngano kiasi. soma zaidi
Fangasi ya ukeni husababishwa na fangasi aina ya Candida albicans. Ugonjwa huu huitwa vaginal candidiasis kwa kiingereza na ni kati ya magonjwa ambayo husumbua wanawake mara kwa mara.. soma zaidi
Ili kuwa na kilimo chenye mafanikio mkulima anatakiwa kufuata hatua sita za kuboresha udongo.. soma zaidi
UTANGULIZI
โUfugaji wa Nguruwe ni lazima uwe wa kisasa ili kupata mazao bora. Unaweza kupata kila unachohitaji wewe, familia na hata ndugu zako kutokana na ufugaji wa nguruweโ, anasema Bwana Lomaiyani Molel kutoka Arusha. Jamii nyingi hapa Tanzania huchukulia nguruwe kama mnyama mchafu na asiyefaa kuwa karibu naye na hata kwa matumizi kama lishe. Zaidi, nyama yake inapendwa na haina madhara kwa afya na inapendekezwa kuliwa zaidi kuliko nyama nyekundu. Unaweza kuanzisha mradi wa nguruwe kwa gharama ndogo lakini baada ya kipindi cha miezi tisa tu ukaanza kujipatia kipato kutokana na ufugaji huo.
UfugajiKwa kawaida nguruwe wanafugwa na watu wa kada zote, wafugaji wadogo wadogo na hata wakubwa. Aina hii ya ufugaji huweza kumpatia mkulima kipato pamoja na lishe kwa familia, na hauhitaji gharama kubwa.. soma zaidi
Unga wa ngano - 2 - 2 ยผ Vikombe. soma zaidi
Unga - 3 mug za chai. soma zaidi
Umasikini sio sababu ya kuwa mchafu wala utajiri Sio kuwa na kila kitu hata kama hukihitaji. Hebu angalia hapo nyumbani kwako!. soma zaidi
Sigara siyo dawa za kulevya, kwa maana ya kwamba ni haramu,
lakini hata hivyo, sigara ina nikotini ambayo hufanya iwe dawa ya kulevya kwa sababu nikotini iliyomo kwenye sigara
husababisha mtu kuwa mtu tegemezi.. soma zaidi
Kama umeamua kutovuta sigara wala kunywa pombe ni uamuzi
mzuri sana na wa kiafya. Ni haki yako binafsi kuchukua uamuzi
huu, kama vile watu wengine pia wanavyoruhusiwa kufanya
maamuzi kuhusu maisha yao wenyewe.. soma zaidi
Ngogwe ยฝ kg
Kitunguu 2
Bamia ยผ kg
Karoti 2
Mafuta vijiko vikubwa 8
Maji vikombe 3 Mayai 2
Nyanya 2
Chumvi. soma zaidi
Na Liberatha Ruhikula: POMBE ni kinywaji kinachotumiwa na watu wa jinsia mbalimbali huku kinywaji hicho kikizuiliwa kuuzwa na kutumiwa kwa watoto chini ya miaka 18.
Kinywaji hiki kina madhara makubwa sana endapo kitatumiwa kwa wingi au kitatumiwa na mtu asiyestahili akiwemo mama mjamazito.. soma zaidi
Dagaa waliokaushwa (dried anchovy 2 kikombe cha chai)
Bamia (okra 5)
Nyanya chungu (garden egg 5)
Tui la nazi (coconut milk 1 kikombe cha chai)
Nyanya (fresh tomato 2)
Kitunguu (onion 1)
Curry powder 1/2 ya kijiko cha chai
Turmeric powder 1/2 kijiko cha chai
Limao (lemon 1/2)
Chumvi (salt kiasi)
Pilipili (scotch bonnet 1)
Mafuta (veg oil). soma zaidi
Wanawake wengi hutegemea kuwa wanapokuwa na wapenzi watasaidiwa katika matatizo ya kimaisha na migogoro ya kimawazo. Kwa mfano ushauri juu ya maisha yao, kulindwa na hatari za kimaisha, kusaidiwa katika shida na kuongozwa pale wanapohisi kushindwa kufanya jambo. Kama mwanaume hatamfanyia mpenzi wake hili atakuwa amekosa sifa za kuteka penzi la mwanamke.. soma zaidi
Tafuta fulsa kila kona.
Tumia kipaji chako.
Kuwa na nidhamu katika fedha - matumizi mazuri ya pesa, nidhamu kwa watu wanaokuzunguka, usijikweze, usibague jamii, heshimu wote waliokaribu yako nk.. soma zaidi
๐๐ฟDegree au vyeti ulivyo navyo haviwezi kukupa mafanikio.
๐๐ฟUzuri ulio nao hauwezi kukupeleka kwenye ndoto zako.
๐๐ฟUsipobadilisha hao marafiki ulio nao hutofika mahali popote.. soma zaidi
Zifuatazo ni baadhi ya sababu kwanini mabinti wengi wanashindwa KUOLEWA… soma zaidi
Korogwe ni moja ya wilaya inayopatikana mkoani Tanga nchini Tanzania. Mji huu kihistoria ni moja ya miji ambayo ilijiwekea historia kubwa sana. Hauwezi kuzungunzia habari au historia ya Wazigua bila kutaja mji huu wa Korogwe. Kama tulivyokwisha fafanua kwenye makala ya Wazigua na mgawanyiko wao. Na miongoni mwa Wazigua waliogawanyika, tuliwazungumzia Waluvu.. soma zaidi
Serikali i i inatambua kukua kwa tatizo la dawa za kulevya nchini, kwani dawa za kulevya nyingi zinazotumika zinapitishwa na kuingizwa kwa magendo nchini. Kutokana na hali hii serikali imepitisha sheria kuhusu tuhuma za dawa za kulevya yaani Sheria ya Kuzuia Matumizi ya Dawa za Kulevya ya mwaka 1995.. soma zaidi