Fisi wanafanya yao
.
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Ningekufa kwa ajili ya mwanamke
Leo nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. ,Nikamuuliza eti dada unavijua visa vya wanawake??
Akajibu kaka niache, nikakomaa anijibu…
Badala ya kujbu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada.. hadi wananchi wenye mapanga, mawe na mishale wakaanza kuja, dada huyo alivyoona wanakuja akajmwagia maji mwili mzima. Nikajua leo ndio mwisho wangu nikajuta sana kutaka kujua kila kitu…
Wananchi walivyofika, wakamuulza, kuna nini? Akawajibu, nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndie amensaidia!!
Wakanipongeza sana sana kisha wakaondoka…
Yule dada akaniambia, hivyo ndivyo visa vya mwanamke anaweza kukuua au kukulinda! So muheshmu mwanamke hata kinafiki, usijfanye jeuri!!!. soma zaidi

Elimu tuu haitoshi kukunufaisha maishani na kukupa mafanikio
EMBU SOMA HII KWA MAKINI SJUI NI KWELI? USIMAINDI LAKINI MAANA ITAKUGUSA TUU. MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI
βπ½Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa.. soma zaidi

Wadada haya ndiyo yalikua mapenzi ya kweli
Ladies jaribu kuchukua hata dakika mbili kuwakumbuka na kuwaombea mema huko walipo wale watu mliokua mna date nao wakati mko secondary …anakupenda bila make up.. Bila mawigi.. Bila kusuka.. Umenyoa kichwa kama baba ako.. Unashinda na sketi jekundu lina marinda miezi 6 alafu oversize… Shape haieleweki haionekani.. Umekonda.. Unakula ugali na maharage ya wadudu ila yeye yuko bega kwa bega na wewe.. Yale ndio yaliitwa True Love sasa… soma zaidi

Kwa nini wanaume huumia zaidi kwenye mapenzi π
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, watu kutoka koo, makabila, mataifa na wenye rangi tofauti hujikuta katika dimbwi zito.
Hujikuta katika wakati ambao kila mmoja haoni kitu kingine cha thamani zaidi ya mpenzi wake. Huu ni wakati ambao si tu kuwa neno usaliti linakuwa halipo bali wapenzi hawahisi hata kama kuna maisha bila ya yule wampendaye.
Usaliti ni jambo lenye maumivu yasiyovumilika hasa ikiwa ni jambo ambalo halikutarajiwa. Mtu hahisi kama itatokea mpaka inapotokea.

Mwishoni mwa wiki hii kumeenea picha za mwanaume aliyejikatisha uhai kisa mapenzi. Hii ikanikumbusha utafiti usio rasmi nilio ahi kufanya juu ya kwanini wanaume huumizwa zaidi na usaliti kuliko wanawake.. soma zaidi
Makala Maarufu
Tatizo la maumivu wakati na baada ya kufanya mapenzi
Wakati wa kufanya tendo la ndoa wapo baadhi ya watu hupatwa na maumivu wakati au baada ya kushiriki tendo, Maumivu haya yaweza kuwa;- Wakati tu uume unaingia,
Unapoingiza kitu chochote hata kidole, Wakati uume ukiwa ndani na Maumivu ya kupita (throbbing pain) yanayodumu masaa kadhaa baada ya tendo.. soma zaidi

Madhara ya kuitumia simu kwenye giza
Daktari justice Authur, ambae ni daktari kule africa kusini ameniomba kuwagawia hii na nyie pia. Amesema ni muhimu sana.. soma zaidi

Jinsi ya kuchagua rangi sahihi wakati wa Kujipodoa
YAPO mambo mabalimbali katika tasnia ya urembo hasa katika vipodozi yanayopaswa kuzingatiwa katika kuboresha muonekano wa mtu.
Moja ya mambo hayo ni ujuzi na uelewa wa kutumia rangi katika kujipodoa kwani ni wanawake wachache wenye ujuzi huu.
Katika makala hii, nitakuelezea namna ya kuchanganya na kutofautisha rangi za vipodozi, lengo likiwa ni kuboresha muonekano wako.. soma zaidi

Jinsi ya kutengeneza mishumaa
Kutengeneza mishumaa ni kama ifuatavyo;. soma zaidi
Mapishi ya tambi za mayai
- Tambi Β½ paketi
- Vitunguu maji 2 vikubwa
- Karoti 1
- Hoho 1
- Vitunguu swaumu(kata vipande vidogo) kijiko 1 cha chakula
- Carry powder kijiko 1 cha chai
- Njegere zilizochemshwa Β½ kikombe
- Mafuta kwa kiasi upendacho
- Mayai 2
- Chumvi kwa ladha upendayo. soma zaidi
Kama sitaki kujamiiana kabla ya ndoa, nifanye nini ili kuondokana na adha ya vishawishi vya hao ambao wameshaanza kujamiiana?
Kama umeamua kutojamiiana kabla ya ndoa, huo ni uamuzi mzuri na ni haki yako. Kutojamiiana kabla ya ndoa ni uamuzi wako binafsi kama ambavyo watu wengine walivyo na haki ya kuamua kuhusu maisha yao.. soma zaidi

