[VIDEO] Funny Teacher From Uganda
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
#*LEO NILIINGIA DARASANI NIKAANDIKA UBAONI KAMA IFUATAVYO:*. soma zaidi
Katika mambo ambayo nadhani nimeshawahi kujidanganya ni kufikiri kwamba nikipata kazi ndiyo utakuwa mwisho wa matatizo yangu na kuwa huru kufanya kila kitu ninacho kitaka.
πππππ
Sasaa baada ya kuipata iyo kazi nimekuja kupata ukweli kwamba kumbe kazi ya kuajiriwa siyo Mwarobaini wa Yale niliyo Nayo kumbe ndiyo safari inaanza na siyo mwisho kama nilivyo dhani.. soma zaidi
Mume alirejea nyumbani na kukuta ujumbe juu ya meza umeandikwa "NIMEONDOKA" ilikuwa jioni, alienda jikoni na kukuta kukavu, aliwaita watoto na kuwauliza wakasema walimuona Mama akiondoka na begi lakini hakuwaambia anaenda wapi. Mume alichanganyikiwa, alijaribu kuchukua simu kumpigia lakini ilikuwa haipatikani, kabla hajafanya chochote mtoto wao wa mwaka mmoja alikuja akilia na kusema ana njaaa.. soma zaidi
Ikiwa leo ni tarehe 1/12 huwezi amini kuwa hakuna tarehe 1 nyingine tutakayoiona ya mwaka huu hivyo sichelei kusema kuwa mwaka umeisha .Lakini mwaka unaishaje??? pengine hili ndilo swali gumu na la muhimu la kujiuliza .Je, Mwaka unaisha ukiwa umefanya nini cha kujipongeza??? .Je mwaka unakaribia kuisha maarifa yako yakiwa yameongozeka kwa kiasi gani???.Haya ni maswali muhimu sana unavyooanza kufikiria juu ya sherehe za mwisho wa mwaka.. soma zaidi
Makala Maarufu
Kuku anayetaga kwa siku huhitaji kiasi cha gramu 130 za chakula pamoja na maji safi wakati wote.. soma zaidi
1. Zingatia chanjo muhimu kwa kuku ili kuzuia magonjwa kama utakavyoshauriwa na mtaalamu wa mifugo.
Chanjo huanza katika wiki ya kwanza (mfano chanjo ya kuzuia sotoka) na inaweza kurudiwa baadaye.. soma zaidi
Ndiyo, i inawezekana kwamba mwanamke anayepata hedhi yake kila mwezi akawa mgumba. Na vilevile i inawezekana kwamba mwanamke asiyepata hedhi kila mwezi siyo mgumba.
Ni kweli kwamba kuna uhusiano fulani kati ya hedhi na uwezo wa kupata mimba. Kupata hedhi kila mwezi i i inamaanisha kuwa mwanamke anao uwezi wa kutengeneza yai kila mwezi. Hata hivyo, siyo rahisi kuwa na uhakika i iwapo mirija ya kupitisha yai inaweza kulipitisha yai hilo kutoka kwenye kokwa hadi kwenye tumbo la uzazi. Kwa hiyo hata mwanamke ambaye anapata hedhi kila mwezi anaweza kuwa mgumba.
Ili mwanamke awe na uhakika kama ni mgumba au la, ni vyema akamwone daktari kwa ajili ya uchunguzi.. soma zaidi
Hapana, hamna njia ya kufahamu kama amempa msichana mimba siku i ileile wanapojamii ana. Inachukua muda kwa mwili kuonyesha dalili za mimba.
Msichana akitaka kwenda kliniki kupimwa mkojo, kwanza ahesabu tarehe i ipi alikuwa anategemea kupata hedhi yake.