Wakaka hili lenu sasa!
Wakaka acheni ujinga, ukitaka dem wa peke yako mgharamie nakwambia wanawake asilimia kubwa hukumbuka fadhila za mtu anayemgharamikia kuliko wanaume zao.. soma zaidi

Mambo ya kufanya mwezi Disemba
Ikiwa leo ni tarehe 1/12 huwezi amini kuwa hakuna tarehe 1 nyingine tutakayoiona ya mwaka huu hivyo sichelei kusema kuwa mwaka umeisha .Lakini mwaka unaishaje??? pengine hili ndilo swali gumu na la muhimu la kujiuliza .Je, Mwaka unaisha ukiwa umefanya nini cha kujipongeza??? .Je mwaka unakaribia kuisha maarifa yako yakiwa yameongozeka kwa kiasi gani???.Haya ni maswali muhimu sana unavyooanza kufikiria juu ya sherehe za mwisho wa mwaka.. soma zaidi

Waliopitishwa kuwania uspika CCM
Kamati kuu ya halmashauri kuu ya Taifa ya CCM ilikuwa na kikao cha siku moja kilichofanyika leo Novemba 15, 2015 mjini Dodoma na imewateua wana-CCM watatu ambao watakaopigiwa kura na wabunge wote wa CCM ili kumpata mgombea wa CCM katika nafasi ya spika wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.. soma zaidi

Huyu ndiye mama, malkia wa upendo
πΎπMwanadamu ulizaliwa katika hisia za kulia ukiwa kichanga mwenye uchafu Asili ya upendo ipo kwa mama ulipofumbua macho ulikutana na tabasamu la mama.. soma zaidi

Katika tendo la kujamiiana kati ya mwanaume na mwanamke, yupi anayepata starehe zaidi?
Siyo rahisi kusema ni nani anayestarehe zaidi ya mwenziwe, kwa sababu starehe inayotokana na mwanamke na mwanaume kufanya mapenzi inategemea na watu wote wawili wanaoshiriki katika tendo hili.. soma zaidi

Umasikini isiwe sababu wala utajiri isiwe sababu
Umasikini sio sababu ya kuwa mchafu wala utajiri Sio kuwa na kila kitu hata kama hukihitaji. Hebu angalia hapo nyumbani kwako!. soma zaidi

Jinsi ya kutambua magonjwa ya mbuzi wa maziwa
Magonjwa Yanayowakabili Mbuzi Wa Maziwa
Unaweza kuhakikisha kuwa unawachunguza mbuzi wako mara kwa mara na kuwapa chanjo ili kuwakinga dhidi ya magonjwa,wadudu hatari na kuwalisha vyakula bora viliyvo na madini muhimu.. soma zaidi

Nifanye nini nikipata hamu ya kujamiiana?
Unapofikia ujana unaanza kuwa na hisia za upendo na kujisikia kupata mvuto au msisimko ambao sio wa kawaida. Jambo hili ni la kawaida kwa kijana yeyote anayekua. Ni dalili zinazoonyesha kwamba sasa unaingia utu uzima.. soma zaidi

Mizigo tuliyoibeba ambayo haina faida
1.π₯Umejipa jukumu la kuwa "mpelelezi" wa maisha ya wengine na umesahau maisha yako.. soma zaidi

Jinsi ya kupika Biskuti Za Njugu/Matunda Makavu (Rock Cakes)
Unga 4 Vikombe
Unga 4 Vikombe
Sukari 10 Ounce
Siagi 10 Ounce
Mdalasini ya unga 2 vijiko vya chai
Matunda makavu/njugu (kama lozi,
Zabibu, maganda ya chungwa,
Cherries na kadhalika 4 ounce
Maziwa ya maji 4 Vijiko vya supu. soma zaidi
Nini kifanyike ili kurekebisha matatizo ya macho ya Albino?
Kuishi kwa kushindwa kuona sawasawa ni changamoto ya
msingi waliyonayo Albino, inaathiri elimu yao (hususan katika
usomaji), katika kujumuika (ikiwemo kushiriki katika michezo
na kukubalika na rika lao) na katika uwezo wa kutembea katika
mazingira magumu. Matatizo huanzia pale ambapo udhaifu huu
usipotambuliwa na marekebisho yoyote yasifanywe na familia
au jamii. Kama marekebisho yatafanyika ama kwa kutumia
miwani ya macho, au kuwa na vitabu vyenye maandishi makubwa
au kutumia lensi ya kukuza maandishi au kwa kuwapa nafasi ya
mbele darasani watoto Albino wanaweza kufanya vizuri kama
watoto wengine.. soma zaidi

Jinsi ya kupika Biskuti Za Kopa Za Kunyunyuziwa Sukari Za Rangi
Unga vikombe 2 ΒΌ. soma zaidi
Unga vikombe 2 ΒΌ. soma zaidi
Jinsi ya kutengeneza Muhogo Wa Nazi Na Samaki Wa Kukaanga
Muhogo - 3. soma zaidi
Muhogo - 3. soma zaidi
Mapishi ya Wali Wa Kichina Wa Kuku Na Mboga Mchanganyiko
Mchele wa basmati/pishori - 4 vikombe vikubwa (mugs). soma zaidi

Madhara ya kunywa pombe wakati wa ujauzito
Kuacha Matumizi ya pombe wakati wa ujauzito ni moja ya njia ya kuzuia kupata matatizo ya kuzaliwa nayo na udhaifu kwa mtoto. Pia kuna matatizo kadhaa yanaweza kutokea kwa kichaga kutokana na matumizi ya pombe wakati wa ujauzito.. soma zaidi

Je, uume una urefu kiasi gani? Ni kweli kwamba wanaume warefu wana uume mkubwa na wale wafupi wana uume mdogo?
. soma zaidi
. soma zaidi
Je, mwanaume ambaye ana uwezo wa kumwaga shahawa bila shida, inawezekana kwamba ni mgumba?
Ndiyo, mwanaume ambaye ana uwezo wa kumwaga mbegu bila shida anaweza kuwa mgumba. Kutokuwa mgumba kuna maana kwamba uume wa mwanaume unaweza kusimama, kwamba mwanaume anaweza kumwaga shahawa na vilevile kwamba zile mbegu ni nzima na zina nguvu za kutosha za kurutubisha yai.. soma zaidi

Nini kinachokufanya udhani utashindwa sasa
Kwa mujibu wa Biologia, baada ya tendo la kukutana kimwili takribani mbegu milioni 200 hadi 300 hutolewa na mwanaume…halafu zote huanza kupiga mbizi kuogelea kwenye njia safarini kukutana na yai la kike.. soma zaidi

Msaada juu ya ukeketaji
Unaweza ukajaribu kuzungumza na wazazi wako kwamba
ukeketaji ni desturi mbaya, na pia unaweza ukamtafuta mtu
wa kukusaidia ambaye ni mwaminifu. Msaidizi anaweza akawa
rafiki, mlezi, mzazi au mtu mzima katika familia ambaye
unaweza kumwamini. Katika jamii yako unaweza kumtafuta
mwalimu anayeaminika, kiongozi wa dini au muuguzi ambaye
anaunga mkono mawazo yako na mwenye msimamo wa kumaliza
tatizo la ukeketaji.. soma zaidi

Mwanamume au mvulana anaweza kubakwa
Ndiyo, mtu yoyote anayelazimishwa
kujamiina atakuwa
amebakwa, haijalishi kama
mtu huyu ni mwanamke/
msichana, mwanaume au
mvulana.. soma zaidi
Ndiyo, mtu yoyote anayelazimishwa
kujamiina atakuwa
amebakwa, haijalishi kama
mtu huyu ni mwanamke/
msichana, mwanaume au
mvulana.. soma zaidi
Faida za kula ukwaju
Ukwaju ni tunda maarufu sana ambalo hupatikana katika maeneo yenye uoto wa kitropiki. Kwa kingereza hujulikana kama tamarind, na kwa kitaalamu (botanical name) huitwa tamarindus indica, waarabu huita tamru alhind. Katika baadhi ya maeneo hutumiwa kama kiungo katika mboga.. soma zaidi

Mapishi ya Kidheri - Makande
Nyama (kata vipande vidogodogo) - Β½ kilo. soma zaidi

Tatizo la nguvu za kiume na chanzo chake
Zaid ya asilimia 60 ya wanaume wote duniani wanakumbwa na UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Tatizo hili limesababisha ndoa nying kuyumba na nyingine kuvunjika kabsa.. soma zaidi

Faida za kula Karoti kiafya
Asilimia kubwa tunapenda kutumia karoti katika kuunga katika mboga ya nyama na si kuila karoti kama karoti. wataalamu wanashauri ili uwe na afya bora unatakiwa ule karoti sita kwa wiki au moja kwa siku. Unaweza kula karoti ya kuchemshaa,juisi au mbichi.. soma zaidi