Kama anakosa hedhi katika muda aliotegemea, i itambidi aende kliniki. Mimba i inaonekana kwenye kipimo cha mkojo wakati ambapo mwanamke alitakiwa kwenda mwezini. Msichana akienda kupimwa mkojo kabla, hali halisi kuhusiana na ujauzito haiwezi kutambuliwa.. soma zaidi
Mbolea ya mboji hutokana na mabaki ya majani na miti. Majani na miti yanapooza hugeuka na kutengeneza virutubisho ambavyo husaidia kurutubisha udongo na kupunguza gharama.. soma zaidi
Kuachwa kusikupe Stress, Haijalishi umeachwa mara ngapi, Jali kile ulichojifunza kutoka kwa mtu aliyekuacha.. soma zaidi
Dalili ya kwanza ya mwanamke kicheche mi kwamba huwa huwa mara nyingi hawataki mambo ya mahusiano na mambo ya kupendana, wanataka siku zote wawe huru hata mtu yeyote mwenye uwezo zaidi ya aliyenaye akitokea, iwe rahisi kwake kujihusisha naye. Utasikia akisema tuwe Marafiki tuu.. soma zaidi
Mihogo kilo 1
Kidali cha kuku 1 kikubwa
Nyanya 1 kubwa
Kitunguu maji 1 cha wastani
Swaum/tangawizi i kijiko cha chai
Nazi kopo 1
curry powder 1 kijiko cha chai
Binzari manjano 1/2 kijiko cha chai
Limao 1/2
Pilipili 1
Chumvi kiasi. soma zaidi
Kuacha Matumizi ya pombe wakati wa ujauzito ni moja ya njia ya kuzuia kupata matatizo ya kuzaliwa nayo na udhaifu kwa mtoto. Pia kuna matatizo kadhaa yanaweza kutokea kwa kichaga kutokana na matumizi ya pombe wakati wa ujauzito.. soma zaidi
- Kuongezeka urefu na kupanuka mwili haswa nyonga na matiti kuanza kukua;
- Ngozi yako i taanza kuwa na mafuta mengi, unaweza pia kuota chunusi usoni;
- Kuota nywele sehemu za siri (mavuzi) na makwapani; na
- Kupata damu ya hedhi (kuvunja ungo).. soma zaidi
Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo wanawake hutamani sana wanaume zao wawe wanajua katika mapenzi, ili wasipate shida ya kumwambia mara kwa mara, jambo ambalo si wanawake wengi huwa uwezo wa kumwambia mtu, hapo ndipo unakuta mara nyingi mwanamke anaanza kuchepuka na kwenda kwa mtu mwingine wa kawaida tu kupata mahitaji yake baada ya kuona kile anachokitaka hakipati kwa mpenzi wake.
Rais Magufuli ametoa agizo hilo baada ya kupokea taarifa kuwa wadau mbalimbali wamechanga kiasi cha shilingi milioni 225 kwa ajili ya kugharamia hafla ya wabunge katika siku ya uzinduzi wa Bunge.. soma zaidi
Halina ukweli kwa sehemu, na lina ukweli kwa sehemu. Ni hivi : ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Shule inamfanya mtu awe overconfidence na kukosa unyenyekevu, hii ni output ya makuzi na malezi aliyopita plus msukumo wa marafiki waigizaji kwenye mahusiano. Mwanamke msomi can spend any amount of cash on saloon, urembo na vitu binafsi vya luxury , but utasikia kazi ya mwanamme ni kulisha family kujenga etc, na shati lake likichakaa atajijua, hata hela yavkunyolea ndevu tu ni yeye π€π€ but hana haki ya kuhoji income ya mkewe. Si mnakumbuka message ya 5000 za baba +2000 za mama=5000 za familia ,hiki ni practical kibonzo kwa some families.. soma zaidi
Ikiwa leo ni tarehe 1/12 huwezi amini kuwa hakuna tarehe 1 nyingine tutakayoiona ya mwaka huu hivyo sichelei kusema kuwa mwaka umeisha .Lakini mwaka unaishaje??? pengine hili ndilo swali gumu na la muhimu la kujiuliza .Je, Mwaka unaisha ukiwa umefanya nini cha kujipongeza??? .Je mwaka unakaribia kuisha maarifa yako yakiwa yameongozeka kwa kiasi gani???.Haya ni maswali muhimu sana unavyooanza kufikiria juu ya sherehe za mwisho wa mwaka.. soma zaidi
Vidonge na sindano zinazuia mimba kwa kuzuia yai lisipevuke. Akitumia njia hizi za kuzuia mimba, mwanamke anaona hedhi yake kama kawaida, lakini hakuna yai linalokuwa limepevuka kwa ajili ya kurutubishwa.
Mara mwanamke akiacha kutumia vidonge, mayai hupevuka tena ndani ya kokwa na mwanamke huweza kupata mimba. Mwanamke aliyetumia sindano, anaweza akachukua muda kiasi kurudia hali yake ya uzazi. Kwa wanawake wengine inachukua miezi 12.
Muhimu ni kukumbuka kwamba sindano na vidonge siyo njia za kudumu za kuzuia mimba, hata kama itachukua muda fulani kurudia hali ya kawaida ya uzazi. soma zaidi
Ndizi mbichi - 10. soma zaidi
1. Yanasaidia kufanya mzunguko wa damu kufanya kazi vizuri kwenye ngozi ya kichwa na kupenyeza hadi kwenye shina ya nywele kisha kuifanya nywele inayoota kuwa imara. soma zaidi
Kwa kawaida wakati wa kupima ubora, kiasi kidogo cha maziwa (sampuli) kutoka kwenye kila chombo hupimwa. Maziwa ambayo sampuli yake haikufikia kiwango kinachotakiwa hukataliwa na ni hasara kwa mfugaji. kwa hiyo, ni muhimu kushughulikia na kuhifadhi maziwa kwa kuzingatia kanuni za usafi. Vipimo hivi hufanyika kila wakati maziwa yanapofikishwa katika vituo vya kukusanyia maziwa ili kuhakikisha maziwa bora pekee ndiyo yanayopokelewa. Utaratibu huu wa upimaji maziwa kama unavyofafanuliwa hapo chini utakusaidia kuelewa na kukubali matokeo ya upimaji.. soma zaidi
Mshindi ni mtu aliyeshinda, Hivyo wewe ni mshindi kwa kuwa umeshinda, kuwa hai leo ni ushindi, kuwa na Mungu mpaka sasa huo ni Ushindi, kuweza kujifunza semina na kufuatilia mafundisho kama haya wewe ni mshindi.
Ebu jiulize ni watu wangapi ulikuwa unawafahamu leo hawapo duniani? Wewe umeshinda Mungu kakuweka duniani ili uendelee kushinda.. soma zaidi
Kuandaa Pancakes au chapati za mayai ni kama ifuatavyo;. soma zaidi
Kwenye maisha fursa moja tu inatosha kabisa
kubadilisha hali yako ya sasa na kukuweka kwenye
kiwango kingine kabisa cha mafanikio.Kuna watu
wengi sana ambao waliwahi kufikiria kuwa maisha
yao yatachukua miaka mingi sana kabla
hayajabadilika na kwa mshangao wao walipoanza
kufanya vitu sahihi wakakutana na mabadiliko
makubwa sana katika maisha yao kwa kupitia
fursa moja tu.. soma zaidi
Wakaka acheni ujinga, ukitaka dem wa peke yako mgharamie nakwambia wanawake asilimia kubwa hukumbuka fadhila za mtu anayemgharamikia kuliko wanaume zao.. soma zaidi
Mchele wa basmati/pishori - 4 vikombe vikubwa (mugs). soma zaidi
1. "kuzaliwa masikini sio kosa lako, ila kufa
maskini ni ujinga wako" (Bill Gate)
.
.
2,..Failure to plan is A plan to Fail
(felix Bundala). soma zaidi
Nawaandikia ninyi vijana wa kiume na wanaume wote,
maana mna nguvu na mmejaliwa na mwenyezi Mungu utashi,
hekima na busara ili muweze kutawala kila kitu tokea kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu huu.. soma zaidi
Unga - 6 vikombe. soma zaidi
Afya ya uzazi inahusiana na mfumo wa uzazi wa mtu, na via
vya uzazi kwa watu. Kwa hali hiyo basi inahusiana na mambo
yote yanayojumuisha uzazi na ujinsia. Ina maana kuwa watu
wana uwezo wa kukidhi mapenzi na usalama katika maisha
yao, kwamba watu wana uwezo wa kuwa na watoto na pia wana
uhuru wa kuamua, kama lini na kwa muda gani wapate watoto.
Yaliyomo humu yanampa haki mwanamume na mwanamke kupewa
habari au kuelekezwa na kufikiwa na njia za uzazi wa mpango
ambazo ni salama, zinazofanya kazi, anazomudu kulipia na njia
zinazokubalika za uzazi wa mpango alizochagua na haki ya kuwa
na huduma za afya zinazofaa ambazo zitawawezesha wanawake
kuwa salama wakati wa ujazito na kujifungua.. soma zaidi
Unaweza kutumia Lozi na maziwa kutibu shinikizo la chini la damu kama ifuatavyo;. soma zaidi
Watu sita wamepoteza maisha baada ya gari waliyokuwa wanasafiria kugongana uso kwa uso na basi linalomilikiwa na kampuni ya Prince Muro.. soma zaidi
RAFIKI ZANGU WA FACEBOOK, LEO NATAKA TUKUMBUSHANE NENO DOGO TU, LAKINI NI LA MUHIMU SANA:
Fuatana nami;. soma zaidi